USHUHUDA | Jinsi Vijana Hawa Walivyofanikiwa | Rev. Dr. Eliona Kimaro

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 5 май 2024

Комментарии • 407

  • @halimahamis-yi8kh
    @halimahamis-yi8kh 20 дней назад +51

    mimi mwislam ila huwa napenda sana maubir yako Allah akuhifadhi 🤲

    • @worldofscience6745
      @worldofscience6745 19 дней назад

      Mungu,mtu ndy Dini inafuata kikubwa kitu/ mtu anakujenga Learn from them

    • @boazmasanja1710
      @boazmasanja1710 18 дней назад +2

      Unafanya vzr. Fanya maamuzi ya kumpokea Yesu sasa

    • @JosephKingwere
      @JosephKingwere 15 дней назад +1

      Hakika Mungu amulende Muchungaji anafundisha vzr sana mno

    • @user-xh3bp4il8j
      @user-xh3bp4il8j 14 дней назад +1

      Aminaa

    • @user-wq2np3dm3d
      @user-wq2np3dm3d 12 дней назад +1

      barikiwa sana.. maneno yako yamenitia moyo

  • @frankangira7909
    @frankangira7909 22 часа назад

    Eee mwenyezi mungu kupitia ushuhuda huu naomba na mm nibariki kupitia kazi zangu niweze kufika malengo yangu ili nifae kufanya kazi yako kwa nguvu ameeen..

  • @LOYCEWENSLOUS
    @LOYCEWENSLOUS 14 дней назад +10

    Mungu uliefanya kwa hawa vijana nakwangu utafanya

  • @gasperjohnson3388
    @gasperjohnson3388 16 дней назад +13

    Mimi ni msabato lakini nakufuatilia sana mchungaji nakupenda sana rev eliona kimaro

  • @ScolaAbel
    @ScolaAbel 15 дней назад +16

    Eee Mungu kupitia shuhuda hizi naomba na mimi siku moja nisiyodhani nitoe na ushuhuda.Amina

  • @enockmaige8936
    @enockmaige8936 18 дней назад +9

    Baba usinipite kupitia shuhuda hzi NAMI nfunguliwe KWA JINA LA YESU. Amina

  • @monicaalute3143
    @monicaalute3143 12 дней назад +2

    Namuelewa huyu dada, nimepitia cryisis kifedha, kuna biashara yangu niliipata nikiwa madhabahun na kabla cjaifungua nilipeleka funguo Kwa mch. Baadae nikaenda kufungua biashara nikauza vzr tu kwa siku za mwanzon qakat najiandaa kwenda kutoa malimbuko ndyo majaribu yakaanza had ninavyoongea hapa namuomba Mungu aniwezeehe kutimi,a ahad yangu kwa MUNGU maana nateseka mno

  • @cipriano3040
    @cipriano3040 15 дней назад +5

    Nashukuru sana mchungaji kwa ushuhuda , nlikua mfanya biashara nikiwa na umri wa miaka 23 na nlifanikiwa kwa kutoa sandaka kana dad mwenzangu, leo nko 29 hila nilisimamisha biashara nkajiunga na masomo Europa ndiko nko kwa sasa kwa vile Mungu alininyakua kwa ile biashara alinipa na niko masomoni ya kipadri kumtumkia Mungu uyo uto aliyenisaidia

  • @MaryNjele
    @MaryNjele 23 дня назад +26

    Mwanangu Furahisha Mahenge ubarikiwe kwa ushuhuda mzuri utakaofungua wengi. Mungu aendelee kukufungulia milango ya baraka. Tulijivunia wewe ukiwa mwanafunzi wetu O-level pale Solace na ninabarkiwa na mafanikio yako leo.

    • @enockmaige8936
      @enockmaige8936 18 дней назад

      Kushuhudia kwake NAMI napokea kufunguliwa

  • @user-ml4xy8xf1g
    @user-ml4xy8xf1g 15 дней назад +9

    Mungu nikumbuke fungua vifungo vilivo fungwa kwangu nakuamini ww mungu unafungua wengi...AMEN

  • @laurentraphael5470
    @laurentraphael5470 23 дня назад +34

    Ni aibu kubwa sana kufaulu shule, na kufeli maisha.Hii inahusika sana.

    • @MeckitilidaTushabe-or9hu
      @MeckitilidaTushabe-or9hu 20 дней назад

      Mbona wapo wengi sana waliofaulubshule na maisha wamefeli mno

    • @user-ij2vf9fn3t
      @user-ij2vf9fn3t 10 дней назад

      Mungu nifungulie milango la ridhiki nifanikiwe kama hawa watumishi wako

  • @naeema8155
    @naeema8155 16 дней назад +6

    Mungu naomba bariki kazi ya mikono yangu niweze kufanikisha malengo yangu niweze kusaidia na wengine 🙏🙏

  • @stellarutaguza8734
    @stellarutaguza8734 23 дня назад +10

    Kwa Damu ya Yesu Kristu ninawaunganisha watoto wangu na madhabahu hii na mentorship program mwaka kesho muda kama huu tutashuhudia matendo makuu ya Mungu kwetu. Amen. Barikiwa sana mtumishi wa Mungu barikiweni sana vijana mliotoa ushuhuda shuhuda zenu zitawatia moyo na kuwainua vijana wengi.

  • @CatherineShayo-rr2hq
    @CatherineShayo-rr2hq 10 дней назад +2

    Namwuunganisha kaka yangu
    Kwwnye huu ushuhuhdaa🙏🙏
    Amennn amennn

  • @philomenamushi5606
    @philomenamushi5606 22 дня назад +12

    Amen shuhuda ya BARAKA SANA nimejifunza kitu BWANA YESU NAOMBA NEEMA HII🤲🙏NIWEZE KUKUTOLEA SADAKA AMEN

  • @user-dg7wf6fg2j
    @user-dg7wf6fg2j 24 дня назад +15

    ❤mchungaji kimaro ninaendelea kuvuka vigingi kwa kufatilia maubili yako tunafanikiwa wengi shikurani kwako kwa kupewa karama.

  • @WhiteYusto-bu9ym
    @WhiteYusto-bu9ym 21 день назад +7

    Mch Eliona kimaro Mungu aliyeweka kipawa hicho kwako umefanyika bàraka kubwa sana kwa watu wengi

  • @user-bw8wp3ek4w
    @user-bw8wp3ek4w 15 дней назад +4

    Haleluya nimejifunza kitu kwa huyu Dada hongera sana..

  • @nesseniftyjoseph5686
    @nesseniftyjoseph5686 24 дня назад +13

    Mungu mwema, usituache Sisi waja wako, bila wewe Sisi sio kitu Mungu wangu🙏

    • @user-vt4nt1uz4m
      @user-vt4nt1uz4m 23 дня назад

      Jokopoi😅jo

    • @CaritasSabuni
      @CaritasSabuni 22 дня назад

      We mwenyezi Mungu NAMI nijalie kupitia ushuhuda huu nami nifanikiwe

  • @mariethangoma6317
    @mariethangoma6317 13 дней назад +3

    Ahsante Mungu kwa shuhuda hizi toka kwa wanao nikalipe nami niweze kushuhudia mwakani kama huu mwezi ...Amina amina....

  • @VickyNyela
    @VickyNyela 24 дня назад +10

    Ikawe kwangu na mimi Yesu wangu nakusihi unitendee mwaka huu 2024

  • @rogersmaokola3147
    @rogersmaokola3147 15 дней назад +3

    Kwa upande wangu Mungu amesema nami kupitia haya mafundisho ya leo Baba Asante kwa huu ushuhuda na niko tayari kushiriki katika hilo darasa unaloandaa. Asante sana Na Mungu akupe afya zaidi

  • @anjelalyamboko740
    @anjelalyamboko740 3 дня назад

    Ee Mungu kupitia shuhuda za hawa vijana naomba umfungue mdogo wangu Florah aweze kifanikiwa.Amen

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 18 дней назад +4

    Eeh Mungu wangu nifungue na mimi, nifungue nifungue, na mimi nikashuhudie

  • @vailethmsigwa9244
    @vailethmsigwa9244 3 дня назад

    Kupitia uxhuhuda huuu nnimejifunza kitu mungu aendelee kutufungua ktk uchumiii wetu

  • @johnboscokiringo2398
    @johnboscokiringo2398 16 дней назад +3

    "Asante Mungu kwa ushuhuda huu mzito"
    Nimejifunza somo.

  • @stellamasawe6736
    @stellamasawe6736 25 дней назад +19

    Mungu akupe miaka mingi yenye furaha na nguvu ili ukazidi kutuponya baba mchungaji batikiwa sanaaa

  • @JulianaKabonda
    @JulianaKabonda 22 дня назад +5

    MUNGU akubariki sana Baba kwa Juhudi zako za kuwainua na kuwapa afya za kimwili na kiroho pia Tunamtukuza MUNGU Sana

  • @RemmyMaurus
    @RemmyMaurus 5 дней назад

    Mch.kimaro MUNGU AKUBARIKI. naomba mawasiliano yako.chonde sana. Mimi naitwa remmy likiliwike wa njombe.

  • @DannyEliudmsangi
    @DannyEliudmsangi 14 дней назад +3

    🎉Ee mwenyenzi mungu ninakushukuru kwa kunipa afya njema mpaka mwisho wa mwaka nipe mabadiliko katika maisha yangu

  • @moreenmollel3677
    @moreenmollel3677 7 дней назад

    Mungu usinipite najiunganisha na shuuda hizi

  • @TeddyMathias
    @TeddyMathias 24 дня назад +6

    Eee Mungu mwema naomba na mimi mwaka huu huu majira haya haya nishuhudie matendo makuu uliyoyatenda Kwangu 🙏🙏

  • @user-tl2ur8rj1e
    @user-tl2ur8rj1e 16 дней назад +2

    Ninavyopenda shuhuda jamani. Hapa pa utoaji ndio napapenda zaidi, kitu iko ndani yangu. Hawa ni sehemu ya kina Dorcus wangu. Ubarikiwe Mchungaji

  • @Winner_Maggie88
    @Winner_Maggie88 20 дней назад +5

    I tap this testmmony Mungu nifungulie milango mwaka huu IJN

  • @CatherineShayo-rr2hq
    @CatherineShayo-rr2hq 10 дней назад +1

    Uwezaa wakoooo waa ajabuu
    Wa kutishaaaaa Bwanaaa🙏🥹

  • @dorcusmacha1085
    @dorcusmacha1085 20 дней назад +3

    Kwa kweli nitajoin I will become a billionaire one day najiunganisha na huu ushuhuda

  • @marthajackson9040
    @marthajackson9040 25 дней назад +69

    Eee Mungu mwema nisaidie na mimi majira kama haya mwakani nishuhudie matendo makuu uliyoyatenda kwangu 🙏

    • @magrethmwasimanga2013
      @magrethmwasimanga2013 23 дня назад +6

      Mungu azidi kukubariki mchungaji . Hii program inayoanzishwa naamin itawakomboa vijana wetu wengi.

    • @JosephKingwere
      @JosephKingwere 22 дня назад +1

      Mm Naomba Mungu sana nina naziri na hiii madhabahun jamn Mungu nisaidie niweze kutoa fungu la kumi

    • @ninahmbonea6248
      @ninahmbonea6248 17 дней назад

      Mungu anisaidie nami nishuhudie mwakani

    • @ElizabethMasambe
      @ElizabethMasambe 16 дней назад

      111😅😅 22:36

    • @theresiakimaro7514
      @theresiakimaro7514 15 дней назад

      Mungu akulinde baba mchungaji stay blessed

  • @magrethuronu7190
    @magrethuronu7190 24 дня назад +10

    MUNGU Asante kwa ushuuda uhu nmm nitatoa ushuuda wangu mwakani mwez Kama uhu AMEEEEN

  • @user-in9ui2ro6k
    @user-in9ui2ro6k 4 дня назад

    Mungu niwa rehema ukimuamini na ukimtolea kile kidogo ulichonacho ina dhihirisha ata akikupa kikubwa bado uta mkumbuka

  • @paschalezekiel7633
    @paschalezekiel7633 7 дней назад

    Una kitu mchungaji nakuombea sana uweze kuyagusa maisha ya wa Africa wengi zaidi

  • @winnymshana5589
    @winnymshana5589 16 дней назад +3

    Mungu nakuomba bariki na kizazi changu pamoja na mume wangu

  • @JosephuSwai
    @JosephuSwai 21 день назад +6

    Amshuku babayake kwa kumsomesha uyo dada

  • @neemamwanga5447
    @neemamwanga5447 24 дня назад +10

    Ameni nami Mungu naomba nibariki kwa ushuhuda juu nivushe haya madeni yasiyoeleweka nalipa hapa nadaiwa pale nivushe Mungu naamini nimeshindaaa

    • @user-wd3zo9xb4h
      @user-wd3zo9xb4h 23 дня назад

      Mtumishi MUNGU wetu mwema nami nina Imani Mungu atatuvusha katika bonde gumu na.zito la madeni. TUTAVUKA

  • @amosimwampamba-ne7in
    @amosimwampamba-ne7in 11 дней назад +2

    ee mwenyezi mungu nisaidie NAMI majira kama haya NAMI nifanikiwe

  • @SarahMeela-og6li
    @SarahMeela-og6li 24 дня назад +5

    Amen.Napokea huu Ushuhuda ikawe na kwangu katika jina la Yesu juu ya Biashara yangu.Mungu akutunze Baba Mchungaji.

  • @joycelongo1213
    @joycelongo1213 18 дней назад +2

    Mungu naomba uwajalie wanangu uwafungulie tupate mafanikio saidia Sana watoto wangu

  • @user-pq9fd5bt5x
    @user-pq9fd5bt5x 23 дня назад +5

    Hakika mungu nimwema huu ujumbe niwangu barikiwa sana dadaangu leo mmpia nimefunguliwa

  • @aminaluoga4578
    @aminaluoga4578 11 часов назад

    Usinipite yesu Usinipite unapogusa wengine nami niguse

  • @user-oo2fx8nk5r
    @user-oo2fx8nk5r 19 дней назад +2

    Eeeeh mwenyezi Mungu Nakuomba kupitia huu Ushuhuda Ukanipe Ushuhuda Nishuhudie ukuu wako

  • @Eric482
    @Eric482 21 день назад +6

    Mwenye maarifa atapona jina la Mungu libarikiwe

  • @janethmwansasu5847
    @janethmwansasu5847 23 дня назад +6

    Asante mtumishi kwa mi ninakukubali sn mi natamani niingie kwenye darasa Hilo ila zaidi ya yote natamani awepo mwanangu Ila bado yuko shule kidato Cha nne darasa hili lingefaa sn Mungu nisaidie I wish wangekuwa wanangu wote wenye maono hayo kwa jina la Yesu nimepokea

  • @happynessmalisa6258
    @happynessmalisa6258 23 дня назад +10

    Hata mimi natamani kupata elimu ya kutoa sadaka na fungu la kumi eeh mungu nisaidie hauwahi wala kuchelewa mungu kwangu naomba uwahi kwangu iliniweze kutoa sadaka yangu na fungu la kumi

    • @mkundeferuzi8186
      @mkundeferuzi8186 18 дней назад

      siku utakayoamua kutoa kwenye mfuko wako fungu la kumi kamili kbs ndio siku utakayokua umechomoka kiuchumi ,yaan ile ukitoa tu na Mungu atakuzidishia maradufu mpk ushangae

  • @brysonmmari3037
    @brysonmmari3037 20 дней назад +2

    Mungu tukumbe Baba unapodhuru wengine na sisi usitupite❤

  • @graficitv4412
    @graficitv4412 22 дня назад +3

    Nami najiungamanisha na ushuhuda wenu Mungu Nina Iman huchelewi Wala hukawii

  • @user-ru6ct4rh3t
    @user-ru6ct4rh3t 12 дней назад +1

    Asante Mungu Kwa kuturejeshea Mtumishi wako Eliona Kimaro.

  • @jaclinekeyya8166
    @jaclinekeyya8166 18 дней назад +2

    Ee Mungu naomba unikumbuke rehemani mwako nimedhurumiwa Sana Hadi sasa umenisimamisha tena,naomba unifikishe kwenye kusudi lako naamini hakuna jambo linaloshindikana kwako.Niko DRC Congo napambana lakina naamini kuanzia sasa jupitia shuhuda hizi zote mbili zimenifungua fikra zangu ,nitakuja Tanzania nakushuhudia waminifu wa mungu Amen.

  • @user-ii7kx1nz4o
    @user-ii7kx1nz4o 11 дней назад +1

    Mungu naomba nifungue vifungo nilivo fungwa

  • @CatherineShayo-rr2hq
    @CatherineShayo-rr2hq 10 дней назад +1

    Najiunganisha na ushuhuda huuu🙏🙏 Bwana

  • @WinnieWalter-ym1cr
    @WinnieWalter-ym1cr 24 дня назад +9

    You are my daddy. Mungu akuweke kwa ajili yetu

  • @HildaTemba-qz9df
    @HildaTemba-qz9df 10 дней назад +1

    Nisaidie Mungu wangu nipate Moyo wa utoaji

  • @estherlemburismollel5901
    @estherlemburismollel5901 23 дня назад +5

    Nami nitembelee Yesu, kwa Mungu hakuna kuchelewa wala kuwahi,Yesu nisaidie kufika ulipokusudia nifike

  • @user-zn3un8gs3d
    @user-zn3un8gs3d 24 дня назад +6

    Amina mchungaji asante kwa kuruhusu hizi shuhuda nimebarikiwa sana

  • @user-gm1ry3ej9o
    @user-gm1ry3ej9o 17 дней назад +2

    Mungu afungue uchumi wetu kupitia shuhuda hizi

  • @elizabethlaurent4446
    @elizabethlaurent4446 17 дней назад +2

    Mungu naoomba wajalie wanangu vizazi vyangu

  • @judithkatabaro3294
    @judithkatabaro3294 23 дня назад +5

    Kwlei kabisa uyo ni mimi kabisa yani mimi namwambiaga Mungu ivyo kutoa sadaka sio kazi rahisi

  • @lakezone1091
    @lakezone1091 15 дней назад +4

    I connect in Jesus name amen 🙏🙏

  • @ngesileanganile3747
    @ngesileanganile3747 23 дня назад +7

    Furahisha Daaa! Umejua kunipa somo mwanangu kipenzi ❤❤❤❤

  • @qnmwashuya-dq4vy
    @qnmwashuya-dq4vy 12 дней назад +1

    Furahisha mahengeee ubarikiweee kwa ushuhuda

  • @angelbajunanaki
    @angelbajunanaki 22 дня назад +4

    Mungu naomba unikumbuke na mm mwakani majira kama haya NAMI nikashudie, Maana wewe huchelewi wala huwai

  • @pierrerock.5949
    @pierrerock.5949 24 дня назад +6

    MUNGU AKUTUNZE SANA MCHUNGAJI WEWE NDO AINA WACHUNGAJI WANAOTAKIWA KWENYE JAMII YETU MUNGU AKUBARIKI AKUBARIKI SANA

  • @mosesallanadam1955
    @mosesallanadam1955 24 дня назад +6

    Nimebarikiwa na nitashuhudia pia. Aksante

  • @winnymshana5589
    @winnymshana5589 16 дней назад +3

    Mungu nakuomba unibariki kwa uwezo wangu nifikie viwango hivi

    • @user-nr9cs3ms7y
      @user-nr9cs3ms7y 10 дней назад

      Amina naiwe kwangu kwajina la yesu napokea ushuhuda huu

  • @user-xi3ms2qb9w
    @user-xi3ms2qb9w 25 дней назад +10

    Mtt wa big Muyaya.......wazazi wake hawana BAYA,Mungu amtunze

  • @dicksonmsungucommunitywork257
    @dicksonmsungucommunitywork257 21 день назад +9

    Mungu naomba waajalie wanangu na vizazi vyangu ,na mimi atufungue tujue hii Siri na tupate mafanikio haya,tuliinue jina lake,ubarikiwe sana Mchungaji Kwa huduma hii

  • @josephinejoseph599
    @josephinejoseph599 18 дней назад +2

    Ee Mungu naomba umjalie mwanangu mwaka huu usiishe bila kumwinua na kumfungulia baraka zako.chungaji Mungu akubariki sana.

  • @thomasmakweta3860
    @thomasmakweta3860 11 дней назад +1

    Barilkiwa sana Mch.Docta Kimaro

  • @petermuganda7322
    @petermuganda7322 18 дней назад +5

    Nimebarikiwa sana

  • @evamwasongwe6752
    @evamwasongwe6752 9 дней назад

    Vijana,mmeniinspire sanaaa,sitaacha kukutumikia Mungu maana najua thawabu yangu ni kubwa sana wakati wako ukifika,I glorify you Lord

  • @priscaangwenyi2206
    @priscaangwenyi2206 19 дней назад +4

    I need mentorship all the way from Kenya

  • @CatherineShayo-rr2hq
    @CatherineShayo-rr2hq 10 дней назад +1

    Watu watabarikiwaa kupitiia mimi🙏❤️

  • @user-uj9zn6mj5b
    @user-uj9zn6mj5b 11 дней назад +1

    Naomba Mungu unisaidie

  • @user-zr6rs6dk6b
    @user-zr6rs6dk6b 23 дня назад +4

    Mungu nisaidie matatizo yangu niliyonayo iwe ndo fursa ya mafanikio yangu

  • @priscaangwenyi2206
    @priscaangwenyi2206 19 дней назад +3

    This is timely. I am encouraged

  • @felistermahugi2902
    @felistermahugi2902 11 дней назад +1

    Ubarikiwe sana mchungaji kimaro

  • @user-cq3wt7vc3u
    @user-cq3wt7vc3u 9 дней назад

    Eee Mungu wangu mwenye Rehema n Neema nakuomba na mm niwe m'barikiwa..AMEN

  • @doreenaugustine486
    @doreenaugustine486 2 дня назад

    I connect my self in this mentorship in Jesus name

  • @MarySangiwa-fz1jc
    @MarySangiwa-fz1jc 21 день назад +1

    MUNGU wa Israely kwa neema yako. Nàmi nimetajirika kwa Jina la Yesu Kristo wa NAZARETHI AMEN.

  • @AngelMoris-cb5rf
    @AngelMoris-cb5rf 23 дня назад +4

    Eee mungu nisaidie katika maombi yangu na mimi nije nisimame mazabahuni nitoe ushuhuda mungu nibaliki

  • @catherinegimbika1545
    @catherinegimbika1545 24 дня назад +7

    Ameeeeen❤❤🎉🎉🎉🎉🎉 Mungu Mkubwa

  • @annamartine1783
    @annamartine1783 4 дня назад

    Unapopita kwenye matatizo Mungu yupo anakutengeneza, noted with thanks, Glory to God

  • @MillenPaul
    @MillenPaul 11 дней назад +1

    Mungu akubariki mbeba maono❤

  • @TheodosiaSangka
    @TheodosiaSangka 24 дня назад +8

    Madhabahu anayotumikia Mchungaji huyu yameenea sifa zote za ki Mungu hakika Mungu anayetumikiwa na Rev.Dr.Kimario yana majibu yote ya mwenye mahitaji. Bwana akubariki sana Mchungaji wangu🙏🙏

    • @trophywilson7211
      @trophywilson7211 23 дня назад

      Na pia ni makanisa ya Wasomi,na Makanisa yanawaosoma Riturujia,Lazima Mchungaji aajiriwe na Alipwe mshahara kila Mwezi si kama Pentecoste,

    • @mackfasonmoshi4629
      @mackfasonmoshi4629 21 день назад

      ​@@trophywilson7211Nisaidie kufafanua "wazo" lako kuhusu "si kama Pentecoste "....Rev. Dr Kimaro barikiwa mno. Shuhuda hizi nzuri piaaa.... Amen..

  • @ceciliahblessings6119
    @ceciliahblessings6119 10 дней назад

    AMEN AMEN AMEN hata mimi nlifika class 6

  • @happynyoni2421
    @happynyoni2421 25 дней назад +9

    Ameeeeeeeeen,Ikawe kwangu kwa Jina la Yesu

  • @jacquelinelukambuzi5085
    @jacquelinelukambuzi5085 25 дней назад +6

    Mungu ni mwaminifu sana kwetu ila sisi jamani Mungu turehemu

    • @user-po7zh4zz2k
      @user-po7zh4zz2k 23 дня назад

      Kweli Mungu ni mwaminifu mno ila sisi wanaadamu Mungu aturehemu jamani. Mungu ametupa akili tuzitumie sawasawa.

  • @lauralkinyaha
    @lauralkinyaha 24 дня назад +15

    Basi atukuzwe yeye awezaye kufanya mambo ya ajabu mno kuliko yote tuyaombayo au tuyawazayo, kwa kadiri ya nguvu itendayo kazi ndani yetu

  • @erasmomasaga1792
    @erasmomasaga1792 9 дней назад

    Eeeh Mungu mwema unikumbuke na mimi

  • @NeemaLulanyaga
    @NeemaLulanyaga 15 дней назад

    Najiunganisha na baraka hizi kutoka kwenye madhabahu hii Mungu nisaidie nitoke mahali nilipo. Kwa jina la YESU

  • @RahelMrope
    @RahelMrope 18 дней назад +1

    Baba naomba nilee na mimi,nifike mahali nishuhudie mambo makuu baba

  • @user-xe2ho1ti8e
    @user-xe2ho1ti8e 18 дней назад +1

    Mungu naomba nipiganie namimi pamoja na familia yetu