MAISHA DUNI FAMILIA YA PACHA WALIOTENGANISHWA, BABA AJITOKEZA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 16 янв 2025

Комментарии • 33

  • @SaidyAthumani-c1m
    @SaidyAthumani-c1m 12 дней назад +2

    Wanaomulaumu huyu mwanaume hawaelewi maisha ya kijijini kupata laki 6

  • @anchillafabian
    @anchillafabian 13 дней назад

    Alijitahidi sana hasilaumiwe maisha ni magumu kipato ni kidogo sana.Hongereni sana dactari na wauguzi bila kuwasahau wote waliomsaidia

  • @ElizabethMuia-ro9yh
    @ElizabethMuia-ro9yh 13 дней назад +1

    Kumbe saudi 🇸🇦 kuna madakitari 😮😮😮

  • @ablashaffy2860
    @ablashaffy2860 18 дней назад +2

    Daktar ni handsome

  • @RosemaryKimario-q3n
    @RosemaryKimario-q3n 14 дней назад +1

    Angalia huyu mwanaume ni mtu mzuri tuzianze kumlaumu

  • @Fathasssane-vs2th
    @Fathasssane-vs2th 18 дней назад +11

    Wanaume wa hovyo sana munakimbia majukum yenu siku watoto wakifanikiwa musikia wamelishwa sumu na mama zao kumbe Allah anawalipa dunian bado kesho kiama wanaume badiliken jaman hii dunia tu tunapiata

    • @UmumaherBakar
      @UmumaherBakar 18 дней назад

      Shida ni kwamba tulimsikiliza mwanamke bila kusikia upande wa pili halafu Kwa mazingira ya vijijini mwanaume hapaswi kulaumiwa kwa upande mwingine Sasa angefanyaje halafu wanawake tusisahau mema 99 kwakuangalia kosa moja hiyo ndiyo sababu tutaingia wengi motoni ukiwa nashida ya elfu moja mwanaume akakupa halafu ukaja kupata shida kubwa inayo hitaji elfu kumi mwanaume akashidwa kukupa ukasaidiwa na mtu mwengine isikufanye ukasahau Ile elfu moja tafuteni namna yakutengeneza ndoa Yenu wacheni mingine yapite

    • @AsumthaAron
      @AsumthaAron 18 дней назад +2

      Kwa hyo unaona ni sawa alivyomkimbia? Bora watoto wangekuwa hawana changamoto, ​@@UmumaherBakar

    • @mercykariithi7919
      @mercykariithi7919 18 дней назад +1

      Huyo baba ananusia msaada kwa hao watoto sasa anajitokeza ndio apate kulia pale baba wa ovio Sana huyo mama asimkubalia kabisa

    • @JocelyneMary
      @JocelyneMary 17 дней назад

      ​@@UmumaherBakarbora alivyokimbia watoto wamepata msasda angekuwepo asingepata msaada wamuache awalee watoto wake

  • @AirfaAirfa-ic8sr
    @AirfaAirfa-ic8sr 17 дней назад +1

    Jamn msihukum kabla amjamsikiliz mbona kalipa deni jamn umasikin wapo wanaume wazur na wabaya na wapo wanawake wabaya na wazur kuna mambo yana tafsiri yote maisha sijui kam kweli aliwakimbia au ni maneno tu allah ndio anajua

  • @catherinecharles8710
    @catherinecharles8710 16 дней назад

    2011 tulienda kufanya research apa, 🎉🎉

  • @Fatima1234-wl1nu
    @Fatima1234-wl1nu 18 дней назад +3

    mwanaume mzuri lakini ushirikiano mdogo kwa mkeo hata kwa masiliano 😢 mwone kwanza

    • @Fathasssane-vs2th
      @Fathasssane-vs2th 18 дней назад +3

      Wajna hao ndio wanaume tuwaache na yao sisi tulee tu watoto wetu wakija kufanikiwa tutakuja kuitwa wamama roho mbya kwa sababu tutawazibiti km mama mond😂😂

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 18 дней назад +1

      @Fathasssane-vs2th yaani mtihani wallah

    • @HanifaOman-oo4pl
      @HanifaOman-oo4pl 18 дней назад +1

      Wanaume ss hivi ni changa moto. Wanagawa zawadikwa wanawake. Nywengi tunaolea watoto wenywe. Mungu atupambanie

    • @Fatima1234-wl1nu
      @Fatima1234-wl1nu 18 дней назад +1

      @@HanifaOman-oo4pl inshaallah

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 18 дней назад +1

      😅😅😅❤❤❤kabisa dawa ya moto ni moto hakuna kuzima na maji ​@@Fathasssane-vs2th

  • @shukurukomba5663
    @shukurukomba5663 18 дней назад +3

    Baada ya kuona kuna misaada ,pumbafu sana hy

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi 18 дней назад +2

      Arudi alipokuwa mbwa huyu

  • @Eliza-p9s
    @Eliza-p9s 18 дней назад +2

    Amejitoka alikuwa wapi kuna wanaume wengine wasenge

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 15 дней назад

    Mmmm mbona tumesikia umemkimbiaa wanaume wahovyoooo

  • @mpefu_4936
    @mpefu_4936 18 дней назад +4

    Toka maofisini mkaelimishe watu kwenye vijiji uelewa awana

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 17 дней назад

      Umenena ndg, huduma imepelekwa huko ni pamoja na elimu, wanaashindwa kufanya matent na matangazo kuwa kuna hili na Lile kuhusu community development health wise wamekaa ofisini tu, CHMTs na kamati kibao zipo zingeweza kuelimisha jamii

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 18 дней назад

    Huyu mwanaume alimkimbia huyo mama baada ya matatizo mwanamke angeachana naye tu Na kiwanja kiandikwe jina la mwanamke Na mwanamke ajengewe nyumba Na watoto

  • @AngelMazola
    @AngelMazola 18 дней назад +1

    Amejitokeza alikuwa wapi kwani?

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 18 дней назад

    Telemetri hizo si wazime huyo daktari kama haitumiki si upotevu wa umeme tu Na uharibifu

  • @khadijabakari2932
    @khadijabakari2932 13 дней назад

    Mzee baba ameona mama amenawili na watoto wanaendelea vzur amejirudisha aiseee baba huyuuu mfyuuuuu

  • @AshaMwamba-m5x
    @AshaMwamba-m5x 15 дней назад

    Watajuana kikubwaa watoto. Wamepata hudumas watarusian

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 18 дней назад

    Telemetri hizo si wazime huyo daktari kama haitumiki si upotevu wa umeme tu Na uharibifu

    • @easternyerembe7271
      @easternyerembe7271 17 дней назад

      😂😂😂😂

    • @OliverThomas-z9c
      @OliverThomas-z9c 17 дней назад

      @@Kabwela776 wanakimbiaga majukumu halagu wanasema wao ndio kichwa umewahi kuona kichwa kikiacha kiwiliwli halafu lawama zote kwa mama watt wakina fanikiwa waaai