Mahojiano kamili ya Tundu Lissu na Zuhura Yunus

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 15 янв 2019

Комментарии • 664

  • @neemasanga416
    @neemasanga416 5 лет назад +30

    dada wewe ni mtangazaji
    haswaaa! mungu akubariki
    sana.

  • @lucaspaul7308
    @lucaspaul7308 5 лет назад +4

    this man is too brilliant..saluti sana

  • @markosamuel6490
    @markosamuel6490 5 лет назад +9

    List Yangu ya wabunge ninao wakubali Mimi binafsi bila kujari chama chochote top ten :
    (1) freeman mbowe
    (2)zitto Zuberi kabwe
    (3)Peter msigwa
    (4)Livingston lusinde
    (5)Hussein bashed
    (6)Abdlallah ulega
    (7)Nape Nauye
    (8)Esther bulaya
    (9) waziri Wa katiba na sheria Palamagamba kabudi
    (10)Goodluck mlinga

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 года назад

      Wewe kivuruge unatumiwa sasa ni marehemu Rais wetu magufuli wewe kila kitu unamshutumu kila kitu afanyacho cha maendeleo ulikuwa unampiga vita s

  • @aurora2010ist
    @aurora2010ist 5 лет назад +5

    Kweli kaka, hakika huwezi jua thamani ya kitu hadi ukikose, hatukujua thamani ya uhuru, sasa tunaijua barabara.

  • @johngibson3089
    @johngibson3089 Год назад

    Asante Lissu

  • @clementdiyay1544
    @clementdiyay1544 4 года назад +2

    Tundu Lisu your a good example to other politicians in Tanzania actually I appreciate you.

  • @shaibuhamisi8715
    @shaibuhamisi8715 5 лет назад +63

    asante da zuhura kwa interview nzuri..

    • @babazizu1255
      @babazizu1255 5 лет назад +1

      Ccter anamuuliza maswali ya mantk Sana na lissu anajibu ipasavyo Ahsnte Sana Lissu

    • @brunomhagama1880
      @brunomhagama1880 5 лет назад

      yale maswali magum sana ukiangalia zuhura kama anaegemea sana sehem moja iv ila lissu yuko very bright kujib na wala hapanik

    • @rajabkisebengo9406
      @rajabkisebengo9406 3 года назад

      @@babazizu1255 ipo mijitu inasema anaulizwa kingine anajibu kingine wakat wenye akili timamu wameona alivyofanya vya maana ni ivyo sasa hata wana habari wenyewe wanaogopa kumuuliza maswali mkulu sababu hafikiki japo yupo karibu tu

  • @anitaprincess4290
    @anitaprincess4290 5 лет назад

    Mwenyez mungu akulinde na hao watu wasio julikana 2020 kura yangu Unayo tayar Tanzania ya sasa ni yawatu wasio julikana mauaji ya kutisha utekaji wa watu dah mungu inusuru Tanzania

  • @nazarethkaanani545
    @nazarethkaanani545 5 лет назад +17

    Zuhura yunus hongera sana mama unaijua kaz yako una uliza swali ya msingi sana alafu namuona msomi ana potea kabisa kwenye point.
    Narudia tena ita chukua miaka 100 CCM kutawala coz wapinzani wake Bado hawajielewi nini wanacho kitafuta

  • @mirajilugoda7091
    @mirajilugoda7091 5 лет назад +152

    Wakwanza mwenyewe gonga likes kwa mzee Lissu kama unamkubali

  • @alquinmadoro6090
    @alquinmadoro6090 5 лет назад +6

    Welcome back home Tundu lissu

  • @abdulswamad2859
    @abdulswamad2859 5 лет назад +19

    good very good lisu ukosawa ulicho kizungumza.

    • @nellystermutta6372
      @nellystermutta6372 5 лет назад

      .

    • @samsonngakama8765
      @samsonngakama8765 4 года назад

      Mungu humlinda mtu muovu ili mtu mwema anapo balikiwa abaki akijionea kwa macho, lysu si wa kwanza kuwa mgumu wa nafsi toka enzi mungu aliwafanya watu kama hawa wawepo ili Taifa litambue mtu wa Mungu kwa wakati wake, sasa ni zama za JPM, lysu tulizana kabisa, wazoee mitume wengine sio kwa mtume huyu mteule wa Taifa letu.

  • @naseebalmas5913
    @naseebalmas5913 5 лет назад +1

    Utasubiri sana, wapiga kura halali tunasongesha gurudumu na hatutumiwi na wamataifa.

  • @gipsonjaphet861
    @gipsonjaphet861 4 года назад +3

    Kwa kweli BBC uko good

  • @fadhilmwami1478
    @fadhilmwami1478 5 лет назад +2

    Napenda kazi zenu bbc..mko vzuri..Ila nina maoni kwenye picha zaidi..
    Overshoulder na medium close up ni chaguzi chache sana kwa picha..kungekua na long shot..close up ya mtangazaji wakati anasikiliza na close up ya source pia wakat anasikiliza ingependeza zaidi..

  • @eliasayasini1466
    @eliasayasini1466 5 лет назад +111

    Kusema ukweli niliahidi kuto piga kula tena ila Lissu ndio mtu peke ambae naimani nae kwenye siasa

  • @joojombi4054
    @joojombi4054 5 лет назад +7

    Umeulizwa mazury aliyo yafanya mpk sasa unajibu pumba. Hata humuogopi mungu aisee. Pole saana

    • @emanuelthomas2379
      @emanuelthomas2379 5 лет назад

      Huna Sera Ikungi imekuchoka wewe unaleta maneno...
      Au tukupe maendeleo ya Ikungi??

  • @jafarinapinda5985
    @jafarinapinda5985 4 года назад

    Mungu akubark kk angu kwa ndoto zko

  • @Felix72282
    @Felix72282 5 лет назад +1

    Utasubiri sana. Urais utausikia redioni

  • @florafilbert9817
    @florafilbert9817 4 года назад +3

    Magufuli is the best

  • @princebaissa2506
    @princebaissa2506 5 лет назад +6

    ufai kuwa raisi bola mwenyekiti wa singida vijijini

  • @aridiyahya8049
    @aridiyahya8049 5 лет назад +21

    Sisi raia tuko free na tunafanya kazi. Labda wanasiasa hawako free tena na propaganda zao. Ufree tulionao unatutosha ukizidi hapo basi ni uharibifu. Hata mwizi akiiba anataka awe free asikamatwe. Hata mtu akitukana au akapiga anataka awe free.

  • @labannigaluss335
    @labannigaluss335 5 лет назад +37

    pole sana tund urais kagombe singida

  • @machasofficialsite6221
    @machasofficialsite6221 5 лет назад +108

    Upinge usipinge,mheshimiwa Lissu ana akili sana,anajua kuijenga hoja,maswali ya muandishi ya kimtego,ila mzee lissu anaakili kupambanua....kama unayetizama una akili timamu.....pambanua alivyosema fulani amefanya uzuri kwa kuwa mtu pekee anayetunza haki za binadamu,mtazamaji pambanua vizuri

  • @yusuphmohammad1385
    @yusuphmohammad1385 5 лет назад +30

    Brother we njoo tu upumzike huku rais ni mmoja tu magu 2025
    Hatuimbi wimbo mwengine...
    Ni heri ya alieanza na matokeo tunayaona kuliko mpya atakae anza na sifuri

  • @nicolausjoseph3670
    @nicolausjoseph3670 5 лет назад +5

    Saf sana mh lisu karb tz ila kuwa makini

  • @tanunewstz
    @tanunewstz 5 лет назад +14

    Wapinzani hawana la kuwambia watanzania wamebaki kubwabwaja tu kwakua wasionekane wakiwa kimya pia lissu nadhani ndie mbunge asiejielewa kuliko wabunge ote ni mpuuzi tu hawezi kua mtu asieona maendeleo anayoyaleta JPM th president of TANZANIANS

  • @evansm8802
    @evansm8802 5 лет назад +9

    I respect this lawyer

  • @edwardlutema8800
    @edwardlutema8800 4 года назад +2

    Lazima niwe mkweli ili niwe huru siasa za tundu lisu nazichukia sana pale anaposema Tanzania Tususiwe,Tunyimwe misaada,Tuzomewe wewe ni msaliti wa nchi yetu mama Tanzania hautufai

  • @reganzawadi4965
    @reganzawadi4965 5 лет назад +71

    Akili kubwa, wakili msomi, karibu sana Tanzania.

    • @fredymushy9674
      @fredymushy9674 5 лет назад

      Lisu unaishi kwenye mioyo ya watanzani walio wengi

  • @eddynyaki5539
    @eddynyaki5539 5 лет назад +6

    Magufuli mpaka 2025

  • @yunusabdulwallace3801
    @yunusabdulwallace3801 5 лет назад +1

    Lissu mjinga sana.ataka kila linalofanywa kuchunguza tukio lake lisemwe hadharani? Anatumiwa na wazungu huyu watanzania tuwe makini.

  • @hafidhiathumani9156
    @hafidhiathumani9156 5 лет назад +276

    Rais wangu 2020,kama unamkubali lissu gonga like hapa

    • @amanistephano5208
      @amanistephano5208 5 лет назад +3

      Hafidhi Athumani rais ni magufuli had 2025 na hapo atatawal mwingin ila sio lusu na ukawa. ccm mbele kwa mbele

    • @hafidhiathumani9156
      @hafidhiathumani9156 5 лет назад

      @@amanistephano5208 2020 utakua umepotea kama utaweka ndio kwa ccm

    • @gracetitus9963
      @gracetitus9963 5 лет назад

      Hafidhi wewe una kura moja tu. Good luck kama hiyo kura moja itampa urais.

    • @jenifakalinga6819
      @jenifakalinga6819 5 лет назад +4

      Huyu jamaa hana spirit ya uongozi. Anaonekana amejaa chuki na visasi.

    • @hafidhiathumani9156
      @hafidhiathumani9156 5 лет назад

      @@jenifakalinga6819 wala sio chuki na visasi anaongea ukweli mtupu jenifa

  • @bonifacebenny2733
    @bonifacebenny2733 5 лет назад +14

    Maswali mazuri sana ya Zuhura Yunus ila hujajibu hata moja... ungejibu vyema ungejiweka kwenye nafasi nzuri sana ya kuaminika ila sasa umepiga propaganda hadi mwandishi amebakia kukushangaa tu...

    • @jamessadala3365
      @jamessadala3365 5 лет назад +1

      Boniface Benny akili xenu mpaka ujikwae ndo ufikili kamaanisha nn koo ni vigum xana kwaakili ako kumwelewa

    • @estheregito4498
      @estheregito4498 5 лет назад

      Wakati mwingine kumuelewa ndo inakuwa tabu

  • @emmanuelnjelekela6299
    @emmanuelnjelekela6299 5 лет назад

    umetisha kamanda😂👍👍

  • @gervasyemba440
    @gervasyemba440 5 лет назад +10

    Kati ya watu ambao wanaiharibu jamii ni wasomi ambao fani zao huzigeuza kuwa mtaji.
    Watanzania hawahitaji hayi Lissu wanataka maendeleo kiuchumi, kumbuka freedom na economy ukivitumia vibaya utakuta haviendani. Nyumbani ukiwa na uhuru wa kila mtu afanye atakavyo utazalisha wezi, vibaka, changudua, wazembe, walalamikaji n.k
    Mataifa mengi yaliyoendelea yalitenganisha uhuru na uchumi. Hata marekani yenyewe HAKI ZA BINADAMU mdomoni kiutendaji hapana kitu. Wamarekani milioni 400 wanaamuliwa nani awe rais na watu 538 tu. Wanajua asilimia kubwa uhuru huharibu mind za watu na kuzalisha non profitable generation. Tundu lissu tunahitaji economic strategies kulinasua taifa letu sio hayo unayoyasema ambayo walioyaanzisha hawayaamini pia. Ufaransa kaweka ndani waandamanaji hajui haki za binadamu????

  • @muhajiryayub7406
    @muhajiryayub7406 5 лет назад +13

    Wahenga walisema akili nyingi zinaondoa maalifa, Mheshimiwa Lisu ukipata nafasi nyingine yataje mengi uliosema Rais Magufuli ameyafanya na sio malalamiko

    • @davidchesco52
      @davidchesco52 4 года назад

      MUHAJIRY AYUB daaaah kweli yan akili imezid maarifa yamekimbia

    • @edisonmjema2620
      @edisonmjema2620 4 года назад

      Yanayo fanyika siyo hisani mzee nikodi zetu

  • @emmanueltesha5612
    @emmanueltesha5612 5 лет назад +14

    Kila rais anaepita nakumaliza mda wake akija mwengine mnasema bora aliyepita.uhuru waliulilia lybia nakusema ghadafi hafai lakin tazama Leo lybia Vita Kila Leo.hatukatai katiba Ila mkubali kile ninachofanywa

  • @alexanderhassan3747
    @alexanderhassan3747 5 лет назад +1

    Nguvu zakuzunguka ulaya unapata, lakini nguvu za kuja Tanzania Huna!!!??

  • @folozanioscar9097
    @folozanioscar9097 5 лет назад +4

    nisahii ✌️✌️

  • @issazakaria9704
    @issazakaria9704 4 года назад

    Good sana Zuhura Yunusu wewe ni international journalist nakukubari sana mama

  • @barakambisa96
    @barakambisa96 5 лет назад +1

    2020 president to be,thumbs up who Appreciate

  • @jozuerwetabula4039
    @jozuerwetabula4039 4 года назад

    naiona libya tz kwa mbaliiiiiii mungu tusaidie cc.

  • @florajoseph3550
    @florajoseph3550 5 лет назад +5

    pipoooooz walioko humu jamani Lissu 2020👣

  • @brysonnicholaus5369
    @brysonnicholaus5369 5 лет назад +8

    Huna jipya

  • @oloshokiabdikorle5252
    @oloshokiabdikorle5252 5 лет назад

    daaah nakukubali sana 2020 lisu

  • @ditrickkomba6373
    @ditrickkomba6373 5 лет назад +2

    hii bongo bahati mbaya

  • @Mcsceo
    @Mcsceo 5 лет назад +4

    Unadeserve 2020 nitakupigia kura mzee

  • @nyandaboyagayaa2964
    @nyandaboyagayaa2964 5 лет назад +2

    Welcome LISSU nwanaharakati wa Tz na Africa..MUNGU akusaidie my Future Presdent

  • @ngalawekikohingalawekikohi4768
    @ngalawekikohingalawekikohi4768 5 лет назад +2

    Good

  • @agnessnkugwe615
    @agnessnkugwe615 3 года назад

    Asante Mungu kwa uhai wa Lisu

  • @pesangwasalim5258
    @pesangwasalim5258 3 года назад

    Kweli huyu alipata bora elimu😁😁😁 yaani anaongea pumba tupu

  • @hamisimgama8682
    @hamisimgama8682 5 лет назад +4

    Njaatu inakusimbua wee pumzika ,hufai kuwa rais hunasifa hata robo.

  • @zaharanijuma6410
    @zaharanijuma6410 5 лет назад +2

    Mbona unazungumzia haki za binadam hasa nadhani unatetea ushoga

  • @tanunewstz
    @tanunewstz 5 лет назад +11

    Jamaa anahic kama kakosewa kuzaliwa TANZANIA wapinzani tumewanywesha dawa yao sasa wamekua waropokaji CCM na DR JPM OYEEEE

  • @sikudhanmadaha8065
    @sikudhanmadaha8065 5 лет назад +1

    boyaa tu uyooo kapagawaaaa

  • @jamesminja3273
    @jamesminja3273 4 года назад

    thank youuuuuuuuuuuuuuuuuuuuu master

  • @ramadeguzman8695
    @ramadeguzman8695 5 лет назад

    Tundu lissu utashinda urais 2020 mungu yupo pamoja na wewe

  • @richardlambert6644
    @richardlambert6644 5 лет назад

    Mungu awe pamoja nawe amen

  • @khalidkhan8389
    @khalidkhan8389 5 лет назад

    Nice video

  • @yusuphhalili2106
    @yusuphhalili2106 5 лет назад

    Tundu lissu anacho kisema nichakweli kabisa mungu amjaalie tundu lissu

  • @tisamokebule302
    @tisamokebule302 4 года назад

    Tukae chini tujitafakali kama nchi naiona chuki zaidi baina ya viongozi na baina ya wana siasa faida za chuki ni maumivu au kutesana uone mfano Wa Tundulisu Mungu atusaidie Watanzania

  • @athumanathuman4002
    @athumanathuman4002 5 лет назад +3

    🙏🙏🙏🔥🔥🔥👌👏

  • @josephmolle
    @josephmolle 5 лет назад

    Mungu ni bariki

  • @feyzalyusuph14
    @feyzalyusuph14 5 лет назад

    Dah huyu jamaa yuko smart sana kichwani

  • @elinazasendoro9951
    @elinazasendoro9951 5 лет назад

    You are born to be a leader the next president tz 2020

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 2 года назад

    Huyo jamaa ukimsikia majibu yake anaonekana ukimpa nchi anaweza kudhalau kila mtu.

  • @nguzomudy9085
    @nguzomudy9085 5 лет назад

    lisu pole sana kwa kushambuliwa na risasi nanazidi kukuombea dua uzidi kuimarika naamini ipo siku utatutumikia watanzania wote ukiwa ndio rahisi mpenda haki na msema kweli

  • @linusmagezi8398
    @linusmagezi8398 4 года назад +1

    Siwezi kukupa kura yangu Magufuli anatosha

  • @hamidaalhabsi8568
    @hamidaalhabsi8568 2 года назад

    WALIKUWA pengine panya road

  • @djnotoriuz
    @djnotoriuz 5 лет назад

    Dah kazi na uhuru %%%%

  • @nicholaschalle8288
    @nicholaschalle8288 5 лет назад +17

    Lissu Umetikisa Mti ambao alikuwa nyoka juu yake, na amedondoka na kuchanika tumbo,

  • @elibarikwinie2214
    @elibarikwinie2214 5 лет назад

    Pamoja sanaaaaa baba✌✌✌✌✌✌ 2020@unaingiaikulu 💪💪💪💪

    • @chapteronlinetv5879
      @chapteronlinetv5879 5 лет назад

      Hahahaha rabda bafn ila syo ikulu niniyo ijua mm

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 3 года назад

      @@chapteronlinetv5879 😂😂😂😂😂😂😂 kwanza aingie kufata nn labda

  • @faustinetaaluma551
    @faustinetaaluma551 4 года назад

    Aminia sana genius

  • @6xrecca175
    @6xrecca175 5 лет назад

    Gombeea baba 2020 kura zipooo

  • @faizack1339
    @faizack1339 5 лет назад +3

    hatari sana 2020 nampgia rais tu ndo namuelewa kazi ake

  • @abelyjastin9424
    @abelyjastin9424 5 лет назад

    Penda sana Lissu Rudi Tanzania Muujiza unaoishi,

  • @avax5717
    @avax5717 5 лет назад +15

    Mbona mmeshindwa kumdhibiti Mbowe? Mwenyekiti wa kudumu. Huo siyo utawala wa kifalme.

    • @chicondb9913
      @chicondb9913 4 года назад

      Avax5 ziza

    • @emmanuelsuleiman4890
      @emmanuelsuleiman4890 4 года назад

      Good

    • @barakamshiu7146
      @barakamshiu7146 4 года назад

      Avax5 kasome ilani ya chadema kwanza ndo uje ukomenti mkuu. Usifananishe ilani ya chama na katiba ya nchi. Miaka ya uongozi katika hivo vitu viwili ni tofauti.

  • @saidbanga
    @saidbanga 5 лет назад

    Kuna Elimu ya maneno na Elimu ya Vitendo watu wengi tunashindwa kutofautisha wasomi tulionao wanatumia vichwa vywao na elimu zao katika vitendo au maneno..!! Wapo ambao wakiongea wanajua kupanga hoja na utapenda lakini vitendo zero na wapo ambao hawajui kuongea ila ukimpa atende kwa kutumia elimu yake utapenda..!! Tanzania Watanzania...!! Kila mtu anafalsafa yake katika maisha huwezi taka falsafa zako wewe wengine wazikubali hata uwe mwema kiasi gani watu watakupinga tu... ikiwa mitume ilipingwa Mwenyezi Mungu Mwenyewe watu wanampinga Vipi mimi nawewe...?

  • @semanasitv8303
    @semanasitv8303 5 лет назад +7

    kura 2020 kwako ✌✌✌

    • @petermakungu5400
      @petermakungu5400 5 лет назад +1

      Huyu jamaa akili yake sasa hivi sawa na chid Benz maana anaulizwa kingine anajibu kingine

    • @cipladapretty8617
      @cipladapretty8617 3 года назад +1

      @@petermakungu5400 😂😂😂😂😂😂 hata tungempa nchi angetuuza

  • @amashakigelulye7632
    @amashakigelulye7632 5 лет назад +2

    umeshindwa kujibu maswali vizuri

  • @talibsaid8081
    @talibsaid8081 3 года назад

    Yaani huyu jamaa hampendi Magufuli kwa sababu zake yaani hakuoona hata jambo zuri moja

  • @hamishasan7737
    @hamishasan7737 4 года назад +2

    Huyu jamaa sioni anatusaidia nn anaongeaga mambo yanayomuhusu mwenyewe

    • @florafilbert9817
      @florafilbert9817 4 года назад

      Kabisaaaa

    • @mgallason...5686
      @mgallason...5686 3 года назад

      Mbinafsi akumbuke hao wabelgiji wameifanyeje DRC na walimfanyaje Patrice Lumumba.

  • @isaacmafole2136
    @isaacmafole2136 5 лет назад

    Umepata kula yangu 2020 mh. Tundu lisu

  • @bushirymbonde6667
    @bushirymbonde6667 5 лет назад

    gud kiongoz

  • @jafetzmwacha1503
    @jafetzmwacha1503 5 лет назад +1

    2020--oyeee Lisu oyeeeeeh piople 🏁

  • @musabombo6798
    @musabombo6798 5 лет назад

    your presdent of the republick of Tz love you lissu

  • @meshackelias2893
    @meshackelias2893 5 лет назад +1

    the role mode of tanzanian

  • @lucaskabadi3825
    @lucaskabadi3825 5 лет назад

    Na kweli Watanzania hutufai chizi lissu

  • @bockernyarusahi3655
    @bockernyarusahi3655 5 лет назад +8

    Tunakusibir kwa ham kamanda Lissu

  • @davidbochela9652
    @davidbochela9652 5 лет назад +1

    Bro,sioni kama unatosha,jipe muda Wa kutosha kujitathmini unachohitaji.

  • @bahatevagre933
    @bahatevagre933 4 года назад

    Godbless you Lissu ,ww ni MTU ulieteuliwa na Mungu

  • @talantafalsafa5895
    @talantafalsafa5895 2 года назад

    Huyu jamaaa hata Mimi hanizidi point pumba tu

  • @josephinekicheleri860
    @josephinekicheleri860 3 года назад

    Kwa kweli lissu maswali unayoiliza yanakusuta.
    Wew uwezi kuongoz nchi hii gombea iraisi ubergiji wazungu wakuchague.ona jinsi maswali yalivyokuelemea ....umeshindwq kujibu .

  • @boywiz1242
    @boywiz1242 5 лет назад

    asante kamanda lissu

  • @evansm8802
    @evansm8802 5 лет назад

    Presido material

  • @florafilbert9817
    @florafilbert9817 4 года назад +1

    Tundulisu abaki huko asituchafuliee nchi na siasa zake chafuu anajizungumziaga yeye tuu

  • @waseemvasta2867
    @waseemvasta2867 5 лет назад

    ✌✌✌✌ full support

  • @jeniferkabigumila1653
    @jeniferkabigumila1653 5 лет назад

    pole kaka Yangu

  • @frenkkasike2259
    @frenkkasike2259 5 лет назад

    Safi sana