Leo tuna ruka nayo kibabe kabisa TAMTHILIA YETU PENDWA > KWAWALE MASHABIKI SUGU WA TEAM STEVE MWEUSI BASI MSISAHAU. KU GONGA LIKE HAPA TWENDE MBELE DAIMA NYUMA MWIKO KABISA. LEO TUNARUKA NAYO KIBABE. HOUSE BOY. ❤❤❤❤ TEAM Steve mweusi popote pale mlipo basi tujuwane jamani.
UNAZINGUA SANA STEVE..... USIONE WENGINE WAKIWA NA 1M VIEWS KWENYE EPSODE MOJA NI KWAMBA AKI FLOW NA SERIES MOJA MPAKA IISHE SASA URITHI WA BIBI IMEISHIA WAPI? USHAANZA KITU KINGINE.......
Mimi ndo nilikuwa WA kwanza sema simu imezingua mtandao haukuwa mzuri😭😭. Steve mimi ndo wakwanza please waambie waweke Likes hapa😢😢
Basi usilie mimi pande za South jurbg nimeweka hapo au aujafurahi bado😅
Kwani like unakula
@@kataviboi99music mwana katavi mwenzangu mbona hivo 😂😂😂 likes zinafurahisha😂😂😂
@@Jurbeg asante😂😂😂
Hivi like mnafanyiaga nn
Umetishaaaa kinoma ila usisahau kumalizia urithi wa bibi..🎉🎉
wakwanza from kenya much love 🇰🇪🇰🇪🔥
Stive mweusi tunakupenda sana Bd 🇧🇮🇧🇮 karibu kwetu tunakufa sana
Jamani ndio hii kali ila URIDHI WA BIBI bado ina chachu ndani
Tuna isubiri Best Steve.❤❤❤
House 🏡 boy 🔥🔥 big up sana broh💪💪
Noma,much love from Kenya 🥰❣️🥰❣️🥰
Wakwanza mimi naomba like zangu jaman kutoka USA 🇺🇸 ♥️
ruclips.net/video/BeK4zN9cjlY/видео.htmlsi=EsYAL2ffRfKct-qj
🎉🎉🎉🎉
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂
@@Crazyrich-hi5fb4oz7u
Hii Kali kabisa.... 🎉🎉🎉 afu wana dhidi kuwa linganisha na wale wakina nani iiih😅
Much love From Zambia❤❤❤❤
Yuhuuuuuu sijachelew San big up steven❤🎉 Mr.madevu na aziza mnaendan San 😂😘 aloliona ilo anipe like 5 tuuh😢❤
❤❤❤
Hi what's your name
Love you❤❤ Zurich
Much love from kenya 🇰🇪
Naona Kali ya Steve iyo
Edina 🐈 is in the loop😂😂. Steve though 😂😂😂. Ashaa shindwa na kazi day 1😂😂
Kama unamkubali svete mad of comedy piga malike adi uchoke😂😂😂😂😂
Steve 👏👏👏👏kbs Endelea kuwa mwalimu wa wachekeshaji wote!! 🙏🙏🙏🙏
Much love from zanzibar🎉🎉🎉
Habari Steve ako nakosa gani 😂
Love from Rwanda 🇷🇼
😎Mimi wakwanza leo from Ug 🇺🇬🇺🇬🇺🇬
🙏🏿 much love ❤❤
Xjrwr
Xxx
Much love from ,malawi 🇲🇼
Wa kwanza Mimi kutoka 🇺🇸 nipeni like zangu team mweusi tupo 😀😀😀
Sele na bray mkomesheni Steve
Leo tuna ruka nayo kibabe kabisa TAMTHILIA YETU PENDWA > KWAWALE MASHABIKI SUGU WA TEAM STEVE MWEUSI BASI MSISAHAU. KU GONGA LIKE HAPA TWENDE MBELE DAIMA NYUMA MWIKO KABISA. LEO TUNARUKA NAYO KIBABE. HOUSE BOY. ❤❤❤❤ TEAM Steve mweusi popote pale mlipo basi tujuwane jamani.
Mi namfuatilia saana steve leo nimekuwa wa mwisho jamn hata like 5 tuu
Ogera kwako stev una tubamba sana sisi wa Kenya 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪😊😊😊
Ow stive eeh nakubali Sana penda kazi zako sanaaaa
Wakwanza mimi nipeni like zangu steve
Sijuwi ndio mambo ya January yaani huyo inzi kwenye chakula nimejikuta namfukuza na mkono hii kweli blaaaa😂😂😂
Steve kavaa nguo za shemegi yake😂😂😂😂😂😂
Sio shemej yake Steve ni houseboy
Following up from Kenya,,,,😂😂😂😂😂😂stive nakuaminia
Namkubali sana Steve
Nakipendaga icho kisaut et Eeenhhhhh 😂😂😂😂
Uko vzr congratulations sana Steve
Stive anajitaidi sana mungu ambari kazin zake nzuri
😂😂😂Aah naungua
Wataka kuunguza steve na chakula😂😂
Steve mbona hamuendelezi URIDHI WA BIBI ama ndo iliisha hivyo ❤❤
kiekiekiekiekiekie kiekiekiekiekiekie iyi kali jameni ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂 nawapenda saaaa
Love it ila mbona ujamalizia uridhi wa bibi Steve tunangojea
Steven uyu broh mkali saana kwa comedy,' mimi toka Congo nazidi kumkubali saana😂😃
Good job bro 😂😂😂😂😂❤❤❤🎉
House boy your so funny BY LJ😅😅😅😅
Mmm ndio
Steve utaua watoto jamani🤣🤣🙌, sio Kwa midawa ya m'mbu iyo
Eti nyau anaitwa Edina🤣
Good stuff bruh 🔥
Dowlnad
Urith wa bibi iko wp ushaanzisha nyingne duh afu wakat huo washindan na clam vevo, bado sana
Hujamalia series ya mwanzoni usharudi na nyingine
Daah😂😂😂
Ata mm naomba likes ety
Aiseee noma from Tanzania 🇹🇿
😂😂😂😂😂😂😂 dah naenjoy Sana nikikuaangalia Steve
Nzur jamn ila inachelew kupostiwa
God job kaka🎉🎉 mpeni mauwa yake
Steve we mkali kweli jamani😅🎉😊❤
Steve mashaallah allah akuongoze umeeanza dua kwa bismilah
😂😂eee naunguwaaq 😂😂😅
😂😂😂😂❤itabidi uje arabuni kwa hawa mayaudi😂😂
Much love from 🇨🇦
Stive ww ak ,, anyway I love your movies broo mkiwa na sele wagotee wegine byeee❤❤
Much love from Burundi mnanifulahisha
Brother Steven unajua njoo kenya mombasa tukuone live brother
Sawa kk lakini acha Ku mzarau clam, mupendane mutafika mbali sana kk
Good job big bro
Nawapenda Sana tena Sana ❤❤❤❤
My stress killer tiv😂😂😂😂😂🎉🎉🎉
Nakala safi la Stivo,Maadili mèma kwa jamii
Steve aky ww😂😂😂😂Much love frm 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🥰🥰🥰
Steve you never disappoint 😅😅😅😅njooni mkale masikio anyways much ❤
Sana Kaka stive one day yes nakukubalii
Hii nayo kali ...ila bruh @Steve mbona urithi wa bibi aijatoka tena harafu movie ni nzuri sanaa daah
Steve wewee noma Sele Leo amemaliza anaficha chakula ndani ya kanzu lako😂😂😂
Steve hauna umoja wa kazi zako hamjamaliza hii mnaanza ile
Good job 👍👍👍👍❤❤❤❤
Kaka umetisha😂
Kaz mzuri Steve mweusi
I love u tanzania 🇹🇿 from Ethiopia 🇪🇹
Steve hiii imeniibia😂😂😂
Na wapenda wote my from burundi
Mimi ni ezee son, kutoka Congo 🇨🇩🇨🇩🇨🇩 beni
Madevu na aziza mnaendana sana waly ❤❤❤❤
Aise,uta wauwa watoto😅😅
Mimi wakwanza desos chuii
Stivu ndio bosi lakini ndo anacheza kwa hadhiya chini sana hakunabosi anaefanya hivii yani wafanyakazi wake anawapa nafasi zuli❤❤❤❤
UNAZINGUA SANA STEVE..... USIONE WENGINE WAKIWA NA 1M VIEWS KWENYE EPSODE MOJA NI KWAMBA AKI FLOW NA SERIES MOJA MPAKA IISHE SASA URITHI WA BIBI IMEISHIA WAPI? USHAANZA KITU KINGINE.......
Nilikua naitafuta sana hii coment
Steve Hii Kali Mzeh Wangu Nguvu Moja 🎉🎉🎉🎉🎉
Kaka wewe noma hendeleya unatupa raa sana❤❤❤❤🎉🎉🎉🎉🎉
Steven mweusi nda mmmmmmh good job man
Steve your a TOP STAR💫💫💫💫💫💫💥💥💥COMEDIAN🎉🎉🎉❤❤❤❤😊
Good job steve kip up bro
Nishatokea jamani nipeni likes zangu basi hata tano tuh ❤❤❤❤❤❤😢😢😢😢😂😂😂
House boy ndio kama hawa😂😂😂😂
😅😅😅this person is talented walai
masikio yenyewe ndio hayo Steve watashiba😂😂❤❤❤
Mnakumbuka kula nyie paka aaah 😂😂😂 weeeeh ednaaaaa😅😅😊
Noma aisei
Steve twaongoja house boy 2
Mamaaa naungua 😂😂😂 Ni hatar ogpàa
Toa part 2 haraka hii move Kali nimeikubali🎅🤝
Steve mukali tu tanzania
Kazi nzuri Steve
Part 2?😂😂😂😂iko wapi
😂😂😂😂😂😂😂😂 ww nomaaa sanaaaaaa 🔥🔥😭
Good 😂😂😂😂