Usisubirie Green Card Lottery pekee, kuna njia zingine

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 29 дек 2024

Комментарии • 132

  • @magrethmasunga429
    @magrethmasunga429 11 дней назад

    Nakuelewa sn bro! Mungu akuzidishie kwa namna unavyojitoa kuwaonyesha vijana wa kitanzania fursa. Hakika ww ni mzarendo

  • @erickulomyORG
    @erickulomyORG 2 месяца назад +4

    Kaka EBM zikitokea fursa nyingine pia tunaomba uzidi kutupa kaka tunashukuru sana kwa mchango wako Mungu azidi kukubariki😊

  • @ELIEZERNDARO
    @ELIEZERNDARO Месяц назад

    Ahsante sana kwa ushauri mzuri una ni inspire sana niko SUA Mungu akubariki EBM

  • @naombaelsamwel7226
    @naombaelsamwel7226 2 месяца назад +3

    EBM has been the best ever...yaan ana nondo mpaka basii, full materials ni hapa tuu ..

  • @kakamkuu5383
    @kakamkuu5383 11 дней назад

    Asante brother kwa kutusanua

  • @mukambakilosho4908
    @mukambakilosho4908 2 месяца назад +1

    Always watching your videos add something new into my quest for emancipation.
    EBM you're the greatest man in the diaspora.

  • @josiahonesmo800
    @josiahonesmo800 2 месяца назад +2

    Kwakweli unatoa Elimu nzuri sana.

  • @Mwakaismsociety
    @Mwakaismsociety 2 месяца назад +1

    Hongern kwa Msaada,from Tz iringa.

  • @eacnchanneltv9892
    @eacnchanneltv9892 2 месяца назад +10

    From Botswana I've already applied for dv Lottery, Ebm ni zaidi ya msaada kwa wasafiri

    • @nataliaemanuely4046
      @nataliaemanuely4046 2 месяца назад +1

      Watching from Botswana block 3

    • @emmanuelbaraka2217
      @emmanuelbaraka2217 2 месяца назад +2

      How do you apply for green card and which is the last date

    • @eacnchanneltv9892
      @eacnchanneltv9892 2 месяца назад

      @@nataliaemanuely4046 wooh so nice wish to see you friend

    • @emzi-k6d
      @emzi-k6d 2 месяца назад

      Soma maelekezo kwenye link hii, apply na hii link, ni bure kuapply uwe na picha nzuri lenye white background: dvprogram.state.gov/@@emmanuelbaraka2217

    • @isaacgara3528
      @isaacgara3528 2 месяца назад

      Send wite Background passport to ebm​@@emmanuelbaraka2217

  • @DaghauMsule-e3u
    @DaghauMsule-e3u 2 месяца назад

    Brother ni kweli kabisa ndugu yangu, mungu akubariki sana

  • @bonfacetemu5192
    @bonfacetemu5192 2 месяца назад

    Mnatusaidia Sana na kututia moyo nyie watu, Asante sana 🙏🏿🙏🏿

  • @allyafif
    @allyafif 2 месяца назад

    Mungu awabariki sn ebm na devota
    Watu wa maana kabisa🎉🎉❤❤

  • @philbertmbano2949
    @philbertmbano2949 2 месяца назад

    Nakuelewa Sana Kaka ahsante Sana kwa somo nzuri

  • @lucaspaul7208
    @lucaspaul7208 2 месяца назад

    EBM nimeshare taarifa za DV lottery kwa watu wengi sana mwaka huu, kazi nzuri sana endelea kutoa elimu.

  • @EDIMUNDMWOMBEKI
    @EDIMUNDMWOMBEKI Месяц назад

    kweli kaka hpo uyasemayo ni kweli ila sio wote wengine tunahitaji kuja huko tuonyeshe njia

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 Месяц назад

    Wanasikiliza umbea wa juma lokole😂😂😂😂 haki nimecheka, yaani we kaka leo umeniua na cheko😂😂😂, wasimchanganye mungu😂😂😂😂, kwali

  • @akidaayubu6815
    @akidaayubu6815 Месяц назад

    Shukrani Sana uncle kwa elimu I that you want us to live our dreams in America

  • @Hajath-e9w
    @Hajath-e9w Месяц назад

    Nakupenda sana kaka

  • @migerajacob581
    @migerajacob581 Месяц назад

    Bro makulilo nakuelewa sana, Mungu awe nawe,

  • @emanuelcholela8679
    @emanuelcholela8679 2 месяца назад +2

    Hello hii ni kweli umeongea

  • @JoshuaKeheta
    @JoshuaKeheta Месяц назад +1

    Kweli kabisa hapo umenena kaka

  • @EsterMfoi
    @EsterMfoi 2 месяца назад

    Naomba sana namimi kuwasiliana na wewe 🙏🏾🙏🏾🙏🏾

  • @ayubujosiah
    @ayubujosiah 2 месяца назад

    Kaka Ernest Boniface Makulilo wewe ni zaidi ya DV Lottery unatupa mambo mengi ya maendeleo na hasa ya ughaibuni,Mungu akubariki sana.

  • @ezeej6191
    @ezeej6191 2 месяца назад +1

    Asante kwa Elimu
    I believe I can do it

  • @KisheMhando-vg3cj
    @KisheMhando-vg3cj 2 месяца назад

    Hongera sana kwa shule hii,taarifa nzuri sana.

  • @Americabeautifulland
    @Americabeautifulland 2 месяца назад

    Kaka tupo pamoja sana from mwanza tanzania 🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿

  • @olivier6600
    @olivier6600 2 месяца назад +2

    ERNEST BONIFACE MAKULILO nakubali unaongea ukweli

  • @nyangomanyama6959
    @nyangomanyama6959 2 месяца назад

    Hongera sana kwa elimu nzuri

  • @jacquelinelukambuzi5085
    @jacquelinelukambuzi5085 2 месяца назад

    Mungu akubariki sana kwa kazi nzuri EBM

  • @AlexUpamba
    @AlexUpamba Месяц назад

    Ubarikiwe broo

  • @SulemanNamboa
    @SulemanNamboa Месяц назад

    Naomba tuongee

  • @emanuelcholela8679
    @emanuelcholela8679 2 месяца назад

    Hakika mwalimu unanondo za kutosha Asante sana

  • @fletchamuhalia9103
    @fletchamuhalia9103 2 месяца назад

    God bless you EBM

  • @rachelmtemange5206
    @rachelmtemange5206 2 месяца назад

    Ni kweli kabisa kaka EBM

  • @HassanKipalalah
    @HassanKipalalah 7 дней назад

    Nimekubali ndio kazi ninayo Fanya bando langu natumia kukusikiliza sana pamoja na Devota

  • @ayoubkhamicmzume7970
    @ayoubkhamicmzume7970 2 месяца назад

    Tuko pamoja kaka yaani contents zako mzr sana napenda vile unatutia moyo❤

  • @المنتقى-من-كلام-السلف
    @المنتقى-من-كلام-السلف 2 месяца назад +1

    Poa sana ebm

  • @shenjamamzingi7950
    @shenjamamzingi7950 2 месяца назад

    👊EBM KEEP IT UP,..HEAVY WEIGHT💪

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 Месяц назад

    Wachu umenichekesha sana na nimejifunza sanaa😂😂mimi niko uarabuni lakini ndoto yangu ni kwenda nchi za kizungu, wacha nitafute pesa then nakuja huko

  • @graceandrew3988
    @graceandrew3988 2 месяца назад

    Well done EBM

  • @Hajath-e9w
    @Hajath-e9w Месяц назад

    Ñatamani sikumoja unisaidiye🙏

  • @Denis-Geodesist
    @Denis-Geodesist 2 месяца назад

    Nice video brother Ernest

  • @lasardbahondi8756
    @lasardbahondi8756 2 месяца назад

    Bg up sana mkubwa

  • @phoebeongosi6407
    @phoebeongosi6407 2 месяца назад

    I like your advice

  • @irenemathias5100
    @irenemathias5100 2 месяца назад

    Kiukweli mbarikiwe Sana binafsi mnanisaidia Sana kwenye swala la information

  • @halimahassan3031
    @halimahassan3031 Месяц назад

    Wanasikiliza umbea wa juma lokole😂😂😂😂 haki nimecheka

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 месяца назад +1

    Fact watz tubadirike tutumie information za maana

  • @JumaAbweAbediYusufu
    @JumaAbweAbediYusufu Месяц назад

    Kaka! Mimi ni mtanzania tokea mkoa wa kigoma kwa sasa nipo mjini Kenya. Naomba usaidizi, mzazi wangu yupo state ya Joja, anauitaji nami nije mbali hana ufaamu. Naomba tuweze kuwasiliana ili unipe maelekezo zaidi

  • @PrijetJosophat
    @PrijetJosophat 2 месяца назад

    Apo kwenye usimchanganye Mungu 🙏🙏🙏

  • @elikanashadrack4678
    @elikanashadrack4678 19 дней назад

    Je Kwa Yule aliyepata VISA ya visiting anawezaje kuomba ulaia wa Marekani?

  • @HollyvsNolly
    @HollyvsNolly 2 месяца назад +2

    Naulizia Tunawezaje kuwaona,tunawapata Vipi hapa Tz .

    • @Wamimedia
      @Wamimedia 2 месяца назад +1

      Wapo mlimani city nyuma ya jengo la sky city utaona vibao vimeandikwa EBM scholars

  • @ChifuTozi
    @ChifuTozi 2 месяца назад +1

    Mku wakazi tupo pamoja 🇺🇲💯🔥

  • @RosemaryMbata-t5f
    @RosemaryMbata-t5f 2 месяца назад

    Kweli kaka ❤

  • @happykilewo4097
    @happykilewo4097 2 месяца назад

    Kaka Asante kwa kutupa maarifa mimi nina degree na nimefanya kazi allmost 20years. Kwa sasa nimejiajiri ila natamani kwenda nje ya nchi miaka mingi cikupata wa kuniongoza ila bado matamani niende kwa njia ya masomo ya masters pls assist me

  • @HassanKipalalah
    @HassanKipalalah 7 дней назад

    Nimewakubali

  • @SabriSaleh-ot5tv
    @SabriSaleh-ot5tv 2 месяца назад

    Kaka nakufatilia sana video zako

  • @UwitekaZubeyda
    @UwitekaZubeyda 2 месяца назад

    Yes good

  • @EsterMfoi
    @EsterMfoi 2 месяца назад

    Kaka Ebm naomba nipe nafasi tuongee

  • @jacksonlusagalika
    @jacksonlusagalika 2 месяца назад +1

    It's my first time nimeapply na nitashinda! Let's meet on March hapa kwa ushuhuda.

  • @caramamttv
    @caramamttv 2 месяца назад

    Msada kaka utuasidie mimi naishi Burundi 🇧🇮

  • @HamzaSwakala
    @HamzaSwakala 2 месяца назад +1

    Mayai ya kware😂

  • @shillinde
    @shillinde Месяц назад

    Brother. Foreign Credential Evaluation (from a U.S. agency that is a member of NACES hii nitafanyia wapi

  • @MariaKalinga-t3m
    @MariaKalinga-t3m Месяц назад

    Elimu munayoitoa ni Mungu tu ndo atawalipa yaani munaupendo Mkubwa sana

  • @sulleyhamadi116
    @sulleyhamadi116 2 месяца назад

    Kaka kiukweli nafuatalia Sana elimu unayotoa. Kwetu wadogo zako,ila ndini ijambo ngomba kuganila nawe ubonyee bhikuku ndiye.

  • @michaelsamwel6491
    @michaelsamwel6491 Месяц назад +1

    Story za maparachichii😂

  • @LutagishaMahindi
    @LutagishaMahindi 2 месяца назад

    Kaka EBM mfano kama hauna bachelor lakini unaujuzi for example focallift operator je unaweza ingia USA kwa kutumia njia zipi?

  • @HassanKipalalah
    @HassanKipalalah 7 дней назад

    Ipo siku nafika hapo usa

  • @FrederickThadeo
    @FrederickThadeo Месяц назад

    Wewe hata Tanzania watu wanapenda kuja dar nahajuwi wafanye nini

  • @jenifferiregi7903
    @jenifferiregi7903 5 дней назад

    Aphathali.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 месяца назад +1

    Looo nimeipenda hii ,usimchanganye Mungu
    Amina 🙏🙏

  • @mmbondofilm6229
    @mmbondofilm6229 2 месяца назад

    Kiongozi mi nakufatilia sana na ninakuelewa sana ila mimi upande wa dv lottery vigezo sona maana mimi niwatdrasa la 7 sasa naitaji sana nani ndoto yangu kufika america au Canada ni ndoto yangu ila sijuwi nianzie wapi na elim Sina

  • @estherkiema3569
    @estherkiema3569 9 дней назад

    Unaeza kuwa volunteer ukiwa marekani

  • @jenifferiregi7903
    @jenifferiregi7903 2 месяца назад

    Tufanyie bidii ndugu yetu😂

  • @DeusdedithKwai
    @DeusdedithKwai 2 месяца назад

    Naomba contact nipate maelezo Kwa jinsi gan naweza Kupata nafas tafadhal

  • @holinessgathering
    @holinessgathering 2 месяца назад

    Samahani EBM kwa mwakani, hapa Tanzania mnaanza kuwasaidia lini watu

  • @SalvaPaul-ll9hm
    @SalvaPaul-ll9hm 2 месяца назад

    Mr. Ben tunaomba ueleze kuusu EB3 VISA

  • @farajimustafa6423
    @farajimustafa6423 2 месяца назад

    Bro ngoja tu comment nina ndoto ya kuja huko USA.

  • @sikitujuma4866
    @sikitujuma4866 2 месяца назад

    Makulilo mimi nipo arizona nina miaka kumi ni mtanzania nilikuja kwa visa ya visiti sasa naomba
    Nipate mwonngozo sijapata kitambulisho chochote

    • @mohrecaps
      @mohrecaps 2 месяца назад

      Sasa unaishije huko dada sikitu bila kitambilisho chochote

  • @alijumamohamed
    @alijumamohamed 2 месяца назад

    Nakwani labda njia nyengine zinatake too much time,hadi muombaji muda mengine ana vunjika moyo?

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 месяца назад

    Kwa kifupi usijifunge tumia njia yyt ikitokea

  • @josephineikonge3437
    @josephineikonge3437 2 месяца назад

    Tafathali kaka waeza kua wajua scholarships for undergraduates nimepata i-20 Bridgeport university.

  • @christinewomanoffaith5479
    @christinewomanoffaith5479 2 месяца назад

    Kwakweli tusipangiane wala kuingiliana kila mmoja ana ndoto zake

  • @bestmilltz7071
    @bestmilltz7071 2 месяца назад

    Naomba namba yako I want to ask you some questions

  • @saidnoumani7244
    @saidnoumani7244 2 месяца назад

    Hi EBM and others ..by the way what does DM stand for ?

  • @valentinemulokozi510
    @valentinemulokozi510 2 месяца назад

    Sauti ya Devo😂

  • @DavidBon-wenger
    @DavidBon-wenger 2 месяца назад

    EBM ww nimtu muhimu kwa sisi ila naomba uzidi kutusaidia how to apply niko nchi burundi

  • @assoubelove7559
    @assoubelove7559 2 месяца назад

    Na omba namba yako brother ili unipe mu elekewo wako omba Visa

  • @caramamttv
    @caramamttv 2 месяца назад

    Shikama ninamaongezi na wewe juu na visa yangu unaweza ukanisaidia tukaribiya…naweze nikakupata wapi ili kukaongee naomba msada..ni mke uko usa

  • @bamag-021
    @bamag-021 2 месяца назад

    Niko india namalizia degree ya radiograph. (Ni MTANZANIA)
    Je nitafanyaje kupata internaship USA.
    MSAADA WAKO KAKA

  • @ktdonat.onpassive
    @ktdonat.onpassive 2 месяца назад

    Ikitokea fursa nyingine yakwenda inje usikose kutwambia

  • @hadidjaissa9154
    @hadidjaissa9154 2 месяца назад

    ❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤❤

  • @EricaMlugu-y1z
    @EricaMlugu-y1z 2 месяца назад

    Endelea kutupa moyo kaka

  • @alexfrank2394
    @alexfrank2394 2 месяца назад

    Kaka EBM nimesomea geography bachelor niliitaji nipate conference au utaratibu wa kupata scholarship ya master kwenye community collage za usa

    • @christinewomanoffaith5479
      @christinewomanoffaith5479 2 месяца назад

      We Anza kufuatilia baadhi za acc humu wanaeleEa na kutoa link
      Kuna dada anaitwa devotha anasaidia sn kwenye eneo

  • @JohannesGodfrey
    @JohannesGodfrey 2 месяца назад +1

    International investors 😂😂😂

  • @worldtechlab
    @worldtechlab 2 месяца назад

    P diddy 😂😂😂😂😂

  • @gomlesa_tz
    @gomlesa_tz 2 месяца назад

    Fact 🫡

  • @JohannesGodfrey
    @JohannesGodfrey 2 месяца назад

    Mtu ambae yuko Tanzania na anahitaji kwenda nje na bado please anitafute ili tu organize kwa pamoja hata kama si marekani

  •  2 месяца назад

    kaka na mm nina shida hiyo nahitaji kujua wapi nianzie kigezo cha kwanza na cha pili ninacho

  • @NoorynMody
    @NoorynMody 2 месяца назад

    Mbonq unatufokea kaka 😂

  • @baracomserviceslimited8074
    @baracomserviceslimited8074 2 месяца назад

    Hallo