HUYU DADA MCHAWI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 340

  • @noelkipera6581
    @noelkipera6581 2 года назад +19

    Kazi nzuri steeve hao tunaishi nao mtaaan wanga kwenye biashara za wenzao

  • @alimwadima254
    @alimwadima254 Месяц назад +3

    Kweli watu wanajua kuchezeana...Mwenyezi Mungu atustiri wallah

  • @angelrichard6051
    @angelrichard6051 2 года назад +17

    🤣🤣🤣🤣🤣 Steve unajitoaga ufahamu,hua nikiangalia comedy zako nacheka mpaka inapoisha

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 2 года назад +11

    🤣🤣🤣🤣🤣 Steve mweusi au nipe hiyo mia mbili nikuuzie😂😂😂

  • @rchrismbarikiwa
    @rchrismbarikiwa 2 года назад +30

    Asante Sana kaka ombi langu limesikika basi ni mwendo wakuendelea tu Kwa raha zetu😂😂😂😂😂

  • @AminaRandu
    @AminaRandu 2 месяца назад +1

    😂😂😂🎉 umejua kunifurahisha kaka nzuri sana🎉🎉🎉🎉❤❤❤😊

  • @sabihahamadi2287
    @sabihahamadi2287 2 года назад +17

    Sele jamani hongereni kwa kazi nzuri

  • @MuhinaMahita
    @MuhinaMahita Месяц назад +1

    Kweli nzuri sana😂😂😂😂😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @MariethaCostantino
    @MariethaCostantino 24 дня назад +1

    Aaah umetisha brother❤❤❤

  • @nevergiveupinlife753
    @nevergiveupinlife753 2 года назад +14

    Kenyan in Saudi Arabia watching and enjoying as well

  • @habubasamson4907
    @habubasamson4907 2 года назад +19

    Am from Nairobi_Kenya i like watching this channel.its one of my favourites. ❤️❤️❤️

  • @celinalyakurwa4128
    @celinalyakurwa4128 2 года назад +14

    Nimecheka kujinga jamani stivu mtoto anakuelekeza vizur wewe unamtimia🤣🤣🤣🤣🤣

  • @alfredkasololo5242
    @alfredkasololo5242 2 года назад +8

    Ndugu Steve Mweusi unanifurahisha mupaka kwangu Bukavu, Congo-Kinshasa.😂😂😂💟🇨🇩🇨🇩🇨🇩

  • @bonifacesanagu9793
    @bonifacesanagu9793 2 года назад +14

    Kaka mwenye nywele chukua change itakufaliji weekend 😂😂 safi sana Steve

  • @sabihaibrahim143
    @sabihaibrahim143 2 года назад +7

    Yapo hayo mambo mujuwe hee duka wanalifunga wewe unakaa wateja wanaona limefungwa

  • @japhethelijah4252
    @japhethelijah4252 2 года назад +9

    Ila kweli Aya maisha Aya mambo ypo kbs

  • @saidramadhan71
    @saidramadhan71 2 года назад +4

    Mwijaku hunasela wewe mshauri mwambino wako hatanyimbo hatoi mmezidiwa na kijana mnaanza kugombanisha hawaachani kwa ajiri ya maneno ya mkosaji

  • @UVCCM.
    @UVCCM. Год назад +12

    Uchawi upoo aise! Steve hatari🤸🤸

    • @PresiaJoseph
      @PresiaJoseph 5 месяцев назад

      😢😢 we acha t😢😢

  • @usherson2088
    @usherson2088 2 года назад +6

    Twende had umuumbue uyo Dada itakua unyama sana sana mim shibiki ako number one

  • @BMboss108
    @BMboss108 Год назад +2

    😂😂😂😂 nikuuzie ama uyale 😂😂😂😂 chagua moja 🤣🤣🤣

  • @usherson2088
    @usherson2088 2 года назад +12

    Brother kal sana tena naomba namba tatu brother Fanya kama sizon bandika bandua aidia kal sana

  • @aishaamwalimu2887
    @aishaamwalimu2887 2 года назад +6

    Steve anauza maandazi ya Mungu😂😂😂{Mawe}

  • @daudmichaely5631
    @daudmichaely5631 2 года назад +5

    Aahahhaaa🤣🤣
    Dogo sele kachanganyikiwa

  • @YusraHamy
    @YusraHamy День назад

    Nimependa kumuona asmah wangu jmn❤

  • @Mrkeyfamily
    @Mrkeyfamily 2 года назад +8

    Steve good job keep it up

  • @Burundianhustler
    @Burundianhustler 2 года назад +2

    Sell wewe HHhH😀😀😀😂😂😂🤣🤣

  • @Bles-x1v
    @Bles-x1v Месяц назад +1

    mmmmmh kweli kwenye biashara kuna mambo mengi dah!! mteja kufika kwenye biashara akaona mawe ni kawaida mmmh

  • @MusaSalumu-n7i
    @MusaSalumu-n7i 11 месяцев назад

    Mobandoimekwisha😢 c book🌹🌹🌹

  • @ramadhankijana9442
    @ramadhankijana9442 2 года назад +4

    Haaa haya mambo kwenye jamii zetu yapo

  • @EvaMbezi
    @EvaMbezi 6 месяцев назад

    Vizuli sana kaka unachekesha ilA kanafundish😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @hasibssenyonga4838
    @hasibssenyonga4838 2 года назад +14

    Man I enjoy your comedy am in kampala

  • @Markkiptoo-gv1pf
    @Markkiptoo-gv1pf Год назад

    Steve hii Kali bro nakufatelia nikiwa kenya eldoret mkanle mimi

  • @michaelrapchamic6700
    @michaelrapchamic6700 2 года назад +1

    Ongera sana broo vichekesho vyko havina mbambamba 🤣🤣

  • @shaaban179
    @shaaban179 2 года назад +5

    Nakubali br

  • @MerlinaKubadesha
    @MerlinaKubadesha 6 месяцев назад +4

    Ni kweli haya mambo yapo ,hata hivyo nimelike na comedy za stive na dogo sele mi shabiki wao no.onebi like it yeah 😂😂😂❤❤❤😅

  • @SalomeSwalehe-gz6wm
    @SalomeSwalehe-gz6wm 8 месяцев назад

    Bonge ya mawe na yebo kwa juu alooh so mchezoo🤣🤣🤣

  • @baimarrajahbuayan6237
    @baimarrajahbuayan6237 2 года назад +1

    We Kaa na mawe yako😝🤣🤣🔥

  • @Anjelo-d3k
    @Anjelo-d3k 4 месяца назад

    Vraiment super Steve

  • @asmaarashid2890
    @asmaarashid2890 2 года назад +2

    😃😃😃😃eti nikuuzie au uyale😃😃😃😃

  • @falidamwendwa-cp6nt
    @falidamwendwa-cp6nt Год назад

    Kaka kaka Sina mbavu Mimi jaman 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣

  • @abdullymmbugu
    @abdullymmbugu 2 года назад

    Yeye anaona kawaida2 ni maandazi wateja ndo wanayaona mawe

  • @GidionWilison
    @GidionWilison 3 месяца назад

    Jaman muna nisaifije natamani sana kua muigizaji mukubwa

  • @Dionildoarlindo-lu5ex
    @Dionildoarlindo-lu5ex 5 месяцев назад

    Steve brother nakukubali sana

  • @IssaShayo
    @IssaShayo 6 месяцев назад

    Kwel huchaw hup ila uyu dad kanzid sasa 😅😅😅😅😅

  • @stitore2388
    @stitore2388 4 месяца назад

    Jamani balikiwe sana 😀😀😀😀

  • @thobiasmagessa7640
    @thobiasmagessa7640 Год назад

    Nakupenda sana ndg yangu

  • @MussaChimbilimana
    @MussaChimbilimana 6 месяцев назад

    😁😁😁😁😁stive unauza mawe

  • @zahraabdul9652
    @zahraabdul9652 6 месяцев назад

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣ni kweli haya yapo it's reality kisha uwezi juwa wewe wateja ndio waona Mungu twepushie hayo ushirikina 😂😂😂😂😂 stive nakupenda.

  • @DoricasJeremia
    @DoricasJeremia 6 месяцев назад

    Siteve unanifulahishaga mv zako kinomaaa

  • @GILBERTKumwimba
    @GILBERTKumwimba 6 месяцев назад

    Aaaaash Nami nawapa pole mashabiki wenzangu.

  • @KhadijaCharles-b3k
    @KhadijaCharles-b3k 5 месяцев назад

    Duuuh!kaz ipo Mungu tusimamie

  • @Athumanitembo
    @Athumanitembo 5 месяцев назад

    Naomba.kuona.x❤
    Ili.nijue.stair
    Za.kumpa
    Mume
    Wangu

  • @yusufcumar3673
    @yusufcumar3673 Год назад +1

    Naipenda sana naishi malawi

  • @GraceKingunza
    @GraceKingunza 5 месяцев назад

    😢😢😢 mmh jaman amakweli kazin kwake kuna kazi

  • @AnnaSayi
    @AnnaSayi Год назад

    Kaz nzuri

  • @SamwelMathias-d2d
    @SamwelMathias-d2d 2 месяца назад

    Jaman stev haon😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @AinesPeter
    @AinesPeter Год назад

    Duuh...hii kali imentoa mbavu mm😅😅

  • @EzraBoboloy
    @EzraBoboloy 7 месяцев назад

    Duuuu uchawi upo kweri 😢😢😢😂😂😂😂❤❤❤🇧🇮🇧🇮🇧🇮

  • @sacg9783
    @sacg9783 2 года назад +1

    Mm nacheka tu jamani Dunia Ina mambo

  • @izzo_boy
    @izzo_boy 2 года назад +6

    We Ni shida Steve 😂😂

  • @eastermbiku2763
    @eastermbiku2763 2 года назад +2

    Eti anamawazo mengi itamfaliji weekend 😂🤣🤣😂

    • @ahmedomarsaleh8106
      @ahmedomarsaleh8106 2 года назад

      I don't always have good time with you guys tomorrow morning

  • @Teresateresa-zy8pj
    @Teresateresa-zy8pj Год назад

    Powa kaka piga kazi to

  • @danielhassan392
    @danielhassan392 2 года назад +2

    Na yebo juu 😂😂

  • @DevDaniel-w3k
    @DevDaniel-w3k 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂 hahaha umetixha steven

  • @SokinaChapia
    @SokinaChapia 29 дней назад

    Kwa kweli Kuna wachawi aina hyo duniani🤔🤔🤔

  • @GraceLuhiga
    @GraceLuhiga 10 месяцев назад

    Jamani stivu sialikuwa anauza mawe🎉mnilike🎉🎉🎉🎉🎉mhh jamani vichekesho❤❤

  • @hashimuchikayuma
    @hashimuchikayuma 10 месяцев назад

    wa mtwara steve namuelewa sana

  • @VastPhiri-l3s
    @VastPhiri-l3s 3 месяца назад

    😂😂😂😂😂😂😂❤ from zambia kuchalo

  • @ElamuNosa
    @ElamuNosa 3 месяца назад

    Sanaaaaaaaaaaa mamboo

  • @petroluchagula4299
    @petroluchagula4299 3 месяца назад

    Big up bro steve

  • @SalomeSwalehe-gz6wm
    @SalomeSwalehe-gz6wm 8 месяцев назад

    Na yeboyebo juu🤣🤣🤣

  • @kitunganolw
    @kitunganolw 2 года назад +1

    Yaani sijuagi nini anaongeaga Huyu ila nachekagachekaga tu 😅😂

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 2 года назад +4

    MIMI NAONA UMUUZIE KAMA HATAKI KUYALA 😂😂

  • @RashdaJuma
    @RashdaJuma 8 месяцев назад

    Nawapend xna ❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @RajabMpwage-v5h
    @RajabMpwage-v5h 5 месяцев назад

    Ahaa hii nimeipenda

  • @omaryteddy535
    @omaryteddy535 2 года назад +4

    Good good 👍🏾

  • @EdwinJacob-l4j
    @EdwinJacob-l4j Месяц назад

    Jamani kijana utapata hela tafuta mbinu ingine uyo mma mchawi

  • @fahmacholi5754
    @fahmacholi5754 2 года назад +3

    Mko vizur San mm ninamwanangu natamani angekuja mumuone maana naona km anakipaji japo sijui km nyie mtamuona kaka yangu

  • @FahimIsmail-p6n
    @FahimIsmail-p6n 2 месяца назад

    Hahaha 😅Steve hatari

  • @azaboicomedy
    @azaboicomedy 2 года назад +7

    KUNA WATU WACHAWI JAMANI 😂😂😂😂😂😂😂

  • @AllyHaji-vc2in
    @AllyHaji-vc2in 8 месяцев назад

    Jaman uyo dad mchaw san

  • @QuluthumuRajabu
    @QuluthumuRajabu 4 месяца назад

    Jaman kwel uchaw upo

  • @owemilembekajuna7804
    @owemilembekajuna7804 2 года назад

    Asante sele vichekesho vyako vinanipa falaja

  • @MsakaSaid
    @MsakaSaid 3 месяца назад

    Mhhh mhh jamani uchawi upo wanatuogopesha kula mitaani

  • @mishichuo675
    @mishichuo675 8 месяцев назад

    Kweli kabisa hebu nisaidie umwambie hiyo dada Aache roho mbaya jaman daah🤔🤔

  • @nasrahassan7346
    @nasrahassan7346 2 года назад +2

    steve acha ncheke mie😀😀😀

  • @9starferuz033___
    @9starferuz033___ 2 года назад +2

    Waah stevu ghai 🤣🤣🤣🤣

  • @nicolesimon8377
    @nicolesimon8377 2 года назад +2

    Eti nikuuzie ama huyale😂😂😂😂

  • @JumanneSatima
    @JumanneSatima 6 месяцев назад

    Kubabake 🎉😂😂😂😂😂

  • @TulizoMota
    @TulizoMota 5 месяцев назад

    Ohooooooo pamban San kaka

  • @EliasSebastiani
    @EliasSebastiani 5 месяцев назад

    Kwakweli nihatali sana😂

  • @IdrisaMamba-f9q
    @IdrisaMamba-f9q 6 месяцев назад

    Kweri stiv uge msikiliza mtoto

  • @SaphiaMuhamad
    @SaphiaMuhamad 5 месяцев назад

    Jaman uchawi upoo aiseee

  • @MariaMatiku-s8d
    @MariaMatiku-s8d 7 дней назад

    Hahahaaaa Steve bhana

  • @MrOkede
    @MrOkede 2 года назад

    Wewe Steve mshenzi kweli

  • @VeronicaIsinika
    @VeronicaIsinika 4 месяца назад +1

    Nakubali

  • @leonardlucas402
    @leonardlucas402 2 года назад +1

    Maandazi ya mungu🤣🤣🤣🤣

  • @aminamano775
    @aminamano775 2 года назад +2

    Mbona stive hajamshtukia kama dada mchawi

  • @NiyonkuruKhadidja
    @NiyonkuruKhadidja 2 месяца назад

    😅 tatizo movie fupi,,basi mtowe part 2

  • @patrickkahangwa6666
    @patrickkahangwa6666 2 года назад +5

    Nakubalii😂😂😂😂