@@hamiduhamdun1858Sidhani kuwa anautaka uraisi! Sio kila mtu ana malengo ya cheo hicho, ni shida tupu 😅 lakini akitaka kugombania urais atapewa Kura nyingi sana, yaani atashinda kwa kishindo!!
Vijana hebu tuamke tuwatumie hawa baba zetu mfano huyu Prof Kabudi, ushabiki wa kisimba na uyanga uwe na kiasi na hiyo miziki pia isichukue sehemu kubwa katika vichwa vyetu tubakishe sehemu ya kujua historia yetu na nchi yetu, maana wakiondoka hawa wazee basi wawepo mbadala, ningeomba vitabu vya historia kupitiwa upya kwa shule za upili jamani. Asante sana Mzee wetu Prof Kabudi Mungu akubariki.
Kabudi hakutoa kisichojulikana, kama mtz umefika walau form 4 , hii iko wazi kabisa ktk somo LA history, scramble for Africa na Berlin conference ya 1884 labda kama mitahala imebadilishwa, maana hata elimu yetu mpangilio sometimes ni shida. Ktk masuala haya , hata wazungu nao inapasa walaumiwe kwa the way they divided our continent.
Sawa ndugu ipo hivyo lakini topic hiyo haikufafanua kuhusu makabila hayo yalioathiriwa kwa kugawanywa na yalikuwa ni makabila yapi, na uhusiano wao baada ya mgawanyo ulikuwaje.
Me mkenya lakini huyu mwamba namkubali sana,asante kwa kutuleta pamoja na kutupa ufahamu proff.kabudi shoutout man,we are all bros,and sisters.🫡🫡🫡🇰🇪🇹🇿.
Congo hatuja wakana M23 eti ni watusi. Wa Tutsi wapo serekalini, kwenye bungu, kwenye seneta na hata kwenye jeshi lataifa. Tatizo ni Rwanda anaye tumia huo watutsi kwa kuiba madini ya Congo kwa kizingizio ya kua serekali ya Congo ina bagua kabila la watutsi. Mimi ni mzaliwa wa Kivu ya kusini, mashariki mwa DR. Congo
Lkn kwa tabia ya nchi yetu wala hatuoni shida kuwapoteza watu kama hao na wanaofanana nao.Kuna watu wako radhi kuwaacha wajinga lkn wako mbio kuwapoteza watu kama hao.
Halafu ndo mnatuambia kusoma historia imepitwa na wakati....Historia ifundishwe level zote za elimu bila kuijua historia ya nchi na makabila yetu tutaendelea kuuana kwa kukosa maarifa!!! Namkubali sana huyu Professor
Ndugu kujua historia za makabila c kigezo cha kufundishwa historia...hivyo ni vitu unajifunz mwenyew tena kwa kuwa mdadis maana ukijiuliz maswal hayo ukauliz wahusika unapat majib na hayo hayapo ktk historia au ulishaona topic inayosema kuna wahaya wa tanzania na uganda, kuna wamasai wa kenya na Tz...historia isifundishwe ktk shule za upili na mwanafunz kuja kuisomea advance na chuo kama sehemu ya taaluma yake haimsaidii chochote mwanafunzi ktk dunia hii...Anayehitaj ataend libray, majumba ya makumbusho au wataalamu kama kabudi...historia ifundishwe msingi tu.
HAYA HAYA MAKIBILA KATI YETU WAACHE KUWA VIBARAKA wa Majizi kutoka Ulaya NA WAUWAJI na waache kujiona wao ni bora kuliko wengine.., damu ya mtu iliyomwagika haiwezi waacha salama.. Mungu ibariki Africa, mungu ibariki DRC ,
Miaka 100 uko ndani ya tz . Powerful! Mzee KABUDI historia unatupa vizuri wanaosomo humu wakutane na wewe na vitabu utakuwa umeandika kutoa ubishi ubishi kwa vijana wote kuanzia 1960 wakutane na simulizi zote 1959 chini hadi1897, waione Tanganyika yetu hadi leo 2925!!!😢😢😢
Nimesema sana kuhusu hili huko Facebook, lakini watu wasio na ufahamu walijibu hovyo kwa kutojua kazi kubwa iliyofanywa na Baba wa TAIFA. Congo ijenge UMOJA wa kitaifa kama Tanzania na kuwatambua raia wake wote kwa mujibu wa makabila yao na maeneo yao. Mungu ibariki Afrika. 🌍 🌍 🌍 🌍 🌍 Mungu ibariki Tanzania. 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Nasema Hawa wanaleta habari ya ukabila ubaguzo ni wajinga ona mzungu Hana ukabila akimuona mtu mweupe bs ni mzungu Sasawaangalie hii tabia waache ili tuwe salama vita cyo ona wakongo wamama na watoto wanavyoteseka kwanza mungu awasaidie
Uroho gani? Hujaelewa kumbe, watusi ndio walimtafuta kagame mtusi mwenzao awasaidie kulinda Mali zao zinazoporwa na serikali ya congo@@MorrisGregory-x2b
@@MorrisGregory-x2b😂😂😂 kaulize warundi angola Congo brazz na somalia na sudan utawajuwa tu watu hawa alitoka Egypt tatinzo amjuwi kitu walitoka Egyt wakachuka uganda andi rwanda waliingia Congo miaka 1971 wakati wa mobutu sasa wakati waukoloni tanzania ilikuwa sio nchi sijuwi mlisomea wapi history ya tanzania kweli watanzania awajuwi history yao tanzania ilikuwa kibanda yani kama kariyako ya watu kuuzisha watu watwa wazungu walikuwa wakitoka ulaya nakunja kuwanunuwa watu weusi apo tanzania na walikuwa wakipanda meli apo tanzania, tanzania ni nchi ya mchanganyiko Congo sio nchi ya mchanganyiko, kila nchi ya african watu wao walikuwa wakipelekwa tanzania, kiufupi tanzania sio ya mtu ila Congo ni yamtu waliyo tengeneza apa ni wazungu na waarabu na wakati walivyo viacha tanzania kulibaki watu wakaunda nakukaa pamoja wakaona wasirundie walipo toka. Kawaona wakahe hapo na wakazaana sasa Congo sio hivyo unavyo vikiri wewe wacoloni ndo waliandika makabila waliyo yakuta Congo wala sio sisi tena wakati walumumba aliandika historia ya Congo na makabila aliyo ya acha kama tunawachukia because wanataka watunyanganye adhi yeti na wao ndo watu waliyo leta vita Congo unajuwa kama vita vy a kigali walipingana mwaka 1990 na vilitoka rwanda vika amia Congo mwaka 1996 sisi tulikimbia tanzania 1996 ila mimi nilizaliwa hapo na Tanzania walinifunga jela miaka 5 because nilifuka camp na kwenda kuushi arusha nilifika tu majerani wanakiripoti lisha niko na cheti chakuzaliwa tanzania nilizaliwa mwaka 1999 mwezi 10 tarehe 25 ila police walisema mimi ni mCongo tu aijalishi nimezaliwa tanzania bro kaka yangu mwenye yuko marekani alilipa millions 12 nitoke jela nilivyotoka tu Mungu sio asumani nikaitwa camp na kwenda South Africa ndo na hishi kwasasa
Kasema kweli mimi hapa Mkenya familia yangu ipo hapa Kenya, lakini familia yangu kubwa ipo Tanzania. Mwezi uliopita nilisafiri hadi Moshi kuhudhuria mazishi ya mjomba wangu. Nina uhusiano mkubwa sana na ichi ya Tanzania kwani nusu ya familia yangu ni Watanzania. Wengi wanapakana mkoani Kilimanjaro. Kila ninapoingia Tanzania hujihisi nyumbani tu.
This is what makes Tanzania a spacial country and a true role model of Africa. I wonder why Africa union does not consider the issue of borders and Africans identity. a priority and key sucess factor for the development of the continent!! It should even be taught in schools. Ignorance in this issue, will burn Africa like a wildfire. Those who engineered Africa borders know the seriousness of the issue but Africans seem not to know. It is very sad. We will forever miss the wisdom of mzee Nyerere.
Majority of these tribes he mentions were denied IDs since the process bagan. They are in a kind of soio-economic prison coz they can't run any official transaction or have any public service that needs NIDA but their contribution to the country revenue is sure coz some are collected electronically depending on the nature of the transaction. There is a growing hatred against the gov. by these boarder originating people. If this issue is not going to be addressed the impact down the line is negative
Usemayo ni kweli si ndio maana wazungu hawa tangazi ukabila sasa Wa Tutsi wana tabia ya kutaka kuwatawala wengine na hawapendi kuoleana na wengine ili kuifadhi asili ya jamii yao na hili ndio chanzo cha ubaguzi. Ukimpata mtusi ofisini anapo kutana na Mbembe au mmaniema wa kigoma yeye moja kwa moja ana mchukulia kua mgeni na vyanzo vya misako kigoma na kuishi kwa wasiwasi tujiangalie
Ni mipaka tu ya wakoloni lakini Rwanda na Burundi ilikuwa Tanzania sisi sote ni ndugu , Wakenya ndo kabisaaa hawawezi kujitenga na Tanzania au Tanzania kujitenga na Kenya , kinachohitajika ni upendo na kuaminiana , vikevile Malawi ,Msumbiji , Congo na Zambia ni ndugu zetu , tudumisheni upendo na kuaminiana
Na ndio mana wazungu walicho fanikiwa wakauwa ukabila kwaiyo kumaliza mgogoro wa Kongo raisi wa Kongo aku Bali kukaa kwenye meza Watusi sio mbwa ni binadamu na Vita havito maliza kwa kupelekwa majeshi hekima ndio kitu kizuri na Kagame halaumiki kutetea ndugu zake Watusi wameuliwa Sana Kongo wanyanyasa kwaiyo raisi wa Kongo akileta ujinga pinduweni nami nipo Pemba nipo tayari kushiri nitimieni adress
Rwanda na Burundi zilikuwa Dutch Ost Afrika yaani Tanganyika Hadi 1926.Register of Companies and Political Parties ilikuwa Dar es salam Hadi Miaka ya sabini.
Ifike mahali Afrika tujitambue tuvunje mitazamo ya minyororo ya wakoloni,Ni muda wetu kuungana.bila kujali ukabila,udini, tuondokane na tamaduni zisizo za kiutu.
Yes, you have Babembe in Tanzania also we found them in Congo, they never take arms and fight Tanzania Government?, imagine they been there in Tanzania for long time without been given a citizenship but no one claimed it by fighting with the government
They are given all rights as there fellow Tanzanians and we are not call them by their tribe name. We have more than 120 tribes and we live piece full. Let the Eastern congo live peacefull your to far from them its you kinshasa far from kivu bukavu who need their natural resources
Kwa Watusi sasa hapa ndio shida. Watusi walitoka Rwanda wakajngia kigoma. Ingalikuwa Watusi walitokea Tanzania hapo ndio ndio ingalikuwa chimbuko LA asili
Ulivyo na Akili ndogo hujui asiri yenyewe ya Mtusi na Chimbuko lake asiri ya mtusi original ni Ethiopia na walisambaa kila maeneo ya Africa kutafta malisho ya Ngombe ndio maana wapo kila nchi Tzd,Rwanda, Uganda,Kenya na Congo hawakuwepo Mkoloni ndio aligawa Sehemu kubwa ya Rwanda kuipeleka Congo na hawo watusi kuondoka na sehemu yao ndio leo hii Serikali ya Congo inataka warudi Rwanda na kujisqhaulisha kuwa Wakiondoka wataondoka na sehemu yao sasa wanapigania haki yao M23 wana haki asilimia mia ya kupigana
If they are claiming for their rights, why are they taking territory, villages and cities, we have 450 Ethnicities in Congo why only Tutsi people are claiming their rights?. We have Tutsi minister, military Generals in congo , Drc Government, what type of Rights are they claiming?
Unaweza ukaona kama umeongea point, ila huna Tofauti Anaeogeshwa ili awe safi ila kwa Upumbavu ulele Anaru kujivuruga kwenye Mavumbi. Nadhani Ufaham wako Kumwelewa Prof. Kabudi, Cjaiona.
Na Huyu Shetani Wenu Kikwete siyo kwamba hajui shida ni Muhutu anatamani watusi wafe kwa roho mbaya na Chuki aliyo nayo kama aliweza kumuuwa Magufuri hamushituki huyu ni muhutu tena mwenye roho mbaya mbinafsi yaani kabla Kikwete hajafa Ata Tzd musitegemee maendeleo ni wizi mtupu
DRC Government recognizes that Tutsi in who are living in DRC are Congolese, the main issue is they need to divide our country so that they can have their country within DRC. Second they still used by fellow Tutsi from Rwanda to create rebel groups in DRC to fight Drc government, still DRC resources and take them to Rwanda.
Huwa siwaelewi sana viongozi ila kwahilo prf kabudi upo sawa sana kwa Burundi na Rwanda wambie ilikuwa ichi Moja wakati wa ukoroni wa kijerumani nizadi ya mabira mengine tabu tunayo PATA sisi ngara karagwe kibondo kasuru kigoma mpanda Tanganyika urambo kwa sababu mfumo wa tawara za kikoroni nb tukuombe muheshimiwa waziri jambo hilo kulitilia maanani na kulipa uzito unao stahili
Professor Kabudi sasa haya Material umemlithisha nani??? Tunaitaji watu kama kabudi 5 kwenye hili taifa ambao bado ni vijana, huyu mzee anaakili nyingi sana kila upande yupo na anajua, Sheria, historia, michezo na N.k Mtu muhimu sana kwenye hili taifa
Kwa mm mbona naona kama mashariki mwa kongo ni nchi nyingine kama wakongo hawataki wakazi waitwe wa congo bc wawaache na ardhi yao wajichagulie iwe nchi au waungane na majiran zao
Kabisa mze mimi MBEMBE miksa MMANIEMA kotoka kigoma naipenda Tanzania nchi yangu izi historia inatakiwa ziwe adi ma shuleni jamani itusaidiye kutowa ubaguzi Tanzania
Sisi Wakongo ndo Wakwanza ambao tuna makabila za wajirani wote hata nawasio jirani . Tuna makabila ambayo wamekubaliwa kuwa wakongo 181. Kuna pia hata viumbe ambavyo majirani hawavijui. Watusi wamo Kongo wengi mbo hata pia wa Burundi wamo na wengine. Ila Kagame anatumia kabila kama kazi yakumfanya aendelee kuiba na kupora Mali.
Mulisha wauwa sana na kuwaonea leo hii wanajitetea wanaonekana wao ndio wauwaji nyie munataka tuwategee Shingo yetu mutuuwe mutakavyo hivi muna mioyo ya aina gani damu za watusi mulizo mwaga hazitoshi ?
Ndio wale wale watakao mamlaka kwani tatizo ni utusi urwabfa amacroho mbaya zenu ? Tabia za ubinafsi dharau kiburi uiwaji bila huruma Tamaa ya mali na mamlaka kupindukia.
Tunahitaji watu kama hawa wenye vichwa vyenye kumbukumbu na uelewa mkubwa. Mungu akubariki Prof.
Huyu ndio raisi wetu wa miaka ya baadae Allah akuhifadhi utuongoze
@@hamiduhamdun1858Sidhani kuwa anautaka uraisi! Sio kila mtu ana malengo ya cheo hicho, ni shida tupu 😅 lakini akitaka kugombania urais atapewa Kura nyingi sana, yaani atashinda kwa kishindo!!
Aksante sana Mueshimiwa Professor! Na mi ni mtutsi munyakarama originated Tz na ni na wandungu wengi uko Karama Tanzania. Ba moja tuache ubaguzi!!!
Umesema kweli nasikitika Watu wengi hawajui.Jamii ya Watutsi NI kubwa Sana hapa Tanzania.
Sisi ni ndugu pia tuwaonee huruma ndugu zetu wote waliopo kwenye machafuko, wapatane na salama ipatikane.
❤❤❤💯
Vijana hebu tuamke tuwatumie hawa baba zetu mfano huyu Prof Kabudi, ushabiki wa kisimba na uyanga uwe na kiasi na hiyo miziki pia isichukue sehemu kubwa katika vichwa vyetu tubakishe sehemu ya kujua historia yetu na nchi yetu, maana wakiondoka hawa wazee basi wawepo mbadala, ningeomba vitabu vya historia kupitiwa upya kwa shule za upili jamani. Asante sana Mzee wetu Prof Kabudi Mungu akubariki.
Arudi chuoni akafundishe hii elimu kwenye siasa somo hili linatakiwa kuingia akilini mwa vijana
Kabudi hakutoa kisichojulikana, kama mtz umefika walau form 4 , hii iko wazi kabisa ktk somo LA history, scramble for Africa na Berlin conference ya 1884 labda kama mitahala imebadilishwa, maana hata elimu yetu mpangilio sometimes ni shida. Ktk masuala haya , hata wazungu nao inapasa walaumiwe kwa the way they divided our continent.
Sawa ndugu ipo hivyo lakini topic hiyo haikufafanua kuhusu makabila hayo yalioathiriwa kwa kugawanywa na yalikuwa ni makabila yapi, na uhusiano wao baada ya mgawanyo ulikuwaje.
Tunasoma kuwa ulefu History ya uingereza kuliko historia ya Tanganyika kwenye shule zetu
@@festokemibala5832Sana,au la sivyo ajikite kwenye kundika vitabu ili hata siku akifa aendelee kuishi kupitia elimu yake
Me mkenya lakini huyu mwamba namkubali sana,asante kwa kutuleta pamoja na kutupa ufahamu proff.kabudi shoutout man,we are all bros,and sisters.🫡🫡🫡🇰🇪🇹🇿.
I appreciate Professor Kabudi❤
Huyu mzee namkubali sana ana Elimu ya vitendo
Nimekupenda sana prof.sanamu lako liwekwe jia panda Lusahunga.
Umeona huyu ndie anajua sana❤❤❤❤ sasa Congo wana wakana ndugu zao kisa eti watusi
Congo hatuja wakana M23 eti ni watusi. Wa Tutsi wapo serekalini, kwenye bungu, kwenye seneta na hata kwenye jeshi lataifa. Tatizo ni Rwanda anaye tumia huo watutsi kwa kuiba madini ya Congo kwa kizingizio ya kua serekali ya Congo ina bagua kabila la watutsi. Mimi ni mzaliwa wa Kivu ya kusini, mashariki mwa DR. Congo
Tume wakana tangu lini ?
Professor Kabudi anazungumza kitu ambacho a anafahamu vizuri Sana Tumsikilize.
Tunakushuru mwenyezi mungu kutupa watu km hawa ktk nchi yetu. Profesa kabudi. Profesa wa sheria.
Lkn kwa tabia ya nchi yetu wala hatuoni shida kuwapoteza watu kama hao na wanaofanana nao.Kuna watu wako radhi kuwaacha wajinga lkn wako mbio kuwapoteza watu kama hao.
Halafu ndo mnatuambia kusoma historia imepitwa na wakati....Historia ifundishwe level zote za elimu bila kuijua historia ya nchi na makabila yetu tutaendelea kuuana kwa kukosa maarifa!!! Namkubali sana huyu Professor
Ndugu kujua historia za makabila c kigezo cha kufundishwa historia...hivyo ni vitu unajifunz mwenyew tena kwa kuwa mdadis maana ukijiuliz maswal hayo ukauliz wahusika unapat majib na hayo hayapo ktk historia au ulishaona topic inayosema kuna wahaya wa tanzania na uganda, kuna wamasai wa kenya na Tz...historia isifundishwe ktk shule za upili na mwanafunz kuja kuisomea advance na chuo kama sehemu ya taaluma yake haimsaidii chochote mwanafunzi ktk dunia hii...Anayehitaj ataend libray, majumba ya makumbusho au wataalamu kama kabudi...historia ifundishwe msingi tu.
I like his English he explains nicely and fluently love from Kenya 🇰🇪
Mzee mungu akubaliki sana ina takiwa Mda wa kufudisha wafrika wote kabisa wa elewa kuwa ni ndugu ❤❤❤❤
HAYA HAYA MAKIBILA KATI YETU WAACHE KUWA VIBARAKA wa Majizi kutoka Ulaya NA WAUWAJI na waache kujiona wao ni bora kuliko wengine.., damu ya mtu iliyomwagika haiwezi waacha salama.. Mungu ibariki Africa, mungu ibariki DRC ,
Miaka 100 uko ndani ya tz . Powerful! Mzee KABUDI historia unatupa vizuri wanaosomo humu wakutane na wewe na vitabu utakuwa umeandika kutoa ubishi ubishi kwa vijana wote kuanzia 1960 wakutane na simulizi zote 1959 chini hadi1897, waione Tanganyika yetu hadi leo 2925!!!😢😢😢
Nimesema sana kuhusu hili huko Facebook, lakini watu wasio na ufahamu walijibu hovyo kwa kutojua kazi kubwa iliyofanywa na Baba wa TAIFA.
Congo ijenge UMOJA wa kitaifa kama Tanzania na kuwatambua raia wake wote kwa mujibu wa makabila yao na maeneo yao.
Mungu ibariki Afrika.
🌍 🌍 🌍 🌍 🌍
Mungu ibariki Tanzania.
🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿 🇹🇿
Nasema Hawa wanaleta habari ya ukabila ubaguzo ni wajinga ona mzungu Hana ukabila akimuona mtu mweupe bs ni mzungu Sasawaangalie hii tabia waache ili tuwe salama vita cyo ona wakongo wamama na watoto wanavyoteseka kwanza mungu awasaidie
Congo ingejaribu kama usemavyo, tatizo no serikali ya Rwanda na Kagame na uroho wa mali za Congo, madini.
Uroho gani? Hujaelewa kumbe, watusi ndio walimtafuta kagame mtusi mwenzao awasaidie kulinda Mali zao zinazoporwa na serikali ya congo@@MorrisGregory-x2b
@@MorrisGregory-x2b😂😂😂 kaulize warundi angola Congo brazz na somalia na sudan utawajuwa tu watu hawa alitoka Egypt tatinzo amjuwi kitu walitoka Egyt wakachuka uganda andi rwanda waliingia Congo miaka 1971 wakati wa mobutu sasa wakati waukoloni tanzania ilikuwa sio nchi sijuwi mlisomea wapi history ya tanzania kweli watanzania awajuwi history yao tanzania ilikuwa kibanda yani kama kariyako ya watu kuuzisha watu watwa wazungu walikuwa wakitoka ulaya nakunja kuwanunuwa watu weusi apo tanzania na walikuwa wakipanda meli apo tanzania, tanzania ni nchi ya mchanganyiko Congo sio nchi ya mchanganyiko, kila nchi ya african watu wao walikuwa wakipelekwa tanzania, kiufupi tanzania sio ya mtu ila Congo ni yamtu waliyo tengeneza apa ni wazungu na waarabu na wakati walivyo viacha tanzania kulibaki watu wakaunda nakukaa pamoja wakaona wasirundie walipo toka. Kawaona wakahe hapo na wakazaana sasa Congo sio hivyo unavyo vikiri wewe wacoloni ndo waliandika makabila waliyo yakuta Congo wala sio sisi tena wakati walumumba aliandika historia ya Congo na makabila aliyo ya acha kama tunawachukia because wanataka watunyanganye adhi yeti na wao ndo watu waliyo leta vita Congo unajuwa kama vita vy a kigali walipingana mwaka 1990 na vilitoka rwanda vika amia Congo mwaka 1996 sisi tulikimbia tanzania 1996 ila mimi nilizaliwa hapo na Tanzania walinifunga jela miaka 5 because nilifuka camp na kwenda kuushi arusha nilifika tu majerani wanakiripoti lisha niko na cheti chakuzaliwa tanzania nilizaliwa mwaka 1999 mwezi 10 tarehe 25 ila police walisema mimi ni mCongo tu aijalishi nimezaliwa tanzania bro kaka yangu mwenye yuko marekani alilipa millions 12 nitoke jela nilivyotoka tu Mungu sio asumani nikaitwa camp na kwenda South Africa ndo na hishi kwasasa
Jifunze zaidi
He is right but we need one nation East African
Asante Sanaaaa Professor Kabudi, Great Man🎉
Kasema kweli mimi hapa Mkenya familia yangu ipo hapa Kenya, lakini familia yangu kubwa ipo Tanzania.
Mwezi uliopita nilisafiri hadi Moshi kuhudhuria mazishi ya mjomba wangu.
Nina uhusiano mkubwa sana na ichi ya Tanzania kwani nusu ya familia yangu ni Watanzania. Wengi wanapakana mkoani Kilimanjaro. Kila ninapoingia Tanzania hujihisi nyumbani tu.
Intelligent minds are rare.
Mwenyezimungu Akurinde
tungekuwanawatukamawewe congo ingekuwasawa ubaguziniwa kiu koloni asantisana❤
This is what makes Tanzania a spacial country and a true role model of Africa. I wonder why Africa union does not consider the issue of borders and Africans identity. a priority and key sucess factor for the development of the continent!! It should even be taught in schools. Ignorance in this issue, will burn Africa like a wildfire. Those who engineered Africa borders know the seriousness of the issue but Africans seem not to know. It is very sad. We will forever miss the wisdom of mzee Nyerere.
Majority of these tribes he mentions were denied IDs since the process bagan. They are in a kind of soio-economic prison coz they can't run any official transaction or have any public service that needs NIDA but their contribution to the country revenue is sure coz some are collected electronically depending on the nature of the transaction. There is a growing hatred against the gov. by these boarder originating people. If this issue is not going to be addressed the impact down the line is negative
Profesa Waziri Mbunge upo vizuri
Hongera sana Tanzania! Wewe ni ishara ya Umoja na Ujamaa wa Afrika. Mungu ibariki Afrika.
Kasulu, Kibondo ❤❤❤
Upo vzr sana mzee hakika tutamkumbuka nyerere daima
Allah akupe Afya
Hapo sasa ndio unaweza kutambua Profesa na watu wa kawaida wanaofikiri ni NO APOROFESA.ASANTE SANA MHE.KABUDI
Isingekuwa wapumbavu ndio waoongoza Siasa!!! Kabudi wa Tanganyika ilipaswa iendeleee usiishie njiani kupata Tanganyika!!!!
Usemayo ni kweli si ndio maana wazungu hawa tangazi ukabila sasa Wa Tutsi wana tabia ya kutaka kuwatawala wengine na hawapendi kuoleana na wengine ili kuifadhi asili ya jamii yao na hili ndio chanzo cha ubaguzi. Ukimpata mtusi ofisini anapo kutana na Mbembe au mmaniema wa kigoma yeye moja kwa moja ana mchukulia kua mgeni na vyanzo vya misako kigoma na kuishi kwa wasiwasi tujiangalie
Uyu na marehemu jpm ndiyo wanaoijua vizuri Tanzania kwa kuisoma darasani na kuitembea back to back
Ni mipaka tu ya wakoloni lakini Rwanda na Burundi ilikuwa Tanzania sisi sote ni ndugu , Wakenya ndo kabisaaa hawawezi kujitenga na Tanzania au Tanzania kujitenga na Kenya , kinachohitajika ni upendo na kuaminiana , vikevile Malawi ,Msumbiji , Congo na Zambia ni ndugu zetu , tudumisheni upendo na kuaminiana
Kabudi ni mwalimu mzuri sana wamrudishe kufundi wamripe mshahara wa uwaziri i like him so much
Na ndio mana wazungu walicho fanikiwa wakauwa ukabila kwaiyo kumaliza mgogoro wa Kongo raisi wa Kongo aku Bali kukaa kwenye meza Watusi sio mbwa ni binadamu na Vita havito maliza kwa kupelekwa majeshi hekima ndio kitu kizuri na Kagame halaumiki kutetea ndugu zake Watusi wameuliwa Sana Kongo wanyanyasa kwaiyo raisi wa Kongo akileta ujinga pinduweni nami nipo Pemba nipo tayari kushiri nitimieni adress
Sahihi 💯 p ukweli mtupu tatizo wazungu wanatuhalibu
Genius san
Pro. Nimekukubari chukuwa maua yako ❤❤❤❤❤ bt huyu jamaa ni kichwa sana
Akiwekwa secta ya sheria utampenda zaidi
Kabudi nnangekua rais Sasa hivi jamii ya wa tusii congo isingekua na kama hivi Leo. Anaelewa shida zilizoletwa nna mipaka ya wakoloni
Asante kwa Elimu
Vichwa vyenye uelewa mkubwa timu ya ushindi ya magufuli apumzike mwamba magufuli
Rwanda na Burundi zilikuwa Dutch Ost Afrika yaani Tanganyika Hadi 1926.Register of Companies and Political Parties ilikuwa Dar es salam Hadi Miaka ya sabini.
Watu hawajui kabisa kama rwanda na burindi zilikuwa ni sehemu ya Tanganyika
❤ uko vzr sana kabudi umefika tanzania yote 😂
Eeh we mimi mwenyewe cna cheo chochote ila nimezunguka mikoa yote naijua
Ifike mahali Afrika tujitambue tuvunje mitazamo ya minyororo ya wakoloni,Ni muda wetu kuungana.bila kujali ukabila,udini, tuondokane na tamaduni zisizo za kiutu.
Yes, you have Babembe in Tanzania also we found them in Congo, they never take arms and fight Tanzania Government?, imagine they been there in Tanzania for long time without been given a citizenship but no one claimed it by fighting with the government
They are given all rights as there fellow Tanzanians and we are not call them by their tribe name. We have more than 120 tribes and we live piece full.
Let the Eastern congo live peacefull your to far from them its you kinshasa far from kivu bukavu who need their natural resources
Kwa Watusi sasa hapa ndio shida. Watusi walitoka Rwanda wakajngia kigoma. Ingalikuwa Watusi walitokea Tanzania hapo ndio ndio ingalikuwa chimbuko LA asili
Ulivyo na Akili ndogo hujui asiri yenyewe ya Mtusi na Chimbuko lake asiri ya mtusi original ni Ethiopia na walisambaa kila maeneo ya Africa kutafta malisho ya Ngombe ndio maana wapo kila nchi Tzd,Rwanda, Uganda,Kenya na Congo hawakuwepo Mkoloni ndio aligawa Sehemu kubwa ya Rwanda kuipeleka Congo na hawo watusi kuondoka na sehemu yao ndio leo hii Serikali ya Congo inataka warudi Rwanda na kujisqhaulisha kuwa Wakiondoka wataondoka na sehemu yao sasa wanapigania haki yao M23 wana haki asilimia mia ya kupigana
If they are claiming for their rights, why are they taking territory, villages and cities, we have 450 Ethnicities in Congo why only Tutsi people are claiming their rights?. We have Tutsi minister, military Generals in congo , Drc Government, what type of Rights are they claiming?
Prof uko sawa lkn wanyarwanda na waburundi waishie huko huko
Mbon ni watu poa saana punguza chuki ndugu
Sawa mm nawachukia sana wanyarwanda
😂😂😂😂😂😂
Unaweza ukaona kama umeongea point, ila huna Tofauti Anaeogeshwa ili awe safi ila kwa Upumbavu ulele Anaru kujivuruga kwenye Mavumbi.
Nadhani Ufaham wako Kumwelewa Prof. Kabudi, Cjaiona.
BAADA YA KUWACHUKIA NINI KINAFUATIA
???????@@Wardenburg-h5x
Huyu ni professor ili sioni msaada wake Kwa kweli
Kwa ukweli magufuli angekuwepo hangeliweza tuma jeshi la tanxania kuwawuha wa tusi wa drc rip magufuli
Na Huyu Shetani Wenu Kikwete siyo kwamba hajui shida ni Muhutu anatamani watusi wafe kwa roho mbaya na Chuki aliyo nayo kama aliweza kumuuwa Magufuri hamushituki huyu ni muhutu tena mwenye roho mbaya mbinafsi yaani kabla Kikwete hajafa Ata Tzd musitegemee maendeleo ni wizi mtupu
Hapo sasa kazi ipo
Only one you remain Tz.
Wa muhimu sana wew baba shikamoo
DRC Government recognizes that Tutsi in who are living in DRC are Congolese, the main issue is they need to divide our country so that they can have their country within DRC. Second they still used by fellow Tutsi from Rwanda to create rebel groups in DRC to fight Drc government, still DRC resources and take them to Rwanda.
That's no sense,how did they end up in exiles for 30 years
Mzee yuko asilimia 99.9%
Wanapaswa waishi kama sisi watanzania ambao tunamakabila mengi karibu 140 lakini tunaishi kwa umoja na kuheshimiana
Halafu wazungu wakaja wakatusomesha historia zao pumbavu tukasahau udugu wetu ona sasa tulivyo Ndugu halafu tunauwana Dah
Mzee wa kuweka maua😂
Huyu bwana apewe kahawa kwa bill yangu. Viongozi kama hawa ndio tunaowahitaji
Mh professor kabudi unafaa kuwa kiongozi wa hii nchi,elfu 2030 ,chukua form ya urahisi.
Mhhhh! Kwa kupitia wapi? Watakubali? Mchezo ulisha zimwa kibabe.
Anafaa kabisa
Yaan daaah hatari
Uyu jamaa ningekua na uwezo ningempa uraisi namkubali sana
Mheshimiwa sema hao ni watanganyuka.
Prof. Leo umenikosha
Huwa nakukubari Sana naninaamini IPO siku utakuwa president
Wanyaruwanda warudi kwao ni majasusi hatutaki siasa
Huwa siwaelewi sana viongozi ila kwahilo prf kabudi upo sawa sana kwa Burundi na Rwanda wambie ilikuwa ichi Moja wakati wa ukoroni wa kijerumani nizadi ya mabira mengine tabu tunayo PATA sisi ngara karagwe kibondo kasuru kigoma mpanda Tanganyika urambo kwa sababu mfumo wa tawara za kikoroni nb tukuombe muheshimiwa waziri jambo hilo kulitilia maanani na kulipa uzito unao stahili
Sema binafsi kama kunamtu namkubali hapa tz basi ni huyu mwamba🫡🫡
Umenifundisha historia
Tatizo mnapoacha taaluma na kufanya siasa za kuwanyima wenzenu haki. Mpo radhi kuwaua
All is about minerals source of congo
Kumbe ccm wakati mwengine wanaongea point
Wambiye hawo wa Congo kureta uzushi Masarani waberigigi nda cyanzo cya Mugogoro wa Makabira Rwanda Burundi n Congo
Nina wasiwasi huyu Mzee siyo mtanzania.
Na wale Wahadzabe nao
Professor Kabudi sasa haya Material umemlithisha nani??? Tunaitaji watu kama kabudi 5 kwenye hili taifa ambao bado ni vijana, huyu mzee anaakili nyingi sana kila upande yupo na anajua, Sheria, historia, michezo na N.k Mtu muhimu sana kwenye hili taifa
Sasa jua nini wa tutsi wa Congo wanafukuziwa...na wako ndani ya inchi yawo..
Watu kama hawa niwakusikilza
Kwa mm mbona naona kama mashariki mwa kongo ni nchi nyingine kama wakongo hawataki wakazi waitwe wa congo bc wawaache na ardhi yao wajichagulie iwe nchi au waungane na majiran zao
Sema mana kuna wengine hawajui
Nyelele ashukuliwe saana kwa ili
Mmm kumbe si vijana hatujui ndio unatujulisha
Nyerere alikuwa mukuria
Nikweli
Watu weusi tumezidi kubaguana wazungu ulaya kitambo wameondoa huo upuuxi😅😅😅😅
Hapana, hili ni tatizo LA kidunia, eg Russia vs Ukraine, Spain vs katarunya , USA vs Canada na sasa Denmark etc, ni shida
Kabisa mze mimi MBEMBE miksa MMANIEMA kotoka kigoma naipenda Tanzania nchi yangu izi historia inatakiwa ziwe adi ma shuleni jamani itusaidiye kutowa ubaguzi Tanzania
Mama Abdul anajua chochote kweny hii Historia jamani?😂
Sema inabidi atumie kizunguu siyo hiyo Swahili, au akuje huku Kenya tumpee namna ya kuongea kizunguu 🇰🇪
Huyu hapendi vitu vya kikoloni. Pure pan africanist. Angekuwa obsessed na mambo ya kikoloni leo hii angekuwa raia wa ujerumani
Kwa nini wawo tusi wanataka special treatment ndani ya congo? Sijawawi sikia wanaomaba special treatment nchi nyingini
Waziri ongera Kwa kutusanua kichwani mwetu 🙏🏂
Sasa watanzania ni wanani
Kbsaaa anachoongea ni ukweli
Sisi Wakongo ndo Wakwanza ambao tuna makabila za wajirani wote hata nawasio jirani . Tuna makabila ambayo wamekubaliwa kuwa wakongo 181.
Kuna pia hata viumbe ambavyo majirani hawavijui.
Watusi wamo Kongo wengi mbo hata pia wa Burundi wamo na wengine. Ila Kagame anatumia kabila kama kazi yakumfanya aendelee kuiba na kupora Mali.
Tatizo ni roho mbaya za Watusi wauwaji Tamaa popote walipo wabaguzi dharau na Tamaa ilio vuka mipaka
Uwa wanajiona wanaakili kuliko watu wengine
Ni watu wabaya sana wako wengi ngara na biharamulo ni shida sana
❤❤😂😂😂
Watusi wauwaji
Achaujinga wa kikabila ndomana nyie majilan huwa hamtulii kwa sababu ya ukabila
Mulisha wauwa sana na kuwaonea leo hii wanajitetea wanaonekana wao ndio wauwaji nyie munataka tuwategee Shingo yetu mutuuwe mutakavyo hivi muna mioyo ya aina gani damu za watusi mulizo mwaga hazitoshi ?
baba Kuna wameru pia ila wameru wangehama Tanzania tyu
Tuwatandike sasa rwanda tuichukue kama urus ilivyofanya ukraine kwa nini tuache chimbuko letu likipotea!! Kanchi kadogo ako tubebe kote
Wapare wa kenya na wapare wa Tz wanyakore wako wengi sana Tz kila kona
Dini ndiyo zimeleta huu ujinga wakubaguana ila bas tu