MZUNGU ALINIGEUKA TUKIWA NJIANI KWENDA KUMTAMBULISHA KWA WAZAZI NA KUNIFUKUZA
HTML-код
- Опубликовано: 27 апр 2024
- Mary ameeleza safari yake ya kutimiza ndoto yake ya kupata Mzungu, alitoka mwanza kwenda Arusha kutafuta Mzungu. Alikutaka na wazungu wa honyo lakini mwisho akakutanana na ambae bi mume wake na sasa anaishi Belgium.
Alinyanyasika na kudharaulika sana na kuitwa maijina mengi mabaya kutoka kwa familia lakini aliwaacha mdomo wazi baada ya kufunga ndoa.
Thank you Mary for allowing this to be online
www.oda.international
Tiktok: mickymary
A office dating assistance
Oh! OK; and what makes you " offucial" are you elected or appointed by a body or some authority to provide assistance?
Hi
Hello madam
Im from kenya Pia Mini niko Germany nataka siku moja nitoe Safari yangu nilipo Anzahl mpaka kufika ulaya
Ushauri wangu wasichana msitamani maisha ya Mary muache tamaa Mary anacheka tu lakini amepitia magumu sana hayo sio maisha
Asante sana Shena. Mimi nina miaka 52 nimekuwa nikikufuatilia sana story zako nami Mungu kunijalia nimepata Mume mtarajiwa . Asante sana.
Hongera sana sana
Glory to God
Karibu sana kwa kipindi 🥰🥰🙏
Glory to God❤❤asichoweza Mungu hakipoo💪🏼👏👏👏🙏🙏na ikawe yenye kheri Amen
Umepata kupitia mtandao upi mamy tujuze
Hongera sana Mungu akutangulie
Shera Mungu akubariki Asante kwa kwa kuanzisha shuhuda hizi sinazo husu maisha,sinatufundisha sana,dada msukuma umenikumbusha mengi nilipitia magumu yanaendana nayakwako kidogo japo yanatofautiana, Mungu nimwema sana ametuvusha kwa mengi.
Wewe ulipenda upate mzungu mbali hukuomba Mungu akupe mwanaume mzuri sasa maji kayavulia nguo yaoge tu. From Kenya 🇰🇪
Shena wangu nakupenda sana kipenzi,hongera kwa kazi nzuri😊
Shena hongera kwa kazi yako nzuri
Hayo maisha sio salama kabisa huo ni udangaji na wazungu kudanga kisa kuolewa na mzumgu
Duniani Mapitoo jamaniii lakini Mungu ndie kimbiliooo
Pole ssna kwa mapito uliopitia ila marafiki sio watù wema maana ukiwasaidia matokeo yake wakakusaliti Mungu akutunze daima
Nimependa love story yako, hongera sana 💐🌺
For her it's in her family line cause all her aunties are married by white people so it's a patter,so for her it wad something of sure bet.Tutasema ni mathabau ya ukoo.
Waooo mwanetu mtoto wa kihaya hongera sana mwenyezi mungu awatangulie
Mungu Awabariki wewe na Family yako.
Pole sana kwa mapito Mary na Hongera mno kwa mafanikio ya Ndoto zako. "Baada ya dhiki faraja'.
Aisee hongera sana dada yetu
Ubarikiwe sana mrembo ❤❤❤
Wewe msichana shunjaaaaa oyyyy nakupenda msichana mzuri sana KBS 🥰👍👏🔥
Ahsante kwa maelezo ya upendo
Lovely story
Interview nzurii,asante Mary. Hongera pia,uko kwenye honeymoon period Enjoy❤
Hongera sana mwanangu ulipambana Mungu aku simamie ndoa yako idumu milele na mafanikio pia
Wow wa kwanza kucoment
Hongera
Rafiki sio watu wazuri bora uwe peke yako hatupendeleani mema kwa kweli
Haqika, mufaransa husema “ mieux être seul que mal accompagné “
Mimi nimeamua kutokua na marafiki.maraki wanawivu sana..
Nice story
Dada shena ni mtulivu na msikivu pia😊Mungu akutunze
Si tuko nap ila hawa eleweki KBS 👏 hiyo niu shauri mkubwa kwetu njamani 👏
Ila wabongo washenzi sana.na wanawivu na wanapenda sana
Yaaani sisi watu weusi sisi hatupendaniiii 🙈🙈
Asante kwa elimu yako,kupima iwe kanuni
Pole sana msichana 🫢 nihatari kbs dunia Kwisha KBS ndodunia hiyo mzunguko ila mngu anaweza yote 🥰
Mili kuwa na enjoy 🎉👏 🔥
Merry ananifurahisha kuwapa na ukoo wote 😅😅😅
Mpaka haya kazi njema
Huwa najiuliz mnavyokutana na wazungu ghafla mnalala nao hata hamwogopi maradhi?au ndio pata potea?
❤wewe unatisha KBS waliku pendaga saan 🥰😊👍
Pole na hongera dada
Story nzuri
Anafanana kama mama Tibaijuka.
🤭 wewe nawe 😂
Ni kweli😊
Na yeye ana damu ya kihaya
Ndiyo
😂
Nakupenda Marry wangu 🎉🎉🎉🎉
Hongera dada.
Hayo maisha ya shida nila Zima tupambane nakia njaribu huku kuwa kitu ninacho endelea kupotrza wavinjana wa easichana mnayatizo KBS 👏😊
Ni history kubwa dada 😂😂😂🤣🤣
Hongera kwa Hilo dada,,xaxa tufanyie connection ya kazi huko
Jamaani msukuma kabisa mpaka anavyo ongea 😂 wakukaya
😂😂😂confidence hana masikin ila amepitia changamoto nying yan 😢haya maisha ad utoboe jua umepitia meng sana
Na muhaya pia
Ila wasukuma na Sisi 😂😂na Mimi nijnitoe story yangu mpaka kupata ndoa na mzungu😅😅
Shoga yangu Mary hatimaye.... this interview was so good 😊
Yes dear😂🎉❤
😂Mery anachekesha. Lakini Mashaallah kapambana hasa ❤
Hakika anachekesha
Nampa ongera sna kwa kutimiza ndoto yake
Ana aibu mashaalllah 😂🤣
Anaeleza vizuri
Sawa sawa Mary. They say..... "When God opens the door... Shut your mouth"!
Hatimae nimemuona ndugu yangu wasukuma oyeeeeeee
Hallo Shena hongera sana kwa kipindi chako
nielekeze jinsi ya kudownload Tinda
Jaman ninempenda merry anaongea vizuri
Dada napenda sana kipindi chako wow ni mimi Simba Abdul Amsterdam Holland
Kazi nzuri Mungu amekuleta kusaidia wengine kuwa na mzungu sio mafanikio ya kila kitu
Shukran
Kweli kabisa
😍😍🥰
Wanawake pasua kichwa
Pole jee huku waita wote. Inamana huku njuwa mapema wazingu sio wema ni ukweli KBS ushauri mzuri sana USi muaminie mtu awaye yote KBS 😊🥰
Wazungu,naukai,hata vile unakaa,you are beautiful when they are using you
🤝🙏🏻
❤❤❤
Mashuka ya guest ndomana yamefubaa kumbe mnayapondaponda😂😂😂
😂😂😂😂
😅😅😅
Mm huwa nawapenda wazungu jaman
Mwenyezi mungu akutangulie
Dada shena nakupenda huna papara unamuacha mtu anajimaliza mwenyewe wengine wanaingiliaga katikati
Kwahiyo. Mzungu ni mmebergium
Jama Mary kumbe Mama yako ni Mhaya! Duh! Nimefurahi mno! Na mimi natoka BK.
Wazungu 🙄🤕
African women are confused!
By the Way...
😊😊
Good Show👍🏽
Wahaya ndivyo tulivyo hata mm kwenye posa walikula had leo hawasahau kwetu hakuna shughuli ndogo
Je Tinder alilipia....shena hilo swali unasahau kuuliza
❤😮🎉
Hongera binti wetu karibu europe bienvenue
Na mi niko france huwa na kuja Belgique nikija natakutafuta
Je te souhaite beaucoup de bonheur dans ton foyer
Félicitation
Coralie
Kweli binti yetu umepitia mapito hongera saana
Wakukaya mayoooooool😅❤
Inatakiwa ujiendeleze kimasomo dada angu usibweteke
Nimekupenda sana bi mery unaongea ukweli nimependa icho kitu,ukweli ukweli ❤
Hata mm natamani mzungu jamani lakini hii process duuh!!naogopa matapel wa ngono
Mwanamke kujitongoza kwa mwanaume SI Tania yetu kwa Mtanzania
Kwa nia nzuri. Nashauri anaotafuta, waume wawe wanapima afya kabla ya kukubali kujamiiana. Maana tangu nimesikiliza watu tofauti tofauti hapa sijawahi kusikia mtu anasimulia tukafanya vipimo kwanza vya magojwa hasa ukimwi. Kama huwa wanapima ni vizuri. Shena unafanya vizuri kuelimisha watu. Na unajua kumsikiliza mtu anajieleza mwenyewe. Humkatishi mazungumzo yake hivyo stori inanyooka vizuri. Na unajua kuuliza maswali vizuri.
Ushauri mzuri sana.. Shukran 🙏
Kabisa wengine hawajui ku intaview wanakatisha mtu maneno intaview inakuwa gumzo tupu
Hakika
Sema pia da shena Kuna watu ANAKUWA free sana na Kuna baadhi ANAKUWA SI comfortable sana but bado da shena anafanya vizuri
Yaani kwakweli mimi huwa nasema mara zote hapa,shena ni msikivu na mtulivu sana,anajua kumskiliza mtu na anauliza maswali vizur sana,yaani mskilizaji unaelewa kwa uzur kabisa aisee tumpe maua yake🫠
🤣🤣🤣🤣🤣 alikuwa anapenda watoto jmn lkn dah ila ndoto ya mtu haifi
Sielewi kwanini wadada wanapenda sana kushea mambo yao na marafiki. Jifunzeni jamani.
We dada mchangamfu sana
Mimi naitwa Erick wa Arusha Fanya mpango tupate connection ya kazi
Nimependa utambulisho wake huyu dada, "Kwa jina......"
Wanaume wakati mwingine tunapitia maisha magumu kwa sababu ua wanawake
Fanyeni video kwaufupi zinachosha kusikiliza
Ukichoka ondoka.....
Can someone tell me 8n what way is the sister an " official" dating assistant. Has she bern appointed by a body or authority that is responsible for dating/relationships; or an appointed agency of such (if there is such). And please can someone tell me what is "ordery love story"?. What is ordery?
ODA Real Love Story
ODA - Official Dating Assistance
Wakokaya olemhola😊
Kwani waswahili wenzenu hakuna nini kuhangaika mpaka mnajiabisha mitandaoni
Meri nitafutie Mimi mwanaume wakizungu Mimi na penda kuja niwazae watoto wa kizungu wazuri vigezo kufunga ndowa kutolewa kishika uchumba na mahali pia utakuwa mfafanuzi wangu wa kingereza nahivo unaonekana unaroho nzuri ni fanyie hivo meri
Hivyo ulikuwa nachuuza mwili wako hapo ulikuwa matata saana unashauria wenzako wasi chana Nini?sasa ❤🎉
😅😅 mashuka kuponda
😂😂😂😂 baba aliogopa ataongeaje nae
Ila marry jamani mbona nini nini nini nyingi sana😂
😂
Anafurahisha marry wetu
Ndio ongea yake wewe chukua madini yake
Mimi sijasema kwa ubaya mpendwa,nimefurahi tu,nimependa anavoongea,kufurahi ni kawaida 😊,sorry kama umekwazika
Sababu ya kutafuta mzungu ni nini haswa?
Ndege ila rushwa
Muache mzungu akupende mwenyewe.mnachukuliwa halfu mnaenda kuteswa
Kabisaaa mnateswa vibaya.
Masela njooni hapa msikilize ujinga za wanawake hapa
NA WEWE MDADA KWANN UONGEE SIRI ZAKO? KWA MARAFIKI? MARAFIKI WALIOWENGI HUWA WANAPINDUA MEZA. CK NYINGINE USIWAAMBIE MARAFIKI VITU VYAKO.
Madawa yaliisha mama