🔴

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 11 май 2024
  • 🔴#Live: WAZIRI GWAJIMA AFIKA NYUMBANI kwa MAMA ALIYEFARIKI KISA WANAYE KUFANYIWA UNYAMA wa KUTISHA!
    Jishindie Zawadi na Global TV
    Jaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV
    👉🔥👉forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7
    ============================================================
    ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI?
    ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136)
    ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com
    ⚫️ OUR PLAYLISTS:
    ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo...
    ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: bit.ly/mikasa_ya_kusisimua
    ⚫️ GLOBAL RADIO TV: bit.ly/255globalradio
    ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: bit.ly/exclusive_interviews
    ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: ndstream.net/globalradio/
    ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP:
    ⚫️ ANDROID:bit.ly/38Lluc8
    ⚫️ iOS:apple.co/38HjiCx

Комментарии • 275

  • @globaltv_online
    @globaltv_online  Месяц назад +9

    Jishindie Zawadi na Global TVJaza sehemu zifuatazo hapo chini ili kuingia kwenye droo ya kujishindia zawadi mbali mbali na Global TV forms.gle/aU9zsYyXNyKWmd3f7

    • @user-vv1te9fu8q
      @user-vv1te9fu8q Месяц назад +2

      Mama aliefariki alikuwa anaitwa nani? Maana kama namfahamu

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t Месяц назад +18

    Kwakweli Kwa upande wa mawaziri wanawake Mimi ninamfahamu Dorothy Gwajima tu! Wengine siwafahamu kabisa. Maana wamejifungia maofisini. Asante Mungu Kwa mbegu ya Magufuli. Wamebaki wachache tu. Silaa, Biteko, Bashungwa, Makonda, Hapi.😭😭😭🙏

    • @rosekajuki1787
      @rosekajuki1787 Месяц назад +3

      Yaani huyu mama Hanaga longolongo yupo very active kusikiliza matatizo ya wananchi Mungu amkumbuke katika kazi zake zote

  • @user-op3lx5ls4k
    @user-op3lx5ls4k Месяц назад +13

    Yani mama nakupenda sana mungu akubaliki

  • @AggiesVine
    @AggiesVine Месяц назад +2

    Pole sana kwa wanafamilia wote. Mama Dorothy Gwajima, Mungu aibariki sana kazi ya mikono na ofisi zako. You are exemplary in what you do.

  • @user-qi6ql1lp9k
    @user-qi6ql1lp9k Месяц назад +7

    Poleni sana wafiwa mwenyezi Mungu yumwema ailaze mahali pema peponi

  • @ritapiusnicolaus7068
    @ritapiusnicolaus7068 Месяц назад +5

    Mungu akubariki sana D Gwajima kwa kuwafikia wanyonge 🙏🙏

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 Месяц назад +11

    Tunaomba namba maalum kuchangiya chochote kwa hiyo familiya

  • @agnesnandutu3877
    @agnesnandutu3877 Месяц назад +8

    Wallah tanzania muko vizuri sana ila polisi walizembea kwa kutomshika mtuumiwa

  • @omytifa6403
    @omytifa6403 16 дней назад +1

    Baba uko vzur unajua kujielezea sana MashaALLAH 😢❤

  • @muzneali4747
    @muzneali4747 Месяц назад +45

    Naomba HUYO mtuhumiwa HATA kama kakimbia picha yake IRUSHWE MITANDAONI ATAPATIKANA TU

    • @Ayuminchasi
      @Ayuminchasi Месяц назад +5

      Kabisaaaa na akipatikana auliwe auliwe

    • @user-tt1nm9xs4n
      @user-tt1nm9xs4n Месяц назад +1

      Kwel

    • @user-fs7xc2bb5d
      @user-fs7xc2bb5d Месяц назад +2

      Umeongea point serikal yetu viongozi na maaskali ni wala rushwa yaani rushwa uko mbele kuliko haki

    • @jade75798
      @jade75798 Месяц назад +1

      Yaani akipatikana alawitiwe kwanza then ndio auwawe kwa maumivu makali

    • @margarethndyamkama5537
      @margarethndyamkama5537 Месяц назад +4

      Hata binadam tusipompata Allah anajua Cha kumfanya

  • @fatmamohammed8346
    @fatmamohammed8346 Месяц назад +4

    naomba muheshimewa waziri na polisi wahusishwe kutokana na makosa waliyoyafanya kwa uzembe kituo cha magoneni na haki itendeke kwakweli inaumiza sana iwe fundisho kwa wengine,,,,, tunashukuru sana viongozi wetu wa Tanzania hakika kazi mnaifanya hatujutiii kuwachaguwa

  • @erodiasmallya2869
    @erodiasmallya2869 Месяц назад +1

    Asante sana Mama Gwajima. Uko vizuri Kwa jamii na tutazidi kukupenda Kwa moyo wako wa huruma. Mungu akubariki na kukupa afya njema Siku zote ili usaidie wengi.👏

  • @claudiamacha502
    @claudiamacha502 15 дней назад +1

    Mama hongera Sana,washuhulikie mama,wamezoea

  • @witnesrobson
    @witnesrobson Месяц назад +2

    Mama Mungu akuzidishie ubarikiwe kwa moyo wa upendo na ukarimu wako mm binafsi nakupenda sana❤

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 Месяц назад +10

    wanawake tunauliwa na maumivu ya watoto wetu mtihani

  • @user-xq6rg2pb1x
    @user-xq6rg2pb1x 20 дней назад +1

    Hongera sana Globar TV mnafanya kazi zuri

  • @navioma4882
    @navioma4882 Месяц назад +3

    Mungu akubariki muheshimiwa

  • @JoyceKiheka
    @JoyceKiheka Месяц назад

    Mwenyezi Mungu Akutunze Mama Dorothy Gwajima kwa Huduma yako kwa Jamii Ubarikiwe Mama

  • @maimukanabora8751
    @maimukanabora8751 Месяц назад +1

    Mama Mungu akupe maisha marefu mno

  • @belindashija4452
    @belindashija4452 Месяц назад

    Asante sana.Nashukuru sana kwa kutusaidia sisi wanawake na watoto. mimi mwenyewe umenimbambania sana….🙏🙏

  • @HamisMghuna-fj3vz
    @HamisMghuna-fj3vz Месяц назад +2

    Uswaz mzee baba vichochoro zaid ya 7 ,songela,Igembe liasoo,Iramba,one, mashaaalah,

  • @aminaomary5567
    @aminaomary5567 Месяц назад +1

    Waziri kazi mzuri.Mungu akubariki sana❤❤❤

  • @OmanOman-dd5qk
    @OmanOman-dd5qk Месяц назад +2

    Inasikitisha sana poleni wafiwa mama gxajima mungu akuzidishie napolisi kama halali haitoshi hata halamu haitofaaa

  • @nsiamasawe4578
    @nsiamasawe4578 Месяц назад +4

    Ukipeleka kesi polisi wanaifanya mtaji.

  • @hamidaomary6800
    @hamidaomary6800 Месяц назад +1

    Moyo wangu una uma sana wazir mungu akujalie kwa kuwapambania hao wazee

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Месяц назад

    Ubarikiwe Dr Doroth

  • @luckyrayyan0013
    @luckyrayyan0013 Месяц назад +2

    Namuamini huyu mama Yuko vizuri sana

  • @fatimahants1526
    @fatimahants1526 Месяц назад

    Hongera sana mheshimiwa waziri kwako udhubutu, utendaji mwema kwa walengwa mungu akuongeze daiman kwenye majukum ya kuwatumikiya wenye uhitaji, pole sana baba allah akupe subra na akupe taafifu afya yake imarike

  • @MariamLigoha
    @MariamLigoha Месяц назад +2

    Nimekupenda mheshimiwa

  • @YusufSwaibu
    @YusufSwaibu Месяц назад +1

    Waziri uko vzr Mungu akubariki Kwa utendaji mzuri

  • @user-xq6rg2pb1x
    @user-xq6rg2pb1x 20 дней назад

    Mungu akuweke mama Dorothy gwajima

  • @saidymbagalla6622
    @saidymbagalla6622 Месяц назад +1

    Pole sana familia mwenyeMungu awape subira na faraja...
    Lkn nimpongeze mama Dorosi gwajima hakika anapiga kazi hasa lkn pia hao polisi wa magomen wote waliohusika na uzembe huo wachukuliwe hatua kalisana

  • @lucydavid9093
    @lucydavid9093 2 дня назад

    Ubarikiwe Sanaa Mama gwajima

  • @user-qb7ej8cp5y
    @user-qb7ej8cp5y Месяц назад

    Mungu akubaliki sana mama hendelea kuwajali watu wako mungu atakulipa

  • @ndukulusudikucho_
    @ndukulusudikucho_ Месяц назад +1

    Masha Allah uko vizuri saana Mheshimiwa, Mwenyezi Mungu akuzidishie imani na huruma

  • @omanmct135
    @omanmct135 Месяц назад

    Subhanalllah😢😢

  • @shakilasharifa9
    @shakilasharifa9 Месяц назад

    Mama jasir mungu akubariki. Sana❤

  • @HappyOutdoors-eo6tf
    @HappyOutdoors-eo6tf Месяц назад

    Welcome to tanzania

  • @hamisaramadhan-ft9mi
    @hamisaramadhan-ft9mi Месяц назад

    Mama gwajima hongera sana 💖💖💖,,poleni wafiwa kwa kipindi hiki kigumu mnachopitia

  • @jareengeorge5478
    @jareengeorge5478 24 дня назад

    Tungepata viongozi Kama huyu mama. Tanzania yetu tungekua mbali Sana.Mungu akulinde mama

  • @user-cc4jk1ll5v
    @user-cc4jk1ll5v Месяц назад

    Mamagwajima polenahongerasana kazi nzuri sana munguakubariki

  • @user-oq2wp8oh1f
    @user-oq2wp8oh1f Месяц назад +1

    Mama gwajima mungu akulipe na akupe uzima na nguvu ili uyatimize yote uliyoahidi!tunakuamini

  • @shanimbaruku2071
    @shanimbaruku2071 Месяц назад

    Aamin Mama gwajima🙏🏽🌹

  • @subirajohn728
    @subirajohn728 Месяц назад

    Mama Gwajima❤️❤️❤️

  • @kashindesalha8107
    @kashindesalha8107 Месяц назад

    Tunakushukuru Sana mm Gwajima mungu atakulipa

  • @Zengeni-gz8fe
    @Zengeni-gz8fe Месяц назад

    ALHAMDULLAH

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r Месяц назад

    Pole kwa familia Subhana Allah inasikitisha sana Allah atamlipia kwa hili atapatikana tuu😢

  • @luckyrayyan0013
    @luckyrayyan0013 Месяц назад +1

    Mtangazaji wa Grobo tv ubarikiwe sana

  • @omanqqwe4061
    @omanqqwe4061 Месяц назад

    Nakupenda sana mama

  • @EmmmaTembo
    @EmmmaTembo Месяц назад +2

    Poleni sana ndugu zangu
    Mama ahondoka kabla ya kupata haki ya mtoto wake inauma ila kazi ya MUNGU haina nakosa.kwa Mungu tulitoka na kwake tutarejea

  • @shabaniramadhani8026
    @shabaniramadhani8026 15 дней назад

    Safi sana mama angu. Uko transparent

  • @user-oq2wp8oh1f
    @user-oq2wp8oh1f Месяц назад

    Wazir Hadi raha

  • @user-xh7xf2ki3r
    @user-xh7xf2ki3r Месяц назад +5

    Mama Gwajima ubarikiwe sana Allah azidi kukuinua zaidi

  • @HildaMlay
    @HildaMlay 2 дня назад

    ❤ ccm ndio hii ufuatiliaji sahih

  • @mrsferuzi7443
    @mrsferuzi7443 27 дней назад

    Mh waziri hongera

  • @user-gv4jx2fp4u
    @user-gv4jx2fp4u 22 дня назад

    Waziri hongera kwa utu huu,umenigusa

  • @TullyMwakibete-xt5xm
    @TullyMwakibete-xt5xm 8 дней назад

    Mungu amkumbuke huyu waziri Gwajims kwa kufstilia mstukio km haya,ee Mungu baba mpe uponyaji huyu baba,afya yake itengamae ili awatunze hawa watoto,pole sana kwa kufiwa na mkeo

  • @neemabright3635
    @neemabright3635 Месяц назад +1

    Dah hongera sana mama, ila tunahitaji mabadiliko ya adhabu inaonekana adhabu wanayopewa hai washtui hata wanaona ni kawaida sana n dhamana isiwepo Kwa hao watu, jeshi la polisi like macho sana hizi issue zimezidi n watu wa chini haki kupata ni mtihani ...

  • @veronicathomas9422
    @veronicathomas9422 Месяц назад

    Neema ya Mungu ikutunze mama

  • @khalsasalim7930
    @khalsasalim7930 Месяц назад

    Waziri mtu wa maana kabisa 🙌🏻

  • @athmanomar1448
    @athmanomar1448 Месяц назад +2

    POLISI NIMESEMA wanahitaji kurekebisha kupiga msasa kuanzia juu mpaka chini

  • @Zengeni-gz8fe
    @Zengeni-gz8fe Месяц назад +3

    Baba anapitia wakati mgumi xana.anaumia na mengi.kufiwa na mke.kuharibiwa wtt .yeye mwenyewe anaumwa ....jamani

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t Месяц назад

    Maombi yangu hee! Mola! Huyu waziri arudi katika nafasi yake ya Kuwa waziri wa afya. Ninaamini Mungu atatenda.🙏🙏🙏

  • @ntangiregemfuruki5478
    @ntangiregemfuruki5478 Месяц назад +1

    😊😊😊EWEMUNGU.
    MUNGU MWEMA.ASANTE MAMA GWAJIMA M.MUNGU AKUBEBE MAMA SKULINDE UNAJITAHIDI

  • @user-qn3cf2bg4u
    @user-qn3cf2bg4u Месяц назад

    Polesana.baba allh akupesubra inasikitisha na inaumiza polisinimbwatu kazikubambikiyakesiwaso hatiya wenehatiya wakitowapesatubasi wanawabeba

  • @richarddavidmk
    @richarddavidmk Месяц назад

    Kazi nzur mh

  • @danielkanso
    @danielkanso Месяц назад

    Polen ndugu pamoja na jamaa Mungu aingilie kati

  • @Sararich.
    @Sararich. Месяц назад

    Mama hongera kwa kuwakimbilia wafiwa.

  • @strongarmsecurity4949
    @strongarmsecurity4949 Месяц назад

    Poleni sana inauma sana haya mambo yako sehemu nyingi. Mmm 😭😭😭

  • @FortunateAlphonce
    @FortunateAlphonce 11 дней назад

  • @moreenonesmo-jz2ws
    @moreenonesmo-jz2ws Месяц назад

    Polen

  • @rahiyayousaf3093
    @rahiyayousaf3093 Месяц назад

    😢

  • @user-qb7ej8cp5y
    @user-qb7ej8cp5y Месяц назад

    Inauma sana jamani mungu akusaidie baba upone halaka

  • @GloryChete
    @GloryChete 9 дней назад

    Mungu ndie muamuz 4:23

  • @user-dj2kj7gs5p
    @user-dj2kj7gs5p 24 дня назад

    Mama.Mungu.akubariki.ujue.wanachi.wahali.yachini.tunapata.shida.mpaka.kwnye.ajira.kama.huna.mtu.mkubwa.mwanao.hapatite.kazi.Mungu.akubariki.kwautendaji.wako

  • @aminathaabubakarmasoud565
    @aminathaabubakarmasoud565 Месяц назад +1

    116

  • @khadijachacha3156
    @khadijachacha3156 Месяц назад +6

    Tatizo polis hawafati sheria ya kazi zao wameendekeza rushwa s kuzarau matatizo ya watu 😊😊😊

  • @OmanOman-bx5du
    @OmanOman-bx5du Месяц назад

    😢😢😢

  • @fatmaally7252
    @fatmaally7252 Месяц назад +2

    Mimi ninacho walaumu awa watu wanao waharibu amùwafungi mnawaacha waendelee kuwaharibu watoto wetu ila mungu yupo nyie mungu atawaonyesha kwenye vizaxi vyenu tunajua watoto wenu ni ngumu kwa sababu mna mabavu ila mungu fundi atasema na nyinyi mana haya mnayamudu ila mnayaacha bimana mnayajua mungu wetu atasema na nyinyi na ato waacha mana mnayajua vizuri tu

  • @AbdallahKumba
    @AbdallahKumba 4 дня назад

    Mungu awe nawe

  • @MoinaminaAmina-qh1jb
    @MoinaminaAmina-qh1jb Месяц назад +1

    Ushirikina ume sambaa sana tena Sana mtu anataka utajiri bila kutoka jasho au kufanya kazi kwa uhalali anategemea nyoka kumpa utajiri

  • @fathimadaid3429
    @fathimadaid3429 Месяц назад +3

    Kwakweli muheshimiwa anajitahidi si mara ya kwnza kufika vichochoroni

  • @mwanahamisinyenzi-vo6mj
    @mwanahamisinyenzi-vo6mj Месяц назад +1

    Mama Gwajima sijui niseme nini,wewe mama ni mama wa ukweli ukweli

  • @teedullah5708
    @teedullah5708 Месяц назад +1

    Masikini mungu atakuenuwa bbetu utampata usaidizi

  • @rahmasalim1989
    @rahmasalim1989 Месяц назад

    Innalillah wainnailaihi rajiun.

  • @omanmct135
    @omanmct135 Месяц назад

    😭😭😭💔

  • @fridagustaphmwenda6658
    @fridagustaphmwenda6658 23 дня назад

    😢😢😢😢 Inauma Sanaa

  • @user-nr2xh4ui2f
    @user-nr2xh4ui2f Месяц назад

    😭😭😭

  • @rosehaule6765
    @rosehaule6765 Месяц назад

    Haki.pole dada Mungu akur3hemu na.Mungu at atatoa hukumu😢

  • @sasha-ri7tf
    @sasha-ri7tf Месяц назад +2

    Irusheni picha yake huyo muhusika alotenda hill kosa ili iwe rahisi kujulikana na kukamatwa. Polisi walioandika hiyo pf3 ya kutaka mhalifu aende kituo cha polisi mwenyewe huo ni upumbadu kwa jeshi la polisi lazima wawajibishwe.

  • @asl6295
    @asl6295 Месяц назад

    Inna lillah wa Inna ilayhi raajiuun

  • @elizabethmashiba8799
    @elizabethmashiba8799 4 дня назад

    😭😭😭😭😭police police mnaumiza sana watu uenda wangemsikiliza mama wa watu umaut usingemkuta

  • @williambega7810
    @williambega7810 Месяц назад

    Utunzwe na Mungu mama Kwa upendo ulio nao

  • @cecyngitu4752
    @cecyngitu4752 Месяц назад

    😭😭😭😭

  • @LovenessFedrick-cy9fh
    @LovenessFedrick-cy9fh 18 дней назад

    Ee Mungu tuwafiche wapi watoto wetu 😢😢😢 police Mungu anawaona kwani hamna watoto 😢

  • @alexmatt9504
    @alexmatt9504 Месяц назад

    Poleni sana familia nzima kwa huo msiba mzito.
    Hao Polisi waliohusika: Mpelelezi wafukuzwe kazi,hakuna haja ya kuwasikiliza kujitetea kwa sababu kosa la kukataa kutoa PF3,mtuhumiwa kutomkamata mpaka anahamua kukimbia huo ni uzembe wa Polisi na Mkuu wa kituo na yeye ajitadhimini kwa makosa hayo.
    Wito kwa Waziri Masauni awe mkali na kutoa adhabu hapo kwa hapo.

  • @Kabwela776
    @Kabwela776 Месяц назад +1

    Tungechangia tumjengee nyumba ili watoto wawe Na sehemu ya kuishi

  • @fardoshnassor7847
    @fardoshnassor7847 Месяц назад

    😪😪💔

  • @margarethpolepole7438
    @margarethpolepole7438 Месяц назад

    Katika Mawaziri wote wa Serikali hii Gwajima na Kairuki hawa wapo vizuri sanaaaa

  • @esterMahenge
    @esterMahenge 27 дней назад

    😢😢😢😢