MATAJIRI WANAONGOZA KWA STRESS | UKIFIKA ULAYA ACHA USLAY QUEEN | NIMEMUWEKA MUME WANGU KWENYE CHUPA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 21 янв 2025

Комментарии • 429

  • @ashapearubart2624
    @ashapearubart2624 9 месяцев назад +9

    yaani huyu msishana kasema ukweli kabisa. Nampa hongera zake. Mwalimu tosha ❤

  • @ReginaMussa
    @ReginaMussa 9 месяцев назад +9

    Hii interview hata sielewi 🤣🤣 haijaingia akilini coz mdada hajatulia 😂😂weka kinywaji pembeni then continue with interview, much love sheeeenaaaa💕💕💕💕💕tukijua kiingereza tutakuja 🤣🤣🤣🤣🤣

  • @oiiii3898
    @oiiii3898 9 месяцев назад +12

    Ukiachana na mapozi huyu dada yupo smart sana tu. Mawazo yake mazuri hata English nzuri kwakweli. Vingine ni excitement au kutojua tu namna ya kujiwasilisha but she’s good

  • @merrynancesimon1562
    @merrynancesimon1562 9 месяцев назад +5

    Umesema kweli dépression is really na ndio maana watuwanaingia kwenye alcoholic basi na kupokonywa watoto ❤❤❤❤❤❤❤

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 9 месяцев назад +15

    Asante sana, unacho ongea ni ukweli mtupu, ULAYA ni kazi kwenda mbele.

    • @evakabete2944
      @evakabete2944 9 месяцев назад

      We acha tu yani huku kila siku ni kazi tu

  • @DaudiJamesKafulila
    @DaudiJamesKafulila 9 месяцев назад +18

    Du! Sema ameniboa sana yani kanifanya nisiangalie kabisa maana kanipotezea hadi mudi yani mapozi mengi bwana

  • @godfreymuniku4057
    @godfreymuniku4057 9 месяцев назад +5

    Huyo mdada yupo vizuri sana she's great Editer

  • @sekikigosi8265
    @sekikigosi8265 9 месяцев назад +9

    Leo darasa limepata mwalimu haswaa nimempenda Editha.❤

  • @homeandaway2811
    @homeandaway2811 9 месяцев назад +13

    Daaaah kuishi kwingi kuona mengi 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 khaaaa

    • @darajalakidatukilomgi2362
      @darajalakidatukilomgi2362 9 месяцев назад

      😂😂😂😂

    • @ELIZABETH-uz6dv
      @ELIZABETH-uz6dv 8 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hora8707
    @hora8707 9 месяцев назад +6

    enhee sehemu za kwenda ni paje,before,zingine zipi wenzangu mmezisikia?Safi sana nimempenda huyu mschana muwazi mno,asante kwa hii interview

  • @jooepaullas791
    @jooepaullas791 9 месяцев назад +13

    She really And smart 😊

  • @MunguMwema-m4l
    @MunguMwema-m4l 9 месяцев назад +14

    😂😂kungwi leo hatariii

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 9 месяцев назад +18

    Sema dada shena tunashukuru sana kwa kutuletea watu tofautitofauti na wanatuelimisha pia,Mungu akubariki kama ni mapungufu kila mmoja anayo vingine vinafurahisha tunacheka kidogo ila humohumo tunapata elim

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  9 месяцев назад +7

      Maneno mazuri kabisa 🙏🥰

    • @aminanamoyo83
      @aminanamoyo83 9 месяцев назад +2

      😂😂😂 nahisi amelewa 😂😂😂but she very funny ❤

    • @ashaidei5680
      @ashaidei5680 9 месяцев назад +1

      Huyu anasema ukweli kabsaa hilo la vibabu kwa kweli baada ya kufika huku na kibabu chako wanasumbuka wanaanza macho juu bora dada katoa siri za huko ndani.

    • @hejmabohejhej9
      @hejmabohejhej9 9 месяцев назад +2

      @@aminanamoyo83kwakweli nimempenda alivyoanza tu Shena ndio unywaji gani uwo nilijua apo kazi ipo 😅

    • @RahmhRr-d9v
      @RahmhRr-d9v Месяц назад

      Mimi nikipata muzungu razima nifanye kazi niwe na hela yangu

  • @OnlyRuky
    @OnlyRuky 9 месяцев назад +19

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Daaah sorry but no way ni sichekeeeee😂😂😂😂😂😂😂😂Shenaa Shikamoo kwa utulivu

    • @Fettyelriyam
      @Fettyelriyam 9 месяцев назад +1

      Utulivu vo mimi nimecheka ila yupo smart nimempenda

  • @lydiamnango9388
    @lydiamnango9388 9 месяцев назад +8

    Editha nimecheka mpaka. Kuna ukweli sana ktk maneno yako mengi. Ubarikiwe

  • @MadinaAbduKyabazinga
    @MadinaAbduKyabazinga 9 месяцев назад +15

    Duh mm ningekua ni shena anayehoji uyu dada ningecheka sanaaaaa ayo mashauzi dah 😂😂😂😂

    • @fettyrashid9042
      @fettyrashid9042 9 месяцев назад

      😅jamani

    • @EstherPhinias
      @EstherPhinias 9 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @subrynerysegerow1323
      @subrynerysegerow1323 9 месяцев назад

      Halafu hajuw sasa kujishauwa mpaka anachekesha😂😂😂

    • @helinahenry2363
      @helinahenry2363 9 месяцев назад

      Hahaha, msinichekeshe, yaan mwandishi wa habari Lazima awe mvumilivu

    • @helinahenry2363
      @helinahenry2363 9 месяцев назад

      Kungwi tunayeee hatunaaaa🎉🎉🎉

  • @evaeve8388
    @evaeve8388 9 месяцев назад +4

    I like the way your honest 😊Edith

  • @LalenurBora
    @LalenurBora 9 месяцев назад +1

    Da shena eti unywaji gani huwo😂😂 uwe unawambia,na nimependa umemwambia😂😂😂🎉🎉 hongera kwa ujasiri safiii

  • @mohamoudhussein4570
    @mohamoudhussein4570 5 месяцев назад +1

    Haya Mapozi ni yakishamba sana.Any way Hongera Shena kwa Uvumilivu wako

  • @Louessentials
    @Louessentials 9 месяцев назад +9

    😂😂😂😂😂😂😂leo tumepatikana
    Ila ana nondo pia

  • @suzanmaro686
    @suzanmaro686 9 месяцев назад +4

    Shena upo na utulivu na usikivu hongera kwa kazi nzuri

  • @doriceprosper6588
    @doriceprosper6588 9 месяцев назад +7

    Thank you so much for your channel,,we learn a lot of thngs..May God Bless you sister Sheina❤

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 9 месяцев назад +15

    Leo raha shena umetuletea mcharuko sijui ata ni comment nini mana hataki stress na glass yake ya champagne 🍾 ❤❤

  • @immaculatakadyanji5927
    @immaculatakadyanji5927 9 месяцев назад +8

    Shena anajikaza kucheka😂😂😂

  • @evakabete2944
    @evakabete2944 9 месяцев назад +5

    Huyu dada nimempenda sana kwa sababu anaongea ukweli mtupu kuhusu maisha ya huku ulaya .alafu kunywa wine ni kitu cha kawaida kwa sababu kwenye interview watu wengine huwa wanakunywa maji ,soft drinks au wine

  • @IshipalemyPasko
    @IshipalemyPasko 9 месяцев назад +1

    Mmmh kwa kweli wadada mna kazi. Fanyeni kazi mjiajili hayo Mambo ya kusafili kule na huku Mala kulala beach kisa kutafuta wazungu yanawapotezea utu wenu. Ndo mana mnafanyiwa vitu vya uzalilishaji kwenu

  • @vero57
    @vero57 9 месяцев назад +16

    Mwacheni anywe leo ijumaa , weekend imeanza 😀😀

  • @marykennedymarwa1641
    @marykennedymarwa1641 9 месяцев назад +13

    Sasa? !!! Umejuaje kama hao walioolewa na wanaume wengine hawako happy? Wewe unaona kumpata huyo wako ndio umefika? Wazungu hawatabiriki kwahiyo usiwaponde wenzako ,just pray for your marriage my dear . Tumezeekea ulaya tumeona mengi zaidi yako wewe mkuja .

    • @evakabete2944
      @evakabete2944 9 месяцев назад +3

      We acha tu. Mi niko huku ulaya kwa miaka mingi sana lakini bado nataka niolewe na muafrica mwenzangu

    • @angelalyimo2862
      @angelalyimo2862 9 месяцев назад

      Kweli

    • @RahmhRr-d9v
      @RahmhRr-d9v Месяц назад

      ​@@evakabete2944😂😂😂😂kwanini sasa

  • @subbyluckson6231
    @subbyluckson6231 9 месяцев назад +25

    Mwaka huu hauishi bila kupata mzungu! Amen

    • @evakabete2944
      @evakabete2944 9 месяцев назад +5

      Mimi pia mwaka huu hauishi bila kupata muafrica mwenzangu. Amen

    • @StellaOwden
      @StellaOwden Месяц назад +1

      Me pia mwaka huu hauishii bila kuolewa MUNGU anisaidie

    • @RahmhRr-d9v
      @RahmhRr-d9v Месяц назад

      Mimi pia natamani mungu nipe muzungu alie sahihi,,Amen 👏👏🤲🙏

  • @liannsambu7264
    @liannsambu7264 9 месяцев назад +1

    Ni kweli ,wadada wengi wenye wazungu Wanasemaga ooo ni MUNGU kumbe wanafanyanjia mbalimbali kuwapata ,maana MUNGU ni mwenye finally uwezo wa kuunganisha ila juhudi binafsi nayo inahitajika hasa pale unapolenga tofauti ,So great dear girl

  • @FatmaHamad-g6s
    @FatmaHamad-g6s 9 месяцев назад +4

    Da mzingu kapenda nyonyo mashallah ila ungenyoosha tu kwa kishwahili

    • @Peace-x6s
      @Peace-x6s 9 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 6 месяцев назад

    Umependeza sanaaa na urembo wako umezidi unajua mrembo wangu asante sana Shena nimefurahi sana sana ❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @dorcaskidoti249
    @dorcaskidoti249 9 месяцев назад +2

    😂😂😂😂😂😂 juwa kupatwa kwa mwezi uwiiiiiiiii🙌😉

  • @MARYSHANGWA
    @MARYSHANGWA 8 месяцев назад +1

    Nimeipenda hiyo dada Asante sana kwa kutuelimisha

  • @KirabreezyKira
    @KirabreezyKira 9 месяцев назад +7

    Anachekesha 😅 na kuelimisha vile vile
    One ❤ from Ireland🇮🇪

  • @eunicenangole5740
    @eunicenangole5740 9 месяцев назад +2

    Amen Editha

  • @MartinaMsimbe-qk8ug
    @MartinaMsimbe-qk8ug 8 месяцев назад +1

    Shena❤❤❤Kazi nzuri unatufundisha na kuelimisha, unatoa uchangamfu wa akili. Kumbe watu tuko tofauti kimawazo😂😂😂😂

  • @mummymaduhu5307
    @mummymaduhu5307 7 месяцев назад +4

    Dada anaongea kama ebitoke au mnaonaje

  • @juliethkatabwa5306
    @juliethkatabwa5306 9 месяцев назад +7

    Aisee Leo nimemsikia mdada mmmh wine imemchangamsha😂

  • @PureSoul-rf4xd
    @PureSoul-rf4xd 9 месяцев назад +2

    So sweet to hear ,😂😂😂😂😂jamani mbona umesimama kama sanamu,

  • @stellaprotazibashaijaban-gq4mb
    @stellaprotazibashaijaban-gq4mb 9 месяцев назад

    Asanteni. Asante Rdithar

  • @mummymaduhu5307
    @mummymaduhu5307 7 месяцев назад +1

    Very smart kichwani hata kama awe na mashauzi

  • @mmasipeter4157
    @mmasipeter4157 9 месяцев назад +4

    dadaangu shena we ni mtulivu sana kwenye mahujiano aisee daàaah nakupa mawa yako 🎉

  • @GetrudaMamiro
    @GetrudaMamiro 9 месяцев назад +4

    Tupe somo dada , nimekuelewa, 😂😂😂😂😂

  • @priscao3818
    @priscao3818 3 месяца назад +1

    Huyu ndugu yetu muhaya huyu, haya sawa lkn tumekuelewa 😂

  • @thrillthings
    @thrillthings 9 месяцев назад +8

    Mungu anisamehe, lakini mwanamume ambae sio msafi ni changamoto unaanzaje kutoa harufu jameni .! Khaa inakera

  • @GetrudaMamiro
    @GetrudaMamiro 9 месяцев назад +2

    Hongera dada unangozi nzuri Sana

  • @dinocastico8495
    @dinocastico8495 9 месяцев назад +10

    Huyu edita mcharuko ana mambo ya kindengereko ndio unywaji gani sasa 😂😂😂

    • @helinahenry2363
      @helinahenry2363 9 месяцев назад +1

      😂😂 huku ni kufurahi tuuu.
      Interview Iko vereee

    • @marykisoka4233
      @marykisoka4233 5 месяцев назад

      😂😂😂😂

  • @RaulTech-pp3gc
    @RaulTech-pp3gc Месяц назад

    Uyu dada ikona akiri mingi ❤❤❤❤

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 6 месяцев назад

    Yaani leo somo zuri pongezi Shena❤❤❤❤

  • @hejmabohejhej9
    @hejmabohejhej9 9 месяцев назад +2

    Nimempenda kwa kweli

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 9 месяцев назад +6

    Kwakwel leo tumefundwa vizur sana na tumefundika,nimependa kwakweli❤😊yupo really sana huyu dada

  • @Lizzyktd
    @Lizzyktd 9 месяцев назад

    Ahsante dada kwa kutuletea watu wanatupa Elimu nzur

  • @veelilyn7635
    @veelilyn7635 5 месяцев назад +1

    Huyu dada kafunguka ukweli,,,kitu ambacho wengi walituficha,,katusanua huyu😅😅😂😂😂😂

  • @pendo8082
    @pendo8082 6 месяцев назад +2

    Huyu dada anajishauwa😂😂😂😂

  • @allthingsafrican
    @allthingsafrican 9 месяцев назад +8

    Shena endelea na kazi hii ya kuelimisha jamii

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 6 месяцев назад

    Wowww Editha wangu wewe mbona ulisha kuja kwetu wowwww❤❤❤❤

  • @oiiii3898
    @oiiii3898 9 месяцев назад

    Ushauri wa mapenzi hapo aaaah atuache kidogo pia sio kila mwanaume wa kizungu anapenda hayo mambo yanini sijui anayoyasema. Editha Ahsante tunashkuru

  • @GetrudaMamiro
    @GetrudaMamiro 9 месяцев назад +2

    Wapeee wapeee, kazi kurusha roho za wadada kwenye mitandao. Kujionyesha onyesha kwenye mitandao. Waachaa weee vibabuu tena.. kiutamuuu !!!!!!😂😂🙄🙈😎

  • @machozukumuda6596
    @machozukumuda6596 9 месяцев назад +5

    Jamani dada uyu amenimaliza iyo nyonyo daa mimi sijaelewa kitu apo nijicho elewa apo ni mdada uyo mzungu amependa nyonyo na lips...hongera dada ata kama mimi ni mzungu nisingeruka

  • @JaquelineNaftal
    @JaquelineNaftal 9 месяцев назад

    BEST REAL INTERVEIW KUHUSU KUOLEWA NA WAZUNGU....ASANTE SANA SHENA NA DADA ETU

  • @ELIZABETH-uz6dv
    @ELIZABETH-uz6dv 8 месяцев назад +3

    Leo ni Leo 😂😂😂😂huyu Dada kiboko 😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @chumchum1526
    @chumchum1526 4 месяца назад +1

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂nini hiki jamani. Hawa ndio mwisho wamsumbua shena interview ifutwe kah!

  • @SophiaJoseph-k9m
    @SophiaJoseph-k9m 9 месяцев назад

    Nimependa sana Asante dada

  • @oliviaseth4652
    @oliviaseth4652 9 месяцев назад +9

    Kuna ubaya gani kujipatia wine 🍷 👌 😋?

  • @SunnahMickdady
    @SunnahMickdady 2 месяца назад +1

    Bye Hii siwezi mapozi gani haya 😂😂😂

  • @KirabreezyKira
    @KirabreezyKira 9 месяцев назад +3

    Funny 😄 and smart 😘

  • @NeemRamadhani-j8h
    @NeemRamadhani-j8h 9 месяцев назад +4

    Uyo dada ana akili sana, nmempenda sana.

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 6 месяцев назад

    Yaaani asante Shena

  • @allthingdranabeauty
    @allthingdranabeauty 9 месяцев назад +2

    Kasema kweli yuko mkweli sana jaman wine ulaya kam maji watu wanavyokunywa wazungu kawaida sio kam analinga na mtundu mtundu Dada wa watu always yuko ivyo 😂🥰

  • @deuskusaga8156
    @deuskusaga8156 9 месяцев назад

    Pandisha madiriasha😅,tuma kisamvu izo style gan😂😂🏃🏃

  • @Peace-x6s
    @Peace-x6s 9 месяцев назад +1

    Ze nyonyo uwiiii🌝

  • @Iantussa
    @Iantussa 9 месяцев назад +1

    Ninapenda sana utulivu wa shena na uvumilivu ako nao❤

  • @Aidaanatory
    @Aidaanatory 8 месяцев назад +1

    Ahsante nazidi kujifunza na kupata idea mpya kila Leo .ahsante da zena mm nilikuwa na hizo akili mgando kuwa nikipata mzungu nimepata kila kituu😅😅😅😅😢😢😢

  • @richardrichope3528
    @richardrichope3528 6 месяцев назад +1

    Hatari aiseee 😂😂

  • @suziemichael4338
    @suziemichael4338 9 месяцев назад +8

    Huyu dada nahisi kalewa . Hii kiboko

  • @devothasimbi6495
    @devothasimbi6495 9 месяцев назад +7

    Nimecheka mpaka basi hapo kwenye mamabo ya chumbani,mdada kafunguka vilivyo nimejifunza kitu

  • @pablomnyama
    @pablomnyama 9 месяцев назад +15

    Dada mambo mengi sana uko kwenye interview tulia bhac hata hivo dada shena una moyo kwa vituko hivi umejikaza sana m😅😅😅😂😂😂😂😂😂

  • @helinahenry2363
    @helinahenry2363 9 месяцев назад +1

    Ntapataaaaa ntapataaa, Editha kasemaaa nani apinge sasaa ayeeehh

  • @ReginaErnest-cf6ji
    @ReginaErnest-cf6ji 9 месяцев назад

    Da shein Bhan mpole mwenyewe😂😂😂😂😂 ww nawe unywaji gan tena😂😂😂😂

  • @sellysang7504
    @sellysang7504 9 месяцев назад

    Hi beautiful, I know of woman who has been given cars, houses n me seeing one of them n my husband is not a mlionea ,n not babu , married 33 years n happy Just like ny other marriages ups n down , n I not wrokd all my 33 together , I think each one has a different case , depending on who meet yes it not easy to live here but it is possible ❤Just saying 😊😊😊😊

  • @Asmaah-eb3ti
    @Asmaah-eb3ti 9 месяцев назад +11

    Naomba niwe na subra kama ya dada shena😂😂😂

    • @Judy-dy4zt
      @Judy-dy4zt 9 месяцев назад +1

      😂😂

    • @damariszuckschwert9489
      @damariszuckschwert9489 9 месяцев назад +2

      Hii ya Shena ni pro max kwa kweli😂😂😂mimi sitoboi

    • @helinahenry2363
      @helinahenry2363 9 месяцев назад +1

      😂😂😂usinishirikishe kwenye haka kadhambi kadogo jmn😂😂😂

    • @ilakozasembumende1975
      @ilakozasembumende1975 9 месяцев назад +1

      Da shena kwa uvumilivu na subira ni kiboko uwiiii dunia hiii kupata mtu wa kusikiliza hiv uwiiiiii da shena pokea maua yako

    • @queenkameta9891
      @queenkameta9891 9 месяцев назад +1

      🤣🤣🤣🤣 kwakweli

  • @damariszuckschwert9489
    @damariszuckschwert9489 9 месяцев назад +1

    Hapo kwa kuvuta hisia na Justin Bieber kha hahahaaa😂

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 6 месяцев назад

    Woowwww❤❤❤❤

  • @upendogreutert199
    @upendogreutert199 9 месяцев назад +1

    Shenaaaaaaaa na wewe umepewa kitchen party au 😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @agriparose3942
    @agriparose3942 6 месяцев назад +2

    Sijapenda mengi ila Kuna niliyojifunza

  • @nafuwswedi2465
    @nafuwswedi2465 9 месяцев назад +3

    WaTanzania sasa tunazidi kuongezeka Switzerland,Karibu sana Mdogo wangu,uko Mkoa gani Switzerland?

  • @laetitiamathe5779
    @laetitiamathe5779 9 месяцев назад +1

    ❤❤

  • @BERLINHENRY-tc8em
    @BERLINHENRY-tc8em 6 месяцев назад +1

    Nimependa kasema ukweli wake wazungu tuna stress😂

  • @zaydelabay9776
    @zaydelabay9776 9 месяцев назад +2

    Leo ndio leoooo🎉🎉🎉🎉

  • @vickysimon8788
    @vickysimon8788 8 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂 pangusa dirisha ,, hapo kwenda ubunifu aka wazungu wachafu sitaki, watumia tishu hao

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 6 месяцев назад

    Tunashukuru sana

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 6 месяцев назад +1

    Ila pamoja na yote ,nimekusikilizq umeongea mambo ya msingi

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 9 месяцев назад +3

    Jamani eti imagine just Bieber anakupelekea moto daah nimecheka sana😂😂😂

  • @zeinababdi4757
    @zeinababdi4757 9 месяцев назад +4

    One thing in this life is to be well educated and/ or well-behaved Especially for women.
    The lady who is conducting the interview has class but the guest????? You go figure.

  • @sospetermanyama8294
    @sospetermanyama8294 Месяц назад +1

    Punguza mapozi bhana yaani ni kwamba hata kiswahili umesahau wacha majidai bhana

  • @lilywei2967
    @lilywei2967 9 месяцев назад

    😅😅😅wewe Ni mzuri jikubali jipende

  • @TerryBukuku
    @TerryBukuku 20 дней назад

    Dada Mimi Niko Arusha natafuta kazi zakulea wazee napenda sana napo honawazee nawatoto najuwa kuwachekesha mpendwa

  • @BabyfaiyaSalum
    @BabyfaiyaSalum 9 месяцев назад

    Dada shena yani napenda tu anavyoitika hahahaha

  • @mariammajiba
    @mariammajiba 9 месяцев назад +2

    Huyu dada amejua kunichekesha 😂jamani hiyo glass imeingia yote mdomoni bila shida yoyote