NILIKANYAGWA NA LORI MGUU UKAVUNJIKA MAMA YANGU HAKUWA NA PESA ZA KUNISOMESHA - LYDIA BLECK WA BSS

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 янв 2025

Комментарии • 98

  • @user-gc8jc1sh4z
    @user-gc8jc1sh4z День назад +8

    ❤❤❤❤Huyu my sster Lydia angehojiwa na sns sky tungepata madini sana yupo smart sana kichwani mungu kafungua milango dada kinachotakiwa ni kusonga mbele dada angu kwa yeyote aliyekutendea mabaya wasamehee wote mungu ameshakuona amina❤

    • @twalibtz1936
      @twalibtz1936 День назад +3

      Uko sawa lkni tunatakiwa kuwaamin pia presenters wengine kina sky pia walianza wakiwa wadogo tusifike point tukaamini wengine hawafanyi vizur kwa kuwa compare na kina sky au wengine wakubwa
      Ni maoni yangu tuuh

    • @chakupewaonlinetv7045
      @chakupewaonlinetv7045 День назад +1

      Hatuwezi Ishi kwakumtegemea mtu mmoja presenter wote fresh

    • @mwlrobinson
      @mwlrobinson 18 часов назад

      Ata mm najitahidi

  • @evelynebwire7684
    @evelynebwire7684 День назад +12

    Waoooooo Lydia umejikubali dear and real you're a great person

  • @maryamomar2034
    @maryamomar2034 2 дня назад +21

    She is very strong mi nisingeweza kuisimulia mpk kumaliza bila kulia maan ni kitu kinachoumiza hongera sana Lydia

    • @mamakayla6697
      @mamakayla6697 День назад +4

      Machozi ni chakula cha shetani,ukilia anajua amekuweza kweli kweli,na amefanikiwa kwa kiwango kikubwa sanaaa.Dawa ya shetani rafiki ni kukomaa usimuonyeshe chozi lako kamwe,shetani atakuogopa wala hatakuwa anakugusa gusa. Hongera kwa kunielewa

    • @victorianganyagwa2467
      @victorianganyagwa2467 День назад

      ​@@mamakayla6697Asante kwa ushauri

    • @RoseGeofrey
      @RoseGeofrey 16 часов назад

      mary wangu mungu anakupa jaribu kulingana na kipimo cha imani yako ukiona mungu amekupa jaribu jua amekuamini kwamba hilo jaribu unaliweza😢😢😢❤

  • @RichardTito-q8q
    @RichardTito-q8q 16 часов назад +1

    Jaman dada yangu kabixa bigup mmeru mwenzangu,❤

  • @queenandchill91
    @queenandchill91 День назад +2

    Pole sana Lidya. Endelea kuwa strong na Mungu anaenda kukuinua sasa huyo Baba mshenzi atakusalimia kwa majina ya NIDA achana naye, ukiwa tajiri ndo ataona thamani yako😂 halafu we utakuwa humtambui tena mbona raha duniani.🙌🏽.

  • @m.biangwamalenso3291
    @m.biangwamalenso3291 23 часа назад +1

    You've got this beautiful soul keep on shining ❤ on love

  • @ShehenaMedia-cn2hp
    @ShehenaMedia-cn2hp День назад +2

    Big up💪👏🏆, From now you are great person. Wakati wa MUNGU ndio Wakati Sahihi. Kusudi la MUNGU halizimwi na Mwanadamu adi yeye mwenyewe alitimize🏆🏆🏆🏆🏆🏆.

  • @LiberatusGregory
    @LiberatusGregory День назад

    Pole San kpnz kwa matatizo, hzo nichangamoto kama za Imani, kikubwa ni kumomba mungu azidi kuwa nawe kila upitapo , love you mummy♥️

  • @marimgama1494
    @marimgama1494 День назад +4

    Pole sana mungu atakujaali hukupenda wewe uwe hivyo ila ni mipango ya mungu hongera sana usikate tamaa

  • @ZayJuma-ms4vt
    @ZayJuma-ms4vt День назад +2

    Nimekupenda sana unajiamin mpaka raha jmn❤❤❤❤

  • @KelvinEdward-m7i
    @KelvinEdward-m7i 2 дня назад +4

    U can make it beyond everything ❤🙌

  • @iptisamismaill-f6h
    @iptisamismaill-f6h День назад +3

    Lydia uko juu kuliko album ya zuchu

    • @rahmarajab3688
      @rahmarajab3688 День назад

      Zuchu yuko juu wapi jamani, Wcb ndo wanaombeba na.vijinyimbo vyake vya chekechea
      hivi kama angesimama mwenyewe.kama Nandi na wasanii wengine wa kike ndo ungeelewa,
      Mungu ampe nguvu Lyidia mlango mmoja ukifungwa mingi iko wazi,
      Uko vizuri sana.Lydia

  • @lucykiwelu4451
    @lucykiwelu4451 День назад +1

    Hongera sn nimekupenda mno! Umekua kiakili na Mungu atakupa kila hitaji lako.

  • @LivinusThomas-s3o
    @LivinusThomas-s3o 16 часов назад +1

    God bless you

  • @lizzyevoh8139
    @lizzyevoh8139 День назад +1

    Waoh she’s sweet ❤,she is strong

  • @EstherKibali-k3w
    @EstherKibali-k3w День назад

    Weweeee niwa kipeke sanaa lydia ❤️❤️❤️

  • @fatmebakar1315
    @fatmebakar1315 День назад +1

    yan pole sana mrembo

  • @MaryNyabenda-w1m
    @MaryNyabenda-w1m День назад

    🙆‍♂️😭😭😭daaaaaah!!! Mungu akusimamie na kukuinua mpenzi

  • @FilemonAkonay
    @FilemonAkonay День назад +1

    😢duuh pole sana,but your chosen from the heaven

  • @aminaakida8744
    @aminaakida8744 День назад +1

    Mungu akubariki hyo baba ashangae kuwa Vila yeye mambo yanaenda tuu

  • @ThomasRotich-xk4zh
    @ThomasRotich-xk4zh 17 часов назад +1

    Mungu yupo

  • @SINADATITO
    @SINADATITO День назад +1

    Pole Kipenzi

  • @dinesschamanga
    @dinesschamanga День назад +4

    Hali hii acheni kabisa mimi natembea na chuma mguuni mwaka wa nane sasa sijazoea bado nalia tuu ni ngumu sana kwa sisi masikini😢😢😢

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 2 дня назад +1

    Pole my dear Lydia Mungu akusimamie sana

  • @elizabethmgassa7243
    @elizabethmgassa7243 20 часов назад

    Mungu akutunze lidia pole my.ila nakupenda ulikibaliana na hali

  • @ClaraAdam-i1o
    @ClaraAdam-i1o День назад +4

    Huyu dada mbosso anamtafta jaman afanye naye kazi, naonaga napitia magumu kumbe kuna watu wanapitia zaidi daah inauma sana😢😢

  • @PrinceBonnyTz8
    @PrinceBonnyTz8 День назад +2

    Huyu Dada anaimba kinouma❤

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 2 дня назад +5

    Hom girl wangu unajuwa sanaaaaaaa

  • @IbraIbra-d1x
    @IbraIbra-d1x День назад +2

    I like the way she is comfortable with her accidentally especially the way she talking seriously..... Love you lady🥰🥰🥰

    • @zaitunirashidi5532
      @zaitunirashidi5532 День назад +1

      Hichi kingereza mbona kama Cha kenya😂😂😂😂

  • @NdegwaKai
    @NdegwaKai 21 час назад +2

    Nimekupenda hasa ukiwa bss napenda wimbaji wako

  • @dennisezakiel3380
    @dennisezakiel3380 2 дня назад +3

    Pole sana

  • @BeatriceShekiondo-gw3xw
    @BeatriceShekiondo-gw3xw День назад

    Mungu atembee na ww dear❤

  • @AliceAlice-z9d
    @AliceAlice-z9d День назад

    ❤❤❤❤pole SANA MWANANGU mungu yu PAMOJA nawewe❤❤❤❤

  • @hawabakar1823
    @hawabakar1823 2 дня назад +2

    Pole Sana dada

  • @ChristinaAloyce-pp6vj
    @ChristinaAloyce-pp6vj День назад +1

    Nimejikuta nalia tu😢😢😢

  • @HappyNko-z8f
    @HappyNko-z8f 2 дня назад +2

    Pole sana kipenzi

  • @SimonAlan-dj1pj
    @SimonAlan-dj1pj 4 часа назад

    Mwenye no zake anitumie .mrembo sana huyu .

  • @drisakamwakitalima1937
    @drisakamwakitalima1937 День назад +2

    She's very strong 💪

  • @Issak-g8l
    @Issak-g8l День назад +6

    Pia tanzania kuna Meru😮

  • @HamadBashir-bs5wo
    @HamadBashir-bs5wo День назад +1

    Nimependa 💋

  • @AyubuMzadini-o5r
    @AyubuMzadini-o5r День назад +2

    Dada uko vizur sana na unaweza kuongea kwa confidence sana hongera

  • @MINISTERGLORY-Tanzania
    @MINISTERGLORY-Tanzania 19 часов назад

    Mama yangu mimi❤❤❤❤

  • @angelrichard899
    @angelrichard899 День назад +3

    MUNGU AKUPAMBANIE XANA UFIKE MBALI NAKUONA MBALI XANA LYDIA....

  • @husseinilyas8570
    @husseinilyas8570 День назад

    Respect kenya 🇰🇪
    Talents ziko shida wakuzaji ndio njaa

  • @levinabyamungu8453
    @levinabyamungu8453 День назад

    Pole Sana.

  • @shyfettymtunda4619
    @shyfettymtunda4619 День назад +1

    Pole sana Lydia😢

  • @Dalaman10
    @Dalaman10 День назад +7

    I hate when you interviewing someone then you put loud music behind. We can't hear properly

  • @lizzyevoh8139
    @lizzyevoh8139 День назад +1

    Watu wenye nyota kali goes through alot and she is a great woman

  • @Peterchila-un2lx
    @Peterchila-un2lx 2 дня назад +20

    Binti mzuri sana

  • @VitalisSekondo
    @VitalisSekondo День назад +2

    MUNGU akusimamie Dada mm natamani kuona ukiwa mtu mkubwa saana najua MUNGU amepokea sala yangu kwako mana imetoka katikati ya moyo wangu

  • @ntambisamwel4436
    @ntambisamwel4436 День назад

    Mungu aendelee kufungua njia yako sasa

  • @MeriMari-ol3ii
    @MeriMari-ol3ii День назад

    Great person

  • @tembatembele5332
    @tembatembele5332 День назад +11

    Dada ushakuwa starrr usikubali nyota izime ndo ishawaka2025

  • @Mammy-eq7ef
    @Mammy-eq7ef День назад

    Adi nimelia😭😭 lkn mungu yuko pamoja nawe🙏🙏🙏

    • @dorislema2465
      @dorislema2465 День назад

      Sijaona sehemu ya kutype comment wacha nichomeke yangu kwa apa,,watu wa kukataliwa kama awa hua wanafanikiwa sana mim uyo baba nisingemkubali mazima mpuuz uyo.. et nichukulie kama rafiki loooh inauma sana

  • @PendoMarco-x3u
    @PendoMarco-x3u 2 дня назад +1

    Mungu alikulimda sana heshima na utukufu zimrudie yeye

  • @JosephinaMsagala-m1l
    @JosephinaMsagala-m1l 2 дня назад +2

    Daaaah,polee sana Lydia

  • @josephmwirigi7718
    @josephmwirigi7718 День назад +1

    Aki pole

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY 16 часов назад +1

    dada nakuombea uwe bonge lataaaaar
    mpaka baba yako akome

  • @mariamgodson1290
    @mariamgodson1290 День назад

    Inaumiza😢

  • @zenaibrahim2373
    @zenaibrahim2373 2 дня назад +6

    Hospitali zetu jamani sio siri zinatuumiza mno mungu tutetee sisi masikini😢😢

  • @Rustamaibazov
    @Rustamaibazov День назад

    Hujafa hujaumbika,so sad😢😢😢

  • @innocentoisso6869
    @innocentoisso6869 День назад +1

    😢pambana lidya

  • @anthonmoses1200
    @anthonmoses1200 2 дня назад +1

    ❤❤❤

  • @MwanahamisNyenzi
    @MwanahamisNyenzi 22 часа назад

    Kuna msanii.mmoja.aliambiwa tu ameokotwa analiaaaaaa wakati mama yake alikuwa anamtania

  • @JUU-lw2je
    @JUU-lw2je День назад

    Jaman hukujua tu huku meru kuna hospitali ya nkoaranga ina dr mzuri wa siku nyingi sana wa mifupa

  • @MariamAhmadaMwikalo
    @MariamAhmadaMwikalo День назад

    😢🎉❤

  • @victorcephas3618
    @victorcephas3618 День назад

    Naiona Nuru ya Mungu ndani yake

  • @JehhusRaoul
    @JehhusRaoul День назад +1

    Mmmh no usimtafite Tena Hy jamaa cjui baba atakuja kukutongoza cox Hana mapenzi na wewe kama mwanae pig chini ata akija usimjue huna dhambi malaika wetu

  • @chany9950
    @chany9950 16 часов назад

    Sky tafadari tafuta uyu binti jmn

  • @MonicaAgapiti
    @MonicaAgapiti День назад

    Ata ivyo bado MUNGU anakuoenda kuruka kenye roli weeee sio mchezo omba sana MUNGU nnavyoona we ufi tena MUNGU amekuteta sana amesimama na wewe

  • @NdegwaKai
    @NdegwaKai 21 час назад

    Kwa ww ni mtanzania or ni mkenya

  • @marimgama1494
    @marimgama1494 День назад +3

    Pole sana mungu atakujaali hukupenda wewe uwe hivyo ila ni mipango ya mungu hongera sana usikate tamaa