MBOWE AMBANA WAZIRI MKUU BUNGENI - "UNANIPA MAJIBU MEPESI SANA"

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 25 янв 2025

Комментарии • 107

  • @JoshwaaMollelMwangii
    @JoshwaaMollelMwangii 10 месяцев назад +3

    Mungu akawape uwongozi boraa 🤝💯

  • @AnorldBelton
    @AnorldBelton 11 месяцев назад +4

    Mda ukifika hakuna nafasi yakuuliza maswali mungu hafanyi vitu kwakubahatidha Mimi naamin mda haujafika Wa Tz kuwa na uhulu huo tuutakao hawa watu wachache wanao pambana kwaajili yetu watatuacha sisi nasisi tutawaacha wengine kikubea nikuomba mungu2 mipango yake juu yataifa hili yawe

  • @kapingageorge7635
    @kapingageorge7635 5 лет назад +7

    Tume ipoo huru makada wenu wakina Nape walikujaa na maneno ya jukwaan na kwa kejeli na majigamboo kuwa wamepigaa bao la mkono leo unasema kuna Tume huru sasa kama ww Wazir mkuu unajibu hv ki wepes wepes hao wakuu wa mikoa na mawazr inakuajee duuu kazi tunayooo

  • @kapingageorge7635
    @kapingageorge7635 5 лет назад +9

    Maswal mazito na ya msingi ww unajibu kiwepesi wepesi kazi tunayooo

  • @christophertarimo5047
    @christophertarimo5047 3 года назад +2

    Mbowe Alkaeli Freeman the Legend

  • @kennyrogers4734
    @kennyrogers4734 3 года назад +4

    Mh Waziri mkuu tunakupenda sana tena sana ila muogope mungu kwa kutudanganya kua tume tulionayo sasa ni huru hapana sio kweli maana tume huru gani inayoteuliwa na Raisi?iyo danganya toto Mh Waziri Mkuu

  • @shahabdallah9407
    @shahabdallah9407 2 года назад

    Nafurahishwa sana na nidham ya Mh. Warizi Mkuu wetu Kassim Majaliwa

  • @KandidoLuvanga
    @KandidoLuvanga Месяц назад

    Mungu anakuona na anakusikia na anawajua🙏

  • @ceciliajimmy5652
    @ceciliajimmy5652 5 лет назад +5

    Hivi wanaoshangilia wanajielewa kweli!!!! Mungu tunusuru waja wako.

  • @GataGesimba
    @GataGesimba 11 месяцев назад +1

    Asante sana wazilimkuu majibu yako yameiva vizuli sana awasikii

  • @tonganekwizayo9642
    @tonganekwizayo9642 5 лет назад +18

    Kama na wewe umeona waziri mkuu kajichanganya kasema nchi inaongozwa kibabe like hapa👇🏻👇🏻

  • @SillahelikanaSillahelikana-v3m
    @SillahelikanaSillahelikana-v3m 3 месяца назад

    Nimekuelewa sana wazili mkuu

  • @MwitaTv
    @MwitaTv 6 месяцев назад +1

    Majibu hayo, ya Waziri Mkuu Hayaridhshi hata kidogo.

  • @isacktarimo8917
    @isacktarimo8917 4 года назад +2

    Kama nawew umesikiliza robo ukaona haku cha maan gong like

  • @BoniphacePeter-ih2st
    @BoniphacePeter-ih2st 10 месяцев назад

    Swali lililojaa mitego ya Hali ya juu na liliulizwa kwa ufanisi mkubwa xn hongera mzee mbowe

  • @SimeliMollel
    @SimeliMollel 8 месяцев назад

    Mungu utupe uongozi bora jamni

  • @JumabJumamkuula
    @JumabJumamkuula 3 дня назад

    Shida ya wabunge wa ccm ni mazuzu hata inafika muda unashangaa wamepataje ubunge wao kazi yao kushangiria Kila kitu

  • @jahrean-tc8561
    @jahrean-tc8561 5 лет назад +5

    Uenezi na kazi tufanye SAA ngapi

  • @CholoNassor-h8r
    @CholoNassor-h8r 6 месяцев назад

    Kweli kamanda mbowe tunaongozwa kibabe ila yatapita ipo siku itakula kwao kiukweli chini ni kugumu tumepgika sanat Mungu ndo anajuwa kesho yetu

  • @echuku9905
    @echuku9905 Год назад

    Hiyo kweli mbowe

  • @abdulrahimmohamed7066
    @abdulrahimmohamed7066 4 года назад +4

    waziri mkuu ameonda OP

  • @WilliamAbraham-xb2or
    @WilliamAbraham-xb2or 8 месяцев назад

    Mungu ibarki Tanzania

  • @MaulidyMadyo
    @MaulidyMadyo 4 месяца назад

    Mama samia afie mbali

  • @Obedy-er8ih
    @Obedy-er8ih 7 месяцев назад

    It's break time 😄😄

  • @adventureguidertanzania2331
    @adventureguidertanzania2331 5 лет назад +4

    Kweli mbowe Ni kichwa,maswali yako Ni mazito Sana,

  • @danielmwanga5231
    @danielmwanga5231 5 лет назад +1

    Hawa jmaa wanajiamini cjui kwa nn wanajibu majibu kirahis rahis kwel inauma sana utawala huu Mambo yanavyoenda

  • @chugawoodpictures2587
    @chugawoodpictures2587 5 лет назад +2

    Fire 🔥

  • @shulestuff
    @shulestuff 5 лет назад +3

    Serikali ya TZ)zinanikumbusha Kenya ya Moi - 1990s, upinzani ikinyanyaswa

  • @johnnisilenisile1990
    @johnnisilenisile1990 5 лет назад +7

    Hana majibu sahihi yaan majibu yake mepesi Sana hy

    • @chachamaheri7785
      @chachamaheri7785 5 лет назад

      Hata hvyo sweli lenyewe ni jpesi mno

    • @MarthaChuwa-o6b
      @MarthaChuwa-o6b 4 месяца назад

      Majibu laini laini Yani kiwepesiwepesi dadeki inapandisha nyongo mbaya ila MUNGU atusimamie hashindwi jambo

  • @mwidiniharuna9618
    @mwidiniharuna9618 5 лет назад +2

    tutaelelewana tu

  • @Jonathan95311
    @Jonathan95311 5 лет назад +4

    Kumbe neno "huru" linaweza likawa na maana tofauti eeeh 😧😧😧

  • @emmanuelymushy1924
    @emmanuelymushy1924 5 лет назад +6

    Waziri mku nae ana tetea nafasi yake na atetei haki

  • @MarthaChuwa-o6b
    @MarthaChuwa-o6b 4 месяца назад

    Wanavyopiga makofi sasa eeh😅

  • @aishashabani2980
    @aishashabani2980 4 года назад

    Sijakuelewa we waziri

  • @haipo8949
    @haipo8949 5 лет назад +4

    Waziri Mkuu hana namna nyingine ya kujibu,nkutokana na Katiba iliyopo. Ndo maana amekwenda ktk vifungu. Mngepambania Katiba mpya LAKINI mkienda na Katiba iliyopo mambo ni yale yale.

    • @magesachacha602
      @magesachacha602 5 лет назад

      Mpanda Kuna shida ya kuzuiwa mikutano ya MBUNGE RODA KUNCHERA na wakati taarifa wanao na kibali wametoa tatizo Viongozi wa MKOA

    • @adenmayala9298
      @adenmayala9298 5 лет назад

      Endeleen kujibu majibu mepesi kwa maswali magumu ipo siku mtalipa hii gharama ya mzaha mnao ufanya

    • @adenmayala9298
      @adenmayala9298 5 лет назад

      Endeleen kujibu majibu mepesi kwa maswali magumu ipo siku mtalipa hii gharama ya mzaha mnao ufanya

  • @BoniphacePeter-ih2st
    @BoniphacePeter-ih2st 10 месяцев назад

    Mbowe ni kichwa xn majariwa amna ulichojibu

  • @davidsonstevenson2653
    @davidsonstevenson2653 5 лет назад +3

    huyo waziri alivyosisimama sasa kama yupo kaunta ya BAA

  • @shedyjr3227
    @shedyjr3227 5 лет назад +4

    11.03 WEWEEE

  • @Grandpamotivator
    @Grandpamotivator 5 лет назад +3

    Yaani ccm hamuonagi hata Aibu, Katiba iliyotungwa mwaka 1977 Kipindi kulikua na chama kimoja ndio itumike leo kuunda tume kwa miaka hii ya 2020 kipindi kuna vyama vingi. RUBBISH, Kipindi katiba iliyopo sasa mwaka 1977 kulikua na chama kimoja so tume ni huru kama kungekua na chama kimoja, Bali kwa sasa Hii tume sio Huru kwasababu kwa sasa kuna vyama vingi inahitajika Katiba mpya ambayo itaunda tume huru kwasababu kwasasa kuna vyama vingi kwahio katiba iliyopo imepitwa na wakati na tume si huru.

  • @zayanasudi3731
    @zayanasudi3731 5 лет назад +1

    Mxeeeeeew hadi kichefuchefu

  • @KulwaAmran
    @KulwaAmran 6 месяцев назад

    Waw

  • @ramadhanmanko4614
    @ramadhanmanko4614 5 лет назад +2

    Siokweli mzee muogopemungu

  • @peterhayuma6401
    @peterhayuma6401 4 года назад +1

    mbowe mbane jamaa

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 4 года назад +2

    Nakumbuka Mkurugenzi wa tume ya Uchaguzi 2015 aliondolewa dakika za mwisho kabisa jeee iyo imekaaje labda Kama sio kuingiliwa?

  • @moseskyaman9323
    @moseskyaman9323 2 года назад

    Wazir Hana majibu lakin tusimlaumu alikuwa anamtumikia farao na kwa kuwa farao hayupo naamini waziri atafanya kazi na nchi itasonga mbele Dr.Samia S.H atatuvusha

  • @MathayoKamakia
    @MathayoKamakia 4 месяца назад

    😮

  • @paulosonda8995
    @paulosonda8995 5 лет назад +2

    Kwahiyo mweshiwa wazir mkuu sehem ambazo hazina wabunge wa upinzani zenyewe inakuwaje

    • @athanaskija529
      @athanaskija529 5 лет назад

      Chadema msitutishe njaa tu inawasumbua

  • @AhmedSeif-il1xx
    @AhmedSeif-il1xx Год назад

    Majaaliwa muongo

  • @GeofreySanga-zo2lg
    @GeofreySanga-zo2lg 7 месяцев назад

    Ccm wanazingua😅

  • @ishmaelsimon6617
    @ishmaelsimon6617 5 лет назад +2

    Shida ni kwamba tumejivuruga kikatiba! Ni huru yes kimaandishi but huo uhuru wake unaendeshwa vp na unasimamiwaje! For what we have seen kwa serikali za mitaa, hatuchagui viongozi, tunachaguliwa viongozi!

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 4 года назад +2

    Walakini mkubwa huu Majaliwa

  • @yusufkechbow8153
    @yusufkechbow8153 5 лет назад +3

    Maswali ya chuot kikuu, majibu ya nursery

  • @josephmsanga6751
    @josephmsanga6751 5 лет назад +2

    Mwandishi sikuelewi Eet Waziri Mkuu kabanwa! Kwani Uliona Hapumui!? Najua Aliulizwa Maswali na Akayajibu papo!: Acha izo.

  • @RAHAARTISTGROUP
    @RAHAARTISTGROUP 7 месяцев назад

    Hawa chadema busara ni kidogo na mwaka watachukua nchi ndo itakuwa mwanzo wa machafuko huongea kwa unafikiunafiki

  • @receptionzanbluu3656
    @receptionzanbluu3656 4 года назад +1

    Hawa wabunge wanapiga meza kiushabiki tu hawajui lolote wababaishaji tu

  • @davidsonstevenson2653
    @davidsonstevenson2653 5 лет назад +3

    waziri mwnyw anjibu kwa mapoziii alafu mbona ajasisima kwa adabu

  • @georgeswai7248
    @georgeswai7248 5 лет назад +5

    Weweee

  • @amosaruta22
    @amosaruta22 5 лет назад +3

    Mimi naona kama Magufuri nachukua nchi jana muongezeni mda Magufuri jamani wabunge nyie ili nchi hisonge mbele

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 4 года назад +1

    Video hii inachefua

  • @hamiskengwa6250
    @hamiskengwa6250 5 лет назад +2

    🤣🤣🤣🤣 majibu mepes hayo

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 5 лет назад +4

    Wanataka kuzulula, huku wakichangisha fedha kwa watu eti wanaimalisha chama kumbe wanaibia pesa zetu hata ofissi ya maana miaka yote hiyo hakuna hao ndio tuwachague ,watatuzia inchi Yetu hao kwa mabeberu .

  • @gideonelias5379
    @gideonelias5379 5 лет назад +4

    Swali na majibu hayaendani

  • @kitunidawooddaulani4185
    @kitunidawooddaulani4185 5 лет назад +3

    mepesi arafu yana kele hayo......N

  • @JohnManyilizu-rl5bm
    @JohnManyilizu-rl5bm 7 месяцев назад

    Kumbe hata wakubwa huwa wapo waking katika maeneo fulani nilifikili huwa Managua kila jambo au huwa wanajizima data siyo vizuri Hill nitaifa letu sote tusahihisheni tulips Korea tusonge mbele

    • @ClementPeter-bw2sl
      @ClementPeter-bw2sl 3 месяца назад

      Amani itawale mungu akulinde nataifa letu nchi yetu siasa imetawala

  • @victorjames3730
    @victorjames3730 5 лет назад +2

    Tume iko huru???????? Hehehe

    • @Grandpamotivator
      @Grandpamotivator 5 лет назад

      Amesema tume huru kwa mujibu wa katiba ya mwaka 1977 kipindi cha chama kumoja, ila kajisahau kwamba sasa kuna mfumo wa vyama vingi so katiba iliyotungwa 1977 kwasasa imepitwa na wakati, so tume sio Huru tena coz kwa sasa kuna vyama vingi

    • @simonrusigwa3024
      @simonrusigwa3024 2 года назад

      Cheeky hajajisahau. Makusudi

  • @saleheinnocent7636
    @saleheinnocent7636 4 года назад +1

    Kila kitizama video hii nauwona uwepesi wa majibu ya mtendaji mkuu wa shughuli za serikali bungeni.

  • @aldoba2826
    @aldoba2826 5 лет назад +2

    Hatuna tume huru. Sio huru

  • @abdulazizi2875
    @abdulazizi2875 5 лет назад +2

    Hahah majibu mepec sanaaa

    • @kitunidawooddaulani4185
      @kitunidawooddaulani4185 5 лет назад

      ana ongea nae sio mbulula ni mtu anaye tumia akili nyingi......Ndio mana ana majibu yake shot😄😄😄

    • @bakarilubeleje1167
      @bakarilubeleje1167 5 лет назад

      Mbowe yuko sahihi ase

    • @kitunidawooddaulani4185
      @kitunidawooddaulani4185 5 лет назад

      @@bakarilubeleje1167 anatumia hasira arafu mwenzake anatumia akili xaxa hapo unaonekana bwege wakati upo sahihi.....😄😄😄

  • @nguvumalimoshi7330
    @nguvumalimoshi7330 2 месяца назад

    Wazee wanaongea vijana tulieni

  • @TELEZANESTORY
    @TELEZANESTORY 5 месяцев назад

    Talifa kuhusu makonda

  • @SephaniaMsigwa
    @SephaniaMsigwa 8 месяцев назад

    Miaka 61 ccm madarakan na wanainchi maixha bado magum

  • @justinejohn7724
    @justinejohn7724 5 лет назад +2

    Una uhakika??

  • @GrestaKayange
    @GrestaKayange 6 месяцев назад

    Skwani lazma mpige makofi

  • @hapickymedia8616
    @hapickymedia8616 5 лет назад +3

    Majibu mapesi kweli ?

  • @luvangaluvanga2322
    @luvangaluvanga2322 5 лет назад +2

    Polepole anaridhaa ya nani ?

  • @batistutacharles9146
    @batistutacharles9146 5 лет назад +2

    Acheni kushiriki tena muuone ?ccm tunapaa kama kaw

  • @LukandaLukata
    @LukandaLukata 10 месяцев назад

    Lukanda Lukata

  • @AllyMandunda-tj9jc
    @AllyMandunda-tj9jc 8 месяцев назад

    User wewe ni mjinga sana

  • @lwitikomwakibete7525
    @lwitikomwakibete7525 5 лет назад +2

    Kama majibu mepesi ongeza mchanga yawe mazito

  • @ricksonmrema1693
    @ricksonmrema1693 5 лет назад +5

    Upumbavu mtupu akuna tume huru

  • @josephnchunga1247
    @josephnchunga1247 5 лет назад +2

    Waziri Mkuu yuko yy anajibu kulingana na swali limevyo ulizwa ,tume huru ipi kama si kutuhadaa tu, swali la nyongeza kama si tume Huru wao walishindaje? Wa upinzani wafie mbele wahuni hao.

  • @ramadhanmanko4614
    @ramadhanmanko4614 5 лет назад +3

    Weweeeee