" CHADEMA MKOA WA SONGWE WAMKATAA RASMI MBOWE '' TUNAMTAKA LISSU''

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 4 янв 2025

Комментарии • 383

  • @RwechungulaBegumisa
    @RwechungulaBegumisa 2 дня назад +30

    Asante Mhe Kwa mazungumzo mazuri juu ya uchaguzi.

  • @TM-zs3rm
    @TM-zs3rm День назад +18

    Uko sahihi kabisa. Una busara na umefikiri sana kabla ya kusema. Hongera sana na hongereni watu wote mkoani.

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu 2 дня назад +48

    Songwe nitakuja kutembea huko ni watu wenye akili nyie sio mabumunda❤❤

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 дня назад +36

    Tunampenda na kumpa respect hon. E. Mbowe lkn Ombi la wa-tz wengi mh. Mbowe abaki mzee wa heshima wa CHADEMA.
    Imani yetu mh. Mbowe atapuuza wapambe na kumwachia kiongozi kijana ktk nafasi ya m/kiti mh. TUNDU A LISSU...
    Majira haya na wkt huu ni muda wa Mh. Tundu A Lissu kuongoza CHADEMA km Taasisi kubwa.
    People's POWER under Tundu A Lissu ❤❤🔥🔥🔥🔥🔥🔥💐💐💐💐💐🙏🙏🙏🙏👏👏👏👏👏

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 День назад +1

      Mboe Sasa inatosha 20 inatosha akae pembeni

    • @DavidCurtis-e4c
      @DavidCurtis-e4c День назад

      Unajua kiukweli mi mtu wa ushabiki wa vyama ila je ingekuwa raisi wa tanzania amekaa hivyo madarakani si angeitwa diktekta? Basi tufanye haiwezi ikawa je mbowe hajaona tu kama amechoka uwezo na ubunifu unahitaji kiongozi mpya? Miaka ishirini mtoto anazaliwa mpaka anaoa, me nadhani haikuwa na busara kugombea alipaswa kuachia kiti kuliko kwenda kwenye uchaguzi sio sawa ni fedheha kama atashindwa uchaguzi, angefanya tu kama alivyofanya baba wa taifa baada yaongoza nchi kwa miaka 25 na baada ya hapo aliachia mwenyewe bila kushurutishwa na alipoulizwa akasema uwezo wake wa kufikiri na maarifa inahitaji akili mpya ili andeleze alipoishia yeye, ni busara zaidi kuachia kuliko kuleta mkanganyiko maana baada ya hapo chadema itagawanyika vipande vipande mno, wana wa chadema mnalipinga hili ila tuone baada ya hapa nini kitafuata, wakina mdee wote watakuwa upande wa mbowe na wengineo wengi. Swala la kuchukua nchi mzee sahau CCM imejipamga mbo mno, chadema haina siri za ndani kila kitu wanakitoa nje je mkipewa nchi itakuwaje?

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 День назад

      @@DavidCurtis-e4c kweli kabisa mboe nimroho halafu watanzania tunapenda sana kusifiwa na machawa Sasa hi niaibu sana kwenye demokrasia ya chadema

  • @NgombaleNgombale
    @NgombaleNgombale День назад +18

    Hapo viongozi wangu mumeniwakilisha vizuri,niyeye tu ,tunduma tunamtaka tundu lisu

  • @FrankKwanama-lo6fj
    @FrankKwanama-lo6fj 2 дня назад +26

    Tunamtaka Lisu uenyekiti chadema aamshe popo chama kipate vibe mpya kuelekea uchaguzi 2025

  • @Carenhabibu
    @Carenhabibu 2 дня назад +16

    Daaaahi nimeipenda mpaka machozi yananitoka

  • @mathewilomo8345
    @mathewilomo8345 2 дня назад +20

    Mwenyekiti wa mkoa wa Songwe unaweza wewe. Mungu akubariki sana

  • @faizaannassir2568
    @faizaannassir2568 2 дня назад +103

    Sijawahi kuchangia pesa chadema kakin lisu akishinda natoa mchango wapesa tena sio kidogo. Kama ww m tz unmtaka lisu na ukotayari kukichangia chama cha chadema pesa gonga like

    • @giztony2009
      @giztony2009 День назад +1

      Kuma la mama lakoo

    • @givembwilo141
      @givembwilo141 День назад +1

      huna kwa kupeleka hizo pesa,peleka kwa yatima tu

    • @Ramadhanilawoga
      @Ramadhanilawoga День назад

      Poleni

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai День назад

      Acha kura iamue.

    • @ChalesLukumai
      @ChalesLukumai День назад +1

      ​@@giztony2009siyo afya. Hata huyo unaemshabikia keshakwambia hataki matusi.

  • @josephmalumemalume8749
    @josephmalumemalume8749 День назад +11

    Mkoa wa songwe big up kwenu kanda ya serengeti tupo nanyi

  • @MariamDilla
    @MariamDilla 2 дня назад +28

    Wajumbe mkiwaàngusha watanzania wanaowaunga mkono CHADEMA inawafia mikononi mwenu na dhambi iyo itawatafuna.... Watu ndio msingi wa chama... Tundu A Lissu afaa kwa ss kuwa M/kiti wa CHADEMA

  • @MwakaHappy
    @MwakaHappy День назад +6

    Asante shikaamo kaka asante tunamtaka lisu sisi niwanachama

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 2 дня назад +24

    Lissuuuuuuuu Daima

  • @IsraelErnest
    @IsraelErnest 2 дня назад +32

    Mwenyekiti wa songwe kunywa soda kwa bili yangu

  • @mathiaszakaria7052
    @mathiaszakaria7052 2 дня назад +28

    Niko na Lissu mwanzo mwisho

  • @FrediMtaze
    @FrediMtaze День назад +5

    🇹🇿🇹🇿hongereni sòngwè mungu awa bariki lissu ni mtu sa hihi🙏🙏

  • @ValeriJummane
    @ValeriJummane 2 дня назад +22

    LISU Daima nyuma mwiko

  • @petercley6230
    @petercley6230 2 дня назад +31

    Tunaenda na Lissu

  • @LinusMbwiga
    @LinusMbwiga 2 дня назад +10

    mwenyekiti nakupongeza sana kweli chama chetu kimekuwa na tunajitambua

  • @StivinPasco
    @StivinPasco День назад +6

    Lisu mbelee songwe kula maua yenu🎉🎉🎉🎉

  • @simbarajabu4157
    @simbarajabu4157 2 дня назад +11

    Asanteni sana,mbowe akitoa pesa kuleni lakini kula mpeni lisu, lisu tumpe uwenyekiti

  • @kayombogregory8241
    @kayombogregory8241 День назад +9

    Ni vizuri jambo TV mkitembelea majimbo yote kupata maoni ya wapiga kura tena wafike hadi majimbo ya kanda ya kaskazini hususan jimbo la Arusha. Mie nakubali mabadiliko, wewe jee??

  • @SemeKenani
    @SemeKenani День назад +7

    Lisu anafaa sana

  • @MUSAMWAMBENE
    @MUSAMWAMBENE День назад +5

    Sana sana nikiwa mkowa wa songwe tundu lisu tumaini letu

  • @mwili_wa_ndoto_yangu
    @mwili_wa_ndoto_yangu 2 дня назад +10

    Hongeren Songwe tuko pamoja makamanda

  • @admaumsengi4230
    @admaumsengi4230 День назад +5

    Lisu oyeeeee wewe ndiyo Imani yetu

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni День назад +8

    Safi mwenyekiti lisu juu

  • @hppelias
    @hppelias 2 дня назад +12

    Lissu ni sahihi sana;Mbowe akubali tu!

  • @charlesmtangi9046
    @charlesmtangi9046 День назад +6

    Makamanda people's mwenyez mungu atatusimamia lisu ndio chaguo letu Kwa Sasa

  • @YohanaPetro-xv9tp
    @YohanaPetro-xv9tp День назад +5

    Wale Walisu Tujuane

  • @hectorgold147
    @hectorgold147 2 дня назад +6

    asante musemakweli

  • @hellenngwilla550
    @hellenngwilla550 2 дня назад +12

    Lissu oyeeeeeee

  • @EdwardMasalu-fk5se
    @EdwardMasalu-fk5se 2 дня назад +19

    Mbowe apumzike,asome nyakati,muda huu,ni lisu

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg День назад +4

    Umejipambanua vizuri sana mheshimiwa Mwenyekiti

  • @malackedson7706
    @malackedson7706 2 дня назад +13

    Tuletee lisu

  • @benardbwakitare5237
    @benardbwakitare5237 2 дня назад +17

    Niko mara tuko pamoja mwenyekiti mbowe anatakiwa abaki na heshima yake ila lizu asonge mbele kabisa tunamuombea Mungu amtetee

  • @uredmwasembo8579
    @uredmwasembo8579 2 дня назад +15

    Yani ameongoza miaka 20 lakini bado anataka tena s uloho wa madalaka kwa Sasa tunamwitaji lisu pekee uyo mwengine mlamba asali apumzike aendelee kueshimika

    • @givembwilo141
      @givembwilo141 День назад

      hamna pigeni kura,mnapenda mteremko ila chadema

    • @bonnymakuke3153
      @bonnymakuke3153 День назад

      Yeye alipigiwa kura na nani!! ​@@givembwilo141

  • @YohanaSanga-t8d
    @YohanaSanga-t8d 2 дня назад +5

    Hongera sogwea asateni nirisu

  • @NDEWARA
    @NDEWARA 2 дня назад +7

    Jambo TV na Lissu😂😂

  • @edsonkilatu5211
    @edsonkilatu5211 2 дня назад +13

    Songwe mpoooo

  • @Nanga-t6y
    @Nanga-t6y День назад +7

    Huu ndo mwanaume bana

  • @KamwandaNzowa-eo4ur
    @KamwandaNzowa-eo4ur День назад +1

    Uko vizuri sana Mwenyekiti unaona mbali sana

  • @Zanijasy-hy7vm
    @Zanijasy-hy7vm День назад +1

    Mwenyekiti mkoa wa Momba bwana Ayubu Akilikubwa bonge la kiongozi 👊🏾👊🏾❤❤

  • @elishuaisaya4176
    @elishuaisaya4176 2 дня назад +12

    Aachie ngazi anaenda kuiba kura na uchaguzi huru na WA haki hautokuwepo kiufupi mzee anaenda kuaibika vibaya mno

  • @JuliusTluway
    @JuliusTluway День назад +3

    Mungu akutie nguvu na afya m/kiti

  • @mfwimiekayuki8692
    @mfwimiekayuki8692 День назад +3

    Wajumbe wawe waangalifu sana waelewe wanachama wanamtaka nani kwa uhai wa CHADEMA.

  • @HaruniMrema
    @HaruniMrema День назад +8

    Tunaomba watu wamshawishi ndg John heche au Lema akachukue form Ya umakam wa Mwenyekiti bara. Lissu + Heche,Lema Itakuwa cdm Ya moto sana .

    • @samsonsamwel8782
      @samsonsamwel8782 День назад

      Heche noma Zaid y lema,cpend Yule daral ashnde ❤

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 2 дня назад +8

    Mwendo na lisu

  • @ALLYCHISUNGA
    @ALLYCHISUNGA День назад +1

    Nimekuelewa isa mwenyekiti wa mukowa sogwe✌️✌️✌️✌️

  • @mamudusaid-qk1bu
    @mamudusaid-qk1bu День назад +3

    Tunaenda na lisu mbowe tunakupenda na tutakuheshimu sana muachie lisu mzee wangu

  • @joshuamtinangi6958
    @joshuamtinangi6958 День назад +9

    Mwalimu Nyerere alitaka kutokuendelea kugombea Urais mwaka 1985.
    Yeye ametangulia kwenye Haki lakini Jina laki bado linaishi.
    Ili Jina la Mbowe liendelee kuishi aache kugombea Kwa sababu hata akishinda atakiua Chama.

    • @shadyrich2143
      @shadyrich2143 День назад

      Tena akawastua rafiki zake Mugabe na Kaunda wakamjibu hatuwez kuwaachia,madogo, nchi kizembe, Nyerere akasema sawa, baada ya miaka kupita walipata fedhea tu kaunda alikiba hadi kamasi (Mbowe)

  • @elishajohn9660
    @elishajohn9660 2 дня назад +6

    Tuleteeni lisu hapo mtaponya majeraha yetu

  • @SulePonda
    @SulePonda 2 дня назад +4

    Well said

  • @StephanoGwelino
    @StephanoGwelino 2 дня назад +11

    Lissu anatufaa wakina wenje wanamdanganya mbowe wenze saizi ni rafiki wa karibu na abdul

  • @jumamagoma1743
    @jumamagoma1743 2 дня назад +5

    Mpo.sawa.makamanda.

  • @mangukasasali7614
    @mangukasasali7614 2 дня назад +16

    Niko Tabora mbowe akijitahidi sana huku ana asilimia 10 tu

    • @dennisungonella205
      @dennisungonella205 2 дня назад +4

      Kiukweli mabadiliko ni muhimu sana

    • @kaguripenina63
      @kaguripenina63 День назад

      Umempa nyingi na msipo jitambua sisi wananchi tunataka nn mmeisha tabora

  • @dennisungonella205
    @dennisungonella205 2 дня назад +7

    Kiukweli mbowe analazimisha kwa sasa, lissu ndo kipenzi Cha watu kwa sasa.

  • @NyikaKayun
    @NyikaKayun День назад +1

    Hongera kwa hotuba nzuri mwenyekit wa mkoa lakini tar 20 January atafanya busara ya kujitoa kwny kugombea

  • @charlesmurimi765
    @charlesmurimi765 2 дня назад +7

    Hawa ndio wanaume na wanawake wa nguvu

  • @KidomaRamadhani-q2e
    @KidomaRamadhani-q2e День назад +2

    Kwa wapendwa chama hayo Mawazo mubashara asante mkuu

  • @DavidKagulu
    @DavidKagulu День назад +1

    Lissuu the great

  • @RastaMany-p8x
    @RastaMany-p8x 2 дня назад +9

    Mbowe hana chama muda utazema apa mzarendo2 lisu🇹🇿✌️❤️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️🚣‍♀️

    • @laninjeje8290
      @laninjeje8290 2 дня назад

      CHADEMA ni ya Mbowe na marehemu Edwin mtei, anzisheni chama chenu ili tundu Lisu awe mwenyekiti 😂😂

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 2 дня назад +5

    Songwe hoyeeeee njoo uchukue jero baba

  • @GodfreyMwamaso
    @GodfreyMwamaso 2 дня назад +18

    CCM hawataki kumsikia Tundu Lisu wanamuogopa sana wanaujua moto wake wanamtaka Mbowe kwasababu anahongeka akiona pesa

    • @melch3097
      @melch3097 2 дня назад

      Watanzania ni wajinga siwahi kuona, mnaamini sana kinachotoka mdomoni eti kwasababu anajulikana, lisu amehongwa sana mara ya mwisho alikua anambembeleza mtoto wa rais amsaidie kupata hela yake, na wengine wa ccm

    • @JumanneKigori-fm1nn
      @JumanneKigori-fm1nn 2 дня назад

      Mtoto wa Raisi unamfahamu ​@@melch3097

    • @sanoureyaliwadoakaroyo1696
      @sanoureyaliwadoakaroyo1696 День назад

      ​Ngoja Nicheke Kwanz Kumbe Ww Ndio Mpumbavu wa Mwisho Tena Taira kabisa 😅😅😅 Zile Anazo Zidai Lisu Kumwambia Abduli Kuwa Nenda Kwa Mama Ako Mwambie Anipe pesa zangu Ni Pesa Zake Kisheria Kabisa Ndani Ya Katiba Ya Nchii Hii Ya Tanzanian 😂😂😂 Kma Ujui Sema Ufahamisgweee Mbuzi Wwe 😂😂😂 pesa Zile ni Haki Yake kabisa na sio Rushwa Wala kuomba Ni Wajibu wake lisu kupewa 😂😂😂😂​@@melch3097

    • @gidongailo7174
      @gidongailo7174 День назад

      Acha uwongo bhana, Wachagga hawapendi pesa kiasi cha kuhongeka😂😂

  • @ndimuelias6183
    @ndimuelias6183 2 дня назад +8

    Heche ingia ulingoni kaka tunakuhitaji

  • @JosephSaidJikolo
    @JosephSaidJikolo День назад +3

    Mko vizuri

  • @khalidikaghembe1775
    @khalidikaghembe1775 День назад +4

    Tunamtaka lisu kwishaaa

  • @InnocentJohn-l5y
    @InnocentJohn-l5y 2 дня назад +10

    Mbowe atumie busala zake tu chama sio mali yake amekitumikia chama kwa weledi mkubwa sana lakini atakishusha sana chama hiki akiwa kama kupe

  • @goodluckkamaghe3871
    @goodluckkamaghe3871 День назад

    Hongera sana mwenyekiti kwa hotuba nzuri na kumuunga mkono Lisu.

  • @teresiagama3578
    @teresiagama3578 День назад +2

    Kuleni rushwa yao lakini kura kwa lisu pls!!!!!!!!!!

  • @MsabahAli-d6u
    @MsabahAli-d6u День назад +5

    Kiukwel Umma unamtaka Lissu ningekua Mboe ningempa nafasi maana umma ndio chama sio wajumbe wa kamati kuu

  • @chezariboy
    @chezariboy День назад +4

    Wanaomshabikia mbowe hawamtakii heshima nzuri bali wanataka aje kudhalilika vibaya sana wakati heshima yake kwasasa bado ipo kuubwa sana.

  • @Fhfhfhfhf78
    @Fhfhfhfhf78 2 дня назад +3

    Songwe Oyeeee 🙏🤙

  • @Valerianshad
    @Valerianshad День назад +1

    Tundu lissu juu🎉🎉🎉🎉🎉

  • @amonindelwa4
    @amonindelwa4 День назад +1

    Hongera sana kaka upo

  • @philipongenzatv
    @philipongenzatv 2 дня назад +4

    Asante mwenyekiti

  • @alexmwamtobe3850
    @alexmwamtobe3850 День назад +2

    Ushauri wangu kwenu viongozi wangi ninaowaheshimu sana, kama lengo ni kupata maoni ya wanachama basi itisheni mikutano kwenye maeneo yenu huko ndiko mtapata maoni yaliyosahihi

  • @JosephMasima-u1z
    @JosephMasima-u1z День назад +2

    Hongela kwamengi uliyofanya Ndani yachama pumzika kwaupendo mwema tunakupenda Sana kwasa lisu

  • @FimbombayaKimbwi
    @FimbombayaKimbwi День назад

    Hongereni Sana tupo pamoja,ingependeza Sana na mikoa mingine ambayo haijatoa kauli ifanye hivyo.

  • @davidkawesa3594
    @davidkawesa3594 День назад +1

    Upepo kwa Mzee ushagoma Busara Mbowe

  • @josephmagige874
    @josephmagige874 День назад

    Uko vizuri mwenyekiti

  • @thomaskiponda6079
    @thomaskiponda6079 День назад +2

    ❤❤MIMI nilishampa KURA YA URAIS TUNDU LISSU MTANIAMBIA NINI? I LOVE TUNDU ANTIPAS lissu❤❤

  • @HaruniMrema
    @HaruniMrema День назад +3

    Mh. Tundu lissu Ndie Mgombea wa Mioyo Ya Watanzania wanamageuzi.ANATOSHA.

  • @annakapolondo7771
    @annakapolondo7771 День назад +1

    Ni raha sana kusmamia msimamo
    Wako bila kuogopa wala kuficha jambo! Nimependa sana wana chadema wa songwe! Mm ni ccm lakin ni mtanzania kama walivo wana chadema! Democracy is the catalyst for development

  • @samsonwilson3762
    @samsonwilson3762 День назад +3

    Nyumbani tuna akili kunywa peps nalipa tundu ameweka wazi madalraka yarudi kwa wananchi na pesa zao waamue wao kuzifanyia kazi za chama tundu lissu ni yeyeeeeeeee tu 2025

  • @WatsonMwaigaga-uy5jk
    @WatsonMwaigaga-uy5jk 20 часов назад

    Hongereni na ndivyo ilivyo watu wengii wanamtaka LISU huo ndo ukwelii.

  • @PeterJonathan-c8k
    @PeterJonathan-c8k День назад

    asante MUNGU wa mbinguni kwa kumwangusha nkurunziza mbowe, songwe mnatushawish tuhamie huko

  • @Bboy-ek8vn
    @Bboy-ek8vn День назад +2

    Mbowe analeta mazoea

  • @stevensenghana1593
    @stevensenghana1593 День назад +1

    😂😂😂😂ila haya maosha bora mimi nimeacha siasa asante sana Magufuri baba alinifanya niache kuwa chawa wa mtu

  • @JuliethNyoni
    @JuliethNyoni День назад +2

    Lisu anashinda

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 День назад +1

    songwe tumejipambanua safi sana

  • @saimonisichimata8559
    @saimonisichimata8559 День назад +1

    safi🎉

  • @deusdeditishengoma4335
    @deusdeditishengoma4335 День назад +1

    Safi Sana Songwe,Lissu kwa Sasa hivi ni wa muhimu kama Moyo kwenye mwili wa binadamu.Lissu oyeeeee

  • @maikojohn-xr5cg
    @maikojohn-xr5cg День назад +1

    Mwenyekiti wangu wa Mkoa nilikuwa sikuamini Kwa hili ninakukubali asilimia 1000

  • @elishamsoviet7159
    @elishamsoviet7159 День назад

    WATU WA SONGWE MNA VIONGOZIII MAKINI MNO MWENYE KITI WETU ANATAKA MABADILIKO UYU MWENYE KITI WA SONGWE BIG UP SANAAA NIKIJA SONGWE NITAKUJA KUMSALIMU

  • @abdullahmuhammadKambona
    @abdullahmuhammadKambona День назад

    TUNAMWITAJI LISSU COME RAIN COME SHINE ✋✋

  • @RobinsonKadogo
    @RobinsonKadogo День назад

    Safi sana tuko pamoja na tutashinda mungu yupo nasi

  • @NasaelManya
    @NasaelManya День назад

    Hongera sana Wana Songwr

  • @roypeters9829
    @roypeters9829 2 дня назад +7

    Sawa...tumekuelewa mkuu....heko kwa lisuuu

  • @JailosJoseph-c4v
    @JailosJoseph-c4v 7 часов назад

    Lissu anafaa uenyekiti wa chadema taifa pia mh Heche angefaa Zaid na zaid kugombea makamu mwenyekiti. Heche ni mtu mwenye uchungu na mabadiliko ya nchi💪💪