Maashaalah hongera cn wit . Nimekupenda mcheshi pia una moyo wa kujitolea kusaidia watu. Mimi pia nataman kifika denmark .Kikazi nipatie no yako nikuulize kitu Nianze process inshaalah 🙏
Mtu huwezi kuzungumzia maisha ya nchi nyingine wala kulinganisha na nchi nyingine kabla haujafika, ishi kwa muda wa kutosha, wala kutembelea. Ni upotoshaji.
Mi naishi 10 minutes from copenhagen. Mihogo iko, miguu ya kuku, matoke, vyakula Vingi vyakutoka Afrika. etc iko copenhagen kwa maduka ya wa Thailand, chinese and afghagan shops.
Kuna watu humu wanamponda uyo dada mara oh anasema uongo mara Bado limbukeni wa ulaya mbona nyie hamtoi izo taarifa ambazo ni sahihi ili watu wajifunze. WaTz ni wabinafsi sisi tujifunze kwa majirani zetu waKenya.
Good interview but healthcare is not 100% free because that is what is coming from the taxes we pay. If we skip the “it’s not free because it’s paid by tax” line as if that’s some huge revelation, then yes, except for dentists and partly drugs. Drugs are only partly paid by the state. That is applicable to Scandinavian countries .
It is difficult but not impossible. Hakuna ambacho hakiwezekani ila tu inatakiwa ujiweke sawa kwenye strong ties. Ili uaminiwe utarudi. Dunia ni kubwa kwa kila mtu. Anza kutengeneza cv ambayo itakusaidia kupewa visa muda ukifika. Dunia ni kubwa na ina mkate wa kila mtu naamini . Unaweza usije kwa njia ya elimu . Ukaja kwa vingine . Muhimu kutokata tamaa na kutafuta fursa
Dada mm nina vitu vote vakupandia ndege nataka viza ya kufanya kaz za nyumban mana ninauzoefu wa kiak 6 Omani kupika usafi ivo soo naomba nisaidie Dada
Milioni Tatu kwa mwezi ni uongo,ukiwa na mtoto unalipwa kama laki 2 na nusu kwa mwezi siyo milion Tatu.hiyo ipo hata Norway na sweden,Dada Bado ana wenge la ulaya😅
Asante kwa kuspot hilo nilichanganya wanalipa kila baada ya miezi 3 maana yake mara nne kwa mwaka Mtoto wa mwaka 0-2 years analipwa kama 1.5M ko times 4. So utajumlisha na idadi ya watoto Children 0-2 years old - 4,557 kr. every quarter 3-6 years old children - 3.609 kr. every quarter Children 7-14 years old - 2.838 kr. every quarter Ni kweli mimi bado mgeni sana Europe . Bado najifunza na bado nakua. Nyie wakongwe mnatakiwa mshee vingi na sis na kurekebisha with kindness. Ubarikiwe mkongwe wa ulaya nitakutafuta utusimulie ya huko. Natumaini una madini mengi na nondo.
Hapa Sweden ukijifungua mtoto kama ulikuwa unafanya kazi unalipwa 80% ya mshahara wako kwamiezi kadhaa then inashuka 75%. Mtoto akifikia 1year anaenda day care. Pesa ya mtoto kuanzia anapozaliwa hadi kufikia 16years akiwa mmoja ni 1250kr wakiwa wawili inaongezeka 150 nakuwa 1400 kila mmoja. Kadri idadi ya watoto inavyoongezeka ndio kiwango kinaongezeka.
Mihogo mizuri 14:22 kabisa . Kila kitu kinakuja fresh na ndege. Mpaka mchicha na kisamvu tunapata. Mengineyo ni mapishi yako😂mwenyewe. Kaanga mihogo inatoka kama Gogo Beach.
Dada uraia ni miaka permanent permanent Hadi uishi miaka 10 na Uwe umefanya kazi miaka 3na niezi 6 ndani ya miaka minne na Uwe na kiwango cha msharavwa 300kr. kwa mwaka.
Ni kweli vipo ila sio fresh. Huna uhakika wa kula embe tamu au nasasi kama huku. Tanzania chakula ni fresh. Europe vingi wana import kwahio vilishapoteza radha
@@Witnessvlog Ni kweli kabisa vitu vinakuwa havina ladha ya km home Tanzania. Mimi nipo Netherlands yaani kuku ni wakubwa lakini hawana taste. Umeelezea ukweli mtupu kuhusiana na jinsi ya kupata visa.
Mihogo, matoke, nyanya chungu, bamia, mzuzu, unga wa ugali, unga wa mhogo, Magimbi. Tembelea Asian shops au maduka ya Waarabu.. Yako kila mji. Hata nyanya chungu unapata..
@@tanzuabrand Wamarekani wameweza kuibrand vizuri kwa watu kwamba ndio nchi ya asali na maziwa. But kuna nchi ziko vizuri sana kuliko hata Marekani. Hasa kwenye social walfare.
Visa za Scandinavia ni rahisi kulikoni za marekan, uingereza, japani,uswiss, Australia za zingine alafu hiyo kulipwa Kwa mwezi inategemea Una watoto wangapi? Hapo kachemsha huwezi kupewa milioni Kwa mtoto mmoja baridi barafu ulaya zote hivyo vyote ulivyotaja vipo dada hukatembea hapo muongo
Usikariri HAKUNA viza rahisi tupo tunafanya kazi na hizo balozi, kama wewe au wenzio wa karibu wengi mlipata ,good but usikariri ulizia ujue wangapi wanakosa na kwanini
Wewe wacha uwongo dada marekani umeenda kuona maisha au unazungumza Tu nenda kaone eti Denmark vitu expensive kulikoni marekani hivi unaweza hata kununua wigi wewe muongo huyu dada hebu uluzeni watu wanaoishi huko
Huko Danmark wala sio kwa kwenda ni wabaguzi kupita maelezo na huyo atakuwa anabaguliwa tu na wanasheria ngumu sana , WaTanzania wengi ni waongo Kwa nini asiwaambie kwamba ni wabaguzi kupita kiasi , nakushauri nenda nchi zingine za Scandinavia ila sio Danmark yaani sera za nchi ni ubaguzi tu kuwabagua wahamiaji
Ubaguzi upo kila sehemu. Kama angeniuliza kuna ubaguzi ningesema upo tu sana. Ukija kwenye channel yangu utaona nishaongelea ubaguzi na wanasheria ambazo sio rafiki kwa wahamiaji . Sio kama marekani au Canada. Hakuna sehem nimesema haupo. Angalau huku hauwez kuuliwa kama America kisa wew ni mweusi au Muislam. Wabaguzi kupita kiasi ni Marekani kama utaniuliza . Italy pia Uje utueleze na wew mtazamo wako sasa
@@amanimtasha2584 mkuu naijua Sweden vizuri na ninazijua vizuri nchi za Scandinavia vizuri , ubaguzi wa Denmark huwezi kabisa kulinganisha na Sweden , Denmark kuna ubaguzi sana hata na wana sera za kibaguzi sana kwa wahamiaji
@@kabwelasutiviraka4765 Inawezekana kilamtu ana experience yake ya mahali anapoishi siwezi kataa unalosema mkuu ila kwa mimi binafsi kulingana na eneo ninalo ishi kwamiaka 13 sasa changamoto nikubwa zaidi yaninavyosikia kuhusu Danmark kwaidadi yawatu wengi wanaoishi huko.
Asante sana SNS kwa nafasi mliyonipatia. Nimenyenyekezwa sana. Ubarikiwe sana
Dada nipe details zako nikupate private
Tafadhali.
Nipo china,nina residence permit, naweza pata visa ya Denmark kutokea china? What's are the requirements??
@@Boaz22 Here are the requirements
Schengen Visa requirements | Denmark Visa requirements.
ruclips.net/video/3VzIX077b04/видео.html
Taste ni sawa. Matoke yanatoka Uganda na ni fresh yanakuja na ndege. Mihogo, viazi vikuu, mzuzu, mawese West Africa. Kikubwa amefahamu vyakula vyetu vyote vinapatika wapi ? Sijaona utofauti wa taste.
@@lucykristensen7145 Asante
Maashaalah hongera cn wit . Nimekupenda mcheshi pia una moyo wa kujitolea kusaidia watu. Mimi pia nataman kifika denmark .Kikazi nipatie no yako nikuulize kitu Nianze process inshaalah 🙏
Nakupenda sana na pia nimsabato mwenzangu nakupenda bule
Kwa kweli hongera sana mie naomba fursa za scholarship
Dada yangu huyooo witnees nafurahi sana kuona kazi zake
Mungu wangu nifungulie mlango 🛐
Hongereni saana kwa Mjadala
Mtu huwezi kuzungumzia maisha ya nchi nyingine wala kulinganisha na nchi nyingine kabla haujafika, ishi kwa muda wa kutosha, wala kutembelea. Ni upotoshaji.
Hongera sana dr! .nimependa unavyo jibu comment very positive (Master mind😘)
Asante sana dada yangu kwa comment yako nzuri. Ubarikiwe sana
Hongera sana sana nimefurahia interview Wit mkweli mchesh anajiamini
Asante sana ina maana kubwa sana
Nice meeting,,sema madam wit anaongea haraka haraka sana as sijui why though kwenye channel yao anaongea kawaida,,
Vizuri sana dada yangu mungu Atakubariki kwa ilo ukifika Danish nishitue nikutembelee 🇹🇿🇬🇷⚓
Karibu sana. Unaishi wapi?
With mungu akubariki endelea kuwa na moyo wa upendo huo,me nataka kusaidiwa kijana wangu atafute maisha.
Witness wewe ni mkweli kigoma sisi sio matapel
@@stephaniabenjamini2848 Asante sana
@@Witnessvlognataka kuja huko nafanyaje?
Woow! Njema sana hii
Hongera Witness unatoho nzuri sana❤🇺🇸
Asante sana Fransica kwa kuona hilo
@@Witnessvlognahitaji utaratibu wa kuja Denmark
Karibu Tanden.dk😂
Juice ya miwa tafuta kwenye maduka yawa Thailand na Wafiilipino
Oh asante nitafanya hivo
wahooo, jamani naminatamani naamini nitakua uko
Mambo
❤❤
Good interview
Thank you
Nice interview 👌 kuna agencies za TZ za aupair ambazo unaweza kuzitaja na kuweka their contacts itakuwa helpful
interview nzuri sana,same like Ujerumani yaani kupata marafiki ni issue sana hahahahaa😅😅😅😅
😂😂 Kazi kweli kweli
Mbona tupo tu upo mji gani rafiki ?
@@peaceisrael8158 Nipo Münster nimemaaanisha wenyeji wazawa dia wwe uko mji gani
Yah yah yah yah❤❤😂😂😂
Makao makuu ya Ubaguzi 🤗😎
Bravo dada Wit! Nataman sana kufika Denmark, or Sweeden . Nisaidie nianzeje?
Bravo ma belle 😘
Merci Merci😍
Mi naishi 10 minutes from copenhagen. Mihogo iko, miguu ya kuku, matoke, vyakula Vingi vyakutoka Afrika. etc iko copenhagen kwa maduka ya wa Thailand, chinese and afghagan shops.
I know . Sikumainisha kwamba sipati
Unaweza pata ila taste ni tofauti. Tunajua vyakula vingi viko imported. Ko taste ya nyumbani ndio ninayo imiss
@@Witnessvlog agree
Ubaguzi mtupu huko wala sio kwa kukaa kuzuri ni Sweden kwa Scandinavia yote
@@kabwelasutiviraka4765 Sawa.
wooww good how can contact her sky mi nakaa burundi mzee wangu
Haya sasa..Mdemu wa kibongo kazi kwenu!!!! Connection ya kuolewa na Ndughu ndo hiyoooo🤣🤣!!! Dada full PIMP🤣
Lol I was the first to open this
Same like USA 🇺🇸 kupata marafiki pia issue
I can relate
Kuna watu humu wanamponda uyo dada mara oh anasema uongo mara Bado limbukeni wa ulaya mbona nyie hamtoi izo taarifa ambazo ni sahihi ili watu wajifunze. WaTz ni wabinafsi sisi tujifunze kwa majirani zetu waKenya.
Karibu Tanzania ndugu
Ningependa kuwa host pia hata kwa channel yangu uone kama watajitokeza. Keyboard warriors sana
@@Witnessvlog 😂😂 Asante I am a woman though, umeniita kaka.😏
@@erycah Sorry merekebisha
@@Witnessvloghi
Good conversation 🔥
Juice ya miwa iko kwa maduka ya wa Thailand
Thank you
Good interview but healthcare is not 100% free because that is what is coming from the taxes we pay. If we skip the “it’s not free because it’s paid by tax” line as if that’s some huge revelation, then yes, except for dentists and partly drugs. Drugs are only partly paid by the state. That is applicable to Scandinavian countries .
Right
@@Witnessvlog
Kwahyo mm AmBAR Nina form 4 , failure siwez fika huko jamani tunabaguliwa sana😂mtusaidie na SS tujitaftie hata life jamani 🙏
It is difficult but not impossible.
Hakuna ambacho hakiwezekani ila tu inatakiwa ujiweke sawa kwenye strong ties. Ili uaminiwe utarudi. Dunia ni kubwa kwa kila mtu. Anza kutengeneza cv ambayo itakusaidia kupewa visa muda ukifika. Dunia ni kubwa na ina mkate wa kila mtu naamini . Unaweza usije kwa njia ya elimu . Ukaja kwa vingine . Muhimu kutokata tamaa na kutafuta fursa
@@Witnessvlog dah Asante sana MUNGU mwema IPO siku na fungu la Kila mmoja
Wapi likes za kenya 🇰🇪
Hakuna tegemezj ulaya kujitegemea mwenyewe jamani tujifunze hapo
Kabisa hakuna . Hata wazazi hawategemeni watoto. Kila mtu ni anabeba majukumu yake
kwahiyo huyu mdenmark wangu wa buza au
Dada mm nina vitu vote vakupandia ndege nataka viza ya kufanya kaz za nyumban mana ninauzoefu wa kiak 6 Omani kupika usafi ivo soo naomba nisaidie Dada
Unaweza omba kuja kama Aupair.
@@Witnessvlog kuna agencies ganai za TZ za aupair?
@witness vlog Mimi ni barista.nimefanya kazi Oman for 3 years. Mimi ni mkenya kutoka Mombasa.
@@swahiliwithZita how can I reach you please
Milioni Tatu kwa mwezi ni uongo,ukiwa na mtoto unalipwa kama laki 2 na nusu kwa mwezi siyo milion Tatu.hiyo ipo hata Norway na sweden,Dada Bado ana wenge la ulaya😅
Asante kwa kuspot hilo nilichanganya
wanalipa kila baada ya miezi 3 maana yake mara nne kwa mwaka
Mtoto wa mwaka 0-2 years analipwa kama 1.5M ko times 4.
So utajumlisha na idadi ya watoto
Children 0-2 years old - 4,557 kr. every quarter
3-6 years old children - 3.609 kr. every quarter
Children 7-14 years old - 2.838 kr. every quarter
Ni kweli mimi bado mgeni sana Europe . Bado najifunza na bado nakua. Nyie wakongwe mnatakiwa mshee vingi na sis na kurekebisha with kindness.
Ubarikiwe mkongwe wa ulaya nitakutafuta utusimulie ya huko. Natumaini una madini mengi na nondo.
Bado mgeni huyo kuna mambo mengi hajui kuhusu sheria za Denmark .
Hapa Sweden ukijifungua mtoto kama ulikuwa unafanya kazi unalipwa 80% ya mshahara wako kwamiezi kadhaa then inashuka 75%. Mtoto akifikia 1year anaenda day care.
Pesa ya mtoto kuanzia anapozaliwa hadi kufikia 16years akiwa mmoja ni 1250kr wakiwa wawili inaongezeka 150 nakuwa 1400 kila mmoja. Kadri idadi ya watoto inavyoongezeka ndio kiwango kinaongezeka.
@@amanimtasha2584 Asante sana kwa comment yako. Nimejifunza
@@Witnessvlog Usjali dada anytime. Karibu Sweden pia 🙏🏿
Hapa nimeelewa yaani huko kaka uarabuni tu hakuna urafiki
kama ni MSABATO mwenzangu hakuna uongo kwenye stori na maelekezo atakayotoa. Wacha nifatilie koneksheni. 😆😆😆
Aloo😅😅. Ubarikiwe sana
Nani kasema wasabato ndio hawadanganyi? Dah hizi imani noma
Mmm
Dada witness Instagram unatumia jina gani ?
😁👌anachapia San
famîlia yen yote nyie mnaongea haraka harak
Thank you for watching my friend😊.
Mihogo ipo bwana Tena lain Sana
Sio mitamu sana kama ya coco beach😂. Sio mara zote inakua mitam
@@Witnessvlog na mimi nakuja denmark huko nipe namba nipo italy soon Copenhagen ilee
Mihogo mizuri 14:22 kabisa . Kila kitu kinakuja fresh na ndege. Mpaka mchicha na kisamvu tunapata. Mengineyo ni mapishi yako😂mwenyewe. Kaanga mihogo inatoka kama Gogo Beach.
@@lucykristensen7145 wapi huko lucy
Dada uraia ni miaka permanent permanent Hadi uishi miaka 10 na Uwe umefanya kazi miaka 3na niezi 6 ndani ya miaka minne na Uwe na kiwango cha msharavwa 300kr. kwa mwaka.
True
@@Witnessvlog 👍
Namba yake jamani au mwisho wa stor nataka niongee nae nina shida na huko
@witnessvlog
@@Witnessvlognakupataje ili niende Denmark
Kuna mpaka kisamvu embe fenesi Dorian na vingi mpaka nyanya chungu
Nipe connection my dada nina shida na huko
Sana tu
Ni kweli vipo ila sio fresh. Huna uhakika wa kula embe tamu au nasasi kama huku. Tanzania chakula ni fresh. Europe vingi wana import kwahio vilishapoteza radha
@@Witnessvlog Ni kweli kabisa vitu vinakuwa havina ladha ya km home Tanzania. Mimi nipo Netherlands yaani kuku ni wakubwa lakini hawana taste. Umeelezea ukweli mtupu kuhusiana na jinsi ya kupata visa.
@@ongowi5701 Asante sana dada yangu. Hua napita Amsterdam mara nyingi
Tuandikie link zake tunampataje awasaidie ndugu zetu
@witnessvlog
@@Witnessvloghi
Mihogo, matoke, nyanya chungu, bamia, mzuzu, unga wa ugali, unga wa mhogo, Magimbi. Tembelea Asian shops au maduka ya Waarabu.. Yako kila mji. Hata nyanya chungu unapata..
nadhani taste ni tofauti mdau
Asante sana ntafanya hivo
Danish sio ngumu pambana misamiati yake sio ngumu kama unaongea English,Niko Sweden naongea na norwegiun pia
Sawa asante.
Interview ipo poa kweli kwani dada yetu jina lake nani
Witness
huyu Dada ana ndoto ya kwenda Marekani. Katik maongezi yake nimegundua hilo
Marekani iko overrated sana . Kwahio sina hizo ndoto
@@Witnessvlog iko overrated vipi Sister
@@tanzuabrand Wamarekani wameweza kuibrand vizuri kwa watu kwamba ndio nchi ya asali na maziwa. But kuna nchi ziko vizuri sana kuliko hata Marekani. Hasa kwenye social walfare.
@@Witnessvlog Ishi marekani kwanza ndo uje kucomment.
Watu si wajinga kusema Marekani ni Dream country, ndomana balozi zinajaa kuomba visa.
@@tanzuabrand Sawa.
Huyu ana zoom miguu ya kuku kmmk 😂
Visa za Scandinavia ni rahisi kulikoni za marekan, uingereza, japani,uswiss, Australia za zingine alafu hiyo kulipwa Kwa mwezi inategemea Una watoto wangapi? Hapo kachemsha huwezi kupewa milioni Kwa mtoto mmoja baridi barafu ulaya zote hivyo vyote ulivyotaja vipo dada hukatembea hapo muongo
Usikariri HAKUNA viza rahisi tupo tunafanya kazi na hizo balozi, kama wewe au wenzio wa karibu wengi mlipata ,good but usikariri ulizia ujue wangapi wanakosa na kwanini
@@homeandaway2811 Umesema vyema ndugu.
Ungesoma comment section ungeona nilirekebisha. Kwenye swala hilo la mtoto kupewa pesa.
Ila kwakua wew uko so informed si vibaya ukatujuza na wew
Wewe wacha uwongo dada marekani umeenda kuona maisha au unazungumza Tu nenda kaone eti Denmark vitu expensive kulikoni marekani hivi unaweza hata kununua wigi wewe muongo huyu dada hebu uluzeni watu wanaoishi huko
Wew umewahi kufika Denmark dada?
Uzuri sio kazi kupata interview SNS omba uje utwambie ya huko. Ubarikiwe kwa muda wako pia
@@Witnessvlognaweza pata no yako dada
Huko Danmark wala sio kwa kwenda ni wabaguzi kupita maelezo na huyo atakuwa anabaguliwa tu na wanasheria ngumu sana , WaTanzania wengi ni waongo Kwa nini asiwaambie kwamba ni wabaguzi kupita kiasi , nakushauri nenda nchi zingine za Scandinavia ila sio Danmark yaani sera za nchi ni ubaguzi tu kuwabagua wahamiaji
Ubaguzi upo kila sehemu. Kama angeniuliza kuna ubaguzi ningesema upo tu sana. Ukija kwenye channel yangu utaona nishaongelea ubaguzi na wanasheria ambazo sio rafiki kwa wahamiaji . Sio kama marekani au Canada.
Hakuna sehem nimesema haupo. Angalau huku hauwez kuuliwa kama America kisa wew ni mweusi au Muislam.
Wabaguzi kupita kiasi ni Marekani kama utaniuliza . Italy pia
Uje utueleze na wew mtazamo wako sasa
Ubaguzi upo kote hata hapa Sweden naukiwa na mtazamo huo nakuchukulia serious kila unachokutananacho ndugu yangu hakuna sehemu utaweza kuishi.
@@amanimtasha2584 mkuu naijua Sweden vizuri na ninazijua vizuri nchi za Scandinavia vizuri , ubaguzi wa Denmark huwezi kabisa kulinganisha na Sweden , Denmark kuna ubaguzi sana hata na wana sera za kibaguzi sana kwa wahamiaji
@@kabwelasutiviraka4765 Inawezekana kilamtu ana experience yake ya mahali anapoishi siwezi kataa unalosema mkuu ila kwa mimi binafsi kulingana na eneo ninalo ishi kwamiaka 13 sasa changamoto nikubwa zaidi yaninavyosikia kuhusu Danmark kwaidadi yawatu wengi wanaoishi huko.
@@amanimtasha2584 Sahihi kabisa. Hakuna sehemu hakuna ubaguzi.
Ila mwambie atulie kuongea. Kuchapia kwingi
Thank you. Next time itakua bora zaidi. Ubarikiwe kwa kuangalia
@@Witnessvlog asant kwa kutujali
@@saidimwanyiro5147 Asante sana