CCM acheni kushupaza shingo chadema imewaacha mbali Sana kidemokrasia nyinyi mmeacha kufuata katiba ya chama chenu mnafuata maneno ya akina mzee Jakaya
Mpina utaendelea kuwa mbunge wa kisesa ukijiunga na chama Cha demokrasia na maendeleo maana wewe ni mkweli umekuwa mwiba ndani ya ccm Kwa sababu ccm awapendi ukweli watakufanyia figisu usiteuliwe kuwa mgombea ndani ya ccm wai mapema robo 3 ya watanzania tuko chadema
Uwingi wala huwa siyo usahihi. Uwingi huwa ni maangamizi pia. Kwenye mkutano ule wa CCM uliowapitisha Samia na Nchimbi kuwa wagombea u - Rais kwa mlango wa nyuma, ambao walipigwa na butwaa kwa maamuzi yale ya meza kuu na ambao hawakushangilia kizobazoba, hao ndio wenye akili, hao ndio wanaotumia vyema akili zao kufikiri na kuamua. Hao wengine wote waliosimama na kushangilia hovyo wasijue wanashangilia nini, ni manyumbu tu waliovaa mashati ya kijani!
Kwani CCM mbona mnamiliki Chuo Cha Uongozi,kwani mnafundishana nini Huko Chuoni?i,Mbona Mh.Makalla anajibu hoja nzito kiwa majibu mepesi Sana kama ya kijana anayesubiri matokeo ya kidato Cha Nne? Inasikitisha Sana mnatumalizia bundle Bure kwa kuangalia video Kama hizi.Hebu mwandishi uwe unahoji watu wenye upeo na uwezo.
Mpina wahi chadema tafadhali wananch wote tuko chadema kwa sasa
Mpina ni hazina ya taifa he's very smart huwez compare na hao machawa wengine
Mpina hana furaha kabisa na mambo ya CCM
Mpina anajielewa , amechoka kuwa MSUKULE WA ccm
CCM awamu ya huyu mama ni ufisadi tu, RIP JPM
Yaan CCM wamezoea teuz badala ya kufanya chaguz
CCM acheni kushupaza shingo chadema imewaacha mbali Sana kidemokrasia nyinyi mmeacha kufuata katiba ya chama chenu mnafuata maneno ya akina mzee Jakaya
Nadhani uelewa mdogo .suala Sio idadi kubwa ya watu .suala ni utaratobu ambao Chadema aliutumia kuendesha uchaguzi na mkutano wao
Huyo mwenezi angesema tutajifunza democrasia.anabwabwaja tu,kwani wingi wa wajumbe ndio democrasia?taifa linashida.
Mnachakujifunza chadema anavyo patikana mwenyekiti
Mpiba yuko vizuri sanaaaa ni mzuri haswaaa
Wajifunze Sana demokrasia
Mpina ni hazina kubwa akili kubwa awezi kuwa upande wa ccm nikudumaza akili za watu makini kama akina mpina mimi NAFIKILI mpina aje
Hakuna asiyejifunza kwa mwenzie
Mwenezi hauna aibu,lazima mjifunze kitu kwa chadema.uchaguzi shindanishi na uchaguzi huru wenye haki.
Mpina sio chawa
Vijana hovyo sana nchi hii tumbo,tumbo,tumbo!!
Mpina yuko vizuri ila usipende kupokea watu kutoka ccm ndio maana wanakuja kuwavuruga
Cha kujifunza kipo ni demokrasia haiwezekani mwenyekiti kupatikana bila kupigiwa kula
Kitendo hicho Mungu aingilie kati ni up polaji
Mbona wengine hatumjui msitujumuishe
Anasepa huyu ni wa chadema
Ipo
Jifunzeni chadema
Huna haya ww mama yenu kashindanishwa na nani
Mwandishi upo vizur, tuletee clip kama hizi.
usijali
CCM mna mengi ya kujifunza Toka CHADEMA hasa kuruhusu Demokrasia ifanye kazi sio udikteta.
We ni nan usiye taka kujifunza we malaika
Kawaida na uyo aliyemlikodi ni shetani
Mpina utaendelea kuwa mbunge wa kisesa ukijiunga na chama Cha demokrasia na maendeleo maana wewe ni mkweli umekuwa mwiba ndani ya ccm Kwa sababu ccm awapendi ukweli watakufanyia figisu usiteuliwe kuwa mgombea ndani ya ccm wai mapema robo 3 ya watanzania tuko chadema
Ccm kazi Yao wizi wakura
Sasa makala jamani anajibugi swali gumu kiwepesi wepes tuu
Ulwe Rajabu upo vizuri
hahaaaha thank you brother
Makala anashupaza shingo tu! Kama Maria Nyerere amefurahia uchaguzi wa CHADEMA yeye ni nani asijifunze? Ninaamini atakuwa amejofunza moyoni,,
CCM haina la kujifunza kutoka CHADEMA😂😂😂😂😂😂
Ccm haipo kwajili ya haki kaz yao hufanyika kinyume
jama vipi mtangazaji nimekuelewaaa endelea mtangazajii
Huyu ndie raisi wetu ajae chadema
Mpina aliandika X baada ya lissu kushinda akasema kwamba anampongeza lissu baadae pongezi za simu zitafuata wataongea maongezi yao
Mpina alishakataa kuwa na akaunti yeyote kwenye mitandao😊
Wanakurupukaga tu, bila kufanya utafiti. Tuna wanahabari wengi wa hovyo sana.
Ahame tu chap chap kwani kunashida!!!? Yote maisha mradi apate tonge maisha yaende
Ni kawaida mara baada ya Uchaguzi watu wanahitaji kupumika kidogo ili kurudisha nguvu.
Siyo raisi Mpina aingie Chadema huyo ji Kada halisi kijana
Hio ni nafasi ya mchungaji msingwa na sio mpina
Wewe hiyo nafasi nahisi ya msigwa😂 sio ya mpina
Mtajifunza nini ikiwa mlioza sikunyingiiii hata kwa kwa bao hamuwezi kufufuka
What is he talking about???😡😡😡
Uwingi wala huwa siyo usahihi. Uwingi huwa ni maangamizi pia. Kwenye mkutano ule wa CCM uliowapitisha Samia na Nchimbi kuwa wagombea u - Rais kwa mlango wa nyuma, ambao walipigwa na butwaa kwa maamuzi yale ya meza kuu na ambao hawakushangilia kizobazoba, hao ndio wenye akili, hao ndio wanaotumia vyema akili zao kufikiri na kuamua. Hao wengine wote waliosimama na kushangilia hovyo wasijue wanashangilia nini, ni manyumbu tu waliovaa mashati ya kijani!
HALIMA TENA MPENDA SANA UKU AMSTERDAM LAKINI KWA HILI INAPASWA AABUDUH MCHEPUKWA WA MBOWE SIO.??
Ni halali kumrekodi mtu kwa siri bila ridhaa yake?
Nikweli niwaina yake juu yauwo ujinga wenu😊
Hapo sio mpina ni mwabukusi.
Dogo unachambua vzr
Mpina ni mzalendo hawezi kushangilia
Kalibu cdm
Luhaga Wala hakuvaa sare ya CCM, duh, haya bhana yangu miso na matu.(Gane miso na matu)
Ccm 😂😂😂😂😂😂😂 Matatizo
Acha umbea wenje ndo aliondoka kwa dharura hao akina sugu,na boni yai wote walikuwepo
Kumbe ajali za kisiasa hazijali uadilifu kwa kadiri ya maadili ya chama ?
Weee Dogo ni noooma ( mchambuzi) 😂😂😂😂😂😂
Sasa kafanyeje hapo, hamna ulichochambua dogo
Kwani CCM mbona mnamiliki Chuo Cha Uongozi,kwani mnafundishana nini Huko Chuoni?i,Mbona Mh.Makalla anajibu hoja nzito kiwa majibu mepesi Sana kama ya kijana anayesubiri matokeo ya kidato Cha Nne? Inasikitisha Sana mnatumalizia bundle Bure kwa kuangalia video Kama hizi.Hebu mwandishi uwe unahoji watu wenye upeo na uwezo.
Mikutano ya zuchu mnatumia kodi za walipa kodi
Iseeee kijana weweeeee
Du
Kubari kujifunza mhimu
Acha uchochezi wewe😂😂
HAHAHA
😂
Mpina ni mwanasia asie kuwa na njaaa kabisa. Sasa apo ulitaka afanyeje wewe kenge
Mpina sio chawa WA CCM Ana akili Sana
Wenje😂😂😂
Mpina akienda chadema atapata nafasi ya kugombea Urais
CCM inakitu Cha kujifunza Kwa Chadema, watake wasitake. Adui Yako anapo Fanya vizuri msifie, siyo anafanya BLA BLA kama Makala.
Wewe ulishaona wapi mzee wasila naye anakuwa makamu mwenyekiti CCM hamna vijana CCM wabaki wapambe tu?
Sijui wanapata wapi ujasiri wa kushangilia
CC itajufunza nini kwa cjadema?
Kua na uchaguzi wa haki
Inaonekana hata akili hamna kabisa kama hamuwezi kujifunza kwa wengine
Kufanya uchaguzi badala ya kupitishwa kwa lazima
Ijifunze kuacha Kuja na marina yalifichwa kwenye brezia
Huenda ni ile nafasi liliyokuwa-spared ?
Nafas ya Msigwa hiyo
Jibu ulichoulizwa co kujieleza.
Ipo