MCHUNGAJI MASHIMO AKINUKISHA OFISINI - BAADA ya KUHUKUMIWA KIFUNGO JELA -AMWITA TAPELI ALIYEMSHITAKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 12 янв 2025

Комментарии • 328

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  8 месяцев назад +6

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 8 месяцев назад

      Sauti ya zege mpelekeni huyo

  • @scolamusa1226
    @scolamusa1226 8 месяцев назад +4

    Kutumikia Mungu haiangalie elimu Mungu anainua kila amtakaye Si Elim Ukijivunia Elim kwakayangu wewe si mtumishi wa Mungu

  • @ZainbAbubakary
    @ZainbAbubakary 8 месяцев назад +7

    Leo nakupa hongera zako Gabriel chitanda yaani umemtuliza mpaka kapoa namaneno akayatoa maua yako nakupa kiroho safi

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 8 месяцев назад +3

    Hadi hapo tuliosoma CUBA tumeshaelewa ukisoma 2Thethalonians3:10: Those who do not work can not to eat.

  • @DeogratiusAndrew-zi7zv
    @DeogratiusAndrew-zi7zv 8 месяцев назад +1

    Mbona mnamuhukumu kuwa anahasira mnasema nabii gani ana hasira kwani , Mungu hamjui kuwa ana hasira ,hata watoto wake watakuwa nahasira, Yesu aliingia Hekaluni akawachapa wafanya biashara sio hasira hiyo, watanzamia baadhi yetu tunapenda sana kusemana vibaya, ilakama mzungu ndio mngemsifia nakumuona ndio bora au ndio mtumishi wa Mungu au shehe akiwa mwarabu ndio anaheshimika , au Padre akiwa mzungu ndio ana heshimia sio poa ,tujenge tabia yakuwasifia wakwetu , msibebe tu nabii ana hasira au mchungaji gani anahasira, hakuna asie na hasira , ila ninamna gani kaumizwa na kuweza kuitawala hasira yake, nahapo ameweza kuitawala hasira ndiomana hakuna aliye umizwa au kumwaga damu , kwani ninyi mnao penda kuhukumu mnamangapi mabaya mmeyafanya au mnafikiri Mungu hajui, wote tuna muhitaji mwenyezi Mungu huyo ndio muhukumu wa haki,

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 8 месяцев назад +4

    Mhuuuu makubwa haya Mungu amlinde Makonda kila mwenye kumsemea MABAYA yamrudie mwenyewe

  • @AndreaDaud-k2c
    @AndreaDaud-k2c 7 месяцев назад

    Mungu anaweza kumyumia MTU yeyote kuwa muwakilishi wake

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 8 месяцев назад +4

    Dada una matusi sana na inaoneka wew Dada ndyo mwiz kabsa

  • @NyapiniMwakifwamba
    @NyapiniMwakifwamba 7 месяцев назад

    Hongera kwa ujasili mashimo

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 8 месяцев назад +6

    Toa hiyo kola ya uch ungaji unaizalilisha huna uchungaji wo wote wala unabii wo wote

  • @kalebphilip3426
    @kalebphilip3426 8 месяцев назад +7

    Hongera Rwanda,Rwanda huwez kuwakuta watumish wa ovyo Kama Hawa,kwanza huyu hata elimu Hana kabsa

    • @EmmmaTembo
      @EmmmaTembo 8 месяцев назад

      Rwanda ndio kuna manabii wapumbavu kweli kweli

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 8 месяцев назад

      Unatafutwa

    • @abdulkareemchacha2625
      @abdulkareemchacha2625 8 месяцев назад

      Aisee kweli hiyo jombaa?

    • @bobwhite9252
      @bobwhite9252 8 месяцев назад

      Bongo kama US kila takataka ipo na iko huru..huko rwanda udikteta kila kitu wanakatazwa😅...nchi haina vaibu😅😅😂😂

    • @MeckitilidaTushabe-or9hu
      @MeckitilidaTushabe-or9hu 8 месяцев назад

      Yaàn sipendagi kusikia akiongea

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 8 месяцев назад

    Glob mnacho fanya sio vizuri kabisa, mnaweza kusikiliza upende moja bila hata ku balance story

  • @daudymlauletv8489
    @daudymlauletv8489 8 месяцев назад +19

    Anautumishi gni wa mungu acheni kutukuza upumbavu

    • @rogerabdallah439
      @rogerabdallah439 8 месяцев назад

      Unatafutwa na jeshi la police 🚔 mbezi jisalimishe kwa kumzalilisha mtumishi

    • @jeanmusamba8448
      @jeanmusamba8448 8 месяцев назад

      hahahhaha uko sawa humuona hasira hukaa vifuani mwa wapumbavu

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 8 месяцев назад

      Kwanini unakataa kuwa Mtumishi wa Mungu ?

  • @BerthaKundi
    @BerthaKundi 8 месяцев назад

    Mmmmh Dunia simama nishuke, kama vita imehamia kwa watumishi wa Mungu mmmh 😢😢

  • @hamzaabdallah8637
    @hamzaabdallah8637 8 месяцев назад

    Mwandishi upo safi umebalance story

  • @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly
    @HiteshkumarDhirajlal-nh3ly 8 месяцев назад +1

    Haondio kawaida yao,huwa wanatoa taarifa bila kuzihoji vizuri,pia bila kuxihakiki

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 8 месяцев назад

    Nadhani nabii ni jina tu kama majina mengine, lakini habari ya nabii mkuu sjui manabii wa cheo! Hapa bongo ni kazi kumpata nabii! Nabii wa bwana wakweli huwa hapaniki kiivo

  • @NovatMarco
    @NovatMarco 8 месяцев назад

    Mubarikiwa ndiye anaye pambana katika ruho nakweli siyo wewe unaye jipendekeza Kwa wezi kilasiku sasa yamekukuta ona sasa unavyopaniki nakola shingon

  • @NovatMarco
    @NovatMarco 8 месяцев назад +3

    Nakubali mchungaji mubarikiwa siyo wewe unafagilia wezi Kila siku

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 8 месяцев назад

      na mm pia namkubali Mch. Mbarikiwa Mwakipesile, ana mafundisho mazur.

    • @paschalfausitine7108
      @paschalfausitine7108 8 месяцев назад

      Kwakweri huyu ndo alimzihaki mchungaji mbarikiwa Leo naye kaenda jeraaaaa haha😂

    • @NyapiniMwakifwamba
      @NyapiniMwakifwamba 7 месяцев назад

      Alichotenda vema asifiwe,habari za mbarikiwa hapa zimeingiaje ,daa kweli wachungaji wananguvu

  • @dismasmusoma9478
    @dismasmusoma9478 8 месяцев назад +1

    Kiukweli roman Catholic
    Na uislam ni dini ambazo zitazidi kuchukua nafasi katika dunia.
    Ila hawa wenzetu mmmmh napatapa mashaka sana.

    • @MarkoWMichael
      @MarkoWMichael 8 месяцев назад

      Romankathoric na uislam ni masinagogi ya shetani ayo

  • @mataypanga5262
    @mataypanga5262 8 месяцев назад

    Nakupongeza mwandishi wa habari,unajua kazi

  • @stanslausmteme8455
    @stanslausmteme8455 8 месяцев назад +4

    Huyu mtumishi gn wa MUNGU tapeli mkubwa mtajulikana tu

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 8 месяцев назад

    Huyu mashimo alisema Mungu kamwonyesha Amuoe wema Sepetu.

  • @IsmailJuma-zb5ni
    @IsmailJuma-zb5ni 8 месяцев назад

    Muogopeni Allah enyi waja wa Allah, Hakuna nabii wala mtu zama Hizi mnakufuru.

  • @Lidyakagondi-h9b
    @Lidyakagondi-h9b 8 месяцев назад +1

    Huyu ndo nabii jaman dini izi et nabii

    • @FatmaHalfan-w3l
      @FatmaHalfan-w3l 8 месяцев назад

      Nabii wa wakristo huyo 😂😂hakika wapo kwenye hasara

  • @AwaziRajab
    @AwaziRajab 8 месяцев назад

    Kweli Wana Habari Wa Ovo Awajui Wajibu Wake Kitu Cha Msingi Kwanza Kuoji Kujua Ukweli Ndipo Habari Zitoke Sio Kuandika Habari Feki Mnachafua Watu

  • @PROPHETJOHNCHARLES-d7r
    @PROPHETJOHNCHARLES-d7r 8 месяцев назад

    Tuwe rohoni ,dada huyo tapeli, ,go deeper in spirit,

  • @MiriamAziz-z5t
    @MiriamAziz-z5t 8 месяцев назад

    POLE SANA MCHUNGAJI MASHIMO.....HUYO DADA NI TAPELI MKUBWA....NA ANAWATUMIA BAADHI YA WATENDAJI WACHAFU WALA RUSHWA ARDHI KUPORA ARDHI ZA WATU....WEWE MAMA MCHAFU HUMUOGOPI MWENYEZI MUNGU MTUKUFU?

    • @Lulualshagri
      @Lulualshagri 8 месяцев назад

      Kwa hiyo huyu mashimo ya vyoo ndio mkweli

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 месяцев назад

    Mwasha 😮

  • @geraldlyimo2859
    @geraldlyimo2859 8 месяцев назад

    Huwezi kuendesha kesi kwa jaziba na pili punguza kupaniki kukakaa sehem miaka mingi haikupi ruhusa ya moja kwa moja kupamiliki kama huna uhalali napo

  • @AntoniaRyoba
    @AntoniaRyoba 7 месяцев назад

    Lana imemkuta mashimo kwa kwa kumdhihaki mchungaji mbarikiwa alipopata kesi malipo ni habahaba dunia

  • @maswamills3161
    @maswamills3161 8 месяцев назад

    Eti nabii wa taifa !!!!!😮😮😮

  • @JohnMahu-f1g
    @JohnMahu-f1g 8 месяцев назад

    Hyu hna mungu ndani laki 3 TU inamchanganya wkt yeye ni mrushi ! Mchungaji wa taifa anadhulum na kesi mahakaman kisa ardhi

  • @allandavid752
    @allandavid752 8 месяцев назад

    Mashimo namuelewa vizuri sana achilia mbali tabia zake nyingine yuko sahihii sana

  • @israeluronu9958
    @israeluronu9958 8 месяцев назад +6

    Yani najaribu kuitafuta sauti halisi ya mashimo naikosa, akiongea zinatoka tatu mfululizo😊

  • @DaudiSibonike
    @DaudiSibonike 8 месяцев назад

    MCHUNGAJI UBALIKIE POLE SANA

  • @jeanmusamba8448
    @jeanmusamba8448 8 месяцев назад

    shida wahuni wanajiita watumishi wa Mungu,ona hata lugha yake

  • @nelsonnyamle
    @nelsonnyamle 8 месяцев назад +1

    Nabii mwizi wa aridhi Tanzania

  • @nugwiziwe7577
    @nugwiziwe7577 8 месяцев назад

    Huyu jamaa anasauti nyingi kinoma😂😂😂😂😂😂

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 8 месяцев назад +1

    General Power of Attorney haitolewi kiholela holela. Hata ndugu yako huwezi mpa hiyo hivi hivi hadi amuelewe Kwelikweli. General Power of attorney ni Sawa na kukabidhi mtu faragha yako.

  • @kadaskarim5081
    @kadaskarim5081 8 месяцев назад

    Pole kaka mashimo msimamie mzee maan hana mtetezi

  • @WemaChimimanda-jt8rf
    @WemaChimimanda-jt8rf 8 месяцев назад +1

    Hata uso wa huyo dada unaonyesha mwongo

  • @joslinchuwa1298
    @joslinchuwa1298 8 месяцев назад +2

    C uongeee vizuri mashimo mbona unakoroma

  • @VictorMassawe-hb9yi
    @VictorMassawe-hb9yi 8 месяцев назад +2

    Mbarikiwa ndo mchungaji wa kwel huyu ni muhuni tu

    • @johnkaliwanje434
      @johnkaliwanje434 8 месяцев назад

      na mm pia namkubali mch. Mbarikiwa Mwakipesile.

  • @NuruNyanja-kz1qr
    @NuruNyanja-kz1qr 8 месяцев назад +2

    Aitwe Dr silaa hapo ukwel utajulikana ila mashimo simuamini

  • @SelinaMdoe-jv1pu
    @SelinaMdoe-jv1pu 8 месяцев назад +3

    Sio nabii wa mungu huyo

  • @tinosimon595
    @tinosimon595 8 месяцев назад +1

    Anataka kuliaaaaa haaaa na sisi tunajiskiagaje unavyo tuongeleaga vibaya Tim zetu 😂😅😅

  • @anytime5685
    @anytime5685 7 месяцев назад

    Kwa matusi haya niliyo yasikia na clip aliyoitoa mashimo dada ni mvamizi

  • @josephjohn2114
    @josephjohn2114 8 месяцев назад +1

    Mwandishi hii habari imekuzidi kimo.

  • @saidymbagalla6622
    @saidymbagalla6622 8 месяцев назад

    Kwa maelezo hayo mpaka hapa mimi nikiwa kama hakimu wa kujitegemea nasema ndugu mashimo ni mvamizi wa eneo la watu kama ameuziwa basi ametapeliwa

  • @credychipungahelo496
    @credychipungahelo496 8 месяцев назад

    Mamamaaaa yangu Kwa hasira hii weeee weeeeee weeeeeee

  • @baghabaghaingwengwe1750
    @baghabaghaingwengwe1750 8 месяцев назад

    Hata huyo Mashimo alikuwa anamsema Mch. Mbarkiwa bila hata kujali kutomuuliza Mch. Mbarikiwa ili ajue uchungu wa Mbarikiwa ni nini

  • @hamzaabdallah8637
    @hamzaabdallah8637 8 месяцев назад

    Huyu mchungaji ni mwizi na muongo

  • @drjbmsige4098
    @drjbmsige4098 8 месяцев назад

    hapo kuna jambo haliko sawa! au mashimo hajui kupanga vina

  • @NuruNyanja-kz1qr
    @NuruNyanja-kz1qr 8 месяцев назад +2

    Kwakwel hapa sadaka zimeliwa bule

  • @steramwanakira7183
    @steramwanakira7183 8 месяцев назад

    How did alindanganya?? Please explain

  • @ValerianaKilumile
    @ValerianaKilumile 8 месяцев назад

    Mungu hamfichi mnafiki

  • @abujumanne7570
    @abujumanne7570 8 месяцев назад

    😁😁😁 hahahaha yaani kwa akili ya haraka huyu mwaandishi akijita mchungaji lazima ukubali maana jamtuliza mashimo Hadi aka kaachini👋👋

  • @neemanziku5403
    @neemanziku5403 8 месяцев назад +1

    Yan mtumishi unakuwa na jazba namna hii

  • @piuskusenge-jf2ob
    @piuskusenge-jf2ob 8 месяцев назад +1

    Hata hiyo General Power of Attorney, ndugu wa huyo Mzee washtuke mapema, la sivyo wateja Lia kilio cha mbwa mwezi.

  • @leonardmwacha5151
    @leonardmwacha5151 8 месяцев назад +3

    Jaman angalien sadaka mnapotoa mnampa nani

    • @MarkoWMichael
      @MarkoWMichael 8 месяцев назад

      Tunampa Mungu kwan we unampaga nani

  • @TUMAINIMWILILA
    @TUMAINIMWILILA 8 месяцев назад

    Nimecheka sana yaan kabla hajapoa Gabriel anakandamiza swali😂😂😂😂

  • @jayjay4313
    @jayjay4313 8 месяцев назад

    😂😂😂😂 Gabi, kafukunyua jumba la nyuki leo, kidogo avimbe uso. Hapa lazima mmoja ndio kaka ama dada wa taifa.
    Gabi tafadhali tuelekeze njia ya kwa muheshimiwa kidogo tukale kahawa. 😂

  • @stellajoseph9334
    @stellajoseph9334 8 месяцев назад +2

    Sasa si uende kwa waziri wa Ardhi?

  • @Mkrist
    @Mkrist 8 месяцев назад +6

    😂😂😂😂😂
    Hawa watumishi hawa. Inatakiwa tujue ni Mungu gani wanamtumikia kwa kweli.
    Dah!

    • @SubiraGido-v4p
      @SubiraGido-v4p 8 месяцев назад

      Bonge ra jambazi ili😂😂

    • @YOSHUAMWAMPETA
      @YOSHUAMWAMPETA 8 месяцев назад

      Kamuulize Mungu usije ukamkufuru Mungu kupitia watumishi wake

  • @AllyBabu-kr6lg
    @AllyBabu-kr6lg 8 месяцев назад +1

    Uyo nabii wa bangi

  • @mbachoclassic7818
    @mbachoclassic7818 8 месяцев назад

    Kumbe sio Eneo la Mashimo wala huyo dada! Wote wanataka kulipiga? Wote wezi huyo pamoja na huyo🤣🤣🤣

  • @KenedyDesigner
    @KenedyDesigner 8 месяцев назад

    Lakini mashimo yuko anaongea ukweli wenge hutapeliwa ardhi

  • @ndorobocarworks-dx4pf
    @ndorobocarworks-dx4pf 8 месяцев назад

    Mchungaji mwenye jazba

  • @danieljoseph1610
    @danieljoseph1610 8 месяцев назад

    Huyo mwanamke flora anadharau sana!

  • @cosmaslunyembeleka251
    @cosmaslunyembeleka251 8 месяцев назад

    Yani binadamu tu wahajabu sana.Hatujui ya kwamba hasira zipo au la.Kuwa mtumish sio kuwa hautakumbwa na hasira uelewa tu ndo unaosumbua hapa.
    Haki haitafutwi kwa ulegevu bali kwa kwa ukakavu wa akili lakini mkumbuke kuwa hata Mungu wetu anachukia na kwasababu iyo sisi tumeumbwa lwa mfano wake na ndiyo maana sisi kama wanadamu hata malaika hawana cha kufanya bali kututii sisi na kutulinda thidi ya maadui zetu.
    Ovo msihukumu kwa sababu ya talanta yake
    Mungu wetu atupe neema ya kumjua

  • @rerisamba
    @rerisamba 8 месяцев назад

    Waa Nafsi zilizo jeruhiwa mmm watu wanatembea na vidonda

  • @damsonmgalula
    @damsonmgalula 8 месяцев назад

    Hana akili huyu kichaaa. Anae vaa nguo Sikiliza hata Mongezi yake. Hajui hata kujitetea.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 месяцев назад

    Halafu manabii wengi Na wanaume Vijana tu Mbona sioni manabii wanawake vijana 😮

  • @Kabeya410
    @Kabeya410 8 месяцев назад

    Mpira kutabiri na kutishia kumemshinda 😅mbwa huyu ati ooo Yanga atafungwa na simba atalia kilio cha mbwa kiko

  • @angonzamujunangoma8775
    @angonzamujunangoma8775 8 месяцев назад

    Kikubwa wamtafute Waziri wa Ardhi mwenye haki apewe haki yake

  • @GoodluckAmos
    @GoodluckAmos 8 месяцев назад

    Mchungaji asiyekuwa na hekimaaa😂😂😂

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n 8 месяцев назад +1

    MASHIMO SI NDIYO ALIFURAHIA KUFUNGWA KWA MBARIKIWA MWAKIPESILE, MAMBO YAMEGEUKA?? HII DUNIA HII, IACHE KAMA ILIVYO, MASHIMO USIFURAHIE MATESO YA MWINGINE ILIHALI UKIJUA HATA WEWE BADO UKO DUNIANI.

  • @hawaelymaricca7602
    @hawaelymaricca7602 8 месяцев назад

    Umehukumiwa kweli unakasirika nini na kes ipo mahakani

  • @Mapitoyazamani-y7n
    @Mapitoyazamani-y7n 8 месяцев назад

    Huyu kijana alimwita mbarikiwa mwakipesile mpumbavu, leo naye analia duuuu! hii duniaa bwanaaaa iache tu!.

  • @MooKakwamba
    @MooKakwamba 8 месяцев назад

    Alafu kwann muwe ivi lkn globo😢 daah nani alijua kama nakuja mkaandaa camera?😅

  • @narohwings
    @narohwings 8 месяцев назад

    Sauti ya Dudu baya konk

  • @IssaIddi-vb9yi
    @IssaIddi-vb9yi 8 месяцев назад

    Kuna nabii gani alikuwa mkali kama uyo ndio rahana zenyewe izo

  • @abdullramadhanii626
    @abdullramadhanii626 8 месяцев назад

    Hi chombo cha habari kimekula rushwa ameshindwa kumuhoji huyo mama kwann wakati kasoma kila kitu

  • @innocentshayo7531
    @innocentshayo7531 8 месяцев назад

    Nabii gani huyu tapeli kabisa hata hao wanoenda kanisani kwake ukiwachunguza utagundua wana utindio wa ubongo

  • @dignakanje4508
    @dignakanje4508 7 месяцев назад

    Mkome kuwa mastaaa kwenye nchi Kijitwisha mizigo tu yakufahamika.Ndio mjue mtafatwa nakila mwandishi wahabari.Wenzenu WANAFANYA biashara nyie mnaabika tu

  • @SixLife-fi3pz
    @SixLife-fi3pz 8 месяцев назад +1

    Msiwe mnacomment kwa msio ya jua mna comment matusi wakati jamaa anatetea wazee wanaodhurumiwa

    • @hamzaabdallah8637
      @hamzaabdallah8637 8 месяцев назад

      Mwizi huyu anawasaidia kitu Gani, hivi Serikali inaweza kutoa hati asiyemuwa mwenyewe??

  • @amosmahona433
    @amosmahona433 8 месяцев назад

    Media ethics lazima story/habari ibalance .sikiliza pande zote 2.vinginevyo unaleta taharuki.

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 8 месяцев назад

    Acha kuwa na hasira 😢

  • @pengefeza2563
    @pengefeza2563 8 месяцев назад

    Hakuna nabii wala mtume.

  • @allyshaban406
    @allyshaban406 8 месяцев назад

    Hongera kijana!! Wewe ni mwana taaruma.

  • @kilogreek4050
    @kilogreek4050 8 месяцев назад

    Aya majitu mengine yamegewa Azabu ya freemason ndio matatizo yatazidi kupata kutoka Awezi Msamaaha Akuna hiyo ndio freemason Umebaki kutembea Uchi barabarani sauti yako kama gulue poli😂😂😂😂😂

  • @christeternallifetv5959
    @christeternallifetv5959 8 месяцев назад

    Huyu ana MAPEPO na asipotubu atafutiliwa mbali

  • @huldamichael4445
    @huldamichael4445 8 месяцев назад

    😅😅jina limepoa sasa tunaliamsha kwa gear hii😂😂😂😂mjini hapa

  • @MACHOYATAI-jk6fu
    @MACHOYATAI-jk6fu 8 месяцев назад

    Hata vichaa wanapata umaarufu huyu mashimo ni kichaaa hamna hapa mtumishi

  • @irenekitomary7271
    @irenekitomary7271 7 месяцев назад

    Yaan ulivo na njaa upewe ml 20 ukatae??????🤣🤣🤣🤣

  • @fediliaulomi4969
    @fediliaulomi4969 8 месяцев назад

    Kanisa la uyu jamaa linapatikana wapi jamani

  • @kwilasacharles1747
    @kwilasacharles1747 8 месяцев назад +1

    Mpiga kelele kwenye mabasi 😂😂😂

  • @HALIDMOHAMED-zs6xd
    @HALIDMOHAMED-zs6xd 8 месяцев назад

    Ao wamama wanashinda kwa kuuza miili ili wapate haki

  • @paulgerald-en6ye
    @paulgerald-en6ye 8 месяцев назад

    Huyu jamaa msanii sana ila swala la kudai haki na walengwa kuona watashindwa wanatabia kutengeneza kesi yali nikuta haya kama sio kijiamini nazani namimi ninge kua pabaya