LUSSU Nakuombea Afya Na Maisha Marefu. Pia Natamani Ushinde UENYEKITI CHADEMA TAIFA Uongoze Chama Kwa Mtindo Mpya Ulio Bora Na Ufanisi. Watanzania Wengi Wana Imani Na Wewe, Hususan Uwezo Wako Kiutendaji. TUNAKUTAKIA MAFANIKIO NA USHINDI KWENYE UCHAGUZI WA UENYEKITI CHADEMA TAIFA.🙏🙏
Hilo unaanza kukosea Wenyeviti wa vyama hawana fedha za kulipa wanachama /viongozi wa chama.Kila chama hutumia laslimali no ambayo ni wanachama ndio wachangia fedha za uwendaji shughuli za chama.
Mimi namshukuru mungu na kumuomba akupe afya.njema kiukwe msigwa.ameumiza.watu.nikiwemo na Mimi MTU.usimame Bila kushawishiwe kwa fedha.au madaraka.mihatari sana
Ila Lisu nikushauri kitu Mbowe ni kiongozi Imara Bado Mbowe ana mbinu nyingi kuliko wewe kubali kataa sawa unajua sheria lakini huna mbinu za kukabiliana na Changamoto kama alivyokuwa Mbowe hakika utakumbuka maneno ninayokwambia kama Mbowe alivyosema ushindi hategemei mtu mmoja ukitaka kupata mafanikio mwenyewe hutayapata
Kiukwelii kama chadema inamtakiongozi basi mchagueni lisu yupo vizuri sana inaonesha mbowe alikuwa akijitajirisha kupitia pesa za chama sasa nyie watu wa chadema kwa hotuba ya lisu nadhani mmegundua pesa ili ikimnufaisha nani mchango wenu
Jengeni misingi ya kujitengenezea mikakati ya kuwa na vitegauchumi vya chama. Kila wilaya ina uwanja wa CCM chadema mlirogwa na nani msiwe hata na fremu za kupangisha??
Hakika Lisu ni mwerevu na msema ukweli, kama kweli mnakitakia mema chama hiki CHADEMA badilisheni uongozi sasa naomba Mbowe apumzike na tuone mikakati mingine mipya, nitawashangaa sana wachaga wenzangu kumkataa Lisu na kumchagua tena mbowe, Naomba tuondoe Tribalism na kuweka mbele Nationalism tafadhali ndugu zangu,
@@EmmanuelMandela-f7kWewe huwezi kuelewa Tundu Lissu alichonacho akilini, ila sisi tulio serikalini tunamtamani sana, ila hanunuliki shida yake na baada ya kushindwa kumnunua.Basi tumeamua kumzushia uongo mwingi. Mbowe angekuwa na akili kama Lissu ndio maana tunaweza kumhonga pesa lakini hatuwezi kumtumia serikalini kwa kuwa hana cha kuongeza kwenye serikali yetu maana uwezo wake ni mdogo sana na hawezi kuongeza thamani yoyote serikalini.
Huyu abaki hivi hivi,ndio mahala pake panakomustahili,ukimuingiza serikalini mmekwisha maana hana siri na hachagui la kusema na la kusubiri,ni mropokaji sana asiye na chembe ya aibu
Chadema ni lichuma la chama na ccm inawafinyilia sana chadema chama pinzani hugaiwa hela na chama tawala hela ya ushuru wa nchi iweje chadema isigawiwe hela na chama tawala jamaa aisee kinukisheni mwangojea nn mmeteswa sanaa jitutumueni wasee pia nyie mna haki kwa hio nchi
Me lisu napenda hio sawasawa nimtu pekee vile maalim seif hayati wa zanzibar alitumia hio sawasawa wee nikiongozi wapili tu vile ana tumia hio ndio me nakukubali burebure bora unge baki huku kenya
Kwza ujuwe Mali za ccm ni Mali ya watz nakama unabisha unionyeshe viwanja walivyojenga kama si pesa za wallpaper kod kwa mfano nerson mandela ilijengwa. Na song songambele jiulize umliki wanautoa wap nimajizi tu
Moja ya policy ya msingi ya vyama vya siasa kwa nchi zilizoendelea ni kuwa mwanasiasa ama kiongozi wa Chama lazima uwe na uwezo wa pesa. Unless huwezi kufanya lolote
Angalau mnae wa kukopesheni nae ni mbowe kunahatari ya kukosa wa kukopesheni atakapo ondoka mbowe je wewe lisu utakoposha pesa bilioni moja zauchaguzi au ujuwaji wa kusema tu
Uongozi ndani ya vyama lazima ugombaniwe kupitia chaguzi za ndani ya vyama. Sio ugomvi. ni hivyo Duniani kote ispokuwa Nchi za Kifalme au za Ki Dikteta kama Saudi, Syria, n.k
Ccm wanatofautiana sana ila hata wakat wa uchaguz wakimuona mwenzao ni kichefchef wanajua cha kufanya hata mhusika akiondoka taasisi ipo alaf baadaye anaomba msamaha anarud ,anasema nmerd nyumban ,napata waswas na vyama vya upinzan ,ccm dived them u will lead forever ndio mana nilizuiwa na mzaz wangu nisiingie kwenye siasa iam in home hate hypocrisy
Shujaa wangu mwenye neema kubwa sana na ambae kusudi la Mungu liko ndani yake ❤❤❤❤❤❤❤❤namshukuru sana mungu kwaajili yako🙏
Mungu with capital M
Hakika
Lissu ni mmoja tu ❤
Unzungzia nani
Oh! Lissu! Thumbs UP!
Huyu mtu ni innocent sana
LUSSU Nakuombea Afya Na Maisha Marefu. Pia Natamani Ushinde UENYEKITI CHADEMA TAIFA Uongoze Chama Kwa Mtindo Mpya Ulio Bora Na Ufanisi. Watanzania Wengi Wana Imani Na Wewe, Hususan Uwezo Wako Kiutendaji.
TUNAKUTAKIA MAFANIKIO NA USHINDI KWENYE UCHAGUZI WA UENYEKITI CHADEMA TAIFA.🙏🙏
Mimi sijawahi ona Tanzania ukimuacha Nyerere genius kama lissu
Huo ndio ukweli
Wapo ila hawajapewa nafasi na hawathaminiki mpka wafe
Wapo, ila hawapendi kujitokeza.
Ndo maana kasema hajaona, hajasema hawapo. Kama angewaona angewataja@@mgonzamsuya2039
Mi naona hawapo wange unga mkono. Lisu no somo kubwa had ccm wanajifunza mengi ❤❤❤
Mungu hutoa kwa mtafutaji ni haki yake kupata anapambana kutetea. Raia
Lisu hawawezi kumpa huo ni URITHI wawatu na ukoo wa watu, Akipata niite bata niko pale nasubili pumba😂😂😂😂
Lissu uko sawa ila nakuomba kujua kwamba ulisema unazunguka misafara mafuta ya magari ni Yako je ruzuku inatumika wapi
Lissu ulivyopigwa risasi niliumia sana.. Sasa ninamtukuza Mungu kwa ajili ya uzima wako.
❤❤❤❤❤well said Mr ANTIPASSLISSU
Lisu umeongea point natamani ningekuwa mjumbe nikuchague nikuongeezee kula
Good speech
Toa udenda kwenye mdomo.
Namkubali huyu mwamba sana
Namkubali sana huyu kiongozi Mungu ampe nguvu na maisha marefu 🙏🙏🙏✅
Asante kiongozi wangu lisu Ww mwamba jasili
Lisu apewe 🎉
M/kt Anastahili 🎉
Tundu lisu mm nakukubali upo vsawa
Lisu yo smart,, tupo pamoja,,
Wewe ni mwanasheria wa kimataifa kwa hiyo nafasi ulionayo inakupa ukwasi mkubwa.
Safi saana umeongea point zilizo hai,
Tuliwambia hicho ni Mali ya Mbowe mlitunanga. Nyinyi nyumbu wa tarangile😢😂😂
Lisu ni mwamba namkubali sana huyu mwamba
Jaman jitahidin mmepe uwenyekiti ndugu lisu
Kipindi ulipigwa risasi niliumia sana mkuu wangu mungu akupe nguvu kwenye mapambano
Hatma ya chadema kwa sasa .iko kichwani mwa tundu lisu
Hapo Mheshimiwa nakuunga mkono umeongea point sana .
Natukifanyia kazi hayo mapendekezo tutafika mbali sana .
Chama lishakufa na ukishinda basi jua ndo kibudu kabisa
Lisu ww ni mkweli mtupum nakuunga mkongo Mbowe apunzike
Raisi wetu ni risu
Tunahitaji raisi tajiri Kwa Dunia angarau awe wa 10 lakini nyie wenye njaaa tu tumewachoka
Hilo unaanza kukosea Wenyeviti wa vyama hawana fedha za kulipa wanachama /viongozi wa chama.Kila chama hutumia laslimali no ambayo ni wanachama ndio wachangia fedha za uwendaji shughuli za chama.
Na hiyo serikali inayosemwa vibaya iimepata wapi. Pesa kama siyo kodi. Zetu we umtimdio
Nyerere tu ndiye aliyekua kiongozi Wa kweli, wengine wote ni watafutaji tu
Anagekuwa mtafutaji angeshaenda ccm zaman sana... na angekuwa waziri
Àsante Lissu tufungue macho tujitambue....
Mimi namshukuru mungu na kumuomba akupe afya.njema kiukwe msigwa.ameumiza.watu.nikiwemo na Mimi MTU.usimame Bila kushawishiwe kwa
fedha.au madaraka.mihatari sana
Mr lissu hana hoja huyu jamaa ana madini ya kutosha 💪🏿
Umeandika hana hoja ana madini ya kutosha ,sijaielewa ana hoja au hana?
Maneno ya Tundu Lissu tuyatafakari sn wanachadema
Mboe amuache lisu kwa heshma, pia kwa lengo la kuokoa chama...
Nimeipenda hyo nilianza bila cheo naweza bila cheo
Huyu ndiye Mbena maono,,,Mungu amtubzee anamsimamo ni muwaziaba longolongo haungi uongo maneno
Ila Lisu nikushauri kitu Mbowe ni kiongozi Imara Bado Mbowe ana mbinu nyingi kuliko wewe kubali kataa sawa unajua sheria lakini huna mbinu za kukabiliana na Changamoto kama alivyokuwa Mbowe hakika utakumbuka maneno ninayokwambia kama Mbowe alivyosema ushindi hategemei mtu mmoja ukitaka kupata mafanikio mwenyewe hutayapata
Lissu asipopata uenyekiti basi nitaamini wanasiasa ni njaa sana na hamna msema ukweli.
Kiukwelii kama chadema inamtakiongozi basi mchagueni lisu yupo vizuri sana inaonesha mbowe alikuwa akijitajirisha kupitia pesa za chama sasa nyie watu wa chadema kwa hotuba ya lisu nadhani mmegundua pesa ili ikimnufaisha nani mchango wenu
Tufanye maombi makali sana kwa lissu kumwombea heri baraka ushindi na hekima maisha marefu duniani
tundu lissu mungu akutiye nguvu katika yote kwabusara yako
Hivi kwanini Mo dewji asichukue form ya urais mimi nahisi tajiri akishika nchi tutapiga hatua
Mo Dewji siyo “tajiri”
Wewe lazima uwe rahisi wangu siku moja.
I love you so much shujaa wangu
Watanzania tumekuwa wagumu wa kuelewa.ila mimi niimekuelewa
Wachaga wakizunguwa wasipo mpa uyu mikoba ya Mbowe sitokipenda tena chadema na hapo itapoteza wapenzi na wanachama wengi sana
Wajumbe sio WaChagga peke yao
Jengeni misingi ya kujitengenezea mikakati ya kuwa na vitegauchumi vya chama. Kila wilaya ina uwanja wa CCM chadema mlirogwa na nani msiwe hata na fremu za kupangisha??
Huyu jamaa ana akil sana. Nadhan mbowe mjanja ananufaika na chama na hataki kutolewa
Safi Sana mbowe atokee
Hakika Lisu ni mwerevu na msema ukweli, kama kweli mnakitakia mema chama hiki CHADEMA badilisheni uongozi sasa naomba Mbowe apumzike na tuone mikakati mingine mipya, nitawashangaa sana wachaga wenzangu kumkataa Lisu na kumchagua tena mbowe, Naomba tuondoe Tribalism na kuweka mbele Nationalism tafadhali ndugu zangu,
Traumatic Lissu atakiua Chadema.Hana busara kama za Mbowe.
MBOWE AMEKANYAGA CHAMA SANA KWA UTAJIRI WAKE! NDO MAANA WENGI WANAMTUKUZA SASA CHAMA KINATAKIWA KIPATE FEDHA ZA CHAMA SIO MTU!
Ni kweli kabisa kiongozi wetu tunakukubali sana
Hongera kwamaelezo mazuri
Lisu jamaa washakugeuka jipange mbowe mroho wa madaraka nchi hapewi yule hukupewa ww nch akapewe yy ata risas hajapijwa
Lisu wewe ndiyo m/kiti wa taifa mtarajiwa, mwenye mawazo mbadala
Huyu jamaaa serikali yenye akili ingemtumia katika kaz tofauti
Utamtumiaje bwege kama lisu Kila kitu anapinga
Tatizo hataki kutumika, lazima angepinga. Anajipinga mwenywe
@@EmmanuelMandela-f7kWewe huwezi kuelewa Tundu Lissu alichonacho akilini, ila sisi tulio serikalini tunamtamani sana, ila hanunuliki shida yake na baada ya kushindwa kumnunua.Basi tumeamua kumzushia uongo mwingi. Mbowe angekuwa na akili kama Lissu ndio maana tunaweza kumhonga pesa lakini hatuwezi kumtumia serikalini kwa kuwa hana cha kuongeza kwenye serikali yetu maana uwezo wake ni mdogo sana na hawezi kuongeza thamani yoyote serikalini.
@@timothmwakakusyu4563 tatzo mtu akiongea fact ndo mnasema anapinga. Kwan lipi alilolipinga na lisiwe la kwel?
Huyu abaki hivi hivi,ndio mahala pake panakomustahili,ukimuingiza serikalini mmekwisha maana hana siri na hachagui la kusema na la kusubiri,ni mropokaji sana asiye na chembe ya aibu
Yaani km kunaruhusa yakutuma voice namani nitoe bonge lacheko😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Jamaa anaakili sana
hayo ni maneno yenye logic saana hongera saana
Chadema ni lichuma la chama na ccm inawafinyilia sana chadema chama pinzani hugaiwa hela na chama tawala hela ya ushuru wa nchi iweje chadema isigawiwe hela na chama tawala jamaa aisee kinukisheni mwangojea nn mmeteswa sanaa jitutumueni wasee pia nyie mna haki kwa hio nchi
Jembe na nyundo hawata penda lisu awe chair.Upinzani mkubwa unaweza kuwa nje.
"UADILIFU USIOKUWA NA SHAKA"
Mpeni huyu mtu nafasi anafaa hana tamaa ya cheo kwa jinsi anavyoongea
Me lisu napenda hio sawasawa nimtu pekee vile maalim seif hayati wa zanzibar alitumia hio sawasawa wee nikiongozi wapili tu vile ana tumia hio ndio me nakukubali burebure bora unge baki huku kenya
Duuh mbona kama ni aibu until now chama haina miradi ya kuingiza pesa kwa ajili ya chama aisee
Kwza ujuwe Mali za ccm ni Mali ya watz nakama unabisha unionyeshe viwanja walivyojenga kama si pesa za wallpaper kod kwa mfano nerson mandela ilijengwa. Na song songambele jiulize umliki wanautoa wap nimajizi tu
Asaiv jamaa kaanza kuwa na akili
Inasaidia nn wakati alipo kuwa mbunge kwenye jimbo lake umaskini ni mkubwa halafu saizi anajisifa kitu gan inasidia nn
Uyu jamaa genius kwelkwel
Jembe letu Tanzania
Jamaa anaweledi wa hali ya juu sana
Moja ya policy ya msingi ya vyama vya siasa kwa nchi zilizoendelea ni kuwa mwanasiasa ama kiongozi wa Chama lazima uwe na uwezo wa pesa. Unless huwezi kufanya lolote
Safi sana mkuu
Umughosia wang'u vee. Mureke mughosia uyoo.
Kwel huyu mghosia
Wachaga hawampi huyu jamaaà chama
Wachaga hawawezi achia CHAMA mnyiramba/nyaturu
Ww chadema c ya kabila fulan n chama cha watanzania wote.
Sio wajumbe wote ni wachagga
Mama mitano tena tutakusikikizq lkn kwenye kupiga kura mm huwa nangalia kijani tu toka nimezaliwa 😊 ndio chama
Inakuaje
Sasa babaako mganga wa kienyeji, mamaako balozi wa CCM nyumba kumikumi, sasa wewe mtoto lazima uwe mchawi kama hivyo😅
Sisi niwatu wa haki
Ww nizaidi yakiongiz ❤
Wewe Tundu Mtundu, dhambi ya Uchumi wa kuungaunga
Matoho nyie anakujejeeni nakutaka kukuibieni huku mnajiona changeni muone hahahaha
Angalau mnae wa kukopesheni nae ni mbowe kunahatari ya kukosa wa kukopesheni atakapo ondoka mbowe je wewe lisu utakoposha pesa bilioni moja zauchaguzi au ujuwaji wa kusema tu
Afadhali alikuwepo anayeweza kukopesha😂
Lissu anafaa kuwa mwenyekiti tena ni kiongozi imara
Lissu nakuamini sn
Uongoz sio tajiri kama wanavoona watu
😅😅😅😅😅😅😂😂😂😂.....lisu ww
Wajifya muhaja,
Wokhaya wina itwe nanguu mboyane. Munyampaa ameivaaaa🎉😅
Nchi hii haiko tayari kwa watu wakweli kama Lissu.
Sas hvi tuko tyr
Kinachotakiw n sera y kutetea raia, Katiba ndoo itaondoa, ubabe KATIBA,kwanza,
Hii vita mbaya sana mjue.
Uongozi ndani ya vyama lazima ugombaniwe kupitia chaguzi za ndani ya vyama. Sio ugomvi. ni hivyo Duniani kote ispokuwa Nchi za Kifalme au za Ki Dikteta kama Saudi, Syria, n.k
Kama CHADEMA hamna utaratibu wa FEDHA nafikiri ni usaliti mkubwa
Lissu gombea ubunge busara zako bungeni
ukopa mnakopa kwenye malipo mnalipa hera mnatowa wapi kwani chama chenu kina biyashara au ruzuku mnayopewa naserekali mnayo isema vibaya kirakukicha
Ccm wanatofautiana sana ila hata wakat wa uchaguz wakimuona mwenzao ni kichefchef wanajua cha kufanya hata mhusika akiondoka taasisi ipo alaf baadaye anaomba msamaha anarud ,anasema nmerd nyumban ,napata waswas na vyama vya upinzan ,ccm dived them u will lead forever ndio mana nilizuiwa na mzaz wangu nisiingie kwenye siasa iam in home hate hypocrisy
Mfanya biashara akitangaza nia yakugombea ..kutakua na wagombea wawili..mpigania haki,uhuru na mfanya biashara..
mungu akulinde baba ushinde
Mindo was kuhifadhi fedha umeupn leo unapotaka uenyekiti Soo,
Futa hiyo mimate kama mtindi mdomoni inatia kichefuchefu.