Jackie nakuomba mimi dada yako,usimwache mume wa jana wako kamwe.Vumilianeni tu,kwani hakuna binadamu aliyekamilika mdogo wangu.Vumilia mwaya na umuombe Mungu akusaidie kipenzi mdogo wangu. Zaburi 37:4-5
So hata mume akimkuta mke wake anazini na mwanaume mwengine hakuna kuachana mpaka kifo? Mbona wanaachana wakristo wengi tu na hao ndio wanaongoza kwa u-single parents
Ivi nyinyi Wadada maarufu mnazaniyaga yakwamba ndoa niwali pilawo?? Nanyama?? Makanisa muanze towa hicho kiapo chakusema eti mtavumiliyana kwa shida na Raha?? Haikuwagi kweli . Njoiyo sasa maana yakike kiapo kama kuna ya kuvumiliya Vumiliya unje ndoa yako kwasababu kesho kesho yake tutakuona namwingi boyfriend usizani eti ukipata mwingine shida hazitakuwa shida zitakuwa pale pale VUMILIyaneni mwisho wasiku mtakuwa sana .
@emmadora7848 mm kaka angu na mkewe ndoa yao imevunjwa kanisani kwasababu huyo mchungaji ndo aliyekuwa mediator wao na alivyoona itafikia pabaya akatoa uwamuzi ambao wote wanahitaji na sasahivi kaka angu kaowa mke mwengine .
@AzizaHamid-v7n uko sahihi ,pale inapoonekana Kuna madhara makubwa ya aweza tokea ,kanisa kinatoa ruhusa ya wao kwenda kutalikiana ,ila lenyewe hakuna hizo talaka NB sijui sana Kwa upande wa makanisa yanayoendeshwa na mtu binafsi
naona humu ndani washaur wapo weng mbona yekwenu yana washinda yani kuna mijitu inajifanya inajua sana ushaur utadhani wanamjua sana jaki or rich sijui ushamba sana sasa nyie maisha ya watu wengine yana wahusu nini kwani awana family zao wao mpaka nyie na kelele zenu comment ujinga kaeni pembeni na maisha ya watu hana kazi za kufanya sijui aww walivyo kua pamoja mliwashaur kitu kuku nyie
@@katyamoses2754 muongo tu kwani Kwa mfano waislam ukimuacha mkeo huwezi mrudia mpaka aolewe na mwingine amuache ndo umuoe na wengi tu wanafanya hivyo na maisha yanaendelea

@@mamakayla6697 duh ime kukwaza 😢😥😓pole Sana 🤔
Mama ujumbe wako wa zaburi nimeupenda umenifanya hata mie nifarijike
😂😂@@humbleshoal
Kausha .....hakuna kubembelezwa mtu
😂@@DINASSOUR
sema hiz ndoa zakukaa mbali na mke au mume ni changamoto sanaa mi sijui kama nitaweza😂😂😂
Tupo wengiii😂😂😂
Happy, kama ndio mmeo ridhki yake imepangwa kwa kua nae mbali kiutafutaji ridhki utakubali tu na utampenda pia.
@@humbleshoalAcha tu tunaeza uvumiliv,upendo wa kwel na kuaminiana
Tokea mwanzo Mungu hakuumba iwe hivi na ilipotokea hivyo tu mambo yalivurugika ,ukweli ndoa za kuishi mbalimbali ni majanga @@humbleshoal
@@salhawaziri1668my dear kubaki kuwa utamuamini Nk lkn janga lazima likutokee 😂😂😂
Ni bora kuowa dada wa kizungu uwa Na mapenzi ya kweli ila hawa wanawake wa kitanzania choo sana hawana mapenzi ya kweli kabisa waongo waongo sana
Nenda kaoe basi huko, kwani ujawahi sikia wameachana
Ata sisi atupendi kuolewa na wabongo,,tunatafuta sana wazungu ata wazee ndyo wenye mapnz yakweli na wanajua care
wakumlaum ni baba yako kuao mtz
Mwenyewe sina mpenz sasa nitasema nn 🤐🤐🤐🤐🤐
Jack ana hasira a kilipuka bado hawajaachana
Hawaachani Hawa
Wanaigiza tuu hao mapimbiii naleo wamekuwa wotee 😅😅😅😅😅
Jitieni midomo mtashangaa wanarudiana waongo mtabakii 😅😅😅
Mungu awatangulie huyo rich kams ndo kakosea he need to respect he's wifey otherwise he will never be happy
Mtu kakozalia imagine
Near rush to judge, labda mwenye makosa ni mwanamke.
@@unclepwechnov1381
Umesema vema, ila yataisha tu tuwaombee wakae sawa
Naomba kuuliza ivi tangu lini mkubwa akamuacha mdogo? 😂😂😂😂😂 Apo dada ndo katemwa, ee nifunge mdomo mie kuna mahakama kumbe 😅😅
Wew nawe mwehu tuu
@dorislema2465 😀😀😄😄 Apo tear ushatemwa na kibabu chako, pouleee shoga angu👌🏻 ndo ukubwa huo 😆 jikaze
So hata mume akimkuta mke wake anazini na mwanaume mwengine hakuna kuachana mpaka kifo? Mbona wanaachana wakristo wengi tu na hao ndio wanaongoza kwa u-single parents
😮😢😢
Mimi siwaelewi elewi awa juzi tu kwenye birthday ya jaq alifanyiwa surprise ehe
Mbona simfahamu rich mitindo
Mume wa wolper, wengine sijui mko sayari ya pluto jamani
😂this guy ajuiii kila mtu 😅
Ivi nyinyi Wadada maarufu mnazaniyaga yakwamba ndoa niwali pilawo?? Nanyama?? Makanisa muanze towa hicho kiapo chakusema eti mtavumiliyana kwa shida na Raha?? Haikuwagi kweli . Njoiyo sasa maana yakike kiapo kama kuna ya kuvumiliya Vumiliya unje ndoa yako kwasababu kesho kesho yake tutakuona namwingi boyfriend usizani eti ukipata mwingine shida hazitakuwa shida zitakuwa pale pale VUMILIyaneni mwisho wasiku mtakuwa sana .
Nyinyi endeleeni kudanganya watu
Jackie please usivunje ndoa yako sababu ya ubabe! Vumilia kama Zuchu. Ndoa lazima upitie misuko suko! Jikaze Na kubali kuonekana mjinga. Sisi wakatoliki hua hatuachani.....kumbuka wazazi wenu
Wamefunga ndoa kanisani sasa msijidanganye ndoa ya kanisani haivunjikag labda mungu awatenganishe
Zinavunjika na mm nilishawahi kushuhudia
@@AzizaHamid-v7nmahakama ndio inavunja ila sio kanisani
@emmadora7848 mm kaka angu na mkewe ndoa yao imevunjwa kanisani kwasababu huyo mchungaji ndo aliyekuwa mediator wao na alivyoona itafikia pabaya akatoa uwamuzi ambao wote wanahitaji na sasahivi kaka angu kaowa mke mwengine .
@AzizaHamid-v7n uko sahihi ,pale inapoonekana Kuna madhara makubwa ya aweza tokea ,kanisa kinatoa ruhusa ya wao kwenda kutalikiana ,ila lenyewe hakuna hizo talaka NB sijui sana Kwa upande wa makanisa yanayoendeshwa na mtu binafsi
Tatizo lenu wasanii kila kitu mnataka mjulikane kama mumefanya.
Ningekua yeye nisingethubutu kuwaambia walimwengu
@humbleshoal Yaani upuuzi mtupu walionao wasanii wengi
Huyu anaumia kuliko wolper 😢
naona humu ndani washaur wapo weng mbona yekwenu yana washinda yani kuna mijitu inajifanya inajua sana ushaur utadhani wanamjua sana jaki or rich sijui ushamba sana sasa nyie maisha ya watu wengine yana wahusu nini kwani awana family zao wao mpaka nyie na kelele zenu comment ujinga kaeni pembeni na maisha ya watu hana kazi za kufanya sijui aww walivyo kua pamoja mliwashaur kitu kuku nyie
😀😀
Kwani wolpa ndio nani
Ndoa ya kanisani haivunjiki
Yan sns kumbe nanyie mnapostig umbea khaa skutarajia😅😅😅😅
Labda kama ni mgeni wa channel hii
Hio ndo kazi ya media. Alafu umefata umbea eti
@@patricksimiyu7889 mmh me nimefata umbea tena hahaha sasa kwann niulize tena kama ndo nimeufata
Just drama !
Kwani hawakuyajua mwanzo
Ndoa ya kanisani haina kalatasi
kiki
Kiki iyo
Kiki iyo 😂😂😂😂
Kiki tu mmeona na nyie tuwape attention 😏😏😏
Huwezi kuishi milele na mke ambae una jua kua amecha lala na mtu fulani
Alimuoa wa nn Sasa ? Si angetafuta mke mwingine
ndo akili yako ilipoishia kwani alipigwa pingu kumuoa watoto wawili wote wa nn
@@emmadora7848
Huyo nae sijui anaongea nn, alijua sana na akamuoa, km ni kweli wako tu na shida nyingine.
@@katyamoses2754 muongo tu kwani Kwa mfano waislam ukimuacha mkeo huwezi mrudia mpaka aolewe na mwingine amuache ndo umuoe na wengi tu wanafanya hivyo na maisha yanaendelea
Huyo malaya wa kichaga walivyovulia chupi wanaume wote wa dar ni lazima alikuwa anaendelea kufirwa jamaa kaamua kumuacha bibi wa kichaga 😅
KUOLEWA NA VITOTO NDIYOCHIDA KHAAA KWALEO NIVI BABU
Vumilia shoga
Amuwez kuvaa elen mke na mme afu mkasema mna ndoa
NShaangaa
Umenena 👌👏
Hahaha kweli maana hajulikani mwajumayupi
@mustafamsati9599 wote unawaona mwajuma humjui juma yupi Mana mapambo ya mwanamke wanavaa wote wawili
😂😂😂
Ni bora kuowa dada wa kizungu uwa Na mapenzi ya kweli ila hawa wanawake wa kitanzania choo sana hawana mapenzi ya kweli kabisa waongo waongo sana