Nakuamini sana mwamba kwani ukoo wetu wa mollel hatujawahi kuwa na kiongozi dhaifu chapa kazi kwani Siha wamepata jembe la mtu ingawaje mimi siyo wa wilaya yako lakin I actually brother I appreciate you much.
Mbunge pekee aliewahitokea wilaya ya siha, ni agre mwanri pekee,hakuna mwingine, huyo Masai, hawezi ingiza wasiha ana upendeleo na wamasai, kwanini aje mda ambao wanaona uchaguzi unakaribia, nilishampikgia cm nikimuomba msaada nilikuwa na shida binafsi ila alichonijibu mungu anajuwa😭😭😭😭😭

mtu na nusu huyo 💥💥👍🏆💚💛💪🇹🇿🇦🇪
Siasa hizi Mungu tusaidie
Maana tutaona mambo mengi msimu huu
Izo ndo unatakiwa kuposti miladi ayo sio unapost magali. Ya Bill nas 😂
Wakati wa kutafuta mkate ni wakati wa kucheza na akili za watu hasa hawa wanawake wanashawishika vizuri tu.
Sarakasi na maigizo ya siasa kwa wabunge yameanza haya wakati ndio utakuta hamna cha maana walichofanya 😅😅
Jambo zuri sanaa
Barabara yetu ya karansi imalíziwe tafadhali
Mwaka wa uchaguzi jamani huu
🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂 tunashukuru kwa kutukumbusha
Basi sawa
Wewe baba unayenyoosha na wewe ni mmama
❤❤🙏🙏
Mbunge pekee aliewahitokea wilaya ya siha, ni agre mwanri pekee,hakuna mwingine, huyo Masai, hawezi ingiza wasiha ana upendeleo na wamasai, kwanini aje mda ambao wanaona uchaguzi unakaribia, nilishampikgia cm nikimuomba msaada nilikuwa na shida binafsi ila alichonijibu mungu anajuwa😭😭😭😭😭
Fanya kazi Acha ujinga, mwanaume unalialia ovyo
Hakuna aliye Lia emoji zisikudanganye😂@@DannyWiston-xo4hx
Basi sawa