JAMAA ALIEFARIKI MIAKA 20 ILIYOPITA AFUFUKA, MZIMA HAJAOZA, SHEREHE YAFANYIKA KUMPOKEA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 2 дек 2020

Комментарии • 1,7 тыс.

  • @Lilmbunah
    @Lilmbunah 3 года назад +922

    Kama unaamini mungu yupo gonga like hapa uki reply amen 🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @herifridgmsigwa180
    @herifridgmsigwa180 3 года назад +468

    Kama unakubali kuwa Mungu mtenda miujiza gonga like hapo chini

    • @zkiduku4068
      @zkiduku4068 3 года назад +3

      @Daniel thomas Msigwa 😆😆😆😆😆

    • @ludacrissrangiyabank3737
      @ludacrissrangiyabank3737 3 года назад +3

      Kma mtu una akili timamu asaa na unamuamini Mungu huwez kuamini ujingaa kma huu ata kwa bahati mbaya cz hakuna kitu kma hicho kua mtu afe hlf kafufuka agh hakuna kitu kma hicho

    • @gersonntihalizwa913
      @gersonntihalizwa913 3 года назад +1

      Yesu anaweza

    • @lilianeerica3318
      @lilianeerica3318 3 года назад

      @@ludacrissrangiyabank3737 labda alitoloka warikuwa wanamtumikisha

    • @davidevarist6371
      @davidevarist6371 3 года назад

      Name of Jesus

  • @marthajulius5293
    @marthajulius5293 3 года назад +35

    Mungu ni yule yule Jana hata leo milele habadiliki......LOVE U LORD JESUS

  • @isaacbichwa4234
    @isaacbichwa4234 3 года назад +243

    Kama unaamini yupo Mungu kwaajili yetu gonga like hapa

    • @dorcasaruni4432
      @dorcasaruni4432 3 года назад

      Mungu ni mwema wakat wote Yani wachawi Jamn Daah utafikili wenyewe awafi daah mungu anawaona na wachukia sana 🤮🤮

    • @challesjonh7609
      @challesjonh7609 2 года назад

      Ioo

    • @lovelnyrose2181
      @lovelnyrose2181 2 года назад

      Mungu atulinde jaman inahuzunisha sana

  • @ferouzmasoud4741
    @ferouzmasoud4741 3 года назад +139

    Daah 😥 kwel MUNGU 🙏 ni mkubwa wacha tuendelee kumuomba MW/MUNGU kwa kila Jambo

  • @emmanuelkyando2125
    @emmanuelkyando2125 3 года назад +90

    Mungu alie mleta tena duniani ndie atakae mfungua kinywa tena AMEN

  • @abubakaryyunus9297
    @abubakaryyunus9297 3 года назад +148

    Ila nyie Millard ayo mnajua kufatilia mambo mpo vizur ma brother

  • @joachimdemarine369
    @joachimdemarine369 3 года назад +35

    Kama uliskiliza hii story kwenye radio twende pamoja apo

  • @alicemuthoni8177
    @alicemuthoni8177 3 года назад +128

    Eeeh Mungu uliefanya huyu arudi na ewe Mfalme wa wafalme warudishe na hao wengine ..asante Mungu kwa kumfanyia huyu mama muujiza😢😢

    • @abduljaffar875
      @abduljaffar875 3 года назад

      Uongo mtupu nyinyi mnaamini t

    • @alicemuthoni8177
      @alicemuthoni8177 3 года назад

      @@abduljaffar875 mpaka uwe ni mwenye kukubali kuwa kuna Mungu mkuu anaewapenda bunadamu wote na kuwarudishia tumaini wanapo dhulumika hakika yeye anauwezo wakufanya jambo lolote asiloweza mwanadamu na yeye sidhalimu wala hako na madhalimu ila upendo wake mkuu hufanya madhalimu waone kama hawajui wala hatambui ila siku yaja....

    • @user-zh8uf3wy2z
      @user-zh8uf3wy2z 5 месяцев назад

      Mungu wangu anisaidie na mimi

  • @linamacha7686
    @linamacha7686 3 года назад +11

    Sifa na utukufu zimrudie Mwenyezi Mungu wewe Mungu uliyemrudisha huyu kijana tunaamini utamfungua na kuwa na afya njema na lipo kusudi lako ndani ya maisha yake 🙏🙏

    • @scolamsisi9306
      @scolamsisi9306 3 года назад +1

      Mungu alietenda kwenye familia hii atende kwa familia nyngne pia

    • @assiakiboko2033
      @assiakiboko2033 Год назад

      @@scolamsisi9306 0pp

  • @siwemamahenge3275
    @siwemamahenge3275 3 года назад +11

    Milado ayo wewe ni mziki mnene, mi nakupa Big Up sana

  • @joshyt1745
    @joshyt1745 3 года назад +10

    Mungu ni mwema Kama unamwamini yesu wambinguni gonga like

  • @doctorzero-dj5xg
    @doctorzero-dj5xg 3 года назад +81

    Akiombewa atafunguka vizuri zaidi , Mungu atukuzwe

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 года назад

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ruclips.net/video/M4GyEil-nAo/видео.html

    • @nurathissa1422
      @nurathissa1422 3 года назад

      Washamkata ulimi jamani

    • @hindisaid2413
      @hindisaid2413 3 года назад +1

      Huyu kuongea ni miujiza myengine.ila ni wenyewe hao

    • @estasage498
      @estasage498 3 года назад +1

      Apelekwe ufufuo na uzima. Pastor Gwajima ni kiboko

    • @doctorzero-dj5xg
      @doctorzero-dj5xg 3 года назад

      @@estasage498 Mungu yuko popote ,imani tuu, watamrudusha , waombe bila kuchoka

  • @tinadarius7691
    @tinadarius7691 3 года назад +110

    apelekwe maombi jmn atakaa sawa Mungu ni mwaminifu sana tumrudie Yeye

  • @scopionclever5196
    @scopionclever5196 3 года назад +9

    Mungu yu mwema kila wakati ....gonga like twende saw

  • @mariammammu9641
    @mariammammu9641 3 года назад +57

    Hakuna kinachoshinda MAOMBI.......TUKESHE TUKIOMBA HUKU TUKISUBIR

  • @imathomas6531
    @imathomas6531 3 года назад +10

    Daaah 1994 mimi ndyo nazaliwa mpk sasa 2020 nina miaka 26 ni parefu jmn Mungu mwema

  • @mangapineema7652
    @mangapineema7652 3 года назад +91

    Uhimidiwe Mungu wetu

  • @kelvinmligo4915
    @kelvinmligo4915 Год назад +2

    Mungu nipo hapa nasubiri ile siku brayoo wangu anarudi nasubiri kwa imani sana

  • @estasage498
    @estasage498 3 года назад +11

    Jamani kamupeleke kwa pastor Gwajima ufufuo na uzima. Please, take him to pastor Gwajima so he could be prayed for.

    • @mamarahel6837
      @mamarahel6837 3 года назад

      Unaongelea gwajima yupi?

    • @eliamkonda5162
      @eliamkonda5162 3 года назад +2

      Gwajima ni tapeli kama matapeli wengine alie Mungu pekee alie mrudisha ndio atamulinda

    • @rehemamhanje3420
      @rehemamhanje3420 3 года назад

      Ahhh gwajima mbunge ndio aombe eh

    • @glorymhanga3917
      @glorymhanga3917 3 года назад

      wampeleke kwa mwamposa!!

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 3 года назад +23

    Watu tunadhambi nyingiii sana..Mungu aliachilia Corona ili kutupunga ila bdo hatukomii tu jmn..wachawi wanatesa watu jmn duuuh 😥😥😥😥😥😥

    • @robertlukosy1000
      @robertlukosy1000 3 года назад

      Juju juju juju juju juju juju juju juju juju I

  • @fiziparadise7808
    @fiziparadise7808 3 года назад +66

    Ukirogwa ahufi, unahamishwa tu na wachawi. In fact, ukifa naturally, uwezirudi tena.

    • @beera.g5302
      @beera.g5302 3 года назад +2

      Kweli kabsaa uyu msukulee,. Wanasherekea ujingaa,kizazi chaishaa, unachukua msukulee unaeka ndan? Kitasafisha kizaziii uyu n msukulee

    • @faithmarita9759
      @faithmarita9759 3 года назад

      Very true

    • @meshacksamson1008
      @meshacksamson1008 3 года назад +2

      @Daniel thomas Msigwa dada hii dunia ucje ukasema ety pepo mchafu huyo m2 akupenda awe hivyo,,afu unasema asikae na wa2 sasa ulitaka akae na nani??? Kuwa na akili bax

    • @AliMohamed-kd1uc
      @AliMohamed-kd1uc 3 года назад +2

      Huyu alichukuliwa kichawi mbona haongei alikatwa ulimi

    • @nolascodismassilayo3927
      @nolascodismassilayo3927 2 года назад

      Uko sawa waache sanaaa

  • @NaomiCharles-bb8md
    @NaomiCharles-bb8md 3 дня назад

    Mungu anilinde mm na kizazichangu pamoja na familiya yangu japokua bado sijawa na familiya

  • @love__ness7943
    @love__ness7943 3 года назад +11

    Kwa uwezo wa Allah wote waliokufa kwa nguvu za giza watarejea

  • @aminatundondege9384
    @aminatundondege9384 3 года назад +46

    mmh!dunia hii,basi tu,Acheni Mungu aitwe Mungu.

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 года назад

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ruclips.net/video/M4GyEil-nAo/видео.html

    • @sherin3171
      @sherin3171 3 года назад

      Wallah

    • @hildamaziku4385
      @hildamaziku4385 3 года назад

      Nashauri wakapime DNA kabla Ili tuishangaze dunia

    • @asteriambwei3349
      @asteriambwei3349 3 года назад

      Walimchukua msukule

  • @puregamers4215
    @puregamers4215 3 года назад +124

    2020 tutaona mengi ila mung atusaidie tuumalize salama.

    • @icegtz5204
      @icegtz5204 3 года назад +3

      21ndoo hatar mpaka marekan utasikia wamefufuka

    • @januarymassawe1945
      @januarymassawe1945 3 года назад +1

      Kigoma mwisho wa reli utaikubali

    • @magynzioka1122
      @magynzioka1122 3 года назад +3

      Sikuizi watu wanafufuka😂😂😂Yesu mwenyewwe alifufuka kwa siku tatu lakini siku hizi wanafufuka bahada ya mika 20 😂😂 kuja ujione Yesu

    • @chauligemeka7840
      @chauligemeka7840 3 года назад +1

      🤣🤣🤣👍

    • @gogonta5508
      @gogonta5508 3 года назад

      Kweli

  • @paidenasra4548
    @paidenasra4548 3 года назад +8

    Duu Allah ni mueza wa kila kitu.
    Mungu anazidi tuonyesha majab. Kama mnamini gonga like zenu apa.

  • @b.a.m6243
    @b.a.m6243 3 года назад +7

    Ee MUNGU tusaidie vizazi vyetu na watoto wetu. Amen

  • @tauvurilytrics4648
    @tauvurilytrics4648 3 года назад +8

    Daaa! Kweli mungu Mimi umenipendelea Sana kumbe kuna watu wanapitia magumu Asante mungu

  • @andulilemwakihabha2048
    @andulilemwakihabha2048 3 года назад +69

    Huu mwaka wa maajabu ni mwaka ambao utakumbukwa kwa mengi sana

  • @Ailestv
    @Ailestv 3 года назад +35

    Mungu amlejeze kijana huyu kila kilichopotea

  • @breymbasa3451
    @breymbasa3451 Год назад +1

    Mungu baba tusaidie magufuri tuna kazi nae Tulelee🙏

  • @abelmwakipesile4503
    @abelmwakipesile4503 3 года назад +147

    Mungu ni yeye yule jana leo na milele,hakika matendo yake ni makuu.

  • @doreengomes3489
    @doreengomes3489 3 года назад +23

    ⚘🥰...All thanks and Praise be to God forever. Amen

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 года назад +1

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ruclips.net/video/M4GyEil-nAo/видео.html

  • @lawrenciamkolwe4875
    @lawrenciamkolwe4875 3 года назад +8

    Mungu yupo ndugu zang mama endelea kuomba wote watalud

  • @shakiralasway8821
    @shakiralasway8821 3 года назад +8

    Kuna binadamu wanataka kuingilia kazi yamungu waifanye wao!kwenye njia na mipango yamungu hakuna wakuweka ukuta,mungu amemtetea huyu kijana ili aendelee kuishi.

  • @mishibaron5021
    @mishibaron5021 3 года назад +4

    Yesu ni bwana jina lake litukuzwe ...Nakupenda Mungu wangu maana unaniepusha na mengi ...nakuomba uzidi kumsaidia kijana huyu...aki machozi yanitoka tu

  • @bintiiddy7043
    @bintiiddy7043 3 года назад +61

    Labda boss wao alikufa Sasa wakakosa mtu wakuwapa chakula Mumgu anawaona wachawi 😭😭

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 года назад

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ruclips.net/video/M4GyEil-nAo/видео.html

    • @ismailkatala4792
      @ismailkatala4792 3 года назад +1

      Sure inawezekana alichukuliwa na wachawi

  • @elizalwakatare8070
    @elizalwakatare8070 3 года назад +7

    Ukute hata hao wachawi wapo hapo wanapika na kufurahi pia🙌🙌🙌

  • @brownbryson9293
    @brownbryson9293 3 года назад +4

    Kama unamwamini Mungu. Gonga like cz Mungu ni muweza

  • @samuerypaulo5711
    @samuerypaulo5711 3 года назад +40

    Mimi nimkazi wakigoma wilaya ya Kasulu mjini matukio kama haya nimengi sana mungu atusimamie 🙏

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 года назад +1

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ruclips.net/video/M4GyEil-nAo/видео.html

    • @rukiaali2786
      @rukiaali2786 3 года назад

      Ameen

  • @efajuforeal8740
    @efajuforeal8740 3 года назад +25

    Kigoma hiyo aisee hakika Mungu simama na kigoma

  • @user-ij2bf8of8h
    @user-ij2bf8of8h 3 года назад +8

    Subhaana Allah

  • @nornooo7225
    @nornooo7225 3 года назад +34

    Inawezekana hata ndugu zake wapo huko wamegeuzwa misukule 😢 ee mungu nilinde mja wako na kizazi changu epusha haya yasijetokea' ameen.

    • @neemaneema6825
      @neemaneema6825 3 года назад

      Amina

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 3 года назад

      Haya ni maajabu ya Mungu huyu kijana kutokeza duniani , watu wanajifanya wana ujuzi wa kuchukua misukule wenzao, MUNGU atawalaani wachawi hawataiona pepo kwa nguvu zake MUUMBA kwa kuwatesa na kuwadhulumu viumbe ikiwa kwa makosa au bila makosa .

    • @merikizedeckmwaniwe5358
      @merikizedeckmwaniwe5358 3 года назад

      Amina mungu tusaidie tuepushe na haya majaribu

    • @fatmaalnabhani3609
      @fatmaalnabhani3609 3 года назад

      @@merikizedeckmwaniwe5358 Wala hatukunusurika, mungu mkubwa tu. Itafika siku tutawaona waliolaanika.

    • @sukariyao6537
      @sukariyao6537 Год назад

      Ameeen 🙏

  • @vibetz9991
    @vibetz9991 3 года назад +71

    Wachawi jamanii..!! Basi Ni wengi wamekufa lakini hawajafa

    • @ivankinabo1226
      @ivankinabo1226 3 года назад +4

      Wengi mno wamechukuliwa misukule asee inauma mno, unadhan mzaz wako amekufa kumbe yupo sehemu anatumikishwa na kuteswa huko

    • @ramadhanikibenga6317
      @ramadhanikibenga6317 3 года назад +2

      Hahahaha wamekufa lakini hawajafa hahahaha umetisha

    • @afrieagle8314
      @afrieagle8314 3 года назад +2

      🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

    • @niwemugenimediatrice5640
      @niwemugenimediatrice5640 3 года назад

      Nimeogopa sana

  • @WaridawaridaWarida
    @WaridawaridaWarida 3 года назад +6

    Amen Mungu amfungue huo ulimi

  • @sarahmwaluko2480
    @sarahmwaluko2480 3 года назад +1

    Pole Sana mamaangu Atukuzwe Mungu aliemrejesha ndugu yetu

  • @yusuphjonathanmwanzonje9902
    @yusuphjonathanmwanzonje9902 3 года назад +1

    Haleluya jina lako Bwana lihimidiwe nakusihi Bwana na Mimi nirdudishie baba yangu arudi maana kifo chake kilikuwa na mkono WA mtu

  • @asiamwarabu7510
    @asiamwarabu7510 3 года назад +3

    Napaliza sauti Kwa nguvu zangu zote kuwa Mungu yupo na kwake hakuna linaloshindikana hakika Kwa Iman tutashinda Allahuakbar Allahuakbar X1000

  • @noelkipera4871
    @noelkipera4871 3 года назад +3

    Big up ayo TV godbless more ur channel,,,,tunaziona hustle zako bro,,,,

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 года назад

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ruclips.net/video/M4GyEil-nAo/видео.html

  • @celinamgundoi8420
    @celinamgundoi8420 2 года назад +1

    Mungu ulie mrudisha mtoto wako hakika utamfungua knywa chake na vyote walivyo mfunga hakika mungu wewe unaweza asante yesu🙏🙏

  • @sethibrahim7563
    @sethibrahim7563 2 года назад

    Aletwe Dar kwa Mtumishi wa Mungu Sunbella Kyando, Ataombewa naamini atakaa vizuri

  • @judiehance1736
    @judiehance1736 3 года назад +25

    Natamani ingekuwa dada yangu ndo arudi

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 3 года назад

      Tuombe Mungu na kufunga ukimaanisha inawezekana hasa km alikufa kwa utata

    • @luludaudi6416
      @luludaudi6416 3 года назад

      Mi nataman mama angu alud jaman

    • @pericykiko6198
      @pericykiko6198 3 года назад +1

      @@luludaudi6416 oooh km una uhakika aliondoka kwa utata amua kusimama na Mungu sawasawa shirikisha Watumishi unaowaamini guseni pale mlipomuhifadhi bila woga na mseme wewe ardhi tapika mama yetu anaeteseka tunaamuru kwa jina la Yesu

    • @didadisminder5559
      @didadisminder5559 3 года назад

      Kama mimi

  • @victoriadaizy5277
    @victoriadaizy5277 3 года назад +13

    Nimeshtuka Sana hadi nikakumbuka watoto wangu wawili jameni 😢😢 walifariki kiajabu ajabu Sana mpaka leo mm huwa naamini wako wanatumika. Mwanyezi Mungu halali haki pole sana mamangu 😢😢

  • @badrumbarouk3377
    @badrumbarouk3377 2 года назад +1

    Kama unaamin kwa mungu kila kitu kinawezekana gonga like yako hapo

  • @barakapaul3855
    @barakapaul3855 3 года назад +2

    Kama unaamini wachawi ni wapuuzi gonga like

  • @saurimwaitenga6121
    @saurimwaitenga6121 3 года назад +22

    Mmh mungu yupo

  • @elkapius5005
    @elkapius5005 3 года назад +5

    Akika Mungu yupo na anatenda kwa wakati🙏

  • @akimmbwego797
    @akimmbwego797 3 года назад +2

    WACHAWI WOTE MUNGU AENDELEE KUWALAANI LEO KESHO NA MILELE AAAMIN🙏🏻

  • @abdullahrashid6297
    @abdullahrashid6297 3 года назад +5

    Kigoma hiyo noma sana aisee
    Sijui tunapoelekea ni wapi
    Allah atunusuru in shaa Allah

  • @jeremiahsanare8057
    @jeremiahsanare8057 3 года назад +9

    Tegemea kwa mungu kwa imani yote yanawezekana amin

  • @vianmarcel818
    @vianmarcel818 3 года назад +20

    nahisi hata hao wengine wanaweza kurudi one day, naanza kuelewa concept ya misukule ipo...

  • @ClenMoses-hi5mg
    @ClenMoses-hi5mg 16 дней назад

    Mungu ulie tenda muujiza huu nitendee namim Baba yangu arudi Haman😭😭😭😭😭

  • @eliudijastini8143
    @eliudijastini8143 3 года назад +2

    Aseee tuleteeni mwendelezo wahii story asee mpaka mwisho 🌍🇹🇿📖

  • @wemaroy1535
    @wemaroy1535 3 года назад +3

    Eeh mungu nataman ungemludisha mama angu😭😭😍😍

  • @ramadhanihudhaifani4376
    @ramadhanihudhaifani4376 3 года назад +9

    Allahu Akbar! Allahu Akbar! Allahu Akbar! Mungu ni Mkubwa kwa hakika.

  • @binthkhamisi1097
    @binthkhamisi1097 3 года назад +1

    Mungu anawez then sawaa na ni sha Allah mungu athafungua kauli yke..soth tyumuamin mungu na anatenda

  • @yassinsaidi697
    @yassinsaidi697 3 года назад +39

    But hata kimtazamo tu ni mama yake, wamefanana sana

    • @rehemambito7989
      @rehemambito7989 3 года назад

      Yassin Saidi kwele wamefanana

    • @yasintamalando8438
      @yasintamalando8438 3 года назад

      Mungu mfufue na dada yangu Mimi arudi nyumbani kwa jina la yesu

  • @ikrissaidrissa8613
    @ikrissaidrissa8613 3 года назад +8

    God is good 🙏

  • @justusmuendo7823
    @justusmuendo7823 Год назад

    God is good,,he does like God and no one can stop God,,Ndugu zangu Mungu yupoo...Ukifanyia mtoto ya mtu mazigaombwe,jua Mungu anaona na atatenda kama Mungu,let God be praise Forever...

  • @NaomiCharles-bb8md
    @NaomiCharles-bb8md 3 дня назад

    Mungu atende miujiza wachawi wote waokoke 🙏

  • @zipporahzilpahmungohe9763
    @zipporahzilpahmungohe9763 3 года назад +7

    Everlasting father i trust in you🙏🙏🙏🙏

  • @venancephilbert9397
    @venancephilbert9397 3 года назад +19

    Duuh mjomba sio poa ,
    Katika awamu hii mengi tutayaona
    Mpakaa wafu wana...
    Great

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 года назад

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ruclips.net/video/M4GyEil-nAo/видео.html

    • @omarymushehe5496
      @omarymushehe5496 2 года назад

      Eee! Maajabu jamani

  • @geraldramadhani8487
    @geraldramadhani8487 3 года назад +1

    Imana ishimwe

  • @mirynjeri5850
    @mirynjeri5850 3 года назад +8

    Walimchukua msukule sasa mungu kamtoa huko alikuwa amewekwa.

  • @emmanelly6864
    @emmanelly6864 3 года назад +12

    Glory to God if this is true. Basi atakapoongea naomba mleteni atusimulie ilikuaje!

  • @peteryukunda9239
    @peteryukunda9239 3 года назад +1

    Eee Mungu! Naomba uthihirishe michawi yote.Mungu ona tunavyoteseka.

  • @masekemustapha4784
    @masekemustapha4784 2 года назад +2

    Mungu ni mwema kila wakati🙏

  • @pastormoseschami7208
    @pastormoseschami7208 3 года назад +22

    Gwajima akihubiri misukule ipo mnapinga, Aya oneni wenyewe, jamani uchawi upo na misukule ipo

    • @elicegeorge9991
      @elicegeorge9991 3 года назад +2

      Misukule ipo na ndo wanaowafanyia kazi wafanyabiashara kariakoo madukani mwao

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 3 года назад

      Amen

    • @WaridawaridaWarida
      @WaridawaridaWarida 3 года назад

      @@elicegeorge9991 Amen

    • @ashaomary347
      @ashaomary347 3 года назад

      I receive it in the name of Jesus amen wapo

    • @geraldtarimo9960
      @geraldtarimo9960 3 года назад +2

      Huyo alikuwa gamboshi, mtafuteni zabroni C,mwita,akarudishiwe kivuli

  • @mariamyoyote8172
    @mariamyoyote8172 3 года назад +6

    Mungu ni mwemaa wakat wote ,,ya rabby mwingi wa rehma mjaalie apone vyema tunusulu na mabaya yote Amin 🙏

  • @SheilaAbdallah-yu8vq
    @SheilaAbdallah-yu8vq 16 дней назад

    Amina🙏🙏🙏🙏

  • @user-gz6bj9lk6r
    @user-gz6bj9lk6r 2 месяца назад

    Nataman na mtoto wa dada yangu arudi mungu wa muujiza Fanya na kwetu

  • @omarsultan7195
    @omarsultan7195 3 года назад +47

    Hajafa uyo aliekufa harudi

    • @iraqgirl2143
      @iraqgirl2143 3 года назад +3

      Kabisaa

    • @zakyahya4645
      @zakyahya4645 3 года назад +4

      @@iraqgirl2143 nikweli kabisa alie Kufa kafa uyo akufa aliwekwa msukule

    • @Easy.matter
      @Easy.matter 3 года назад +1

      Haswa

    • @mishibaron5021
      @mishibaron5021 3 года назад +4

      Sasa awe msukule awe nn si kila mtu alijua amekufa so wataka watu wasemeje wakati walizika na wakajua amekufa...kwa sisi binadamu wa kawaida amechukuliwa msukule hajafa na tunaona amekufa tumelea tezika wataka watu wasema nn

    • @mamymdogomamy3670
      @mamymdogomamy3670 3 года назад

      @@mishibaron5021 Hawakuzika mtu walizika mgomba huyo aliekwa msukule

  • @shijakishosha2644
    @shijakishosha2644 3 года назад +20

    Nimeelewa kwnn baba levo kakatalia dar hatak kurudi kigoma daaaah

  • @lydiahmartinz925
    @lydiahmartinz925 3 года назад +2

    God is good. N God's tym is the best.soo torching .blood is thicker the water. May Gods hands n his angels keep on surrounding hm with the blood of Jesus. The God who has brought hm back will c him prosper in Jesus name. SHEDDING TEARS. Love u young boy#prayers #254

  • @ndihunzefx_tz1174
    @ndihunzefx_tz1174 3 года назад

    Greeting. For diabetics, Stomatch Ulcers( just 3 days) and hypertension/blood pressure's,Hernia,constipation, find me via whatsapp number + 255765871955.It is possible to recover completely in just few days! Thank you.👇 Kwa mwenye maradhi ya KISUKARI,VIDONDA VYA TUMBO(siku 3-6 tu), PRESHA(siku 3-7 tu),NGIRI SUGU(Siku 3-7),KUHISI GANZI MWILINI AU MWILI KUWAKA MOTO KAMA MIGUU,MIKONO N.K.,,KUKOSA HAMU YA TENDO LA NDOA(siku (unapona kwa siku 7 na kuendelea),KUKOSA CHOO/CHOO KIGUMU(siku 3 tu!) nitafute kupitia whatsapp namba +255765871955 or +255692486448, kuna uwezekano wa kupona kabisa! Kwa muda wa siku chache tu! Kwa Uwezo wa M.Mungu...Ahsante.

  • @wardajoseph6909
    @wardajoseph6909 3 года назад +4

    Subhana Allah

  • @occupeparjesus6768
    @occupeparjesus6768 3 года назад +4

    Kupitia video hii nimeamini sasa kilichotokea nchini kwetu CONGO 🇨🇩 nimehakikisha kwamba story tuliyonayo hapa ya Mathieu Badjoko ambae nae pia alizikwa, baada ya miaka mitatu akarudi kumbe ni story ya kweli. Basi mpelekeni kanisani nae pia ataongea.
    *MUNGU NI MKUBWA !*

  • @NaomiCharles-bb8md
    @NaomiCharles-bb8md 3 дня назад

    Mungu ni mwema ata mm yalini kutaayo ndugu zangu

  • @user-zh8uf3wy2z
    @user-zh8uf3wy2z 5 месяцев назад

    Dear God please nipo nasubiri zamu yangu....❤

  • @jackjoshua3666
    @jackjoshua3666 3 года назад +10

    Eee mungu wakumbuke na wengne walikufa kifo Cha dhuluma watoe huko waliko kwa uwezo wako ww ni mungu usieshindwa jina lako libarikiwe

  • @juliusmartin1839
    @juliusmartin1839 3 года назад +9

    Nafikiri tutaelewana kwa karibu ile taaluma ya Bishop Gwajima.

  • @LatifaEllia
    @LatifaEllia Месяц назад

    Jamani Hadi nimelia mungu amrudishe rashidi wangu😢😢

  • @paulineMmbulika1533
    @paulineMmbulika1533 Год назад

    Watanzania n wachawi mwanadamu akifua akifufuka haongeangi kuna jama mmoja alikufua badae akafufuka bt hakuwai ongea glory to God 🙏🙏🙏🙏

  • @mengikiguruwe6750
    @mengikiguruwe6750 3 года назад +3

    Vp kuhusu DNA mbona hamliongelei?

  • @mathewdeus4462
    @mathewdeus4462 3 года назад +39

    Tufatilie vizuri huwenda wengine wapo huko tuzame kimaombi

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 года назад +1

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ruclips.net/video/M4GyEil-nAo/видео.html

    • @niyonzimafafa2501
      @niyonzimafafa2501 3 года назад

      Amen

    • @mariyaal5366
      @mariyaal5366 3 года назад

      Amen

    • @bobchanda2460
      @bobchanda2460 3 года назад

      😂😂😂

    • @nuruelmada9570
      @nuruelmada9570 3 года назад

      Kweli ,tuombe

  • @MasokaJiko
    @MasokaJiko 4 месяца назад

    If you believe in God basi nipe like

  • @itiamekimbui722
    @itiamekimbui722 2 года назад

    God is great mungu atufungue macho tuweze kuona na kufichua hiki kitenda wili cha wachawi. Wame chukua watu wengi tukindanganyika wamekufa

  • @baloziubalozini5074
    @baloziubalozini5074 3 года назад +6

    Mtu kazaa kuku(Uvinza-kigoma),Mtu kafufuka(Bugaga-Kigoma)
    Kigoma FILE LENU tunalo

  • @salimmariga149
    @salimmariga149 3 года назад +13

    Allahu Akbar...subhanallah walhamdulillah lailahaillallahu Allahu Akbar ..husbunallah waniimal wakeel

    • @dullywamashairi121
      @dullywamashairi121 3 года назад +2

      Yeyote anayepitia katika ukulasa huu ni dhahiri anahitaji kujifunza. Bonyeza link hii chini kaangalie hii video kisha nambie umejifunza nini. Asante
      ruclips.net/video/M4GyEil-nAo/видео.html

    • @mimimtanzania9738
      @mimimtanzania9738 3 года назад

      Wamefanana sana