Sijawai comment ata siku moja nimesikiliza vipindi vingi kutoka @FixYou but for the first time leo nimejifunza nimepata mwalimu She is the Best kwenye icho kitengo I wish awe anakuja kutufindisha mara kwa mara maua yake please🌹🌹🌹💐💐❤❤❤
Ndoa ngumu kwa hiyo Mungu mgumu. Tusigeneralize hivyo.ke mwema anatoka kwa MUUMBA. Ndoa nyingi zinaanza na mila potofu mbuzi wa mababu Mizimu drama za Shetani. Mlioolewa wengi mnalala sana usingizi. Mnabase ktk Utakatifu wa kufunga ndoa.vivyo hivyo Hawa waume kwaya inakuwa byeeee
Nilikua natafuta sana mtu mwenye mindset kama hii, dada Salome Mungu akulinde na akuinue zaidi. This has impacted my life, I really needed to hear this right before I get married
Ukikuzwa kiutamaduni wakuomba Ruhusa basi hutoona shida kabisa👏🏽,binafsi nimekuzwa ni muhimu kuomba ruhusa nyumbani kwa Wazazi endapo ni sehemu tofauti na kazini ,though kuna muda mwanzoni unaona kero but Kama wazazi wangu wanaona ni muhimu na ni kwa usalama zaidi hiyo ndio point Yao kubwa kwetu kutuelimisha,MUNGU atusaidie.
Kuhusu majukumu hasa katika masuala ya kifedha, kwa asili yake Mwanaume anapaswa ahakikishe basic needs zinapatikana lakini kwa mwanamke anapaswa kushughulika na masuala ya Elimu za watoto n.k, lakini ushiririkiano ni muhimu lakini kila mtu anapaswa kuratibu eneo kwa asili au makubaliano!!!
Elimu NI mwanaume... Both elimu ya darasani na elimu ya duniani huku. Baba unastahili uwe vizuri. Mama analea mpaka miaka mitano yaani anamtambulosha mtoto duniani kazi inayofuata ni ya baba kwa asilimia kubwa kumuongoza katika kufanya chaguzi nzuri za maisha Hali kadhalika jinsi ya kukabiliana na mazingira yanayomzunguka. Ingekuwa mwanaume NI kutafuta pesa Pekee hata mwanamke anaweza kufanya, na hapo inakuwa umetunza na sio kulea. Kwa hiyo mwanaume anastahili kuwa vizuri kwenye kila sekta. Tukiwaachia kila kitu wanawake tutatenge eza kizazi kibovu ndio maana kila siku wanalalamika wakina baba hawako available...
Irene, big fan here. I'm a Kenyan based in the States & all I watch on this chanel is your FIX YOU show. Of all the guests Salome has been the most impressive, especially when her wisdom is centered on reality & not idealism. Furthermore, she's one of the few women who seems to have unconditional respect for men or manhoood. She doesn't qualify her idea about who's the head of household with arbitrary rules. She actually has fidelity to men being head of households, especially when it's central to African customs and culture. As a father of two boys i hope my sons eventually marry women with such unconditional respect because it's the only way to gain reciprocity from men that is based on a similar fundamental respect. Anyways, your show is great and has tremendeously helped my own marriage, albeit in a different context. Thank you!
Hii mielekeo ya kimila Mungu mgumu? Ndoa ngumu. Mnaanza ndoa na mbuzi wa mababu? Drama za mizimu zinatake role sana. Usingizi fofofo hapo vipi! Ndoa tamu.
KWA WAZAZI NLIKUWA NAOMBA RUHUSA….NA SASA NIKO NA MAISHA YANGU NIOMBE RUHUSA….. NOOOOOO NI KUTOA RAARIFA SIO NIOMBE RUHUSA… YEYE AKITOKA AAGE … ME PIA NIAGE…. LAKINI SIO NIOMBE RUHUSA… EACH OF US MUST KNOW WHERE THE OTHER IS…
Kuomba ruhusa sio unyonge, hata mwanaume anaweza omba ruhusa.. Shida ulikuwa unaishi nyumbani Kama shule. Toxic feminism imewashika wanawake wengi. You need therapy!!!! Kutoa au kuomba ruhusa( sasa hapa NI lazima muafiki pande zote mbili)NI pale ambapo mtu anaenda sehemu ambayo haijazoeleka katika maisha ya kila siku na kutoa taarifa NI kwenda sehemu ya mizunguko yako ya kila siku. Kiusalama NI vizur Sana Ila Jambo likitokea watu wajue ulipo.
jaman samahanini ambaye anaweza kuandika hiyo hiyo social media yake ya kumpata salome ninaomba mniandikie coz nimejaribu nimeshindwa, ni ninahitaji msahada wake jamn
Sijawai comment ata siku moja nimesikiliza vipindi vingi kutoka @FixYou but for the first time leo nimejifunza nimepata mwalimu She is the Best kwenye icho kitengo I wish awe anakuja kutufindisha mara kwa mara maua yake please🌹🌹🌹💐💐❤❤❤
Ndoa ngumu kwa hiyo Mungu mgumu. Tusigeneralize hivyo.ke mwema anatoka kwa MUUMBA. Ndoa nyingi zinaanza na mila potofu mbuzi wa mababu Mizimu drama za Shetani. Mlioolewa wengi mnalala sana usingizi. Mnabase ktk Utakatifu wa kufunga ndoa.vivyo hivyo Hawa waume kwaya inakuwa byeeee
Nilikua natafuta sana mtu mwenye mindset kama hii, dada Salome Mungu akulinde na akuinue zaidi. This has impacted my life, I really needed to hear this right before I get married
Kama umerudia kuangalia gonga like
Ukikuzwa kiutamaduni wakuomba Ruhusa basi hutoona shida kabisa👏🏽,binafsi nimekuzwa ni muhimu kuomba ruhusa nyumbani kwa Wazazi endapo ni sehemu tofauti na kazini ,though kuna muda mwanzoni unaona kero but Kama wazazi wangu wanaona ni muhimu na ni kwa usalama zaidi hiyo ndio point Yao kubwa kwetu kutuelimisha,MUNGU atusaidie.
Huyu dada ni mwalimu mzuri mwenye tajiriba kubwa sana!!!
Asante sana Dada Salome nimejifunza vitu vikubwa. Nitafute mema na sio mabaya yake
One of the best jamani tumejifunza sana thanks again
Protect Salome at all costs
Dada salome , upo vizuri sana, wife material 🌹👑
My counselor and sister, never disappoints.
Salome ubarikiwe Hekima yako ipo juu saana .
Asanteeee Sana'a kwa maneno mazuriiiiiii yaliyojaa hekima busara yakutoshaaaaa
Asante sana kwa kweli nimejifunza kitu 🙇♀️🙏❤
Barikiwa sana
Kama Dunia wakiwepo wa mama 5 tu watabadilisha Dunia
Dada mzuri kwa sura na akili. What a wife material is the woman. Chukua maua yako mrembo
Ameongeye vizuri uyu madam kabisa
Asante sana kwa somo zuri na nimejifuza mengi 💜💜💜
Mjadala mzuri.mmeupiga mwingi wadada wazuri❤
I think she is a super and brilliant woman. Bless is her husband for sure. Anastahili maua yake
Salome is so sweet....❤
Kuhusu majukumu hasa katika masuala ya kifedha, kwa asili yake Mwanaume anapaswa ahakikishe basic needs zinapatikana lakini kwa mwanamke anapaswa kushughulika na masuala ya Elimu za watoto n.k, lakini ushiririkiano ni muhimu lakini kila mtu anapaswa kuratibu eneo kwa asili au makubaliano!!!
Elimu NI mwanaume...
Both elimu ya darasani na elimu ya duniani huku.
Baba unastahili uwe vizuri. Mama analea mpaka miaka mitano yaani anamtambulosha mtoto duniani kazi inayofuata ni ya baba kwa asilimia kubwa kumuongoza katika kufanya chaguzi nzuri za maisha Hali kadhalika jinsi ya kukabiliana na mazingira yanayomzunguka.
Ingekuwa mwanaume NI kutafuta pesa Pekee hata mwanamke anaweza kufanya, na hapo inakuwa umetunza na sio kulea.
Kwa hiyo mwanaume anastahili kuwa vizuri kwenye kila sekta.
Tukiwaachia kila kitu wanawake tutatenge eza kizazi kibovu ndio maana kila siku wanalalamika wakina baba hawako available...
Mwalimu wa mafundisho ya ndoa nimesha mpata bado tu uyo mtt wa mama mkwe come babe uenjoy 🥰
Mungu akutendee
Salome nakupenda mwanamke material wewe ni kweli Salome
Dah sikujua kama bado kuna wife material, Great mindset…
Waooooooooo🎉🎉❤.
What a nice Interview...
It's a Perfect One..
Thanks 🙏
huyu dada amebarikiwa hekima busara na maarifa yuko makini sana huku ndio kujitambua hata kama mume wake anacheat lazima anajutia sana nakuumia
Umurudishe siku nyingine wallah leo mimi nimenyoka😊😊😊
Nmependa hii
Airine napenda sana kipindi chako mungu akubariki sana
Asanteni sana❤
Ndoa ni mpango wa mungu
huyu Mwalim tunaomba arudi,arudi jamani
kisha kuna yule Teacher Timothee, hajambo? tumeli-miss darasa lake...
fix you...kipindi kizuri mno, Hongereni
Teacher Tim hajambo kabisa, atarudi
Uyu sis anaakiri kama mimi 👏
Nimeipenda saaana !!
mdada wa leo mzuriiii ana akiliii hekima yaan wife material haswaaaa yaan bro popote ulipo shem tunae
Na mm nimemuelewa kalelewa Dada yetu.
Heshima yako mgeni wa leo🙌🏼 ....Maana sina la kuongea.📌
Nashukuru sana
@@salomenelson711 upo vzuri.unayoongea ni sahihi.nipo ndoani mwaka wa nane. Milima na mabonde...mungu ni mwema🙏
mdada yupo smart sana
Salome kama msundani vire mzuri na ubongo wako uko vzr hgr san
Thanks for the good advice
Sijui kwa nini nimekupenda Salome.
Yani unaonekana ni msomi ambaye unajua kutumia elimu yako.
That's my sis 😍😍😍..
What an incredible interview..
💪💪💪💪💪💪..
Mungu nipe akili na moyo kama wa uyu dada ❤
wadada wengi akili zao wanawaza ndoa ni sawa na kudanga wao cha muhim mwanaume awe na ela tuu hawajui kumjali mwanaume na kum heshimu
Thank a lot
Thanks Irene👊
👏👏👏👏👏acha nimpe 🌷🌷maua yake
Irene, big fan here. I'm a Kenyan based in the States & all I watch on this chanel is your FIX YOU show. Of all the guests Salome has been the most impressive, especially when her wisdom is centered on reality & not idealism. Furthermore, she's one of the few women who seems to have unconditional respect for men or manhoood. She doesn't qualify her idea about who's the head of household with arbitrary rules. She actually has fidelity to men being head of households, especially when it's central to African customs and culture. As a father of two boys i hope my sons eventually marry women with such unconditional respect because it's the only way to gain reciprocity from men that is based on a similar fundamental respect. Anyways, your show is great and has tremendeously helped my own marriage, albeit in a different context. Thank you!
Thank you🙏
I appreciate the comment. Be blessed
Thank you so much my sister. Love u ❤❤❤❤❤❤yani dada ww MashaAllah MashaAllah hongera una akili sana.umetufungua vingitu.thank SALOME
Asante kwa kushukuru asante kwa kufuatilia
@@salomenelson711 love you so much my sister .umetibu ugonjwa wangu true. ♥️😍
Asante . Dizasta Vina mumualike anailimu
Mafundisho murua ktk maandaliz special ya ndoa🎉
Hongeraa Salome, omeongea vizuri sana!!!!
Asante nashukuru
Asante sana
Bwana Kiondo hakika macho yake yaliona vyema,asijefanya kosa la kumpoteza Salome ....... arudi tena jamani ,ana hekima na yuko halisi mno. Sio wale wageni ambao wanatuleteaga mazingaombwe😂 a.k.a hekaya za Abunuwas
Kama Dokta mwaka😂
Dada yukovizuli sana mualikeni tena tupate madini mazuli
Ujumbe Mzuri SANA
Dada salome anapika kwenye platform ipi au ni katika Fix you hapa tu
Naomba uniunge kwenye group la proud wife jamani
Hapo kwenye mme kutokuomba ruhusu sikubali nae, wote wawili waombane ruhusa ndio hudumisha amani na upendo kwenye nyumba
Ww haujamuelewa msikilize tena vzr
When my son grows up,s I pray he finds a wife material like Salome😂😂❤
Irene ana wivu sana yaani kama haelewi somo daah
@@francismtunda4030😂😂😂😂😂
Salome big up
Kamugisha nimeuliza from Burundi 🇧🇮 (sns) ipo sehemu gani dar?mwezi wa 10 najipanga kuja dar naitaji nipite hapo niwasabayi.
Naomba naomba ya daSalome please
Arudi tena
Mausia mazuri mno
Salome umegusa watu wengi kwa mahelezo yako!
Ile fix you na pastor carlos iliishia njiani, please weka part 2 yake ili tuimalizie
Ipo part 2 tayari
@@irenekamugisha
Sawa, asante ngoja niitafute
Simu duh😅😅😅
Irene mi ninashida yangu binafsi nitakupateje?
👍👌❤
Hii mielekeo ya kimila Mungu mgumu? Ndoa ngumu. Mnaanza ndoa na mbuzi wa mababu? Drama za mizimu zinatake role sana. Usingizi fofofo hapo vipi! Ndoa tamu.
Dizasta vina
Hongereni sana. Kazi nzuri sana.
KWA WAZAZI NLIKUWA NAOMBA RUHUSA….NA SASA NIKO NA MAISHA YANGU NIOMBE RUHUSA….. NOOOOOO NI KUTOA RAARIFA SIO NIOMBE RUHUSA… YEYE AKITOKA AAGE … ME PIA NIAGE…. LAKINI SIO NIOMBE RUHUSA… EACH OF US MUST KNOW WHERE THE OTHER IS…
Aya😂
Baki nyumbani huko mana ukiingia kwenye ndo utapigwa kama ngoma
Naona kabisa Ndoa yako ishavunjika kabla ya uwepo wake 😂
😂😂
Kuomba ruhusa sio unyonge, hata mwanaume anaweza omba ruhusa..
Shida ulikuwa unaishi nyumbani Kama shule.
Toxic feminism imewashika wanawake wengi.
You need therapy!!!!
Kutoa au kuomba ruhusa( sasa hapa NI lazima muafiki pande zote mbili)NI pale ambapo mtu anaenda sehemu ambayo haijazoeleka katika maisha ya kila siku na kutoa taarifa NI kwenda sehemu ya mizunguko yako ya kila siku.
Kiusalama NI vizur Sana Ila Jambo likitokea watu wajue ulipo.
jaman samahanini ambaye anaweza kuandika hiyo hiyo social media yake ya kumpata salome ninaomba mniandikie coz nimejaribu nimeshindwa, ni ninahitaji msahada wake jamn
Counselor_salome
Naomba naomba Yako da Irene