'Sikutoroka' - Dereva wa Lissu aiambia DW

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 733

  • @ismailzakayo1139
    @ismailzakayo1139 Год назад +8

    Mungu ni mkuu sana ni mlinzi wa maisha yetu anatupigania

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 Год назад +16

    Adam mpe Yesu maisha yako umeokoka kwenye tundu la simba okoka YESU atawale maisha yk

    • @JoswamBalongo
      @JoswamBalongo 5 месяцев назад

      Mungu ni mwema.

    • @huyu1993
      @huyu1993 4 месяца назад +3

      Yesu yupi iyo ?

    • @romanilyimo
      @romanilyimo 3 месяца назад

      ​@@huyu1993unasemaje?

  • @rajabungereza8755
    @rajabungereza8755 4 года назад +21

    Naomba ahojiwe vzuri atakuwa anajuwa kwann. Hakumwambia boss wake mapema ili atoe taarifa police anasubiri mpaka avamiwe hapo naona kuna alama ya kuuliza hatakama sijasoma

    • @ramadhannjuch9549
      @ramadhannjuch9549 4 года назад +7

      Kwanini walitoa Camera

    • @franknamkoko8228
      @franknamkoko8228 4 года назад +7

      Polis gani tena ushaambiwa walitoa taarifa mapema saan na hakuna kilichofanyikaa

    • @zuhurageyash3519
      @zuhurageyash3519 4 года назад +3

      Dereva anahusika kwanini. Ashuke wakati aliona hatari? Na kwanini asimwambie boss kuna watu wanatuatilia? Ili achukue tahadhari? Akafanya siri kisha akashuka ili risasi zisimpate? Hao waliofanya kitendo hicho ni wafuasi wa chadema wameona tundu lisu kimbelembele hataki wenzake washike nafasi ya urais maana mbowe alitaka awe rais Dr silaa Sharif hamad na pro lipumba wote walitaka wagombee sasa jamaa kagoma hapo ukawa na ukuta ikafa hivyo ni visasi vyao tu na dereva anajua yote lakini mjue kikulacho kinguoni mwako

    • @mariamsuma3003
      @mariamsuma3003 4 года назад

      Kabisa kwanin yeye hajapata majeruhi

    • @loner_wolf
      @loner_wolf 3 года назад

      Hawa wanasinema wazur sana, huyu jamaa nafsi yake inamambo mengi juu ya hili..... Ni serikali ya wapi itumie mateja au walevi kufanya ambush kama hiyo? Maana mtu aliyempiga hizo bastola za kupigia njiwa pori anaonekana kbsa ni kilaza tu, mm naamini asingetoka mtu hapo, 32 bullets 🙄🙄🙄. CCTV gn kwan mtu akisema umeng'oa kigingi hata kama hakikuwepo mdomo wake utabambika?

  • @jastinistivini9687
    @jastinistivini9687 3 года назад +3

    Poleni Sana tufungeni siku mtu mungu atajibu

  • @AmaniKasekwa-uw8hp
    @AmaniKasekwa-uw8hp 5 месяцев назад

    Pole sana sisi wote tume zaliwa na mwanamke bibilia ina sema mwanadamu alie zaliwa na mwanamke sikuzake zakuishi sii nyingi mambo yote tuna mwachia mungu

  • @jasonhiphop2589
    @jasonhiphop2589 5 лет назад +10

    Waliopotea tu inatosha kutohowa nakupata Lugha kamili yawalio husika.Mungu ndie muweza wayote hakuna atakaeishi milele.Mungu atukuzwe kwakuwaponya.

  • @TomasiklistophaMwinuka
    @TomasiklistophaMwinuka 3 месяца назад

    Pole sana uliweza kumuokoa Mwamba wetu Lisu mungu akulinde huko uliko Lisu tunae

  • @lauriankajugusi5225
    @lauriankajugusi5225 5 лет назад +8

    Sasa naamini kuwa huyu dereva ni wa mhimu ktk sakata hili.Hebu tuangalie kwa pamoja, dereva kwa taratibu za kupaki gari huwa ni kushoto kwake,akiiacha nafasi ya mpitaji mwingine Julia kwake.Kwa maelezo yake,gari LA washambuliaji, ghafla lilirudi reverse na kuwashambulia kwa ubavuni.Hapa mhanga wa kwanza alipaswa kuwa yeye.Wataalam wakimpata huyu bwana, ukweli utapatikana kiurahisi.

    • @roseesospeter1792
      @roseesospeter1792 4 года назад

      Uposahihi kabisa bado hawajasema me niliomba tu wawe nahofu ya mungu ndipo watasema ukweli

  • @godisgreat1845
    @godisgreat1845 4 года назад +3

    Kuna clip ulisema ulilaza kiti ndio. Maana risasi hazikumpata hapa unasema ulilaza kwenye kiti chako

  • @mclangutut5912
    @mclangutut5912 Год назад

    Pole sana kaka Lisu tunakupenda Mungu wako yupo hai.
    Jipe moyo

  • @ramanizetu_blog5973
    @ramanizetu_blog5973 4 года назад +3

    hivi dakika zote hizo mnashangaa lile gari na hadi linageuza mmeshindwaje kuchukua namba za gari? plate no.? dakika 10 mmeshindwa kuchukua hata picha? hata kupiga simu kwa ndugu wa karibu?

    • @Kumalo-q2i
      @Kumalo-q2i 3 месяца назад

      Wakati ukishka unashtiwa mzee😅

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 Год назад +6

    Pole sana dereva na hongera kwa kushiriki kumnusuru Tndu Lissu. Mungu akusaidie ili siku moja uwe dereva wa rais Tundu Lissu

  • @YudaMatesie80
    @YudaMatesie80 5 лет назад +5

    Kama Lisu hakufariki bado ni shahidi siyo akomaliwe dereva tu hii ni move ya kucreat

  • @pauldavid5141
    @pauldavid5141 6 лет назад +12

    Utungaji.

  • @christopherjimmy8925
    @christopherjimmy8925 5 лет назад +15

    Taratibu kisheria mtu wa kwanza kumhoji Ni Yule aliyekuopo kwenye tukio ndipo upelelez mwngn unaendelea sasa ninyi wote mko ulaya sasa nani atafungua kesi nani atatoa maelezo ili kusaidia police. Leo naamin wana macho lkn hawaon wana masikio hawasikii.

    • @simonshitindi6242
      @simonshitindi6242 5 лет назад +1

      Brother we umeongea kitu chamsingi sana

    • @jonijojoss9181
      @jonijojoss9181 5 лет назад +2

      Moo Roma walitekwa na mpaka Leo unataarifa gan maana wao walitwa polis na wakahojiwa hebu tupe mwendelezo wa ni kwanini walitekwa

    • @hemedmteza6956
      @hemedmteza6956 5 лет назад +1

      Christopher Jimmy wangekufa je?

    • @fredymachumu1631
      @fredymachumu1631 5 лет назад +1

      @@jonijojoss9181 we ni ndezi kweli

    • @ceciliamhumba7349
      @ceciliamhumba7349 5 лет назад

      Wangekufa wote miili yao ingefanyiwa uchunguzi.

  • @erastoonesmo6109
    @erastoonesmo6109 4 года назад +16

    Kiuhakisia izo risasi zingemjeruhi na yeye picha LA kihindi ili😂😂😂

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 года назад +4

      acha ukuma wewe, mbn ushangai walinzi wa hapo walikuwa wap!!!???

    • @daudidarabo3311
      @daudidarabo3311 4 года назад +3

      @@bennymochiwa4800Asanteee benny

    • @joyceshile6322
      @joyceshile6322 4 года назад

      Hiyo hotuba ya RAIS WETU INAITWAJE RUclips, ALIYOTAMKA MANENO HAYO ILI TUSIKIE ACHENI KUTUFANYA MAZOBA

  • @projestusbernad3813
    @projestusbernad3813 4 года назад +2

    Nimashaka wakati unaona watu wanafatilia nyuma kwanini haukumwambia naye akajiwekatayari aidha kuitaji msaada wa rafiki au majirani kuwa tunafutiliwa nyuma kitakachotokea mjue kuna watu.
    Sababu ya kuwa watu wawili nini sasa kama boss wako hautaki kuongea naye pale penye mashaka.

  • @dawillygene
    @dawillygene 5 лет назад +5

    Mmmmm, acha nipite nisije kukufuru bure , huyu dereva na maongezi ya Lisu yanapishana ni bora hata asingeongea maana wanapozidi kujichanganya mnapoteza hata maana .

    • @abdulkareemseif667
      @abdulkareemseif667 5 лет назад

      babyee Da love hawana utofauti wowote ila siasa tu ndo zinazowatoa roho kwa iyo ht mukiambiwa mutasema uongo

    • @NeemaMedia
      @NeemaMedia 5 лет назад +1

      @@abdulkareemseif667 yes ni kweli

    • @princessfettyrashidi2409
      @princessfettyrashidi2409 4 года назад +1

      Maelezo yao yapo sawa kabisa ila wewe ndio chenga

  • @jumaally4215
    @jumaally4215 3 года назад

    La pole mwenye ,zmungu akulinde zaid

  • @nujakaambari5599
    @nujakaambari5599 5 лет назад +14

    Bosi wako ktk ziara zake katamka ya kuwa kuna gari zilikuwa zinawafuata tangu mlipotoka bungeni.
    Na amedhihilisha kuwa mlikuwa kwenye hali ya tahadhali.
    Wewe unasema ya kuwa mlipotoka bungeni mlikuwa mnafuatiliwa na magari mawili,ukapunguza mwendo,baadae ukaongeza mwendo,na kipindi unafanya hivyo hukumwambia boss wako.
    Hapo ni kauli mbili tata.
    Kwa maoni yangu
    Dereva aliamua kuto kumweleza boss wake ili apate fulsa ya kumseti ilii washambulizi watimize lengo lao.
    Dereva anajua kila kitu
    Umekwisha broo

    • @nuranzubail1240
      @nuranzubail1240 5 лет назад +1

      Hujui kusikiliza vizuri . Au unasikiliza kwa upendeleo bias listening unachagua ya kusikiliza au unapenda kusikiliza unayoyataka . Walipofika nyumbani pale lissu alitaka kushuka kwenye gari lakin alimwambia usishuke kwanza kuna hayo magari yametufatilia toka tuko bungeni. Mwanzo hakumwambia wakati wanaenda lakin walipofika alimkataza kushuka walikaaa km dk 10 hizi ndo alimwambia so Lissu nae akajua kumbe walifuatiliwa tangu bungeni .

    • @gregoryntibani6640
      @gregoryntibani6640 3 месяца назад

      Maelezo yanautata

  • @yagwishaheke6930
    @yagwishaheke6930 5 лет назад +25

    Kwa mtu mwenye akili timamu ukisikiliza tu maelezo ya dreva inatosha kuonyesha kuwa dreva alijua shambulizi 100% believe me

    • @NeemaMedia
      @NeemaMedia 5 лет назад

      Mimi nadhani yeye aliwaona na aliwajuwa ila anashindwa kutaja hadharani ni vyema vyombo vya usalama kukaa nae na kuongea nae vizuri

    • @franceobed7463
      @franceobed7463 5 лет назад

      Uyu jamaa maelezo yake duh nina was2

    • @maselejacob8370
      @maselejacob8370 5 лет назад +1

      Dereva alinunuliwa huyo

    • @YudaMatesie80
      @YudaMatesie80 5 лет назад +1

      Alijua na ndo maana Lisu alipona

    • @frankjohn8570
      @frankjohn8570 4 года назад +1

      Wote walijua kuwa wanafuatiliwa hata kuna wkt Lissu aliomba ulonzi je wote wanapaswa kutiwa hatiani kutokana na tukio hilo? Na kama risasi zilipigwa kutokea nje ya gari je alishuka mtu katiyao kupiga risasi? Na vipi risasi zisichunguzwe kujua in bunduki gani inamilikiwa na nani.....

  • @MeckIsaac
    @MeckIsaac 5 месяцев назад

    Jamaa yangu mungu akuongezee siku za kuishi pamoja na familia yako

  • @mohammedrashid7735
    @mohammedrashid7735 5 лет назад +4

    nyinyi mnayetaka dereva arudi ahojiwe na polisi, kwa nin kwanza msiwaulize hao polisi cctv camera zimeenda wapi? ukiangalia nature ya tukio lazma mtu ukimbie

    • @sememakolo9360
      @sememakolo9360 4 года назад +1

      Unauhakika zilikuwwpo au unakalilishwa

    • @pundatr8103
      @pundatr8103 Год назад

      Kwann halud ? Mbona chba kalud

  • @elishangomele9937
    @elishangomele9937 4 года назад +5

    Shida ipo kwenye kuumia mguu wa kulia alihari umekaa upande wa kushoto ya mungu mengi

  • @cypmkutubi3109
    @cypmkutubi3109 5 лет назад +14

    Huyu dereva, nimeyasikiliza maelezo yake kwa umakini sana ... kuna haja kubwa sana ya kuhojiwa na Idara ya Upelelezi ya Jeshi la Polisi. Jeshi letu la Polisi halina utaratibu wa kwenda kuwahoji washukiwa nje ya nchi, wewe kama Mtanzania ulitakiwa kuhitikia wito wa Jeshi la Polisi kuja kuhojiwa Tanzania. Ulikaidi, na hata sasa hutaki kurudi Tanzania.
    Mwenye akili za kupembua anaona kabisa kuna siri nzito zimefichwa! Wahusika wanazidi kujificha kwa kuelekeza lawama serikalini ili wasifikiriwe! Njoo uhojiwe!!
    Kikulacho kinguoni mwako, ipo siku MUNGU Mwenyezi atawafunulia Wana-CHADEMA. Jiulizeni ... kwanini kila anaeinuka kuwania Uwenyekiti wa CHADEMA lazima ashambuliwe au kufa kabisa, au kunyang'anywa uwanachama kabisa?! Huyu Top kwanini yeye haya hayamkuti?? !!! CHADEMA fikirieni mara nyingine tena! Mzua pembe ndo mzika pembe!!

    • @fredymachumu1631
      @fredymachumu1631 5 лет назад +1

      Kweli kabisa mbowe ndo anaewamalizaa

    • @japhetyanania8589
      @japhetyanania8589 4 года назад

      Inakuhitaji uwe na uwezo mdogo sana wa akili kuamini upuuzi na propaganda za ccccm

    • @juliethhouseofdesigns147
      @juliethhouseofdesigns147 4 года назад +2

      Ukweli ni kwamba Kipindi Lisu anapigwa Risasi alikuwa anapiga Kauli ya Rais kutaka kupima mchanga ambao walipopima mara ya kwanza alisema nchi ya Tz itashitakiwa alipoona majibu ya pili yametoka na wenye migodi wanahitaji mapatano na kulipa ndio tunaona kapigwa Risasi hivyo alijua kabisa watu wote watajua ni Serikali imempiga ila
      Serikali impige wakati walichokuwa wanapigania wamekipata ?
      Kuna mtu alitumia hii fursa akampiga mwenzie ili macho yawe kwa Raisi ila ameishashindwa icho kitendo kitamtafuna mpaka atakili alikifanya

    • @jamalfauz4264
      @jamalfauz4264 4 года назад +2

      Suba na Julieth hapa mmenena kabisaaa.. tatizo watanzania hatutaki kufikiri hivyo tunafuata tu upepo.

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 6 лет назад +15

    Unayoongea yote umepangwa uongee hayo unayoongea lakin sisi tunayo mambo unayopaswa kuongea. Kwanini ulitoroka baada ya tukio?

    • @yahyambega2937
      @yahyambega2937 5 лет назад +3

      Imma Mlowe nawe unajuwa kama kafundichwa urikuwepo kwenye kumfundisha au uritaka asemeje?

    • @kambangwachanneltv8166
      @kambangwachanneltv8166 5 лет назад +2

      Imma wewe ni zaidi ya chizi

    • @NeemaMedia
      @NeemaMedia 5 лет назад +1

      Watu jamani ebu tuelize vile alitakiwa kuongea

    • @kindolek9257
      @kindolek9257 5 лет назад +4

      Yes shahd wa kwanza huyu hapa haiewezekan risas zmepigwa kushoto lkn majeraha ya Lisu yapo kulia

    • @enockjoseph9001
      @enockjoseph9001 4 года назад

      Kwani dereva anayetorokaga car ni huyu2 au mlimtaka na yy afe

  • @evansmlalo4049
    @evansmlalo4049 4 года назад +1

    POLISI WA TANZANIA NENDENI SHULE MKAJIFUNZE UPELELEZI. KAZI YENU ILIKUWA TAYARI IMEKWISHA KAMA MSINGEIBA MASHINE ZA CCTV. MUMETUMA WATU WAFUNGUE MASHINE ZA CCTV MKIJUA USHAHIDI UMEPOTEA. JESHI LA POLISI NI JESHI LA KIHUNI LINALOFANYA KAZI CHINI YA CCM.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 года назад

    Si kweli.

  • @prospermbatha5976
    @prospermbatha5976 4 года назад +2

    Honestly speaking These something somewhere Hardin, how come a drive who drives such a Big person like Mr Lisu, Umehona Gari zimekufata Na umekaha kimia Bila kumuhusisha boss wako? Second je Ahukufanya advance driving?

  • @rashadallamki8862
    @rashadallamki8862 4 года назад +1

    Adam Asante kwa
    wako ukweli na Mungu atakuhifadhini wewe na Muhishimiwa Ameen

    • @lulurubby2235
      @lulurubby2235 Год назад

      Ukweli aupeleke police kesi ianze waache mambo ya kihuni huyu ni shahidi number moja

    • @pundatr8103
      @pundatr8103 Год назад

      Adam aje tz mbona lisu kalud ajeahojiwe napols muuaj skatangulia

    • @lulurubby2235
      @lulurubby2235 Год назад

      @@pundatr8103 lissu si victim aende akafungue mashtaka alafu aje na huyo Adam atoe ushahidi lissu mwenyewe hata hana uhakika kwa sasa nani alimfanyia tukio

  • @V24hrs
    @V24hrs 5 лет назад +10

    Maswali ya muhimu hawaulizi..Mfano...
    (1)We dereva ,Ni kwanini Hujawahi kuripoti kituo chochote cha Polisi baada ya kupata Matatizo makubwa kama hayo ya mashambulizi..na..Ni kwa nini Hujawahi kuitikia wito wa Polisi mara tu baada ya kusikia unatafutwa na Polisi.
    (2)Je.!,Wakati washambulizi wameanza kuwashambulia ..wewe ulikua ndani ya gari na gari iliokua nyuma yenu mlishaitilia shaka..ni kwanini hujaondoa Gari mara tu baada ya kuanza kushambuliwa au baada ya kuona gari ya wahalifu inakuja upande wenu.??
    (3)Ni kwanini hukumjulisha Boss wako kuwa mnafuatiliwa mara tu ulipogundua mnafuatiliwa..?Tangu umeanza kufuatiliwa mpaka mnashambuliwa wewe hujachukua hatua yeyote ya maana kunusuru Maisha ya Boss wako maana inashangaza kwamba umeshindwa hata kukimbia wakati maadui mnaangaliana tu zaidi ya dk10 nzima..???
    ◇◇Ahsante..◇◇
    ●Naomba ifahamike kuwa ..maswali hayo nimeuliza kwa nia njema na sio lengo langu kumkera mtu yeyote.

    • @fulgancenjau4735
      @fulgancenjau4735 5 лет назад

      Maswali ya kijinga kabisa hayo ww ungeuliza kwa nn like gari lilipota gatini bila ya kukaguliwa pili kwann walizitoa 📷 zilizoona tukio maswali yako yangepata majibu

    • @abdallahsaidkipalo1381
      @abdallahsaidkipalo1381 4 года назад +1

      Mimi mwenye akili ya kutafakari jambo kwa kina kiukweli nimeishapata majibu siku nyiiingi Sana..bado nasisitiza Serikali kama Serikali na kwa ilivyopewa nguvu na Mungu mwenyewe..kiukweli haiwezi kufanya mchezo wa kitoto namna hiyo...kwani marehemu Tomboya wa Kenya alipigwa pale Anatoka Dukani Risasi ngapi?..Waziri wa mambo ya nje wa Kenya Bwana Robert Ouko ilikuaje?..Jenerali wa jeshi la Rwanda aliuwawa South Africa kivipi..?Rais wa Misri Bwana Gammal-Abdul-Nassa..alipigwa Risasi ngapi?na wengineo wengi..hii nimewaonyesha ni jinsi gani Serikali haiwezi kufanya ujinga huo...hivyo huyo Tundu Lisu ...na akina Mbowe na Chadema yao ni wao wenyewe tu ndio wanaujua ukweli...hivyo vijana mnaaminishwa uongo tu.mimi mtu mzima sidanganyiki kabisa.

    • @hassanmfaume4522
      @hassanmfaume4522 4 года назад

      Unataka abakie wamuue tumia akili kufikiri

    • @V24hrs
      @V24hrs 4 года назад +1

      @@hassanmfaume4522 wewe ndugu yangu unajibu maswali kama unagombana..mi nimeuliza swali ya kiuchunguz..tujifunze kujadili mambo kwa busara..angalia mijadala ya wenzetu marekan..

    • @msafirimolimoli3667
      @msafirimolimoli3667 4 года назад +2

      mbona namba za gari hazitajwi?

  • @andrewemilly2890
    @andrewemilly2890 5 лет назад +14

    Ulitakiwa na police kwa nn umegoma kuja

  • @cosmasthobias896
    @cosmasthobias896 5 лет назад +8

    Mbona bunduki zimeelekea upande wa kushoto wa gari na tundulisu kaumia upande wa kulia?

    • @jamesminja3273
      @jamesminja3273 5 лет назад

      wewe ni mpumbavu akili yako haifanyi kazi!!! unakosa akili ya hata ya kujiongeza!!!! wewe mtu amemvutia upande wa dereva na amegeuka unadhani ni mguu gani utaathirika uwe na akili ya kujiongeza bwegeeee weweeeeeee!

    • @myself4128
      @myself4128 5 лет назад

      Kapime akili

    • @myself4128
      @myself4128 5 лет назад

      Sijawahi ona mpumbavu humu you tube zaidi yako,

    • @fredymachumu1631
      @fredymachumu1631 5 лет назад +1

      @@jamesminja3273 kwann dereva hakupigwa risasi na washambuliaji walishambulia upande wake yy dereva

  • @rebecashumbi3450
    @rebecashumbi3450 Год назад

    Pole pole ila YESU anaokoa Yesu aliwaokoa wewe na bosi wako mpeni Yesu maisha yenu mmeongezewa siku

  • @gabrielzakaria2810
    @gabrielzakaria2810 Год назад +1

    Ww bro me kuna kitu unanitisha mbona lisu anasema ulimwambia mapema kuwa kuna watu wanawafatilia? Na lisu anasema kuwa ww ilipopigwa risasi ya kwanz ww ndo ulimwinamisha gafla?! Ww umesema had unafika area D lisu alikuwa hajui kitu ? Lkn lisu anasema ulimwambia mapema

  • @hilalalhabsi2047
    @hilalalhabsi2047 4 года назад +6

    YAANI KAMA UNGEMUACHIA ASHUKE ANGEPIGWA ZA KICHWA DOH! UMEMSEVU KUMUAMBIA ASISHUKE

    • @danielmarunda153
      @danielmarunda153 4 года назад

      Hilal Alhabsi Ungepata faida gani Kama angepigwa za kichwa? Acha ujinga wewe unashabikia upumbavu

  • @jenniferkayoza9618
    @jenniferkayoza9618 4 года назад +4

    inauma sana,damu hi ikawe laana kwa wamwagaji wote

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 Месяц назад

    Njoo ukajibu mashitaka na Lissu wako ili ukweli ujulikane.Swala kubwa lissu hataki ukweli ujulikane kwa sababu anatumia risasi kama sera kupata ubunge😢

  • @rashidbusanya7166
    @rashidbusanya7166 5 лет назад +6

    Siasa nimchezo mchafu sana mtajuana wenyewe huko siasa nikama ugonjwa

  • @wilsonchallange4420
    @wilsonchallange4420 5 лет назад +6

    Hao watu walikuwa pembeni yenu kwa zaidi ya dakika SITA-6..
    MLIKUWA MNASUBIRI FILAMU IANZE.!

  • @saimonkimitho8536
    @saimonkimitho8536 4 года назад +17

    Ila kuna ukweli unafichwa mbona ww haukupata madhara yeyote?

    • @ednamanji
      @ednamanji 4 года назад +1

      Swali Kubwa ni hili . Mguu ambao Tundu Lissu alijeruhiwa kwa risasi ni mguu wa Kuria upande wa Dereva . Je inakuwaje Lissu Aumizwe sana upande wake na Dereva halafu Dereva mwenyewe asipate hata mchubuo wowote kwenye mwili wake?

    • @bnbhurbert6969
      @bnbhurbert6969 3 месяца назад

      Amesema alichunika na vioo

  • @jacksonjoakim4115
    @jacksonjoakim4115 5 лет назад +4

    uuni mpango wa risu mwenyewe kwanini haukupiga sm police umeona unafatatiliwa haukupiga sm

    • @danielichuwa3747
      @danielichuwa3747 5 лет назад +1

      Jackson Joakim wakati mwengine unapo toa maoni yako tambua kwanza unacho taka kuongea ama kusema

    • @roseesospeter1792
      @roseesospeter1792 4 года назад +1

      @@danielichuwa3747 kwani kakosea Nini ndyo alipaswa kupiga c

    • @hilalalhabsi2047
      @hilalalhabsi2047 4 года назад

      @@roseesospeter1792 kasema kajipiga mwenyewe au umesoma ya sm tuu🤔

    • @emmashayo8774
      @emmashayo8774 4 года назад

      Mungu anakuona

  • @malindimalindimerinyo1632
    @malindimalindimerinyo1632 Год назад

    Huyu ni mwislam Lissu ni mkristo angalia walivyokuwa wakiishi vizuri tunatakiwa tuwe hivo kulikoni shetani aliyepanga mauaji naye Mungu akawanusuru wote wawili Mungu ni mkubwa

  • @frankanold9803
    @frankanold9803 3 года назад +1

    NAKUSHUKURU SANA MUNGU TUNDULISSU AMEPONA.HATIMAYE ALIYETAKA UFE AMEKUFA YEYE NA WEWE NDIYE ULIYEIAMBIA DUNIA KUHUSU UGONJWA WAKE

  • @joelcassian2388
    @joelcassian2388 4 года назад +3

    Gari imetobolewa mala 32 lisu risasi 16 wewe ujaguswa hata kidogo ww ni zaidi ya malaika .....pili risas zmepigwa upande wako wa kushoto lisu amepigwa mguu wa kulia hizo zilizompiga lisu kulia zilitoka wapi na ww ulikua kulia hukuguswa kabisa tatu Kama risas zilipigwa kiholela ilikuwaje zilenge mguu tu ...kk tunaomba uhojiwe ilitupate majibu yaliyonyooka

  • @humaidalnaamani4183
    @humaidalnaamani4183 4 года назад +5

    Daah gari ulikuwa nyuma ya gari yao kisha wanapigwa na risasi tokea nyuma ya gari inampiga mshambuliwa kwenye paja hii kali

    • @alexvenas2699
      @alexvenas2699 5 месяцев назад +1

      Haujasikiliza maelezo vzri ndugu,gari ilirudi reverse na kwa Kasi ilipofika usawa wa gari lao wakashambuliwa risasi.

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 месяца назад

      ​@@alexvenas2699watu wengine wanasikiliza lakini wanajitia ukiziwi kwa kutaka kujifanya wanajua zaidi wakati huyu alifungua mlango akalala chini nje ndio pona yake .Na wauaji nadhani walifokas kumlenga Lisu pia walikua waoga hata wao hawakujiamini walipokuwa wanatenda lile tukio

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 месяца назад

      Tukumbuke hata Sativa alilengwa hapa na hapa lakini Mungu alimuokoa maana walengaji pia wanakiwewe cha dhambi mpaka hawakutimiza dhulma zao

  • @AllyIyimo
    @AllyIyimo 3 месяца назад

    Huyu Adam ni mwongo amekaririshwa maneno ya kuongea na tundu kwanini tundu karudi ye hataki kurudi? Inafikirisha sana

  • @yassiniferuzi2867
    @yassiniferuzi2867 4 года назад +5

    Wewe linda tu Nyumba huyo bosi wako atarudi tu kwani Urais hawezi kupata nani atampa kuwadi wa Mabeberu na Ushoga akapige pasi tu

  • @sundaynurdin2864
    @sundaynurdin2864 Год назад

    Ungekuwa ni ww umedhuriwa familia Yako Leo ingekuwa na Hali gani kweli nimeona wew ni Moja ya watu muhimu kwenye hili tukio wewe unamwambia mwisho ungemshirikisha mapema angeweza kukushauri either msifike home au vinginevyo

  • @claudiajames2003
    @claudiajames2003 5 лет назад +1

    Kudadadeki dereva unavyosimulia utafikiri we ndio ulikuwa mbunge, kwanza angalia ulivyonenepa na kupendeza huko ubelgiji dizain km huna hata wasiwasi na hilo tukio

    • @infomkuruzo8165
      @infomkuruzo8165 5 лет назад

      Dereva anasiri nyingi kwanza kwanini hukumwambua Lisu kua mnafatiliwa kwa mara ya kwanza, pili kwanini haukupeleka gari police pindi ulipo jua mnafatiliwa, tatu kwanini ulipo ona gari inasogea na kugeuzwa na washambuliaji wanashuka kwanini usiondoe gari eneo la Tukio kabla ya shambulizi/?

  • @robertnsambila7354
    @robertnsambila7354 4 года назад +3

    Mungu mwema na ndio mana kawanusuru hamkuwa na hatia tunawaombea sana

  • @davidkatunge2835
    @davidkatunge2835 5 лет назад +7

    Sura na jina huyu ni gaidi anajua kila kitu msikilizeni tu maelezo yako yakaonyesha alikuwa na taarifa nzima ya kilichojiri. Kama alihisi kitu kea Nini asimweleze boss wake ili naye ashauri kitu Cha kufanya

    • @bahatikashinje5557
      @bahatikashinje5557 5 лет назад

      Vip huyu deleva Angekua baba ungeandika huu ujinga umeuandika hapa??

    • @charlowmathew9762
      @charlowmathew9762 5 лет назад

      Nafikiri mama yako alirepiwa ndio ukazaliwa mbwa wewe:::: gaidi ni awara alikuzaa

  • @hassansamata5995
    @hassansamata5995 4 года назад +4

    Mbona gari imeshambuliwa kushoto mguu wakulia ndio unavyuma..dereva ulikua upande gani

    • @neemajohn754
      @neemajohn754 4 года назад

      Kwahiyo we unaona ni mazingaumbwe au?kwenye hatari hasa risasi inaweza kulenga popote hasa mtu anapojigeuzageuza kwa kukwepa au kuugulia majeraha .kwani mguu wa kulia si sehemu ya mwili?au Lisu ni gogo na huwa hajigusi hata kwenye hatari?comment yako haina mashiko. Au kusema hivyo yaweza ashiria ulikuwa na washambuliaji na mnajua risasi mlikoelekeza na pengine hamkupanga kulenga mguu wa kulia..Kasaidie polis na wewe

    • @midumbiojijo8126
      @midumbiojijo8126 4 года назад

      Ww acha ushamba magar za serikali V8 zinakua na Sterling Kushoto
      Ili kuwezesha kutembea nchi yoyote

    • @JEMBEKALI
      @JEMBEKALI 4 года назад

      @@midumbiojijo8126 umesikiliza vizuri maelezo ya dereva? Anasema alikuwa upande wa kulia wa Lisu. Ona gari lilivyo shambuliwa - Risasi kutoka kushoto zilipiga kona? Mbowe alisema ni bunduki ya SMG ilitumika - sikiliza video yake mara tu baada ya tukio, na sijui alijuaje!!

    • @JEMBEKALI
      @JEMBEKALI 4 года назад

      @@neemajohn754 Mbowe alisema ni bunduki ya SMG ilitumika - sikiliza video yake mara tu baada ya tukio, na sijui alijuaje!! Risasi hazipindi kona - research ukweli

  • @suzymwageni7228
    @suzymwageni7228 4 года назад

    Mungu anawaona wtz mnaye amini dereva alihusika lakini amini nawaambieni lisu ni mtu ambaye Mungu amempa Karama ya kuongoza watu yote hiyo mlitaka afe Mungu kuzuia kajiinua mumjue mungu hakika naamini kwa kilicho tokea kwa tundu lisu Mungu atatufundisha na hatuta amini lakini tutaelewa kuwa Mungu alisimama kwa ajiri ya taifa la Tanzania sio kila magumu tunasema shetani amejiinua mungu anaruhusu tujifunze watanzania yatakapo timia lisu atakumbukwa na watanzania wote asante .

    • @pundatr8103
      @pundatr8103 Год назад

      Huyo chiba mpiga dili jibo lilimshinda amuongoze nan

  • @RaheemaOm-d5e
    @RaheemaOm-d5e 19 дней назад

    Bigappu sana kijana Mungu atakuripa

  • @alihijiiddi8977
    @alihijiiddi8977 3 года назад

    HUYU NI RAISI HERO TUNDULISU KWA KIAKILI WA UKWELI KWA MWENYE AKILI 💪💪💪💪🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🌎❤️WA TANGANYIKA NA TANZANIA SIYO MAKUFULI WALA SAMIYA SULUHU MWANAMKE KUWA KIONGOZI WA KUONGOZA WANAUME MMEONAWAPI HAYO SIYASA ZA KIKAFIRI FREE MASON WA TZ CCM AU MCC MADIKTETA WA TANZANIA 👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇🇹🇿👹🇮🇱😇

  • @gregoryntibani6640
    @gregoryntibani6640 3 месяца назад

    Dereva unasoma mazingira dhidi ya serikali. Katikati ya mji anaona magari yanakufuata. V8 ikapaki, Nissani ikawa nanyi. Gari ikarudi reverse kwa Kasi na kuanza kusikia risasi na kusikia milio ya Boss. Risasi zikitoka nikalaza kiti. Huyu dereva ana Kasi zaidi ya risasi. Moyo wa dereva haukushtuka kwani alikuwa anajua anafuatiliwa. Risasi zilipigwa umbali wa hatua nne, lazima ushtuke. Huyu ndiye dereva wa Lissu.

  • @kaniogachief6151
    @kaniogachief6151 5 лет назад +14

    Police lisu alijipiga mwenyee nyie fanyeni kazi zingine upuuzi hatutaki Sisi wasitufanye wajinga hao

    • @simonetz7036
      @simonetz7036 5 лет назад

      nadhani mbugila lilianzia kwenu

    • @simonetz7036
      @simonetz7036 5 лет назад

      nadhani mbugila lilianzia kwenu

    • @rahmaoman5122
      @rahmaoman5122 4 года назад +1

      Nikwer kabisa hatamie hua ninamashaka makubwa sana juu ya lisu kupigwa lisasi kwa hivi wangekua ni jambazi kabisa kwann walishindwa kushot la kwenye moyo? Mie nahisi ni njama zake tu ili ajizolee umalufu😏😏😏🤣🤣

    • @princessfettyrashidi2409
      @princessfettyrashidi2409 4 года назад

      Memory yako nahisi haifanction very well

    • @tiktoktdmdynamo3100
      @tiktoktdmdynamo3100 4 года назад +2

      @@rahmaoman5122 kwa haya mawazo yako tanzania tuna safari ndefu

  • @sitisuleiman7889
    @sitisuleiman7889 5 лет назад +4

    Dah huyu dereva kaonesha uzembe kabisa angeona wanavofuatiliwa angetoa taarifa polisi au wangerudi bungeni 🤔

    • @ukhtyalpha1344
      @ukhtyalpha1344 5 лет назад

      Polisi wa wapi hao wenu wanaibeba ccm khhaa usichafuwe hali ya hewa hapa

  • @johanesjohn8471
    @johanesjohn8471 4 года назад +6

    Mission impossible....Mungu mwema

    • @immailecx5355
      @immailecx5355 2 года назад

      Dereva. Ausik .kwaniangeshindwa kumalZ. WEWENIMTUMUNGU NAMUNGUAKULIND UWENAMOYO UWO UW

  • @MeryLyatuu-to9ks
    @MeryLyatuu-to9ks 3 месяца назад

    Mungu. Ndiye mueza ya yote nakumbuka lisu alisema kabisa kwenye vyombo vya habari anafaatiliwa mjitahidi sana kuangalia taarifa kesho yake ndio akapigwa risasi

  • @MwangaSA
    @MwangaSA 23 дня назад

    Tuhuma walizolishwa machawa dereva ndiye aliyempiga TAL risasi yale yale ya Wauaji wa Yesu hakufufuka ila aliibiwà na Wanàfunzi

  • @eddynyaki5539
    @eddynyaki5539 4 года назад +4

    Hapa kuna kitu ambacho kinafichwa kwanini utoroke baada ya tukio? Je huko uliko ndiyo watakusaidia? Acheni kutumwa kuichafua nchi kwa maslahi yenu Mungu atawaumbua siku moja Tanzania inasonga na itaendelea kusonga Mungu ibariki Tanzania

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 3 года назад

    Wewe dereva umehusika Na hela umepewa.Lissu Kaja Tz Na hakuipeleka kesi hii mahakamani.Kwanini mwenye kesi mwenyewe hajachukua hatua hadi leo.Matokeo anabwata bwata tu

  • @kimakimo3990
    @kimakimo3990 5 лет назад +5

    Ilikuweje Lissu apigwe risasi mguu wa kulia na unasema alikaa upande wa kushoto kwako. Ina maana risasi zilitokea upande wako wa dereva na ww hukudhuruka hata kidogo. Halafu ni smg bunduki ya kivita hapo kuna utata mkubwa sana.

    • @jamesminja3273
      @jamesminja3273 5 лет назад

      wewe ni msenge sana!!!! wewe mtu akivutiwa upande wa dereva anajeukaje,na akijeuka unadhani ni mguu gani utaathirika mpumbavu wewe!!!! huna akili ata ya kujiongeza!!! uwe na akili ya kujiongezaaaaaa

    • @fredymachumu1631
      @fredymachumu1631 5 лет назад

      @@jamesminja3273 ww ndo msenge kafirwe dereva anajua kila kitu uyu mbowe ndo anaewamaliza na atawamalizaa

    • @macariusturuka453
      @macariusturuka453 5 лет назад

      Yawezekana Mh. Lisu alijigeuza akalala kifudifudi

  • @anastanziaamasiamosi2271
    @anastanziaamasiamosi2271 5 лет назад +4

    Huyu Dereva hajahojiwa juu ya kwanini boss wake kaumizwa zaidi mguu wa kulia kuliko uwande wa wa kushoto wa mguu ambapo alikaa abiria

  • @jumannemzungu1445
    @jumannemzungu1445 5 лет назад +19

    Mmmhhhh mie kibinaadamu inasikitisha, je siku zote hizo uliikuwa wapi ,na je DW ndiyo jeshi na ulinzi kwenu, mmmhhhh

    • @fidelmbai3642
      @fidelmbai3642 4 года назад

      Mambo haya yanapendeza uyasikie na siyo yakutokee

    • @suleimankemba173
      @suleimankemba173 4 года назад +1

      Naomba mungu na ww yakutokee siku1 ili uhoji ujinga wako.

    • @bennymochiwa4800
      @bennymochiwa4800 4 года назад

      yani wewe ndio walewale mazombi ya ccm

    • @joyceshile6322
      @joyceshile6322 4 года назад

      Ameijia KURA ZA URAIS, HALAFU ARUDI KWA WADHUUUNGU WAKE 🏃🏃🏃

  • @AnneNdabila-uv2qh
    @AnneNdabila-uv2qh 10 месяцев назад +6

    Asante kwa kuokoa maisha ya lissu Mungu atakulipa

  • @saidchaula1947
    @saidchaula1947 3 месяца назад +1

    Dreva wa lissu sio shaidi wa serikali hawa wanamtaka ili kumwuwa kupoteza ushahidi awana jambo jingine

  • @immamlowe7151
    @immamlowe7151 6 лет назад +6

    Sasa kama gari unazifaham leo ni zaid ya mwaka tangu tukio limetokea Tuma tafuta waliomficha kwanini hujaenda polisi nawewe ni mwanasheria?.je, mbona uliombwa uende polisi hakwenda badala yake ukapotea leo tunabiwa na Lisu uko uberigiji, ulienda Jersey huko na kufanya nini?

    • @simonetz7036
      @simonetz7036 5 лет назад

      guys acheni utoto unadhani huyu jamaa yuko salama kiivo sio!!!! MASKINI WATANZANIA TUNAOKABILIWA NA WASIOJULIKANA. LKN WASIOJULIKANA WANA PAMBANA NA WATU WASIO NA MAFUNZO WALA SILAHA SABABU ZENYEWE HAZINA MASHIKO

    • @christophermafuru7152
      @christophermafuru7152 Год назад

      Wewe pumbavu sana, ulitaka aende polisi wakati walinzi waliokuwa eneo la tukio walikuwa ni polisi na waliondolewa tafakari.

  • @AthanasMsangule
    @AthanasMsangule 3 месяца назад

    Askari wa Tz, wanaweza kuua hadi watu 3 kwa risasi moja tu. Inakuwaje lisu apigwe risasi 16 na bado asiuawe? Huyu alipigwa na watu waliopangwa au washamba kabisa wa matumizi ya silaha. Tusidanganyane huo ni mpango wa kutafuta kura za huruma tu.

  • @stephentossi2626
    @stephentossi2626 Год назад

    Hawa watu mlianza kuwatilia mashaka umbali mrefu hivyo hadi wasiwasi uliendelea hadi nyumbani ulikuwa na sababu gani kuendelea unashangaa wakati ulishaona hakuna walinzi. Pili wakati mashambulizi hayo yanaendelea kwanini hukuomba msaada kwa majirani. Naomba Watanzania tuwe makini

  • @arunamwaholi1351
    @arunamwaholi1351 5 лет назад +3

    Hapa kira mtu atachangia anachojuwa yy cha msingi dereva usirudi huku mpaka mlud wote cku ikifika ya kulud

    • @charlesnoafekwalipibayaali2662
      @charlesnoafekwalipibayaali2662 4 года назад

      Aruna bado upo hai moshi au umekufa au mzima? Kama mzima powa dereva wako yupo wapi? Tulijuwa uliwaza nini? hapo longolongo tu ila kwa sababu kama unapenda ushoga utabisha tu

  • @stephensikazwe7805
    @stephensikazwe7805 5 лет назад +2

    Driver yuko sawa na hakuna alichokifanya, angekuwa anausika angemuacha ashuke kwenye gari pekeake ili apigwe lisasi, lakini alimkataza boss wake asishuke

  • @mashindanolivinus
    @mashindanolivinus Год назад +2

    1. Tumeanza kufuatiliwa toka tunatoka bungeni.. kila tukipiga kona magari mawili yanatufuatilia, ila sikumuambia bosi.
    2. Tunaingia getini gari moja inaingia na sisi na kupaki nyuma yetu, namuambia bosi asishuke ila kwa dakika zaidi ya kumi hata hatupigi simu kuomba msaada kwa kuhisi hatari.
    3. Gari inageuzwa kuelekea ilipoingilia (getini) anashuka mtu wanaongea tena kwa dakika kadhaa kisha gari inarudishwa rivasi na kupaki nyuma ya gari yetu.
    4. Zinapigwa risasi upande wa abiria (bosi) inamaana kushoto kwake lakini anajeruhiwa mguu wa kulia.
    5. Anasema hakupaniki kabisa aliposikia mlio wa bunduki maana ni muda walishajua wanafuatiliwa. (MLIO WA SMG!!!??)
    Mungu endelea kutulinda sisi na nchi yetu!!!

  • @glorychristopher7283
    @glorychristopher7283 Год назад +1

    We love you dear

  • @hamisrajabu4181
    @hamisrajabu4181 5 лет назад +6

    Mwenzako kapigwa risasi zaidi ya ishirini wawe hata kovu hebu rudi utueleze kulikoni?

    • @simonetz7036
      @simonetz7036 5 лет назад

      watanzania mnajua hayohayo

    • @simonetz7036
      @simonetz7036 5 лет назад

      ikiwa hujakutwa na tukio unaongea hata matapishi utaongea

  • @omaniallybakari2372
    @omaniallybakari2372 5 лет назад +6

    Hahaha ety kumbe amevunjika kila kitu, ningepata nafas ya kukuliza maswali nahisi ungeishia kulia tu usnge jibu hata moja ila any way hapo mnapiga story wala hujaulizwa maswali.

    • @simonetz7036
      @simonetz7036 5 лет назад +1

      kwani we nani

    • @simonetz7036
      @simonetz7036 5 лет назад +1

      unadhani kuna swali ambalo halizaulizwa duniani??? kwamba wewe genius sana sio??? mfyuuuuu acha dharau wewe mpuuzi

    • @omaniallybakari2372
      @omaniallybakari2372 5 лет назад +1

      Ujinga na ujinga huzaa upumbavu ila ujinga na uelewa humtesa mpumbavu

  • @stevenmsaaada.msaada.389
    @stevenmsaaada.msaada.389 4 года назад +11

    Yaan ulipiga mlango ukatoka. Afu nani akaufunga? Maana umesema uliufungua tena ukakuta bos wako ameumizwa baada ya tukio. Huon kama unadanganya waziwaz?

    • @emmapaul1766
      @emmapaul1766 4 года назад +1

      Wewe ni mpumbavu polis nani aliwatoa au unajisahaulisha serikali kama hawajampiga wao waseme polisi ambao huwa wanalinda masaa 24 siku zote walitolewa na nani

    • @joyceshile6322
      @joyceshile6322 4 года назад +1

      HAHAAAAAA! ANAFIKIRIA WOTE TULIZIMIA SIKU HIYO, KUMBE ALIZIMIA BOSS WAKE KIMAWAZO? TUNAWACHEKIIII TU😳( steven), SWALI LAKO ni Babu KUBWAAAAA. HUYU DEREVAAA WA LISU HUYUUUU🤣🤣🤣🤐🤐🤐🤐🤐

    • @muhdsseif5785
      @muhdsseif5785 4 года назад +1

      Eee ndugu hakuna asiejua risasi zile ilikuwa mkono wa serikali. Sasa unapojaribu kusema dereva ni mjinga, unazidi kumpaka mavi Magufuli. Maana masaa mawili kabla ya risasi alitoa tishio la kumuua Lissu. Na hiyo hutuba imo youtube hadi leo

    • @timboxlee919
      @timboxlee919 4 года назад +1

      Acheni usanii wewe dereva na huyo tindulisu wako,kama risasi ni wewe ndie ulie mpiga huyo bwana wako,,tena kwa kuona mtaumbuka mkambilia huko ubeligiji,

    • @bableeyzabdalla531
      @bableeyzabdalla531 4 года назад

      @@muhdsseif5785 mwenyezi mungu alimuonesha magufuli uwezo wake WA kiungu ili ajitambue kibri chake hakiseidii kitu hao wanaosema sijui dereva sijui nani wote wanajuwa mpango WA kumuuwa lissu ni amri ya magufuli na mpangaji mkuu ni makonda alikueko Dodoma kisiri waliompiga risasi ni walinzi WA Rais na usalama WA taifa simu ya makonda mawasiliano walivokuwa wakipanga yako alipoekewa vikwazo na amerika sababu ni utekaji na utesaji

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 5 лет назад +4

    Huko Ubelgiji kuna nini Mbona hata waasi wa Burundi na Congo mnakimbilia huko

    • @yohanajackisoni4710
      @yohanajackisoni4710 5 лет назад +1

      Si kuna barozi yuko muulize!

    • @charlesphillip1855
      @charlesphillip1855 4 года назад +1

      Huko Ubeligiji kuna jambo tuwe makini sana na mgombea wao waliomtuma,,,,juzi juzi wameomba msamaha Congo kwa mabaya waliyofanya,,,sasa wa tunao na wana ajenda nzito,,watu wanashangilia maafa yajayo kwa kutokujua...Mungu ibariki Tanzania

  • @shukururoman5692
    @shukururoman5692 5 лет назад +2

    Tundu lisu alisema ayupo nae na ana uwezo wa kumkatia viza kama mnakumba alisema kwenye mkutano wake hapo ndio nilipogundua ni mchezo umechezwa na wenyewe smg sio mchezo mifupa yote ingekua unga

  • @DausonShensherwa
    @DausonShensherwa 6 месяцев назад

    Poleni mungu atajibu

  • @ndogoroedson199
    @ndogoroedson199 Год назад

    Ukiangalia kwa undani zaidi unaona kabisa hii ilikuwa ni tamthilia kabisa! Hizi zilikuwa Kiki za siasa kutaka kuivuruga serikali! Kama uliona Kuna dalili hizo za mwanzo za kufuatiliwa kwa nn hamkupiga cm polisi kabla hata hamjafika sehemu ya nyumbani? Huyu dereva bhana alikuwa anajua kinachoendelea muda wote alishindwa kutoa taarifa kwenye vyombo vya usalama? Na kwa nn hakumwambia bosi wake muda wote huo huenda angemshauri kuwa toa taarifa popote! Hii ilikuwa move tu!

  • @pundatr8103
    @pundatr8103 Год назад

    Wee ada watu wasyojulika na hawakuku pga nahawakuwa nampanngo nawewe wao walimtaka chiba kinachokufanya uish uhamishon nn ?

  • @MRHURUMAHuruma
    @MRHURUMAHuruma 10 месяцев назад

    Mda wote hukuchukua video kwa cm

  • @kabwangaselemani5228
    @kabwangaselemani5228 Год назад

    Yeyote aliyehusika iwe ni Chadema,Serikali au yeyote Yule unyama aliofanyiwa Lissu haukubaliki ni vizuri wananchi wakaambiwa ukweli

  • @jesusislord9190
    @jesusislord9190 4 года назад

    Risasi zinapigwa eti mala baada ya kumaliza ukakimbilia kufungua mlango?

  • @molenicharles9107
    @molenicharles9107 Год назад

    Hilo ndilo lilifyatua risasi kwann yeye asijeruhiwe hata chembe...macho tu yanaonyesha no muhusika no 1

  • @sememakolo9360
    @sememakolo9360 4 года назад

    Mbona upotee usiende kwenye vombo vya usalama, nakwanini uende arusha kulala huko wakati tukio lometokea Dom?

    • @leokamil6284
      @leokamil6284 2 месяца назад

      Lisen before you judge alikuwa anaenda Nairobi kupitia Arusha

  • @AnneNdabila-uv2qh
    @AnneNdabila-uv2qh 10 месяцев назад

    Pole sana lissu wote waliohusika kukupiga lisasi watakufa watakuacha naamini

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 3 года назад

    Ulikuwa nimupango wamagufurinandugainawashirika wait waccm sasamajibu tayari mungu kakuokoa lissu mapambano bado!!!!

  • @d_ramir5689
    @d_ramir5689 5 лет назад +4

    Binahadam bhana ivi mnais amfi syo nataman palapanda lilie Leo tukajionee mazambi yetu pesa mwanahalam sana

    • @simonetz7036
      @simonetz7036 5 лет назад

      nimependa sana iyo comment

    • @adamabdull3789
      @adamabdull3789 4 года назад +1

      Ilikuaje.wewe.upunguze.mwendo.haliunajua.kunamagari.²yankufuàtilia,nausimwambie.Boss.mpakatukio.limetokea.

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 7 месяцев назад

    Pole sana

  • @gelardanyasi919
    @gelardanyasi919 Год назад

    Pole kmnd tuko pamoja nawe

  • @khamisrubea5083
    @khamisrubea5083 5 лет назад +13

    Mara nyingi mtu kama kitu hakijamtokea yy au hakifanyi yeye anakuwa anachkulia poa sana ilo tukio ni zito sana

    • @charlesnoafekwalipibayaali2662
      @charlesnoafekwalipibayaali2662 4 года назад

      Kama zito msaidie wewe kulibeba wewe. Mimi nina ndugu yangu anaendesha bodaboda yupo nje ya geti kwa nini hakusikia hiyo milio ya risasi???. Amezidi usanii sema alietumwa na hiyo pistor alikosea maagizo kama kawaida yetu akapiga nyingi. Usicheze na smg huwa inapigwa mbezi na mimi tegeta naisikia.

    • @tinamzava834
      @tinamzava834 4 года назад

      Sana

  • @AgnesEphraim-jw6dv
    @AgnesEphraim-jw6dv 5 месяцев назад

    Wewe unayesema dereva anausika ulikuwepo yeye alikosea tu kutomwambia bos wake ila angemwambia atayeye angejihami wangeweza kurudi walipo toka ila serikal yetu ukiongea ukweli awataki

  • @fulgancenjau4735
    @fulgancenjau4735 5 лет назад +6

    Nakushauri usirudi ng'o tuone km hawatafanya uchunguzi mchezo wanaujua wangeanza na walinzi waowakabidhi lindo tukio limetokea walipaswa kuwajibika Kwanza sio dereva

    • @zubermathayo1638
      @zubermathayo1638 4 года назад

      Mbona umetoroshwa nchini haupo unaogopa kubanwa na dola hapa kuna mchezo mmeusuka na lisu na nahisi umekata uraia huko uliko unaisaliti nchi ya babako na mamako

  • @jitelyashibuka3072
    @jitelyashibuka3072 3 месяца назад

    So painfully

  • @magufulificationofafrica7096
    @magufulificationofafrica7096 4 года назад

    Taja plate number ya gari ili polisi iwakamate hao watu. Maana kwa muda wote huo na ulikua unalifatilia ni lazima utakua umesoma plate number. Alafu huyu jamaa bana kakataa kuhojiwa na polisi anaenda kuhojiwa na wandishi. Ila acheni siasa

  • @msafirimwalyaje2979
    @msafirimwalyaje2979 4 года назад +3

    labda wew dereva usirudi tanzania, ukirudi ukweli utapatikana risasi mguu wa kulia alafu wew upone? maajabu ya musa

    • @lazarojacob641
      @lazarojacob641 4 года назад

      Mbna ni rahis tu.. Inategemea miguu imekaaje

    • @mamafaiza2651
      @mamafaiza2651 4 года назад

      Huyu dereva anatafutwa ili wamue asipate kutoa ushahidi tumebaini hiloo
      Huyu ndie atakuwa shahid wa tundu lissu