Kapo ni kweli tunajua Makamba na Umy walitumbuliliwa sio kwa makosa makubwa pengine na tuliyoyajua wananchi tofauti hata na kina Nape na wengine kama kina Masauni wakibadilishiwa wizara tu licha ya kuboronha mambo mengi
Umetumwa Uchawa wako umene ulikuwa unakstika mara kwa mara nenda zako hamna kitu huyo vaba yake aliyesena wazuri hawafi kwani bila yeye Vijana wengine hawapo wa kumuandikia risala Rais mbona Magufuli kafa nchi haiendi
Tena acha usiwachafue wananchi gawantaki hata nusu nchi ilikuwa imejaa ufisadi kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere sasa hivi SGR TRENU kurwavkukukatika umeme watu wanakwama njiani kwa ajili ya ufisadi
Huyu makamba ni mwizi. Aliacha bei ya Mafuta yakiwa sh 3500 kwa Lita. Biteko kayashusha mpaka Sasa hiv yanauzwa sh 2644. Unamkumbuka kwa lipi wewe?? Au mlikuwa mnashirikiana kutuibia??
Ana maarifa gani huyu kubebwa bebwa tu usultani mwingi nchi hii,uadilifu zero mbona watanzania wengi tupo tena na cv tele,sasa eti wanasafishana ili warudi madarakani, uongooooooooo,kashfa kibaooo
Maarifa ya uzoefu wa wizi na mikataba hewa. Hebu tuambie wewe mwenye hii RUclips channel umehongwa kiasi gani na wazee wa madili kutangaza huu ujinga? Yeye makamba akiachana na siasa ni salama sana kwa tanzania 🇹🇿
@goodlucktarimo2716 jizi lile nashangaa kuna watanzania mizezeta inamfurahia . Iba ila timiza majukumu lakini mshenzi huyu kaiba na kuua mradi wa bwawa la umeme la mwalimu nyerere ambao ni mkombozi wa maisha ya mtanzania katika maendeleo. Makamba kama angekuwa yupo kwenye serikali za wenzetu hasa China keshakatwa kichwa zamani tu.😩
RUclips yako imepewa nini mpaka unamfagilia wako Vuhana wengi wasomi kwani hawataki Urais aliokuwa anautaka yeye Mama kamshtukia na mwenzie kila jambo linapangwa na Mungu
Wewe ni mpuuzi na aliyekutuma kujakusifia tapeli,asiyekuwa na sifa hata yakuwa balozi wa nyumba kumi, kwakifupi Wewe ni mpuuzi kama wa puuzi wengine kenge wewe
Baba ake aliua waislam magomeni mwembe chai familia ya kishenzi hii imemtia ulemavu ndg yangu mungu aendele kumpa adhabu baba ake asimchukue mpm ampe adhabu kali
Usimpe sifa ambazo hana huyu ni mnafiki huyu alipiga vita maendeleo ya nchi usiache tukayasema kwa uchungu huyu hatufai hata kwa bure laana na bado itampatia sana acha niishie hapo ni zaidi ya black mamba
Acheni uhasidi eti January makamba fisadi!!huyu kijana January makamba ni mchapa kazi,mtiifu na menye upeo wa juu ktk ufahamu!! makamba ni hazina kwa taifa letu la tanzania! Tunakutakia afya njema January makamba!!usikate tamaa,penye nia pana njia!!
Kapo ni kweli tunajua Makamba na Umy walitumbuliliwa sio kwa makosa makubwa pengine na tuliyoyajua wananchi tofauti hata na kina Nape na wengine kama kina Masauni wakibadilishiwa wizara tu licha ya kuboronha mambo mengi
WEZI MAJAMBAZI MAKAMBA NA BABA YAKE WEZI
Dalili mbaya kwamakamba apendwa hakuna comment amesifiwa pole mtangazaji umetukanywa mpaka kuku zenuu shamba
Hatukutaki
Kiongoz ni magufuli tu wengine ni mizigo tu
Sasa km magufuli huyu mtoto alifukuza analolote wezi wakubwa wanchi
Umetumwa Uchawa wako umene ulikuwa unakstika mara kwa mara nenda zako hamna kitu huyo vaba yake aliyesena wazuri hawafi kwani bila yeye Vijana wengine hawapo wa kumuandikia risala Rais mbona Magufuli kafa nchi haiendi
NDIO HAYO TUMEYAONA KULE KWENYE BWAWA LA MWALIMU NYERERE NA KWA WALE WACHINA
Matako yake
Huyo ni chawa tu katumwa amwandile ili mhusika walau akumbukwe tena kwenye uteuzi
Nchi ya machawa hii
Majizi na mafisadi watupu.!!!
HUYU JAMAA KALISHWA MAYAI YA MDUDU CHUNGU UNAMPAMBA MAKAMBA KWA JEMA LIPI ZAIDI YA UFISADI?
Huyu aliyeandika na anayesoma ni wapumbavu kama wapumbavu wa kawaida tu.
Tanzania wapo wasomi wengi wabaishaji tu lakini walioelimika kiadilifu hawaonekani wengi.
Kibaka huyo hasafishiki😅
Ila uchawa ni ugonjwa mbaya sana ukikupata unakuwa kama chizi vile 😅😅😅😅
Kabisaaaa
Tena acha usiwachafue wananchi gawantaki hata nusu nchi ilikuwa imejaa ufisadi kwenye bwawa la Mwalimu Nyerere sasa hivi SGR TRENU kurwavkukukatika umeme watu wanakwama njiani kwa ajili ya ufisadi
WEWE ATAUONGEE NINI HUYU ATUFAI KWAZA AIWEZEKANI UTUMBULIWE MALA TATU MWIZI YEYE NA BABA YAKE
Kujua kuandika sio kujua kuongoza aende akawe mwalimu hiyo itamfaa zaidi
Alitupandishia umeme kutoka elf 27000
Mpaka sasa laki mbili mjinga kweli huyu na kumdanganya mama kwamba haiwezekani umeme kusambzwa Kwa elf 27000
Mmmmh hakuna bhana
Wenye uzoefu ni wengi, mbona usiwaandikie prof, Dr wa vyuo or wataalam wengi waliosoma Nchi za nje warudi chini kwao ! Upuuzi mtupu
Unamkumbuka mwizi huyo wa nini sasahv mafuta yanashuka tu umeme safi ila huyu akafie mbele huko
Hatuwataki yy na nape nyie munaowapamba hao matapeli
Kwanza atuondokee jimboni kwetu bumbuli hatutaki chotara akagombee huko kwa mama yake
Unataka ahurumiwe au.Kwendaaaaaaaaaaaaaaaa
Jua likishazama kivuli hupotea.
Kaandikiwa au kajiandikia mwenyewe? mtoto wa mama Huyo
Uchawa tu kuoga aaah
Kazi wewe msenge maarifa ya nyoko
achane upuuzi we mtangazaji usikiagi maumivu?
PUMBAVU ZAKO, AMEKULIOA SH? ILI UMAIFIE JUZI KUBWA
Bwege weye unasifia mafisadi wenye roho mbaya future clip hii mpuuzi
Anzisha chama chako wewe na yeye 'kama umempenda utanashati serikali inahitaji uadilifu
. .acha uchawa.
Kampe mgongo akukimbize bwege mkubwa
Hii barua mpelekee mwenyewe. Sisi hatutaki kusikia. Msituletee story zenu.
Amebadilisha nn amewatoa wangap kwenye umasikini et
Unatia huruma kwa ujinga huu ulio onyesha. Akili matope
Chawa pro max
Kijana achauchawa😂😂😂😂
Ametusababishia hasara bwawa la Julius Nyerere, ametia maumivu kwenye uchumi wetu
Huyu makamba ni mwizi. Aliacha bei ya Mafuta yakiwa sh 3500 kwa Lita.
Biteko kayashusha mpaka Sasa hiv yanauzwa sh 2644.
Unamkumbuka kwa lipi wewe?? Au mlikuwa mnashirikiana kutuibia??
Mafuta yazalishwi karikoo.
Wakati wake wa medani umeshapita. Nini sasa ! eee
Ana maarifa gani huyu kubebwa bebwa tu usultani mwingi nchi hii,uadilifu zero mbona watanzania wengi tupo tena na cv tele,sasa eti wanasafishana ili warudi madarakani, uongooooooooo,kashfa kibaooo
Maarifa ya uzoefu wa wizi na mikataba hewa. Hebu tuambie wewe mwenye hii RUclips channel umehongwa kiasi gani na wazee wa madili kutangaza huu ujinga? Yeye makamba akiachana na siasa ni salama sana kwa tanzania 🇹🇿
Wewe mwenyewe mwizi niambie kiongozi gani wa serikali asiye mwizi
@goodlucktarimo2716 jizi lile nashangaa kuna watanzania mizezeta inamfurahia . Iba ila timiza majukumu lakini mshenzi huyu kaiba na kuua mradi wa bwawa la umeme la mwalimu nyerere ambao ni mkombozi wa maisha ya mtanzania katika maendeleo. Makamba kama angekuwa yupo kwenye serikali za wenzetu hasa China keshakatwa kichwa zamani tu.😩
January Yusuph RASHID Makamba au RAJABU?
Kutega , alitega njia
Mwandishi umehongwa,au huyo ni mpwao!?
Labda Wana undugu lol
Wewe ni hovyo nayote anayoyasema ni hovyo kabisa nenda ukamuoshee vyombo jikoni acha upuuzi
kumanyoko
😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂
Sawa tu maana watu wana madini mengi sana
Nafikiri mtoa post umepata majibu
Anatamaa na dharau! Abaki handeni
Kabisa
Huyu sio mtoto aliyezaliwa na Makamba mueleze ukweli
Upuuzi
Ovyoooooooooo
Nonsense
Nonsense jambazi la taifa😮
MUNGU atawaanika tu maana ukweli anaujua MUNGU
Erimu
Yadarasani
Nauongozi
Nituvirittotofauti..anayo.erimu.ira.hana
Uwezo.wauonngi..
Kumbe Uhindo tv ni wa hovyo sana sitapoteza muda kufungua video zenu tena, si kwa upuuzi huu
Fala.hawa wezi wezio waomba arudi kwenye chaneli.makufuli alimkataaa....mwiziiiii!!!!!!!!
Ilooooo
Heliya hayupo kwenye wivi
chawa vp tena mbona unauwa band 😂😂😂😂😂😂😂
Unaongea kama shoga
Propaganda Mungu anakusikiliza na barua yako isiyo na maana
Sisi watanzania siyo wajinga kiasi hicho tunajua kuwa umetumwa acha uchawa
Kumbe hii RUclips yako yakijinga
Wezi wakubwa mshaiba sana wewe na baba yako inatosha sasa
RUclips yako imepewa nini mpaka unamfagilia wako Vuhana wengi wasomi kwani hawataki Urais aliokuwa anautaka yeye Mama kamshtukia na mwenzie kila jambo linapangwa na Mungu
2025 mwaka wa uchaguzi,
Naona mmeanza
Kama baba yake ni yule KADA, kwa nini hakumlipia gharama hizo?? NAONA MALUWE LUWE NA MAZINGAOMBWE KWA SIMULIZI YAKO HII....
Umeshapewa pesa handed kumsifika huyu fisadi
Toka zako ww unatumika eti tumewagundua sana watanzania mwacheni mama bwana
Mmmmmh
Umetumwa wewe, hata ZUZU kiasi gani humdanganyi, kila mtu Ana past zake nikikueleza ya kwangu wewe huingii, kabisa, tugeie na sisi hayo maokoto
Hadi yotube channel nazo ni chawa
Atukusikilizi na na unscribe
Wewe ni mpuuzi na aliyekutuma kujakusifia tapeli,asiyekuwa na sifa hata yakuwa balozi wa nyumba kumi, kwakifupi Wewe ni mpuuzi kama wa puuzi wengine kenge wewe
Kumbe
Nakukubali makamba
Mwenyezi Mungu ampe umri mlefu ipo sku
😂😂😂
Aaaaaaaaaammmm???
Nyota Imerudi kwa mwenye nayo😎
Umeanza kumuandaa 2030
Apewè na nani
Hongera kwa barua ùlivyosòma inafaa mara kuwakumbusha mara nyingi hao wakuu maambo waliyopitia ili waweze kuwasaidia wan wanañanchi
Baba ake aliua waislam magomeni mwembe chai familia ya kishenzi hii imemtia ulemavu ndg yangu mungu aendele kumpa adhabu baba ake asimchukue mpm ampe adhabu kali
Acha udini
@augustinemzeentinginya3057 Sikia kauli hizo sikuhizi tunazijua mmetengenezwa na nyerere baba ako mimi muislam then natoka zanzibar hanisi
Januari usikate tamaa wapo tunaokuunga mkono hakuna asiye fisadi kwenye serikali ss tunajua wanaokupinga wanakuogopa tunajua
Usimpe sifa ambazo hana huyu ni mnafiki huyu alipiga vita maendeleo ya nchi usiache tukayasema kwa uchungu huyu hatufai hata kwa bure laana na bado itampatia sana acha niishie hapo ni zaidi ya black mamba
Makamba ni kiongozi anaechafuliwa na viongozi wapuuzi kwa chuki na ubinafsi tu...
Mwacheni apumnzike asubiri wakati na majira ataamka tu !!
Hakika January una busara
Busara kama ipi
Acheni uhasidi eti January makamba fisadi!!huyu kijana January makamba ni mchapa kazi,mtiifu na menye upeo wa juu ktk ufahamu!!
makamba ni hazina kwa taifa letu la tanzania!
Tunakutakia afya njema January makamba!!usikate tamaa,penye nia pana njia!!
Mtiifu ndio anamteta Rais Maggu?Au?
Nonsense
Bonge la nonsense
Nonsense
Bonge la nonsense