Tangu kipindi kianze show ni nzurii lkn hii dada irine umeuwaa ni hatar sana kila nilichokua nataman kusikia kipo tena kwa maelezo mepesi yanaelewekaaa safiiii sanaaa......sns to the world 💃💣💣💥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥❤️🔥
Let me give thanx to my brother Sky This is more than a tv,ukweli ni kwamba Dunia inahitaji content nzuri kama hizi Napata kila kitu bapa SNS ur my family since day 1 Fix You it's my favourite proggram 😊🙌🔥🔥
Yaaani kizazi hichi ni kweli kuna mama's boy wengi ambao wapo sahii na mahusiano yanapata vurugu juu hatuna uelewe wa kuishi na wanaume kama hawa, lakini chamsingi ni wazazi pia waelemishe jinsi ya kulea watoto wao. Kudekezwa kumezidi
Pastor nakubaliana na wewe kabisa wanaume wanapenda sifa sana hawapendi kushindwa lkn kitu kimoja nimeona kwao wanaheshimiana wao kwa wao sio kama sisi wanawake
He is conflating, lying, missing and pandering so many things. He thinks promiscuousness and ambitious men make MEN. Big lie. Identity is what makes men, men love sex, money and power is a coat we have to wear to move through life. This dude doesn't know what he is saying.
This was good. I left a guy simply because hakuwa mtu wa kusimama kivyake. Kila mazungumzo yanayohusu plans zake lazima family member atajwe humo, sijui mama, sijui kaka, ebo!. Nikasema kama ni kupenda nahitaji kukupenda wewe siyo ndugu zako, nikaona nitakosana na ukoo wake mzima.
Hamna kitu, kila mwanamk atamjua mwanaum wake kivyake kwa aina na mazingira yake…hao wengi ma mentor sijui washaur ndo wa kwanza ndoa zak kuvunjika….😂😂
Ni kipindi kizuri kinaelimisha sana, Na naomba muongelee kuhusu wanawake wenye sauti kwa waume zao na kuwa control, na pia mke anakuwa na power kwa mume wake hadi anamtenganisha mume na ndugu zake .
Hapo kwa kapoteza malezi ya wazazi,ya shule na ya marafiki (Background) hapo hapo , yani iyo ndio challenges napitia na ex Bana wawatoto wangu after 22 years ya ndoa,I’m tired 💔😭💔
@@fatmahashimu1487 kwann niwe hivi sasa? Zaman ilikua mwanamke akiniudhi nampiga ila siku hizi nimeacha akinichukiza yaan kumuacha ni kawaida sana na wala sijutii maamuzi yaan naona kawaida kabisaaa

Heeh we jamaa upo hadi uku mzee 😂
@@mosesmkumbukwa9920 Huku ni uwanja wa Madini so lazima Tupate madini mkuu
@@mosesmkumbukwa9920kachepuka....
Napenda sana hiki kipindi kwasababu, dada anauliza maswali nyeti sana
Huyu baba ni 🔥mrudishe huyu baba kwa mara nyingine tafadhali tunahitaji kujifunza zaidi.
Waaho nice kipind naenjoy balaa na sns nice content 👏❤
Asante, please mlete tena bado tunamhitaji 😉😁🇨🇭🇹🇿❤
Yaaani kizazi hichi ni kweli kuna mama's boy wengi ambao wapo sahii na mahusiano yanapata vurugu juu hatuna uelewe wa kuishi na wanaume kama hawa, lakini chamsingi ni wazazi pia waelemishe jinsi ya kulea watoto wao. Kudekezwa kumezidi
Mh! Nimepona jamani asante sana Pastor🥰
Nipo hapa kutoka Tik Tok.... napenda sana mawaidha yanayodhihirishwa kwenye hiki kipindi.
Daaah eh mungu kwa hakika kipindi nakipenda mpaka bas
Napenda saana jinsi ulivyo hasa puwa yako na macho yako pia
Lilian Mwasha mara hii ameku mentor toka aje kwa show yako umekua vizuri zaidi.
Irene leo kweli umeleta mtu mwenye experience hasa
Big up my brother, Mungu wa Mbinguni akubariki mno, thanks for updating us
Man, this man just captured what i've been grappling with but not quite making sense. Thank you Irene and Deo! (listening from the states)
Kweli Kabisa Walimu Niwengi
Mada mzuri 🥰
Pastor nakubaliana na wewe kabisa wanaume wanapenda sifa sana hawapendi kushindwa lkn kitu kimoja nimeona kwao wanaheshimiana wao kwa wao sio kama sisi wanawake
I really enjoy de xhow
Hv na Tanzania tuna ma saikolojisti wazuri sana 👍🏽
🔥🔥🔥 ni atali
Wow! Amazing 👏👏👏
Yupo sahihi 💯
Daaaaaah nimezijua siriii
Wanahitaji ku heal inner child yao
Jamani 👂👌🙌❤❤
Genius 📌
Sukambi mtetezi wa wanaume 🤗
Asnte dada irene tuomba mlete tena pastor ana mambo matamu asiee nimepata kitu kizito big up broh🤝
Na kama
mwanaume hajafunguka moyo wake (Kuwa Vulnerable) GivingUp control, Bado hajakupendaa🙌🏾🙌🏾🙌🏾
Nimejifunza vitu vipya san leo
Nakubaliana na pastor kabisa kwamba misingi ya maisha kwa mtu yeyote yule inajengwa ndani ya miaka (4-13) kwa maisha ya baadae utakayo ishi.
Asante nimejifunza
Asante sana Pastor kwa mafundisho mazuri ya mahusiano kumjua mwanaume sasa kazi kwetu na Mungu atusaidie
Ama kweli friji haigandishi@ Irene♥️😘
Weeee huyu ni moto sana
Nakuelewa sana pastor.
Pastor ametufunua sana, kweli anaijua sana psychology
Duh! Nimemkubali huyu jamaa. Yuko vizuri
Mamaz boy inaumiza sana
Woooh this was worth watching and listening 🤗🤗
Mawe siyo ya kawaida kweli hili ni darasaa
Unaitendea haki taaluma na kipaji chako Irene, hongera sana
Kabisa👌👌✌️
Nawapenda sana kwa mafunzo yenu mazuri ❤❤❤
Na enjoy life tu...hili darasa napata mia😂😂😂
Uwueeeh nmepata kitu apo thanks pastor
Hongera sana wewe dada
Ndomana ma chawa Wana win 😅
This's a masterpiece advise
He is conflating, lying, missing and pandering so many things. He thinks promiscuousness and ambitious men make MEN. Big lie. Identity is what makes men, men love sex, money and power is a coat we have to wear to move through life. This dude doesn't know what he is saying.
@@padilijamesmikomangwa519welcome to the stage...we are eager to listen ur thoughts😊
Here We are again..😊
Ni kwel🙌
Worth hearing
Ila kasema kweli
NI FIRE
Upo sahihi sana
Nakipataje kitabu hicho Irene
Shukran saaana.
Kaka deo hapo kwa wanaume ni kweli hawawi sawa na hili nimewai kuliona maskani na wanavyo ongea
Kweli kabisa 😍😍😍
Samahani, Je huduma Ya Kisaikolojia kutoka kwa huyu pastor inapatikana wapi Nina Uhitaji sana wa Hio Tiba 🙏
Nime fixsika🙌❤
Tunaomba umlete kila wiki yaani huyu ni gwiji wa mafundisho ya mahusiano kiboko ya tiba anatufaa sana wana sns
Party 2 plz jamani daaa yani vitu vizito na vya maana
Hongera Irene. Kipindi kuzuri sana. Naweza pataje hicho kitabu?
Thanks dear! Kitabu anakiuza mwandishi, mwisho ametaja namna anavyopatikana
This was good. I left a guy simply because hakuwa mtu wa kusimama kivyake. Kila mazungumzo yanayohusu plans zake lazima family member atajwe humo, sijui mama, sijui kaka, ebo!. Nikasema kama ni kupenda nahitaji kukupenda wewe siyo ndugu zako, nikaona nitakosana na ukoo wake mzima.
hahaha ww ni manka
Daah, ilishawahi nikuta hii. Hatari sana😅
Dada Irene nimependa kipindi naomba unisaidie kupata hicho kitabu pls
Inawezekana ni kweli la kumbuka aliemsaidia ata Kama wameachana,
Good kipindi
Hamna kitu, kila mwanamk atamjua mwanaum wake kivyake kwa aina na mazingira yake…hao wengi ma mentor sijui washaur ndo wa kwanza ndoa zak kuvunjika….😂😂
Kipindi kipo poa sana
Duh siaminiki🙄🙄
Mshauri mimi naomba msaada wa mawasiliano yako ili unishauri.
Haya Iren nikionaga mambo yako basi huwa napenda kukuheshimu Kwa kutulia ili nifundishike au nifixiwe
🙌🙌🙌
Good job SNS,kazi nzuri Irene ,kudos
Yaani mumenitachi hapo kwenye over protected
Sns toka nimeanza kuwafatilia Leo mmenikosha kbs, halio yasema yote yamesha nitokea tayari
Ndio maana uchawa upo kwa wanaume sio wanawake
Masifa kabisa hahaha imekwisha hiyo pastor
Imeisha hiyo🤣🤣🤣
❤
❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤
Jmn mrudishe tena tunapata elimu
Aisee alicho ongea mwalimu nimemuelewa sana yaani natamani niwe kama yeye
How do i get the books from this gentleman?
Ni kipindi kizuri kinaelimisha sana, Na naomba muongelee kuhusu wanawake wenye sauti kwa waume zao na kuwa control, na pia mke anakuwa na power kwa mume wake hadi anamtenganisha mume na ndugu zake .
❤️❤️
Anayo ongoa huyu pastor ni kweli kabisa, my ex husband alikua na insecurities na alikua muiga Sana kuniona nikifanikiwa
Hapo kwa kapoteza malezi ya wazazi,ya shule na ya marafiki (Background) hapo hapo , yani iyo ndio challenges napitia na ex Bana wawatoto wangu after 22 years ya ndoa,I’m tired 💔😭💔
Khaaa uyu n mm uwa nahisi hisi
Namba ya pastor plz
Ss tufanyeje
Hicho kitabu nakipataje
Wengine ukiwapush wakisogea ndio hawakujui kabosa kabisa
Yaaani acha tu
Uyu jamaaa yuko vzuri kwenye kujua vitu vingi kama
kitabu tnakpta vp??
Nilikutana na mwnamme Mama's boy uuuwwwii hata alivyotaftiwa mke sikushtuka walahi zaid nilimuonea huruma huyo mwanamke
😂😂😂
Aisee nimecheka na nimejifunza sana kwakweli hiki kipindi kimenibariki mno
Hiko kitabu ntakipata wap
Nakipata wap icho kitabuu jaamn
Mchungaji kuna vitu umenigusa mimi nimelelewa na mama wa kambo tangu nikiwa na 3yrs lkn nina shida ya hasira hasa nikiudhiwa na mwanamke
@@fatmahashimu1487 kwann niwe hivi sasa? Zaman ilikua mwanamke akiniudhi nampiga ila siku hizi nimeacha akinichukiza yaan kumuacha ni kawaida sana na wala sijutii maamuzi yaan naona kawaida kabisaaa
kipindi kizuri