MWANAFUNZI ALIYECHUKULIWA MSUKULE, ARUDISHWA BAADA YA MAOMBI!!!

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 8 фев 2025
  • КиноКино

Комментарии • 699

  • @ShakilaBinamu
    @ShakilaBinamu 2 месяца назад +2

    Asante sana mchungaj mungu aeendelee kukupa nguv za kutusaidia cc tunaoteseka na shida mbalmbal 18:10

  • @GloryLee-n4u
    @GloryLee-n4u 13 дней назад +1

    Bali inahitaji prophet kama malisa ili kunudishia nafisi yake may prophet Mungu, ukupe myaka nyingi uedere kuponya mana watu wengi wameinbiwa Isaya 42:22

  • @NEEMAEMMANUEL-rz7lo
    @NEEMAEMMANUEL-rz7lo Месяц назад +1

    Nimegundua shetani huwa anafwatilia sana wakina Neema hata mimi Mungu anisaidie kabisa mbna huyu ni mimi kabisa jamaniiii na mimi nina tatizo hilo hilo.

  • @CorneilleNsabiman
    @CorneilleNsabiman 3 месяца назад +1

    Watching from Lubumbashi Congo Mungu asifiwe

  • @CosmasJames-h8v
    @CosmasJames-h8v 4 месяца назад +1

    Mungu waukombozi nikombowe kiafya kiuchumi ngunvu za mapepo majini zote chini Kwa jina layesu

  • @GloryLee-n4u
    @GloryLee-n4u 13 дней назад

    Mungu wa Nabii BG malisa atukuzwe huyu binti kwa mchungaji wa kawaida hawezi kumuludisha aliko fungwa

  • @fatmahmosa5224
    @fatmahmosa5224 3 года назад +1

    Watching from saudi Arabia

  • @HappyEmmanueli-d9e
    @HappyEmmanueli-d9e Месяц назад

    Uinuliwe mchungaji kwa miujiza inayoendana Mungu akusimamie ktk kazi yako

  • @speciozalucas8721
    @speciozalucas8721 5 лет назад +5

    YESU anaweza sanaaa Nguvu ya Mungu wa madhabahu ya Ukombozi na Mimi anitoe kwenye utumwa wowote ninaotumikishwa na maadui zangu wote anitoe kwenye mashimo ya wachawi kwa jina la YESU

    • @christinayona339
      @christinayona339 5 лет назад

      Mungu mwema

    • @hekimakihaliye3455
      @hekimakihaliye3455 4 года назад

      Shida kubwa iko kwa hao manabii wa kisasa tukisoma mwanzo hadi ufunuo hakuna nabii hata mmoja aliye wahi kutumia shida za watu kama matangazo bali walinena neno la mungu na kutabili

  • @evancechangae
    @evancechangae 5 лет назад +89

    Kama hujawahi kupata shida na Mungu akakuponya, basi unaweza usiamini. Ila kwa sisi ambao tulisha ona Nguvu Ya Mungu kwa njia ya YESU KRISTO, TUNAAMINI 100%

    • @mofatupa3773
      @mofatupa3773 5 лет назад +1

      Evance Don daa sawa kabisa kaka yangu

    • @yonakipe4917
      @yonakipe4917 5 лет назад

      kaka ulitatua shida yako wapi

    • @japhethgeriad4519
      @japhethgeriad4519 5 лет назад +1

      Sasa anampulizia hiyo ili iweje?

    • @evancechangae
      @evancechangae 5 лет назад

      @@yonakipe4917 Kama unataka kujua kwa nia ya mm kukusaidia upate kusaidiwa, nipe namba zako, nitakuelekeza ndugu.

    • @evancechangae
      @evancechangae 5 лет назад

      @@japhethgeriad4519 jina lako ni la ki kristo, hivyo naamini wewe pia ni mkristo. Ukisoma kitabu cha 2Wafalme 2:19 utaona namna Elisha alivyotumia maji kwa kumuomba Mungu ayabariki na yakaponywa magonjwa na mapooza mbalimbali.

  • @janerosakubai4233
    @janerosakubai4233 5 лет назад +1

    Praise God namshukuru mungu kwa uponyaji . Nami pia niko kenya county ya meru naomba unisaidie na maombi kwa ajili ya familia yangu adui wametuinukia kuturudisha nyuma I need ur pray pastor & u pray will help me a lot.

  • @tonywhite9057
    @tonywhite9057 3 года назад

    mchungaji Hongera kwa kazi ya mungu ukovizur ila kunatatizo nmeliona kwako unawapelekesh san mpak wanashndwa kkuelewesh vzr chunguz hilo na lifnyie kaz Ameen

  • @christinaelius4497
    @christinaelius4497 3 года назад

    Mungu akubariki Niko kighali Rwanda nafwata baraka hizo na uponyaji mchungaji ubarikiwe

  • @فاطمهمحمد-ج3ع
    @فاطمهمحمد-ج3ع 3 месяца назад

    Huyomchungaji mungu amzidishie pamoja na wasaidizi wake mimi niliponea kwenye kanisalake hapo mwanza mchungwani kikubwa ni imani

  • @pgstudios1693
    @pgstudios1693 3 года назад

    Mungu aendelee nabii wa bwana napenda kufuatilia sana ibaada zako baba mimi niko sumbawanga kalambo

  • @celinamgundoi5601
    @celinamgundoi5601 5 лет назад +14

    Nimejikuta nalia kwa mapito ninayo yapitia naamini Mungu aliye mpinya neema ndio atakae iponya familia yangu Amina

  • @vivianmwenda9729
    @vivianmwenda9729 3 года назад

    Hakuna kama mungu, watching from Dubai

  • @honesttz
    @honesttz 3 года назад

    Shukran sana mtumishi wa mungu hiki kitu kimenigusa mungu amtetee, MUNGU Mwema sana.🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

  • @ThobiaslShayo
    @ThobiaslShayo 3 месяца назад

    Mungu azidi kuku ongezee kipaji iyo yaunabii wachawi wakuogope. Nawashindwee kwanguvu za keeyeye yesu

  • @paulsambula941
    @paulsambula941 3 года назад

    Mungu ni kwema atatatua shida zetu sote Amen 🙏

  • @priscahnyawera2569
    @priscahnyawera2569 4 года назад +1

    Naomba mungu atupe ama n subra yake siku zote za maisha yetu n atushushie baraka zake mpka madui washagae wajue kuna mungu yu hai Amen

  • @benjaminsijaona2975
    @benjaminsijaona2975 4 года назад +3

    Mungu yupo kwa wamtumikiae na anaponyaaa haleluyaa ndan ya ukomboziii

  • @VeronicaVeronica-mn2gi
    @VeronicaVeronica-mn2gi 6 месяцев назад

    God is good, na mm naomba uponyaji,na kibali katika kazi

  • @richardkigeso5788
    @richardkigeso5788 4 года назад +1

    Nabii Marisa nakumkubali Sana mungu azidi kukupatia maono na upako wa ajabu ,..

  • @hadijaswalehe4804
    @hadijaswalehe4804 2 года назад

    Ameen mungu abariki masom yang kila tareh mby ifunikwe wa dam ya yes krist

  • @reganykasisi1386
    @reganykasisi1386 5 лет назад +1

    Polen sana watumishi wa mungu mnaolitangaza neno lake na me kweny familia yetu mdg ang amenitoka af sielewi mpaka leo eee mungu tunusulu kondoo wako amenii

  • @nancyshamba2441
    @nancyshamba2441 5 лет назад +3

    Amen Sana pastor wang. Nimelia Sana Kwan kuna watu wengi kama hao. Yesu Yupo yupo Amen Sana pastor wang. Mungu akubariki Sana Amen

  • @yusraibrahim9021
    @yusraibrahim9021 3 года назад

    Mim ni msilam lkn napenda Sana kukufatilia mtumishi WA Mungu natamani nami nipokee uponyaji kila nikiingia kwenye mahusiano sidumu kila nikipata pesa sifanikiwiii maisha yang nimagu sana niponye Baba

    • @claudemuhire1327
      @claudemuhire1327 7 месяцев назад

      Kwanza mpokee Yesu Kristo kama mwokoze na mfalme wa maisha yako

  • @fadhilipeter4864
    @fadhilipeter4864 3 года назад

    Kazi nzuri sana ubarkiwe na mungu

  • @kileshsolomon
    @kileshsolomon 3 года назад

    Glory to Lord. Mungu n mwema. Watching from Nairobi Kenya almost crying

  • @amosmadaha6428
    @amosmadaha6428 5 лет назад +8

    Mungu wewe nimwema endelea kutenda miujiza kupitia kwa watumishi wako na iwe hivo!! Amen

  • @leonardanzurunipombi2499
    @leonardanzurunipombi2499 3 года назад

    Hallelujah utukufu apewe YESU

  • @yahayaally3145
    @yahayaally3145 3 года назад

    Mungu akuongoze mtumishi wa Mungu uokoe watu wengi zaid

  • @lydearkadigiri6523
    @lydearkadigiri6523 4 года назад +5

    Hakuna asichoweza yesuu utukufu kwako Mungu wangu

  • @brettahnyivamusic514
    @brettahnyivamusic514 4 года назад +5

    Watched from kenya almost cried.. I Love JESUS.

    • @cathetarimo5841
      @cathetarimo5841 4 года назад +1

      Yesu ni mambo yote nda n ya roh ukimpata yye umepata vyootee ameen mtumish mungu azidi kukupa nguvu Ila kuna mdgo wng Wang alikufa kimuhigiza Kenya mungu sijui tutampat jamn

    • @mfakikombo7204
      @mfakikombo7204 3 года назад

      @@cathetarimo5841 x x
      axx

    • @mfakikombo7204
      @mfakikombo7204 3 года назад

      Ax v. ideo

  • @Eliasikyejo
    @Eliasikyejo 3 месяца назад

    Mwache mungu aitwe mungu na matendo yake Amina.

  • @speciozalucas8721
    @speciozalucas8721 5 лет назад +3

    Amen 🙏 baba yangu Mungu akupe maisha marefu

  • @everinnyambo2750
    @everinnyambo2750 5 лет назад +2

    Oooh Mungu ni mkuu hakuna linaloshindikana kwake nimeguswa sana jaman Mungu u mwema 😭😭🙏🙏

  • @dorcassmarco3425
    @dorcassmarco3425 7 месяцев назад +1

    Amine 🙏🙏

  • @rusidangajagu9160
    @rusidangajagu9160 3 года назад

    Mungu mkubwa nimejikuta machozi mungu anisaidie kweri mungu yupo Asante baba yetu

  • @joyfavourmusanga958
    @joyfavourmusanga958 4 года назад +2

    Amen!! Mchungaji naomba maombi kwa ndugu yangu,

  • @abelmasinde4847
    @abelmasinde4847 4 года назад +2

    Naamini huu ushuhuda , Mungu ni mwema

  • @ruthmwangi3199
    @ruthmwangi3199 4 года назад +1

    🤚🤚🤚🤚🤚AMEN and AMEN from.saudia. aribia

  • @edingtonkiwas7050
    @edingtonkiwas7050 4 года назад +1

    Amen MUNGU akubariki sana mchungaji nafuraha sanaa ninapoona uponyaji asante YESU MUNGU akubariki sanaa mchungaji

  • @mzboynubie6550
    @mzboynubie6550 4 года назад +1

    Amina sana mchungaji umenifanya niamini sana japo nilikua siamin kwa hilo

  • @merrysaloni955
    @merrysaloni955 3 года назад

    Mungu ni mwema ,kumcha mungu ni chanzo.cha maarifa

  • @benjaminsijaona2975
    @benjaminsijaona2975 4 года назад +3

    Yesu nisaidie nipate kazi mwaka huu nguvu ya ukombozi inisaidie nipate kaziii nisaidieeee

  • @sifaeca9531
    @sifaeca9531 4 года назад

    Ubarikiwe na bii mungu azidi kuku bariki

  • @annakiswaga4559
    @annakiswaga4559 5 лет назад +4

    Asante kwa uponyaji Mungu wa ukombozi

  • @jaquellinebahufite6026
    @jaquellinebahufite6026 4 года назад

    Nikweri mungu anaweza yani mimi nafurahi kuriko kwakuna kwako dada mungu adifiwe

  • @mariarobart-o2n
    @mariarobart-o2n 4 месяца назад

    Mungu wa ukomboZ anajibu kwa mto mkal sana

  • @mariamfritsi9761
    @mariamfritsi9761 5 лет назад +11

    Mchungaji niguse nami.Amina

  • @mushagalusakulimushivincen3809
    @mushagalusakulimushivincen3809 3 года назад

    Amen j'abite à Au Congo presisment à Bukavu 🇨🇩

  • @ezekielbagayumwe5998
    @ezekielbagayumwe5998 3 года назад

    Jamn ndugu zangu tumwamin yesu anaweza

  • @festoelias7884
    @festoelias7884 4 года назад

    Hakika Mungu yupo, Mungu akutie nguvu mtumishi wa Mungu azidi kukuinua katika huduma yako

  • @stellathomas4818
    @stellathomas4818 3 года назад

    Amen barikwa

  • @TakasiSulle
    @TakasiSulle 6 месяцев назад

    Asante yesu mkozi

  • @mwaminiamanda2133
    @mwaminiamanda2133 5 лет назад +4

    YESU nitendeye ulivyo mtendeya binti huuuu amina

  • @marynyasuguta7934
    @marynyasuguta7934 2 года назад +1

    mkono w mungu n mrefu kwa kuponya atukuzwe mungu

  • @deborahemanuel4867
    @deborahemanuel4867 4 года назад +4

    Mungu akuxaidie mpendwa daaa

  • @blesskulengya5579
    @blesskulengya5579 5 лет назад +2

    Anakula wali aleluya anakunywa na sodaa 😂😂😂😂😂😂 kuokoka Raha sanaaaaa

  • @JanethMaige
    @JanethMaige 5 месяцев назад

    Amina👏👏👏

  • @salummakita5276
    @salummakita5276 4 года назад

    Ubarikiwe mtumishi

  • @alla1325
    @alla1325 3 года назад

    Amen man of God

  • @mundelejudith3940
    @mundelejudith3940 3 года назад

    Garry to God mungu asifiwe

  • @irenedavidy8606
    @irenedavidy8606 3 года назад +1

    Pole mungu atakusaidia

  • @julynavy2
    @julynavy2 4 года назад +1

    I love what the power of God can do. Amen amen. Glory to Jesus

  • @christophermasese4179
    @christophermasese4179 4 года назад

    Mmh cna lakusema kwakwel Kama Ni yesu basi Amina

  • @valentinandukuvalentinandu4779
    @valentinandukuvalentinandu4779 5 лет назад +2

    Amina

  • @kefulinmathias2738
    @kefulinmathias2738 4 года назад +1

    Yesu anaweza

  • @clementinebredah4225
    @clementinebredah4225 3 года назад

    May GOD bless you

  • @RabiaIsmail-r2f
    @RabiaIsmail-r2f 7 месяцев назад

    Hakuna lisilowezekana Kwa Yesu ni kuamini tuu

  • @gracekadiva6659
    @gracekadiva6659 4 года назад

    Jina la Bwana yesu kristo wa nazareth Libarikiwe

  • @ednajeremiah8671
    @ednajeremiah8671 3 года назад

    Mungu tusimamie watoto wetu kila mahali waliko bwana yesu

  • @winnyshayo8812
    @winnyshayo8812 5 лет назад +9

    GLORY TO GLORY.. MUNGU WA UKOMBOZI NI FIREEEEEEE.

  • @japhethgeriad4519
    @japhethgeriad4519 5 лет назад +2

    Yaani kizazi hiki kinapenda miujiza sana yaani ibada nzima ni miujiza tu neno la Mungu kwa uchache

  • @matanobaya619
    @matanobaya619 2 месяца назад

    Naona walewale tu utawajua ukiwa unajielewa kama mimi, hupenda sifa, hakuna maombi bali kuamuru, mapastor wa nguvu za kuzimu, jamani watambueni😢😢😢😢😢😢

  • @migerabenard6317
    @migerabenard6317 3 года назад

    Hakika mungu aendelee kukutumia kwa viwango

  • @peteryohana3749
    @peteryohana3749 4 года назад

    Iman yako inakuponya mungu mkuu

  • @shilashango4040
    @shilashango4040 3 года назад

    Mungu yu mwema nimenguswa sana

  • @godsmarcyinmartin4163
    @godsmarcyinmartin4163 3 года назад

    Ahh by names am Martin from Nairobi yesu ni mungu ku mufufua huyo nbiti how I can gate your church

  • @frolamahendeka16
    @frolamahendeka16 5 лет назад +4

    Mungu.wa ukombozi anaponya zaidi

  • @rahmashabani6483
    @rahmashabani6483 5 лет назад +2

    Misukule mnene kweli alukua sehemu nzuri naona

  • @neemaisaya5426
    @neemaisaya5426 4 года назад +1

    Mungu anayenda kwa jina la yesu

  • @melkzedeckpeter8538
    @melkzedeckpeter8538 5 лет назад +2

    Mungu mkubwa asante yesu umeonekana kwa neema

  • @fatmahmosa5224
    @fatmahmosa5224 3 года назад +1

    With God everything is possible

  • @AliMassude-qk7zl
    @AliMassude-qk7zl 7 месяцев назад

    Shuguri hii gharama ni kiasi gani ndugu mtumishi wa mungu

  • @فاطمهمحمد-ج3ع
    @فاطمهمحمد-ج3ع 3 месяца назад

    Nabiii wabwana malissa tunakupenda sana washirika wako kwahudumanzuli namkeo Suzan

  • @thecheros3421
    @thecheros3421 3 года назад

    Kanisa ii wapi?

  • @braxedeswafula5838
    @braxedeswafula5838 5 лет назад +3

    Hakika yesu yupo na anaweza na anatenda. Yesu nitendeeeeeeee

  • @peterjiyumba3065
    @peterjiyumba3065 3 года назад

    Hema la kijani la ukombozi ni fire

  • @zulfasilverstar548
    @zulfasilverstar548 5 лет назад +7

    Huyo dada kajitahid kufanya filamu mmulipe hela yake. Akimaliza hapo

  • @veronicabarongo5003
    @veronicabarongo5003 3 года назад

    Amen.. enyewe wacha tusngalie msalaba

  • @ndimyakejacob8004
    @ndimyakejacob8004 4 года назад +1

    Napokea uponyaji katik familia yangu mungu mponye baba angu

  • @susanandolo6659
    @susanandolo6659 5 лет назад +2

    Naomba MUNGU uniponye nami jinsi ulivyo mponya huyu binti asante mungu kwa uponyaji

  • @dinakabuka450
    @dinakabuka450 3 месяца назад

    Mlisema Askofu Gwajima ansdanganya leo vipi tena Gwajima mtumishi wa kweli

  • @marychris1457
    @marychris1457 4 года назад

    Amen ....kwa kweli mungu anaweza

  • @EmanuelPanga-xx7wy
    @EmanuelPanga-xx7wy Год назад

    Mungu atukuzwe

  • @rachelkenya4858
    @rachelkenya4858 3 года назад

    Ooh lord your is fire

  • @marthareine7643
    @marthareine7643 4 года назад

    Mungu ni mwema baba