Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Zebuu kweli ndowa anataka hafi kwenye media kashaongea we mjomba owa bwana hizo mali munotafuta nyoote alafu bila ndowa munategemea nini😅
Machallah ninafurahiya kabis❤❤🇧🇮🇧🇮🥰🥰ira zebuuu kwa Nini umekata nywele🙄
Waooh hongeren Sana mungu awabariki
😂😂😂 Kwan Kenya pia Tz tuko same.Zebuu naona uko pekee akajibu Yupo 😂😂
Mungu awazidishie
Mimi ni mshabiki wenu ku toka 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 kp zebuu ❤❤
Nawapenda Sana mm mshabiki wenu
Mungu awabariki sana kwa hatua mliofikia
Mungu awabariki musonge mbele
Nawapenda sana mm ni mshabiki wunu❤❤❤❤
Nice thing May God ble@s ue🎉🎉❤
Mungu azidi kumilinda kp na zebuu
Mashallah mungu awabarik
Ata Pia na mimi namiommbea Mungu amibariki kp na zebuu, ni KKZ kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💤
Mungu awabariki ndoto zenu zitimie
keep on,kazi zenu nzuri,nawafatilia sana
Kweli zebuu nafuraiya team yenu,endeleyeni hivyo,na ongerani sana kwa ma project zenu
Kazi mzuuri sana apa kutoka Moçambique
Hatimaye nmempa mbishi mwenza hongereni sana
kumbe mnavyo igiza upole na ukarimu kumbe ndivyo mlivyo.Mungu azidi Kuwabariki.
Hio muvi ya planB I think ndio imeingiza hio ma bilioni, nawapenda am watching from Cape town
Mubgu hawa saidiye kwenye kazinu mumi mushabiki yenu kutoka cong uk💯💯
Mko na akili sana nawapenda sana ila mbona mmepoa sana hebu kp tafuta kelvin mtoe move bana naboeka sana
Nawapenda mpaka nakera ani😮
Congratulations KP & ZEBUUNtawalika Kenya🇰🇪
MashaaAllah ❤❤🎉🎉
Ongera NASA mungu awapariki
🎉🎉 congratulations 🎉🎉🇨🇩🇨🇩
Nawapenda sana hivi vyumbe aisee
Zebuu usikonde, maybe Kp aliridhika naile ndoa mlifunga kwa Binti nyoka 🤔🤔
Mungu awabariki Sana
nakubali sana hawa jamaa kp na zebuu ❤❤❤
Nawapenda had nawapenda tena ❤❤❤
Nawapenda sanaaa
Namipenda xana❤❤❤❤
very good brother mungu awabariki KP
Hongereni Sana ❤🎉😊
Miaka 6 nimingi sana kp kama una true love na zebuu mfunge ndoa mm pia nina miaka 6 kwenye ndoa ila nimesha funga.ivyo fanya kitu kwa mwenzio.
Hongera zenu ko
Nice
Jaman mungu azidi kuwabariki
Mungu awafungulia milango
Mhh Kwan mtangazaji, wewe mkifikaga tu na maswali 😂
kwakweri mnapambana mungu awazidishie
Big up xan kp &zb
Kumbuken watu wa kaskazini hawajawahi kufel aisee kanda ya Arusha na Kilimanjaro ni fire
Nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Nagasaki ndoa nzuri kp na zebuu nungu awajalie jmn
Kp ni very gentleman Yan mwanaume anatakiwa awe mvivu wa kuongea, kama ingekua wengne hapo wangetaka kuongea wao tu
Zeb mzurii balaa
Hongera Sana
Hongereni
Hawa mkenamme au kaka na dada
Nawapenda sana ❤❤
Vizur sana good job
😂😂😂😂 zebuu nywele zote kaondoa
Aisee mmepatana ukweli
wasanii wasaniii acheni uwongo nandio maana maisha yenu nimabovu na nima gumu sababu ya uwongo wenu nahii ndio maana mnakufa maskini sababu ya uwongo hata uoga hamna nahapo mna danganya kwa faida yanani
Akili nyingi ww mtu
Hongren sana
Ira Dada unajuw ukishuka unapendeza suka bs
Inapendeza kiukwel mungu amipe wepes mfikie ndoto zeni
Mungu awabar mzid kuendelea zaid ya apo
Kazi mzuri mmezitoa ongera sana
Congratulations 😊
Lkn muda waenda kp fanya mambo ya ndoa zebuu ataka kuwa mke rasmi.
Mbona kama mnafanana? Kaka na dada vile😂 najaribu kuwaza tu jamani maana pua ,midomo nyuso zao kama zinafanana😂.
Kazeni mungu nimwema
Zebu kwann umenyoa nywele sjapenda
Jaman nawapenda❤❤
Mafundi wenyewe
Mnamanisha Hadi saa hii mnadate hamjafunga ndoa ,hiyo tym yote mapenzi gani hayo ,Si mmemake decision once moane ama machane
Nakubali sana kp
Jamani Kazi zenu ni nzuli Sana Sana na hakuna movie yen ambayo sijangalia kwa kweli najifunza vitu kwenu
Deus abençoe a vossa caminhada
Nawapenda sana nyie moves zenu mnaandika kiukweli yaani kiuweledi sana nawapenda sana by cabir boy😅😅😅😅😅😅❤❤❤❤❤❤
❤❤❤kp and zebuu
Mmmh wenye mijengo tunawaona coz wanatuonesha mpaka ndani haw ni uwongo mtupu sifa tu
Ushaugua wivu mmm😅😅😅😢😢
Nawakubari sana
Hata mm ugali naona zambi kweli kula😅😅
Mnapendezana kwel
Jmn nipeni bas hata uhouse garl
Mung awalinde kp na zebu
Kpzebuu ❤ love you guisz
Ila zebuiu hio nibahati nduguu man wengine 2nataman wame ze2 wawe kama kp
Nawpend san
Big up Kp
hongera
Yaan mnapendezana
Kp na zebu nawapenda xanaaa ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Mutafiya kwenye zina hela munazo ila amujafanya maamuzi
Nawependa jaman kp na zebuu
🤣🤣🤣🤣🤣 uwiiii kwann lkn mnamtania zebuu jaman about komwe?
Da nampenda sana zeb
ongeleni San
Kwanini msiowane mi nilikua navimba wameowana kumbe hamna jamani vipenzi nawapenda saaana
Kp naomba namba ninamazungumzo sana nawe
Wameoana ijapo ni ile ya come we stay haijahalalishwa kiserikali
Ni sawa ata mimi nataman
Mbona nyumba kukuu yani inaone ya kitambo sana
Kp unamchezea mtoto wa watu
Nakukubali
Waoo ongera sana
Zebuu kweli ndowa anataka hafi kwenye media kashaongea we mjomba owa bwana hizo mali munotafuta nyoote alafu bila ndowa munategemea nini😅
Machallah ninafurahiya kabis❤❤🇧🇮🇧🇮🥰🥰ira zebuuu kwa Nini umekata nywele🙄
Waooh hongeren Sana mungu awabariki
😂😂😂 Kwan Kenya pia Tz tuko same.Zebuu naona uko pekee akajibu Yupo 😂😂
Mungu awazidishie
Mimi ni mshabiki wenu ku toka 🇨🇩 🇨🇩 🇨🇩 kp zebuu ❤❤
Nawapenda Sana mm mshabiki wenu
Mungu awabariki sana kwa hatua mliofikia
Mungu awabariki musonge mbele
Nawapenda sana mm ni mshabiki wunu❤❤❤❤
Nice thing May God ble@s ue🎉🎉❤
Mungu azidi kumilinda kp na zebuu
Mashallah mungu awabarik
Ata Pia na mimi namiommbea Mungu amibariki kp na zebuu, ni KKZ kutoka 🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩💤
Mungu awabariki ndoto zenu zitimie
keep on,kazi zenu nzuri,nawafatilia sana
Kweli zebuu nafuraiya team yenu,endeleyeni hivyo,na ongerani sana kwa ma project zenu
Kazi mzuuri sana apa kutoka Moçambique
Hatimaye nmempa mbishi mwenza hongereni sana
kumbe mnavyo igiza upole na ukarimu kumbe ndivyo mlivyo.Mungu azidi Kuwabariki.
Hio muvi ya planB I think ndio imeingiza hio ma bilioni, nawapenda am watching from Cape town
Mubgu hawa saidiye kwenye kazinu mumi mushabiki yenu kutoka cong uk💯💯
Mko na akili sana nawapenda sana ila mbona mmepoa sana hebu kp tafuta kelvin mtoe move bana naboeka sana
Nawapenda mpaka nakera ani😮
Congratulations KP & ZEBUU
Ntawalika Kenya🇰🇪
MashaaAllah ❤❤🎉🎉
Ongera NASA mungu awapariki
🎉🎉 congratulations 🎉🎉🇨🇩🇨🇩
Nawapenda sana hivi vyumbe aisee
Zebuu usikonde, maybe Kp aliridhika naile ndoa mlifunga kwa Binti nyoka 🤔🤔
Mungu awabariki Sana
nakubali sana hawa jamaa kp na zebuu ❤❤❤
Nawapenda had nawapenda tena ❤❤❤
Nawapenda sanaaa
Namipenda xana❤❤❤❤
very good brother mungu awabariki KP
Hongereni Sana ❤🎉😊
Miaka 6 nimingi sana kp kama una true love na zebuu mfunge ndoa mm pia nina miaka 6 kwenye ndoa ila nimesha funga.ivyo fanya kitu kwa mwenzio.
Hongera zenu ko
Nice
Jaman mungu azidi kuwabariki
Mungu awafungulia milango
Mhh Kwan mtangazaji, wewe mkifikaga tu na maswali 😂
kwakweri mnapambana mungu awazidishie
Big up xan kp &zb
Kumbuken watu wa kaskazini hawajawahi kufel aisee kanda ya Arusha na Kilimanjaro ni fire
Nawapenda sana 🎉🎉🎉🎉🎉
Nagasaki ndoa nzuri kp na zebuu nungu awajalie jmn
Kp ni very gentleman Yan mwanaume anatakiwa awe mvivu wa kuongea, kama ingekua wengne hapo wangetaka kuongea wao tu
Zeb mzurii balaa
Hongera Sana
Hongereni
Hawa mkenamme au kaka na dada
Nawapenda sana ❤❤
Vizur sana good job
😂😂😂😂 zebuu nywele zote kaondoa
Aisee mmepatana ukweli
wasanii wasaniii acheni uwongo nandio maana maisha yenu nimabovu na nima gumu sababu ya uwongo wenu nahii ndio maana mnakufa maskini sababu ya uwongo hata uoga hamna nahapo mna danganya kwa faida yanani
Akili nyingi ww mtu
Hongren sana
Ira Dada unajuw ukishuka unapendeza suka bs
Inapendeza kiukwel mungu amipe wepes mfikie ndoto zeni
Mungu awabar mzid kuendelea zaid ya apo
Kazi mzuri mmezitoa ongera sana
Congratulations 😊
Lkn muda waenda kp fanya mambo ya ndoa zebuu ataka kuwa mke rasmi.
Mbona kama mnafanana?
Kaka na dada vile😂 najaribu kuwaza tu jamani maana pua ,midomo nyuso zao kama zinafanana😂.