BENSON KIGAILA AMKAANGA VIKALI LYENDA "NI MUONGO, AMEKAA TU CHUMBANI KWAKE"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 янв 2025

Комментарии • 144

  • @melch3097
    @melch3097 9 дней назад +5

    Uchaguzi zaidi ya uchaguzi wa taifa, pongezi kwa chadema

  • @godfreymushi6966
    @godfreymushi6966 9 дней назад +2

    Mwandishi big upp.upo vizuri kwa kweli

  • @jeffmap4038
    @jeffmap4038 9 дней назад +15

    kumbe mzee mke wako ni mmoja ya wabunge 19. unazingua sana

    • @melch3097
      @melch3097 9 дней назад

      Lkn mbona viongozi walitoa kauli. Tatizo wanachadema wengine ni kama vilema, wanasubiri mtu mmoja ndie afanye kazi

    • @rashidmohd115
      @rashidmohd115 9 дней назад +1

      Huyu lazima ambebe mbowe lazima na atafanya juhudi zte ili mbowe ashinde lkn tutajua muda si mrefu nani kanyimwa kitambulisho

    • @polycarpmashikaosopalodges3927
      @polycarpmashikaosopalodges3927 6 дней назад

      ulitaka afanyaje ndg? ajiuzulu? ama amwache lkn???

  • @GodfreyBikukan
    @GodfreyBikukan 9 дней назад

    Vibaraka wa mbowe mnawakati mgumu sana mungu yupo ngoja tusubili

  • @Allyiddsud
    @Allyiddsud 9 дней назад +10

    Mbowe tu 5 mwamba ❤❤❤❤❤ 5

  • @salama1113
    @salama1113 9 дней назад +9

    Mungu atasimama upande wahaki

  • @RehemaSanga-y1w
    @RehemaSanga-y1w 9 дней назад +3

    Kigaira si ukae pembeni uchagizi under vizuri Njombe Uli halibut na happy tena

  • @andongwisyekimeme8976
    @andongwisyekimeme8976 9 дней назад +12

    Mungu tusaidie tundu lisu apite tupate furaha

  • @reginaldmapunda6702
    @reginaldmapunda6702 9 дней назад +1

    Safari hii watanzania tumepata nafasi ya kukusoma chama hiki vixuri mno. Kumbe kilkuwa kinafuga watu wabaya mno. Ukisikiliza malalamuko na tuhuma wanazopeana wagonbea na wanachama wake ndipo utajua kuwa siasa za Tanzania zimegubikwa na kutawaliwa na watu wenye ubinafsi na ubabe uliokithiri. Kama chama hiki kimewakumbatia watu wenye tabia zote za Rushwa, ufisadi na uchawa na unafiki wa kutisha. Hiki ndio chama tulichokiona ni kinara katika kupinga na kukaripia serikali juu ya utawsla wa haki na sheria, Kinyume chake chadema wamedhihrisha kuwa ndani ya chama chao kuna uchafu kuliko serikalini wamekuwa ni kama Fagio chafu linalotumika kusafisha chumba kichafu na matokeo yake ni bora kubaki na uchafu uliokuwepo kuliko kutumia fagoo chafu ambalo hata hujui limebeba takataka za aina gani na zina madhara gani.

  • @Peterchipemba
    @Peterchipemba 9 дней назад +10

    Timu lissu ni damu changa,,kwaio ushindi wa lissu mapema saaana,,mungu atanena kupitia lissu nabii wake

    • @AliSalim-yu4mo
      @AliSalim-yu4mo 9 дней назад

      Munakwenda lktk uchaguzi mukiwa na matokeo kama CCM?

  • @modestwenceslaus9
    @modestwenceslaus9 9 дней назад

    Katakata Kigaira kumbe team Lissu hawajuhi kusoma na kuandika.Big up Mchengerwa kwa kuratibu mfumo mzima wa uchaguzi ndani ya CDM.

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 9 дней назад +2

    Wewe Mzee Mungu yupo kazini ole wenu

  • @johnlugaila
    @johnlugaila 9 дней назад +4

    Sijui kama unafaa kwa nafasi hiyo

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm 9 дней назад +2

    Mbona unahaha na sauti kubwa? Tulia kaka. Tufanye kazi tuliojia. Haki itendeke. Ni Lisu. Calm down my friend.Haupo humble kwa hii kazi. Calmness is neccessary. Cool down my friend.

  • @eliajimmy95
    @eliajimmy95 9 дней назад +2

    Unatuambia maafisa wa kanda husika hao wengi wao ni wale waliopita kwenye chaguzi kwa rushwa.

  • @geraldmbengwa6381
    @geraldmbengwa6381 9 дней назад +7

    Mke wake ni covid 19 huyo

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 9 дней назад +12

    mmekiharibu chama nyie hatuwataki kabsa tunamtaka lissu

  • @YusuphEtako-z9w
    @YusuphEtako-z9w 9 дней назад +2

    Mbona ansonge sana ni Mrema katibu mkuu Munyika yuko wapi

  • @abduhamisi7620
    @abduhamisi7620 9 дней назад

    Cheki alivyolisema neno To Log in utafikiri neno la kitaalamu vile😅😅😅

  • @songombingo108
    @songombingo108 9 дней назад +2

    Mbona kazeeka hivi jamani😂😂

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 9 дней назад +2

    Hawa ndio viongozi wanamiliki wale covi19

  • @josephmabhenga
    @josephmabhenga 9 дней назад +1

    Jamaa huyu ni mjinga

  • @chayogasperi9783
    @chayogasperi9783 9 дней назад +4

    Kigaila ulittdanganya kwamba mnawachukulia hatua COVID 19 , Kumbe na mke wako yumo .

  • @Mwigaa95
    @Mwigaa95 9 дней назад +3

    Sasa kwa Nini zoezi lije kufanyika kwa kuchelewa ili hali wana jua kulikua kuna uandaaji au ndio mpango mzima 😃

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 9 дней назад +9

    Safari hii Lisu anawatoa jasho😂😂😂😂

    • @melch3097
      @melch3097 9 дней назад +1

      Anawatoa Jaso lkn baada ya hapo yeye atatoa zaidi

    • @ashaali7154
      @ashaali7154 9 дней назад

      Lissu anatoka jasho yeye mwenyewe na akichaguliwa ndio mtamjua ananuka vipi hilo jasho.

    • @sewandomkuchu9267
      @sewandomkuchu9267 8 дней назад

      ​@@melch3097Lissu akiwa nje ni balaa zaidi kwao..

  • @JacksonMartin-pb2vq
    @JacksonMartin-pb2vq 9 дней назад +4

    Ila kiukweli Timu Lisu ni waongo sana sijajua ni kwa nini

    • @onesmokamili2968
      @onesmokamili2968 9 дней назад

      Timu Lisu wanafurahia Chadema kuporomoka ni waongo Sana

  • @GoodTeck90
    @GoodTeck90 9 дней назад +3

    Watu wa Lissu waongo waongo, na visingizio vingi, maana wanajua kuwa kesho wanapigwa chini

  • @AgnessMalile
    @AgnessMalile 9 дней назад +3

    Mbona kigaila kapaniki

  • @simonsadala2386
    @simonsadala2386 9 дней назад +2

    Tundulisu anataka kuvuruga uchaguzi ameshajua Hashindi uchaguzi huu yeye na wapiga debe wake wanaujua moto wa MWAMBA MBOWE hofu imewatakawa aibu ya dunia

    • @rashidmohd115
      @rashidmohd115 9 дней назад

      Timu mwamba ni timu rushwa ni masikitiko makubwa kujipamba kwa rushwa huku wakiaminisha wananchi eti wao ni wanademocracy.

  • @jamesrobare522
    @jamesrobare522 9 дней назад +1

    Chawa Lisu ni waongo sn jana walitulisha matango pori kwamba munaungwa mkono na wenyeviti 25 kumbe tango pori

  • @tobiaspaul9203
    @tobiaspaul9203 9 дней назад +2

    Timu lissu wanahaha

  • @hamisichakwana
    @hamisichakwana 9 дней назад

    Alichokifanya lyenda alikuwa sahihi bira kufanya hivyo mapema wasingefanya kwa haraka

  • @fredrickmwakalinga6390
    @fredrickmwakalinga6390 9 дней назад

    Machawa wa Lisu wanahofu ingia ndani lalamika kama hupewi huduma kila jambo kutaka kumsingizia mbowe,lema naye ni mchochozi tu analazimisha kuwa ndo mkweli na bila wao na akina heche hakuna chadema ni ujinga na upumbavu mtupu

  • @ProsperReuben-fg6uh
    @ProsperReuben-fg6uh 9 дней назад +1

    Ànatoa macha kama vile Hana mke COVID

  • @paschalmlekwa7173
    @paschalmlekwa7173 9 дней назад

    Kumbe miongoni mwa covid 19 una mke😛

  • @DaudSuday-v5c
    @DaudSuday-v5c 9 дней назад +1

    Huyo nikuma acha usege mmeshitukiwa dili

  • @RashidAli-rn3ro
    @RashidAli-rn3ro 9 дней назад +1

    Sasa mpaka upaniki kigaila si useme tu.

  • @RegnaldDanda-k3i
    @RegnaldDanda-k3i 9 дней назад

    Muongo vitambulisho tumepata saa 5 usiku.

  • @Brunotarimo10
    @Brunotarimo10 9 дней назад +3

    Kigaila mwisho wako wa Kuwa naibu Karibu Mkuu Kesho. Umpishe lissu achague timu yake

  • @mohamoudali8652
    @mohamoudali8652 9 дней назад +1

    Hivi imekuwaje jamani huyu jamaa kubaki kwenye chama hadi leo? isitoshe kuwa naibu katibu mkuu pamoja na madudu yote hayo?

  • @davidkihiga3531
    @davidkihiga3531 9 дней назад

    Kwa kupaniki huku inaweza kuwa kuna kitu hakikuwa sawa aidha wameshtukiwa

  • @melch3097
    @melch3097 9 дней назад +1

    Lyenda na uhakika baada ya uchaguzi anafukuzwa unawachama ajiandaye

  • @marianmartin7483
    @marianmartin7483 9 дней назад

    Mkeo yuko Mbungeni, napita tu.

  • @geraldleger5793
    @geraldleger5793 9 дней назад +2

    Kigaila Unatumia nguvu nyingi sana ....

  • @yaronaWilliam
    @yaronaWilliam 9 дней назад +3

    Wewe Kigaila usipobadilika utaiziika chadema, husimamii maslahi ya chama,

  • @samsonwilson3762
    @samsonwilson3762 9 дней назад +2

    KIGAILA MSHENZI HAFAI NA MBOWE WAKE TUNDU LISSU SAFISHA UCHAFU AKINA WENJE UKISIMIKWA

  • @GasperKapungu
    @GasperKapungu 9 дней назад +1

    Timu lissu wanahofu sana.wanazusha mambo mengi sana ya uwongo uwongo

    • @johnmwasilu7087
      @johnmwasilu7087 9 дней назад

      Hasa JAMBO TV ndiyo wachochezi

    • @b.truthful
      @b.truthful 9 дней назад

      Uovu ukifichuliwa marekebisho ufanyika hivyo basi ni haki madudu kuekwa hewani bila kucheleweshwa ili kupatikane suluhisho

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 9 дней назад

    Wewe ni COVID 19, CCM B.

  • @SeverinepauloPeter
    @SeverinepauloPeter 9 дней назад +2

    Piga chini hawa matapeli. Viva lissu

  • @beinafuu6219
    @beinafuu6219 9 дней назад

    Kwanimi mambo yote mmefanya leo msingewambia yote yakiwa huko.kwso

  • @MohdIkra-d7s
    @MohdIkra-d7s 9 дней назад

    Hiki chama cha ajabu sana vip wanaendesha mambo yaoo kiholela utaratibu mbovuuu mabo haya yali takiwa yafanyike mwenzi moja kabla uchaguzi

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 9 дней назад

    Yuko hapo kwa ajili yakumlinda mke wake na wenzake na ni wateule wa Kwamba

  • @awemaqway1201
    @awemaqway1201 9 дней назад

    Ila hi issue ilitakiwa ianze siku 3 kabla ya trh ya uchaguzi

  • @ufunuokihongosi4483
    @ufunuokihongosi4483 9 дней назад +7

    Kigaila jambazi tu

    • @SylvesterKameo
      @SylvesterKameo 9 дней назад +1

      Ujambazi wake ni nini? Shida ni mashabiki wanapenda kuaminishwa ujinga. Wajumbe wanahakikisha hakuna tatizo, wewe unamwita Naibu Katibu mkuu ni jambazi. Sasa jambazi ni nani kati yako na wewe?

  • @Thevineyard9889
    @Thevineyard9889 9 дней назад

    Kwanini mnafanya utaratibu wa kutoa vitambulisho siku moja tena masaa machache kabla ya kikao? Na kikao cha baraza kuu la leo watu wameingia ukumbini kwa kutumia kitambulisho gani?

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 9 дней назад +1

    Alaf kazeeka gaflaaa mshenzi saana huyuuu

  • @AmosMalakyese-dc9qr
    @AmosMalakyese-dc9qr 9 дней назад

    Huyu mzee 🤔???***???

  • @manubei3574
    @manubei3574 9 дней назад

    Sasa kama maofisa wa kanda wamebagua kagua kagua uchukue hatua!

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 9 дней назад +1

    Mzeee wa ajabu saana,
    Vp njombeee?vp kuhusu rose mayemba?

  • @braysonminja
    @braysonminja 9 дней назад

    Kama mke wake yuko bungen huyu afai

  • @AhmeidYussuf
    @AhmeidYussuf 9 дней назад +2

    Ww unaish n covid 19 ushaathirik zaid

  • @Mteulehalisi
    @Mteulehalisi 9 дней назад

    Nani kamtibua mzee mbona kapaniki ghafla tuu

  • @WadySaidi
    @WadySaidi 9 дней назад +1

    Tundulisu ni mlopokaji afai kuwa kiongoz yumasimama na mbowe

  • @allymasoud547
    @allymasoud547 9 дней назад

    Uzushi na uongo ni kawaida ya Lissu!!

  • @DanielMgeni-x1z
    @DanielMgeni-x1z 9 дней назад

    Mzee kibaka huyu Kigaila kahalibu uchaguzi wa chadema semi nyingi hivi Ana shida gani huyu

  • @dianasamson9311
    @dianasamson9311 9 дней назад +1

    Kumbe hata michango walikuwa hawalipi, ila walijiandaa kwa kelele. Ndio hao watakuwa wanachanga 1000...kweli?

  • @SowetoBanks
    @SowetoBanks 9 дней назад

    Mungu akutangulie LISSU

  • @MichaelMgudula
    @MichaelMgudula 9 дней назад

    Tunamtaka lisuuuuuu

  • @ufunuokihongosi4483
    @ufunuokihongosi4483 9 дней назад +1

    Kigaila ni jambazi kama mbowe

  • @OmaryRajabu-g7r
    @OmaryRajabu-g7r 9 дней назад

    MNAJITEKENYA MNACHEKA WENYEWE HAMJITAMBUI TUNDU KESHASEMA MKEWE NA WATOTO WAKE HAWAITAKI TANZANIA KWA HALI HIYO TUNDU NAE ANAJIANDAA KUONDOKA TANZANIA JE KWA HALI HIYO ANAWAONA WANACHADEMA MAZUZUU,,,

  • @Zanijasy-hy7vm
    @Zanijasy-hy7vm 9 дней назад +3

    Team Mbowe MATAPELI sana. Lioneni hili Litapeli, mkewe ni Covid _ 19

  • @meddy92
    @meddy92 9 дней назад

    Kwanini kesho??

  • @epaphraslugendo8790
    @epaphraslugendo8790 9 дней назад

    Ogopa mtu anaongea na kutoa macho sana

  • @HijaSaid-t6c
    @HijaSaid-t6c 9 дней назад

    Wateule wa Nkurunzinza hii ndio timu ya cvd 19

  • @marysichinsambwe7708
    @marysichinsambwe7708 9 дней назад

    Wewe tena mwizi.

  • @jitabojilala6162
    @jitabojilala6162 9 дней назад

    Tapeli mbona kama muongo wewe mzee na unaongea kwa mhaho?

  • @BenardLucumay
    @BenardLucumay 9 дней назад +1

    Kuna baadhi ya watu wamekariri kulia lia sijui wameshaona dalili za kushindwa!

  • @murubonabaptistmbstudentce7293
    @murubonabaptistmbstudentce7293 9 дней назад

    Mkeo yupo bungeni

  • @MamaEllem
    @MamaEllem 9 дней назад

    Lyenda ni mchonganishi, ana roho ya hila.
    Huyu Fred Justin naye ni mpaparukaji!!
    Na mapozi yake ya kidada!!

    • @melch3097
      @melch3097 9 дней назад

      Lyenda is over. Subiri baada ya uchaguzi, sio mwanachadema

    • @eliajimmy95
      @eliajimmy95 9 дней назад

      Sikiliza clip yote utaelewa sio unakurupuka kukomenti

  • @ExecutiveHouseKeeperElewana
    @ExecutiveHouseKeeperElewana 9 дней назад

    Unatoa macho ya nini?si uongee taratibu kwa busara. Jifunze kwa wenzenu wa CCM

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 9 дней назад

    Kigaila AKA chawa wa kijani mkewe covid 9

  • @frankcharles3980
    @frankcharles3980 9 дней назад +5

    LISU VIVA HECHE VIVA

    • @kiluiWanguvu
      @kiluiWanguvu 9 дней назад

      Mbowe miaka 5 tunamuingzea

    • @JuliusMahinya-wl7mq
      @JuliusMahinya-wl7mq 9 дней назад

      ​@@kiluiWanguvuKuna mijitu ni zero brain 21 yrs still aongezewe tena ! Upumbavu mkubwa

  • @johnlugaila
    @johnlugaila 9 дней назад +1

    Hata wewe siyo mkweli

  • @pavillioncry5241
    @pavillioncry5241 9 дней назад

    Huyu mwamba hajawahi kuwa mpinzani

  • @LesiJama
    @LesiJama 9 дней назад

    Macho yako ni ya kijambazi

  • @IsmailMasule
    @IsmailMasule 9 дней назад

    Dalili ya kiama cha chadema

  • @josephLudovick-x2n
    @josephLudovick-x2n 9 дней назад

    Muulizeni gharama za kukaa Dar wiki 2 ametoa wapi??? Jambo TV mnafanya propaganda!

  • @jovinusmutabuzi4647
    @jovinusmutabuzi4647 9 дней назад

    Hakuna kuchagua kwa mihemuko

  • @DaudSuday-v5c
    @DaudSuday-v5c 9 дней назад +1

    We kigaila acha mambo ya kisege tutakutandika kexho we let mbo ya kishoga

  • @JuliusTluway
    @JuliusTluway 9 дней назад

    Kaka kuwa mkeli

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 9 дней назад

    Hivi kigaila nikidude gani

  • @NyangoboNyangobos
    @NyangoboNyangobos 9 дней назад

    Jamaniee tuleteeni lisu na heche acheni kelele zisizo namaana

  • @JamesSitta-b9s
    @JamesSitta-b9s 9 дней назад

    Uyu jamaa hana maana kabxaa

  • @khalidmamdadi1072
    @khalidmamdadi1072 9 дней назад +2

    Covid 19

  • @innocentlethisia416
    @innocentlethisia416 9 дней назад

    Kirungu kama mgangaaa na anafanana na mganga

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 9 дней назад

    Huu uchaguzi umefichua mengi na bado

  • @deodatusmugalulamugalula
    @deodatusmugalulamugalula 9 дней назад

    Mmoja ya covid wa kiume huyo sijui hata anaongea nini hastairi hara kuongea ,watanzania sio wajinga ki hivyo wanamsubili Lisu mkizingua wanachama hawatataka hata kuona sura zenu

  • @NgendandumweAlouise
    @NgendandumweAlouise 9 дней назад

    Mkewe yupo ccm tena ni mbunge

  • @NicksoniKalimu
    @NicksoniKalimu 9 дней назад

    Reteni zuruma

  • @johnlugaila
    @johnlugaila 9 дней назад

    Watu kama nyie hamfai kuiondoa ccm niwanafiki tu