Mahojiano kamili na Balozi Masilingi na Mbunge Tundu Lissu

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 6 фев 2019
  • Mbunge wa upinzani Tundu Lissu na Balozi Wilson Masilingi wa Tanzania nchini Marekani katika mahojiano na Sauti ya Amerika mjini Washington
    Originally published at - www.voaswahili.com/a/4777565....

Комментарии • 564

  • @habibmohdali206
    @habibmohdali206 5 лет назад +8

    Kama umemuona balozi anataka kushika glass ya maji lakini imemshinda kuichukua,,kwakumuogopa lissu gonga like

  • @finiasfidelis1475
    @finiasfidelis1475 5 лет назад +107

    Kama umeelewa tofauti ya serikali na taifa katika mjadala huu gonga like tujuane

  • @emanuelhingi
    @emanuelhingi 5 лет назад +4

    Kama umeona balozi alitaka kunywa maji akaona kikombe cha moto acha like yako hapa tujuane

  • @oscarwissa
    @oscarwissa 4 года назад +6

    Napenda sana Lissu anavyopanga hoja.

  • @thadeipeter2592
    @thadeipeter2592 5 лет назад +11

    Barikiwa sana Mh. Lissu

  • @rafiikiumbe1722
    @rafiikiumbe1722 5 лет назад +14

    Eti wapinzani wanaogea wanapo taka kila sehemu duuuuuuh....! Gonga like km umeskia

  • @eliasmushi6792
    @eliasmushi6792 5 лет назад +48

    Hahahaha ukiwa unampenda tundu lissu...unapata raha sana...

    • @barakaluis5158
      @barakaluis5158 5 лет назад

      Sasa wewe kama shoga unaachaje kumpenda Tundu Lissu na ngojea wazungu waje watawalamba kweli

  • @benjaminsolomon1970
    @benjaminsolomon1970 5 лет назад +15

    big up...lissu... #viva lissu#

  • @mussasaidali5720
    @mussasaidali5720 5 лет назад +2

    Kila hatuwa duwa tundu lisu one love

  • @oriojoseph4518
    @oriojoseph4518 5 лет назад +6

    Tundu Lissu Mungu akubariki achana na hao wasaka tonge hata kuongea hawawezi wanatetea matumbo yao tuu.
    Tunaendelea kukuweka kwenye maombi yetu Comrade.

  • @stevenmnzavajoseph
    @stevenmnzavajoseph 5 лет назад +6

    Pale akili ndogo inapokutuna na akili kubwa. God bless you hon. Lissu.

  • @foibekajiru7243
    @foibekajiru7243 5 лет назад +22

    Halafu humu inayomwona Tundu Lisu ni mjinga ni mitoto ya mifisadi"ukute mitoto ya mawaziri au mibunge ya ccm!'"Mungu amempa Tundu lisu nafasi nyingine ya kuishi mwacheni ashuhudie makuu Mungu aliyomtendea:'",,THE LIVING MIRACLE!!!!

  • @fredypastoryutd4864
    @fredypastoryutd4864 5 лет назад +25

    Mi nadhani bora baraza la mitihani, NECTA waandae majibu sahihi juu ya swala hili (marking scheme) la sivyo mtu anaweza akarusha ngumi hivi hivi.

  • @benjaminsolomon1970
    @benjaminsolomon1970 5 лет назад +49

    sijui Kama balozi n Baba kwny familia yake... ajielewi

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 лет назад +7

    Jasho lina kutoka Mashiringi

  • @mageminja8052
    @mageminja8052 5 лет назад +2

    mungu akulinde lisu..hakika hutokufa utadumi milele

  • @shadrackrabison8032
    @shadrackrabison8032 5 лет назад +7

    You very intelligent Tundu Lissu than huyo Mashilingi. Mashilingi anatetea ugali wake huyo.Ningekuwepo balozi ningempa ngumi moja ya pua.

  • @danielleoterindulu7315
    @danielleoterindulu7315 5 лет назад +6

    wote mnaemuombe tundu lisu katka opereshen yake ya 23 like hapa twende sawa

  • @cosmasthobias5226
    @cosmasthobias5226 5 лет назад +27

    Huyu jamaa amuwezi lissu watafute mtu mwengne apambane na lissu huyo kashindwa

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 5 лет назад +17

    Masilingi anazungumza hoja kama mtu wa mtaani eti watoto bure hajui watu wanachangishwa kwa nguvu 60,000/= kila darasa

    • @shivobs4485
      @shivobs4485 5 лет назад

      Kikojozi tu huyo jamaa bure ya wapi tunasoma bure elimu haitukomboi

    • @siamollel9725
      @siamollel9725 5 лет назад

      60 tu,,,hela zakulipa walimu je

  • @singidaboy1586
    @singidaboy1586 5 лет назад +1

    Hhhhhhhh hhhhhhhh tundu brother unawapa tabu watu alwayzzzzz mungu akulinde nakukubali sanaa ndgu

  • @mariahansen3341
    @mariahansen3341 5 лет назад

    Huyo barozi walichelewa kumpa somo kachemsha kweli kaka .Tundu Lissu wasamehe tu .Huyo balozi hawezi hatakujibu swali just kutapatapa alivyo tumwa kujibu hawezi bora arudishe kulima kuliko Aibu .Duuuuu Jesus Bless Tundu Lissu Amen.

  • @hundamaniamania872
    @hundamaniamania872 5 лет назад +45

    Huyu hana Sifa ya kuwa balozi mbn anabishana kienyeji tena anamkatisha Lisu duuuh ,,kweli ushabiki mbaya

    • @johnbusoro6018
      @johnbusoro6018 5 лет назад

      0

    • @ambokileosward8850
      @ambokileosward8850 5 лет назад +2

      Nenda ukawe Balozi wewe
      bata wewee

    • @shukurually2011
      @shukurually2011 5 лет назад

      Hunda mania Mania tatizo kutetea tonge ivi kweli kama angekufa uchunguzi ucngefanyika? jibu la balozi ndani kuja jambo kiukweli lisu amemfafanulia vizuri sn balozi ameelewa ila anahofia kuwa kunamtu anaangalia lazima ajibu kihuni

    • @valentinamussa4212
      @valentinamussa4212 5 лет назад +1

      Hata kama niwewe unadhani unaweza kuungana na tundu lisu,uharibu ugali mbele ya magufuri,

    • @shukurually2011
      @shukurually2011 5 лет назад +1

      Valentina Mussa ndio maana hajitambui eti kama ngekufa kufa basi balozi hajui hata kumjibu mtu balozi akiongea lisu ananyamaza lisu akiongea yeye anamzuia alafu anajiita mwana sheria ndio maana lisu kamuuliza ww mwanasheria gani kwasababu haongei pwenti

  • @mbcgrams5415
    @mbcgrams5415 5 лет назад +22

    Mabalozi wengine bana
    si bora mnipatie hata mimi huo ubalozi

    • @sirialemmy37
      @sirialemmy37 5 лет назад +1

      Usijadharau kiasi hicho bro! Time yako itafika na utakula Kwenye sahani yako iliyosafi. Mkosee tuu mtu ila kiwango chako kama raia mwema wa nchi yetu huwezi linganishwa na mabongo Lala!

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 5 лет назад

      Watu wa chama cha mapinduzi nguvu tu

  • @fazeelshomary8743
    @fazeelshomary8743 5 лет назад +28

    When you speak the truth you become so confident and when you speak the lies you become so emotional
    Mmoja kati ya hao amekasirika na mmoja anaongea kwa kujiamini, mwenye akili timamu ameshajua nnachomaanisha.

  • @rasnchimbi
    @rasnchimbi 5 лет назад +15

    Dhambi ya kumwaga damu inawamaliza kwakweli!

  • @Byondorujulika17
    @Byondorujulika17 5 лет назад +7

    Lisu unahistahili kuwa raisi wa TANZANIA;jamaa analinda kibaruwa.dr Congo tumupate mtu kama mheshimiwa Lisu ni raha sana ila nabii hana heshima kwao.

  • @nkatakulimamkuwa4872
    @nkatakulimamkuwa4872 5 лет назад +25

    Huyu baloz kilaza kweli anongea mpaka anataka kulia

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 лет назад

      Kaona kitumbua kinatiwa mchanga, keshazoea unyamwezini tena akitumbuliwa....?!

    • @subekhasleyium8862
      @subekhasleyium8862 5 лет назад

      Duuh kumbe hata wewe umemuona aiseee balozi katia aibu swali la kwanza tu alitetemeka mpaka akawa hajui kama anywe maji au ajibu swali kabaki anapepesa macho

    • @adrianokubila8374
      @adrianokubila8374 5 лет назад

      Huyo balozi akili nyepesi mtetea tumbo

    • @nicksongerson6416
      @nicksongerson6416 3 года назад

      Hii tz mabalozi wetu ndio wajing kiasi hiki ... Kweli ndio maana wazungu wametuonea muda wote

  • @theictguru5791
    @theictguru5791 5 лет назад +1

    Viva Lissu Viva ...Niko tayari kuingia msituni kupigana kwa ajili yako

  • @barakalukumay
    @barakalukumay 5 лет назад +13

    Huyu balozi gani hana weledinwa kujibu maswali kama ndio hivi unafikiri kuna usalama gani kwa mwenendo huu hafai huyu kengele jibu swali acha hasira za kiyaya

  • @issaathumani4682
    @issaathumani4682 5 лет назад +15

    Kwakweli kama balozi unatakiwa kuwa na hekima unapojibu hoja,
    Ni kweli kila mmoja ana mapungufu yake lakin kwa hili hapana mmezidi na inaonekana wewe kama balozi unashindwa hata kumvumilia mtu ejieleze kwa uhuru, mpe uhuru jenga hoja na jibu hoja ya kujibuu

  • @foibekajiru7243
    @foibekajiru7243 5 лет назад +25

    Mbona balozi umepaniki!?!ukweli huwa unauma jamiii

  • @samsonmagesa3959
    @samsonmagesa3959 5 лет назад +3

    Mungu Mkubwa Ongera sana Tundu Lisu Huyo Balozi siyo Revo ya Tundu Lisu labda Wangemleta mtu mwingine

  • @geofreyemanuel8939
    @geofreyemanuel8939 5 лет назад +56

    Wanao msifia mashilingi wote akili zao zikapimwe...kwataarifa yenu mashilingi kakutana na moto chuma ety anamladhimisha lissu arudi nyumban kwel hawajamaa wanatetea matumbo yao ameulizwa jeshi la polisi limemhoji nan anaanza kumumunya maneno....na subirini Tundu lisu aupate uraisi ndio tutaelewana manake watu wasisiemu mmezidi sana uonevu

    • @ukweliunauma4570
      @ukweliunauma4570 5 лет назад +1

      Anataka Arudi wakammalize tu hawa huyu ambassy analilia kula yake

    • @stevenkambeytz2459
      @stevenkambeytz2459 5 лет назад

      Geofrey Emanuel mmm

    • @josephmichael2225
      @josephmichael2225 5 лет назад

      Geofrey Emanuel we nae ni nyumbu kweli kweli

    • @barakaluis5158
      @barakaluis5158 5 лет назад +1

      Wewe huna akili ndio maana huoni kitu fall wewe na nahisi wewe ni shogaaa kataaa Mungu anakuona jinga wewe

    • @ericmashulano8769
      @ericmashulano8769 5 лет назад +1

      wewe utakua mwebdawazimu sio bure

  • @hechechacha4032
    @hechechacha4032 5 лет назад +7

    Masilingi wakati wote ambao kikwete amekuwa raisi tukumbushe lini kuliwahi kutokea wabunge kupigwa risasi
    Na watu kunyanyaswa kiasi kama cha leo

  • @user-jc8vt7ct9t
    @user-jc8vt7ct9t 22 дня назад

    Masilingi tulia basi hiyo ngoma ni nzito

  • @abdulrahimmohamed7066
    @abdulrahimmohamed7066 4 года назад

    Mashiringi hawez bishana na lisu , lisu is too good for him

  • @Shirimatunda
    @Shirimatunda 5 лет назад +6

    Huyu balozi si level ya lissu kabisa

  • @calvinroyson891
    @calvinroyson891 5 лет назад +1

    Nmecheka sana et asante balozi

  • @mbokachawe9657
    @mbokachawe9657 5 лет назад +3

    Mashilingi umeambiwa mambo mawili matatu... Hahahhh unataja mambo meeengiiiiiii.... Chaaaaa!!!! Taja ya muhimuuuu!!! Doooooh...

  • @salehehassan3665
    @salehehassan3665 5 лет назад +9

    Baloziiiiiiiii, umeminywa😂😂😂😂

  • @alexgeorge6744
    @alexgeorge6744 5 лет назад +6

    Kijana tulia baba aongee we vip nanataka arud tanzania hili mtume watu wasio julikana hiiii.aujui ata kuongea hiloooooo Chadema oyeeeeeee

  • @waltermbelwa4973
    @waltermbelwa4973 5 лет назад

    Ushauri kwa Tundu Lissu.Uko mahiri sana ktk kujibu maswali kwa ufasaha ,hoja nzito na weledi wa sheria.Dosari ndogo kwako iko kwenye lugha ya mwili (body language).Jizuie kumnyooshea usoni kidole yule unayeongea naye.Vinginevyo Mungu amekujaalia umahiri wa kujieleza.Hongera kijana.

  • @alquinmadoro6090
    @alquinmadoro6090 5 лет назад +35

    Huyu balozi nae kichwa maji kabisaaa ,kateuliwa na ccm kwa hiyo hata huyu balozi ni kichwa maji

  • @maxlattinokiki8105
    @maxlattinokiki8105 5 лет назад +1

    Balozi wetu kwa tundulisu ni mwepesi sana tundu ni Level nyengine kabisa mpaka unamuona hapo kasha kwepa mishale mingi!

  • @saidshoka4770
    @saidshoka4770 5 лет назад +23

    Duuh unajua nini tunaumbuka daah inatia huruma sana lissu wasamehe hawa watu huwenda wakajirekebisha wakiumbuka wao kilio chao ni aibu kwa taifa

    • @mohamedothman9769
      @mohamedothman9769 5 лет назад +1

      Inatakiwa waumbuke wajutie makosa yao

    • @josephmichael2225
      @josephmichael2225 5 лет назад

      Said Shoka amsamehe nani we nyau mwenye utindio wa ubongo?

    • @masoudsaid6427
      @masoudsaid6427 5 лет назад

      Said Shoka haaa haaa duh umeliona hilo mkuu

  • @johannesmaloda8209
    @johannesmaloda8209 4 года назад +1

    Masilingi humuwezi huyo...Kabudi ndo level zake!

  • @sumatraveler1957
    @sumatraveler1957 5 лет назад +58

    Balozi mjinga kweli eti anamwambia Tundu lisu kufa sasa wauwaji wakubwa nyie.

    • @jeremiahmwasapilicharlie2926
      @jeremiahmwasapilicharlie2926 5 лет назад +1

      Suma Hunga kasema hukufa sasa hujamsikiliza vizur

    • @jambostaamringa9490
      @jambostaamringa9490 5 лет назад

      Nimecheka kifala et kufa ssa uyu baloz amka ki2 apo

    • @smarty1064
      @smarty1064 5 лет назад

      Suma Hunga masikio yako umepeleka wap? kasema NDO HUKUFA SASA yaani uko mzima

    • @lizb2012
      @lizb2012 5 лет назад +1

      @@smarty1064 kusikiliza ni karama pia si kila mmoja anayo. Hawa vijana wameamua kusikia yale ambayo wameyajenga mawazoni mwao na si kinachozungumzwa. Wamepoteza ufahamu 😁😁

    • @smarty1064
      @smarty1064 5 лет назад

      @@lizb2012 ni kweli, hapo ndo linakuja swala la namna ubongo unavyotafsiri, kuna slow learners, kuna intelligent people na wengine ni ma genius kwahiyo twende nao polepole

  • @husseinsalimmaula4254
    @husseinsalimmaula4254 5 лет назад +3

    Long long life tundu lisu .

  • @abassgwandondeye2283
    @abassgwandondeye2283 5 лет назад +5

    Nimemkubali lisu

  • @veronicasalvatory8559
    @veronicasalvatory8559 3 года назад

    Pole sana tundu lisu. Nashukuru mungu umepona.

  • @bijojawas6581
    @bijojawas6581 4 года назад

    Tundu lisu mmoja ni sawa na wabunge wote wa ccm.

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 5 лет назад +40

    Mashiringi mbona una jazba ? Jicho lime kutoka, jibu hoja sio una payuka payuka

    • @alenfelix8610
      @alenfelix8610 5 лет назад

      Hana uwezo wa kubishana Kwa hoja

    • @erasmusaloyce4398
      @erasmusaloyce4398 5 лет назад

      Olivia Seth anayepayuka ni yule anayetukana, na akijibiwa ana anasemama mwanasheria Wa wapi , wakati mwenzake ana first class ya degree ya sheria isitoshe ana experience kubwa kuliko yeye na katka mahojiono ya kingereza alikili hilo,

    • @raphaelsamwel2640
      @raphaelsamwel2640 4 года назад

      Kwani first class ndo nini ?? Mitihani??

  • @massive1765
    @massive1765 5 лет назад +4

    "Wewe mwanasheria wa wa wapi!??" lissu

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 5 лет назад +8

    lissu wa Tanzania tunaimani nae hajawai kutuzalau watanzania wala hajatukana watanzania uyu balozi anatetea tumbo lake

  • @pangapaul659
    @pangapaul659 5 лет назад +1

    Huyu Baloziiii nimemshusha hadhi ya kuwa baloziiii kwa pressure hii!shida sana!

  • @reaganassey4594
    @reaganassey4594 5 лет назад

    duuh balozi hana uwezo wa kuongea wala kujenga hoja, walio koswa koswa kuuliwa wanajua thaman ya uhai,bravo lisu,, yan hapo shikilia nchi ni ya wananchi wa tanzania na si serikali

  • @taphtweve1892
    @taphtweve1892 5 лет назад +3

    Duh sio kwa ku Punic huko

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 года назад

    Kazi nzuri ya serikali gani wanafiki

  • @beatusjosephat6594
    @beatusjosephat6594 5 лет назад

    Mhaya hajui kiswahili najichekea mie

  • @kassimrajabu7805
    @kassimrajabu7805 5 лет назад +8

    Huyu balozi anatumbuliwa muda si mwingi maana anaonekana hajui hata kujibu maswali

    • @adrianokubila8374
      @adrianokubila8374 5 лет назад +1

      Balozi apimwe mkojo maana hiyo siyo akili ya mtu mzima

    • @hchriss7930
      @hchriss7930 Год назад +1

      Utabili wako ulitimiaga alishatmbuliwaga kitambo sana

    • @kassimrajabu7805
      @kassimrajabu7805 Год назад

      @@hchriss7930 kumbe??

  • @raphaelmtweve2674
    @raphaelmtweve2674 5 лет назад +4

    Wana akili ndogo sana. Live long lissu!

  • @abdulrahmansalim9773
    @abdulrahmansalim9773 3 года назад

    Umetufundisha vibaya sana utawala was makufuli

  • @yohanakebacho3990
    @yohanakebacho3990 5 лет назад +2

    Balozi bana?

  • @mohoniajoseph9067
    @mohoniajoseph9067 5 лет назад +8

    Huyu Masilingi amepwaya kama chupi ya kuazima. Asante sana Lissu

  • @annaemmanuel4657
    @annaemmanuel4657 5 лет назад

    Nimemuelewa balozi sana, hataki longo longo hataki maneno ya kusikia

    • @mohamedturanardan8871
      @mohamedturanardan8871 Год назад

      Inamaana maisha yako yote balozi hukuwahi kusikiliza maneno ya watu, mpka ujionee mwenyewe?

  • @laumlimbila4337
    @laumlimbila4337 5 лет назад +1

    this is America Mr gambino

  • @ev.mhugohantish288
    @ev.mhugohantish288 5 лет назад +2

    hahahahaha 😂 6:12 Balozi "unajua kwanini TUNAUMBUKA...?"
    kumbe unafahamu kuwa mnaumbuka eh?

  • @claverygavana5244
    @claverygavana5244 5 лет назад +8

    Huyu balozi ni mwanasheria wa wapi mbna hafati protocol

    • @damianmgonela5827
      @damianmgonela5827 5 лет назад

      barozi hajibu maswali yanayostahili Na siyo mwanasheria huyo anatakiwa kutulia asikilize hoja halafu ajibu nasiyo kumkatisha maongezi yake siyo haki kabisa hiyo ndiyowatu husema ndiyo Wale wale

  • @ndeziboysanga
    @ndeziboysanga 5 лет назад +26

    Uyo hana sifa zakua boloz iv ingetokea kapigwa yy lisasi ingekuaj? Hana maana.

    • @salumsaburi5049
      @salumsaburi5049 5 лет назад

      Huyu balosi ameekwa tu hajui llte sijui kama hata amefika form4

    • @idgafbmw295
      @idgafbmw295 5 лет назад

      Ndezi boy sanga lisu ksvulugwa ,siurudi kwenu kwanza au kama hukutaki njoo uchukue family yako

    • @idgafbmw295
      @idgafbmw295 5 лет назад

      Ndezi boy sanga Dah hili pank, kiduku?

    • @marcomashimba2225
      @marcomashimba2225 4 года назад

      moringa. devid

    • @marcomashimba2225
      @marcomashimba2225 4 года назад

      moringa. devid

  • @MajiTakaMaji
    @MajiTakaMaji 5 лет назад +1

    Safi sana nchi yangu Tanzania Pimbi kama huyu inatakiwa kula nae sahani kama hivi

  • @toptictoc1884
    @toptictoc1884 5 лет назад +30

    Hahaha wanang'ang'ania arudi Tanzania ili wamkamate. Ccm bwana wanajifanya wajanja, Mr Lissu usirudi tz ng'o

    • @rose_Winchester86
      @rose_Winchester86 5 лет назад

      Sio kumkatama tu watamuuwa kabisa

    • @eliajimmy4841
      @eliajimmy4841 5 лет назад

      Wanataka wakamuue kabisa lisu ama kweli ccm ni magaidi

  • @mashakagwesa9983
    @mashakagwesa9983 5 лет назад +3

    kwa kifupi balozi hamuwezi lissu

  • @kushahalabani7069
    @kushahalabani7069 5 лет назад

    Tundu lisu baba etu tunakusubi sana uludi pona halaka

  • @lucky9285
    @lucky9285 5 лет назад +3

    Masilingi kafunikwa

  • @nyembeaisihaka6017
    @nyembeaisihaka6017 5 лет назад +1

    Hahahaha... Balozi nimepata neno kwako..MZEE WA FURIIIII....

  • @levymamuya5447
    @levymamuya5447 5 лет назад +1

    Balozi umepaniki sana

  • @ujanjamedia7813
    @ujanjamedia7813 5 лет назад +1

    Afya ya kuzulula uko unayo yakurudi huku huna heeeh aya saw

  • @simondogtrainer7498
    @simondogtrainer7498 4 года назад

    Yan Kama ni kesi lisu anaweza kushnda... nmecheka sanaaa

  • @patrickmilanzi5915
    @patrickmilanzi5915 5 лет назад +2

    Lisu yuko vizuri mno isipokua huyo balozi ni mpiga debe wa CCM

  • @ahmedyak3793
    @ahmedyak3793 5 лет назад

    Hapo bora balozi angepewa Steve Nyerere

  • @abdalomari5912
    @abdalomari5912 5 лет назад +4

    lissu upo vizuli sana umesema ukweli lissu

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 5 лет назад +1

    lisu1 sawa na mabalozi wote wa nje na wabunge wote wa ccm

  • @hashimuismail5587
    @hashimuismail5587 5 лет назад

    TUNDU LISSU shikamooo

  • @patrickkazinja4435
    @patrickkazinja4435 5 лет назад

    Bora wangempambanisha na Balozi wa nyumba kumi wa mtaani kwangu,angeweza jibu hoja kwa hoja vizuri zaidi.

  • @raymondpaulla6801
    @raymondpaulla6801 5 лет назад +4

    balozi hajui anachokiongea anakua Kama sio mwanasheria hajui kujielezea na hana ushaidi wakutosha anabishana kienyeji tu

    • @donaldthomas3728
      @donaldthomas3728 5 лет назад

      Raymond Paulla Uncle Hakuna kazi ngumu Kama kuongea uongo ndo maana baloz amepata tabu, ukwel una tabia ya kujitetea wenyewe, Hata huyo baloz najua nafc inamsuta ila no way

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 5 лет назад +1

    Uwiiiii balozi acha uwongo unatuaibisha na unajiaibisha,,,,Shule zipi bure walimu hamna

  • @ndelemwalonde2145
    @ndelemwalonde2145 5 лет назад +3

    Balozi anapewa shule lakin naona haelewa kabosaaa

  • @mwamuzipaul3991
    @mwamuzipaul3991 4 года назад

    Mwenyez múng. amulnde lsu

  • @kassimjuma8713
    @kassimjuma8713 5 лет назад +3

    Huyu Balozi alichaguliwa kwasababu ni NGOSHA. and Muhaya.

  • @josephmichael2225
    @josephmichael2225 5 лет назад +2

    Balozi masilingi kunywa mvinyo mi nipo kwenye dream liner nakuja kulipa bili hiyo nyambafu umepigilia misumali ya maana kweli.

  • @ahmedsports_entertainment
    @ahmedsports_entertainment 5 лет назад +1

    Huyu kweli ubaluzi duh

  • @luganostewart8320
    @luganostewart8320 4 года назад +1

    Huyu Balozi ni Aibu tupu kwa taifa!!!!! Brother Masilingi Katika mjadala mzito kama huo kupitia chombo kikubwa cha habari duniani ulitakiwa udhihirishe wazi nafasi yako kama mwakilish thabiti wa hao walio kuteua ktk kujenga na kutetea hoja, lakn imekuwa tofauti maana unaishia Kupaniki tu na huna la kujibu kutokana na Hoja za upande wa pili kujikita ktk uhalisia tupu!!!!!
    THINK TWICE BROTHER!!!!!

  • @gesusgegangphray7689
    @gesusgegangphray7689 5 лет назад +1

    Hivi jamani katukana wapi.balozi mbona una hasira

  • @frankfrancis5736
    @frankfrancis5736 Год назад

    Daaaah hii Nchi bana Lisu alipiga nondo za ukweli kbc apaah

  • @misambo7539
    @misambo7539 5 лет назад +3

    Barozi anaweweseka Kweli Kapanic mbaya hana hoja za kumjibu Lissu zaidi ya kusema arudi nyumbani. Waswahili wanasema mchawi akikuroga akashindwa kukuua anapokuona unatembea huwa anumia sanaa.

  • @lameckbalekele2901
    @lameckbalekele2901 5 лет назад

    Tundu lisu Mungu akulani mpumbavu balozi unamoyo mzuli ningekuwa mimi angekula mabanzi hapohapo mshenzi huyu

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 Год назад

    Na ukiwa raisi au balozi huwezi kuwa juu ya sheria

  • @jacobphilipotibaijuka9573
    @jacobphilipotibaijuka9573 5 лет назад

    Duh hawana sheria jaman duh

  • @mohamedturanardan8871
    @mohamedturanardan8871 Год назад

    Wewe balozi ni mwanasheria wa wapi?