BUNGENI: MBOWE VS MAJALIWA KUHUSU SHAMBULIO LA LISSU

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 дек 2024

Комментарии • 372

  • @murithiramires9058
    @murithiramires9058 3 месяца назад +13

    Tunaona hii video 2024 mnipe like. Tundu Lissu atakomboa Tanzania mwaka ujao

  • @afyatv2220
    @afyatv2220 3 года назад +18

    Waliorudi na kuingalia hii video 2021 kama mimi tujuane kwa likes hapa

  • @amenyemwansile631
    @amenyemwansile631 4 года назад +14

    Mbowe kweli Ni genius nakukubali brother mbowe

  • @abdullykapole9617
    @abdullykapole9617 5 лет назад +9

    Usipo jua swali bora uliza warudie hili hujibu vzr swali maana njia ni barabara wewe unapita kwenye maji jibu swali la MBOWE vzr...🙏

    • @charleskingimwakasagule5752
      @charleskingimwakasagule5752 3 месяца назад

      Kweli kabisa wazili alipuyanga sana eti alitumia akili sana kukwepa kumbe sisiemu ilimtuma kujibu

  • @nabiipetermaganga.7715
    @nabiipetermaganga.7715 5 лет назад +6

    Majaliwa hawezi kujibu hayo maswali ya mbowe ni magumu sana majaliwa analikwepa kujibu maswali mbowe hongera kwa maswali mazur wazur mkuu hawez kuyajibu

    • @jumajumanne651
      @jumajumanne651 5 лет назад

      Peter Mapesa ccm oyeeeeeee majaliwa safiiiiiiii

  • @kavassay8899
    @kavassay8899 5 лет назад +8

    Mboowe mungu akupe miaka10000

  • @alhaji6094
    @alhaji6094 7 лет назад +8

    Wazir Mkuu ameshindwa kujibu swal naona anazunguka tena pale alipoambiwa umekosea mwanzo

  • @niazonbukoke1964
    @niazonbukoke1964 Год назад +3

    Majaliwa ni kilaza kwa Mbowe

  • @stephenmkulia9745
    @stephenmkulia9745 7 лет назад +14

    Hata mimi nashangaa maudhui ya makofi hayo. Hakika wabunge wetu ni vilaza ajabu.

    • @muhidinihassani520
      @muhidinihassani520 5 лет назад

      Hao ndio ccm oyeee kazi yao NI kupiga makofi tu, sio kujadili kwa maslai ya nchi

  • @paschalinejoginda5702
    @paschalinejoginda5702 7 лет назад +8

    jibu swali bna,,,unajikanyaga mheshiwa

  • @isaacnewkaboy9132
    @isaacnewkaboy9132 7 лет назад +13

    Majaliwa nilikuwa nakukubali kwamba unawezo mkubwa lakini kwa majibu haya.... "ww ni kibaraka" maana inaonesha wazi huna maamzi ww kama mtendaji mkuu wa serikali.... yaaan unazunguka bado hutoi majibu yayoeleweka... shame up on u

  • @edwiniedwin3347
    @edwiniedwin3347 5 лет назад +4

    Mbowe nakuelewa sanaaaa , hawana majibu hao ya kukupa mkuu .

  • @mathiaspaulina7355
    @mathiaspaulina7355 7 лет назад +8

    mh . waziri mkuu kwann msiruhusu vyombo vya nje vifanye uchunguz haraka ili suala LA unyanyasaji na mateso kwa tz ikomeshwe haraka?

  • @bulessatv3323
    @bulessatv3323 4 года назад +2

    Ni kweli umuhimu Wa Uchunguzi wa kina ni Muhimu ila kama Mtu anajeruhiwa kwenye Maeneo ya Watu wakubwa yaani Mawaziri na Ni maeneo yenye Cctv camera na high securty una Vamiwa na Asijulikane hadi leo zaid ya miaka 3 kuna tatzo either Kwenye vimbo vya ulinzi Ushauli wangu Tuweni wamoja kuijenga Nchi Si kosa kwa kiongozi kukosolewa pale anapoonekana hajafanya vyema Mhe Waziri Naomba ujibu kwa Faida ya Audience ote na Tanzania Kwa Ujumla
    Tanzania yangu Nchi yangu

  • @jacobolucas5935
    @jacobolucas5935 5 лет назад +13

    Wehu nyie tushawajua serikali yenu ni ya watu wasio julikana uchunguz mpaka saiv miaka 3 mungu yupo atawalipieni kwa yale mnayo yatenda

  • @musamabura5200
    @musamabura5200 7 лет назад +13

    Majaliwa hajajibu swali la Mh Mbowe ,,,amezunguka bila kusema kuwa anaruhusu international investigators au lah!!

  • @micamathew6433
    @micamathew6433 5 лет назад +8

    Bado mh Majaliwa anajibu kwa kuficha, sasa hapo kuna tatizo..mh Mbowe ww kuwa na subira, iko siku mambo yatanyooka tu.

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 года назад

      Eeee amen yatanyooka,kwani tunaishi miaka mingapi ??? Mpaka asubili mambo yatanyooka ??dunia tambara bovu

  • @starlily07
    @starlily07 7 лет назад +3

    Maswali yako Mh Mbowe yamewashika pabaya, hawawezi kujibu moja kwa mojaa ni kujikanyaga tu, aibu yao but time will tell na Mungu yupo kazini.

  • @venancebasil4656
    @venancebasil4656 7 лет назад +8

    daaaaah wanasiasa wanajua kuzungusha maneno

  • @r-boymnyange3743
    @r-boymnyange3743 7 лет назад +8

    Majibu ni tofaut na swali uchunguzi mpaka lini Sasa matukio yote ya Zaman mbona hakuna hata jibu hata 1

    • @mbonireamina6497
      @mbonireamina6497 5 лет назад

      Katika watu wanaharibu hii Tanzania ni hawa CCM. Wanadhanishia wamewekwa madarakani milele. Namkumbusha tu Magufuli kuwa kuna mtu alikuwa anajiita Idd Amin yuko wapi. Alijipa majina makubwa kuwa yeye ni Rais wa Maisha Uganda leo yuko wapi. Mtanzania ukiwa hai mshukuru MUNGU wako na watendee wenzako mema. Magufulib anamwambia "MNYIKA" nimekuletea Maji kwenye jimbo lako unataka DEMOKRASIA. Hivi Magufuli ndie analeta maji au kodi zetu anazochukua. Laana ya kuwavunjia wapiga kura wako nyumba na kuwaambia hautalipa fidia ni unyama na malipo yake utayaona mda sio mrefu. Mbona Karume kule Zanzibar alikuwa anawajengea watu nyumba za kuishi wewe unakimbilia mambo makubwa wakati watu wako unawavunjia nyumba bila kuwalipa. Watu uliowaua damu zao zitakulilia milele hautakwepa hilio. Umekuwa "HITLA" wa Tanzania unawazuia wenzako kufanya mikutani wewe ni kama nani Duniani. Umebatiuzwa unaitwa "YESU" haya ni majanga. Hivi unaweza jifananisha na YESU kweli wewe Dikteta. Tujengee hosipitali za rufaa hatuna haja ya kwenda India tena. Ndege zzako zikienda India waliojaa ndani ni wagonjwa wa Tanzania hakuna hata wafanya biashara. Tuambie basi Watu wako hasara tuliyopata kwenye biashara ya Kusafirisha Gesi na korosho kuja na Dar es salaam. CCM kwa nini hampendi kusema ukweli. Mumelipa Deni la ndege Dola milioni 20 bado milioni 13 mnasema mumeshinda kesi. Kwa nini mnatufanya wajinga. Mimi niwaambie tu 2020 tutaminyana sana. Wabunge wa CCM mtakula mikongoto mbaya sana. Tumechoka kuona mko Bungeni kiupiga makofi tu.

  • @abubakarimchani114
    @abubakarimchani114 7 лет назад +13

    mungu atakuja kutoa jibu ck1 tu tuombe uzima2

  • @SimonSaimon-n4f
    @SimonSaimon-n4f 3 месяца назад

    Mweshimiwa amnaa kazi

  • @rashidyishika6868
    @rashidyishika6868 5 лет назад +4

    We wazir Mkuu kumb Msanii??

  • @africanstears7755
    @africanstears7755 5 лет назад +6

    cctv camera kwenye majengo jilani na nyumba ya tundulissu ziko wapi

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 4 года назад

      Ndugu wapendwa leo nimefurahi sana kumsikiliza rais Magufuri.Kasema!!!! Wapelelezi ndiyo shida eanachukua mda mwingi mno kupeleleza na kutoa jibu na ndiyo maana nanukuru kasema kuna wafungwa13 elfu lakini mahabusu wanaosubili ili wajue hatima yao wako 17 elfu. Hawa wako ndani wananyea kwenye ndoo .wakiuliza jibu ni ,upelelezi bado,miaka 5 mtu yuko mahabusu kweli ??? Hii inaingia akilini jamani? Kwa hiyo swala la Tindu Lisu mpaka yesu aje !!nakwa vile yuko karibu!wacha tusubili,ila hao wapelelezi cha moto chao kinakuja

  • @Nestory_mvwata.
    @Nestory_mvwata. 9 месяцев назад

    Umetisha sana mzee

  • @mwanahella9650
    @mwanahella9650 7 лет назад +10

    Hayo sio majibu kwakweli khaa🤔😢🙄

  • @yusuphchami2991
    @yusuphchami2991 7 лет назад +12

    mh, waziri mkuu kama vyombo vyetu vinauwezo mbona hakuna majibu mpaka Sasa Mimi naona nibora turuhusu wachunguzi kutoka nje watusaidie kupata majibu sahihi

  • @ibrahimgwasma235
    @ibrahimgwasma235 3 года назад

    Maswali ya Mbowe Ni sahihi na majibu aliyopewa nayo sahihi kah!!
    Ni noma

  • @abellusana935
    @abellusana935 5 лет назад +2

    Waziri wetu unajua sana kujieleza asante chapa kazi

  • @pendomartini447
    @pendomartini447 7 лет назад +8

    Pale ambapo mtakamilisha kazi hata ikiwa miaka 50 ijayo,......

  • @daybrelimite6126
    @daybrelimite6126 7 лет назад +7

    Serikali ya Wendawazimu, hamna chochote hapoo!!

  • @happinessmwaipopo7426
    @happinessmwaipopo7426 7 лет назад +19

    Kama hamjafurahishwa Mbona kwenda kumuona mlikuwa mnakataza watu Wa chama cheni wasiende? Mnaruka ruka mnamjua mhusika na Mungu atawaumbua tu.

    • @erickcobra4054
      @erickcobra4054 7 лет назад

      Happiness Mwaipopo amen

    • @mbonireamina6497
      @mbonireamina6497 5 лет назад

      Kama uchaguzi utafanyika kwa haki na huru mimi kura yangu nitampa TUNDU ANTIPASI LISU. Huyu bwana yuko baribu sana na MUNGU kuliko Magufuli. Mimi nina imani machungu aliyopitia yalisimamiwqa na MUNGU. Magufuli sio chaguo la MUNGU ni chaguo la CCM na SHETANI. Mambo anayofanya Magufuli ni ya mapepo tu. Ameshawalisha baadhi ya Watanzania libwata wawe wanamsifia kuwa kafanya na kujisahau kinachojenga Tanzania ni kodi zao zikiwepo kodi za WAPINZANI. Maisha ya Magufuli baada ya kuwa Rais ni kifungo tu.

  • @paulojosephy6338
    @paulojosephy6338 7 лет назад +11

    swali ni kwamba kwnn serikali hairuhusu vyombo vya uchunguzi vya kimataifa kuja kuchunguza kwnn inakata..... lkn waziri mkuu hajajibu hili swali

  • @abedychaula1721
    @abedychaula1721 4 года назад

    Msikae na kujitizama nyinyi tu watu wangapi wanao shambuli na kupoteza maisha ndani ya hii nchi,tatizo ni ubinafi mlio nao.

  • @robertshedlack5354
    @robertshedlack5354 5 лет назад +2

    woi Waziri hapo sjaona jipya aliongea, mungu ataumbua tu hao mnaosema hawajulikan

  • @stewardnkinda9552
    @stewardnkinda9552 Год назад

    Mbona Hadi Sasa hatuja pata majibu Toka kwenye vyombo vya Dola serikali hii Ina shida sana, kwann asiluhusu vyombo vya umoja wa mataif a vije vitedo hivi havivumilik

  • @saidkhantz2525
    @saidkhantz2525 7 лет назад +9

    UKIWA upinzani hasa Raha Wallah.... Upinzani una wasomi, upinzani una watu wenye uwezo wa kutoa hoja zilizoshiba.... Mijitu isiyokuwa na akili utasikia ikisema " kupigwa risasi kwa lisu ni mipango ya ukawa" sasa kama ni mipango ya ukawa kama wanavyoamini wananchi wanaoipenda fisi em? Kwa nini fisi em yenu isiruhusu jeshi la uchunguzi la watu weupe lishuke hapa nchini kufanya yake????.. ina maana ukawa hiyo hiyo ndio ihusike na mipango ya kupigwa risasi lisu, na ukawa hiyo hiyo ndio itake kupatikana uchunguzi wa kimataifa?. Au na hao wa kimataifa nao ni ukawa watawatetetea?.. acheni kutufanya mazuzu bhna ccm

    • @abduljuma5284
      @abduljuma5284 6 лет назад +1

      duche! kwerii nchii imepotea wazirii kumbe nikilaza kiasi hicho chakushangaza wapumbafu wanampigia makofi sasa makofii yann hapo amahakika Tanzânia tunawawakilishi wengi kuliko viongoz

    • @morismush4273
      @morismush4273 Год назад +1

      Wazuri mkuu unatuda,nganyaa

  • @kichuyawatanga5452
    @kichuyawatanga5452 5 лет назад +1

    Naomba kuuliza waliompiga risasi moringe sokoine ,nao wakamatwe ,mpaka Leo cjui waliompiga risasi wazir wetu

  • @tracyjustice1600
    @tracyjustice1600 7 лет назад +3

    Waziri ujajibu swali unazunguka mmbuyu tuuu

  • @fadhiliibrahim9702
    @fadhiliibrahim9702 7 лет назад +10

    Kwa majibu haya kama ndio mtihani ticha natoa 0/100

    • @samwelimwinyi9327
      @samwelimwinyi9327 7 лет назад +1

      FADHILI IBRAHIM-Ahahahaha- wazr kapga chenga kujbu!

    • @lucasgasper5235
      @lucasgasper5235 7 лет назад +1

      FADHILI IBRAHIM Kweli kabisa

    • @amrikemwalu979
      @amrikemwalu979 7 лет назад

      sio 0/100 tu mi naona ata -20/100 yaani anadaiwa kabisa

    • @michaelmpoma3579
      @michaelmpoma3579 5 лет назад

      FADHILI IBRAHIM ...watu wanazunguka danadana had unatia hasira

  • @george27103
    @george27103 7 лет назад +3

    ushabiki mwingine ni wa kushangaza maana watu wanapiga tu makofi kwa mihemuko bila ata ya kusikiliza ni nini kinajibiwa.very sad.

  • @pilotngulamba388
    @pilotngulamba388 Год назад

    mzazi umemjibu vizuri uyo kiongozi asie kuwa mkweli kwa chama chake chadema

  • @edwiniedwin3347
    @edwiniedwin3347 5 лет назад +4

    Mbn hujibu swali??

  • @siamollel9725
    @siamollel9725 7 лет назад +2

    Ukweli Mh mbowe polisi wanatesa sana RAIA,wakija hahuku kukamata waalifu,wanatoa vitisho na kupoga watu ovyo

    • @gregoryntandu4718
      @gregoryntandu4718 4 года назад

      Sia Mollel ukiwa salama ww huta
      Jua kama wezako wako hatarini

  • @elihurumathomas686
    @elihurumathomas686 5 лет назад +1

    Binge Lina washangiliaji wengi kuliko wanaofikiria

  • @jordankaaya606
    @jordankaaya606 7 лет назад +7

    Duuu mbna swali la msingi halijajibika?

  • @kisa6022
    @kisa6022 Год назад

    Dunia itaisha hakutapatikana ukweli wala ufumbuzi kwa hayo

  • @loner_wolf
    @loner_wolf 4 года назад +1

    Hawa nilichoelewa wanahisi picha limekaribia kuisha .... Next yr wengi watakuwa wanashuhudia mjengo kupitia youtube Kama sisi raia wakawaida .....Sasa wanatafuta huruma tu , na TRUST ME Sera watakuwa hawana ktk kampeni zao ila hizi story za kutekwa na kuteswa ndio zitakuwa sera zao.

  • @AnnaAlly-m4e
    @AnnaAlly-m4e 2 месяца назад

    Pongez kwa ujasili kiongoz

  • @zuwenasirgutty8830
    @zuwenasirgutty8830 7 лет назад +2

    Specific ya hayo Makofi niyakazi gani....!!??

  • @jakobodeus9522
    @jakobodeus9522 4 года назад

    Serikali ya matusho ya bunduki mna bunduki sana tanZania

  • @jumakapilima5674
    @jumakapilima5674 4 года назад +1

    Mbunge wako au wa Masasi??

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 7 лет назад +7

    mbona mauaji mengine hamkutaka wachunguzi watoke nje? kweli binadamu mkuki kwa nguruwe kwa binadamu mchungu!;

  • @Happypeter-r9q
    @Happypeter-r9q 7 месяцев назад

    Ongera sana mbowe

  • @ntegrity277
    @ntegrity277 Год назад

    Kama angepigwa risasi mwana ccm nadhani watu wengi wangenyongwa kwahiyo ni tabia ya nchi na hakuna uchunguzi au!

  • @revocatusmanyama8621
    @revocatusmanyama8621 5 лет назад +1

    Uchungz mpaka lini?

  • @humphreybilly3258
    @humphreybilly3258 4 года назад

    Isaya 42:22-23
    [22]Lakini watu hawa ni watu walioibiwa na kutekwa; wote wamenaswa katika mashimo, wamefichwa katika magereza; wamekuwa mawindo, wala hapana aokoaye; wamekuwa mateka, wala hapana asemaye, Rudisha.
    [23]Ni nani miongoni mwenu atakayetega sikio lake kuyasikia hayo? Atakayesikiliza na kusikia kwa wakati ujao?

  • @NicoPaullius
    @NicoPaullius 3 месяца назад

    Genius mbowe

  • @samwelimwinyi9327
    @samwelimwinyi9327 7 лет назад

    Waziri ana busara sana lkn ktk swali la MH. MBOWE-Waziri mkuu tujbu SAWA²! Kuhusu kutusihi tumevumilia lkn........!

  • @r-boymnyange3743
    @r-boymnyange3743 7 лет назад +4

    Kwann wasiruhusu vyombo vya nje kufanya upelelezi hilo ndo swali unaongea tofaut na swali!!?

  • @fadhilimwaitete3692
    @fadhilimwaitete3692 Год назад

    Towa majibu au jibu swali pamoja nakulibia atujalizika na hayo majibu

  • @nsodyaphilimon9153
    @nsodyaphilimon9153 5 лет назад

    Hv kweli toka moyoni, mungu anakuona Mzee mbowe hujui Ben alipo???

    • @jonathanntare4787
      @jonathanntare4787 5 лет назад

      Pumbu kweli wewe kwa hiyo wewe na chama chako mnafahamu alipo

  • @amanilucy
    @amanilucy 7 лет назад

    kipindi cha mauwaji kubiti kilambunge jaribu kusema swalahilo aliitwa muhusika na serekali haikuwa tayari swala hill lisemwe,,,, kumbuka kipind lema na mnyika walipo elezea hill swala wakaletewa shida

  • @BarakaWaya
    @BarakaWaya 7 лет назад +3

    Daaaah maswali kwa uchungu ,majibu sasa duuuu

  • @Grandpamotivator
    @Grandpamotivator 4 года назад

    Hamuwezi kudumisha Amani, huku pembeni watu wanaokosoa serekali wanatekwa, wanauawa, wanapigwa risasi, wanapotezwa then vyombo vya dola miaka 4 hii kimya hamna majibu na Hamtaki kuruhusu wachunguzi wa kimataifa kuja kuchunguza.

  • @EliakimKibiki-wl8yb
    @EliakimKibiki-wl8yb Месяц назад +1

    Go street to the point mbn unakwepa Sana MH. Yani hajajibu swali ila ana kwepa swali

  • @josephmakutano7067
    @josephmakutano7067 3 года назад

    Miccm washenzi wanaua wafrica wenzao kisa niubinafsi uchoyo!!hivi mnaakili nyee miccm mtachelewa kusongambele maana mnaandama wenyevipaji vyakutukwamuwa!!!!

  • @erastosolomon4554
    @erastosolomon4554 7 лет назад +3

    Maelezo mengi ya nini? Jibu swali, yani majibu yako waziri mkuu hata kama angekuwa mtoto mdogo tayari angejua anadanganywa. Na hao wanaompigia makofi waziri ni macrazy sioni la msingi kupigiwa makofi wakati maswali ya muhimu hajayajibu kiufasaha.

  • @aissacktegama8972
    @aissacktegama8972 5 лет назад +1

    Tuteteeni Sisi wafanyakazi kampuni binafisi mishahara inachelewa pia hawapeleki michago yeti nssf tusaidieni wambuge wetu

  • @FredJunior-c6f
    @FredJunior-c6f Месяц назад

    Turia msenge kati ya masipika waliopita hawajierewi hata kidogo

  • @bakarimngazija6672
    @bakarimngazija6672 5 лет назад

    Majibu huna ila siasa inamkondo wake , mbona hakuna uchunguzi . Vinarndelea siku diku zinapita kwenye viwanja vya bunge kamera ziliondoshwa na hata hiyo hakuna taarifa . Waziri mkuu unadanganya umma. Kumbuka waziri mkuu unajimwagia mafuta n Mungu atakuhukumu Kama unajarijukuuficha ukweli.

  • @fauziawilifred6229
    @fauziawilifred6229 7 лет назад

    Immanuel itakuwa imekuuma sana au we ndo ulie husika kwa tundu lisu ndo mana huna kitu .police mpk MTU anapona upelelez hujakamilika tu ata ule wakutudanganya tu

  • @bahathigeofrey1617
    @bahathigeofrey1617 7 лет назад +2

    Yesu wngu, hebu Mungu iponye Tanzania.

  • @esteribrahim7127
    @esteribrahim7127 5 лет назад +2

    Si mruhusu uchunguzi

  • @laulianmeneja2079
    @laulianmeneja2079 4 года назад +1

    Mbona hamtaki uchunguzi wa nje

  • @chiefmachibya3894
    @chiefmachibya3894 6 лет назад +3

    Wanaopiga makofi ni mbwa tu

  • @aloycekiwia8613
    @aloycekiwia8613 7 лет назад +7

    Mbona hajibu kwa nini hawataki Tume ya Kimataifa.? Swali Gumu hiloo.!

  • @eliajimmy5128
    @eliajimmy5128 7 лет назад +4

    hapo nimeona serikali ndio wanaotuuawa kwa nini mnakataa wachunguzi wakimataifa

    • @amosseme8575
      @amosseme8575 7 лет назад

      Unawaamin sana wachunguz wa nje ety

    • @eliajimmy5128
      @eliajimmy5128 7 лет назад

      Amos Seme umeambiwa swala la bot mliita wachunguzi kutoka Scotland kwa nini mashambulizi haya mnayachukulia POA?

  • @AloisNashali
    @AloisNashali 7 лет назад +3

    Huyo majariwa pumbu tu

  • @issackchalahani1235
    @issackchalahani1235 5 лет назад +2

    Yaani majibu ukiyasikiliza vizuri unapata kujua kwamba, ukweli hauja zungumzwa.

  • @mcfrank1423
    @mcfrank1423 7 лет назад +1

    maja bwana ndo jibu hilo?

  • @SUPREMEDIGITAL
    @SUPREMEDIGITAL 7 лет назад

    Majibu ya Waziri Mkuu yameniacha Njia Panda Hakika,Mlengo mkubwa ni kutetea Watanzania Kwa Ujumla kutokana na Mauaji yanayoendelea Katika Nchi.Nadhani Serikali itoe nafasi iyo

  • @alhaji6094
    @alhaji6094 7 лет назад

    Nahao wanaopiga makofi ni Wapumbavu maana sijaona point aliyeisema Wazir Mkuu iliyoyamaana mpka ikawafanya wampongeze kwa makofi

  • @mamarama6360
    @mamarama6360 7 лет назад +2

    Mh mkuranga kulee Kibit wamekufa wengi lkn hamukusimama kuomba serikal ilete wachunguz kutoka nje?

    • @abduljuma5284
      @abduljuma5284 6 лет назад

      kwakweliii hii nchii nihamnazo kweli sasa waziriii kajibu nn hapo mbona haelewek

    • @janendomba9461
      @janendomba9461 5 лет назад

      lini uchunguzi utakamilika jamani mungu anawaona au mfute vyama pinzani

  • @joshuahassan1605
    @joshuahassan1605 Год назад

    Hivi report ya hayo aliyoyataja prime minister ilishatolewa??

  • @haddysophiasson7530
    @haddysophiasson7530 7 лет назад +25

    Polisi wabongo wanajua kukamata boda boda tu

  • @onesmolwambano9349
    @onesmolwambano9349 7 лет назад +5

    specific questions=specific answers

    • @kazok892
      @kazok892 4 года назад

      Hili jamaa ana title ya uwaziri mkuu lkn ni ceremonial tu...hana power & authority...lile pimbi Bashite lina nguvu kumzidi...bogus people!

  • @stevenhinjo9664
    @stevenhinjo9664 7 лет назад +1

    yaani kuna watu hapa hupenda ukikomenti hapa basi usapoti mawazo yao tu kama analaumu serikari basi na wewe ulaumu akitukana nawe utukane hapo hujisikia furaha na amani lakini ukiwa kinyume na mawazo na baadhi ya watu hao wanaanza kukutukana nadhani wanadhani matusi ndiyo yatawasaidia

  • @ibrahimrikanga1607
    @ibrahimrikanga1607 5 лет назад +1

    Je ww waziri mkuu utatundagaya na nn wakati tuna macho

  • @amswhlnd
    @amswhlnd 3 месяца назад

    Swali la mbowe nikwamba hayuna imani na vyombo vyetu vya usalama kwann msikubali tu ili kuondoa hisia mbaya kwenye vyombo vyetu vya usalama

  • @hamadimaulidi9485
    @hamadimaulidi9485 Год назад

    Mm kama mm waziri ujatoa jibu hapo umezinguwa

  • @esteribrahim7127
    @esteribrahim7127 5 лет назад +3

    waziri MKUU wapi huyu anaongea pumba 2

  • @nicolauswandao8988
    @nicolauswandao8988 5 лет назад +1

    swali limenyooka majibu sasa 😂😂😂😂

  • @eugenemtaza201
    @eugenemtaza201 7 лет назад +1

    Uwezo wa kutisha wananchi ndo wana weza. Acheni longo longo izi.

  • @gideonimathew6491
    @gideonimathew6491 7 лет назад +1

    Naipenda Nchi yangu

  • @habibakusaga-tf4uu
    @habibakusaga-tf4uu 5 дней назад

    sasa mpaka leo 2024 mbna hawajakamatwa tu

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 7 лет назад +20

    Mnao piga makofi mnadhani watanzania wajinga, kila kitu kiko wazi, mshenzi wewe majaliwa msitufanye mabwege, mumewauwa kibiti kumbe mnamtafuta Lissu, ili mje mumchaganye na Lissu.

  • @paulojosephy6338
    @paulojosephy6338 7 лет назад +3

    waziri mkuu kaulizwa swali kalikwepa

  • @timizanafrikamedia5464
    @timizanafrikamedia5464 7 лет назад

    Mmmh hakuna kitu hapo,
    Hata kujibu ni magumashi tu

  • @dioclesefaustine1076
    @dioclesefaustine1076 Год назад

    Mh: sijalizika na majibu yako. Msilete siasa kwenye maisha ya watu. In short umejibu kisiasa.
    Inatufanya kama wananchi wa nchi hii kama hatuna akili. Msitake taifa lilete mapigano ya sisi kwa sisi.
    Kwani nn kinazuia uchunguzi usifanyike? Hatutaki siasa hapa.