NILIKUA WAITRESS SASA NAISHI DENMARK |UKIFIKA ULAYA UNAPASWA KUFANYA NINI ILI KUBAKI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 янв 2025

Комментарии • 51

  • @OfficialDatingAssistance
    @OfficialDatingAssistance  8 месяцев назад +17

    Instagram: Nyalwanda

  • @hadijakassim7597
    @hadijakassim7597 6 месяцев назад +2

    Mungu atusimamie hizi lugha za watu hizi nikumbambana tu nimeishia form 4 Ila Nipo Austria napambna Ahsante dada shena najifunza sana kupitia ww na kuwa na uvumilivu zaidi nawaona wanagombana hata siingilii hayanihusu kama ulivyo sema,Ubarikiwe sana 🙏

  • @NajimKasonso
    @NajimKasonso 2 месяца назад +2

    Best interview ever....on my behalf lakini

  • @zainabsibuma-omary7061
    @zainabsibuma-omary7061 8 месяцев назад +3

    Asanteni sana kwa maelezo ya kina kuhusu hii program.
    Vijana wachangamkie fursa ndo hizo.

  • @anethcharles5443
    @anethcharles5443 8 месяцев назад +7

    Asante sana kwa darasa zuri sana Mungu akubaliki pia dada shena uzidi kutupa vyuma ❤❤

  • @ImeldaIsdory
    @ImeldaIsdory 8 месяцев назад +2

    Hongera sana Nyalwanda. Uko vizuri. Maisha ni mapambano!

  • @SaraphinaKweka-rp1lg
    @SaraphinaKweka-rp1lg 5 месяцев назад +1

    ❤shena nakupenda sana unatupa elimu nzuri saana

  • @winfridamdaki5699
    @winfridamdaki5699 8 месяцев назад +4

    Hongera sana Nyalwanda kwa elimu nzuri sana

  • @Jammie626
    @Jammie626 8 месяцев назад +2

    Asante sana Nyalandwa Kwa maelezo ya Opea

  • @kelvinmutale2104
    @kelvinmutale2104 8 месяцев назад +3

    Asante Dada Shena kwa shule

  • @weveeernest9911
    @weveeernest9911 8 месяцев назад +2

    Uko smart sana kichwani hongera .

  • @lillyborah1060
    @lillyborah1060 8 месяцев назад +3

    Nimejifunza sana nyalwanda asante sana.

  • @ElizaAmbrose-mf1bs
    @ElizaAmbrose-mf1bs 6 месяцев назад +1

    Nashukur sana nimeelewa hiki kipindi.

  • @mariambakari8065
    @mariambakari8065 7 месяцев назад +1

    Umeongea vizuri na uwazi zaidi

  • @MarthaZabron-gg3uj
    @MarthaZabron-gg3uj 8 месяцев назад +2

    Asanteni sana ya leo ni kali sana

  • @neysagadiely
    @neysagadiely 7 месяцев назад +1

    Asante sana nyarwanda

  • @NanaMugisha-e4i
    @NanaMugisha-e4i Месяц назад

    Dada anaroho nzuri hana uchoyo

  • @NzeyimanaVéronique
    @NzeyimanaVéronique 7 месяцев назад

    Iyo kweri asant kW mashauri

  • @samwelirukondagwahula8211
    @samwelirukondagwahula8211 8 месяцев назад +1

    Hongera sana

  • @nicekweba9920
    @nicekweba9920 8 месяцев назад +1

    Hongera shena wetu😊

  • @NanahBrown
    @NanahBrown 4 месяца назад

    Dada kaongea vzr mn hajaficha Kama wengne tunashkur mn hapo ni sisi2 kujiongeza na kujitahd

  • @SuzanKiss-vx4il
    @SuzanKiss-vx4il 7 месяцев назад

    Sister shena huja pin iyo link ya agent aliyosema jamany alafu huyu dada kaongea vizuri sana. Ulete watu kama hawa dada angu naomba pia upate interview na Judith J kombe 🙏 🙏

  • @linkreuben3108
    @linkreuben3108 8 месяцев назад

    Nice interview

  • @lillyborah1060
    @lillyborah1060 8 месяцев назад +2

    Niko na msichana wangu anamalizia kusomea care giving in Kenya anahitaji maelezo zaidi atakupata vipi nyalwanda??

  • @anethcharles5443
    @anethcharles5443 8 месяцев назад +2

    Naamin ipo siku nami nitashuhudia

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 6 месяцев назад

    Majina pls ya hizo agency
    Km ninacare

  • @richardsaikong1138
    @richardsaikong1138 8 месяцев назад +2

    Naomba kufahamu kwa nini jina linaitwa "official dating assistance"

    • @OfficialDatingAssistance
      @OfficialDatingAssistance  8 месяцев назад +3

      Ni ukurasa wa kuongelea mahusiano, mitandao ya kimagusiano, utamaduni, ughaibuni na maisha

  • @lillyborah1060
    @lillyborah1060 8 месяцев назад

    Naomba umshauri mwanangu yuko 20years saa hii.

  • @babyboy6310
    @babyboy6310 7 месяцев назад

    Ana we kutoka wapi Tanzania

  • @dorahbenard1837
    @dorahbenard1837 8 месяцев назад +9

    Samahani me nina swali hiv wanaume hawawezi fanya kazi hiyo?

    • @Nyalwanda
      @Nyalwanda 8 месяцев назад +3

      Unaweza

    • @lillyborah1060
      @lillyborah1060 8 месяцев назад +2

      Mafunzo mazuri dada sheena from Kenya 🇰🇪.

    • @dorahbenard1837
      @dorahbenard1837 8 месяцев назад

      ​@@Nyalwandaay asantee my dear 💖

    • @liljammacha7806
      @liljammacha7806 7 месяцев назад

      Umeambiwa wanaweza jinsia zote mdg wangu

    • @JamesKyara-gl1wb
      @JamesKyara-gl1wb 7 месяцев назад

      ​@@Nyalwandavyeti vya kutokua na ndoa ndo vmepanda ad 200k

  • @dayana5513story
    @dayana5513story 8 месяцев назад

    🔥🔥🔥🔥🔥

  • @DoreenMwanga-dg7xp
    @DoreenMwanga-dg7xp 8 месяцев назад +3

    Asante

  • @zahramohammed2337
    @zahramohammed2337 6 месяцев назад

    Nitabaki oman uko bila kingereze utoboi😂😂😂😂😂

  • @mariansumari2179
    @mariansumari2179 4 месяца назад +1

    Jamani acheni kuweka akili zenu Ulaya , ulaya hata hapa nyumbani ni ulaya , tafuta fedha wanawake wenzangu utaishi like you are Europe , asilimia 90 ya maisha yangu nimeishi na wazungu , sasa maisha yangu kwa muda mrefu niko zanziber nasafiri east africa zote nimejenga Dar mbezi beach nina mazuri sana , kama ni kupenda kuishi ulaya ningekua Canada namshukuru MUNGU sikuwahi kupenda kuishi na wazungu lakini badae ndio nimekuja kuwajua ni watu wa aina gani , wanawake wenzangu pambanieni maisha hapa hapa nyumbani mtat🫶🫶🫶💪💪💪💪

    • @liannsambu7264
      @liannsambu7264 4 месяца назад +1

      Acha kila mtu apambanie NDOTO yake ,kama wewe ya kwako haiko ULAYA acha wenye za ULAYA wafatilie dear hapa DUNIANI kila mtu anakitu chake best

    • @dorislema2465
      @dorislema2465 4 месяца назад

      Nikama vile unatoho mbaya,,mtu atafute ela namtaji hana na ajira akuna kwanin asiendekujitafuta akapata akarudi kufanya biasha zake ili wawe na maisha mazur kama yako?acha kukatisha watu tamaa

  • @NzeyimanaVéronique
    @NzeyimanaVéronique 7 месяцев назад

    Iyo kweri asant kW mashauri