Binti mrembo na heshima zake. Kudos kwa wazazi wakali wamelea binti kanyooka na msimamo. Hongereni sana. Asanteni mazungumzo mazuri kama arudi tena tupate muendelezo. Lugha inabidi apambane aweze kujichanganya na maisha ya hapo. Nyumbani Mwenyezi mungu akikujalia utarudi hata matembezi. Msikilize mumeo, jengeni maisha yenu hapo, mtarudi Nyumbani Tz panapo majaliwa na uhai.
Official dating assistant I love your look in this video . Wow your well done hair, your beautiful dress... you're so attractive. I wish you give us that look in all your videos .❤
Mi nachoamini kila mmoja bwana ma maisha yake,iwe ni kw awazingu au laa! Ndo maana ht interview humu story ni tofauti hzifanani Kuna ambao wamepata wanaume wazungu ambao wanawatunz vzr wanapewa pesa ,na kuna amabo qamembiwa wafanye kazi Jmn kil ammoja kivyake cha mhimu kuzi gati vitu mhimu,focus kwa unachotaka
Shennah hilo swali la " unaelezeaje baada ya kuolewa na mzungu wanakuona tajiri " Mama Mzungu , wanajua una hela , tajiri umeshaliuliza sana , limeshajibiwa sana , kuendelea kuliuliza kila siku sioni kama lina faida tena , Watazamaji wako tumeshaelewa . Uliza maswali mapya .
@@OfficialDatingAssistance 1 . Tungependa kujua baada ya kufika majuu miezi yake ya mwanzo ilikuwa na changamoto gani ?? Vyombo vya usafiri , supermarkets , grocery stores mwanzoni alipata changamoto gani ?? 2 . Je imechukua muda gani mpaka kaweza kumkaribisha Mama yake au Baba au dada yake ( Kwa wale ambayo wamewahi kualika ndugu zao . 3 . Je imechukua muda gani kupata makaratasi / vibali. vya kazi na kuishi na changamoto ilikuwa ni nini au kwanini kwake amepata mapema ?? 4 . Je ndoto alizokuwa nazo muda mrefu za kudate au kuolewa na mzungu amekuta ni zile zile au amewakuta wazungu wako tofauti na alivyokuwa anawafikiria ?? 5 . Profile yake huko kwenye mitandao ya kimahusiano alitumia hiyo hiyo kila mtandao au kila mtandao aliweka tofauti ?? 6 . Je familia ya mume au mke ilikupokeaje baada ya kuonana nao ?? 6 . . Kama mgeni wako ni mjasuriamali mwulize ugumu au wepesi wa kuanzisha biashara kwenye nchi husika . 7 . Mwulize kwenye nchi aliyopo kama binti yuko Africa ana ndoto ya kufika nchi hiyo na angependa kuwa mjasuriamali je atafute ujuzi kwenye kazi zipi ambazo zina soko kwenye nchi husika ?? 8 . Kila mgeni anaekuja mwulize Kwa culture ya mume wake au mke wake ni tabia ipi ambayo hutakiwi kuionyesha , kwetu ni sawa lakini kwao inawakwaza , hii itasaidia wanaotafuta wenza wajifunze . 9 . N.k
Huyu dada anajua anachokifanya, my dears nimeishi nje 4 good years sio rahisi kama mnavyofikiria. Maisha ni magumu na hakuna enjoyment kama huku kwetu kwa hiyo mpaka amesema anataka kurudi anajua kitu gani atakuja kufanya huku kwetu
Shena natafuta Ile interview ya yule dada alisimulia mume wake aliondk alipo fika kwao alikuwa anaumwa na yeye anaumwa ndugu zake walimloga niandikaje nimeona amesema amekuta na mume wake
Wala wapo wadada wabongo ambao hawataki na hawana hata Muda n wazungu . Na wengi wanatoaka wazungu wamepitwa kwenye matukio sn ya kuumizwa na wanaume wanaamua kuangaia upande wa pili
Kuishi na wagermany sio kazi ndogo inatakiwa uwe kichaa hahaah arafu niseme hata mm nmepoteza marafiki wote sababu wakiniomba hela nasema sina wananinunia had leo sina rafiki ....
Dada tuletee wanaume Hawa wanawake wanategemea wanaume kwenye kuaso kwao mwanaume ndo ana stori nzuri ya kwake bila kumtegemea mtu tuletee wanaume Hawa madada story zao za wanaume inawezekana bila wanaume wa kizungu madada wa kiafrika ulaya awapawezi tupe dume
Sijamaanisha ni wadangaji nimesema tunataka motivation ya pande zote mbili Sasa mdada amekalia nimekutana na bwana ndo kanileta na wanaume mnamaanisha wakutane na mabwana tupe story nzuri yaan mabwana wawe wamekutana kwenye safari ya hustling
@@suleimanbalemba3348 ndo nakujuza wanaume kibao wamefika ulaya na us kwa sababu ya wake zao🤣🤣🤣 kutoka Africa kuja huku kwa hustling sio easy kihivyo unavyodhani. Ni wachache sana wanaofika hvyo. Na huko mitandaoni wamejaa wanaume wa kiafrika ambao wako tayari hata kulipia ndoa za makaratasi ili waje sababu njia rahisi zaidi ya kufika nchi za watu ni kupitia ndoa kaka.
Mhh ndugu yanguu Mimi nakarbia kufa kabisa na stress king'ang'anizi anajali sana kuhusu Mimi lakini Hela hanipi na Kila siku akija kwangu yeye Hana Hela inafika kipindi naona anajitesa hata yeye mwenyewe. Amepungua sas Mimi hata sielewii jamani nachokaaaa😢😢😢
Binti mrembo na heshima zake. Kudos kwa wazazi wakali wamelea binti kanyooka na msimamo. Hongereni sana. Asanteni mazungumzo mazuri kama arudi tena tupate muendelezo.
Lugha inabidi apambane aweze kujichanganya na maisha ya hapo. Nyumbani Mwenyezi mungu akikujalia utarudi hata matembezi. Msikilize mumeo, jengeni maisha yenu hapo, mtarudi Nyumbani Tz panapo majaliwa na uhai.
Nimekupenda sana dada ,umenifurahisha kuona unatamani kukaa nyumbani kuwa na mji wako..umekuwa na akili kama zangu 😂😂😂.maisha marefu kwako na mumeo
Enala nilkua namuona tu TikTok jmn I'm happy to hear her story nilitaman nijue
Ila ndoa tamu kanenepa😊
Enala please ishi huko umtunze mama mkwe wako, she deeply loves you, cherrish her, she is a gem
You were raised well, kudos to your parents
You are so gorgeous girl all the best our sister keep up well our brother in law
Nimewapenda wote santeni 😍😍
Official dating assistant I love your look in this video . Wow your well done hair, your beautiful dress... you're so attractive. I wish you give us that look in all your videos .❤
Thank you so much
Ahsante dada nipo na wewe daima katka couching zako.
Kabisa my dear usiangalie maisha ya mtu na kuna tofaut kubwa kati ya kuolewa na mzee na kuolewa na kijana
Nana you are the best congratulations
Binti nimempeda yupo vizuri❤❤❤
She's beautiful na akili nyingi sana❤
Amazing story
Very inspiring
Nimewapenda bulee❤❤❤❤
Agemate big up sana
Enala babe❤❤❤😊
Safi sana Enala umeongea vizuri
Nimegundua wajerumani ni wakali ila ni watoaji sana wa pesa wanajua wajibu wao kama vichwa vya familia
Ilikuwa Nzuri sana 😊
Asante shena
Asante Enala
Nilikuwa na subiria sana interview na huyu dada she is so beautiful
And very smart too 🥰
Finally ❤
Safi sana aiseee
Wajerumani 🔥
ASANTE SAN enala
Mungu akubariki
M napenda mzungu na mweusi waki changa dam😊
Asante nimejifunza
Nakupenda ❤❤❤
How I can contact you
Nistori nzuri😂
Nakuelewa sana na mm nimepitia hayo
Shena uwe unauliza maswali ungeuliza reaction yao ilikuaje baada ya wao kumeet for the first day
Mama Mjedaa 😂😅
Wapooo
Mama zetu wa kiafrika 😅😅
Wametulea vzr sn
Nana mcute jamani hongera😊
❤❤❤
Mi nachoamini kila mmoja bwana ma maisha yake,iwe ni kw awazingu au laa!
Ndo maana ht interview humu story ni tofauti hzifanani
Kuna ambao wamepata wanaume wazungu ambao wanawatunz vzr wanapewa pesa ,na kuna amabo qamembiwa wafanye kazi
Jmn kil ammoja kivyake cha mhimu kuzi gati vitu mhimu,focus kwa unachotaka
Msongole❤
How do I get on the show?
+4367764790884
Hakika , mwanamke anaweza badirisha mwanaume Kwa Neema ya Mungu
🤗❤️
Mama wa kiafrika ktk ubir wake
Dadeki mpk raha anafuatilia mpk chuo
Nimempenda huyo mama
jamani iyo tinda tunaweza kuyitumiya ni app gani na inaomba pesa?
App zote lzm ulipie
Safi cana
Kabisa
Wasichana wakipindi hiki muwe macho mambo yanabadilika wazungu wazungu watawalaani.mashoga.mengi huyu mwacheni
Shennah hilo swali la " unaelezeaje baada ya kuolewa na mzungu wanakuona tajiri " Mama Mzungu , wanajua una hela , tajiri umeshaliuliza sana , limeshajibiwa sana , kuendelea kuliuliza kila siku sioni kama lina faida tena ,
Watazamaji wako tumeshaelewa .
Uliza maswali mapya .
Nitumie maswali mapya
@@OfficialDatingAssistance
1 . Tungependa kujua baada ya kufika majuu miezi yake ya mwanzo ilikuwa na changamoto gani ??
Vyombo vya usafiri , supermarkets , grocery stores mwanzoni alipata changamoto gani ??
2 . Je imechukua muda gani mpaka kaweza kumkaribisha Mama yake au Baba au dada yake ( Kwa wale ambayo wamewahi kualika ndugu zao .
3 . Je imechukua muda gani kupata makaratasi / vibali. vya kazi na kuishi na changamoto ilikuwa ni nini au kwanini kwake amepata mapema ??
4 . Je ndoto alizokuwa nazo muda mrefu za kudate au kuolewa na mzungu amekuta ni zile zile au amewakuta wazungu wako tofauti na alivyokuwa anawafikiria ??
5 . Profile yake huko kwenye mitandao ya kimahusiano alitumia hiyo hiyo kila mtandao au kila mtandao aliweka tofauti ??
6 . Je familia ya mume au mke ilikupokeaje baada ya kuonana nao ??
6 . . Kama mgeni wako ni mjasuriamali mwulize ugumu au wepesi wa kuanzisha biashara kwenye nchi husika .
7 . Mwulize kwenye nchi aliyopo kama binti yuko Africa ana ndoto ya kufika nchi hiyo na angependa kuwa mjasuriamali je atafute ujuzi kwenye kazi zipi ambazo zina soko kwenye nchi husika ??
8 . Kila mgeni anaekuja mwulize Kwa culture ya mume wake au mke wake ni tabia ipi ambayo hutakiwi kuionyesha , kwetu ni sawa lakini kwao inawakwaza , hii itasaidia wanaotafuta wenza wajifunze .
9 . N.k
Nimekupenda bure
😊
Inala ni wa kishua😂
Ushaur kwa agement Enala kaa ujerumani fanya cha maana usirud bongo myb kwenda kutembea tu
Yan ataelewa badae
Acha fikra za kitumwa asirudi wewe
tz kwanini? unafikiri ulaya ni peponi we bogasi kweli,,
Jamani, muacheni afanye anachotaka...maisha sio ulaya tu
Huyu dada anajua anachokifanya, my dears nimeishi nje 4 good years sio rahisi kama mnavyofikiria. Maisha ni magumu na hakuna enjoyment kama huku kwetu kwa hiyo mpaka amesema anataka kurudi anajua kitu gani atakuja kufanya huku kwetu
Shena natamani tungesikia your exclusive
Scroll chini utaiona
mama mnoko😂😂😂😂
Dada shena mm spo facebok nifanyaje
Nisaidie dada
😂😂nimecheka majibu ya mama ss
Tupen Namba zenu
Shena Mrs mzungu😂😂😂
Dada shena unanifurahisha eti unaoga mahela hahahah
😂😂 si ndio nyumbani wanajua hivyo jamani 🤣
Shena natafuta Ile interview ya yule dada alisimulia mume wake aliondk alipo fika kwao alikuwa anaumwa na yeye anaumwa ndugu zake walimloga niandikaje nimeona amesema amekuta na mume wake
Tayari ameshairudia
Natamani kujua profile yake tinder aliiwekaje,aliandikaje na picture zilikuwaje na zilikuwa ngapi
Karibu darasani utajifunza yote hayo.. darasa litakua end of this month
Hata 3 tu
Hatusikii
Yuko sahihi ,picha unazoweka ndio zitakuletea mtu unaemtaka
Nice interview ❤️
Na mimi niko Oman Nikiwa na story nakupataje
+4367764790884
@@OfficialDatingAssistance thanks
Uyu dada bado ajui anataka nn, kwaio anataka kukaa bongo aolewe na mjerumani?? Atakua hamtendei haki uyo mzungu...
Kabisa
Kila mbongo anataka mzungu,unadhani utapata mwanaume wa peke yako, mtashare tu, kama daladala ak😊ishuka huyu anapaanda huyu siku nzima
Sidhanii..na ikitokea akikuacha atakulipa
Wala wapo wadada wabongo ambao hawataki na hawana hata Muda n wazungu .
Na wengi wanatoaka wazungu wamepitwa kwenye matukio sn ya kuumizwa na wanaume wanaamua kuangaia upande wa pili
Tatizo wasichana wa bongo wengi wao wanatama na kutakaa kwa haraka alafu pesa wameweka mbelee sana kuliko utu
Kaka kunywa soda nitalipa
Sio wote
Eti mama anapenda maua, kwa mama wa kibongo gani aache kupenda vtenge.
Sio wote wanahusudu vitenge.. wengine wanapenda pesa poa 🤷♀️
😂 nimeshangaa
Kuishi na wagermany sio kazi ndogo inatakiwa uwe kichaa hahaah arafu niseme hata mm nmepoteza marafiki wote sababu wakiniomba hela nasema sina wananinunia had leo sina rafiki ....
Karibu kwenye kipindi Serena tupate darasa kutoka kwako
@@OfficialDatingAssistance mambo yangu hayajakaa sawa dear ila takutafuta namba yako ninayo
Kujiunga na darasa ni kiasi gani
@@immaculateakilimali7220 umemuelewa kwel dada shena ? Anamaansha nikaribie kutoa darasa
Wapuuzi ww hela unachuma?
Wapotezee wajinga sio marafiki hao
Dada tuletee wanaume Hawa wanawake wanategemea wanaume kwenye kuaso kwao mwanaume ndo ana stori nzuri ya kwake bila kumtegemea mtu tuletee wanaume Hawa madada story zao za wanaume inawezekana bila wanaume wa kizungu madada wa kiafrika ulaya awapawezi tupe dume
Acha mawazo mgando kuna madada mahustler mbaya na hao wanaume unaowataja wadangaji pia wapo wengi tu km upo nje ndo utaelewa. Usijudge watu
Sijamaanisha ni wadangaji nimesema tunataka motivation ya pande zote mbili Sasa mdada amekalia nimekutana na bwana ndo kanileta na wanaume mnamaanisha wakutane na mabwana tupe story nzuri yaan mabwana wawe wamekutana kwenye safari ya hustling
@@suleimanbalemba3348 ndo nakujuza wanaume kibao wamefika ulaya na us kwa sababu ya wake zao🤣🤣🤣 kutoka Africa kuja huku kwa hustling sio easy kihivyo unavyodhani. Ni wachache sana wanaofika hvyo. Na huko mitandaoni wamejaa wanaume wa kiafrika ambao wako tayari hata kulipia ndoa za makaratasi ili waje sababu njia rahisi zaidi ya kufika nchi za watu ni kupitia ndoa kaka.
Maneno mazuri kabisa
Well said
Nimekupenda bure dada
Nipo full white 😂😂😂😂
😂
Jitahid ukae German kidogo Enala
Uyu dada tulipanda nae boti ya azam alikuwa na mzungu wake nimemkumbuka toka Zanzibar to dar
Je wazungu wakiachana huwa wanatembeleana kama mfano wa baba yako mkwe na mama mkwe wako au
huyu dada anaongea ukweli mm hapa nadate na mjerumani chamoto nakipata
Mimi nimeshakula na block kabisa. Niliona red flag nikamuliza ikawa kosa. Mzee miaka 58 ila niliona kama yuko na stress Sana.
Mhh ndugu yanguu Mimi nakarbia kufa kabisa na stress king'ang'anizi anajali sana kuhusu Mimi lakini Hela hanipi na Kila siku akija kwangu yeye Hana Hela inafika kipindi naona anajitesa hata yeye mwenyewe. Amepungua sas Mimi hata sielewii jamani nachokaaaa😢😢😢
@@ZintanaAhmedy-pe4ouss SI umuache? Au mumeoana?
Jamani hivi Tinder huwa wanalipia or free?
Za kulipia ni uhakika
Mimi nimejaribu kulipia,baada ya kutengeza card,lakini bado sijapata access ya kutuma ama kureply msg.
@@victorianambololo5718 umelipia vipi tafadhali
Poa
❤❤❤
Hongera msongole nilihudhuria Arusi yako karibu Tegeta
❤❤❤❤
❤️❤️❤️
❤❤
❤❤
Sifa za watu wa Spain jamani