Mwabukusi Kalamba Asali? Maelezo Yake Yamfanya Rais Samia, Spika Waangue Kicheko.

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • Jiunge nasi moja kwa moja tunapomshuhudia Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan, akishiriki Maadhimisho ya Siku ya Sheria. Hafla hii muhimu inalenga kuangazia maendeleo katika sekta ya sheria, changamoto zinazokabili mfumo wa haki, na mikakati ya kuboresha utoaji wa haki kwa wananchi wote.
    Unaweza kutufuatilia kupitia;
    TWITTER: / thechanzo
    INSTAGRAM: / thechanzo
    FACEBOOK: / thechanzo
    TIKTOK: www.tiktok.com....
    Au tembelea tovuti yetu: www.thechanzo.com
    Je, una habari? wasiliana nasi kupitia Telegram/WhatsApp +255 753 815 105
    The Chanzo 2025 © All Rights Reserved.

Комментарии • 60

  • @HAIPPA_PLC
    @HAIPPA_PLC 5 дней назад +2

    Mwabukusi Unaonyesha Uongozi makini Sana, Hongera

  • @enockfumbuka6843
    @enockfumbuka6843 5 дней назад +1

    Dared to approach the Bull by The Horns.Congrations Mr.Presdent TLS.

  • @josiahsimon5333
    @josiahsimon5333 6 дней назад +7

    Hongera wakili mwakibusi hotuba nzuri

  • @peternyaki5880
    @peternyaki5880 5 дней назад +1

    Hongera Mwakubus rais wa TLS umeongea fact

  • @mohamedkhatib5526
    @mohamedkhatib5526 6 дней назад +4

    Umeongea vizur sana rais wa wanasheria Mr Mwabikus hakika taifa lina watu muhimu wakiamua

  • @Piscesblair
    @Piscesblair 6 дней назад +4

    Thank you for your eloquence and nice presentation. We need to work together with technocrats such as TLS to shape up systems.

  • @AnociathaChuwa-cb5nk
    @AnociathaChuwa-cb5nk 5 дней назад

    😢c a kweli kashailamba ya kumtosha nafikiri

  • @kesphaanyitike7751
    @kesphaanyitike7751 6 дней назад +8

    Mwandishi hiki kichwa cha habari hakiendani na alichokisema mwambukusi

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 6 дней назад +3

      Muandishi kichwa maji ameandika kichwa cha Habari cha uchonganishi wakati Mwabukusi ameongea vzr amenyoosha maelezo hajamung'unya maneno

  • @am2323tze
    @am2323tze 5 дней назад

    Sio ndugu Mgeni rasmi. Mh Rais

  • @jacksonmuhoho4761
    @jacksonmuhoho4761 6 дней назад

    Safi . TLS inaenda vizuri.

  • @chazyteshakimaro4659
    @chazyteshakimaro4659 5 дней назад

    Mbona ameongea vizuri sana tu

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u 6 дней назад +4

    Ameingia kwenye mfumo nae

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 6 дней назад

    Ee mungu wangu mwabukusi nae ameenda amelamba yoooo

  • @lossylucumay3093
    @lossylucumay3093 6 дней назад +1

    Mwabukusi Mimi ni mwananchi,sija soma Sheria,ningesoma ningekupigia kura yangu,ila niliwaomba mawakili wangu ambao nieafiki zangu wakupe kuza zao,Swietbert Rwegasira, Matiasi na Zuberi kamugisha wakupe kura zao Nina Imani walifanya hivyo,inamaana nilikufanyia kampeni ulistahili ushindi, Mungu akuzidishie Hekima na busara

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 6 дней назад +2

    Tumebaki na Lissu na Lema tu, asali kila mahali

  • @moddy8744
    @moddy8744 5 дней назад

    Safi hivi ndio maneno mazuri sio wengine kutukana na kuponda hamna jengine

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 6 дней назад +1

    Samia anajifanya anasikiliza kumbe yanapitia hapa yanatokea hapa

  • @daruzein
    @daruzein 6 дней назад +2

    Whooh! Kumbe Wakili Mwabukusi kuna wakati saa yako inasomaga vizuri hivi

  • @elishambalilaki5908
    @elishambalilaki5908 5 дней назад

    Kashalamba huyu, ongea yake imebadilika sana😂

  • @gazzomaster9462
    @gazzomaster9462 6 дней назад

    Jamaa limemchana spika uso kwa uso😂😂😂 bila kupepesa alafu kiufundi

  • @chalokalunde9429
    @chalokalunde9429 5 дней назад

    Aahaaaaaaaa kala asali gani, nyie jamaa anajitahidi sana ,jamaa ana akili huwezi tukana ovyo, ovyot tu.msimtafute visababu.

  • @dicksonkilupa2258
    @dicksonkilupa2258 6 дней назад

    Mlitaka afanye nini zaidi ya haya aliyoeleza peupe? Ama mlitaka aendeshe na kuitisha migomo ili nchi isimame kufanya mambo mengine? Mimi napingana na hicho kichwa cha habari.

  • @geofreymlegimusimu
    @geofreymlegimusimu 6 дней назад

    mwabukusi mkomalie huyo MAMA ABDUL atengeneze katiba mpya

  • @reubenmakalla745
    @reubenmakalla745 6 дней назад

    Mwabukusi kaongea vizuri. Siyo kila hotuba unatoa malalamiko na vilio. Kuna wakati wa kupongeza na kusema mipango

  • @ameerlehao2320
    @ameerlehao2320 6 дней назад

    Tundulisu awe Rais na Mwabukusi Wazir mkuu halafu Majaliwa Kasimu Majaliwa awe makamu WA Rais

  • @kitejamayunga7645
    @kitejamayunga7645 6 дней назад +1

    Ni moja ya vichwa muhimu vya kuiongoza nchi. Sema tu basi

  • @geofreymlegimusimu
    @geofreymlegimusimu 6 дней назад

    kumbe zile kilele zote za KUHUSU BANDALI ulikuwa unataka UONGOZI WA TLS , kweli siasa ni mchezo mchafu kwa sasa mwabukusi ni MLAINI KWELI kweli KAMA UJI WA MLENDA

  • @mbondelotv8380
    @mbondelotv8380 5 дней назад

    Hatuja elewa tulio wengi,,,Kuwa ni siku ya nini?
    Kwanini? Na nini tuongee
    Ameongea vizuri sana MWABUKUSI.
    NAaam..! Tuangalie anatenda nini sio anaongea nini ?.
    NIMWANAHARAKATI WANAOTUOKOA

  • @samorajama8833
    @samorajama8833 6 дней назад +1

    Kalamba kalamba kalamba aaammmm

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 6 дней назад

    Mwabukusi hoyeeeee😊😅😅

  • @danielerickmshana7203
    @danielerickmshana7203 6 дней назад +1

    Hapa kwisha Habari Asali imehusika

  • @MarksevenTz
    @MarksevenTz 6 дней назад

    Kila nikilinganisha Matendo ya Mwabukusi kabla ya KITI. Na Mwabukusi Baada ya KITI utagundua kuwa....AMESHAJAAA KWENYE MFUMO., Mwanzo alikuwa Na SECTION 4 lla ameingia mchezon anaruka Na 4Rs Chini ya SAMIA LEGAL AID. Hamna kitu hapooo....tumsubirie TU Peter KIBATARA aje Aongoze CHAMA

  • @abassjuma6248
    @abassjuma6248 6 дней назад

    Anakiburi kwa sababu YA kujua sheria.Na hiyo notaaluma kama trauma nyinginetu.Hata facial expression yake inaonesha kiburi

  • @Jackson-n2c
    @Jackson-n2c 6 дней назад

    Hapo kwenye mapato ndipo tutakapo pigwa....anaekupa hela hauta kuwa na nguvu ya kumpinga

    • @mathiaslyamunda2526
      @mathiaslyamunda2526 6 дней назад

      Mbona vyama vya siasa vimepewa ruzuku na bado vinaisasambua serikali ni swala na mifumo tu kufanya kazi.

  • @NABIYUSUPH
    @NABIYUSUPH 6 дней назад

    Kamatunajua tunakazi yakujenga uchumi wambie watuwaache unafiki kubali usikubali Wacha Shelia ifatwee

  • @thedriver.michael.3975
    @thedriver.michael.3975 6 дней назад

    Ukitumia section four ujue kuna section five pitia hiyo

  • @melch3097
    @melch3097 5 дней назад

    Mda smrefu, lisu nae atalamba asali

  • @petroyohana1126
    @petroyohana1126 6 дней назад

    😂😂😂

  • @NABIYUSUPH
    @NABIYUSUPH 6 дней назад

    Watafutwe mawakili vijana wewe nawekija jiuzulu

  • @BinSultan-t5g
    @BinSultan-t5g 6 дней назад

    Kelele zote za bandari zmeuzwa zimekauka. Siasa bhana. Hahahahahahah

  • @YonaKipututuSembeta
    @YonaKipututuSembeta 6 дней назад

    Mwabukusi tuna kutegemea wewe na lisslu sasa nawewe ukianza kupokea hongo tumekweshanmake tuttabaki na lissi TU huwaga ukweli unaonakana

    • @cbegram6161
      @cbegram6161 6 дней назад

      Hapo kwa lissu mhhh.

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 6 дней назад

      ​@@cbegram6161punguza uccm watu wanaongelea wambozi wewe unajigunisha!!😢😢

  • @StoneLiyanga
    @StoneLiyanga 6 дней назад

    Kidume kimekubali kuvaa chupi ya kike hana jipya tena mavi yalikuwa yana gonga chupi wakati anahutubia mwabukusi

  • @valentinoswenya748
    @valentinoswenya748 6 дней назад +1

    Uyu jamaa naye sikuhizi Mimi simuelewi anaulakini kidogo

  • @allymusira2153
    @allymusira2153 6 дней назад

    Ndiyo mjue taasisi ya urais ni kubwa kuliko mtu

  • @richardhosea8827
    @richardhosea8827 6 дней назад

    Sijui ni jicho langu Mwambukusi umeanza kuboreka afya yako kifupi umenenepa kibantu unaanza kikiuka miko langu jicho

  • @SanziNzige
    @SanziNzige 6 дней назад +2

    Hili nalo tayari limelambishws jamani?. Hii nchi NI shida TU tumebaki na lisu tuu MUNGU akusimamie atuteteee.hili HAKUNA tayari

    • @franciscomasungulwa3575
      @franciscomasungulwa3575 6 дней назад +1

      Kivipi???

    • @JeremiahJuliet-r7p
      @JeremiahJuliet-r7p 6 дней назад +1

      Watz tunashida sana kosa lake hapo nilipi mpaka mseme amelambishwa asali

    • @rogersiddy
      @rogersiddy 6 дней назад +2

      Akili zako zakushikiwa naona ameongea kipi ambacho kilichokupa shaka?mbona ameongea vzr tu ameelezea vzr mlolongo mzuri hata Lisu itafikia siku watakutana Samia sababu haikwepeki

    • @tembatemba4823
      @tembatemba4823 6 дней назад +1

      @JeremiahJuliet-r7pkwa uvivu hata hotuba yenyewe hajaisikiliza ameenda na upepo wa kichwa cha habari

  • @toshirohitsugaya6421
    @toshirohitsugaya6421 6 дней назад

    Headline niya uwongo