DUNIA (Ep 38)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 3,4 тыс.

  • @ChrisantJohn-d3l
    @ChrisantJohn-d3l 15 дней назад +467

    Waaaooooo kama ulihisi alipiga Simu ni Mat gonga like

    • @Rebeccaclaud
      @Rebeccaclaud 15 дней назад +1

      C uliona kbs Clelent M SS Unadhan angekuwa Nan mengne?!!!

    • @leeobite2507
      @leeobite2507 15 дней назад +1

      cyo clelent n client nikikuweka sawa apo t m napta

    • @Rebeccaclaud
      @Rebeccaclaud 14 дней назад +1

      @leeobite2507 Ok hongera

  • @ReshmahEmma
    @ReshmahEmma 15 дней назад +108

    Et mtoto fetty 😂😂😂ila jordan we ni muongo sanaaaa😂😂wanaokubaliana na mm walike hapa 🎉🎉

  • @Christopher-xj5fz
    @Christopher-xj5fz 14 дней назад +35

    Hii ni moja kati ya tamthiliya Bora sana kwa Sasa ,manyanya na mudy muzungu mnafanya mambo makubwa mnoo big up sana kwenu 💪 ,big up asma films

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv 15 дней назад +235

    Wangapi Wanatamani Kumuona Cathe Ateseke Sababu ya Unyama Alioufanya, Yani Namchukia Japo ni Act tu😅😅😂😂,

    • @Nasri-j4r
      @Nasri-j4r 15 дней назад +4

      Kumbuka aliempenda manyanya wakwanza ninani

    • @jescakabonge472
      @jescakabonge472 15 дней назад

      Kumpenda mwanzo sio ttzo ​@@Nasri-j4r

    • @graceraymond7724
      @graceraymond7724 14 дней назад +2

      Maamuzi ya kupenda anayo mwanaume ko mart hana kosa yy apambane tu

    • @HellenAuma-dq6pz
      @HellenAuma-dq6pz 14 дней назад +4

      Wasema ww mm namchukia xna😒

    • @elishaalexander-ky1vf
      @elishaalexander-ky1vf 14 дней назад +2

      Mtumish ameanguka

  • @SanjerSaimon
    @SanjerSaimon 15 дней назад +289

    Nimeoza ndani kwa ndani natembea ningali nimekufa,mawazo yameniweka mtu kati Dunia aaah I like this song ❤🎉

    • @VeronicaDeos
      @VeronicaDeos 15 дней назад +2

      Na huu wimbo unaitwa aje

    • @Asma-comedian6
      @Asma-comedian6 15 дней назад +5

      🙏♥️

    • @BNNTv-vv7xv
      @BNNTv-vv7xv 15 дней назад +4

      Ama wewe ni ule mjinga uliachia shule cheke chea😂😂

    • @VeronicaDeos
      @VeronicaDeos 15 дней назад +2

      @BNNTv-vv7xv 🤣🤣🤣🤣

    • @KadejaMon
      @KadejaMon 15 дней назад +1

      😂😂😂😂😂

  • @m.calfan8435
    @m.calfan8435 14 дней назад +33

    Kumbe kicheche alikua yuakupotezea mdaaa...Wallai Manyanya una uwezo mkubwa sana🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @annaki318
    @annaki318 15 дней назад +59

    Wangapi tunaofurahia penzi la mchungaji Amani na Da Cindy tujuane❤🎉🎉🎉

    • @SalomeKasisi
      @SalomeKasisi 15 дней назад

      ❤❤❤❤❤❤

    • @NeemaLuambano
      @NeemaLuambano 14 дней назад

      ❤️❤️❤️😘​@@SalomeKasisi

    • @MiriamJohn-e3z
      @MiriamJohn-e3z 13 дней назад

      😂😂😂😂ila wewe ❤❤❤❤

    • @SanrbezaXanido
      @SanrbezaXanido 12 дней назад

      😂😂😂muzungu ndo kashaibiwa chuma hapo😂😂

  • @IdrissaBalqis
    @IdrissaBalqis 15 дней назад +701

    Jamani jamani leo WA kwanza naombeni like munazopewaga Huwa munazitumiajee😂😂😂ndo nilitaka kujuwa from Burundiii ❤❤❤🎉🎉

  • @ShollaNgwando-ez4ic
    @ShollaNgwando-ez4ic 15 дней назад +28

    Nawapenda sana bongo tukiamua tunaweza
    Mungu awape maarifa zaidi mzidi kutufurahisha
    Mbarikiwe

  • @antoineirakoze3298
    @antoineirakoze3298 15 дней назад +458

    Akuna cha uba, wala juwa kali, sisi tunatamba na dunia apa bwana. Kama unakubali dunia gonga like apa tafadhali

    • @NanzariuAwadhi-jp3qw
      @NanzariuAwadhi-jp3qw 15 дней назад +2

      Umesahau kombolela pia

    • @DEUSEZEKIEL-yn4vx
      @DEUSEZEKIEL-yn4vx 15 дней назад +2

      Kabisa huba jua kali zilipendwaa

    • @abdalchicko142
      @abdalchicko142 15 дней назад +3

      manyanya nakukubari sana nafatanyendozako

    • @abdalchicko142
      @abdalchicko142 15 дней назад +1

      naitwa chisko nakufatiria sana kaka manyanya

    • @Roby-nw8sz
      @Roby-nw8sz 14 дней назад +2

      Yaaan weee acha tu tunatamba nayo na tunayo😂😂😂

  • @hadijashaban5880
    @hadijashaban5880 15 дней назад +41

    Yani hiii tamthilia kila siku inazidi kua nzuri hongereni nyote hakika ni kazi nzuri sana na mnajua sana mungu awatangulie tunajifunza mambo mengi sana ❤

  • @VéroniqueMwange-d8e
    @VéroniqueMwange-d8e 14 дней назад +31

    Nyonya maisha jiachiye mtoto, Jordan utaniuwa.❤😂

  • @MOKAJrtV
    @MOKAJrtV 15 дней назад +71

    hiii movie kali sana hii kweli dunia nawapenda manyanya kanumba wa mtaa na mlev❤❤😂🎉🎉bro kado

  • @Asma-comedian6
    @Asma-comedian6 15 дней назад +1233

    Nawapenda sana salamu kwa ote mnao tufwatilia🙏👑 naomba mnifollow wapendwa upendo wenu ni Bora zaidi na ndomana nawaomba mnifollow wapendwa wangu kwasababu NINYI ni WA ungwana

    • @SEFOAliAli
      @SEFOAliAli 15 дней назад +6

      Aide unitisha Mzee baba

    • @ZainabuMathias-x6p
      @ZainabuMathias-x6p 15 дней назад +5

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @Aziza-z5z
      @Aziza-z5z 15 дней назад +14

      Kaka manyaya muwaishe jamani mnachelewesha sana

    • @NibigiraFatuma
      @NibigiraFatuma 15 дней назад +13

      Nasi twawapendenii saaaana team Dunia❤haswa ww manyanya kwa mashairi ykoo🌹🌹unatufunza mengii ujuuwee💃💃Mungu akuuze tena na tena kipajiii cako broo

    • @Asma-comedian6
      @Asma-comedian6 15 дней назад +21

      @@NibigiraFatuma 🙏🙏🙏

  • @JanvierKathengya-p7y
    @JanvierKathengya-p7y 14 дней назад +20

    Hapa tukimaliza dunia twende mara moja donta tv kufatliya mtoto wa bss na dada wa kazi from Congo drc

  • @Albatishabani
    @Albatishabani 15 дней назад +61

    Jamani wana duniya sija chelewa tu sana, nami penda bure toka drc congo, nawapenda bure 🎉🎉🎉🎉🎉, nipeni basi na mimi maua yangu jamani mady na vaileth.

  • @MudykhamisHamadi
    @MudykhamisHamadi 15 дней назад +51

    Asma filam mmetisha sana mung awabariki nyote muwe na afya njem siku zote ili mashabik zetu tupate kuenjoy hongereni sana sana

    • @AlfaMkiwa
      @AlfaMkiwa 14 дней назад +1

      Hongeren sana ila mudy mke hana aache ngonjera zake I 😂😂😂

  • @PiliRamadhani-cl6nw
    @PiliRamadhani-cl6nw 14 дней назад +26

    Manyanya upo vzr move mzr sijawai ona mpo vizuri

  • @aishangambage
    @aishangambage 15 дней назад +61

    Kelele moja kwa Amaniiiiiii weweeeeee3eeeeeeee
    Jamani nimwagieni hayo malikes sasa 🎉😂😂

  • @FredrickNdyamkama
    @FredrickNdyamkama 15 дней назад +21

    Jordan mzee wa kubembeleza mibibi mishangazi ,,,, ongera sana kwa kubembeleza et uwanaume ktk kuoa tu vngne aaha mtoto fety we😁😁

  • @ElizabethMayko
    @ElizabethMayko 14 дней назад +13

    Me nampendaa sanaa mati jamnii mungu akupe maishaa marefu drr

  • @gabrosin1976
    @gabrosin1976 15 дней назад +130

    Mko juu Dunia no.1 trending in Mombasa

  • @malichanda3146
    @malichanda3146 15 дней назад +176

    Nilimmissi sana Jordan na mishangazi yake😂😂😂😂😂❤❤❤❤

    • @ALIMOHD-bk9lr
      @ALIMOHD-bk9lr 15 дней назад +3

      Kaka ako na kibarua kigumu huyo😂😂😂😂😂

    • @ClovisIGIRANEZA-c1l
      @ClovisIGIRANEZA-c1l 15 дней назад +1

      😂😂😂😂

    • @rukiaiddyyahaya9506
      @rukiaiddyyahaya9506 15 дней назад +1

      Hapa dada wa kazi atakua mama mjengo😊😂

    • @SifranLove
      @SifranLove 15 дней назад +1

      Hataki maajuza vya 2000 ndio vyake 😅😅 acha ale pesa tu kwanza

    • @FurahaHamiss-v8o
      @FurahaHamiss-v8o 15 дней назад +1

      Nilimisi san😂😂

  • @AishaMfuru
    @AishaMfuru 15 дней назад +11

    Mudy muzungu eti ndani miuwarisho🤣🤣....wazo zurii akapiga makovu
    Wazo la mudy tumelitiki jomn au🤣🤣🤣🤣👌

  • @FausterMwaji
    @FausterMwaji 15 дней назад +299

    Wangp wanampenda manyanya na matrida❤️❤️❤️❤️

  • @LegendRic
    @LegendRic 15 дней назад +80

    Leo mm ndio wakwanza nipeni like

  • @BarakaPhiinias
    @BarakaPhiinias 15 дней назад +12

    Muendeelezo enjinia unajuwa mungu akibariki San unaelimisha jamii

  • @StadiusCornely
    @StadiusCornely 15 дней назад +37

    Daaah ule msemo wa aliwazalo mjinga ndilo linalomtokea,ndo Vai sasa bonge la kofi

  • @NaahMuuh
    @NaahMuuh 15 дней назад +122

    😅😅😅 church boy kanunua kitanda jmn

    • @UmayyaMunisi
      @UmayyaMunisi 15 дней назад +3

      Chezea kuwa na mshangazi ww😂😂

    • @chawedonard6617
      @chawedonard6617 15 дней назад +1

      😂😂😂

    • @BeatriceMussa-y4b
      @BeatriceMussa-y4b 15 дней назад +8

      Syo kitanda tu.. Na godoro pia na syo godoro tu na sehemu ya kupikia pia ... Alaf nimeona mapazia na shuka mpya na mito pia 😂😂😂😂😂 😂😂😂 aman weee

    • @tesh523.
      @tesh523. 15 дней назад

      😂😂aiii​@@BeatriceMussa-y4b

    • @BeatriceMussa-y4b
      @BeatriceMussa-y4b 15 дней назад +2

      Mapenzi shikamoo

  • @SifaGloria-n8q
    @SifaGloria-n8q 14 дней назад +8

    Cool cool cool yanini manyanya ananifuraisha kumupiga ule mwanamuke naitwa Gloria kutoka Congo RDC

  • @GetrudaMbilinyi-s7g
    @GetrudaMbilinyi-s7g 15 дней назад +57

    Atiamaye mchungqji kanunua godoro,mudy jitaidi naww ununue godogoro nakitanda😅😂😂😂😂😂

    • @SemeniMohamed-l1d
      @SemeniMohamed-l1d 15 дней назад

      Jamani mudy ndo anapindulwa pole mudy muzungu uxhazidwa bao na mchumgaj

    • @selestinakazuvi7213
      @selestinakazuvi7213 14 дней назад +2

      Yaani Mudy hapo umenifurahisha kwa kweli badala ya kununua godoro na kitanda unawaza kualika watu mnunue pombe na kula chakula

    • @AgustinoMyinga
      @AgustinoMyinga 13 дней назад

      😂😅

  • @MariamJaberi-g5y
    @MariamJaberi-g5y 15 дней назад +31

    Nakupend san brother manyanya unafany kaz nzuri San huu ndani mungu akupe umri mrefu ❤❤❤❤❤

  • @HamisiMpile
    @HamisiMpile 14 дней назад +8

    Amini manyanya Aishi mpaka iishe bravo🎉🎉

  • @sashaamoha
    @sashaamoha 15 дней назад +33

    Chukua maua 🎉🎉🎉🎉🎉 churchboy kwa kujiendelez n vitu vya ndani muhimu sana❤❤❤alf manyanya kikofi kidogo san siku nyengn ongeza volume liwe kofi la mwana ukome😂😂😂🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ismailnahato657
    @ismailnahato657 15 дней назад +25

    Hongera Sana manyanya kazi kazini usipende kudharaulikambele yako

  • @SeidySaidy-s1r
    @SeidySaidy-s1r 14 дней назад +8

    jaman me na muzungu kama unaona anacho fanyiwa muzungu sio sawa weka laik

  • @haluarahma3071
    @haluarahma3071 15 дней назад +27

    Dunia ni no 1 aki iko vzur sana ila amani n sindi mnapendezana❤❤❤ San from 🇰🇪 kenya,kaka manyanya hongera zako.

  • @AngelPink-c8q
    @AngelPink-c8q 15 дней назад +45

    Leo mm wakwanz naomben lik zang jmn😂😂❤

  • @dieumelusasa3834
    @dieumelusasa3834 14 дней назад +55

    Church boy amezini. 😂😂 makubwa. Nani mwenzangu kutoka congo 🇨🇩 hapo kwenye likes 👍

    • @carolineminja2517
      @carolineminja2517 13 дней назад +2

      Utamu hauna Church boe hapo😂😂😂😂

    • @Dicksonmontanaa
      @Dicksonmontanaa 13 дней назад +2

      Kazini kwa mara ya pili hii

    • @dieumelusasa3834
      @dieumelusasa3834 11 дней назад

      @@carolineminja2517 𝐚𝐦𝐚 𝐤𝐰𝐞𝐥𝐢🤣🤣🤣🤣

    • @nsabimanasuleyman2008
      @nsabimanasuleyman2008 11 дней назад

      Ni mara ya Tatu ya kwanza ilikuwa ni kwa Mjepuko wa Manyanya je mnasahau

    • @alphahosea7740
      @alphahosea7740 9 дней назад

      Kavunja amri ya sita

  • @StafordFelician
    @StafordFelician 15 дней назад +22

    Mmh aman amenikumbusha mbal sana! Nilipenda dem akawa anapenda maisha ya starehe kilichotokea sasa nilikuwa nafanya kaz kwa bidii sana kuhakikisha anafurahi. Daaah niliish kama mtumwa

  • @nsungaedwin3464
    @nsungaedwin3464 15 дней назад +41

    Safi sana Manyanya. Huu upuuzi wanawake wengi husababishia wanaume wao kuwasaliti. Bora umeosha masculine kidogo

  • @HeppyGeorge-j5x
    @HeppyGeorge-j5x 15 дней назад +26

    SEMA Nini hizo like mnapeana wenyewe TU Mimi hata Moja hamna khaa gonga like bac

  • @SnapBoy254
    @SnapBoy254 15 дней назад +67

    Kumbe muddy mzungu yua jua kizungu ivi🏃nani yuamkubali muddy

    • @eunicejefwa1935
      @eunicejefwa1935 15 дней назад +2

      Husikii ni Muddy Muzungu😂😂😂lazima akijue

    • @JasmineJasmy
      @JasmineJasmy 15 дней назад +1

      😅😅😅😅😅

    • @AsaliRilo
      @AsaliRilo 15 дней назад +2

      Namkubali kwa lipi? Akati mke analiwa yy amekalia pombe

    • @aminakipande5645
      @aminakipande5645 15 дней назад +1

      @@AsaliRiloakome sasa ngoja aibiwe tyu😂😂 manina zake

    • @AsaliRilo
      @AsaliRilo 15 дней назад

      @@aminakipande5645 wala hajali muddy wa watu

  • @MwajumaMganga-r6c
    @MwajumaMganga-r6c 15 дней назад +161

    Huyu cathe anako endea atamtafuta mke wa manyanya amwambie kama unaamin hvyo nipe like zangu🥱🎉🎉🎉

  • @mnpumbulyanasoni7357
    @mnpumbulyanasoni7357 14 дней назад +10

    Eee kweli dunia tambara bovu amani mtumishi wa mungu umemkana yesu na kumkubali shetani akuangushe unasikitisha sana

  • @CLOVISNELSON-fh2pj
    @CLOVISNELSON-fh2pj 15 дней назад +291

    Ivi ni wangapi wana furaiya mahamuzi ya Cindy mke wa mudy, gonga like👍👍👍 basi kama una kubaliana na Cindy kwa sababu sikuizi mudy ana hubiri tu🤣🤣🤣🤣🤣😂😂😂

    • @UmmyChilumba
      @UmmyChilumba 15 дней назад +4

      Yaan kama penzi la misumali na video queen kwenye mission impossible😂😂😂😂

    • @SalhaSuleiman-s3v
      @SalhaSuleiman-s3v 15 дней назад +2

      Kumbe na wew unafatiliq kitengob😂​@@UmmyChilumba

    • @fatumaomary9635
      @fatumaomary9635 15 дней назад +4

      Nimefurahi sana mudy mwanaume wa ovyo sana kazi kulelewa tu Cindy moyo umechoka

    • @magrethtuma5843
      @magrethtuma5843 15 дней назад

      Hadi church boy kanyoa dengu😂😂

    • @Manyanya8551
      @Manyanya8551 15 дней назад

      Wote mnao furahia ni wazinifu yani mtu atoke kwenye ndoa kwenda kwenye zinaa halafu mnafurahia nyang'au

  • @jaymapepefatma5936
    @jaymapepefatma5936 15 дней назад +17

    This is first love from Mozambique ❤🇲🇿

  • @denicsimbo7352
    @denicsimbo7352 14 дней назад +20

    Kwahiyo church boy kwa vile ushapata chezaji toka ulaya ukaona uboreshe sehemu ya mazoezii kwanza!!!!....ok good idea!! 😂😂😂😂

  • @Nathan-p1n5q
    @Nathan-p1n5q 15 дней назад +35

    Wanadunia wote Kwa ujumla nawapenda xn mnatufunza mengi xn.may the son of the most High bless you so much.receive my greetings from Kenya.❤❤❤❤❤

  • @SabyanMgen
    @SabyanMgen 15 дней назад +8

    Manyaya naomba uwe unaweka yajayo baada ya episode kuisha jaman pendekezo tuu my actor❤

  • @BakariChivaulla
    @BakariChivaulla 13 дней назад +3

    Yan He Movie Wote Mulioshiliki Mmejuwa Kuitendea Haki Hongelen Sana Na Mungu Hawabariki Sana ❤

  • @AishaNurdin-b8v
    @AishaNurdin-b8v 15 дней назад +21

    Nice mwafanya vyema kweli mnatoa vipindi kwa wakwati pia,

  • @KijaZacharia
    @KijaZacharia 15 дней назад +85

    Sema nn mm sitaki chochote
    Manyanya ajegewe Sanam lake tuu🔥🔥🔥

  • @MiriamJohn-e3z
    @MiriamJohn-e3z 13 дней назад +2

    smile 😁 ya simdi tamu na Aman 😂😂😂❤🎉

  • @tototundu8159
    @tototundu8159 15 дней назад +153

    Sindi nimefulai kuona amani anakupa amani nafulaha mungu awabaliki❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮🇧🇮

    • @CathubethKimaro
      @CathubethKimaro 15 дней назад +2

      😄 kakaza weee mwisho kaangukia kwa church boy

    • @m.mmarckus6298
      @m.mmarckus6298 15 дней назад +3

      😂😂😂 ngoja paka labaa ajue​@@CathubethKimaro

    • @bukurufreddy28
      @bukurufreddy28 15 дней назад +3

      Burundi sehemu gani Tujuwane Warundi Apa weka like🎉

    • @MwanaidiSalehe
      @MwanaidiSalehe 15 дней назад +3

      Ila Bora chach boy sio mtu wa tamaa ila yule bishoo angemfunua na kumuacha

    • @NduwimanaChadia-vr3cl
      @NduwimanaChadia-vr3cl 15 дней назад

      🇧🇮

  • @EmmanuelElijah-jd4vp
    @EmmanuelElijah-jd4vp 15 дней назад +21

    Sema kweli mnaweza kazi nzuli ila namm napenda kuigiza sijui nifanyeje

  • @jastinarts
    @jastinarts 14 дней назад +1

    Manyanya you are serving the society,keep moving straiht and foward
    This is one of the best bongo series never happened befote

  • @FarajiSaluum
    @FarajiSaluum 15 дней назад +26

    Oya blooo manyanya respect sana amini kazi mzuri sana sana

  • @AshaDigila
    @AshaDigila 15 дней назад +28

    movie nzur sana, maua yenu wahusika

  • @KELVINBRANDK
    @KELVINBRANDK 14 дней назад +10

    Upcoming RUclipsrs let's gather here nipitieni guy's tugrow pamoja zote haki

  • @NicksonMtembei
    @NicksonMtembei 15 дней назад +22

    Namkubali sana manyanya kwa maneno yake anaelimisha hii ndo dunia big up👍👍🔥

  • @chantalsalumu2766
    @chantalsalumu2766 15 дней назад +54

    Congo🇨🇩 tuna wapenda sana Team manyanya.tuna wa fwatilia sana hata kama tuko kwenye vita kwetu Ila mungu anazidi kutupa pumzi 😢❤❤

  • @TheLaughter_254
    @TheLaughter_254 15 дней назад +7

    Hongera Kwa kazi Safi. Tafadhali msitabiri matukio ya mbele katika uchambuzi wenu. Mnafanya hamu ya kutazama inaisha kwa sababu tayari tuna fununu ya matukio ya mbele. Igizeni tu bila uchambuzi. Ahsanteni.

  • @SwedyManeno
    @SwedyManeno 15 дней назад +30

    Alhamdulillah leo nimekuwa wa kwanza

  • @RoshiniNuriaty
    @RoshiniNuriaty 15 дней назад +52

    Waooo nimekuj nyum yenu mpak nimewafkia 🎉🎉🎉from BURUNDI inchi yenye amani ❤

    • @WilliamAnna-m9v
      @WilliamAnna-m9v 14 дней назад

      Burundi huku huku ninapopajua😂😂 ndy Kuna amani

    • @DanielKihoha
      @DanielKihoha 14 дней назад

      Mambo mlembo wa bulund

    • @ChannellaChacha
      @ChannellaChacha 12 дней назад

      ​@@WilliamAnna-m9v😅😅😅Nashangaa

  • @MbitsimanaBetuel
    @MbitsimanaBetuel 14 дней назад +22

    Kama unaaamini hakuna tena Cha clam VEVO Wala Steve mweusi ila Dunia tu naomba hata like moja tu😂😂

  • @oswardjaphal-cd6np
    @oswardjaphal-cd6np 15 дней назад +17

    Wakwanza Love from Mozambique ❤❤❤❤❤

  • @aishaomar9621
    @aishaomar9621 15 дней назад +76

    Nyie wabaguzi sna hata like 😢 jamani cathe vipi sasa wataka shemj yako mapenzi hayalazimishwi 😅mudi mpuuzi kweli 😂😂sidi kanogewa na Amani 😅mashngazi ataka aolewe 😂Dunia mnatupa burudani na mafunzo ❤

    • @MwanamisiMuna
      @MwanamisiMuna 14 дней назад +2

      😂😂😂😂😂na cheka hpo kwa mashangaz ambao wataka kuolewa 😂😂😂

    • @aishaomar9621
      @aishaomar9621 14 дней назад +2

      @MwanamisiMuna eeeeeh ataka ndoa naye pia 🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @LeonardFabian-i5z
    @LeonardFabian-i5z 14 дней назад +5

    Hv nani kagundua kua kama jordan na mudy utofaut wao ni kulewa t make kila mtu ana lelewa😂😂😂😂

  • @ElmaTsuma
    @ElmaTsuma 15 дней назад +65

    Mm ningeambia Fetyy kua Jordan hampend anatak kuoa vtoto vdogo ila naogopa cna lawyer😅😅😅😅 much love❤❤ watu wang alf mnizawad na likes🎉

  • @NeemaRajabu-t9y
    @NeemaRajabu-t9y 15 дней назад +207

    Sijui Hadi nilie ivi hamuon hata huruma toka nianze kufatilia sijapat hata like naomben bas daah

  • @frenkikabajKabaju
    @frenkikabajKabaju 14 дней назад +2

    Aisee mi nimezama kwenye movie ya dunia, mungu awajalie afya njema mzidi kutupa vitu vizuri. Kiukweli sijawahi hona movie kama hiii

  • @DzameHamisi
    @DzameHamisi 15 дней назад +28

    Vizuri sana manyanya mana anakukosea heshima hiyo mudi mwenzako anawaza kuongeza biashara we una waza ujinga utabaki pekeyako

  • @NatashaNzowa
    @NatashaNzowa 15 дней назад +15

    Kwaiyo na huyo mshangazi naye anataka kuolewa na alipiwe mahali jamana halafu Jordan nitype yangu kabsa sema mishangazi tu nauvivu wa maisha na kufikili Haye huyu😅😅😅😅😅😅

  • @SereneIcyComet-gd5we
    @SereneIcyComet-gd5we 14 дней назад +5

    Nyiie wanawake kabla hatujaoa hamtutaki ila tukishaoa ndo mnakuja kutuharibia ndoa zetu

  • @edwinjamrack
    @edwinjamrack 15 дней назад +53

    Ongereni kwa kazi nzuri jaman ila saiv mnajitahid kuwahii inapendeza sanaa

  • @GehaziMetelii-p4m
    @GehaziMetelii-p4m 15 дней назад +20

    Dunia sema Hii move inafundisha sana

  • @ThomasWilliam-k5h
    @ThomasWilliam-k5h 14 дней назад +3

    Aisee hakili za walevi hazijawahi kua na maana hata siku moja Mudi mzungu ndo kiboko ya walevi kahalibu mawazo yote aisee😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @Cheusi_media
    @Cheusi_media 15 дней назад +118

    Mungu atubariki wote ambao muda huu macho yetu yotee yapo kwa MANYANYA na Dada VAI 😂😂😂

    • @zahraabdul9652
      @zahraabdul9652 15 дней назад +1

      😂😂😂😂

    • @LaynnaHashi
      @LaynnaHashi 15 дней назад +1

      Laahaula bonge ata uku upo 😅

    • @ReshmahEmma
      @ReshmahEmma 15 дней назад +3

      Lahaulah cheusi😂😂😂

    • @HersonCalvin
      @HersonCalvin 15 дней назад

      Chaumbea wewe Tena huku umefata nn hatutaki uchonganishi

    • @emilywilly2306
      @emilywilly2306 15 дней назад

      😂😂😂😂😂

  • @SocrateAlimasi
    @SocrateAlimasi 15 дней назад +35

    Mungu abariki nyote muliotazama 15h

  • @ElizaLikolika
    @ElizaLikolika 8 дней назад +1

    Nakupenda sana manyanya jaman una uruma sana ira mkeo ndo shida pia napenda penzi ra mchungaji na mke wa mudy jaman❤❤❤🎉🎉🎉

  • @NeemaLodrick
    @NeemaLodrick 15 дней назад +185

    Humu ndani kila mtu wa kwanza mmmh!!! Mimi wa mwisho ila naombeni like moja zitimie kumi😢

  • @EvansMwenda-d1t
    @EvansMwenda-d1t 15 дней назад +197

    Tangu nianze kuangalia dunia sijawahi pewa likes ata 19❤

  • @kwiligwamashauri5662
    @kwiligwamashauri5662 14 дней назад +2

    🎉natafta Dem humu mzuri wa kudet nae

  • @saudasada6379
    @saudasada6379 15 дней назад +43

    Ata mm leo nimewahi mapema aki nilikuwa nashinda you tube nikisubiri Dunia nafurahia kwa mafunzo ninayo yapata kutoka 🇰🇪 kenya❤❤❤nawapenda sana ❤

    • @FainaJaffari
      @FainaJaffari 15 дней назад +2

      Kaka yenu hatumpendi Huyo will paulo😂😂

  • @Christine-fs6gs
    @Christine-fs6gs 15 дней назад +11

    Langu ni kuwapongeza tu kwa kazi mzuri ❤❤❤

  • @MirajiRashidi-m7l
    @MirajiRashidi-m7l 14 дней назад +2

    Waooo😂 wanaomkubali mati tujuane jamn🎉🎉

  • @Prophètisraëlmbinguwazi-eb6mp
    @Prophètisraëlmbinguwazi-eb6mp 15 дней назад +146

    Nina sema ma neno ya ki NABII kila ambacho uli kikosa katika mwaka ulio pita MUNGU akupe na MUNGU akupe kibali kila mahali uliopo amen amen 🙏

  • @JosephMasafwe
    @JosephMasafwe 15 дней назад +12

    Nakubal muddy mungu Kwa ujinga wako mtumish anakupokonya ivooo😅😅😅

  • @Bobgysalim
    @Bobgysalim 14 дней назад +1

    Nakubali sana dunia inafundisha namna ndoa inaweza kuwa imara au legelege

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 15 дней назад +31

    Mpo vizuri sana nimedhania nawai kumbe watu wanasleep humu ndani😂😂😂😂😂😂 jameni nyie😂 Leo washangazi mjengoni😂😂😂

  • @johnsonmasirikadoyen9747
    @johnsonmasirikadoyen9747 15 дней назад +12

    Ila Sindi Mzuri sana 🥰🥰💌💌❤❤

  • @FredrickYustus
    @FredrickYustus 15 дней назад +3

    Tunayo kila sababu ya kumshukulu mwenyez mungu kwa kutupa pumzi adi tumeweza kufuatilia hii sini ya leo maana wapo waliotamani kufika lakini wameshindwa

  • @Feisal712
    @Feisal712 15 дней назад +22

    Unajua sana manyanya kazi nzuri bro

  • @DanielSimiyu-r8n
    @DanielSimiyu-r8n 15 дней назад +13

    Good job Manyanya i really appreciate your work and also this film it's much interesting and full of lessons 👌👌🙏🙏

  • @pastor-Chrisfeston1
    @pastor-Chrisfeston1 11 дней назад +1

    Manyanya umetuwakilisha sisi wanaume nimeipenda hiko ulicho kifanya kwa mkeo vailet ❤❤❤❤❤❤

  • @aminahhuawei1133
    @aminahhuawei1133 15 дней назад +13

    Amani sindii nawapenda manyanyaaa uko poaa kazii mzr ubarikiwe sanaaa❤❤❤❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @machindafadhili3186
    @machindafadhili3186 15 дней назад +46

    Yaani kuliko Mudi Muzungu kupiga hesabu ya kujenga yeye ni ulevi😁😁😁

  • @ShammyShammy-m2b
    @ShammyShammy-m2b 13 дней назад +2

    hii move inafundisha san uhalisia wa maisha yetu 😊😅❤🎉

  • @AksantiTheone
    @AksantiTheone 15 дней назад +21

    Mimi wa ngapi jamani kutoka Congo Bukavu