Nampongeza sana Job Lusinde, Hongera. Nampongeza pia Spika wa bunge Bw. Job Ndugai, anaendesha vikao kwa ustaarabu, bali wanamlazimisha kufanya hayo ya kuwatoa nje. Maana vyama vingine usipokuwa na vituko hupewi uongozi.
Ndo maana zamani Nyerere alikuwa alikuwa haingizi wabunge wahuni ndani ya Bunge. Lakini sasa hivi vyama vingi ndo hivo tena hata vibaka wapo Bungeni bora tu wajue kutukana na kuongea utumbo , wenyewe wanajiita eti Wabunge Machachari.
Mmmhhh ila CCM mnafanya intimidation asee...mnyika amekashfiwa kwamba ni mwiz(nimesikia na mimi)...ameomba kuthibitishiwa lkn spika umerusha kwamba huwez sikia yote..ila mwisho umemsikia Ester bulaya kwamba anawaambia wenzie watoke bungeni..ukiwa umekaa palepale ulipokaa tena kukiwa na kelele zakutosha.🤔🤔🤔🤔🇰🇪
mi namuomba ester akumbuke kua wananchi wa jimbo la bunda mjini ndoo waliompa ridhaa ya kwenda bungeni lkn amesahau kuwatetea anafanya sarakasi bungeni nakuomba ebu kumbuka wale wapiga kura wako waliokuawanasukumagari lako kutoka mahakami na ukawaletee maendeleo angalao hata miundombino
Ndio jamani muikhmbhke masaki ya kisarawe mjiunashindwa kuendelea kwasababu ya umeme haujasambazwa mitaani uko barabarani tuu mtukumbuke maana pia tunachangamoto ya barabar usafiri ni wapikipiki magar hayaendi yani huo kumesahsulika kwakweli mbunge mzaramo bajeti zake niza mgoma tuu maendeleo hakuna
Duh , Sasa huyu bro sijui kafanya kitu gani hapa , au ndio wanaita political bust ? Hapo ukiwa waajabu ajabu unaweza kusema kaonewa , lkn sisi wananchi tunataka bunge letu liheshimiwe aisee , sio kila mtu anafaa kuwa mbunge , kunahaja ya kupimana afya Kama Lusinde alivyosema ....fuckin kabsa .

Iyo n kwa muujib wa mawaz yako
Very Nice Mnyika
Bunge la kiboya umejaa ushabiki tu
Dah! Bunge linaongozwa kwachama hii noma
Pongezi kwako Mh.Lusinde.Hongera Sana.Wafundishe hao.
Safi sana mnyika mheshimiwa
Daaaaah huyu jamaaa naongea poit 😍😍😍😍RIP JPM
Nice advise
Kaka uwa nakuelewa sana uyo Mnyika ajitambui
You will reap what you sow, here we're speaker
Lusinde Nakuelewa Sana Uko Vzr!
Wabunge, tumieni vizuri nafasi mnazopewa, kupiga kelele hovyo na kukiuka taratibu ni kujifedhehesha. Historia itawasuta.
2020!!!? Ahsante Sana umeme vijijini☑️☑️
Kweli kabisa
Sasa katukana wapi
safi sana kaka unaongea point .wewe nikiongozi unae tambua uzima Wa Shelia.
Big up xan mkuu
Mbunge was bunda we nishidaaa! Amakwer Mara duh
Safiiiiii
Kwaiyo mnapoandika hyo ni bulaya no sawa mbna hamjielewi wandishi wa Global mnafeli wapi
Ndo maana zamani Nyerere alikuwa alikuwa haingizi wabunge wahuni ndani ya Bunge. Lakini sasa hivi vyama vingi ndo hivo tena hata vibaka wapo Bungeni bora tu wajue kutukana na kuongea utumbo , wenyewe wanajiita eti Wabunge Machachari.
Ongeleeni swala LA ajira za walimu mbona hatusikii
Walev wapo ccm ,wez ccm ,ata wavut bangi kama spika wenu hasira zimemjaa mda wote
Kama wapinzan n wez hebu tujiulze nan alfuchua wz/ ufisad?
Makin kabisa
Ndugu wananchi Watanzania hao NDIO wawakilishi wenu Bungeni.Mwaka huu fanyeni maamuzi ya Busara.Sifa ya kiongozi Bora kwanza Nidhamu,Utii, nk.
Empty
Hii ndy tanzania checheiiii tanzanian mungu ibariki tanzania
Mbona anasema twendeni alafu hamuelewi hii hatari Sana bulaya hawakusikii wenzio wametulia tu
Mmmhhh ila CCM mnafanya intimidation asee...mnyika amekashfiwa kwamba ni mwiz(nimesikia na mimi)...ameomba kuthibitishiwa lkn spika umerusha kwamba huwez sikia yote..ila mwisho umemsikia Ester bulaya kwamba anawaambia wenzie watoke bungeni..ukiwa umekaa palepale ulipokaa tena kukiwa na kelele zakutosha.🤔🤔🤔🤔🇰🇪
Hii ndo BONGO
Mnyika mbona mmechanganyikiwa Sana nyinyi wenyewe mmemuacha Mungu palwenu
Nimecheka sana
Kumbe bunge taam😂😂😂haaa nlikuwa sjuii😅😅
Mnyika hajitambui hahahahaha lusinde hoyeeeeeeee nakupata vzr
Tz acheni kusifia tuu aaaaa
@@musamloe4561 kinachoonekab acha kisifiwe kam ww unaon huon cha kusifia kaa kimya
Bigger up Mr lusinde
Taarifa
Safi kabisa mwamba wa mtera
Ukiwa2 ccm akili Kisha kabisa😂😂😂
sema kwa utaratibu, watu waweze kusikilizana, hata konda akiita kwenye basi anaita kwa utaratibu
Duh
Nkaazenu msituletee. Sijui mnakua nashidagani nawatu wanaowapongeza kwaupuuzi.
Uko Vzr Kaka!
hongera sana mungu akupe nguvu wapizan awana jema
Hamza Haji ulikuwa wapi siku zote kiki hizo
Mmm
Safi sana mnyikaa...!!
Mhhhhhh ipo kazi
sijapenda wabunge kutoka nje
kipi kibaya alichokosea mnyika mbona yenu amyaongei achen siasa za matisho
Tuleteeni na maji mbuyun Dodoma mana Nako ni kijijini
Using of power
Sasa lusinde hao unasuta,unatetea au unatoa maonii hatukuelewi
mi namuomba ester akumbuke kua wananchi wa jimbo la bunda mjini ndoo waliompa ridhaa ya kwenda bungeni lkn amesahau kuwatetea anafanya sarakasi bungeni nakuomba ebu kumbuka wale wapiga kura wako waliokuawanasukumagari lako kutoka mahakami na ukawaletee maendeleo angalao hata miundombino
Mariba itembe
Mariba itembe .
hayo mabishano yanamchango gani kwa mtanzania wa hali ya chini huu ni upuuz
Kweli umeme vijijini muhimu msisahau masaki ya Kisarawe huko Bado kunachangamoto .
Ndio jamani muikhmbhke masaki ya kisarawe mjiunashindwa kuendelea kwasababu ya umeme haujasambazwa mitaani uko barabarani tuu mtukumbuke maana pia tunachangamoto ya barabar usafiri ni wapikipiki magar hayaendi yani huo kumesahsulika kwakweli mbunge mzaramo bajeti zake niza mgoma tuu maendeleo hakuna
Mhuuuuu! kibajaji. Nakusikia lkn Acha nipite kwanza.
Naogopa kuelezea kuhusu bunge
Mungu awasaidie tu maana
Ndo spika wa Leo huyo
Sawa waacheni bungeni wenyewe maana wanajua ukweli lkn wanataka kukanusha
Kwel kabisa ukiangalia hata huko tarime barabara ya kwenda mriba pande za mkono wa keshoto amna nguzo za umeme umeongea point kiongozi pongezi kwako
Wape ukweli wajitambue
Safi sana lusinde wakina mnyika kazi yao kutetea wezi wanahongwa pesa hao
Dha jamani uo uonevu Sana
Dha jamani uo uonevu Sana
Hawoooo hawataki wanaosema ukweli. Watu wazima ovyooooo
Umejiponza mnyika hadi Umepewa kifurushi cha week ..Jifunzeni kanuni .Umeonywa utulie hutaki
Atulie kwa ujinga
Duhhh
Mnyika alitakiwa ajibiwe yy mwiz kvp ili mamb mengn yaendlee kun wabung waropokaj sana bungen
sure..
Kweli tumekwisha kichaa kapewa rungu huu sio uwongozi mzuri anapendelea upende mmoja hvyo atufiki spika
Uonevu huo kwani haujamsikia am
Bunge la bongo full move
Hivi ester bulaya kaolewa kweli maana tabia zke hata mnyama pori hawezi kuzifurahia aibu sn
Niambu kubwa sisi Raia wa Tanzania kuliona bunge kuwendeshwa kama mfano wa bucha lakuuzia mkaa,
Ndo maana magu alikua hataki tuangalie bunge…maana ni mambo ya ajabu yanayoendelea uko🚶♀️🚶♀️🚶♀️
Am glad i was young and not interested back then……
Saf sana mbunge umeongea point khs umeme vjjn yaan kwer vjna wavjjn wamejiajir kwakchmlea hawaji mjn
safi sana mheshimiwa spika na lusinde
We ni mpuuzi
Ndo maan mnaambiw mtawaliw upya tatz hamjitambui sa unapongez nn apo
@@ezekiangailo6330 we unajitambua
Ha ha ha ha ha Nyika kwisha habari.
Akili yote imerudi mfukoni.
Nyie wenyewe C.C.M ndo walev wakubwa
chamaa pinzani ni chama cha vurugu wamezoea hata uraiaini wako hivyo😀😀😀😀😀
Waonezi sana wengine ndio mnawaskia Kwa masikio 100
Aiseee nmecheka kisengeee
makinikia yameishia wapi
huyu mnyika mbona siku hizi simuelewi daaaaah jamaa alikuwa safi saiz mmmmh
Ww ndo mbovu ,kufata mkumb tu
kk huu niukweli asilimia yawapinzani wamechaguliwa nawahuni ndosababu anachokifanya nikuwalizisha wahuni
MUHUNI BB AKO
Mnyika angesikilizwa wenye akili wangemuelewa
we spika wa bunge una upendeleo
Naona spika unachochea ugomvi umondani
Mnyika Mwizi 😂😂😂😂😂
Henry Ndosi by p no
Dah kwl msiwangalie wabunge wa mjini wangaliwe wabunge wa vijijiji ili kuitanuwa Tanzania kimaendeleo
Kuna mwanadada alikuwa na kiherehere
Vinasaidia chato sio taifa
Duh , Sasa huyu bro sijui kafanya kitu gani hapa , au ndio wanaita political bust ? Hapo ukiwa waajabu ajabu unaweza kusema kaonewa , lkn sisi wananchi tunataka bunge letu liheshimiwe aisee , sio kila mtu anafaa kuwa mbunge , kunahaja ya kupimana afya Kama Lusinde alivyosema ....fuckin kabsa .
Uko salhihi mpaka kwetu ume imefika ccm hoyee
Naona Lusinde anautafuta uwaziri wa wizara ya Nishati na Madini
Sahihi kabisa spika huyo kaonyesha utovu wa nidham safi sana kumtoa nnje,
Spika anapokosea Anatolewa na nani
Jaman mbona mnakwa kama wanawake tuleteen maendeleo bwana
Hivi spika wa Bunge ndio yule aliempiga Bakora Mgombea mwenzake wa Ubunge ktk kula za maoni kule Kongwa au?
Hahahahahahahaa ndio ivyo
Ndugai ni mbwa,
Madawa ya kulevya ni mabaya sana kweli Lusinde
Nimecheka kisenge sana
CCM ndo waliosign Mikataba hiyo et leo Lusinde anasema wapinzani ndo wez haya ni maajabu hahahahahaha
Ipyana George kinacho shangaza niwapinzani kuchukia uamuzi wa jpm kuzuia wawekezaji kuondoka na mchanga wa madini
ni vituko mikataba waingie waoo wez wengine uwiii tanzagiza
Kuna siku yatalipwa haya,
Raisi wetu chapa kazi Mimi nimetoka north Mara najua uchungu HAPA KAZI TU
Siasa ni mchezo mchafu ,,, imagine hao ni watu wazima afu wanafanya vile ,,,so sad
Vp wadau nawatakia asubuhi njema
Spika kumbuka wewe upo kwenye hicho kiti kwa. Dhamana muogope Mungu usinyanyase watu
Uhakika
Sipika bado unaumwa
hatariiiii
Tendeni haki
Spika wa hovyo kuwahi kutokea
Lusinde kichwa sana kukabiliana naye yafaa ujipange sana.
Kumbe mnyika kilaza aseh