USIPOCHEKA DAI MB ZAKO KWA NDARO NA STEVE MWEUSI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 31 янв 2025

Комментарии • 422

  • @ke1shavohbryo
    @ke1shavohbryo Год назад +12

    Da Steve Ndaro na dogo Sele kazi nzuri hiyo yazidi kuongeza masiku kwa vichekesho vyenu

  • @lumumbadunia1921
    @lumumbadunia1921 Год назад +52

    Wakwanza ❤🎉❤ nipeni like zangu

  • @HusseinMalele
    @HusseinMalele Год назад +17

    From USA nawakubali sana wajomba❤

  • @venaciokariuki4552
    @venaciokariuki4552 Год назад +43

    Naipendi hiyo combination ya Ndaro na Steve. Tulikuwa tumemkosa Dogo Sere.
    Kazi njema😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @gudfreygudfrey9080
    @gudfreygudfrey9080 Год назад +56

    Sijachelewa sana naomba ata like 10 tu nitawashukuru jámani sijawai kumpata ata like 5 🙏🙏🇲🇿

  • @NyottaSadick
    @NyottaSadick 7 месяцев назад +1

    nakubali kazi zako majinaa ndarlo tz

  • @princesselicy
    @princesselicy Год назад +10

    sija cheka naomben mb zangu haaaaaaaaaa kazi nzuri sana jamani🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Andreamanog-l1k
    @Andreamanog-l1k Год назад +29

    Naomba. Like jaman kwa ndaro😂😂

  • @ibrahimsadick6137
    @ibrahimsadick6137 Год назад +19

    Ndaro na Steve nawakubali muendelee pamoja

  • @moemaseti479
    @moemaseti479 Год назад +93

    Wa kwanza leo naomba like zangu

  • @VincentMugambi-ic8zx
    @VincentMugambi-ic8zx Год назад +1

    Huyo dada anaweza..ety nywele hazijashirikiana kama mkutano kariako..🤣🤣🤣one love from Kenya.

  • @clipzotetz
    @clipzotetz Год назад +65

    Kama unakubali wajomba dondosha like hapo from USA 🇺🇸

    • @FeridaJoseph
      @FeridaJoseph 4 месяца назад

      ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂

  • @yoyokass
    @yoyokass Год назад +10

    Very nice ❤❤❤

  • @NAKHLETELECOM
    @NAKHLETELECOM Год назад +20

    Ndaro na steve 💖💖💖

  • @SpecialboyMaster-y8k
    @SpecialboyMaster-y8k 6 месяцев назад +3

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mnatisha bro noma sana

  • @PacifiqueSumaili-xg5xk
    @PacifiqueSumaili-xg5xk Год назад +44

    Ata nami nataka like 10 bure, Ndaro na Steve nawakubali vijana awa.

  • @DanielLaizer-ec7cd
    @DanielLaizer-ec7cd 10 месяцев назад +1

    Nimekuja wa mwisho but naombrno like ❤

  • @NizigiyimanaEmmanuel-c7f
    @NizigiyimanaEmmanuel-c7f Год назад +2

    Steve na ndaro nawakubali sna uigizaji wenu ongeleni sna nawakubali

  • @abellymwambwiga
    @abellymwambwiga Год назад +1

    Nawakubali saana vijana Wang tuko pamoja from mbeya

  • @WilondjaBenjamin17-xp4hx
    @WilondjaBenjamin17-xp4hx Год назад +8

    AM-J GUNDI FROM USA 🇺🇸

  • @MalewaNyawamalewa
    @MalewaNyawamalewa Год назад +1

    Nakubali bana nyinyi ni wajanja keep it up

  • @tumajunior6080
    @tumajunior6080 Год назад +2

    Steve kila siku wampiga mbwela wangu leo kula chuma icho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🥰🥰🥰🥰🥰nawapenda nyote na dada muko talented nafurai nikiwaona ❤❤❤❤❤❤❤🔥🔥🔥🔥watakimbia haoooooo🤣🤣🤣🤣🤣

  • @Samson-cf8xg
    @Samson-cf8xg Год назад +16

    Wakuwanza kufika naomba like zenyu bana tafathali

  • @francismuthiani349
    @francismuthiani349 Год назад +39

    ONE LOVE FROM KENYA 🇰🇪🤣

  • @OctalightsProduction
    @OctalightsProduction Год назад +26

    Yule mwanadada aliyeibiwa ndara katisha😂😂😂Anajua kuigiza vyema sana🥳❤🇰🇪

  • @Muhjax
    @Muhjax 11 месяцев назад +5

    Kama inamkubali Steve dondosha like hapo na ndaro pia

  • @henrybeka-k7n
    @henrybeka-k7n Год назад +1

    Hii Kali big up sana🎉

  • @saumuziro8319
    @saumuziro8319 Год назад +1

    😅😅😅😅big love guys from Kenya 🇰🇪 mmeweza kabisa❤❤❤

  • @BestinaMichael
    @BestinaMichael Год назад +1

    🎉❤❤ iko pw Sana

  • @kusasiraarthur2764
    @kusasiraarthur2764 Год назад +14

    😂😂 siku moja Steve ataniua,ayiii mbavu zangu 🤣🤣💀
    🇺🇬 🇺🇬 ❤

  • @harounbanzi3948
    @harounbanzi3948 Год назад +8

    Naombeni mb😃

  • @chadracknshimirimana4761
    @chadracknshimirimana4761 Год назад +1

    Yooo eti nimebeba na sukari eeh mikono yangu hii :ila steve nyieee 🙌🏻😂❤️‍🔥

  • @NeemaJumanne-h5d
    @NeemaJumanne-h5d 7 месяцев назад +3

    Jamani hao wezi wanaachiwa njiani kwanza 😂😂

  • @evanstaban7174
    @evanstaban7174 Год назад +2

    Likes nazo Ni lazima Kama ibada
    Hi Steve I love your videos and character

  • @heritierbirori2119
    @heritierbirori2119 Год назад +1

    Steve mweusi haki napenda comedi zako from Uganda

  • @SamsonMenard
    @SamsonMenard 5 месяцев назад

    Nimecheka kazi iindelee bro

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +8

    🤣🤣🤣🤣 Ndarooo na Steve mweusi nawakubali Sana. Nimefirahi kumuona Dogo sele kitamboooo😂😂😂😂

  • @LGtzMwaikole
    @LGtzMwaikole 4 месяца назад +1

    Mmetisha sanaaaa

  • @paulndaki3009
    @paulndaki3009 Год назад +10

    Tunasubiri, Doctor fyatu !!

  • @musafungameza
    @musafungameza Год назад +5

    Aaaaa br mnajua daaa

  • @trapnondo873
    @trapnondo873 Год назад +12

    Da wakwanza leo😂😂

  • @TusekileJelia-eq8rd
    @TusekileJelia-eq8rd 11 месяцев назад +2

    😂 Hatariii sanaa huyu mtoto

  • @HansmanRidder-yd1zi
    @HansmanRidder-yd1zi Год назад +8

    Hongera

  • @IssaothmanSliman
    @IssaothmanSliman Год назад +8

    Mumetisha saaaaana mwaaaaasmbaaaa ndarooo na steeeeeeveeeee

  • @emmakangalawe1946
    @emmakangalawe1946 Год назад +2

    mimi mchelewaji naomba like jamani

  • @BabyDragon-gz4yc
    @BabyDragon-gz4yc 7 месяцев назад +2

    namkubali sana steve mweusi,kama na wewe unamkubali weka like yako

  • @widerbennie-vm2jj
    @widerbennie-vm2jj 3 месяца назад +1

    Yan nyie balaaaaa🔥

  • @tinoh7_
    @tinoh7_ Год назад +8

    Nomaa

  • @Jeminjackson1
    @Jeminjackson1 Год назад +7

    Wanangu ndaro na steve

  • @Simstar7kn
    @Simstar7kn Год назад +20

    Nimefurahi sana kumuona ndaro sjui alienda wapi jaman😂😂

  • @DavidRich-gp4gm
    @DavidRich-gp4gm Год назад +5

    Nyinyi munarisha Ndaro na Steve

  • @NeemaSophia
    @NeemaSophia 6 месяцев назад +1

    Umetisha ndaro

  • @bingwathedon
    @bingwathedon Год назад +6

    Yan nyinyi mnabalaa siwawezi😂😂😂😂

  • @dukeonchiri5037
    @dukeonchiri5037 Год назад +9

    Wizi ni mbaya Mweusi

  • @HAKIMASHAURI-ry6qz
    @HAKIMASHAURI-ry6qz Год назад +12

    Steve na Ndaro mnapendezea sana kuigiza wote kwa korabo pamoja na warembo wenu pamoja sana ni miongoni mwa shabiki enu mkubwa sana asiyejulikana niite the konk and king Mshauri

  • @mwitaagness455
    @mwitaagness455 Год назад +17

    Simpendi huyu dada, anaongea khaaaa

  • @SalmaBuru
    @SalmaBuru 3 дня назад

    Jaman nawapenda sana nnanifraisha

  • @ejmonline206
    @ejmonline206 Год назад +12

    Wajomba wamenasa 😅😅

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Месяц назад

    😁😁Kumbe wezi wakubwa❤❤🎉🎉

  • @dukeonchiri5037
    @dukeonchiri5037 Год назад +7

    Ndoro karibu. Urudi shule. Wacha kusumbua madam

  • @PeterJohn-l4e
    @PeterJohn-l4e Год назад +1

    Mmetisha sana mpaka mafagio mnaenda kuosha hadi mkoba

  • @yusuphdeogratius1036
    @yusuphdeogratius1036 Год назад +6

    mmetisha san

  • @masterkey536
    @masterkey536 11 месяцев назад +1

    Nice job

  • @Rbtzoff
    @Rbtzoff Год назад +5

    Yaani leo nimecheka sanaa

  • @KmHn-qq4gi
    @KmHn-qq4gi Год назад +1

    Sijaerewa Safi sana

  • @Ahmedsalimu-p6v
    @Ahmedsalimu-p6v Год назад +7

    Oya 😂 ndaro siku Dai mb zimeenda kiuhalali kbs

  • @gladyskerubo7804
    @gladyskerubo7804 Год назад +1

    Hongera Sana

  • @ArKellyodenumz-dg5yh
    @ArKellyodenumz-dg5yh 6 месяцев назад +1

    Good job❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @KyarassVagheni
    @KyarassVagheni Год назад +7

    Nawa penda sana 🇨🇩

  • @chadracknshimirimana4761
    @chadracknshimirimana4761 Год назад +2

    Ndaroo shkamoooo 🙌🏻😂

  • @PamiloveIngabire
    @PamiloveIngabire 11 месяцев назад

    😂😂😂😂😂😂😂😂 mimi natok from burundi nilipend sana

  • @EmilianoKechegwa-xd7kf
    @EmilianoKechegwa-xd7kf Год назад +1

    Sharout mko pw wanaaa

  • @touches4lifeonlinetv46
    @touches4lifeonlinetv46 9 месяцев назад +2

    Kama utazingatiaa saana Steve hakutokaa na viaatu Ila hapo anavyo😂😂🤣😂

  • @TanzanianStars
    @TanzanianStars Год назад +14

    Naomba MB zangu😭😭😭😭

  • @katsuvakamatedaniel7893
    @katsuvakamatedaniel7893 Год назад +7

    Eti tuna toka ku emea😂😂😂😂

  • @latwibujuma
    @latwibujuma Год назад +7

    Kime waramba mbwa nyinyi😂😂😂

  • @PurityAkamurani
    @PurityAkamurani Год назад +2

    Ipo sku Stive,Ndaro na sele watajaniua kwa kicheko😂😂😂😂, mara mwauza mandazi yaliooza jamani❤❤❤

  • @mrdimpoz0298
    @mrdimpoz0298 Год назад +5

    Wapi like za wa KENYA 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪 🇰🇪

  • @MpunduMariam
    @MpunduMariam Год назад +1

    😂😂😂😂😂 mbavu zangu ati tunatokea mbezi sijui ni mbezi vile 😂😂😂❤ from Burundi

  • @humphreywamburatv
    @humphreywamburatv Год назад +5

    𝑻𝒖𝒏𝒈𝒆𝒐𝒔𝒉𝒂 𝒗𝒚𝒐𝒎𝒃𝒐 𝒌𝒂𝒃𝒊𝒔𝒂🤣

  • @ngovielkingeliance6125
    @ngovielkingeliance6125 Год назад +2

    Nawa kubali sana 🇨🇩🇨🇩

  • @princejayban
    @princejayban 7 месяцев назад +1

    Kuna dada hapa mwenye kazi yake safi sana lakini nashangaa mmemtupa nje sana mbona??????💔💔💔

  • @nelsonbisi6499
    @nelsonbisi6499 Год назад +3

    Big up brothers

  • @mrfix6596
    @mrfix6596 Год назад +7

    Kivumbi😅😅😅

  • @EliasJohn-lc8nu
    @EliasJohn-lc8nu Год назад +1

    Yan Steve na ndaro mko poa sanaaa ck mje iringa

  • @IsackJonasi
    @IsackJonasi Год назад +5

    Nakubarii

    • @EmmanuelTenga
      @EmmanuelTenga 4 месяца назад

      Very nice from tanga🎉🎉🎉🎉

  • @Solomuuo
    @Solomuuo Год назад +4

    Aiiiii; nkacheka leo😂😂: waosha pia na hiyo sukari 😂😂 kenya

  • @salmaali6817
    @salmaali6817 2 месяца назад

    Ina vhekesha sana hongereni

  • @MichelleSwai
    @MichelleSwai 4 месяца назад +2

    Eeehehehe balaaa balaaa mmmh wizi huuuu jaman nataka mb zangu 200

  • @fabienDC8431
    @fabienDC8431 Год назад +7

    Selemani wa mbosso uyo hapo kwa ndaro.

  • @ZainabAthumani-y2o
    @ZainabAthumani-y2o Год назад

    Nakubali wajomba

  • @AminaMkumba-u3z
    @AminaMkumba-u3z Месяц назад

    Serehe,Ndaro,Steve❤❤🎉🎉👆👆

  • @SeiphShaban
    @SeiphShaban Год назад

    Ndaro yupo makini sana nakujubali kaka mkubw

  • @enockondieki6675
    @enockondieki6675 Год назад +5

    Ii ndio inabambaa😂😂😂

  • @saidimgeni9096
    @saidimgeni9096 Год назад +6

    Ivi Steve na ndaro akili mumeweka mfukoni😂😂😂😂😂😂 dah ila mumetisha kinoma

  • @dukeonchiri5037
    @dukeonchiri5037 Год назад +5

    Kutoka Kenya Nairobi wahoooooo mko mbele

  • @KarimuLibago-zf9xw
    @KarimuLibago-zf9xw Год назад +11

    Ndaroooooo

  • @mollel25-k7x
    @mollel25-k7x Год назад

    Kazi nzur sana ndugu zangu pia naomba no za Steve mweus za WhatsApp

  • @pastorpeterjoseph5549
    @pastorpeterjoseph5549 10 месяцев назад

    Nawapenda sana❤

  • @dukeonchiri5037
    @dukeonchiri5037 Год назад +6

    Salamia kidawa