NDARO NA STEVE MWEUSI LEO WAMEYAKANYAGA

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 7 фев 2025
  • #ndaro #stevemweusi #comedy #trending #chekatu

Комментарии • 554

  • @reganclarence4657
    @reganclarence4657 Год назад +10

    loooh amnazo mpo vizuri hii kali ya mwaka

  • @héritierMutambala
    @héritierMutambala Год назад +6

    Kiukweli awa wajama wameni chekesha zaidi😂😅

  • @AllyJackson-xd5uv
    @AllyJackson-xd5uv Год назад +7

    Ndaro ni msenge,,, eti baba mwenye nyumba akichukua nyumba yake😂😂😂😂😂😂

  • @jadenmsafi
    @jadenmsafi Год назад +20

    Kashatupoteza huyu🤣🤣🤣

  • @hajrabablysh8892
    @hajrabablysh8892 Год назад +14

    wame homba duuuh kigoma moja ndarooo, nipotezwe ukuje naangalia hehehaheeeeeh

  • @FabianDirector
    @FabianDirector Год назад +18

    Daaaaaaaa kila siku nyie ndo mnamalzaga bando langu mnajuwa sana kunifurahisha🤣🤣🤣😂😂😂🤣🤣👍

    • @ArthurJoseph-fv6sl
      @ArthurJoseph-fv6sl 7 месяцев назад +1

      Hawa mafundi asikwambie mtu aseee

    • @Dkt-Emmanuel-Tz
      @Dkt-Emmanuel-Tz 3 месяца назад

      *JIAJIRI LEO KUA KIUCHUMI*
      ```TENGENEZA HADI 500,000 KILA WIKI KWA MUDA WAKO WAZIADA```
      *Habari yako*
      *Natumaini uko salama!*
      *LEO* nakupa fursa kubwa ambayo inaweza kubadilisha maisha yako kifedha na kiuchumi.
      Hii Fursa sio ya kawaida, ni mpango wenye nguvu ambao unatoa nafasi ya kujiongezea kipato,
      *Tsh 300,000 hadi 500,000 kila wiki*
      Na kupata uhuru wa kifedha, na kujenga mustakabali wa uhakika kwa familia yako.
      *Usikubali nafasi hii ipite bila kuitumia.*
      *Je, uko tayari kubadilisha maisha yako?*
      *Ni wakati wa kuanza safari ya mafanikio!*
      Ningependa tuzungumze zaidi kuhusu jinsi unavyoweza kujiunga na fursa hii yenye faida kubwa. Tuonane lini tuzungumze zaidi?
      Tunapatikana jijini Dar es salama Tanzania
      Mwenge Itv
      0767 595 644
      0621 217 832
      0759 560 018
      07878717 5 2
      Dkt. Emmanuel Theophilo
      whatsapp.com/channel/0029Va8G4qa3WHTONECHz33v

    • @Josyluckia
      @Josyluckia 3 месяца назад

      Walai na steve ndo wanamaliza dooh zetu😂😂😂😂

    • @kwizeraking8923
      @kwizeraking8923 Месяц назад

      Hata Mimi njohivonkweli

    • @kwizeraking8923
      @kwizeraking8923 Месяц назад

      ​@@JosyluckiaHawa hatarisana

  • @jamessamwel9456
    @jamessamwel9456 Год назад +4

    Nilikuwa sijawahi mfuatilia huyu Ndaro, aiseee he is more than comedian

  • @abdulbora812
    @abdulbora812 Год назад +6

    Wana zogo wana fujo wana kulitafuta😂😂 1 lv machizi kazi safi🇺🇸✌️

  • @ngovielkingeliance6125
    @ngovielkingeliance6125 Год назад +43

    Nafurahi zaidi ku ona mjeshi kikofia pamoja n'a Steven mweusi 😂😂😂

    • @KuyaMsuka
      @KuyaMsuka Год назад +2

      Wana vituko san

    • @GifthGifthyohana
      @GifthGifthyohana 2 месяца назад

      Aassaasaaa😊😅😅😮🎉😂😂​@@KuyaMsuka

  • @crecencierthomac1673
    @crecencierthomac1673 Год назад +2

    Nilisema mm lazima kiwakute kitu mjute sasa😂😂😂😂😂

  • @byelatibazigiza4305
    @byelatibazigiza4305 Год назад +2

    😂😂😂😂😂😂hakhiamungu nimecheka kumbe YESUtunamkumbia wakati wa shda!Stivu na Ndaro mtafka mbinguni mmechoka sana,😂😂😂 na❤ sana mnajua kunipa raha

  • @chikamajenisia2244
    @chikamajenisia2244 Год назад +4

    Stive eti tulikwambia utulete n'gamuyamuy😂😂

  • @petersaiperere5315
    @petersaiperere5315 Год назад +3

    Wuee Steve na ndaro mmekua wakora Sana af mkaushe mkora kama nyinyie mtauponza kweli

  • @christinaernesto4636
    @christinaernesto4636 Год назад +2

    Yani Steve na ndaro Mungu anawaona😂😂😂😂😂

  • @OMOBASIJAMES
    @OMOBASIJAMES Год назад +2

    Kumbe za mwizi arubaini stivo na ndaro jamani pole 🤣🤣🤣

  • @petermaina-nb9xh
    @petermaina-nb9xh Год назад +4

    Steve mweusi am watched from Kenya🇰🇪 unafurahishanga hae👋

  • @TelesiaPaul
    @TelesiaPaul Месяц назад

    🤣🤣🤣🤣 mnaniuaga mbavuu nyiee vijana jamniii Ndaro na Steve maua yenu 🌹🌹🌹🌹

  • @itwas2022
    @itwas2022 Год назад +9

    😂😂😂😂😂 Mjeshi kikofia + steve mweusi = 🔥

  • @ANKOZUBERI881
    @ANKOZUBERI881 Год назад +9

    steve na ndaro ni mbwa 😂😂

  • @asiasalim9323
    @asiasalim9323 Год назад +3

    Nywele za kuhota hizo vepeee ee 😂😂😂

  • @emertonmwakina8593
    @emertonmwakina8593 Год назад

    Hapo nimejifunza kitu Boda tosheka na kidogo ulichopata haya basi waendakujionea mambo😂😂😂😂😂Hata peni hupati😂😂😂😂😂😂😂

  • @jacklineyaa717
    @jacklineyaa717 Год назад +3

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 unafikiria kila tajari ni wa kuteka Steve wewe

  • @OthumanBashiri
    @OthumanBashiri Год назад +4

    Kweli machiz wamekutana😜😜🤣🤣🤣

  • @wacassinah
    @wacassinah Год назад

    😂😂😂😂😂huu niukweli kabisa,,,kwanza kina dada hua hawalipi nauli

  • @MussaLaurentNdirachuza
    @MussaLaurentNdirachuza 2 месяца назад

    Kabissa ila jamn ukichukua chumba kwake hapa lazima uwe na moyooo😅😅😅😅😅😅

  • @satixsatixstarsilence
    @satixsatixstarsilence Год назад +3

    Kimoja Steve mweusi siku zote una niudiha siku 😂😂😂😂

  • @wyclifemwachi1964
    @wyclifemwachi1964 Год назад +7

    Huyu ndaro ni muha wa kigoma

  • @UpendoIbamba-uk2hd
    @UpendoIbamba-uk2hd Год назад +1

    Wao nina kupenda sana Steve mweusi nitafute makini niigize

  • @monadinadi5295
    @monadinadi5295 Год назад +2

    Nawapenda nikirudi bongo ntawatafuta❤❤

  • @NeshNesh-qu4ig
    @NeshNesh-qu4ig Месяц назад

    Aki ndaro wewe niuwe sasa venye unetaka🤣🤣🤣🤣🤣

  • @ShabaniAmisiChris
    @ShabaniAmisiChris Год назад

    😂😂😂😂naweza tamani kupatana n'a Steve mweusi

  • @oscarmagongo8903
    @oscarmagongo8903 Год назад +17

    Leo Mapema Sana nimekua number1

  • @christinakomba97
    @christinakomba97 3 месяца назад +1

    😂😂😂boda kanyamaza kmyaaa anawatzama tu

  • @barackawithokiswaga2686
    @barackawithokiswaga2686 Год назад +1

    Oy mwanangu Ndaro, mnaweza sana😂😂

  • @RoseMmbone-e8m
    @RoseMmbone-e8m 3 месяца назад

    Weeeeh 😂😂😂😂😂 mwalimu wakiswahili unaulizwa hapa n wapi😂😂😂

  • @MartooNdale5480
    @MartooNdale5480 Год назад

    Combination Moja nomaa😂 mumeweza tu saana

  • @JeziraMusa-i7v
    @JeziraMusa-i7v 2 месяца назад

    Mnanichekeshag nyie wa kaka 😂😂😂😂aki yamungu nyie wa kaka mnapendwa san na me ❤🇧🇮 ❤😂😂😂🎉

  • @MussaLaurentNdirachuza
    @MussaLaurentNdirachuza 2 месяца назад

    Mmezid mlipeni bas pesa take huyo boda😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅😅

  • @memsiigaufe9225
    @memsiigaufe9225 Год назад +15

    Ndaro steve 😂😂wasenge sana mbavu zangu😂😂🇧🇮🇧🇮

  • @nunuuali5316
    @nunuuali5316 Год назад +2

    😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂hapo kwenye ndugu yenu

  • @fabriceabedi8606
    @fabriceabedi8606 Год назад +7

    It's too smart💘🌺🌸🌺!!,seen by mwanakongo's shop🇨🇩🇨🇩🇨🇩🇨🇩.

  • @SurprisedCoastline-hr8lb
    @SurprisedCoastline-hr8lb Год назад

    Jamaa wap vzur isee❤❤❤❤ mtnzania halisi

  • @alvintemba8378
    @alvintemba8378 Год назад +1

    Wameyakanyagaa🤣🤣🤣, ama kweli mwizi hatosheki

  • @Meshacklaizer-d8v
    @Meshacklaizer-d8v Год назад

    Kweli mko vizuriii nawapat nikiwa kenya

  • @Jenifa-x8v
    @Jenifa-x8v Год назад

    mko vzr aiseee i like it👏👏

  • @Meschactv-uh9us
    @Meschactv-uh9us Год назад +3

    hello my friends I really like to continue because I like your videos

  • @YusuphYusuph-z6o
    @YusuphYusuph-z6o 2 месяца назад

    Oy mjue nyie ndiomnaonimalizia bando langu😅😅😅😅😅

  • @allymwashambwa5920
    @allymwashambwa5920 Год назад +1

    🤣🤣🤣🤣🤣🤣sijawahi kuona mafala Kama ndalo na Steve

  • @bellabelle1593
    @bellabelle1593 Год назад +2

    Leo mumeyakanyanga jamani mbavu zangu🤣🤣🤣

  • @wiclifewilliamson338
    @wiclifewilliamson338 Год назад

    Ndaro Steve nawakubalii Sana sema hata Mimi ninakipaji tatzo sapoti

  • @mejoomejoo-vl2vi
    @mejoomejoo-vl2vi Год назад +6

    Nawapenda sana mach love from Tanzania 🇹🇿

  • @RukezaMathilde
    @RukezaMathilde Год назад

    Kkkkk awa ni wazalendu kamili.😂😂😂 Show na show

  • @SadikiMichael
    @SadikiMichael 2 месяца назад

    Steve Na kukubali😂😂😂😂😂 kk

  • @locktyggertz8554
    @locktyggertz8554 Год назад +17

    Hivi Steve mlimwambia awapeleke wap huyu dereva boda boda wa pili pumbavu zenu😂😂😂😂😂😂😂😂😂😅😅

  • @ShamsaHassain
    @ShamsaHassain Год назад

    Hahahaha wa wamehomba msemo wa waha kigoma

  • @muhammadjamady-zx1jy
    @muhammadjamady-zx1jy Год назад

    Waone kwanza bado.kidgo tu wasababishe ajaliii 😂😂😂

  • @cyprianopudo-v8g
    @cyprianopudo-v8g Год назад

    Heri Tanzania....hio mchezo na WA Boda wa huku Kenya hautapenda my friend 🤣🤣🤣🤣

  • @KondeBreezy22-lm7wi
    @KondeBreezy22-lm7wi Год назад +2

    WAziri wa maji tena🤣🤣🤣🤣🤣

  • @FrenkLyapua
    @FrenkLyapua Год назад

    We msukuma ❤mpe Bana mwenzio ela wewe ni msukuma sitivu

  • @naamanidamasi6125
    @naamanidamasi6125 6 месяцев назад

    Napenda kumuita mzee wamachalee

  • @shubeyk
    @shubeyk Год назад +1

    Hatari sana, Ila nmecheka mno😅😂😊

  • @AlfredOtieno-w5j
    @AlfredOtieno-w5j Год назад

    Mnatuchekesha Sana aki m😂😂😂😂

  • @iddymahamdutz2986
    @iddymahamdutz2986 Год назад

    😄 😄 baba mwenye nyumba akichukua nyumba yake

  • @FrankCharles-dr6dy
    @FrankCharles-dr6dy 3 месяца назад

    ❤❤ kazi nzur mweus

  • @mussamageme2748
    @mussamageme2748 Год назад +35

    Nimechelew jmn nipenk like ata kumi jmn😢

  • @SamorafestoShaban
    @SamorafestoShaban 3 месяца назад

    Yanihawa hawajapata kibokoyao😅😅😅😅😅

  • @ShaffyNtibenda
    @ShaffyNtibenda Год назад

    Vinkuti na vidono Kinga asili inayozui vifaa vya ncha Kali from kigoma

  • @TALLUBOY
    @TALLUBOY Год назад +3

    Akir zenu bwana hatari sanaa
    Uyu maa mupo nae uyu jamaaa au nini
    Maana yupo siliasi sana uyu jamaa nayeye

  • @ommyrexh6294
    @ommyrexh6294 Год назад +5

    Hap ni wap? Usinijibu 😂😂😂😂

  • @thekingsstarsdancers5933
    @thekingsstarsdancers5933 Год назад

    Hawa jamaa wakishikana n wazimu kabisa 😅

  • @DamumuMkali
    @DamumuMkali 7 месяцев назад

    Pumbavu shafii huogi ndio man utak kukubali unapigan n Steve mweusi mtu asie n maneno jinga san shafii mashavu kam paka w dukan alfu kumbe njaa ndio inakusumbua 🤣🤣wataka Steve akulipe ww tafuta ela n nguvu zako wacha kutafuta wenzako mshenzi ww shafii tena mshenzi usie n mfano

  • @davidteonest6291
    @davidteonest6291 Год назад +1

    Ila ndalo katisha Sana umu🤣🤣🤣😂

  • @EmmanuelBarany
    @EmmanuelBarany Год назад

    Jembe jaw kwel😂😂😂

  • @bullsjoy254
    @bullsjoy254 Год назад +9

    😅😅😅😅😅😅aky unanibabanga Sana guys much love from Kenya 🇰🇪

  • @JapharyKamoga
    @JapharyKamoga 9 месяцев назад

    Dah Yan awa Jamaa Wana vituko

  • @muhammadjamady-zx1jy
    @muhammadjamady-zx1jy Год назад

    Boda bado.kidogo achekee amekumbuka kuwa wapo wanashuti😂😂

  • @emanuelymittango3741
    @emanuelymittango3741 Год назад

    Duh yaan nyie mnakosha kweli🤣🤣🤣🤣

  • @BabaNuu-g9m
    @BabaNuu-g9m 2 месяца назад

    Sana akiri nyingi nguvu kidog wana nyota zautaperi hawa

  • @RestitutaRestach
    @RestitutaRestach Месяц назад

    😂🤣🤣 jmn mnaliza bando langu nyieee

  • @shelomaday4633
    @shelomaday4633 9 месяцев назад

    Et twende hvi ( HIVI NI WAPI) HAHA STEVE km mwalimu wa mathe vile HAPA N WAPIIIII....

  • @ClassicAmoga
    @ClassicAmoga Год назад

    😅😅😅😅 mutakuja kutu toa mbavu jamn kah

  • @mangeoff3935
    @mangeoff3935 Год назад

    😂😂😂 vinguti vidonoo kigoma oyeeeeee😂😂😂

  • @joshuason557
    @joshuason557 Год назад +9

    Eti pesa ina sula ya bibi yako ?!!!!😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂

  • @jaybizzo_milosso
    @jaybizzo_milosso Год назад +6

    Ndaroooooo oyeeeeeee hatar saaaana

  • @HassanAli-di8qz
    @HassanAli-di8qz 5 месяцев назад

    Jeme ivi wakenya awana maemdeleo nisaindieni mm mkenya ata mm nacheza muvi nimwigizaji mzuri tup

  • @Shekalagekassim
    @Shekalagekassim Год назад

    Nakubali sana mjeshi kikofia

  • @SalumHamad-q1c
    @SalumHamad-q1c 5 месяцев назад

    Zingatia sehem yakwenda tutaongea bei😅

  • @caromelvin
    @caromelvin Год назад +1

    Aki mwanivunja mbavu Mie Je madem wenu wanafurahia😂

    • @sammiesammie1469
      @sammiesammie1469 Год назад

      Mbona hivi rakini una namba zangu za sim tiyali baibe mbona uwasiliani Nami kwan kwendaj baibe.😍😍💕

  • @Fes_org
    @Fes_org Год назад +1

    Fala kweli Hawa mbwa😂😂

  • @carolinemahenge1674
    @carolinemahenge1674 Год назад +4

    Jaman dteve na ndaro jamani big up😂like zangu

  • @DanielBandolela
    @DanielBandolela 3 месяца назад

    Awa watu wa wili awana akili kbs waki kutana😅

  • @PollyShop-pv5nn
    @PollyShop-pv5nn 5 месяцев назад

    Uwiii nacheka kwel kwel 😂😂😂😂😂😂😂

  • @lilianalmas5911
    @lilianalmas5911 Год назад +4

    Ndarooo na Steve mweusi nawakubali Sana 🤣🤣🤣🤣

  • @RukumaniDauda
    @RukumaniDauda 5 месяцев назад

    Nawakubali sana😻😂😂😅😊

  • @andrew0502
    @andrew0502 Год назад +9

    Eti twende tutafute wa mwisho tukampotezee maeneo ya nyumbani

    • @MursalLusinde
      @MursalLusinde 8 месяцев назад +2

      Yaan we acha tyu

    • @Swamycute-l8o
      @Swamycute-l8o 4 месяца назад

      Apan kazi ipo mpka mbavu zangu zauma 😂😂😂xema nawapenda ❤❤❤xana❤

  • @AbdulWahab-hg1ge
    @AbdulWahab-hg1ge 6 месяцев назад

    Ndaro & Steve 2wape nini mmetisha sana

  • @philipomlaponi905
    @philipomlaponi905 6 дней назад

    Nakubali kaz

  • @SelemanBakari-v5z
    @SelemanBakari-v5z 3 месяца назад

    Dar kiukweli yani having vichwa balaa😂😂

  • @KimZoo-gx7do
    @KimZoo-gx7do Год назад

    😅😅😅😅hawa ndio vijana wa hovyo kabisaa

  • @OllahLyimo
    @OllahLyimo 2 месяца назад

    Eti nyie ni matajiri😂😅😂😅😂😅