WALINZI WA RAIS WALINIZUIA KUONANA NA RAIS SAMIA, WALINIPA MASAA MAWILI TU - MKENDA WAZIRI WA ELIMU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 фев 2025

Комментарии • 9

  • @mgawerevocatus8582
    @mgawerevocatus8582 4 часа назад

    Najaribu kuwaza Kwa sauti TU.
    Huyu ndugu ni mchaga pekee mzalendo Mungu ampe nafasi siku Moja awe waziri mkuu

  • @maase2023
    @maase2023 4 часа назад

    Waziri lazima awe na appointment ya kumuona rais ndio utaratibu ulivo

  • @IsabelaMwenda
    @IsabelaMwenda 16 часов назад

    Ndiyo kabisa asipewe nafasi hata kidogo ni hatari

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 17 часов назад +3

    Huyu waziri si ni waelimu au kashaahamishwa?!! Shule zote za serikali ni uozo mtupu,waalimu wamejitungia sheria zao wanapiga pesa na maafisa zao dadeki hatufundishi watoto tunalea wakue tu kwa uwezo wa pesa za waliozaa!!!

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 8 часов назад

    Kuna vitu havijakaa sasawa upande wa elimu

  • @laurentsechura1146
    @laurentsechura1146 12 часов назад

    😢

  • @SaidiSheria
    @SaidiSheria 6 часов назад

    Hakuna lolote uchawa tu

  • @malkavoice2570
    @malkavoice2570 17 часов назад

    Huyu waziri kwa age yake tu hapswi kumuabudu Samia,anamzidi kila kitu nahisi hadi watoto. Mara 100 akawa waziri mkuu,majaliwa hafai