Kijana Lema Mungu awe pamoja na wewe siku zote maana una hofu ya Mungu na muwazi kweli na unapenda haki kwa kila Tanzania. Asiyekuelewa Basi Ana lake .Laiti tungelikuwa na watu wa aina yako kutoka vyama vyote nchi hii ingekuwa pazuri sana
Lema damu ya yesu ikulinde kila sekunde damu ya yesu ikanene mema kila kona mungu akutunze jamani wote lisu mungu wa mbinguni awalinde awepushe na hila zote za mwovu shetani damu yesu iwe juu yenu iwafunike iwalinde ikanene mema kila kukicha mungu wangu tembea na hawa watt wako watete tu amen
Zile Nabii ulitoa hapa nyuma zote zimetimia Unaonaje hii huduma ya kinabii kiwe mlezi ili baadaye uisadie Taifa kwa huduma hii Kinabii In fact watu wa kweli wana vita mno popote Yohana 8:31-"Nanyi mtaifahamu hiyo nanyi mtakuwa huru kweli kweli" Social media is the Powerful Platform Jengeni chama ktk Unity,epukeni kashfa,kejeli,matusi,kufunua siri za Society. God bless Lema is the Strong man
Lema, Lema, Lema, Mungu amekupa hekima na nina mwomba sana Mungu akuzidishie HEKIMA ZAIDI NA MAARIFA!!! HALELUYA MUNGU WA MBINGUNI KWA KUMPA LEMA HEKIMA HII KISHA MPE MAISHA MAREFU KWA FAIDA YA TAIFA LETU.
Yani nilipoanza kusikiliza sikujua kama nitamsikiliza mpaka mwisho lakini nimejikuta namsikiliza mpaka mwisho kwasababu kila neno analolisema ni kama dhahabu. Wewe ni mwanaharakati kweli.
A brave man in this country we'll be with you for better and worse kaka lema ni chuma nilikuwa sna chama kwa speech hii mm ni chadema stating from today kabisaa tunaitaj mtu kama lema anasema red ikiwa red sio akina mwabukus waliotuminisha kipnd japata nafas alionayo Sasa ivi kaanza red color anasema brown color lema big up once again ,,, Good good. Good
Mbowe hahombei anaonyesha democrasia atashindwa hatakuwa na lawama kwa Nini lisu apite kwa kuachiwa shoo imekata vzr lisu Ni chair man mbowe Ni sadala ya democrasia
Kamanda lema kwa wale tunaokufahamu tulimiss sana speech zako, ni bora hata ulivyoibuka, kwa sasa tunakuomba endapo utakuwa katibu mkuu chin ya mh lisu mrudisheni dkt slaa awe mnadhimu ili chama kirudi kwenye mstari kama zamani.
Sawa kaka Ila masikini nae ajilinde asije kufanya chama Ni Duka la familia Mimi nampenda Sana mashaka yeye Ni binadam asije kubadilishwa na madaraka akayasahau majukumu yake na molarity wake
Kijana Lema Mungu awe pamoja na wewe siku zote maana una hofu ya Mungu na muwazi kweli na unapenda haki kwa kila Tanzania. Asiyekuelewa Basi Ana lake .Laiti tungelikuwa na watu wa aina yako kutoka vyama vyote nchi hii ingekuwa pazuri sana
The Truth is not the matter of opinion is the FACT of the world. Charles pierce
🎉
41:07
Lema, wewe ni kamanda wa kweli. Leo nimekuelewa zaidi. Mungu akubariki.
Ogopa sana mtu anaeongea bila kuandaliwa hotuba.. Lema🎉🎉🎉
He's something else bro...snap
Mweshimiwa lema tunakufatilia tukiwa south Africa ❤❤❤❤❤
Lema najua wew' umekuja kutoa Neno la mwixho na ni Sauti ya MUNGU.🙏🙏🙏💯✌️
Nakusoma vzr mh rema mungu akulinde
Lema uko sawa kweli kweli. Umekuja kukinusuru chama. Na umemshauri vema mwamba!!!
Lema wewe ni mtu na nusu. Ushauri mzuri zaidi kuwahi kutolewa wenye takwimu. Mungu akubariki zaidi na zaidi🙋
Lema damu ya yesu ikulinde kila sekunde damu ya yesu ikanene mema kila kona mungu akutunze jamani wote lisu mungu wa mbinguni awalinde awepushe na hila zote za mwovu shetani damu yesu iwe juu yenu iwafunike iwalinde ikanene mema kila kukicha mungu wangu tembea na hawa watt wako watete tu amen
Zile Nabii ulitoa hapa nyuma zote zimetimia
Unaonaje hii huduma ya kinabii kiwe mlezi ili baadaye uisadie Taifa kwa huduma hii Kinabii
In fact watu wa kweli wana vita mno popote
Yohana 8:31-"Nanyi mtaifahamu hiyo nanyi mtakuwa huru kweli kweli"
Social media is the Powerful Platform
Jengeni chama ktk Unity,epukeni kashfa,kejeli,matusi,kufunua siri za Society.
God bless Lema is the Strong man
Bro uwaunatumiwa na Mungu kweli kweli, Mungu aendelee kukujaza hekima na maarifa.
Lema ni muwazi sio mnafiki kbs.Mungu akulinde
Uko smart sana kichwani nakuomba uchukue fomu ya ubunge
Godbless wew ni jembe kweli wew ni baraka za Mungu! Stay strong with Tundu Lissu
Mbowe nimshindi
Bwana akupe maisha mrefu, Hakika mtashinda wew na lisu katika jina la Yesu kristo aliye hai
Amina
Lema, Lema, Lema, Mungu amekupa hekima na nina mwomba sana Mungu akuzidishie HEKIMA ZAIDI NA MAARIFA!!! HALELUYA MUNGU WA MBINGUNI KWA KUMPA LEMA HEKIMA HII KISHA MPE MAISHA MAREFU KWA FAIDA YA TAIFA LETU.
Mungu asimame nawe lema, maskin nae mtu ata kama ana kitu🥂
Nabii kabisa Lema haina ubishi anatabiri Ana hofu ya mungu, mtetezi mtegemezi mwenyewe. Ana hofu ya mungu mnooo. ❤❤
Umenenaa,viva lisu from lusaka 🇿🇲
Safi sana Lema. Simama na ukweli
Uko vizuri sana mdogo wangu lema
Yani nilipoanza kusikiliza sikujua kama nitamsikiliza mpaka mwisho lakini nimejikuta namsikiliza mpaka mwisho kwasababu kila neno analolisema ni kama dhahabu. Wewe ni mwanaharakati kweli.
🙌🙌🙌🙌
A brave man in this country we'll be with you for better and worse kaka lema ni chuma nilikuwa sna chama kwa speech hii mm ni chadema stating from today kabisaa tunaitaj mtu kama lema anasema red ikiwa red sio akina mwabukus waliotuminisha kipnd japata nafas alionayo Sasa ivi kaanza red color anasema brown color lema big up once again ,,, Good good. Good
Brother. Respect sana. Refornation and deformation, is concuer
Bila shaka Mbowe alidanganywa na Wenje. FAM ilitakiwa atumie busara apumzike.
Umenena Vema sana ndugu Lema,Mungu Akufiche damuni Mwake
Hongera mtumishi na nabii wanchi
Muheshimiwa lema mungu akuongezee cku mungu akulinde mpaka kieleweke
Safi sana lema hakika uko vizuri sana
Mbowe amefanya kazi nzr sana lakn kwa Sasa naomba ampe uwenyekiti lisu
"Ukiona mtu anataka kununua uongozi ambao hauna mshahara jua kuna mahala analipwa mshahara juu ya huo uongozi"
Lema tunakuomba akipita lisu na heche tunakuomba uwe katibu kuu 🙏
Umokatika mawazo yangu,anatufaa sana itakuwa moto sana!
Highly recommended wisdom.. Congratulations..!!. Mzee Mbowe must think deep to restore his reputation 🤔🤔
Vizuri sana mkuu kwa maelekezo hao yazingatiwe
Asante lema ,Kagera tuko na lisu
Hongera mh lema Kwa uwezo wako
Safi sana lema naona list anatosha jamani mbowe mkubaliane mpe lisu 15:07 aongoze mnawapa lakes email ccm jamani nawaomba sana mm chadema damu
Mwenye masikio na asikie ahsante
❤❤❤ ata mm huwa naropoka
Kiukwer mungu akutunze sana lema ni mkomboz wa nch
Sv chadema inazaliwa upya kwa matapeli akina mbowe na boni hai wao lisu heche na lema tuokoe🇹🇿❤️✌️✌️🚣🚣🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🚣♂️🙏🙏
Rema Mungu akutunze
Uzuri ni kwamba Mh Mbowe kazipata nondo zote.Kama Mh Mbowe hasomi alama za nyakati basi.Kama hatosikia ndo chama kinaenda kufa.
Kufa je😂😂😂
Safi sana wapinzani wana maana kubwa katika nchi hwa ndiyo wanaojuwa mambo yanayofanywa na serikali nakuikemea
Rema nimkweli mungu akubaliki.
Lema leo nimekuelewa kaka Mungu Akutunze,
Safi sana bro,twende na Lissu
Nakuelewaga sn bro,mungu akujalie maisha marefu
Kamanda nakukubali sana
Ndiyo ...Mr Lema Mungu akuhifadhi...❤
Mbowe hahombei anaonyesha democrasia atashindwa hatakuwa na lawama kwa Nini lisu apite kwa kuachiwa shoo imekata vzr lisu Ni chair man mbowe Ni sadala ya democrasia
mhe lema umenyoka sana Mungu akutunze ...
Mh lema kwaushauli ulio nao ata kiziwi lazima askie
Lema upo vizuli sana Allah akutangulie wwe na família yako akuepushe na husda za walimwengu akuepushe pia na wabaya wote walio nyuma
Lema umeeleweka na tunakuamini Mungu atusaidie
Kamanda lema kwa wale tunaokufahamu tulimiss sana speech zako, ni bora hata ulivyoibuka, kwa sasa tunakuomba endapo utakuwa katibu mkuu chin ya mh lisu mrudisheni dkt slaa awe mnadhimu ili chama kirudi kwenye mstari kama zamani.
Mungu akulinde kuitetea haki
Nimejifunza na nimeelewa.. This true man
Hongela kwa hotuba nzuri kaka lema
Your are good and machuared leader
Ukweli mtupu, safi sana.
Lema nakukubali kamanda❤❤
Godbless Lema thank you brother
Una akiri sana Lema
Mungu akubaliiki sana kaka. Upo vizuri
pamoja sana lema🎉🎉🎉✌️✌️✌️✌️
Upo vizuri
Ndo maana nakukubali mzee
MBOWE❌❌❌❌❌😭😭😭😭😭
LISU✅✅✅✅✅🔥🔥🔥🔥💯💯
Nakupa cheo kiongozi!!!
MUNGU akubariki
Lisu anafaa sana kwa wakati huu.
Kweli lema uko vizuri
Lema ni mkweli ❤❤ ❤
Tungekuwa na watu kama hawa kwenye hii nchi Taifa letu lingekuwa mbali sana kimaendeleo
Big up bro
Powerful msg
Lema uko vizuri, Mbowe nae awe kama wewe chama muwaachie vijana, Lema anasema c?"Chama chetu", Mbowe anasema " Chama changu" 4:18
Ubarikiwe sana mtumishi
Mungu akubaliki sana br Lema.
Ansbert Mgurumo ajibu na hapa sasa. 😂😂
mhexhimiwa mboe uxipuuze uxhauli wa nabii Lema mungu akupenguvu
Safi sana Lema, umeongea mambo mazoto sana aise!!
Leo ndo mjue kuwa Lema ana akili zinazojitosheleza. Kqenye ukweli anasema tu.
Hongera sana mheshimiwa Lema mara zote umekuwa mkweli mno
Asante sana Mbangaizaji mwenzetu😂😂
Nimekuelewa sana kaka
Umewachamba waandishi wahabali nimefulahi sana ujue waandishi wahabali mbadilike msipende kutumika nawatawala kwakuhofia ajila zenu fieni ukweli kwasababu binadamu nimtu wakufa bola ufie ukweli
🎉🎉🎉🎉 asante kaka lema
Nakuelewa sana mtumishi wa Mungu Lema
Lema ukopoa sawa sana
Safi lema llisu ndio habari ya chadema kwa sasa.
Hongera Lema kwa hotuba nzuri
Fantastic 🎉🎉🎉🎉
Sawa kaka Ila masikini nae ajilinde asije kufanya chama Ni Duka la familia Mimi nampenda Sana mashaka yeye Ni binadam asije kubadilishwa na madaraka akayasahau majukumu yake na molarity wake
Salute bro
Nisipotoa mibarakayangu kwa huu ujumbewako nitakua mtuwaajabu Sana Mungu akubariki sana
Mungu akubaliki lema wee hazina ya taifa
Lema lema nmekuita mara mbili Leo umeongea mambo mazito yenye mashiko mungu akubarki sana sana
Huyu jamaa kwa press hii kaijenga vizur sana legacy yake. Hakika saut ya weng ni sauti ya MUNGU
Mungu akubariki sana simamia ukweli
Comment zote za mungu 🎉🎉🎉❤
Sikuwahi kumwelewa lema kwenye hotuba zake lkn kwa Leo kaka umeupiga mwingi sana