Asante San naomba pastor Deogratias sukambi anisaidie jamb mim nipo kweny mahusiano lakin uyo mwanaume ni mtu ambae alisha wahi kuoa akamfumania mke wake na rafiki yake kwaiy toka hapo amekua amuhamin Tena mwanamke yeyote naomba msaad maana nampenda San 🙏🙏😭😭😭
Wooooow, where have you been pastor in all my life! ningekuwepo mbali sana kama ningelisikia neno kama ili. May God bless ,keep on blessing us with more.
Usingizi umeniishia kabisa,nimechanganyikiwa🙏🙏mme wangu akuwai kuwa na sifa ata moja,😭hero niishi peke yangu Maisha yangu yaliyobaki,mchungaji Roho ya MuNGU ipo ndani YAKO🙏
Aisee haka kapindi nimependa mno na pia airin hichi kipindi mwenye kutaka kukielewa atakielewa ila kiukweli wanawaka saivi hatutaki kukubali majukumu yetu na haya ndio yanasababisha sana vitu tofauti kutokea
Daa nilipata mwana muke kwenye tendo alikuwa muzuli sana ira katik maisha yakawaida Yani alikuwa Hana zile tabia ama muchango muzuli zakunifanya nihisi nipo kwenye mikono Salama Yani alikuwa Hana muchango ira mwaka juzi nili pata mwengine ana malengo na anamchango mukubwa na ana nielewa ninachokisema ira kwenye tendo sio mjuwaji sana. Tumedeti kwa mwaka m Moja na tupo kwenyendoa kwa mwaka muoja ira tunaenda sawa sawa mpaka Leo hii
uyu pastor ameweza kabisa ameongea facts tupu ,nawapa changamoto kugwii fuateni Aya yanayojadiliwa apa bac mtaweza kunusuru ndoa na kujenga wanawake na waume kiujumla
Ki ukweli nime faidika sana na maswali yangu yame pata majibu azidi kurundi ili tu elimike vizuri Allah awape hitaji lamoyo wenu piya amani itawale maishani mwenu 🇧🇮
Jamani. Kuhusu hapo mama kufanya majukumu ya baba umeniacha solemba mkuu. Unakuta mtu hajishughulishi Na watoto, hajui wanakula nini ama wanavaa nini, wanasoma au hawasomi. Yeye kazi ni kuzalisha tu. Sasa we mama ukikumbana Na mwanamme kama huyo Na wewe uko Na roho nyepesi utaacha watoto wako wateseke kwa sa Abu mzee hajishughulishi? Hapana aise la da hapo sio chi yang ninayoijua😢
Hello Irene K, I am really blessed by this man's knowledge and explanation. However, I would like if you can ask him to come back to the studio and explain what are the signs, attitudes, behaviours of man who is romantic vs a man who is too romantic. Once again, be blessed for all your work. Ami from Canada
Da Irene kuna mahali niliona Pastor Deo anasema kuhusu competent compassion character Kwa kwel natamanani kupata haya maelezo vizur Dada kama akirudi tena. ,,🙏🙏🙏
Nice content…. This heal a lot of people WE WANT HIM AGAIN “This time let him discuss about single families,this is cancer to the society and is definitely the out come of all problems happen naw,fore example you find a man love with other gender 0-20s without knowing the role of man in the family so it’s take alot of energy to be through this,only words he heard since his born til 20s is :women can do without: but they forgot the one they rise is the man….. we’re going to loose this mens generation PLEASE LET HIM COME BACK FOR THIS….. @sns #itene
Hata ukienda kwa mwingine atakulizisha kwa mda mfupi tu. Kinachotakiwa uangaliea wapi unamkosea wanaume wengi hawataki manjonjo . Unakuwa fundi kuliko mwanaume hata kulia Hamna hata kusema unaniumiza Hamna . 😂😂
TUNAMTAKA TENA, ni ipi mipaka ya mume na mke kwa majirani na watu wengine walio nje ya mahusiano yao, Mf je ni sahihi kwa chumba cha wanandoa kutumiwa na watu wengine endapo wanandoa hawapo??
Kubwa zaidi, kwl unaitendea HAKI taaluma yako, kwanza msikivu, na unamtiririko mzuri wa majadiliano. Bravel
kipindi kizuri Sana Dada Yuko simpo hongera na mchungaji Yuko vizuri kwanzia sauti Hadi kuzungumza salute kwake
Woow am lucky to have him🙏🙏mungu anitunzie jmni🇰🇪🇰🇪.nilikua naona kma hanipendi kumbe he is right
Nimekupenda dada Irene huwa unaendesha kipindi ukiwa umetulia sana, napia unauliza maswali mazuri sana hongera sana,
Asante San naomba pastor Deogratias sukambi anisaidie jamb mim nipo kweny mahusiano lakin uyo mwanaume ni mtu ambae alisha wahi kuoa akamfumania mke wake na rafiki yake kwaiy toka hapo amekua amuhamin Tena mwanamke yeyote naomba msaad maana nampenda San 🙏🙏😭😭😭
huyo pasta ajengewe sanamu aise anajuwa💕💕💕💕💕💕
Du jamaa kichwa noma anajiibu hongera kaka im from skandinaviska
Wooooow, where have you been pastor in all my life! ningekuwepo mbali sana kama ningelisikia neno kama ili.
May God bless ,keep on blessing us with more.
bless you
Irene,Irene,Irene unafanya vizuri sana mdogo wangu napenda sana unavyotulia kwenye kipindi.
thank you🙏
Doooh! The next Chris mauki salute kwakee
Mrudisheni uyu jamaa jamani bc anatufusha sana sisi vijana kusitokulupuka 🙌🙌🙌
Hapo kweli kbs kaka Deo. Ke wanazidi kuchanganyikiwa.
Dada airine wageni wafundishaji wawekee maji au juice au kachai inafaa sana asante
😂😂 😂 dah umefikiria mbali sana
Kama vile vipindi vya salama jabir akiwahoji watu anawakaribisha vizur samaki samaki juic mazingira mazur pia
Hongera Sana pastor umetupa mafunzo ya uhakika kuhusu mapenzi hapo nimekupa 💯Kwa 💯
Hongera sana iren Kwa kpid nimejifuza kitu
kwanza hongera sana kka. anatuwakilisha vyema. Listen from Dk 36
Hongera sana mkuu!!
Incredible talk congrats
Usingizi umeniishia kabisa,nimechanganyikiwa🙏🙏mme wangu akuwai kuwa na sifa ata moja,😭hero niishi peke yangu Maisha yangu yaliyobaki,mchungaji Roho ya MuNGU ipo ndani YAKO🙏
pole dada
Asante,
Asante kwa SoMo zuri doctor
Mko vizuri nimewaelewa.
Au na wew Irene ulishampa me vitu hivyo! Kaka Deo fanya mambo.
Asante sana tunazidi kujifunza Mungu awabariki
Viewing from 254 tunapenda kipindi
Irene. Thank you. Mada muhimu na nyeti kweli.👍🏾👍🏾
Wallah nmependa sanaa hii interview en nmejifunza ving
Duh i really understand, kupitia somo hili duh!!!!!! Kongole lako pastor
Good 💯kipindi kizuri.👏
I really like this man...HE IS GENIUS
MY GENIUS FATHER👐
You made my day! Tnx a lot! Nimebadilika kuanzia sasa!
Hitaji namba moja LA mwanaume ni kujisikia mwanaume 👏👏👏
Aisee haka kapindi nimependa mno na pia airin hichi kipindi mwenye kutaka kukielewa atakielewa ila kiukweli wanawaka saivi hatutaki kukubali majukumu yetu na haya ndio yanasababisha sana vitu tofauti kutokea
Kaka deo uko vizuri mungu akupe nguvu na afya njema na akuongezee maarifa zaidi
Wow! true facts
jamaa hakushukuru wala hakupongezi na ume fanya kila kitu🤣🤣🤣🤣🤣🤣 asante Pastor tuna acha kiherehere
Kidele😂😂
😂😂😂 acha kabisa!
We Irene wewe! Kumbe leo unafaidi! Unawasaidia sana wanawake wenzako....
Irene 😅 this person hapana aai nimecheka hp mwishoni ad bs
Thank you so much for this session....I have unlearned so many things.
which English is that
@@barakamshiu7146 ya mwendo kasi au🤭
@@tunajaribu 😂😂😂😂
@@barakamshiu7146 🤣🤣🤣
Go back to school
Really enjoyed this topic it's clutching my heart and brain amazing.listening from Europe.merci beacoup
Thank you guys i have learnt a lot .
Dah arudii Tena dah Irene hii imekaa kikubwa Sana
Tunamtaka tena,,Yani uyu mwamba anajua Sana kututibu ,,
Aje tena Jaman
Daa nilipata mwana muke kwenye tendo alikuwa muzuli sana ira katik maisha yakawaida Yani alikuwa Hana zile tabia ama muchango muzuli zakunifanya nihisi nipo kwenye mikono Salama Yani alikuwa Hana muchango ira mwaka juzi nili pata mwengine ana malengo na anamchango mukubwa na ana nielewa ninachokisema ira kwenye tendo sio mjuwaji sana. Tumedeti kwa mwaka m Moja na tupo kwenyendoa kwa mwaka muoja ira tunaenda sawa sawa mpaka Leo hii
Jifunze kua msiri ayo umeyasema unataka nn sasa
Kaka unaeleweka sana
@@gracesilayo7670 😂😂😂😂😂😂
Nawapenda 🔥🔥🔥🔥
keep that spirit pastor yakuelimisha jamii, yu real knw what you're doing. nashukuru Irene kwakuandaa kipindi bora
Thanks a lot fadher and sister , ur the best 👏👏
Naomba next time ukimualika muulize kuhusu Alpha Wife and Beta husband
Hanapata shukrani
Let help this generation for better future
“TOPIC IWE KUSAIDIA VIJANA HASA WA KIUME WALIOKUWA BILA JINSI YA ME” Kwenye familia zao
uyu pastor ameweza kabisa ameongea facts tupu ,nawapa changamoto kugwii fuateni Aya yanayojadiliwa apa bac mtaweza kunusuru ndoa na kujenga wanawake na waume kiujumla
Wow 😲 perfect
Ki ukweli nime faidika sana na maswali yangu yame pata majibu azidi kurundi ili tu elimike vizuri Allah awape hitaji lamoyo wenu piya amani itawale maishani mwenu 🇧🇮
Mmm jamani huyo baba ananondo sana,mkaribishe tena jamani
Mnalinda ndoa za WATU ELIMU nzuri sana kwa wanandoa vijana
Nmevuna kitu kwenu hongeren sanaa,nipo Iraq nawafuatilia
Wallah mambo ya lao matam sana
Naomba number ya huyoo pasto
I love it 💖💖💖💖
I like the Mind of this Men
🤣🤣🤣🤣Kweli haya mambo ya kikubwa. Wale wadogo mpite kimya kimya. Ila hongereni sana madini mazuri sana.
hii doz siopoa nizaidi ya nusukaputi🤣
Mtangazaji mzuri sana hivi kaolewa au bado loh
Kashaolewa
Najifunza sana mbarikiwe
Sukambi🔥🔥🔥🔥🔥
Waoooo kipindi kizuri sana
Asante sana kwa ushauri Deo.
Mm kwakweli natamani aje tenaaa
Haitakikani kuombwa kabisa, katika mahusiano au ndoa tunatakiwa tusaidiane bila kuombana, usifananisha ndoa na mifano ya mkurugenzi
Jamani. Kuhusu hapo mama kufanya majukumu ya baba umeniacha solemba mkuu. Unakuta mtu hajishughulishi Na watoto, hajui wanakula nini ama wanavaa nini, wanasoma au hawasomi. Yeye kazi ni kuzalisha tu. Sasa we mama ukikumbana Na mwanamme kama huyo Na wewe uko Na roho nyepesi utaacha watoto wako wateseke kwa sa Abu mzee hajishughulishi? Hapana aise la da hapo sio chi yang ninayoijua😢
Muna weza ku murudisha tena pastor deo
Aje tena
Mchungaji shikamoo ongera yesu Yuko nawe kiukweli najifunza kitu ,🙏🙏
YESU o Yesu
@@maryamconstantine2232 tatizo cm yangu kimeo,sawani YESU,
Hello Irene K,
I am really blessed by this man's knowledge and explanation. However, I would like if you can ask him to come back to the studio and explain what are the signs, attitudes, behaviours of man who is romantic vs a man who is too romantic. Once again, be blessed for all your work.
Ami from Canada
Well noted
ase tunamtaka tena akaribie sana.
Mmmmh unajuwa hivi vitu ikifunguka akili na kuacha kujifanya mjinga ni kweli mtupu yaani sijui ulikuwa wapi siku zote
Da Irene kuna mahali niliona Pastor Deo anasema kuhusu competent
compassion
character
Kwa kwel natamanani kupata haya maelezo vizur Dada kama akirudi tena. ,,🙏🙏🙏
Dr Ellie alisema tatizo si la mwanamme hakuridhishi ni lako mwanamke kwamba haupo na hujajiandaa kisaikolojia
Kipindi nimekipenda sana nimetamani kiwe marakwa mara
Touching
Asanteni sana.
Good conversation lakini sikubaliani na kila kitu mchunganji anayoyasema.
Wanaume wengi sai akikuona na kazi atataka usaidie kila kitu
So nice
🥰🥰🥰MashaAllah
We want him again 😂 wisdom is oozing out of him like no one's business
Nice content…. This heal a lot of people
WE WANT HIM AGAIN
“This time let him discuss about single families,this is cancer to the society and is definitely the out come of all problems happen naw,fore example you find a man love with other gender 0-20s without knowing the role of man in the family so it’s take alot of energy to be through this,only words he heard since his born til 20s is :women can do without: but they forgot the one they rise is the man….. we’re going to loose this mens generation PLEASE LET HIM COME BACK FOR THIS….. @sns #itene
Kweli hili jama limebobea kwenye haya mambo. Kwenye swala na simba. kamaumeelewa hapo gonga like tujuane
Kwann mnazungumzia tu wanaume tunataka kuwajua na wanawake
Huyu baba jmn
tunamtaka tena aje atuabiye kwanini wanawanke wana watengenezenya wanaume mandawa. please we need you Dad.🙏🙏🙏🙏🙏
Wanaume wengi hawaturidhishagi ni hawajuagi tu
Hata ukienda kwa mwingine atakulizisha kwa mda mfupi tu. Kinachotakiwa uangaliea wapi unamkosea wanaume wengi hawataki manjonjo . Unakuwa fundi kuliko mwanaume hata kulia Hamna hata kusema unaniumiza Hamna . 😂😂
Swala anayekimbiza Simba ni hatari🤣🤣🤣🤣
TUNAMTAKA TENA, ni ipi mipaka ya mume na mke kwa majirani na watu wengine walio nje ya mahusiano yao,
Mf je ni sahihi kwa chumba cha wanandoa kutumiwa na watu wengine endapo wanandoa hawapo??
Swali zuri kipenz nataman kufahamu pia
Sio sahihi kabisa Glory 👍
Aje tena na tena
I wish I knew.....now is too late...
Irene naomba umrudishe atupe solution kwa wale wanawake waliowapa wanaume mitaji kisha wakaenda kuowa kwingine limeshatokea nn kifanyie?
Anza upya muache samehe maisha lazima yaendelee
muonye kuwa unaweza kuishi bila yeye ukitaka kumuumiza kuwa na furaha usipambane kulipa kisasi ama kumuonyesha kuwa unapebdwa zaid no jipe laha
Kiu yangu ya kumsikiliza bado haijakatika
Sasa mbona Pastor unatoa siri zetu?🤣🤣
Nawapenda irudiwe
❤😂❤❤❤❤😂❤ mume tisha❤❤❤
Ndio maana Kuna umuhimu kwa wanaume kuoa wanawake bikra! Hawa wengine walishapigwa vitu saanaa 😂