Nawafuatilia kutoka hapa Washington DC - Marekani 🇺🇸 kazi nzuri sana Chief Odemba. Please mpe muda wa kutosha Lissu! Umekuwa ukimpa Odero Muda Mwingi kuliko Lissu! Sio poa.
Chef Odemba na Star TV, Hongereni kwa juhudi za kuimarisha uwazi na uwajibikaji kupitia mijadala kama hii. Ni hatua muhimu kwa demokrasia yetu, kwani inawapa wananchi nafasi ya kusikiliza maono ya wagombea na kufanya maamuzi sahihi. Endeleeni na kazi nzuri ya kuelimisha na kuhamasisha jamii.
Mbowe kutohudhuria mdahalo kumemharibia mwelekeo. Lisu na Mbowe wana madini kichwani. Tungenufaika sana kwa ushindani wa hoja zao. Lisu na Odero wapi na wapi, uzani (uzito) hawalingani hata kukaribiana😅😅😅
Hakuna mounzani wa Lissu anayeweza kusimama na Lissu kwenye mdahalo ktk nchi hii ya Tanzania. Hata ukiwekwa mdahalo kati ya Lissu na Samia wakati wa uchaguzi wa 2025, Samia atakimbia.
Lissu nilikuwa mwalimu wake ktk chuo cha nidhamu na nilikuwa nafundisha somo la kutunga uongo katk mitihani yote ya somo langu alikuwa akipata 0 kwa maana alikuwa anashindwa kuandika uongo kwa hiyo siyo mropokaji ila ana maadili ya kusema ukweli. NI MKWELI TUPU DAIMA.
Nilichojua leo, kuwa upinzani kigezo pekee ni mtuu kuwa na akili nyingi maana hata huyu odero anawazaidi viongozi wengi ccm pengine hata robo tatu ya baraza la mawaziri anawakalisha wengi kwa hoja
Gloria a Dios, la elección de Donald Trump ha cambiado mi vida. Dios nos ha levantado a mí y a mi familia y nos ha llenado de alegría. Imagínense pagar todas mis deudas y recibir $14,000 cada 12 días. Que Dios bendiga a la Sra. Camilla H Thees
Es realmente una buena asesora de inversiones. Tuve el privilegio de asistir a algunos de sus seminarios. Así fue como comencé mi andadura en el mundo de las inversiones.
Sí, las estrategias de Camilla H. funcionan como magia. En realidad no sé mucho sobre ella, pero sus estrategias a principios de este año fueron buenas.
Chief Odemba ni mwandishi namba moja Tanzania kwa sasa hakika historia chief Odemba itakukumbuka kwa kazi yako njema
ukisimama na lisu inaitajika akili kubwa sana big up lisu kwa kujua kujieleza vyema ❤
Toa ujinga hapa kila mtu anahaki zake😂
Nawafuatilia kutoka hapa Washington DC - Marekani 🇺🇸 kazi nzuri sana Chief Odemba. Please mpe muda wa kutosha Lissu! Umekuwa ukimpa Odero Muda Mwingi kuliko Lissu! Sio poa.
lissu mwanasiasa anayemaliza mb zangu miaka hii
Chef Odemba na Star TV, Hongereni kwa juhudi za kuimarisha uwazi na uwajibikaji kupitia mijadala kama hii. Ni hatua muhimu kwa demokrasia yetu, kwani inawapa wananchi nafasi ya kusikiliza maono ya wagombea na kufanya maamuzi sahihi. Endeleeni na kazi nzuri ya kuelimisha na kuhamasisha jamii.
Kweli startv wanastanili big up
Mbona kwenye tv, hauonekani msuguano, bali ktk mtandao?
Lisu mungu akuongoze na ww ukija kubadilika basi mm sitomwamin tna mwana siasa yoyote
Lissu Yuko hivyo tangu Utoto, Ujana, na sasa Utu uzima!!!
Tundu lissu mungu akulinde
HONGERA SANA WAKILI LISSU,WAJUMBE TUNAWATEGEMEA
Shukran sana Odemba, na star⭐Tv.
Sasa Niwati wa tundu lisu kuiongoza chadema
Mbowe kutohudhuria mdahalo kumemharibia mwelekeo. Lisu na Mbowe wana madini kichwani. Tungenufaika sana kwa ushindani wa hoja zao. Lisu na Odero wapi na wapi, uzani (uzito) hawalingani hata kukaribiana😅😅😅
Naona Odero anagombea si kwa ajili ya kushinda ila ni kutafuta kuanza kujulikana, Mungu amtangulie maanda ndiye anaona sirini.
Mdahalo mzuri sema mzee wa gia angani amekimbia
Hawezi kushiriki na nyie wahuni😊
Jitayarishe kuona muhuni akiwa mwenyekiti wa taifa wa cdm@@vicentnyanda828
Nimeipenda sana conference hii
Jamani odelooo kanivunja mbavu😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Mwamba amekula nyoya😂😂😂😂😂
Hongeren star tv
LISSU yuko vzr Hongereni Kwa mdahalo Mzuri
Hongera sana chief Odemba,
Sawa Kaka TAL....Keep going!
👍👍👍👍👍lissuuuu
Lisu ana tosha💯
Nirimuona kutoka kwenye maono miaka tisa irio pita ,munyama mukubwa akapigwa munyama rakini hakufa ,nikaoa munyama anakua mufarume.
Tundu lisu ukipita huyo odero usimwachee namwona akiwa ni brain inayoweza kukusaidia ktk Mambo kadhaa
Ni kweri
Ni kweli kabisa
God spared Lissu's life with purposes....
Kumbe odero unataka kua kocha😂😂
😊😂
😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅
Odero aliposhauri watu kuweka maziwa hadharani, viongozi walichanganyikiwa, wakaamua labda ajaribu mkewe tuone mfano akala winga😂😂😂😂
Kwa kweli toka taarifa za uchaguzi zianze MB zangu zinaishia huku, lisu awe mkt odero jasiri atafuata achukue uzoefu lisu ampe kitengo avune mazoefu
Huyu jamaa anatakiwa awafundishe watangazaji jinsi ya kuuliza maswali kwenye mahojiano
😅😅Odero yupo vizuri
Huku wanatema moto huku barafu 😅😅😅😅lisuuuu respect
Ila hako mnakaonea hakana uwezo kwa Lisu
😂😂😂 kweli kabisa bado mchanga sana kwa kwa mwamba lissu
Kwenye hoja za lissu hadi wanachama wameshindwa kujizuia kupiga makofi.
Kwann mlamba asali hajatokea anaogopa nn tarehe 21 ndio mwisho wa hiki Chama km hawatamleta lisu tunsema kabisa
😂😂😂😂 kabisa
Lisu una kila sifa yakuwa mwenyekiti wachama cha chadema na rais wanchi Tanzania kiujumla nakuombea kwamungu uweze kutimiza ndoto zako kiujumla
Hakuna mounzani wa Lissu anayeweza kusimama na Lissu kwenye mdahalo ktk nchi hii ya Tanzania.
Hata ukiwekwa mdahalo kati ya Lissu na Samia wakati wa uchaguzi wa 2025, Samia atakimbia.
Mbowe amechangia 250 lissu ee Mungu ambariki 😅😅😅
Hongera sana CHIEF ODEMBA mdaharo umeusimamia vizuri sana TUNDU LISU apewe kura za kutosha.
Very Trust lissu
Aisee Lissu wewe ndiye mpinzani wa kweli uliye baki Tanzania
Mbowe aezi simama mdahalo na Lissu
Kabisa MH LISSU tutakuunga mkono ukiwa mkweli kama hivo
😂uyu jamaa ana maswar ya kukera ningekuwa mm ningeunganisha na kubabake😂
😂😂😂
Uyo odero sijui odengo anajisumbua tuy mwenyekit ni lisuuuuuuuuuu
Mh tundulisu akili kubwa mwamba apewe tu dhamana
Hongeren sn Star TV
Huku wanatema moto uku barafu, 😂😂😂😂
Lissu nilikuwa mwalimu wake ktk chuo cha nidhamu na nilikuwa nafundisha somo la kutunga uongo katk mitihani yote ya somo langu alikuwa akipata 0 kwa maana alikuwa anashindwa kuandika uongo kwa hiyo siyo mropokaji ila ana maadili ya kusema ukweli. NI MKWELI TUPU DAIMA.
Lisu oyeeeee
Kwenye siasa za sasa, na jinsi dunia inavyo badilika!! Tunahitaji mtu kama, Tundu Lisu, basi!!
Wako smart wote
Mbowe kala kona!😂😂😂😂
Hawezi kuja anaogopa aibu ya kushindwa maana unapoongea ndipo unafunua moyo wako
Kazi kwenu
Maua yangu kwa lissu❣️❣️❣️🙏Mungu afanikishe ktk nchi hiii
Lisu ana akiri, amwezi Mbowe
Jifunze kuandika vzr
Nilichojua leo, kuwa upinzani kigezo pekee ni mtuu kuwa na akili nyingi maana hata huyu odero anawazaidi viongozi wengi ccm pengine hata robo tatu ya baraza la mawaziri anawakalisha wengi kwa hoja
Uchaguz ukiisha nguvu moja; twende na lisu.
Lissu oyeeeeeeeeeeeee
Bora odero kuliko yule mwamba
Kumbe anataka kutengeneza team awe coach jaman akachunge mbuzii
Tunasimama na Lissu
Mabadiliko ya uongozi ni muhimu sana
Awamu ijayo iwe Lissu na Wasira ila mzee Wasira apewe kiti😮😮😮😮
TAL.... 🔥
Jaman mnamuineleaa odiriaaa wawatu
He is good
😅😅😅😅😅odiria
Muandishi mjinga huyu aliesema kuwa lissu ndio anaonekana mshindi. Hajui kazi yake
Lisu anafaa sana
lisu moja hiyo🎉🎉🎉🎉🎉
ODERO HATAKI MCHEZO, MAZIWA YAKIONEKANA SPIKA HAWEZI KWENDA BUNGENI KUSEMA HAJAPATA TAARIFA YA WATU KUTEKWA😂😂😂😂😂
Odero akishinda niite mbwa ni mikaa pale😅😅
Baki na ccm yk mshamba wamwisho ww mambo yakenya hayatuhusu
Nnamkbal san lisuuu
Mbowe hawzi chochote arudi lambo kule machame
Odela kanywa kisungura smart gym
Mgabe wa CHADEMA ameingia mitini🤣🤣
Odemba nahisi umesoma sana sana Katika levo ambazo sio za Tanzania nafstiliag big agenda wewe ni mtu mwingne na mwenye uwelewa mkali
Ila odemba🤣🤣
😂😂😂odelo
Mseven alikula nyoya😅😅😅😅😅
Unakunwa maji toka kwa watasha unaficha kwa kuwa unaletewa nyingi
Gloria a Dios, la elección de Donald Trump ha cambiado mi vida. Dios nos ha levantado a mí y a mi familia y nos ha llenado de alegría. Imagínense pagar todas mis deudas y recibir $14,000 cada 12 días. Que Dios bendiga a la Sra. Camilla H Thees
Wow, conoces también a CAMILLA H THEES
Recuerdo haberle dado mis primeros ahorros, $4500, y ella abrió una cuenta de corretaje para mí. Resultó ser lo mejor que me pasó en la vida.
Es realmente una buena asesora de inversiones. Tuve el privilegio de asistir a algunos de sus seminarios. Así fue como comencé mi andadura en el mundo de las inversiones.
Sí, las estrategias de Camilla H. funcionan como magia. En realidad no sé mucho sobre ella, pero sus estrategias a principios de este año fueron buenas.
Soy un testimonio vivo de las grandes obras de la señora Camilla H. Thees. De hecho, ella es un regalo de Dios para todos nosotros
Alois nyanda na chifu odembe ni waandishi bora zaidi Tanzania .
Salute odemba
Tundu Lissu wewe mshindi wa mdahalo Nakutakia Kheri !
Kutokufika kwake Mbowe ni ishara tosha ya kushindwa
Odero ukikosa tafuta Jimbo ubunge na iwaziri unakufaa mbeleni
😅😅😅ki ukweli huyu Odero amejibu ma swali vizuri na. Amenipanga kuliko....
Sawa
mbowe kakimbia mdahalo😂😂
Huyu mgombea kwa Lissu mnamuonea tuu anapata tabu
Hakuna chawa anaweza Mdahalo na Lisu, Heche pia Namlete Mdahalo wa sleep upande mwingine
Tundu antipas mugw'ai lissu
Odero kamaliza safi sana,ajalibiwe
Lisu upo vizuri
Lissu anajiamini na nimuwazi
KITENDO CHA MBOWE KUTOKUHUDHURIA HUU MDAHALO AISEE AKISHINDA HUU UCHAGUZI SITAKI TENA KUSIKILIZA SIASA..
Odero ana sera nzuri
Mbowe amekimbia hhhhhhhh
Bw.Odero una roho ngumu, kuchuana na Tundu Lissu inataka moyo
Ameonesha ujasiri na kuthubutu ndivyo mwanaume anatakiwa
Huyo odero sijui oderaaa simjuiii namchuaa tundu na rais wangu samia
Leo ndo Leo
Tunaenda na lissu