Hongera sana dada na Mungu awape furaha, na mimi pia nina mwanaume kutoka USA namsubiri tuna miezi 9 sasa tuna relationship nzuri sana nimejifunza mengi sana kupitia yule mwanaume na kwako pia
Congrats 👏. You're love story is just like mine. I left Tz after I finished High School 28 years ago to 🇺🇸. Met my husband online. We talked for 3 months then we got married. Has been 15 years since we got married, we have 3 beautiful kids. I am finally planning to take them to Tz ..Inshallah. Good things happened to Good people .. Always wait no need to rush to married, wait till you found your Soul mate.
Mngejua wazungu wanawaoa sana miaka hii baada ya kupigwa sana na COVID so wanaogopa kupoteza kizazi chao not because they love you black girls too much please wakeup girls 😢
Mtihani kweli Tena wanapongezana kwa mambo ya upuuzi. Unakuta mpaka waandishi wa habari wa Tnz wajinga kupata mzungu wanaona kitu cha kutangaza, ujinga unewashika kuanziq w’ke mpaka w’me, vijanq mpaka wazee wao.
Hilo la dini kama biashara siyo kweli Mama.😮 . Labda kwa huko Austria, au kwake yeye bwana Jamaali. Ndo anaona ukristo ni kama biashara. Mi naona hiyo ni personal way of thinking . Siyo kwa kila mzungu au mtu mweupe.
Huyu mdada wa Austria hajakosea kusema dini ya kikiristo ya business.Awa wazungu aswa mumewe amemwambia hivyo.Mimi naishi uko ulaya ni jilani zangu na lugha ni hiyo.Niwepesi kubadilisha dini aswa vijana hata kanisani hawahendi ni wazee na watu wamakamu ndio wanakwenda vijana hawana time.Wengi sana niKatolik wanazaliwa katolik .Angalia Amekwenda TZ muda mfupi Kasilimu na kufunga ndoa tena zote mbili wamemconfice unawajua kakubali katailiwa na kufunga ndoa.Wazungu hawatailiwi nivingeni kwao.Ata UK wahislamu wamenunua sana Makanisa nakufanya misikiti.Watu hawaendi makanisani .Na wazungu akisema ndoa basi ni basi hakuna kama nyumbani kwa wazazi peleka ushauli ni No no Finish.Nine nine Ende.
Samahani dada sio wakristo wote wamefanya dini biashara, so ungesema baadhi na sio ohh hii dini yao ni biashara, please. Good that you got a men and married
Wadada wa kibongo..changamkieni tenda hiyooo!!! Si mnatakaga MDhungu..Kitu Austria hiyooo..Huitaji air conditioning unit hukooo..kitu full natural kiyoyozi karibia nusu mwaka. Tena nashauri wadada wa KiJALUO ndo wapply kwa wingi..sababu wanahitaji uweupe kidogo kwenye kabila.
Afu munaotoa mapovu munateseka mukiwa wapi? Kwani lazima kumuonyesha mume au mpenzi mitandaoni?awe mzee,awe kijana,kilema au mzima,kafata mapenzi au pesa ni yeye na wakwake,ivi kumfanyia chuki mtu haumjui na hakusaidii na haimsumbui ni ujinga wa akili,dada mungu akutunzie chako enjoy wa bwinde endeleeni kuteseka🤣🤣🤣🤣
Ahsante Unajua kuna watu hawajui vitu lakini wanajiona wanajua kila kitu… hii ni Diaspora Talk ni kipindi ambacho sns wanafanya kujua maisha ya wanaoishi ughaibuni.. Kama wazungu wanawapa homa basi ni vizuri wasifatilie tu 😁
Pole kwa kunielewa tofauti, Naheshimu sana imani ya kila mtu. Ila nimeongelea asilimia kubwa ya wazungu namna wanavyoichukulia dini kwa mitazamo yao. (Asilimia kubwa) wapo baadhi wanaichukulia kwa uzito sana. Niombe radhi kama kuna Mwingine alielewa tofauti.
@@OfficialDatingAssistancewewe umempata boya wako anakugeuza kinyume cha maumbile unajisahau na kuanza kukashifu imani za watu wengine acha upuuzi wako wewe
@@kabwelasutiviraka4765we unahuwakika gani aise kwani ulienda kumshikiya mguu au na hili unalolitaja litaingiya kwa familiya yako nione kama utamuuwa au we utajinyonga
Aisee sijasililiza nimesoma comment tu Ila kiukweli epuka sn kuongelea Iman za watu ! Sbb Imani ni kitu nyeti! Hao wazungu unaowasemea ni kizazi tu ambacho kilitokea nje ya mstari,na ss Yesu Yuko kazini kinarudia! There's a great revival s coming,Yesu Yuko malangoni
Ni vizuri kwa profile yako uandike Usichochataka itakusaidia kuepuka this staff, i have been in the apps like you and nikakutana na changamoto za hivyo but nilipobadili profile yangu na kuandika nachotaka serious na nisichotaka at the i was successful nilipata and I am Switzerland 🇨🇭 now.
Ungefunga ndoa ya bomani kuliko kumlazimisha mume awe Jamal... its intimidation of high level. Let everyone of you retain own name appearing on all papers.
Jaman dada shena nashindwa ata kupata no yak nifanyeje Mimi ???hii akaunt n ya kaka yang nimekutumia tuu ili nipate mawasiliano yako najaribu kuingia nashindwa
Mimi naomba tu anitafutie kazi yeyote hiyo sichagui ila tu isiwe ni yq kumuudhi Allaah napenda kujitafutia sio kuomba omba au kuoata vya bure hivyo naomba anisaidieni kwa mwenye no yakeee
@@Fear_Allah394 mm mwanume yeyote atakaeonesha upendo tu ndio naezana nae amabe ana hofu ya mungu mambo ya kutaka wazungu wakati mm si mzungu sio poa hawa wa kwetu wataoa kina nani?
Nakupenda sana Dada Shena Fo..i chatted you whatsapp
Du una usikivu wa hali ya juu full of wisdom hongera
Hongera dada Shena Fo
Jmn nyie hatimae nmeona Interview ya da shenaaa uwiiiiiii❤ nmeipnd jmn
Uko Safi kabisa
Mungu akufanyie wepes
Hongera sana Dada Nimekupenda buree
Hongera sana Shena. Way to go
Interview nzuri sana
Ahsante @witnesvlog
Asantee sana dada ❤
Hongera sana beautiful girl, ni jambo zuri. Vp matokeo ya mradi kutoka kwetu.
Hongera sana dada na Mungu awape furaha, na mimi pia nina mwanaume kutoka USA namsubiri tuna miezi 9 sasa tuna relationship nzuri sana nimejifunza mengi sana kupitia yule mwanaume na kwako pia
Naomba tuongee kidogo na shida na ww
I need mzungu
Oooh wowooo
Naomba nambayako ynguhii
Congrats 👏. You're love story is just like mine. I left Tz after I finished High School 28 years ago to 🇺🇸. Met my husband online. We talked for 3 months then we got married. Has been 15 years since we got married, we have 3 beautiful kids. I am finally planning to take them to Tz ..Inshallah.
Good things happened to Good people .. Always wait no need to rush to married, wait till you found your Soul mate.
Allah bless you and your family 🙏
Nice 😅😅
whicch mtandao😅
I'm in relationship with a man online he is so lovely from USA I hope we will meet soon inshaAllh
Allah bless you 🙏
Namshukuru Sana uyo dada Mara ya kwanza alinipa ushauri nikapata mzungu na Sasa nimechumbiwa 🙏🏼
😢😢😢 namm nataka mzungu mum
@@salmaalimusa6809 😂😂😂😂😂Tulia wagogo wako single wewe
@@nicksonmbilinyi5843 😂😂😂😂wallah this to much 😅😅😅
@@maryamanalisi197 🤣 seriously 🤣
@@allahisone6386 yani nmecheka sana
Shena naomba yako mimi naitwa madam Happiness
Yako ndio nn
Naomba nami unitafutie mme wa uko
Mashallah kabadili dini mungu awabariki
Samahani kusema wakristo ni biashara siyo kweli siyo wakristo wote mimi pia nipo ulaya na naheshimu dini zote
Sio kweli ukristo sio biashara, hapo amekosa the right information.
Shena Fo respect religion. it’s wrong to say Christianity is a business
Mngejua wazungu wanawaoa sana miaka hii baada ya kupigwa sana na COVID so wanaogopa kupoteza kizazi chao not because they love you black girls too much please wakeup girls 😢
Interviews kama hizi utakuta hazina viewers nyingi ila unakuta mdada au mkaka kutwa anataka mahusiano na mtu wa nje ya jamii zetu. Safi sana Sky
Our girl is shining. Hongera kwa hili
Dear Shena naomba unisaidie nataka kama wewe ulichofanikiwa plz
Mashaallah Shena mungu ukubali sana
Nataka mume, naomba nisaidie kuniunganisha na mtu wa huko
Ahsante sana dada kwa kaz yako
Amazing ❤❤❤❤❤
We loves you shena❤️❤️❤️❤️
MashaAllah interview safi sana
Mmh yakweli hayo
Ahsante ninafarijika sana na nitajifunza mengi kutoka kwako
MashaAllah ❤❤❤
yesss
Nitafutie mwana dada pia Mimi natoka Kenya God bless you
Afro introduction, international cupid, Interracial Cupid, OK cupid wazungu wengi tuuu
Hizo zote zinataka pesa bila pesa haifunguki mimi nimengia imegopa inatak pesa 😅😅😅
@@kanghanhankang1440 inafunguka chat na watu wenye alama ya blue nlau gold inafunguka vizuri tu
Mashaallah❤️❤️❤️❤️
Masha Allah
😂😂😂😂 wafrika ni upeo wetu ni mdogo sana. Eti wanawake wanawekeza katika kupata wazungu.wanawake fanyeni kazi
Mtihani kweli Tena wanapongezana kwa mambo ya upuuzi. Unakuta mpaka waandishi wa habari wa Tnz wajinga kupata mzungu wanaona kitu cha kutangaza, ujinga unewashika kuanziq w’ke mpaka w’me, vijanq mpaka wazee wao.
😅😅😅😅😅😅
Hilo la dini kama biashara siyo kweli Mama.😮 . Labda kwa huko Austria, au kwake yeye bwana Jamaali. Ndo anaona ukristo ni kama biashara. Mi naona hiyo ni personal way of thinking . Siyo kwa kila mzungu au mtu mweupe.
Hongera mamy
Ahsante Sana Dada
Nime enjoy sana iyi interview
Huyu mdada wa Austria hajakosea kusema dini ya kikiristo ya business.Awa wazungu aswa mumewe amemwambia hivyo.Mimi naishi uko ulaya ni jilani zangu na lugha ni hiyo.Niwepesi kubadilisha dini aswa vijana hata kanisani hawahendi ni wazee na watu wamakamu ndio wanakwenda vijana hawana time.Wengi sana niKatolik wanazaliwa katolik .Angalia Amekwenda TZ muda mfupi Kasilimu na kufunga ndoa tena zote mbili wamemconfice unawajua kakubali katailiwa na kufunga ndoa.Wazungu hawatailiwi nivingeni kwao.Ata UK wahislamu wamenunua sana Makanisa nakufanya misikiti.Watu hawaendi makanisani .Na wazungu akisema ndoa basi ni basi hakuna kama nyumbani kwa wazazi peleka ushauli ni No no Finish.Nine nine Ende.
Tuamfikkie even cite😊
Samahani dada sio wakristo wote wamefanya dini biashara, so ungesema baadhi na sio ohh hii dini yao ni biashara, please.
Good that you got a men and married
Nice show
Dada jaribu kuwa na staha unapofanya jambo la kujenga kitu chako kwa kutumia jamii pana yenye mlengo tofauti. Una uhakika dini yako ni sahihi sana?
Msomi huyoo.
Uko sahihi sanaaa umeongea vizuri sanaa napenda sanaa mazungumzo
I love your story sister
Chang amoto mno wazungu sio wote Wenyewe kwanyewe maeleno sio mazuri
Hakuna ujirani mr Bundara kila mtu na lake unaweza kufa ndani pekeyako
Hello mzima, naomba unisaidie kupata mweza wa maisha kutoka Switzerland, Marekan, canada, Australia mm. Nina miaka 30 dini yangu ni Muslim
Ingefaaa utafute Iran, Iraq,Yemen, Egypt etc huko Muslim wamejaa telee utapata kirahisi zaidi
Wadada wa kibongo..changamkieni tenda hiyooo!!! Si mnatakaga MDhungu..Kitu Austria hiyooo..Huitaji air conditioning unit hukooo..kitu full natural kiyoyozi karibia nusu mwaka. Tena nashauri wadada wa KiJALUO ndo wapply kwa wingi..sababu wanahitaji uweupe kidogo kwenye kabila.
😂😂😂😂
😂😂😂
Ila wew😂😂😂
Good job shena
I also need one...plz do the needfully
Mwezi mmoja mtu anakuoa na mmedumu ni Mungu alikusaidia.. lkn ukijichanganya kidogo tu utajuta
Nimependa story yako ubarikiwe
Afu munaotoa mapovu munateseka mukiwa wapi? Kwani lazima kumuonyesha mume au mpenzi mitandaoni?awe mzee,awe kijana,kilema au mzima,kafata mapenzi au pesa ni yeye na wakwake,ivi kumfanyia chuki mtu haumjui na hakusaidii na haimsumbui ni ujinga wa akili,dada mungu akutunzie chako enjoy wa bwinde endeleeni kuteseka🤣🤣🤣🤣
Ahsante
Unajua kuna watu hawajui vitu lakini wanajiona wanajua kila kitu… hii ni Diaspora Talk ni kipindi ambacho sns wanafanya kujua maisha ya wanaoishi ughaibuni.. Kama wazungu wanawapa homa basi ni vizuri wasifatilie tu 😁
watu wanamnena mtu vibaya sana aisee mpaka imeniuma lkn huwezi juwa labda anaye elezeya vibaya yamemfika lkn but siyo wazungu wote wabaya.
Shenanigans ongera naomba namba zako kama hautojali na mazungumzo kama hautojali natamani nipate mke wa kizungu
Hongera. Ila me nina swali🤔 imetokea umebadirisha dini na jina then mmeachana? Utaishi kweli na hiyo dini na hilo jina 🤔🙋🏾♂️
Tuko 2023 na hii ni kawaida si kitu cha kushangaza aisee
Jina la mtandao
Tunaomba katika interview zako uwe unatuonyesha na picha za hao wanaume Wazungu mlioolewa nao tuwaone sasa! labda Wababu je?
Jaman naitaj kwel kuchangia ila nashindwa kufungua hay maelekezo yako dada bwn Mimi cy mtundu wa hay mambo
Shena naomba no yako
Hongera sana
Thanks dear
Ubarikiwe sana
We dada huna maana umempata boya wako acha kuita wakristo dini ya biashara
Pole kwa kunielewa tofauti,
Naheshimu sana imani ya kila mtu.
Ila nimeongelea asilimia kubwa ya wazungu namna wanavyoichukulia dini kwa mitazamo yao. (Asilimia kubwa) wapo baadhi wanaichukulia kwa uzito sana. Niombe radhi kama kuna Mwingine alielewa tofauti.
@@OfficialDatingAssistancewewe umempata boya wako anakugeuza kinyume cha maumbile unajisahau na kuanza kukashifu imani za watu wengine acha upuuzi wako wewe
@@kabwelasutiviraka4765we unahuwakika gani aise kwani ulienda kumshikiya mguu au na hili unalolitaja litaingiya kwa familiya yako nione kama utamuuwa au we utajinyonga
Aisee sijasililiza nimesoma comment tu
Ila kiukweli epuka sn kuongelea Iman za watu !
Sbb Imani ni kitu nyeti!
Hao wazungu unaowasemea ni kizazi tu ambacho kilitokea nje ya mstari,na ss Yesu Yuko kazini kinarudia!
There's a great revival s coming,Yesu Yuko malangoni
Hongera dear
Bye shena
nami natafuta mzungu nafanyaje
Eti dini wamefanya kama biashara, jamani waislam😩😩🙌
Rekebisha hapo unapoongelea imani ya kikristo, and be careful unapoongelea imani za watu
🥰🥰
Niunganinishe mm pia
Waoo
Kumbe tupo nchi moja Austria 🇦🇹
Na wewe umeolewa huko
I am glad to hear
Upo state gani ?
@@OfficialDatingAssistance VORARLBERG
@@zahrababygarl1568 ndio
Niko Dubai na mtandao wa Tagged dah nakutana na wabangali na parksatan na wahindi tu 😂😂😂😂😊
Kaka Frederic Bundala..naomba tuwasiliane..niko Austria..kuna Story itakayokupendeza May be
eeh MUNGU nibariki na mm nionane na mtu wangu soon atakuja kuniona
Akija muulize ana mdogo wake amipe mimi maan nimechoka app kila app nikipita napat wataka uchi tu na video sex na mastabes 😢😢 naumia eti
Ni vizuri kwa profile yako uandike Usichochataka itakusaidia kuepuka this staff, i have been in the apps like you and nikakutana na changamoto za hivyo but nilipobadili profile yangu na kuandika nachotaka serious na nisichotaka at the i was successful nilipata and I am Switzerland 🇨🇭 now.
Uwe tu mvumilivu utafanikiwa
@@upendogreutert199 kivipi love naomba mawasiliano yako
@@upendogreutert199 upitie Milano uje kutupa hi
Ungefunga ndoa ya bomani kuliko kumlazimisha mume awe Jamal... its intimidation of high level. Let everyone of you retain own name appearing on all papers.
Hongera zake!
Wewe ulitumia mtandao gani kumpata huyo mzungu. Je ni Free au ulikuwa wa kulipia tupe link plse
Good video
Nielekeze pia
Wajerumani wengi wanajua kijerumani. Lakini hawataki kuongea wanataka wewe uongee kijerumani
Mashaallah Shena
❤❤❤❤❤❤
What's the same of dating app mm mambo na kuchange dini siwezi
Naitaji nafasi iyo nitapaje msichan waugaibun
Hongera sana my dear nimekupenda umejielewa kwenye msimamo wako wa dini mimi naishi sweden karibu sana
Ahsante sana 🙏
Emu nitafutie my na mm plz my .
@@hanifahanifa1010 😂😂😂😂
Jaman dada shena nashindwa ata kupata no yak nifanyeje Mimi ???hii akaunt n ya kaka yang nimekutumia tuu ili nipate mawasiliano yako najaribu kuingia nashindwa
Kazi yako ni njema sana.
si wote
Niambie dadaangu mbona pia mimi nami natafuta nami nitafutie basi
Nimekuja mbio eeh hao wazungu wako wapi sasa na mm namtaka mzungu labda hawatatupiga vitu vizitoo
Nielekeze namie
Mm nina shida na namba zako
Nimalize kunyonyesha nitafte mzungu mie
😂😂😂😂olewq na baba toto bna
Olewa na mtoto Kwan Kuna ubaya gan 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂aisee watu wengine!
Kama mtu ajui English je ataongeaje na huyo mnzungu
Mr Bundara uwazi kufanya chochote ujerumani bila kusoma 1year
Mimi naomba tu anitafutie kazi yeyote hiyo sichagui ila tu isiwe ni yq kumuudhi Allaah napenda kujitafutia sio kuomba omba au kuoata vya bure hivyo naomba anisaidieni kwa mwenye no yakeee
Unataka mzungu halafu usimuudhi Allah? Uchafu mkubwa wanaoupenda wazungu nyuma.
@@Fear_Allah394 mm mwanume yeyote atakaeonesha upendo tu ndio naezana nae amabe ana hofu ya mungu mambo ya kutaka wazungu wakati mm si mzungu sio poa hawa wa kwetu wataoa kina nani?
Google aupea visa in German. Utafute familia inayohitaji mtu wa kukaa nao kuwasaidia kazi
@@ghelimafilemon9653 sijui na sina rafik napata je?
@@munaahmed8499 mbona simpo tu mpenz nchi za ughaibuni safar chapu maisha yasongeeee
Mimonilifikir wewe ni mkristo
Mm mzungu niko nae apa😂lkn sina hamu yakuolewa ata
tule hela tu😂😂😂😂 hasira zako Kali sana
😂kwann