Hata wakiziba maskio na pamba,mioyo na macho yao vitanena ukweli huu na mungu anayewapa pumzi atawasuta mbele ya haki. Big up sana school mate wangu mungu amekuckia!
Siku zote uwa nasema Tanzania hakuna chama chenye wabunge wenye akili na wenye hoja muhimu na za msingi zinazowagusa watanzania,Hongera upinzani heche oyeeeeeeeh
Hamtakaa muisahau CHADEMA. Hawa CCM watafanya vituko lakini mwisho wake ni Wapinzani kuchukua nchi. Hiuvi Rais mzima anasema amejenga Zahanati 350 huku kijijini kwake Zahanati iliyopo ni ya Kanisa. Kuna vijiji vingi sana havina Zahanati lakini Rais anajisifu huku Watanzania afya mbovu. Magufuli anawabagua Watanzania wenzake akifikiria atakuwa Rais milele hajui hata mtoto wa Heche anaweza kuwa Rais. Malipo yote ni Duniani.
tunachojua asilimia 83 yawatazania nichadema kutokana naukweliwao hata mkiwauwa wakaisha mungu ataleta wenye akili zaidi ya hao mungu ibariki TANZANIA mungu ibariki CHADEMA
Hata wakiziba maskio na pamba,mioyo na macho yao vitanena ukweli huu na mungu anayewapa pumzi atawasuta mbele ya haki.
Big up sana school mate wangu mungu amekuckia!
Mwenyez Mungu akuzidishie hekima Mheshimiwa John Heche
Mungu ibariki Tanzania Mungu mbariki John Heche
John Heche!!!
big up Brother. message sent & delivered.
Time Will tell
Siku zote uwa nasema Tanzania hakuna chama chenye wabunge wenye akili na wenye hoja muhimu na za msingi zinazowagusa watanzania,Hongera upinzani heche oyeeeeeeeh
Itafika siku
Hamtakaa muisahau CHADEMA. Hawa CCM watafanya vituko lakini mwisho wake ni Wapinzani kuchukua nchi. Hiuvi Rais mzima anasema amejenga Zahanati 350 huku kijijini kwake Zahanati iliyopo ni ya Kanisa. Kuna vijiji vingi sana havina Zahanati lakini Rais anajisifu huku Watanzania afya mbovu. Magufuli anawabagua Watanzania wenzake akifikiria atakuwa Rais milele hajui hata mtoto wa Heche anaweza kuwa Rais. Malipo yote ni Duniani.
Oyeeee
Umeongea Vizuri Sana Brother Asante Sana Ujumbe Umefika 👏👏
Mungu alipe damu zilizomwagika bilahatia Mwanzo 9:4
Tunashukuru kwa kuwa sauti ya wanyonge tuliozibwa midomo mtaani, mungu akutunze baba heche!
Shukran kamanda Heche
Sema Ukweli Mungu Anawaona Semeni Jamani Tanzania Hakufai Kabisa Mungu Tusaidie Isaidie Tanzania Yetu
✌🏼✌🏼✌🏼 forever😍😍 chama langu
Heche babaaa una point sana Mungu akulinde na akutunze amina
Tarime Hakunaga mafala.. You represent my hood city indeed.
Geofrey John 💪💪
Thats tyrants are they dont care about others kweli maendeleo sio vitu ni maendeleo ya watu khasa wapiga kura wanaofanywa ngazi
Geofrey John Uko vizuri tu kaka Mola awalipe kwa ujasiri wenu
Uko vzur mkuu
Geofrey John Mnatisha,jamaa ana hoja sanaaaa,wamechagua mbunge boraa kabisaaa
Clear point honourable heche. Miss u
Hongera jembe letu la tarime, wambie ukweli
Ibrahim chacha
Ibrahim chacha mbunge mmoja wa chadema nisawa na wabunge 25 wa ccm sijui wa bunge wa ccm wanajua hatujui kinacho endelea
Bunge la katiba
Mungu akuongeze nguvu za kupambana nakukubali sana
Big up Mr. Heche ur the raw material
Comrade ndio upo vzr keep it up
Ahsante Sana Heche..tupo pamoja na wewe kuwaambia ukweli
Safi sana mh. J. Heche. Ndo maana huwa tunasema Mbunge 1 wa CHADEMA = 20 wa CCM.
Dah...
Unanikumbusha mbali sana ...chacha wangwe wa mara!!!!! Mara Hatujawahi kukosea!!!
heche nimoto ucio zimika nomaaaa kutoka zanzibar
unaitendea vyema Mara yetu,kila lakheri heche
Mara oyeeeee
Yohana Maugila senks
Mara sio mchezo mchezo
👏👏👏ukweli utaliweka mahali pema taifa ili asante Kamanda
Jamani huy mtu mungu amjaalie👏👏👏
J. HECHE! Kumbe n muongeaji point hivi? HEKO na Muumba akulinde daima!
Safi sana mh wambieeeeeeee. Man of the people in Tz.hakika tuna jembe!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!
Ongera kaka mungu akupe maisha marefu
Saafi sana,mheshimiwa,tanzania tushatekwa mana tunapelekwa tuu.
Tanzania inahitaji watu kama hawa zaidi kwa mustakabali wa taifa bora la sasa na baadae.
Asante mwalimu.
Hoja hizi ni nzito Mungu atusaidie na aliponye taifa hili na viongozi wake.
Sawa sawa kabisaaaa sina kwere na speech yako kaka.
Safi Sana Kamanda!💪💪💪💪
Masha Allah uko vzr kk
pendaga sana chama languu 😘😘😘😘😘😘😘👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏👏
kila nkisikiliza upinzani naona point za maana xana.. Big up watetezi Wa wanyonge
hongereni sana wana tarime hakika mna jembe
asanteee umeongea point baba
A
Keep it up.....good job
Bless up kaka 👊
wanatarime mkiwa mafara mtachagua ccm mulipata hapo shikilieni msimuachie heche jama maana mkichagua ccm ataenda kulala tu bungeni na kuwasahau wananchi munaumia
Hongera sana mheshiminiwa
pamoja saaaana tata.
unapoint za msingi Sana Heche. waacheni ccm wafanye kazi za kuwakatisha viuno wakati wa kampeni wasiojielewa.
Umeongea point 👏👏👏
Sauti ya Mara, hakuna hofu hapo, Tz tunahitaji wabunge wa aina hii angalau 30 ndani ya Bunge letu, mambo yatakua sawa
JAMAA huy nimemic angekuwepo bungeni ila bs
Mungu asante , wabunge wa namna hii wachache sanaaaaa
Mungu akuongezee akili
Yes yes yes ikiwaaa kujaa najaliwaa mm cyooo kwako kwaa hyuuu bwana ndguu yakoo cyoo ww jingaaaa dawaaa motoo motooo cyooo maji haruc mgorogoroo huskii Itakua na isiweee alfuu waletaaa baah blah zakoo poteaa umechhezaaa as soart pumbvuuu maisha kichwaa kimelalishwaaa isyo jiatataa sawaa boraa mutokee nyotee
Kwanini wilaya zingine tusinge pata bunge kama heche jamaa brother saluti sana kaka
Chadema mupo juu,hongereni sana.
✌🏼✌🏼✌🏼✌🏼✌🏼 forever ❤❤ chama langu
Nakukubali Sana pont Bay pont
Waaawwww u r true.!! ukweki hamna haki
be gup mheshimiwa heche 🙌🙌
tunachojua asilimia 83 yawatazania nichadema kutokana naukweliwao hata mkiwauwa wakaisha mungu ataleta wenye akili zaidi ya hao mungu ibariki TANZANIA mungu ibariki CHADEMA
mwamba kutoka tarime kubabeki moja kati ya tamaduni zenye nguvu zilizobaki africa
Hongela jembe
King Lance uyu jamaa ingefaa awe baba yangu du ni nouma yani
King
jah bless u baba
@@atupyekyando9010 dwv
Nakukubari sana heche
Noma sana jembe waambie ....ccm.
thanx brother unaweza
kamanda upo vizuri,,hawa ccm ndo wanaoipoteza nchi kama una akili utaelewa tu.
Sensitive hakuna longolongo, nyeupe nyeupe hakuna kusema nyeusi Hon. Heche!
Safi sana sema ukweli japo itawauma. .....
Upo vizuri
Tunahitaji wabunge wa aina hii,big up
John Edward yes,anaongea bila uoga
Chadema wana pacinality
tunahitaji wabunge kama heche nawengine walio na hoja za maana.. wana tarime hamkukosea kumleta huyu jamaa bungeni safi sanaaaa
Amina ubarikiwe kamanda
live longer
MUNGU akutunze Heche maneno yako yanaishi na yataishi nakukubali sana
Uko sawa Mtani Wangu
Sawa kabisa heche hogera sanaa
hruclips.net/video/Xw-PHYsP8Wo/видео.html
👏👏👏👏👏👏👏
Uko vizuri sana kaka
ahsante Sana John heche
Mungu yupo na anaishi...yeye c kiziwi.
Kwel kaka sukari wamejisahau bei ni noma wanajidai wanatetea wanyonge ng'o wengne hatunywi ht chai
Aisee barikiwa sn,yaan ww sawa na watu mia nne
shikamoo Heche
Mbunge mmoja wa chadema = na wabunge 20 wa ccm
Raphael Damian hahahahahaha kabisa yani
Raphael Damian Kwel
fact
Kweli kabisa tena umewapendelea hiyo 20 kwa mimi 50
Kweli baba
This man is bold,wampe uenyekiti wa chama😀😀
Dibam tz kabisa hata mimi huwa napenda iwe hivyo
Shikamoo John Heche..
kwa kweli nikimsikiliza John heche huwa namuelewa sana,hongera john heche.
Stephano Thomas tunahitaj wabunge 30/kama hawa nchi itaendelea kwa haraka
Asante makamanda mnapambana mungu atawarinda pipos pawa
Kaka uko sawa
Safi sana kamanda
Ndomana naipenda chadema
Chibu Ally
Ukweli uinua Taifa pia
Familia zenu zitakuwa responsible huko mbele,,,,kipande kilichonisisimua ni hicho
Ww si shoga.. so unasisimuliwa mkundu.
@@danielbachuta157 komanyoko ww unatiwa na wtu2wxojulikn 🖕
John heche- sio pombe # good job brother #
Yap we understand my leader
Mungu ni mwema awape nguvu ya kutetea taifa letu
Good,bunge linakazi yakushabikia .
May Allah bless you asee,kwa wenye akili wameelewa,uyo mwenye kiti aliezima mic 🎤 ni mpuuzi 🖕
Uko vzr...
Goooooooooooooooooooooood
Yeessss seema mzee haki itendeke.!!!
Mh heche nakukubari
Uko sawa
Uko vzur bro
Sasa mie nije kwanyinyi wa TZ mnoo dis like sijui miwafukane ila Bora Niwache na ujinga wenuu
If there is No criticism, argument, conversation, dialogue, opinions, views and so such forth no democracy no freedom of speech
hayo ndiyo maneno ya mwanamme kisasi ni lazima
mungu atakulipa, mh. umegusa hisia
kaka Heche uko sahihi watu wa naona na km ni vipofu wanasikia
hongera bro
Mp heche full logic with full evidence....
Salute..! Commender.!