NYUMBA YA MIL. 100 YAUZWA KWA KILO 38 ZA NYAMA DAR, GWAJIMA AINGILIA KATI, AGOMEWA KU..

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 28 дек 2024

Комментарии • 260

  • @sianagodson3690
    @sianagodson3690 4 часа назад +3

    Tunakupenda sn mheshimiwa Gwajima,Mungu amekuweka katika nafasi hiyo kwa kusudi...natamani uje kuwa wazir mkuuu wa Tanzania.Mungu akutunze daima

  • @jumapiliissa4835
    @jumapiliissa4835 Час назад +1

    Hongera sana muheshmiwa ngwajima fatilia mzee aludishiwe nyumba yake ao matapeli nahakimu angefukuzwa kazi washenzi sana

  • @MohamediSleyum
    @MohamediSleyum 15 часов назад +18

    Iyo ni dhulma na mungu atawaadhibu walomdhulum huyu Mzee malipo yanaanzia hapa2 dunian kabla ya akhera

  • @Nurdinimwakisale
    @Nurdinimwakisale 13 часов назад +9

    Rushwaaa hiyo 😂😂😂

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 6 часов назад +3

    nimeumia sana nenda kwa masheh mshitakie mungu nyororo lote litanyooswa

  • @DianaRichard-bu9tz
    @DianaRichard-bu9tz 10 часов назад +6

    Mi nilijua nyama alikula😢😢looh huu ni udhurumaji wa hali ya juu 😅😅

  • @paulkennedy5728
    @paulkennedy5728 6 часов назад +6

    Huyo jamaa muuza bucha amuogope Mungu, vinginevyo Mungu amemghadhabikia, atamkata kama tawi na kumtuoa sio mda, atubu

  • @Nyanda506
    @Nyanda506 17 часов назад +10

    Uonevu kabisa ..Kwani mwenye nyumba makubariano pamoja na generator la umeme? Anauza nyama angelikuja na generator lake. kwani Mzee ni Tanesco?

  • @noelayoub1352
    @noelayoub1352 6 часов назад +5

    Kuna watu wengine wanakujaga kweny maisha yetu kumbe nibalaa tupu

  • @songombingo108
    @songombingo108 7 часов назад +3

    😂😂😂Jamaa anaonekana Tapeli huyo😂😂

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 14 часов назад +6

    Mchungaji ngwajima hatutaki maneno mengi kma unamsaidia msaidie tunaomba

  • @berthamakortha8387
    @berthamakortha8387 16 минут назад

    Pole sana. Tumefuwa WANYAMA KSA PESA NI ZAMBIIII KUBWA SANA. MUNGU YUPO. ATASAIDIA. MBUNGE WETU. MUNGU U MWEMA😭😰

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 15 часов назад +12

    ilo likijana linakaa nilijizi haswaaa tapeli

  • @IssaSalim-kv4gr
    @IssaSalim-kv4gr 41 минуту назад +1

    Aki kajamaa kanaonekana kanategemea ndumba na rushwa 😂😂😂 katakufa vibaya hakoo😅

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Час назад +2

    Walimwengu jamani😭😭😭😭

  • @omarnsekela7153
    @omarnsekela7153 8 часов назад +3

    Hongera sana Gwajima kwa huruma uliyonayo

  • @khadijathani9064
    @khadijathani9064 4 часа назад +1

    Hao askar allaah hakimu wa wote huu mwaka usiishe wafukuzwe kazi na wapate maradh makubwa mpaka wafe na walodhurumu wote na waloshiriki alllaah tenda miujiza wakose kazi na maisha yao yawe na changamoto

  • @nickylwanji8985
    @nickylwanji8985 8 часов назад +5

    Rushwa mbaya sana

  • @ibrahmenard
    @ibrahmenard 7 часов назад +6

    kanuni gani ya kumfunga mtu anayedaiwa huku mnauza nyumbaa daaaa 😢inaumiza sanaa

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 6 часов назад +1

      I nizuruma kwnza alimfunva kwa kosa gn km umeme wnao kt ni tabesco so mwenye nyumba bc wenye nyumba tutalipa vitu vya wpangajo ka ck mana tanesco wnakga umeme vitu vinaunguwa vinaharibika

  • @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt
    @SwaleheAthumaniManyehe-fv5wt 16 часов назад +12

    Jamani umemeukikata mwenyenyumba anahusishwaje,na hiyo mahama immfunga jela nakuuza nyumba kwa vigezo gani?

    • @JamesNgala-g3c
      @JamesNgala-g3c 5 часов назад +2

      Hawa walimtapeli, mahakama pia haikutenda sawa, Ina maana hakimu alie simamia kesi ni tapeli pia. Hakimu anashirikiana na matapeli, hafai kabisa.

    • @NyirantokiZahara
      @NyirantokiZahara 32 минуты назад

      Sheria za Tanzania hizo

  • @nickylwanji8985
    @nickylwanji8985 8 часов назад +3

    Hiliswala sijalipenda tunataka huyo aliye iyuza na aliye inunua wakamatwe hi ni rushwa inatembea ANGEKUWEPO MAGUFULI wangefungwa huu ni uwonevu mbaya sana RAISI
    AMURU WAKAMATWE HAWA WATU

  • @ShindaMalaria
    @ShindaMalaria 13 часов назад +7

    Ni dhuluma tu hiyo wala siyo kosa la mwenye nyumba

  • @SalamaNauthar
    @SalamaNauthar Час назад

    Nakupenda sana Gwajima ALLAH Akulipe kheri

  • @mangulimanguli3974
    @mangulimanguli3974 15 часов назад +14

    Angekua Magufuli uyo hakim jela na uyo muuza nyama waizi tu

    • @nishaabdula5015
      @nishaabdula5015 6 часов назад +1

      Kbs yn ww utamdai vp mfu nyama kwn yy ndo tanecko akiemata uememe yn zuruma ya wz wz kbs

    • @mangulimanguli3974
      @mangulimanguli3974 4 часа назад +1

      @nishaabdula5015 sana walah unaumiza huu mkasa

    • @amiriadam9730
      @amiriadam9730 3 часа назад

      Mambo hayo yanaibuliwa mda huu,yalifanywa miaka ya mwenda zake.

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 2 часа назад

      @@mangulimanguli3974 hakuna unasikiliza upande mmoja yule kwa halaka hivyo huwezi pata ukweli na ukiangalia hawa watu ni waongo hivyo tusikie upande wa pili mimi ninacho kiona hapo huyu mzee alimkomesha kijana kijana nae akajibu ubaya ubwera

  • @kahemachowdry7346
    @kahemachowdry7346 15 часов назад +10

    Mambo haya Yanafanya Wananchi Waendelee kuichukia Serikali ,Haya yanafanyo na Vyombo VYA Selikali kama Mahakama inayotakiwa kutenda Haki

  • @kwzjkwz3532
    @kwzjkwz3532 4 часа назад +2

    wallah ningefanya kisasi cha mpka mambabu zake washangae

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 54 минуты назад

    Gwajima mungu akusaidiye mzee apate nyumba yake na haki zake na huyo jamaa na aloshirikiana nao kutapeli mungu aone cha kuwalipa kiduniya na huko akhera

  • @MamuMichael
    @MamuMichael 10 часов назад +4

    Pole sana.

  • @OmaryRamadan-m8v
    @OmaryRamadan-m8v 3 часа назад +1

    Kweli lushwa ni adui wa haki mama samia angewafkuza hawa watamhalibia heshima yake mana sisi tutailaumu selekali kwa watu wachache na hilo linaobebe vyuma kwaajili ya kutapeli wazee liswekwe ndani tu utapata lana wewe😢😢hujui mzee kahaso vp mpaka kuipata hiyo nyumba hujui kapitia mangapi na hapo ujue hujamzulumu huyo mzee tu kumbuka anawatu nyuma wanamuangalia jamani njaa zitatuuwa vijana tupambane 😢😢😢imeniuma sana naona kama alofanyiwa ivo nibaba angu mzazi

  • @petercostakisoka
    @petercostakisoka 9 часов назад +3

    Mungu amsaidie gwajuma afanikiwe kumrudishia mzee Jasho Lake apo ni rushwa tu kabisa mumzulumu nyumba yake na gerezani mumuweke ili asiwape upinzani kwenye azima yenu daaaaah mungu anawaona

    • @charlesmakuri792
      @charlesmakuri792 5 часов назад

      Gerezani huenda matusi na yule nae aliumizwa huo ndio ubaya ubwela

  • @Devothaibrahim-w4v
    @Devothaibrahim-w4v Час назад

    Mchungaji mungu akupe ujasili mukubwa hiyo mze aludishiwe nyumba yake

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 25 минут назад

    Mzee hakujitetea vizuri mahakamani ndiyo maana yamemtokea huyu baba au mpangaji kahonga mahakamani.

  • @RomanusBussa-g7q
    @RomanusBussa-g7q 6 часов назад +3

    Nchi imejaaa rushwaaa

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 15 часов назад +7

    Yani uyo kijana Mungu hato msamehee

  • @vero57
    @vero57 13 часов назад +3

    Huyo hakimu lazima aende ndani hii sio haki kabisa!!!! Sijui kasomea waki kuwa akimu????

  • @jeremiahcharles6027
    @jeremiahcharles6027 7 часов назад +2

    Ni Tanzania au???

  • @degolehakizimana
    @degolehakizimana 15 часов назад +5

    Tanzania zulma ninyingi sana. Mzee magufuli hamkaa baba uyaone. Makonda njoo umtetee huyu mzeee M mungu atawalipeni

    • @amiriadam9730
      @amiriadam9730 3 часа назад

      Hayo yalifanyika wakati wa magufuli,miaka 4 iliyopita.sasa aje kufanya nn

  • @CharlesAlly-jp1ms
    @CharlesAlly-jp1ms 4 часа назад +1

    Hongera sana gwajima

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 13 часов назад +2

    Hivi kwa hayo maelezo hayo hamuoni kuwa hawo mahakimu waliohukumu hiyo kesi wanaichongea serikali wananchi wataichukia sana mama samia wafukuze hao hawakutakii mema hao wasaliti tena naona ni wapinzani ondoa huo mnyololo wako wengi hao

  • @RamadhanMjema-ph8eb
    @RamadhanMjema-ph8eb 8 часов назад +2

    Yani yatokee mbali ila kama ni kwetu hao mahakimu ningewachanganya na hilo kijana kwa kichapo kikali,na mbwa sana hao,tunaomba serikali irudishe nyumba ya mzee wawatu.

  • @صالحالصوافي-غ5و
    @صالحالصوافي-غ5و 3 часа назад

    Iyi story inahuzunisha jamani binadamu tumuogope mungu😢😢😢

  • @minazsaid2470
    @minazsaid2470 14 часов назад +3

    Utapeli wa kiwango cha juu 😢

  • @Yumbopaul
    @Yumbopaul 14 часов назад +3

    Hakuna sababu ya kufungwa hapo ni unyanyasaji na uvunjaji wa haki za binadam na hapo inawezekana corruption imebeapplicable there

  • @stanleymanya438
    @stanleymanya438 8 часов назад +4

    Gwajima unatoboa Hilo Mungu akutangulie

  • @alinasor8553
    @alinasor8553 2 часа назад +1

    Mm sjaelwa kwan luku anaeka nani na umeme umektka sababu ya tanesco au yy mie nataka nijue

    • @Mpalianda-s9u
      @Mpalianda-s9u 25 минут назад

      Acha papala isikilize crip mpakamwisho sio apo kwa gwajimtuu msikilize namzeee

  • @joharikitundu
    @joharikitundu 9 часов назад +2

    Kwa Hy umeme ukikatika wapangaji wenye nyumba tulipwe vyakula vyetu.
    Alafu huyu kaka ni jeuri sana Kuna watu wanamtegemea huyu kisheria

  • @IddyAyoub-h2r
    @IddyAyoub-h2r 8 часов назад +2

    Da hii ukisikia mtu uvumilivu umemshinda kachukua sheria mkononi nii dhuluma ni mbaya na inatia hasira sana huyo jamaa Mungu anamuona alichofanya kwa huyo mzee pamoja na hao mahakimu

  • @adelinabaitu3291
    @adelinabaitu3291 51 минуту назад

    Mwenye butcher ana roho mbaya

  • @SalesiaKipela
    @SalesiaKipela 6 часов назад +1

    Jamani umeme ukikatika anayehusika mwenye nyumba sio Tanesco utu uko wapi jamani mahakama gani inaamuwa kesi kwa uonevu huu😢😢😢

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 4 часа назад +1

    Mahakama cjui ?

  • @kidundaonlinetv9724
    @kidundaonlinetv9724 3 часа назад +1

    Aisee Hii dunia

  • @rukiyyarukiyya6317
    @rukiyyarukiyya6317 17 часов назад +3

    Mtihani walah

  • @Songeagirl1
    @Songeagirl1 2 часа назад

    Duuh! Nimekosa cha kuongea😭😭😭

  • @tatually1366
    @tatually1366 15 часов назад +4

    Pole

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 51 минуту назад

    Kuanzia serikali ya mtaa hadi mahakamani rushwa imepita hapo😢😢😢 gwajima tunasubiri hilikujuwa mwisho wake

  • @ceciliagilbert973
    @ceciliagilbert973 Час назад

    Pole mzee lakini Hugo anayedhurumu jasho LA MTU atakipata

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 6 часов назад +1

    Yeye au tanesco?

  • @magrethmbangama1199
    @magrethmbangama1199 6 часов назад +2

    Dah ila Elimu jmn hv umempangisha mtu umeme umekatika mali zimeharibika mwenye nyumba anahusika nini kwani yeye ndo anazalisha umeme? Dhuluma kbs hapo hakimu anahusika 100% mahakimu nyiee mna dhambi sana.

  • @songombingo108
    @songombingo108 7 часов назад +1

    Haya mambo ya Kipumbavu yanapatikana Tz tu

  • @Shadia544
    @Shadia544 5 часов назад +1

    Haki ya mtu haipotei 😢 huyo mpateli tuu kama walitoa rushwa basi haki ya mtu haipotei 😢😢

  • @MwitaChacha-l9t
    @MwitaChacha-l9t 6 часов назад +1

    Watu wa dar wanapenda dhuruma sana

  • @RamadhanMjema-ph8eb
    @RamadhanMjema-ph8eb 8 часов назад +2

    Kisheria hiyo nyumba bado ni mali ya mzee wawatu,ila hiyo mahakama haina akili kwa maamuzi hayo

  • @jacklinezombo5806
    @jacklinezombo5806 15 часов назад +4

    ata kama nyama ilikua kilo 100 haiwezekani kuunzwa nyumba

  • @KHATIBUSENYE-ss3ok
    @KHATIBUSENYE-ss3ok 5 часов назад +1

    Kwanza hakimu Gani aliyehukumi hiyo kesi

  • @rosemkude4804
    @rosemkude4804 3 часа назад +1

    😢😢😢😢😢😢😢😢

  • @SbOm-b7k
    @SbOm-b7k 52 минуты назад

    Duuuh!! Kilo za nyama hata zingekua mia hazinge fika izo pesa, lkn dhulma zimeeneaa

  • @NamiriNamiri-oz4xs
    @NamiriNamiri-oz4xs 9 часов назад +2

    Hii dunia ya Sqmaki mkubwa kummeza mdogo yani kilo 38 zikauze nyumba ya mtu?? Kuna nn hapo nyuma ya pazia???Amakwli Amithab Bachan Aliakti Senema Inaitwa Andar kanoun yani Serikali ipo mikononi kwa watu kwa maana mwenye Nyazifa au mwenye pesa ndio anaipeleka nchi anavyotaka hii ni Hatari kwa kweli haya ngoja tuone huwenda kuna siri nyengine nyuma ya pazia mana hatuwezi kuhukumu bila kujuwa upande wa pili.

  • @mkambaselemani-ej7np
    @mkambaselemani-ej7np 6 часов назад +1

    Hiyo nimahakama au?

  • @IsayaJoseph-v3s
    @IsayaJoseph-v3s 7 часов назад +2

    Hii ndo hasara ya kuteua mahakimu wasionaweledi wa kumchunguza mambo. wakiletewa maelezo tu wanayafanya kua kesi halali bila kujua undani wake. pia rushwa imetawala mahakamani haki inanunuliwa waziwazi. Hili swala la huyu mzee hatakama haujasoma sheria hauwezi tukoa maamuzi kama haya.

  • @sundaystanley5322
    @sundaystanley5322 3 часа назад +1

    Inahuzunisha sana

  • @BarakaMalekela-nf6gv
    @BarakaMalekela-nf6gv Час назад

    Umeme ikate tanesco nyumba auziwe sanga. Duhuuu.

  • @gildopitapita1383
    @gildopitapita1383 12 часов назад +2

    Mungu yupo

  • @DandasiKundi
    @DandasiKundi 3 часа назад

    Viongozi wa ngazi juu lnaskitisha vitu kama hivi ni vya kufuatilia ni hujuma sana vyombo vya habari vinatupatia habari nzuri sana.

  • @chalemofaraji8797
    @chalemofaraji8797 52 минуты назад

    Mkuu WA mkoo msaidieni huyu Mzee jamani

  • @sawegasper9670
    @sawegasper9670 2 часа назад

    Ningekuwa na mamlaka mimi😢yani ni basi tuu.Kuna watu wa ajabu sana

  • @McT-m1m
    @McT-m1m 8 часов назад +1

    Pole mzee wangu allah atakupigania

    • @sheikhanasser4714
      @sheikhanasser4714 3 часа назад

      Allahuma Aameen 🤲
      Ndugu yangu Andika "Allah" kwa herufi kubwa

  • @aliabdallah8456
    @aliabdallah8456 6 часов назад +2

    Asilimia kubwa ya maakimu wanaoenda sana rushwa nina uhakika maakimu wengi siku ya mwisho wao ni moto kwenda mbele kwa kuwadhulumu watu nwanyonge kwa tamaa ya dunia

  • @MamieMmari
    @MamieMmari 8 часов назад +1

    Hv jaman inawezekanaje mambo haya? 🇹🇿 Yangu unaelekea wapi?

  • @franciscojohn5751
    @franciscojohn5751 13 часов назад +3

    Dah lukosi vangu ubhuje khunyumba kha jibidi ulute pa khibiki yani unamuachia tu hawa ndio inatakiwa wajue nguvu ya sisi wakinga ludi nyumbani acha kusimama mahakamani si unaamini amekuchokoza kama unaamini kweli haki yako ludi nyumbani ludi acha kulia

    • @gmknews7929
      @gmknews7929 7 часов назад

      Nisaidie namba yako boss

  • @rosemkude4804
    @rosemkude4804 3 часа назад

    Inaelekea hawakuandikiana mkataba... Sasa mahakama iliegemea wapi kumiadhibu huyu Mtanzania jamani?

  • @omarnsekela7153
    @omarnsekela7153 8 часов назад +2

    Huyu kiongozi anafaa sana

  • @petrolconrad4250
    @petrolconrad4250 3 часа назад

    😂😂😂kiufupi baadhi ya wamiliki wa nyumba dsm ni myeyusho sana hasa maeneo ya uswahilini. Sina imani sana na maelezo ya upande mmoja. Na mara nying wao hutegemea sana mamlaka za serikali za mitaa kukandamiza wapangaji

  • @josephrobinmalafyale8416
    @josephrobinmalafyale8416 2 часа назад

    Wametumia kigezo gani au sheria gani duuuh

  • @mligosandrah7851
    @mligosandrah7851 13 часов назад +3

    Huyo mpangaji kafanya njama NYUMBA kanunua yeye ila viongozi muwe mnaangalia viti vingine nyie ndio mnasababisha rushwa hivyo hao viongozi wa mahakama hawalioni Hilo? Hakimu wa mahakama ya mwanzo ana watu wa juu yake Kwa Nini mnlinysmazia Hilo? Hamuoni kuwa chombo Cha mahakama hakitendi haki?

    • @mligosandrah7851
      @mligosandrah7851 13 часов назад

      Kwa mtondo hii magufuli tutamkumbuka yeye alikuwa anawafukuza kazi ila nyie mmekaa tuu hamuoni kuwa Hawa watawaharibia

  • @Luckyme-b4i
    @Luckyme-b4i 6 часов назад +1

    Inamaanisha mwanasheria wake nayeye amehusishwa?😢😢

  • @zeyanaalgheithy6561
    @zeyanaalgheithy6561 2 часа назад

    Unyanyasaji tu na alienunua pia wote dhulma mungu atawahukumu hapahapa dunia zitawala.pesa na dhuma

  • @DianaStar-sz5mb
    @DianaStar-sz5mb 7 часов назад

    Gwajima❤❤❤❤❤

  • @vitalismaiko9234
    @vitalismaiko9234 Час назад

    Mahakama zetu Bwana
    So mchezo 😢

  • @mitinjemaziku
    @mitinjemaziku 2 часа назад

    😂kweli watu hawana utu kabisa mtu akutapel nyumba kisa umeme au kilo 38 za nyama 😂😂😂

  • @AyubuKikoti-gu5mb
    @AyubuKikoti-gu5mb 6 часов назад

    Mchungaji Mungu akusaidie na akusimamie ufanikishe jambo la Mzee SANGA na nyumba yake jaman

  • @WilfredMwakalinga-s5b
    @WilfredMwakalinga-s5b 16 часов назад +3

    Tunaomba mwendelezo wa habari hii

  • @RamadhanirashidiPondomo
    @RamadhanirashidiPondomo 3 часа назад

    Mungu atalipa malipo apa apa duniani

  • @AbweAsumani
    @AbweAsumani 9 минут назад

    Awa watumiwa wanatakiwa wajibu zaidi kesi 6 ikiwemo:, kuzulimiwa haki yke, kupigwa na kuvujishwa damu, kufungwa jela bila kosa lolote,kuaribiwa jina lake,kulala nje yanyumba yke,Familia yke, wakiwomo watoto wa dogo kutanganga bila kua na Manali pakuishi, kubambikizwa kesi ya uongo, m....,Gwajima simamia mzee uyo ili haki itendeke

  • @NurayyaShaame
    @NurayyaShaame 41 минуту назад

    Mi nahis mahakama ichunguzwe. Na kilo ya nyama zilipelekwa mahakamani?? Kama ushahid? Na wameipima wakajiridhisha kua ilikua kilo 38?? Hili swala halijakaa sawa

  • @blessingntuli3796
    @blessingntuli3796 3 часа назад

    Jamaa anareuri Sanaa anaonekana
    Kwanza hataki kutoa ushirikiano

  • @omanoman2044
    @omanoman2044 Час назад

    Wallah wabilah inauma san mtuy kajenga nyumba kwa uchungu et mpangaji auze huyo asinge ka mpaka leo wangezika siku nyingi tuy wallah ninavuo jenga kwa uchungu hiv alfu shetan kam huyu w ningemmaliza wallah laki 2 ten w wallah huyo aliangalia hakun familiy ndo maan kafanya hiv lakin ingekuw mim w acheze hukohuko asije akagusa kondoa kitamramba vibaya mno

  • @shukranitawa4668
    @shukranitawa4668 15 часов назад +2

    Watu wa butcher na nyama siyo binadamu

  • @summanelson5523
    @summanelson5523 21 минуту назад

    Mwanasheria naye tapeli. Wameonewa kwa vile hawajui sheria na umaskini! Huyu muuza nyama ataishia pabaya sana.

  • @gildopitapita1383
    @gildopitapita1383 12 часов назад +1

    Itarud Kwa jina lá Yesu Cristo

  • @roudhamahmoud763
    @roudhamahmoud763 52 минуты назад

    Inaumiza sana mtu unafanya maamuzi utakavo kama unauza kitu chako?😢
    Alafu serikali ilifatiliyehilo tujuwe wahusika wote walocheza huo mchezo kumdhoofisha mzee wa watu