Размер видео: 1280 X 720853 X 480640 X 360
Показать панель управления
Автовоспроизведение
Автоповтор
Daah kaka anaongea kama Steve mweusi🎉 mwenye anahakiki apige like🎉😮
Alaf huyu manjano manjano anakuaga mpuuzi sana sijui kwanini hapewi tuzo😅😂#❤
Vichwa vibovu vimekutana leo 😄😄🙌
Dada unasauti nzuri ungekuw unaimba kwaya mungu angekuinua zaidi
Very true
Hivyo ndivyo niliporwa simu, hela na vyeti vyangu around Corner house, Nairobi mwaka wa 2015😢😢😢
pole kaka😢
Hii ndo apa 254 tunasema talent....ongera kaka...wapi like ya kenya jamani
Steve na Ndaro viboko kwenye vichekesho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nawapenda sana.
Elud namkubali sana 🤣🤣🤣🤣akiongea tuu unacheka sana 🤣🤣
Sijawahiii fikisha like 2 Ila kwa leo sijuwi Kama nitakosaa
Amadi kijicho big up
Steve siku izi ukiwa na Ndaro mambo ni udaku tuh
Wallah nilikua na miss Eliud vs Stive
Wakwanza Léo naombeni liké zangu kama tuko pamoja
Matako yako
@@fadhilfussi3637 mamako
You*
Smart sana kazi nzuri sana 💯💯💯
One love 😍😍 from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🎉🎉
😂😂😂one love from Kenya 🇰🇪 🤣🤣🤣
Napenda hiyo combination ya Steve na Ndaro 😂😂😂😂😂Keep up guys 💪
Nsa😮
Kazi nzuri kabiza
Mnanifurahishaga Sanaaa😂😂
Haswaaaa hapa ndipo mambo yanapokuwa vizuri Kama mmemuweka na huyu jamaa wa mbeya 💃💃💃💃💃hakika Steve na Ndaro Mmetisha sasa kazi iyendeleee toeni nyingi nyingi zakutosha kikundi hichi hichi
Eliud umetisha kinyama
Eliud my favorite person ❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Kazi nzuri majita saluute
Nyinyi nawapenda sana Akina wa stive❤❤❤❤❤❤❤🎉
Ndaro mbwa wewe unaweza kinomaa mfanye mpango na me tufanye kazi pamoja na me nipo vzr
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...we unataka niwe mweupe kwani mi msichana
Homeboi 🙌🔥 mbeya🔥🔥
ila Steve mweusi apewe heshima yake jaman 👍👍👍💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nimefurah kumuona eliud
Uyo mwamb namkubali san
Hapo mmemaliza combination Kali xnnn
naikumbuka siku nliyofanyiwa hivi hadi najicjekelea 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 pole sana
Kazi nzuri 😅😅
Aiseee Steve jaman
Huyu Ndaro bwana nampenda sababu yupo very siriaz ktk komed zake.Wanafurahisha sana
Eliud anajua 😅😅
Jamani tuleteeni Hamad kijicho😁😁😁
Ndaro mokojini 😮😮😮😮😮😮😮😮noma sana
Wa kwanza. Likes zangu
Wote nawa kubali na fulaisha sana
Eti kafanana na wayimba choir kama wakina Mwaitege😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂jaman kaka Angu kakaribishwa mjini😂😂😂😂😘
Nakukubali sana mwamba steve mweusi
watching from Uganda here trying to improve my Swahili
😂😂😂😂 jamnie uyu stive sasa !!!
🎉 woyooo kaka mbishi
Mdada huy anajuaaaGong like
Mchungaji ana SEMA wale wanangu 😢😢😢😢
Hamadi kijicho
😂akh nimecheka ata nikashuta wallah😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂noma sana
Jamn me naomben tu kumjua uyo hamadi kidicho😂
Mtandao ni poa. Hata Ar Rayyan, Doha Stivu kelele zafika. Kazi safi.
Tunawependa Burundi 😊q
Steve nikikupata ndakuowa ata🥰🥰🥰🥰
Nioe mm bas 🥺😂
Nawakubali sana aise
Udanganyifu wa hali ya juu
Steve ni noma
Bonny mwaitege 😂😂
Much love from Kenya guys 🎉🎉🎉❤❤❤
Nimeona nisi lale bila kuangalia
Eliud is Back😂😂
Mmmh atari kweli kweli😂😊
😂😂😂 hii ilimfanyikia msela wangu akie
Nili patana na watu kama awa Nairobi lakini walingonga mawe
Wa kwanza leo
Like zangu
@@hgondo595usijali utapewa like nyengine utakosa kwakuzipeleka🎉
Pamoja xana kaka
Daah hapo bado tx dullah mboneke na kicheche wachekeshaji wangu bora wa kizazi kipyaa😂😂
Mboneke na kicheche kiukweli bro sion ata kama ni macomedian Tosha kama hawa wana 😂😂😂😂
E mungu nakuomba
From Kenya 🇰🇪 bado mnatuelimisha kua waagalifu.
Wahuni kama kawa fresh😂😂
Mwendelezo basi
STIVE TUNATAKA TUMUONE UYO HAMAD KIJICHO
nawaelewa vijana wangu
😂😂😂Eliud bhana
Au sio 👉
Me wa Kwanza Leo jamani naombeni like hata 10 😂😂😂😂😂😂😂❤😂❤❤❤❤u
Huu muungano ni hatar sana😂😂
Hiyo noma
Mmetixha sana wanangu
Eti unakulaga ugali😀😀😀
Hamadi kijicho🎉
🔥🔥🔥
Utapeli wa mjini Steve na Ndaro🤣🤣🤣
Maselaaaaaaaaa😅😅😅
Maselaaaaa😂
Niliibiwa hvo juzi
Hawa jamaa wote wakali
Nani anamjua A boy from mkulanga uku
Nawapenda sana
naona lbd tuanze😂😂😂😂
😂😂😂😂kenyaa love mabregediaah
Kali
😅😂😅hv huyu hamadi kijicho ni nan
mlikua mmevuta bangi sana hapa😅😅😅
Mweusi kama mweusi
Jameni wa kwanza nipeni likes
😂😂😂😂😂😂😂😂 ndaro &Stevu 🔥🔥🔥🔥
Eli yudi noumaa aisee 🤝 🔥
Kweli ndaro Hana utofauti na njiti
Nimeipenda hyo
Eliudi unaupiga mwingi Nakubari san
Mtaani kwetu me tuwakilisha
Uko vizuri umejitahad kuigiza 6:00
Daah kaka anaongea kama Steve mweusi🎉 mwenye anahakiki apige like🎉😮
Alaf huyu manjano manjano anakuaga mpuuzi sana sijui kwanini hapewi tuzo😅😂#❤
Vichwa vibovu vimekutana leo 😄😄🙌
Dada unasauti nzuri ungekuw unaimba kwaya mungu angekuinua zaidi
Very true
Hivyo ndivyo niliporwa simu, hela na vyeti vyangu around Corner house, Nairobi mwaka wa 2015😢😢😢
pole kaka😢
Hii ndo apa 254 tunasema talent....ongera kaka...wapi like ya kenya jamani
Steve na Ndaro viboko kwenye vichekesho 🤣🤣🤣🤣🤣🤣 nawapenda sana.
Elud namkubali sana 🤣🤣🤣🤣akiongea tuu unacheka sana 🤣🤣
Sijawahiii fikisha like 2 Ila kwa leo sijuwi Kama nitakosaa
Amadi kijicho big up
Steve siku izi ukiwa na Ndaro mambo ni udaku tuh
Wallah nilikua na miss Eliud vs Stive
Wakwanza Léo naombeni liké zangu kama tuko pamoja
Matako yako
@@fadhilfussi3637 mamako
You*
Smart sana kazi nzuri sana 💯💯💯
One love 😍😍 from Zambia 🇿🇲🇿🇲🇿🇲🎉🎉
😂😂😂one love from Kenya 🇰🇪 🤣🤣🤣
Napenda hiyo combination ya Steve na Ndaro 😂😂😂😂😂
Keep up guys 💪
Nsa😮
Kazi nzuri kabiza
Mnanifurahishaga Sanaaa😂😂
Haswaaaa hapa ndipo mambo yanapokuwa vizuri Kama mmemuweka na huyu jamaa wa mbeya 💃💃💃💃💃hakika Steve na Ndaro Mmetisha sasa kazi iyendeleee toeni nyingi nyingi zakutosha kikundi hichi hichi
Eliud umetisha kinyama
Eliud my favorite person ❤❤❤❤❤😂😂😂😂
Kazi nzuri majita saluute
Nyinyi nawapenda sana Akina wa stive❤❤❤❤❤❤❤🎉
Ndaro mbwa wewe unaweza kinomaa mfanye mpango na me tufanye kazi pamoja na me nipo vzr
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂...we unataka niwe mweupe kwani mi msichana
Homeboi 🙌🔥 mbeya🔥🔥
ila Steve mweusi apewe heshima yake jaman 👍👍👍💯💯🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Nimefurah kumuona eliud
Uyo mwamb namkubali san
Hapo mmemaliza combination Kali xnnn
naikumbuka siku nliyofanyiwa hivi hadi najicjekelea 😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂😂 pole sana
Kazi nzuri 😅😅
Aiseee Steve jaman
Huyu Ndaro bwana nampenda sababu yupo very siriaz ktk komed zake.Wanafurahisha sana
Eliud anajua 😅😅
Jamani tuleteeni Hamad kijicho😁😁😁
Ndaro mokojini 😮😮😮😮😮😮😮😮noma sana
Wa kwanza. Likes zangu
Wote nawa kubali na fulaisha sana
Eti kafanana na wayimba choir kama wakina Mwaitege😂😂😂😂😂😂
😂😂😂😂jaman kaka Angu kakaribishwa mjini😂😂😂😂😘
Nakukubali sana mwamba steve mweusi
watching from Uganda here trying to improve my Swahili
😂😂😂😂 jamnie uyu stive sasa !!!
🎉 woyooo kaka mbishi
Mdada huy anajuaaa
Gong like
Mchungaji ana SEMA wale wanangu 😢😢😢😢
Hamadi kijicho
😂akh nimecheka ata nikashuta wallah😂😂
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂noma sana
Jamn me naomben tu kumjua uyo hamadi kidicho😂
Mtandao ni poa. Hata Ar Rayyan, Doha Stivu kelele zafika. Kazi safi.
Tunawependa Burundi 😊q
Steve nikikupata ndakuowa ata🥰🥰🥰🥰
Nioe mm bas 🥺😂
Nawakubali sana aise
Udanganyifu wa hali ya juu
Steve ni noma
Bonny mwaitege 😂😂
Much love from Kenya guys 🎉🎉🎉❤❤❤
Nimeona nisi lale bila kuangalia
Eliud is Back😂😂
Mmmh atari kweli kweli😂😊
😂😂😂 hii ilimfanyikia msela wangu akie
Nili patana na watu kama awa Nairobi lakini walingonga mawe
Wa kwanza leo
Like zangu
@@hgondo595usijali utapewa like nyengine utakosa kwakuzipeleka🎉
Pamoja xana kaka
Daah hapo bado tx dullah mboneke na kicheche wachekeshaji wangu bora wa kizazi kipyaa😂😂
Mboneke na kicheche kiukweli bro sion ata kama ni macomedian Tosha kama hawa wana 😂😂😂😂
E mungu nakuomba
From Kenya 🇰🇪 bado mnatuelimisha kua waagalifu.
Wahuni kama kawa fresh😂😂
Mwendelezo basi
STIVE TUNATAKA TUMUONE UYO HAMAD KIJICHO
nawaelewa vijana wangu
😂😂😂Eliud bhana
Au sio 👉
Me wa Kwanza Leo jamani naombeni like hata 10 😂😂😂😂😂😂😂❤😂❤❤❤❤u
Huu muungano ni hatar sana😂😂
Hiyo noma
Mmetixha sana wanangu
Eti unakulaga ugali😀😀😀
Hamadi kijicho🎉
🔥🔥🔥
Utapeli wa mjini Steve na Ndaro🤣🤣🤣
Maselaaaaaaaaa😅😅😅
Maselaaaaa😂
Niliibiwa hvo juzi
Hawa jamaa wote wakali
Nani anamjua A boy from mkulanga uku
Nawapenda sana
naona lbd tuanze😂😂😂😂
😂😂😂😂kenyaa love mabregediaah
Kali
😅😂😅hv huyu hamadi kijicho ni nan
mlikua mmevuta bangi sana hapa
😅😅😅
Mweusi kama mweusi
Jameni wa kwanza nipeni likes
😂😂😂😂😂😂😂😂 ndaro &Stevu 🔥🔥🔥🔥
Eli yudi noumaa aisee 🤝 🔥
Kweli ndaro Hana utofauti na njiti
Nimeipenda hyo
Eliudi unaupiga mwingi
Nakubari san
Mtaani kwetu me tuwakilisha
Uko vizuri umejitahad kuigiza 6:00