My. Lema Safi Sana kwa kazi kubwa uliofanya ikiwemo ya kutetea uhuru wa watanzania na haki za misingi za wananchi kwa upande wa selikari hongera mh. Ahsante Sana ndugu
Thanks lema ila ni kweli tunaandamana miyooni mwetu na tupo wengi maneno kuntu sana nathani Mungu shahidi natamani kuyafanya maneno haya ring tone yangu ya simu si kwa uchungu naosikia
Lema goja. niongezee, Dunia ni sawa na nyumba kubwa. yenye miwili tutaingilia mlango Mbele na kutokea mlango Nyuma hakuna wa kubaki katika hii dunia hata hau wanaotuma kamata Yule bila kosa mungu nae ana askari wake watakamatwa poleni sana wahanga wote
najua yupo ddoma kwenye semina!#najua ratiba yote# siongelei hilo, naongelea kwenda bungeni kuomba na wabunge baadhi! hata lema kaongea hapo msikilize,kuna sehemu anasema walikuwa wanaomba na mwakasege
Chin ya jua acha tunyanyasike lakn wote tutakufa.dunian hakun mungu mtu wa kumwabudu kwa kuogopa udikteta hakika lema mwanasiasa na mcha mungu ntakukumbuka sana lema hakika nmejeruhiwa moyon mwang mungu shahidi magufuli na serikali yake have to take ages
tunataka wabunge wanaozungumzia taifa kama lema! leo kaongelea uzalendo cyo uvyama nadhani ameshauona upuuzi unaofanywa humo bungeni. ni kweli siasa za uvyama hazitusaidii bungeni. bg up lema.
Inackitisha Sana..... Bunge halijitambui lina nguvu kiasi gani, laiti wangeweka interest za wananchi wao mbele I bet kuwa bunge letu lingekuwa na tija Sana kwa taifa!! Thanks Hon. Godbless!!!!
Mpendwa wangu @Emiliano Vedasto, hivi ni mbunge yupi katika bunge letu ametimiza kero za wapiga kura wake? bunge letu linaumizwa na siasa ambazo hazina tija ktk kuendeleza taifa letu.
Godbless Lema. huyu jamaa anajambo la msingi sana ila hasikilizwi....lakini kwenye mambo ya msingi tuache uchama...kibaya alichosema Lema ni kipi?Tanzania kwanza.
uvyama unachukua nafasi kuliko maslahi ya taifa....taifa halifutiki ila vyama muda wowote vinapotea..ndio maana sisi ni wana ukawa kutokea Tanzania ndiomana sisi ni wana ccm kutokea Tanzania..so TZTZTZTZ...HAIFUTIKI...Mwenye sikio asikie...siku moja ya Lema yanawezakujitokeza.
Lema baba yangu sema tena waseme maana daaa lisu ameniuma sana ungekuwa nae hapo bungeni pange, kuwa patam,san,mungu aibariki,Tanzania, mungu,awalinde,wabunge,wa,,chadema,,,,tena,sana,
Alafu kuna speech nikizioma na kuzisikiliza mwili unakufa ganzi akili uchanganyikiwa na woga uniingia na mwisho nasema ee Mungu naomba kikombe hiki kiniepuke ........Leo nimeona maneno yanayopaswa kuongea na #KIJANA_HAI ambaye anapenda Taifa na watu wake hongera kijana #HAI LEMA endelea ulipoishia
Lema umeongea kwa hisia mimi wa darasa la saba nime kuelewa vizuri sana hao watawala wenye visomo sijui wakuelewaje ila tuzidi kumuomba mungu huku tuki utafuta utakatifu kwa bidii mungu akudumishe uzidi kuwasemea wananchi kwa jina la yesu amina.
Mwenye masikio na asikie. Upendeleo huleta matata!! Ccm bila upinzani, nchi imekwisha. Yaani watu hawana jeshi, wanalindwa na Mungu, hawana silaha, silaha yao ukweli mtupu kupitia ndimi zao. Hakika hakuna jiwe litakalosalia juu ya jingine!!
My. Lema Safi Sana kwa kazi kubwa uliofanya ikiwemo ya kutetea uhuru wa watanzania na haki za misingi za wananchi kwa upande wa selikari hongera mh. Ahsante Sana ndugu
Daah mlifanya kazi yenu vizur mmemaliza pumzikeni waachieni waongoze peke yao
Wow... hii mechi nimeipenda sana... bible debate
Pale bungeni Kuna mpaka maaskof mtumishi😂😂😂
Amina Mtumishi Lema Mungu akubariki Sana
Lema umeongea mpaka mwili wangu unasisimka ...... omg, Mungu akutunze kaka angu Lema.
Hakika hadi nililia cku hiyo,lema Mungu akulinde,wewe ni lulu ktk taifa ,imeandikwa kweli itawaongoza,Mungu nimwabuduye atajibu kwa wakati
Daaaahhh ewe m/mungu mpe LEMA maisha marefu namtangulie kwenye harakati hizi kwn amesema ukweli mtupu
Thanks lema ila ni kweli tunaandamana miyooni mwetu na tupo wengi maneno kuntu sana nathani Mungu shahidi natamani kuyafanya maneno haya ring tone yangu ya simu si kwa uchungu naosikia
Aisee Lema kaongea Sana kwa kupitia neno Amen
asante Kaka sema ukweli utalipwa na mungu anakupenda kwaajili ya uwo ukweli wako
Hukoseagi kk mkubwa huwa nakuwelewa sana KK mungu akulinde kila ukanyagapo
Mtupu
Mim ni ccm lakn huyu Lema hua wakat mwingne anaongea point sana@
Lema goja. niongezee, Dunia ni sawa na nyumba kubwa. yenye miwili tutaingilia mlango Mbele na kutokea mlango Nyuma hakuna wa kubaki katika hii dunia hata hau wanaotuma kamata Yule bila kosa mungu nae ana askari wake watakamatwa poleni sana wahanga wote
Kabisaa
asante#kumbe leo baba Mwakasege alikuwa mjengoni#ashukuriwe Mungu#Lema kuna siku watakuelewa
christina kaminsa baba hakuwa bungeni ila yupo huko dodoma kwa semina na anamaliza kesho dia
najua yupo ddoma kwenye semina!#najua ratiba yote# siongelei hilo, naongelea kwenda bungeni kuomba na wabunge baadhi!
hata lema kaongea hapo msikilize,kuna sehemu anasema walikuwa wanaomba na mwakasege
Hivi kwa nn wabunge Wa ccm hawakuwelewi mbona
Naipendaga chadema sanaaaa.
Lema Mungu atakulinda tetea haki tetea haki Mh tunakuelewa kabisa mbunge wetu big up sana
Very fantastic speech, I love it. May God bless you Lema.
Amen
Sawa kabisa Lema unastahili pongezi
Nakushukuru Mungu wangu Kwa ajili ya Godbless. Lema mpandishe utukufu mpaka utukufu
Kabisaa
Mhe lema Nena ukwel Mungu akusaidie Sana ktk hatua unayopita
kwa mtanzania mwenye akili timamu na anaejielewa nadhani kapata kitu ila matahira hawakosekani nimesema tyu neno langu sio sheria bt big upmh.Lema
Nice speech #LEMA be blessed. Thanks AYOTV
This video never get old .Lema🙌🙌
Chin ya jua acha tunyanyasike lakn wote tutakufa.dunian hakun mungu mtu wa kumwabudu kwa kuogopa udikteta hakika lema mwanasiasa na mcha mungu ntakukumbuka sana lema hakika nmejeruhiwa moyon mwang mungu shahidi magufuli na serikali yake have to take ages
Sitakuja kusahau maneno ya lema. Dah I get painful when I hear this speech. 4rever and ever be blessed by sir God lema
Hii speech inapaswa kuwekwa kama kumbukumbu ya bunge! ahsante Lema..
kumbu kumbuka peleka kwa wazaz wako
one of the best speech only smart brain will understand it God bless you Lema
Lema nakukubari Sana brother
Kuna speech nikisiliza huwa zinasisimua mwili wangu na akili uchanganua yaliyomo alafu naishia kusema nashukuru Mungu kwa chakula ulichonilisha leo.
Barikiwa saanaa Lema kuwakumbusha wabunge kwamba kesho INAKUJA na moto wa Jehenamu unatusubiri tusipoacha utahira kiroho
Duh, mpaka nimepata hasira.....well said Lema
Fact Fact Fact Fact, mimi ni Ccm nisie na kadi ya chama ila huyu mwamba leo kaongea Fact tupu aisee
Lema nakukubali unathibitisha maneno yako kwa maandiko Mungu akubariki sana sana
tunataka wabunge wanaozungumzia taifa kama lema! leo kaongelea uzalendo cyo uvyama nadhani ameshauona upuuzi unaofanywa humo bungeni. ni kweli siasa za uvyama hazitusaidii bungeni. bg up lema.
lema nakupenda bureeeeeeeeeeeeeeeeee
Mheshimiwa Lema Barikiwa Sana Hakika upo vizuri
duuuuuh Mungu akubarik sanaaaa, akutie nguvu na akuongezee ujasir zaid na zaid Amin
daaaa nimesikitika sana Mungu akusaidie my. lema akuinue zaidi
Lema juu sana 💯👍 👍
Karibu nyumbani kamanda
Daaaaah Lema mungu akuzdishie miaka
mungu akubariki akutie nguvu akupe hekima ya kunena mazuri kila ihitwayo leo
Big up sana lema leo nimekuelewa
Best speech ever
kweli kabisa mh.Lema, watu hatuandamani barabarani lakini mioyoni mwetu tuna kuna moto unawaka, tunajeruhiwa sanaaaa
Ndio ukweli job ndugai
Well Said Lema. Umeongea kwa hekima sanaaa. Hope watakusikia tu one day.
Kabisaa bila shaka
aaaaah umenikosha mheshimiwa uuwiiiiiii..baba hyo miatar shkamoo babaa
halleluya#glory be to God#itafahamika tu#Mungu yupo na anajibu#Mungu akubariki na akusaidie#💪💪👊👊Lema#safi
Ahsante lema Mungu akubariki
Jembe letu chuga Mungu akulinde mno
Inackitisha Sana..... Bunge halijitambui lina nguvu kiasi gani, laiti wangeweka interest za wananchi wao mbele I bet kuwa bunge letu lingekuwa na tija Sana kwa taifa!!
Thanks Hon. Godbless!!!!
Only smart brain will understand this talented guy...
Simbachawene yupo kweli
Amina lema
Very well said.
true
only
KWAKWELI BEST SPEECH IN 2019, NI HII YA LEMA HIVI NAJIULIZA WATANZANIA HAMUMSIKII HUYU JAMAA ANAVYOONGEA? KWANI MMEROGWA NA NANI?
Nashindwa nani kawaroga
Waulize tena kakangu
Hata mimi najiuliza leo😅
the best ever speech I have ever had
mh.lema Munguu akuonekanie popote na ukweliii useme cku zote...pendaaa sana Mh. lema Golbless you broo
Well speaking lema daah!!!!... Free Ben saa nane
Mungu akutie nguvu lema
Mr lema u are one of a kind yani nakupenda tu bure 😍😍
Ben sio mbuzi yangu Ben ni mtoto wangu
Hakika upo vizur broo Lema
Mungu akubariki Lema kwa hekima zako. naamini watawala hawakuelewi sababu we ni mpinzani
Emiliano Vedasto hekima zake na aanze kuzitumia kwanza kwa kushughulikia kero za wapiga kura wake badala ya kuhubiri kama nabii
Mpendwa wangu @Emiliano Vedasto, hivi ni mbunge yupi katika bunge letu ametimiza kero za wapiga kura wake? bunge letu linaumizwa na siasa ambazo hazina tija ktk kuendeleza taifa letu.
+Emma Tarimo njoo arusha uone acha kuongea km unakipande cha nyama
Mikumi peke yake wanafaidi matunda ya mbunge wao J
Emiliano Vedasto vbaya San mamuzi magumu mungu yupo
Baba lema @....hata Yohana aliacha uoga na kuthubutu kumwambia Mfalime ametenda thambi kumtwaa mke wa mdogo wake ...Uoga ni thambii
Nice thinking 😢
Dahhh!! M)Mungu Azidi Kukulinda..
lema uko vizuri hawaelew mpaka waende jela.....povu hilo ni la wote...nakupenda mpaka kesho......
Lema, Mkali wao. Safi sana.
Simbachawene Jana umepata majibu ya unyenyekevu, hongera sana
Aisee pamoja na ushabiki wa kivyama lakin lema kuongea mpaka nimesikia kusisimuka kuna mtu anaongea point kweli
Joel Joel kesoy me mwenyewe nna ule ushabiki wa vyama but leo nimeguswa
Joel Joel kesoy uyuuuuuuu noooumaaa jamaaa
+Monica Samba umeona Monica samba huo ndio ukweli na tujifunze siku zote kusema kweli
+SHADRACK MNJELU yaan huyu jamaa ana kitu ambacho inahitajika
Umesema kweli
Kati ya speech nazo zikubali ni zahuyu jamaa mungu amsaidie
Huyu mwamba anaakili za pekee yani
Ni kweli siasa zimejaa bungeni...lema unasema ukweli..bunge limejaa siasa ya ccm..ipo cku mungu atahukumu haki
Lema uko stronger sana kwenye kutoa point hongera sana
mheshimiwa Lema .hongera kwa ujasiri wa kuongea ukweli najua kuna watu wanajifanya wanaupinga ukweli wako ila mungu atatenda kenye kweli hiyo hiyo.
like this guy
Nimeipenda hiyo mweshimiwa Lema
Lema mungu akubariki xana
Godbless Lema. huyu jamaa anajambo la msingi sana ila hasikilizwi....lakini kwenye mambo ya msingi tuache uchama...kibaya alichosema Lema ni kipi?Tanzania kwanza.
Kwel kbs ndugu yangu
uvyama unachukua nafasi kuliko maslahi ya taifa....taifa halifutiki ila vyama muda wowote vinapotea..ndio maana sisi ni wana ukawa kutokea Tanzania ndiomana sisi ni wana ccm kutokea Tanzania..so TZTZTZTZ...HAIFUTIKI...Mwenye sikio asikie...siku moja ya Lema yanawezakujitokeza.
Sio unyenyekevu wa kukubali ujinga
Wish ningekuwa lema
Kelele Lema, Beni Sanane kapotezwa na ujinga wake mwenye
Safi sana lema mungu akusaidie sanaaaaa
big up sana mheshimiwa lema umenena hadi machozi yamenitoka kweli hii nchi inakoelekea Mungu ndie anajua
Kweli Lema ulitabiri leo ndugai chali walinaliza upinzani Waka hamia upande wa pili
mueshimiwa lema tukiwapata watu kama ww mia mbili ii nchi ingekuwa tajiri cna wala tucnge angaika ivi mungu akutangulie cna
Nakukubali lema unajuwa ongea watanza niatupone
Aminaaaa...!!! Lema live long
God bless you brother
Amina mungu shughulika
Lema upo vizuri sana,,
Jaman lema natamani ungeendelea kuwepo bungeni miaka yote
preach brother Mh Lema
safi sana, walishe neno la MUNGU, may God bless you Lema
Upo vizuri mkuu
Yaani hili bunge linahitaji maombi na si vinginevyo.
Lema baba yangu sema tena waseme maana daaa lisu ameniuma sana ungekuwa nae hapo bungeni pange, kuwa patam,san,mungu aibariki,Tanzania, mungu,awalinde,wabunge,wa,,chadema,,,,tena,sana,
Baba kunywa maji bill kwangu
Hana lolote huyo mbona azungumziii kuhusu Mashehe walio wekwa ndani kwa kesi za ugaidi
Kaka lema rudi nyumbani kapige kazi kaka
Mtaacha watu waokoke!!!😀😀😀
Noma noma Sana .mungu tufanyie wepesi
Lema uwezo wa kufikiri umefika mwisho. Safi Sana mh. Spika, bunge sio kanisani.. watu wajenge hoja sio kunukuu vitabu vya din
Ukweli usemwa kaka mbona unaumwa
Hongera mh kwa kuongea vizuri MUNGU awe pamoja nawe
Amina bb mwambie huyo limbukeni wa bibilia lema
Alafu kuna speech nikizioma na kuzisikiliza mwili unakufa ganzi akili uchanganyikiwa na woga uniingia na mwisho nasema ee Mungu naomba kikombe hiki kiniepuke ........Leo nimeona maneno yanayopaswa kuongea na #KIJANA_HAI ambaye anapenda Taifa na watu wake hongera kijana #HAI LEMA endelea ulipoishia
Lema umeongea kwa hisia mimi wa darasa la saba nime kuelewa vizuri sana hao watawala wenye visomo sijui wakuelewaje ila tuzidi kumuomba mungu huku tuki utafuta utakatifu kwa bidii mungu akudumishe uzidi kuwasemea wananchi kwa jina la yesu amina.
nyie mnaosema lema hafanyi kitu kwake nyie ndo hamujui Arusha vzr,lema✌✌👌👌 mungu akucmamie Na akupe ujasiri ivo ivo
Tina Lekashu Marisa juma
Juma baro
Maurid juma
Daaah speech hii ni hatarii sana
Aiseeee whts a gre8 speech unaweza kuliaa
kwelu kabisa my Lema ukovzi sana
lema unaongea point sana kaks yungelikuwa na wabunge wa fisiem 20 kama wwe nchi hii ingependeza sana
Kuna watu wanaakili nchi hii... Nakuelewa Lema
Mwenye masikio na asikie. Upendeleo huleta matata!! Ccm bila upinzani, nchi imekwisha. Yaani watu hawana jeshi, wanalindwa na Mungu, hawana silaha, silaha yao ukweli mtupu kupitia ndimi zao. Hakika hakuna jiwe litakalosalia juu ya jingine!!
Mungu Akujalie Katika Majukunu Yako Mkuu
Mh.Lema umeongea point, Tanzania imeanza kupoteza nuru ya Amani, watu wantekwa amna anayefuatilia # bring back Roma wetu