Tumia njia hii kama unataka kusafiri Ulaya bure kwanzia Sasa mpaka 2025

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 23 янв 2025

Комментарии • 112

  • @Devota_life
    @Devota_life  Месяц назад +6

    Sikiliza Video Yote Alafu ingia hapa
    -www.workingtraveller.com/work-in/iceland/
    -www.adventurevolunteer.org/en/volunteering/iceland/
    -www.volunteerworld.com/en/volunteer-program/psychology-internship-copy-in-greece-athens

  • @LucianMwamunyi
    @LucianMwamunyi 10 дней назад

    Namna yakuaply my dear kuhusu kuvolonteer hizo inchi
    Mungu akubark we Dada

  • @AgathaMpemba
    @AgathaMpemba 12 часов назад

    Thank you sis

  • @AminaShillah
    @AminaShillah Месяц назад +3

    Da devota nina furaha sana mungu akubaliki umeni inspire sana kutumia video zako nimejalibu kuapply scholarship nimepigiwa simu kutoka calfonia nimechaguliwa chuo cha afya naombq unishauli mimi nipo gulf Omani nafany kazi sijamaliz mkataba sijui nafanyej yaan 😭😭😭😭😭😭😭 ila nina furaha san

    • @gladnesskimambo4756
      @gladnesskimambo4756 Месяц назад +1

      Hello mamy mambo

    • @AminaShillah
      @AminaShillah Месяц назад

      @gladnesskimambo4756 powa

    • @BlandinaMarko
      @BlandinaMarko Месяц назад +2

      Amina pole na hongera,, we are in the same case... I'm in Oman as well but I'm not chosen yet.

    • @AminaShillah
      @AminaShillah Месяц назад

      @@BlandinaMarko asnte kipnz

    • @AminaShillah
      @AminaShillah Месяц назад

      @@gladnesskimambo4756 powa

  • @OctovinaMalekia
    @OctovinaMalekia Месяц назад

    Dada Asante nimeanza kuzisoma hizo kazi va volunteer Asante 🙏

  • @HassanKipalalah
    @HassanKipalalah 27 дней назад

    Nakuelewa sana

  • @mwitasamuel4237
    @mwitasamuel4237 Месяц назад

    I like it very much may God bless you sister Devota.

  • @AgathaElly
    @AgathaElly Месяц назад

    Asante dada

  • @irenemichael
    @irenemichael Месяц назад +2

    Nikiwaza mkataba bado mwaka mzima nachoka nipo oman naomba Mungu anipe uzima oneday yes

  • @DaghauMsule-e3u
    @DaghauMsule-e3u Месяц назад

    OK pamoja

  • @Jamiljamal-i4f
    @Jamiljamal-i4f Месяц назад

    Sista Mungu akupe umri mrefu sana aisee kwa hizi furusa unazotupa jaman tushindwe cc tu jaman

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@Jamiljamal-i4f Ameen kila la heri na wewe

  • @georgemichael3791
    @georgemichael3791 Месяц назад +1

    Nimekupeza sana.

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      Hello Asante , kindly can you re-email me again

  • @AnnMariam-g5e
    @AnnMariam-g5e 19 дней назад

    Napenda niende na watoto wangu 4... Canada

  • @pamelakopil4076
    @pamelakopil4076 7 дней назад

    Sisi wenye 50 tunapata kazi kweli

  • @shubbaantv4588
    @shubbaantv4588 24 дня назад

    Dada kazi nzuri,Mimi nataka kwenda LUXEMBOURG natamani sana

  • @DaghauMsule-e3u
    @DaghauMsule-e3u Месяц назад

    Mm nataka kwenda marekan inakuwaje

  • @gracesaimon1132
    @gracesaimon1132 14 дней назад

    Dada tofautinadar siunawezakupatahichokibakili

  • @AmosiMazengo-x4w
    @AmosiMazengo-x4w 9 дней назад

    I'm very interested my dear sister, toa madini nakusikilizia kwa makini

  • @gracesaimon1132
    @gracesaimon1132 14 дней назад +1

    Devota umri unaohitajika kuapalayi

  • @MihayoYombo-f8o
    @MihayoYombo-f8o Месяц назад

    Waoo my type michongo mungu mwema atusaidie tufike hata huko ulaya jamani

  • @MarthaZabron-v9b
    @MarthaZabron-v9b Месяц назад

  • @LISALUKINDO-kh1es
    @LISALUKINDO-kh1es Месяц назад

    Hii nimeinda barkiwa sana

  • @AnnMariam-g5e
    @AnnMariam-g5e 19 дней назад

    Niko tayari

  • @RozRoz-o6d
    @RozRoz-o6d Месяц назад +1

    Hi devota,

  • @1102imani
    @1102imani Месяц назад

    Yan Mambo ni moto

  • @shahranNdairi
    @shahranNdairi 22 дня назад

    Asante sana naomba uelekeze jinsi ya ku volunteer UNo please

    • @Devota_life
      @Devota_life  19 дней назад

      @@shahranNdairi nitaifanyia live dear tunaaza kesho saa tano ya kibongo

  • @LoveQuteey
    @LoveQuteey 5 дней назад

    mimi nipo dar es salaam na ni fundi ujenzi je naweza nika volontia nikaja uko .na ni nchi gani ?

  • @shahranNdairi
    @shahranNdairi 22 дня назад

    Jinsi ya ku apply un naomba unielekeze

  • @EstherPhinias
    @EstherPhinias Месяц назад +3

    Nimemiss live jamaniii😭

  • @estherkiema3569
    @estherkiema3569 Месяц назад

    Hujambo dada

  • @Gloriawilliam-mr8kb
    @Gloriawilliam-mr8kb 12 дней назад

    Naomba kwanda kanada nitafanyaje

  • @GeorgeKomba-j3x
    @GeorgeKomba-j3x 25 дней назад

    Mambo dada mimi ni truck driver nina paspoti sina visa unaisaidiaje

  • @MuhammadMatimbwa
    @MuhammadMatimbwa 10 дней назад

    Volunteer ya kwenda canada ipo

  • @JK-yf6dg
    @JK-yf6dg Месяц назад

    Hao

  • @gracesaimon1132
    @gracesaimon1132 14 дней назад

    Dada devota hizofromu

  • @immaculeecyusa1412
    @immaculeecyusa1412 Месяц назад

    Is it possible to move in other country Wich is under Schengen while the Portugal work visa?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@immaculeecyusa1412 If the visa is in Schengen form work visa it’s possible , but if it’s only Portugal work visa non Schengen you need to enter Portugal first after some time you from there get Schengen

  • @adamyusuphmsigala
    @adamyusuphmsigala Месяц назад

    Wasaidie vijana wetu

  • @pamelakopil4076
    @pamelakopil4076 8 дней назад

    Mpishi napata chance

  • @bonaventuremwinamila9653
    @bonaventuremwinamila9653 Месяц назад

    Hello sister, kwanza hongera sana kwa kutupatia taarifa. Binafsi nakupongeza sana.
    Mimi binafsi napambana kupata fursa ya kusafiri ulaya. Natafuta conference nitakayo weza kulipia na kushiriki. Kupitia msaada wako tunaomba msaada wa taarifa kuhusu international conference

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@bonaventuremwinamila9653 karibu Conference Za Wapi?

  • @pamelakopil4076
    @pamelakopil4076 8 дней назад

    Namba ya kuappy kujitolea kikazi huko uno

  • @SurprisedCobra-lz9ee
    @SurprisedCobra-lz9ee Месяц назад +1

    Mimi Hamad hamza kombe nimekubali dada mi nipo tayari kwa kazi yoyote naomba nisaidie dada hutajuta

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@SurprisedCobra-lz9ee unatamani kusafiri wapi?

  • @SarahWilson-g7l
    @SarahWilson-g7l Месяц назад +1

    Dada mimi mbaka mwez wa 3 nataka niwe nimesepa naamin kila anaye mfatilia dada ataondoka

  • @ZuzuTz
    @ZuzuTz 12 дней назад

    Umri mwisho wake

  • @rebekamusa3230
    @rebekamusa3230 Месяц назад

    Swiden?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@rebekamusa3230 Njia rahisi ni kupitia kusoma

  • @happymwalukasa7299
    @happymwalukasa7299 Месяц назад

    Dada Devo naomba namna ya kumpata Alvin Mataba

  • @ShadyaIsihakA
    @ShadyaIsihakA Месяц назад

    Eti mpendwa hivi unatakiwa uwe na kiasi gani cha maandalizi

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@ShadyaIsihakA hello unatamani kwenda wapi

  • @stellanasho9712
    @stellanasho9712 Месяц назад +1

    Devota mm ni nimesomea massage na pia ni dereva naweza pata volunteer Norway?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@stellanasho9712 inawezekana kuapply kule na kupata factor Yao sanasana ni lugha

  • @AyoubOmary-s5e
    @AyoubOmary-s5e Месяц назад

    Habari sister nataka niende kua apply zile office ulizosema za UN ziko wapi kwa hapa Dar

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@AyoubOmary-s5e kwa Sasa sijajua ipo Dar , posta

  • @estherkiema3569
    @estherkiema3569 Месяц назад

    Je ukiwa ulaya unaeza kuwa volunteer pia?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@estherkiema3569 inategemea upo wapi na visa gani ?

  • @stellamlawa5445
    @stellamlawa5445 Месяц назад

    Devota
    Nimependa ulaya nikaumwa sita pili au y tatu toka nifike muda wangu utaongezwa w kuish pale ili nikamilishe ratiba yngu kwa siku nilizoumwa au ndio basi
    Inakuwaje nikiumwa

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@stellamlawa5445 ukiumwa unabaki

  • @YuxuphMuxh
    @YuxuphMuxh Месяц назад

    Dada Dev. Napenda ufafanuaji wako . Mimi nime somea Health care mwaka moja.. Kuangalia watoto na wazee pia na wakimbizi. Kwa mm upande wa UN inakubalika?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@YuxuphMuxh Yes it’s possible andaa CV una healthy care certificates??

  • @AshaHussein-z3j
    @AshaHussein-z3j Месяц назад

    Mtoto wangu anahitaji amesoma uhasibu afanyeje

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@AshaHussein-z3j Belgium 🇧🇪 , Italy Roma, Germany 🇩🇪 had nchi ya kwanza wanatoa sponsorships. Yupo ngazi gani

  • @abounassoro2540
    @abounassoro2540 Месяц назад

    Nataka kujua mawakala wakutufanyia applications kwa kazi za ulaya lakini sio uarabuni

  • @RozRoz-o6d
    @RozRoz-o6d Месяц назад

    Nakutazama toka Saudis naitwa Rose

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@RozRoz-o6d karibu na Hongera kwa kazi

  • @HusnaAzan-k7h
    @HusnaAzan-k7h Месяц назад

    Dada D sisi ambao tumeolewa tunaweza kwenda pia kujitafuta ulaya?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@HusnaAzan-k7h Ndio kama Finland, Australia unaenda na familia na visa ya kazi sio vigumu nilifanya live ya Australia ulisikiliza

  • @immaculeecyusa1412
    @immaculeecyusa1412 Месяц назад

    Jambo Devota nilikia nataka kukuwuliza mutu akienda Portugal na visa ya kazi inawezekana kua mutu anaeza hamia in other countries zenye ziko mu Schengen?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@immaculeecyusa1412 ndio dear Portugal ni ulaya pia sio kubaya sema ukienda kaa kidogo Tafuta pesa maana Portugal maisha yapo chini kuliko hizi nchi nyingine za ulaya . Portugal is affordable

  • @ZuhuraAbdallah-u9o
    @ZuhuraAbdallah-u9o 23 дня назад

    Tiktok unatumia jina gani

  • @YuxuphMuxh
    @YuxuphMuxh Месяц назад

    Dada naomba kuuliza. Bure hiyo ni visa na ticket ni Bure au inakuwaje naomba unifafanulia hapo ?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@YuxuphMuxhsana Sana ni visa na accommodation, mahali pa kukaa

  • @NerboRaphael-q3o
    @NerboRaphael-q3o Месяц назад

    Dada angu nini chakufanya kea mtu ambae nakusikiliza kea mama ya kwanza niwapi naweza kuanzia ninandoto ya kwanza ulaya nahitaji kujitolea je naanzia wapi?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@NerboRaphael-q3o list nchi gani unataka kwenda kwanza , ujuzi gani unao au kazi gani Unaweza, budget yako ni ipi?

  • @mauamabunda7385
    @mauamabunda7385 Месяц назад

    Umri gani mwisho wa Ku volunteer?

  • @christercharles3372
    @christercharles3372 Месяц назад

    Kama ni uhakika na kazi mbona sio shida?

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@christercharles3372 Ndo kazi izo is watu waaply kupata

  • @PhiliminaPrimus
    @PhiliminaPrimus 20 дней назад

    Da Devota ninashida na wewe naomba email yako.

    • @Devota_life
      @Devota_life  19 дней назад

      @@PhiliminaPrimus instagram devota_tz_influencer1 niandikie kwenye current post ntaku Dm

  • @YonnahKokan
    @YonnahKokan Месяц назад

    Jamani dada devota mbona tulikuomba umlete deri humu jamani kwni kagoma? Nmekuandikia kule instagram hata haujajibu

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@YonnahKokan nitafute instagram devota_tz_influencer1

  • @MuhammadHassan-xp6dc
    @MuhammadHassan-xp6dc Месяц назад +2

    uturuki siyo waarabu dada tatizo watu wengi hawafanyi utafiti

  • @alicesemsella
    @alicesemsella Месяц назад

    sister zingine unalipia not for free

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@alicesemsella Ndio ni kweli dear na ukilipia hamna scammers ♥️

  • @hanslii1296
    @hanslii1296 Месяц назад

    Nataka agent wa uhakika mwanamke ana mtoto mdogo inawezekanaje

    • @Devota_life
      @Devota_life  Месяц назад

      @@hanslii1296 Ndio ni rahisi kwenda na familia sema unaenda wapi ? Nchi gani

    • @nanaandrew-tc4hr
      @nanaandrew-tc4hr 20 дней назад

      ​@@Devota_lifeNa Mimi nataka kwenda na mwanangu Singapore inawezekana??

    • @Devota_life
      @Devota_life  19 дней назад +1

      @@nanaandrew-tc4hr Singapore ni frew visa lakini kipindi ch summer ndo pazuri

    • @nanaandrew-tc4hr
      @nanaandrew-tc4hr 19 дней назад

      @@Devota_life 🥰

  • @gracesaimon1132
    @gracesaimon1132 14 дней назад

    Umri ganimwisho waku volunteer?

  • @happymwalukasa7299
    @happymwalukasa7299 Месяц назад

    Dada Devo naomba namna ya kumpata Alvin Mataba

  • @MwantumuAbdy
    @MwantumuAbdy Месяц назад

  • @JumaMtepa
    @JumaMtepa 22 дня назад