Dada mnapata tabu na visa kwa kuwa hamna pesa kwenye accounts zenu personal, mbili hamna good travel history! Ukiwa na pesa imenyooka, unanyimwaje visa?
Naomba nitofautiane na wewe kwenye vyakula nimebahatika kutembelea nchi kadhaa ulaya,sisi Afrika tuna vyakula vingi na varieties labda upande wa kuvipangilia na kula healthy.Kwanza wengi wao chakula chao kikuu mikate pia wenyewe baadhi yao ukiongea nao wanatamani vyakula vyetu na wanatuonea raha😂sisi Afrika tumebarikiwa ardhi na hali ya hewa nzuri tunaweza kulima varieties ya vyakula na original. Vya kwao unakuta sio original kihivyo..
Kuusu chakula umekosea uku wanajua kupika lakini chakula yetu nimikate tu kitu kuna vyakula ala sisi atujue kupandisha jinsi ya kula apa wanalima viazi ulaya tu 😂
Sasa unasema visa ni taabu kupata, lakini Uturuki na China ni rahisi, kwanini niende czech. Kuhusu wizi, sorry dada huna unacho kijuwa, hao wa cezech, east European ni wizi wakutajika. Ama kuhusu vyakula, nyamaza, njoo Zanzibar. Hapa UK hata hao watu weupe European wanapenda vyakula vya kiaafrika. Kuhusu kazi, unadanganya watu. Mimi nafanya kazi na watu wa czech. Mume, Mke na watoto wawili wanafanya kazi na mimi. Wananieleza kwamba ajira hakuna. Hushangaa ninapowaambia kwamba nchi yetu imefaidika sana na serikali yao kwa kuwasomesha watu wetu na Afrika Kwa ujumla.
tatizo sio wanaume tu hata wanawake pia tabia zenu za ajabu sana kwa hiyo msijione nyie mko better ndio maana hata mwanaume pia akipata mzungu hato taka mwanamke mweusi saabu ya tabia zenu zilivyo kwa hiyo wacha kujiona nyie mkopoa kushinda wenzenu sswa
Nilichokiona dada yangu anaongea ukweli unaouma ila niukweli, jamani tujifunze kumeza dawa hata kama ni chungu. Dada i wish ungekuwa dada yangu, may be we share the same characteristics. Napenda ujasili wako.
Daaah kwanini unamtukana dada watu kiasi hicho? Mbona mimi sijaona kosa lake zaidi naona ni dada mwenye akili iliyofunguka, uwezo na ujasili, mimi nimempenda huyu dada, halafu hata kama humpendi kwanini umuombee mabaya, tena nakuambia kwa Jina la Yeau hayatampata hayo mabaya.
Mungu akubariki Mr.EBM
Kuna watu sio wachoyo mungu awatunze ebm barikiwa sana ❤️💪
The mkaka was there akampa kazi
🎉🎉🎉
😊😂 Mahojiano mazuri na the Best experience
Nimefaidika sana na interview yako, Icome na IBM. unawafundisha vijana wengi kujitambua
Fact
❤Nice
Your really well taking keep on baby
Well taking girl
Ila darling Mzungu siku akichange mind hafkirii anythin else ni anakuacha kama hakujuiiii , jst weka hii akiba
Your so bright from your brain ❤baby keep on
Dada mnapata tabu na visa kwa kuwa hamna pesa kwenye accounts zenu personal, mbili hamna good travel history! Ukiwa na pesa imenyooka, unanyimwaje visa?
Roho mbaya 💯 well said
Your beautiful and skin tone is on point
icome sio bubu anafungukaga sana 😊😊
Kwa kusema hali healthy nakubali hila kwa vyakula tema mate chini hakuna kama Africa
Very smart openly talking.
Nampenda huyu dada yuko straight
Sema majina yake ungeandika amna ata moja nlo elewa, na interview nzuri 🙏
Naomba nitofautiane na wewe kwenye vyakula nimebahatika kutembelea nchi kadhaa ulaya,sisi Afrika tuna vyakula vingi na varieties labda upande wa kuvipangilia na kula healthy.Kwanza wengi wao chakula chao kikuu mikate pia wenyewe baadhi yao ukiongea nao wanatamani vyakula vyetu na wanatuonea raha😂sisi Afrika tumebarikiwa ardhi na hali ya hewa nzuri tunaweza kulima varieties ya vyakula na original. Vya kwao unakuta sio original kihivyo..
Nakubari maneno yako mie naishi ugaibuni sasa miaka 25😂
Nakubaliana nawe vyakula vyetu ni vya hasili na vina virutubisho vingi.
Mimi ndio mmoja wao I hated it American 🇺🇸 food 🤢 for 21 years
@@hoseakipkemei2244Kweli huku ndiomaana maginjawa mengi
Very true i leave INTHE NETHERLANDS 🇳🇱, and i can truly say that AFRICA we are very blessed with great foods.
Hello IBM nina mdogo wangu anasomea nurse muhimbili sasa anatamani kufanya kazi nje sasa utamsaidia vipi ?
Mkuu wa kazi tunaomba interview na shabani mwampambe
Kwanin camera man amekaa kwenye mgongo wa host jaman
Nimweusi saana 😂😂
Dada ameponda sana wanaume wa kitanzania, mwanamke wa kitanzania tukiwalinganisha na wa kizungu tutegemee wakitanzania wakawazidi?
Tatizo la huyu dada ana over react Sana kwenye maongezi yakepaka haeleweki 😂😂😂😂
Kuusu chakula umekosea uku wanajua kupika lakini chakula yetu nimikate tu kitu kuna vyakula ala sisi atujue kupandisha jinsi ya kula apa wanalima viazi ulaya tu 😂
tunazaliana kama mbwa tutatiana mimba kama mbwa LUGHA JAMANI LUGHA TUSIJIDOGOSHE SANA JAMANI
Sasa unasema visa ni taabu kupata, lakini Uturuki na China ni rahisi, kwanini niende czech.
Kuhusu wizi, sorry dada huna unacho kijuwa, hao wa cezech, east European ni wizi wakutajika.
Ama kuhusu vyakula, nyamaza, njoo Zanzibar. Hapa UK hata hao watu weupe European wanapenda vyakula vya kiaafrika.
Kuhusu kazi, unadanganya watu. Mimi nafanya kazi na watu wa czech. Mume, Mke na watoto wawili wanafanya kazi na mimi. Wananieleza kwamba ajira hakuna. Hushangaa ninapowaambia kwamba nchi yetu imefaidika sana na serikali yao kwa kuwasomesha watu wetu na Afrika Kwa ujumla.
tatizo sio wanaume tu hata wanawake pia tabia zenu za ajabu sana kwa hiyo msijione nyie mko better ndio maana hata mwanaume pia akipata mzungu hato taka mwanamke mweusi saabu ya tabia zenu zilivyo kwa hiyo wacha kujiona nyie mkopoa kushinda wenzenu sswa
sema ana matusi matusi na ujinga mwingi
Nilichokiona dada yangu anaongea ukweli unaouma ila niukweli, jamani tujifunze kumeza dawa hata kama ni chungu. Dada i wish ungekuwa dada yangu, may be we share the same characteristics. Napenda ujasili wako.
I come ven asante umeongea vema naomba nijue nkupataje
Check ndo nchi gani😂
Czech Republic....iko Europe
Naenda uko na mimi pia
Ebm kama utaona comment yangu naomba msada wako nakuomba najua haunisaidii bure
Huyu dada mrembo sana, haja jichumbua
Umetambulishwa na kidole kipi hicho😂
Huyu si upinde
Hata mimo nimetapeliwa pia nklimtumia ebm meseji istaram ila sikjjibiwa pia nklijitahidi kutafuta namba yake ila sikufanikiwa mpaka ni😭😭😭mekata tamaa
Nenda vijijini huko wanakodisha Baiskeri na wanarudisha wewe hujatembea tuliza komwe
Naomba mchongo
Yeah Mwambapa aje apa tumwone
In any professional job, you are not supposed to give out your personal number.
Jike Dume hili, NOT marriage material
Na shauri nyie mliofika huko ibeni Ivo vitu ambavyo mtaona vitatusaidia then mlete huku kutengeza ajira nyingi kwa watanzania
Annamusa acha kumwonea wivu huyo dada, si uache kumsikiliza kuliko kumtukana matusi bila sababu.
Hiki kidada kijinga hiki,kwanza kifupi kama kinyeo chake sikipendi 😡kwanza unadharau sana ww na mabaya yakupate
Usimtukane mie nampenda cheusi dawa
Daaah kwanini unamtukana dada watu kiasi hicho? Mbona mimi sijaona kosa lake zaidi naona ni dada mwenye akili iliyofunguka, uwezo na ujasili, mimi nimempenda huyu dada, halafu hata kama humpendi kwanini umuombee mabaya, tena nakuambia kwa Jina la Yeau hayatampata hayo mabaya.
😂😂😂😂khaa njaa kali
Unakifua kipana kibaya,unanyonyesha vibabu mkorofi sura mbaya huna maisha ww Mshukuru Babu,kutwa Filter leo sura pana mfuuuu🌚
umejisikia tuu kumtukana mwenzako bila sababu aisee Mungu akusaidie na kukufundisha
@@esthersagara4117 Nina maisha na nusu
Akili hana chuki za bila sababu au wivu@@esthersagara4117
Stress
Una wivu na zaidi una stress. Pole sana
She talks too much.
Czechia is the name, only foreigners call it Czech Republic 😂
VISA SIKU HIZI WANATOA SCHENGEN VISA AMBAYO UTATEMBEA NCHI ZOTE ZA ULAYA.
Hiyo schengen huipati kirahisi.
Ebm kama utaona comment yangu naomba msada wako nakuomba najua haunisaidii bure