TEUZI ALIZOFANYA RAIS SAMIA, MZEE MAKAMBA AFUNGUKA, SAMIA APONGEZWE ANAFANYA KAZI NZURI

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 3 фев 2025

Комментарии • 437

  • @EmmanuelMwangelengel
    @EmmanuelMwangelengel 6 месяцев назад +1

    Uko vizuri Sanaa mzee wangu Masha malefu kwako ❤❤❤❤❤❤

  • @simonmalegesi414
    @simonmalegesi414 6 месяцев назад +42

    Mzee makamba kichwa kina umma🎉🎉🎉 wazuri hawatolewi kwenye nafasi zao ❤❤❤

  • @florakweyunga4490
    @florakweyunga4490 6 месяцев назад +20

    Huyu Mzee stakagi kumsikiliza maana alisemaga kuwa WENYE ROHO MBAYA TUMEWAZIKA.KAURI YAKE HIYO HAIWEZI KUSAULIKA HATA AJIKOSHE VIPI.

  • @johnnkelebe7360
    @johnnkelebe7360 6 месяцев назад +43

    NAmpongeza rais kwa kazi nzuri. Tunahitaji wachapa kazi sio janja janja.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 6 месяцев назад +3

      Sio tumpongeze tu cha msingi kama kweli kuna wizi wa kura unafanyika tumuombe rais na chama chake wakomeshe mara moja kwani inawezekana haya aliyoongea Nape ni ukweli mtupu.kumbuka hata Ally Karume alishasema huko Zanzibar chaguzi zote CCM haikuwahi kushinda.

    • @ismailchibonda5005
      @ismailchibonda5005 6 месяцев назад

      @@johnnkelebe7360 kwa toto la yule mzee nimefurahi Sana nimeumia kwa Jeri slaa angebaki pale pale kwenye ardhi.

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 6 месяцев назад +5

      ​@@MathewNathan-yb2bz Uchaguzi ni mpira wa kona hakuna siku utaacha kugombaniwa na hii ipo duniani kote. Ni upuuzi kudhani CCM haijashinda. Hata ndani ya vyama vyenyewe ambako CCM haipo figisu za kura tunazisikia.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 6 месяцев назад

      @@hajihassan5433 acha ujinga na upuuzi kwa kuwa na dhana hiyo.Kuna mataifa kibao Afrika yanayoendesha chaguzi zao kwa njia ya haki kibao.Hapa kwetu tunaosababisha tuibiwe kura ni sisi wenyewe watanzania kwa kutopenda kwetu Haki na taifa lisillopenda haki hilo ni taifa la shetani.watu wanakwenda kanisani na misikitini na tuna dini mbalimbali lakini watu bado tu tumemkumbatia shetani na kazi zake.

    • @aishaalbalushaishabalush8291
      @aishaalbalushaishabalush8291 6 месяцев назад

      unampongeza nini wakat ye namakamba ndio wamezunguka nchi zote kuuza rasilimali nalile lijumba lakifahar dubai nilao baada wameiba mali na fedha zote ndio anawaweka pembeni wakasimamie mamiradi yao nchi za nje halafu unampongeza kwa lipi ? nchi imebaki nyeupe haina chochote ndio kajifanya kuwatoa unadhani nape alikua anaropoka vile bila kujua analofanya? wamajipanga na rais wao ili watoke huko juu wakasimamie mamirad yao walio yaweka nje ya nchi

  • @SubiragaKabango
    @SubiragaKabango 6 месяцев назад +8

    Hongera SANA mzee makamba kwa maneno YAKO hakika mzee umeiva Kisiasa! Kwa sababu haya wakati wa Uongozi wenu figisufigisu zilikuwepo sana,Lakini kikubwa ni kuangalia Utendaji wa kazi wenye mafanikio,Kwani Kwani majaribu na Makwazo ya Adui shetani hayaepukiki kiurahisi bali tunazidi kupambana naye KILA itwaapo leo kwa kufunga na kuomba kwa sisi wakristo!( Biblia,Kitabu cha Isaya 41:10 na AYUBU 5:12 na Yeremia 15:20 Kwa jina la Yesu Kristo wa Nazareth) Zaburi 119:165) Kazi iendeleeeeee Amani,Utulivu na Mshikamano! Tanzania ni Taifa teule na mwenyezi Mungu subbahhannah wattallah!

    • @leonardjohnson2058
      @leonardjohnson2058 6 месяцев назад

      Unafiki huo anaongea wakati chin chin anawatumia wazee mwanae arudishwe

    • @graysonpastory1918
      @graysonpastory1918 6 месяцев назад

      Mnafiki huyu kaiva wapi?

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 6 месяцев назад +2

      Anajikosha tuuu Hana lolote

    • @EmmaculateGembe
      @EmmaculateGembe 6 месяцев назад +1

      Hakuna mtu mbaya kama mzee Makamba ndiye aliyeleta Rushwa ndani ya ccm akiwa katibu mnafiki Mkubwa msiba alisema

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 6 месяцев назад

      Usituletee mambo ya kidini ktk uongozi wa nchi ambayo haina dini.ni ujinga ujue

  • @hassanimngetege2904
    @hassanimngetege2904 6 месяцев назад +32

    Tunamshukuru mh.rais kwa kufanya Baharia umetulia Sasa kwa kutuondolea majambazi

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 6 месяцев назад +4

      Sio tumpongeze tu rais ,kikubwa rais anatakiwa akomeshe kabisa wizi wa kura unaofanywa na chama chake wakati wa uchaguzi.Nape pia tumpongeze kwa kusema ukweli.Kuna baadhi ya wana ccm pia ambao no wazalendo na wacha Mungu wanakerwa sana na tabia hii ya wizi wa kura katika chaguzi mbalimbali.

    • @RamadhaniBendera-j1s
      @RamadhaniBendera-j1s 6 месяцев назад

      Mnajidanganya iyo inaitwa triki tu​@@MathewNathan-yb2bz

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 6 месяцев назад

      @@hassanimngetege2904 Rais kumuondoa Nape sio kwamba kaondoa majambazi wote.Hapo cha msingi Rais anatakiwa achukukue hatua kwa kukomesha kabisa wizi wa kura unaofanywa na chama chake.kumbuka hata Ally karume alisema katika kila chaguzi huko Zanzibar ccm haijawahi kushinda.Hii inadhirihisha ni kweli kabisa kuna wizi unafanyika.Tumpongeze Nape kwa kusema ukweli na pia tumpongeze rais kwa kumtumbua Nape ila kubwa tumuombe rais sasa achukue hatua ya kukomesha kabisa wizi wa kura. na pia awachukulie hatua wale mafisadi wote waliotajwa kwenye ripoti ya CAG.

    • @jumakisailo8496
      @jumakisailo8496 6 месяцев назад +2

      ​@@MathewNathan-yb2bzuko sahihi kabisa, na naamini hawa watawala wasingekuwa wanaiba kura kwenye chaguzi zetu hata moto wa kuhitaji katiba mpya usingewaka kiasi hiki.

    • @MathewNathan-yb2bz
      @MathewNathan-yb2bz 6 месяцев назад

      @@jumakisailo8496 CCM wanakera sana na huu ndio wakati wa kumsihi Rais Samia na chama chake waache kabisa na wakomeshe kabisa wizi wa kura katika chaguzi zijazo na waendeshe chaguzi hizi kwa njia ya HAKI.Nape kaongea ukweli na pia Ally karume pia alisema kuwa huko Zanzibar kila chaguzi zinapifanyika huko visiwani CCM haijawahi kushinda,pia kitabu cha Mkapa jinsi alivyowauwa Wazanzibari na wengine kufia baharini kwa kutetea haki yao ya ushindi,pia uchaguzi wa 2019 na 2020 ulioporwa.Hii ina dhihirisha kweli CCM wanaiba kura.Hivyo tunamuomba Rais akomeshe dhambi hii ya wizi wa kura unaofanywa na CCM.kuiba kura ni uhaini,ni dhambi,ni kuvunja sheria na katiba ya nchi.Tunamuomba rais afanye mageuzi kwa kuongoza nchi kwa kufuata Utu,ubinadamu,haki,sheria na katiba ya nchi.

  • @JeremiahElishaMwanyesya
    @JeremiahElishaMwanyesya 6 месяцев назад

    Ongera mama wetu...kwa kazi nzuri.

  • @CharlesMarupa
    @CharlesMarupa 6 месяцев назад +22

    Jerry Slaa angebakia wizara ya ardhi.

    • @MandevuAmon
      @MandevuAmon 6 месяцев назад +3

      Kweli kabisa Slaa hakutakiwa atoke ardhi ametatua kero nyingi kama Lukuvi

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 6 месяцев назад

      Lukuvi hakuwa mzuri au unajisahaulisha dogo.
      Lukuvi ni mjinga na mbaguzi tu​@@MandevuAmon

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 6 месяцев назад

      Amegusa sehemu nyeti, unajua haki hatakiwi

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 6 месяцев назад

      @@CharlesMarupa uwezi kuingilia mipango ya rais, kwani hapo mwanzo ulijua kama Slaa atakuwa kwenye hiyo wizara??

  • @habibabarker1644
    @habibabarker1644 6 месяцев назад +4

    Slaaa arudi ardhi tafadhali tafadhali

  • @asteriashios1852
    @asteriashios1852 6 месяцев назад +19

    Yaani mwigulu nape januari ni ziro kabisa hawatufai kabisa mama hongera Sasa mwigulu Bado mtoe mamaa

    • @marcokaroje8980
      @marcokaroje8980 6 месяцев назад +4

      SSH ni mjanja msione kama kuna unafuu CCM ni ile ile lengo lao ni lilelile msibweteke mnaopingana nayo

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 6 месяцев назад +4

      ​@@marcokaroje8980hahahaaaa, una akili nyingi sana wewe! Kampeni zimekaribia, watawekwa maraika wema, ili kutengeneza mapito ya shetani, mashetani hao watarudishwa tena kwenye nafasi zao, au kubwa zaidi.

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 месяцев назад +2

      ​@@BenjaNetanyahuCCM kuna malaika kweli? Mi simuoni wote mashetani! Umesema kweli kwenye kurudishwa, hii ni danganya tu watawapa nafasi nyingine hawa watoto wao lazima wawaweke kwenye nafasi ya Kula hela za serikali

    • @issamuhammedi
      @issamuhammedi 6 месяцев назад +2

      Bado bosi wa dar nae apitiwe

    • @jumaamohamed2815
      @jumaamohamed2815 6 месяцев назад

      Comment ya Maana Kabisa🎉

  • @GabiMag
    @GabiMag 6 месяцев назад +3

    Wanaosema Hawarudi Tena
    Gonga like

    • @AGM19697
      @AGM19697 6 месяцев назад

      Subiri watarudi tu

  • @EmmanuelSimion-d3e
    @EmmanuelSimion-d3e 6 месяцев назад +47

    UNAJUA kiukweli January makamba hatufai kabisa akiwemo na Rizwan hawatufii ndyo maana hata hayati Magufuri hakutaka hata kusikia harufu zao!

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 6 месяцев назад +1

      @@EmmanuelSimion-d3e hahaa hahaa wanajulikana ata kwa data hawafai

    • @NassoroMbawala
      @NassoroMbawala 6 месяцев назад +1

      Ww ni kuma toa sababu unazosema hawatufai sikuzote inchi inaongozwa kwa sheria sio maamuzi je muheshimiwa raisi ameweka wazi sababu ya kuwafuta kazi mpaka unaropoka tu hawatufai je kesho wakiludi tena utasemaje tunakatiba mbovu sana kwenye hii nchi raia hana thamani ktk serikali yy ni mtu wakupelekeshwa tu😢😢😢😢

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 месяцев назад +4

      ​@@NassoroMbawalasasa ndo nini kumtukana mwenzio? Hovyooooooo akili mbovu tu, na wewe si utoe hoja yako.

    • @NassoroMbawala
      @NassoroMbawala 6 месяцев назад +2

      We naye choko mnawivu wa kimaendeleo nape kasema ukweli kunabahazi ya maeneo wanahiba kula kuipatia ccm ushindi mfano si mmeuona uchaguzi wa mwaka 2020

    • @Nabopolassar-q2q
      @Nabopolassar-q2q 6 месяцев назад

      ​@@NassoroMbawalasasa matusi ya nn mbn mwishoni umeelezea vzr

  • @dadamuebrania1539
    @dadamuebrania1539 6 месяцев назад +4

    Nape na Makamba hawatoshi sema ni huko kubebana kwao kunawapa nafasi ya kuendelea kuonekana serikalini 😢

  • @MathiasMongo-jk9so
    @MathiasMongo-jk9so 6 месяцев назад +13

    MWIGULU NCHEMBA Nae hafai

  • @evaristmbuya6220
    @evaristmbuya6220 6 месяцев назад +5

    Nampongeza Rais kwa kuondoa mizoga serikalini

  • @ismailchibonda5005
    @ismailchibonda5005 6 месяцев назад +40

    Hili zee silipendi hata kidogo

    • @brownjulius8514
      @brownjulius8514 6 месяцев назад

      Hata Mimi kusema kweli mzee wa hivyo kabisa

    • @RehemaMagoire
      @RehemaMagoire 6 месяцев назад

      Hahahaha

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 6 месяцев назад

      😂😂😂😂😂😂

    • @abidandastanmaliyatabu1373
      @abidandastanmaliyatabu1373 6 месяцев назад

      ​@@brownjulius8514kuna mwingine yule wa msoga; ogapa mtu anayekuchekea hata kama umekosa anasubili umpe kisogo

    • @BenjaNetanyahu
      @BenjaNetanyahu 6 месяцев назад +2

      Kwani alikufanyaje? Tujifunze kusamehe, na kumchukia mwana-adamu mwenzako ni sawa na kumchukia MUNGU.

  • @LushugembeMboje
    @LushugembeMboje 6 месяцев назад +15

    Mzee makamba wazuri hawatenguliwi kinyume chake unakijua mwenyewe.

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 6 месяцев назад

      Wabaya ndy wanatangulia.......unaona .fulan........yupo😂.

  • @richardswai5206
    @richardswai5206 6 месяцев назад

    Huyu mzee Toka aseme wazuri hawafi nilimchukia sana nikaona hana timamu

  • @elizabethjacob6090
    @elizabethjacob6090 6 месяцев назад

    Jerry, Slaa ulimpatia kwenye uwaziri wa ardhi,ardhi,ardhi tuimeiona kazi yake mama tuomba umrudishe like ni jembe haswaaa🎉🎉🎉🎉🎉

  • @ChachaNyabare
    @ChachaNyabare 6 месяцев назад +6

    Magu aliwaona hawana uwezo mama akawarudisha kumchalenji mangu sasa kazi zao hakuna bdo mmoja wazir wa fedha

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 месяцев назад +2

      Mama nae si ndo walewale? Atawapa sehemu nyingine waendelee kucheza na kuiba ni watoto wao g

  • @SmilingBeaver-rf6sf
    @SmilingBeaver-rf6sf 6 месяцев назад +15

    Janja janja mzee 😅😅😅😅

  • @gracekagoma3231
    @gracekagoma3231 6 месяцев назад

    Acha kuwapongeza wezi kama huyo mwanao 😢😢Alaaniwe kwa wizi wa kimataifa Alipe mali yote na afungwe maisha😢😢

  • @MwangaPhilbert
    @MwangaPhilbert 6 месяцев назад +16

    Huyu nape alishajifanya ndo mwenye nchi safi safi sana

    • @JohnsonBagambi
      @JohnsonBagambi 6 месяцев назад +1

      Moyo kumbe ulikuwa una kuuma swali? kwa sasa mshahara wa nape unalipwa wewe?

    • @alfredndau9195
      @alfredndau9195 6 месяцев назад +3

      Mshahara unathamani kuzidi utu wa watanzania mkuu?

  • @Albertogasper88
    @Albertogasper88 6 месяцев назад +21

    Sasa mtamuwelewa Magufuli...... Bado kurusi kimoja waziri wa fedha....

    • @msafirithomas7751
      @msafirithomas7751 6 месяцев назад

      We mnafiki

    • @joezeno8
      @joezeno8 6 месяцев назад +1

      Chalamila naye

    • @kolosii4351
      @kolosii4351 6 месяцев назад +4

      Huyu mzee ni mnafiki sana. Alisema vibaya kuhusu kifo cha mjomba. Tunangoja aishi miaka 6000.

    • @JELSONMAUKI
      @JELSONMAUKI 6 месяцев назад

      ​@@kolosii4351. Alisemaje 😲😲😲

    • @NurudinZuberi
      @NurudinZuberi 6 месяцев назад

      @@kolosii4351kabisa kizee kina roho mbaya

  • @GideonWilson-i5d
    @GideonWilson-i5d 6 месяцев назад

    January makambaaa

  • @neemamajana3078
    @neemamajana3078 6 месяцев назад +1

    Kwa kauli za Zee hili, ni kwamba wameondolewa ili uchaguzi ukipita warudishwe. Huu ni mchongo tu wala hawajaondolewa watarudi tena ni mambo ya kisiasa.

  • @dochikibaraza2944
    @dochikibaraza2944 6 месяцев назад

    HONGERA SANA MZEE MAKAMBA, NI MTU WA BUSARA SAAANA NA HEKIMA.
    ALLAH ATUJAZE MOYO WA SUBRA NA HEKIMA

  • @thomastemu3332
    @thomastemu3332 6 месяцев назад +14

    Tunataka jerry slaa arudishwe Ardhi pls

    • @ayshasaid1547
      @ayshasaid1547 6 месяцев назад

      Kabisa nampenda ana khof ya mungu ndio Maana anaweza

  • @MatronaThomas-wz5si
    @MatronaThomas-wz5si 6 месяцев назад

    Hakika mama uko vizuri sana ❤❤❤❤

  • @andreauisso3225
    @andreauisso3225 6 месяцев назад +16

    Wemzee makamba ndiyo ulisema watu wabaya hawafi RIP JPM

    • @MsAggie5
      @MsAggie5 6 месяцев назад

      Ndo huyo huyo! Hawa ndo wanajiona Tanzania ni nchi yso

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 6 месяцев назад

      Jpm alikua detector uchwara

    • @MeenaHassan-fd9vv
      @MeenaHassan-fd9vv 6 месяцев назад

      ​@@robertphilip385makamba na mwanae makamba wote ni machoko tuuu na wasipewe position yoyote makuma hao

    • @robertphilip385
      @robertphilip385 6 месяцев назад

      @@MeenaHassan-fd9vv kwani ndani ya ccm nanini anafaa? Wote wezi tu

    • @MilloWamilonga-ft8ir
      @MilloWamilonga-ft8ir 6 месяцев назад

      ​@@MeenaHassan-fd9vvAcha matusi wewe mjinga.
      Toast point zinazojieleza

  • @mcback4384
    @mcback4384 6 месяцев назад

    Magufuli alivyowatumbua Samia aliona wameonewa, bado na Kinana atamtumbua

  • @allythabiti8150
    @allythabiti8150 6 месяцев назад +1

    Makamba yupo vizur saana. Ameongew point.

  • @AlickoSamson
    @AlickoSamson 6 месяцев назад

    Hawa hawafai kabisa katika serikali ya jamhuri ya Muungano.mimi nashukuru nakupongeza kinafiki tu.Mama Samia adumu kazi nzuri anayoifanya haangalii wewe nimtoto wa nani "wabaya ndiyo wanakufa "

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 6 месяцев назад +1

    Watanzania wana kumbukumbu!!😅😅😅

  • @mkombozifreshoil
    @mkombozifreshoil 6 месяцев назад +1

    Laah slaa angebagi ardhi.

  • @charleshousedecoration8679
    @charleshousedecoration8679 6 месяцев назад +1

    Hizo niswanga TU wenye hakiri tunajuwa kinachoendelea mama hawezi kutoa nguzo zake harafu aweke ngunzo ya mpapai never for one day 😂😂😂

  • @MoiseMutarami
    @MoiseMutarami 6 месяцев назад

    USIPONGEZE HUKU INAUMA..... WAZURI HAWAFI😂😂😂😂

  • @robertlary6007
    @robertlary6007 6 месяцев назад

    Kazi Iendelee 🇹🇿🇹🇿🇹🇿
    #NasimamanaSamia

  • @MezdDimoso-j1j
    @MezdDimoso-j1j 6 месяцев назад

    Rais ni kocha

  • @salama1113
    @salama1113 6 месяцев назад

    Mmmh ngoja ninyamazi 😂😂😂😂

  • @lucasmolel8129
    @lucasmolel8129 6 месяцев назад +1

    Edo kazi yake Mpira bana mambo ya siasa iyo ajui

  • @francismigongwa4146
    @francismigongwa4146 6 месяцев назад +6

    Wazuri hawatenguliwi

  • @ConfusedFrog-lc9db
    @ConfusedFrog-lc9db 6 месяцев назад

    Tanzania bado sana kisiasa hii energy yote wangetumia kuutengeza uchumi wa nchi

  • @BrightShumbusho-i4y
    @BrightShumbusho-i4y 6 месяцев назад

    Hayo maneno wakati wa magufuli hukuyasema...sasa ngoja tuone asiporudishwa ndani ya miezi sita kama baba yake huyu makamba hajaenda kuiandama ikulu😂😂😂😂mzee tunakujua vizuri sana wewe...

  • @nathanpallangyo5244
    @nathanpallangyo5244 6 месяцев назад

    WANATOLEWA WANARUDISHWA WANATOLEWA WANARUDISHWA KAULI TATA YA MZEE MAKAMBA SIASA NI MCHEZO MBAYA😢

  • @AjiaMohamed-rt5pb
    @AjiaMohamed-rt5pb 6 месяцев назад +13

    Hvi kwani mpaka ahojiwe mxee makamba kwani hii nchi ya kwake ufala huu

  • @DannyEliudmsangi
    @DannyEliudmsangi 6 месяцев назад

    Mzee makamba uko sawa

  • @Burange666
    @Burange666 6 месяцев назад +7

    Mama kakosea kumtowa Jerry Silaa nafasi yake Waziri wa ardhi, inaonyesha mama yetu anapenda migogoro irudie tena hiyo migogoro mpaka leo haijamalizika na Slaa alikuwa anaitatua migogoro kwa akili sana, nimeshtuka sana kuona huyu Mama Samia anataka hii migogoro na matapeli warudi tena Ardhi kuendeleza wizi sababu yule kiboko ya matapeli kaondolewa sijui huyu mama ana Nia gani kuhusu hii migogoro inaelekea mama Samia anapendelea walalahoi waendelee kunyonywa viongozi wanahusika na wizi wa viwanja ndiyo imebidi mumtowe Jerry nafasi yake ???

    • @JoyceStive
      @JoyceStive 6 месяцев назад

      Bando

    • @kwisa4899
      @kwisa4899 6 месяцев назад

      Jerry alikua serious sana na siasa Ccm hayo mambo hawayataki

    • @thomastemu3332
      @thomastemu3332 6 месяцев назад

      Yaani jamaa yangu nimeshangaa na kwa uchungu mkubwa nimesikitika sana kuona Jerry slaa anatolewa Ardhi arudi. Alikua amemakinika sana na kufats sheria. Mi nilitungushwa na ati miaka 3 ddma hadi mwshimiwa Jerry slaa alipoanzisha Klinik ya ardhi faili lange likapatiksna wakati walikua wanasema halionekani..yaani mm akitaka achaguliwe kwa kishindo amrudishe Jerry slaa Ardhi pls tunakuomba raisi wetu

  • @awazioga1823
    @awazioga1823 6 месяцев назад +10

    Mama kazingua silaa wizara ya upumbavu baada ya wizara ya wanyonge ardhi? Ni nani ana mshauri huyu mama?

    • @hajihassan5433
      @hajihassan5433 6 месяцев назад +1

      Ni kitu kilinishangaza kweli lakini nampa haki ya kusikilizwa anaweza kutoa maelezo kwa nini akafanya hivyo.

  • @gladistaemanueliy6336
    @gladistaemanueliy6336 6 месяцев назад +1

    Ni sawa kuwatengua, lakini mama kwa Nini umemgusa Jerry?

  • @vladimirputn1809
    @vladimirputn1809 6 месяцев назад +1

    Toto lako makamba limefukuzwa lilikua linazingua likizani limefika toka

  • @nasranasra5348
    @nasranasra5348 6 месяцев назад

    Mama umefanya mmakosa sana kumtoa jerry slaa huyo ndie angekuo gezea kura kwzni anadili na wnyonge wanao nyaswa na wenye pesa

  • @NuruJuma-zv3yz
    @NuruJuma-zv3yz 6 месяцев назад

    Ukweli ni kwamba januari ni mzigo kwa CCM bali Wana CCM hawajalijua hili bado hata ubunge Wa bumbuli ni tatizo tu

  • @revpiusedward5942
    @revpiusedward5942 6 месяцев назад +12

    Si unajua tena wazuri huwa hawafi

  • @Eliaskasanya-hm5yk
    @Eliaskasanya-hm5yk 6 месяцев назад +1

    Jery Slaa angeachwa wizara iliyokuwepo. Maana hiyo wizara ni moja ya wizara inayotesa wananchi. Jery ni mtu alosomea sheria na ile wizara inachangamoto nyingi sana. Hii panga pangua inafanya utendaji unazorota. Jery angeachwa pale pale

  • @MathewNathan-yb2bz
    @MathewNathan-yb2bz 6 месяцев назад +3

    Licha ya kuwa tunampongeza rais kwa hatua yake ya kumtengua Nape ila kwa upande mwingine jambo kuu na muhimu ni kumuomba Rais Samia akomeshe wizi wa kura unaosemekana unafanywa na chama chake kila chaguzi zinapofanyika nchini.Nape sio wa kwanza kutoa kauli ya jinsi CCM inavyoiba kura wakati wa uchaguzi,pia Ally karume alishasema kuwa huko visiwani Zanzibar kila chaguzi zinapofanyika CCM haijawahi kushinda.Hivyo kauli ya Nape na Ally karume na uchaguzi ulioporwa wa 2019 na 2020 unathibitisha kuwa CCM wana hulka hiyo ya kuiba kura kwa kuendesha siasa za kihaini na zisizo na HAKI.Hapa inabidi pia tumshukuru Nape kwa kuongea ukweli jinsi wizi unavyofanyika.Pia tumuombe na kumsihi sana Rais wetu aachane na akomeshe kabisa wizi wa kura uliokuwa unafanywa na chama chake.kwa sasa awe na hofu na Mungu na aendeshe chaguzi zijazo Kwa HAKI.Nina imani Rais Samia hana tabia hiyo ya wizi wa kura ila aangalie wapambe wake walio chini yake ambao ni mafisadi wakubwa kwani wao inawezekana ndio wanaofanya tabia hiyo ya wizi wa kura na kuendesha siasa za hovyo.Kauli ya Nape sio ya kuipuuza na hii rais aitumie kuwafundisha wana CCM uzalendo na haki ya kila mtanzania kuchaguliwa kwa haki.Hao wanaoiba kura ndio hao hao wakiwa serikalini ndio huwa mafisadi,wala rushwa,majambazi,wezi na wabadhirifu wakubwa na hawanabuzalendo wowote zaidi ya matumbo yao.Tunapenda pia kumshukuru Nape kwa kuongea ukweli kwani katoa siri ya kweli ya nini kinafanyika katika kila chaguzi.katoa siri ya chumbani hadharani ni mpango wa Mungu tu.Mungu kawaumbua.

    • @bahatielias6443
      @bahatielias6443 6 месяцев назад

      Panya ni panya tu kaka, desturi yao ni Moja, CCm ni Ile Ile,siku tukipata Tume huru ndio tutakuwa na uchaguzi wahaki, fikilia pamoja na mjomba magu kufanya vizuri lakin kwenye uchaguzi wa 2020 Kila mwenye macho na akili timamu alijionea vizuri, pia kauli zake zakusema mkurungezi nakuteua Mimi,gari nakupa Mimi namshahara nakulipa Mimi Sasa nione unamtangaza mpinzani kashinda, yote haya yalifanyika mama akiwa makamu wake ,

    • @AzizMangara
      @AzizMangara 6 месяцев назад +1

      Upo sahihi.

  • @namsifubwana2152
    @namsifubwana2152 6 месяцев назад

    KILA MTU RAIS RAIS RAIS, MMEWEKWA MFUKONI MWA RAIS

  • @Mima-cl2im
    @Mima-cl2im 6 месяцев назад

    Pongezi kwa wizi. Makamba hakumusaidia mama. Makamba kaifrisi nchi. Musiweke mpira kwenye uongozi wa nchi. Ni mateso kwa watanzania

  • @bahatimanyilizu8213
    @bahatimanyilizu8213 6 месяцев назад

    Fact mxee makamba umenena

  • @kabujeasukile5462
    @kabujeasukile5462 6 месяцев назад

    MZEE makamba ni mkomavu kisiasa amekujibu vizuri sana mwandishi

  • @RichardKabenje
    @RichardKabenje 6 месяцев назад

    Kujifanya waho wanajua kilakitu nakumbe nchi wanaiweka gizani mama usihishie hapo waone wengine na kuwatumbua hili wakujue kua wewe ni rais wanchi tunakushukuru sana mungu akupe mahono zaidi

  • @bahatimanyilizu8213
    @bahatimanyilizu8213 6 месяцев назад

    Pole mzee makamba

  • @MagrethKatondo-qs9oz
    @MagrethKatondo-qs9oz 6 месяцев назад +2

    Mungu ulihurumie taifa letu. Aliyeshiba hamjui mwenye njaa jamani. Uongozi ni kutumika na wala sio kutumikiwa. Mungu tuhurumie wanyonge wako. . Apendaye fedha hatashiba fedha. Na ndivyo ilivyo. Asante mungu wewe iliyemtetezi wa kweli. Anaamini uko pamoja nasi.

  • @johnmalale3860
    @johnmalale3860 6 месяцев назад +1

    Hapo kwa slaa kupeleka wizara ya umbea mama kakosea, koti alikuwa nalo lilimwenea, WIZARA YA ARDHI,

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 6 месяцев назад +1

      Kuna kitu kagusa au atagusa Cha wakubwa wakamuwah ili asikiguse

    • @hamisijuma3276
      @hamisijuma3276 6 месяцев назад

      ​@@AnethMushi-c3e haki kutoa dhuruma Ni shida sn, pengine kamusaidia

  • @faidhamyovela179
    @faidhamyovela179 6 месяцев назад

    Makamba ametuliz komweeeee 😂😂😂 mwanae kibaka tu mar 2 zote anatenguliwa

  • @wadeelegbogun3015
    @wadeelegbogun3015 6 месяцев назад +1

    Eti wazuri hawafi #NONSENSE wewe mzee na mwanao

  • @AnethMushi-c3e
    @AnethMushi-c3e 6 месяцев назад +1

    Mashat ya kijan hayo yanamsumbua!

  • @MarryZahabu
    @MarryZahabu 6 месяцев назад

    Asane mzee makamba Kwa maneno yako ya busara

  • @christinenyagiro6662
    @christinenyagiro6662 6 месяцев назад

    Mzee Yusufu Makamba wazuri ndiyo wanatolewa. Hongera January Makamba baba yako anakupongeza sana. Kwa kazi ya kupoteza mapesa. Kwahiyo una fanya uchawa ili mwanao arudishwe?

  • @paulsibu5770
    @paulsibu5770 6 месяцев назад +1

    Wazuri hawatolewagi Mzee makamba.

  • @neemaadam9256
    @neemaadam9256 6 месяцев назад

    Sawa Mzee! Msema kweli ni Mpenzi wa MUNGU

  • @ThomasMakarius-x9n
    @ThomasMakarius-x9n 6 месяцев назад

    Kuna vijana wengi wenye weledi ndani ya CCM ,hao watafute kazi za kufanya siyo uteuzi tena byee

  • @mohamedkutwambi
    @mohamedkutwambi 6 месяцев назад

    Rais ni kama kocha wa simba😢😢😢

  • @marcokaroje8980
    @marcokaroje8980 6 месяцев назад +1

    Hiyo ni geresha tu ili wapinzani waone kuwa Rais anawasikiliza hasa aliyotamka Nape lakini mimi naona taabu iko palepale wadau mpo?

  • @Wambula..deogratias
    @Wambula..deogratias 6 месяцев назад +1

    Mbona mzee makamba anasema wamepumzishwa watarudishwa je wengine hawapo

  • @GrceLaurentkaboigora
    @GrceLaurentkaboigora 6 месяцев назад

    Baba uko vizuri

  • @danielbugwema6969
    @danielbugwema6969 6 месяцев назад +1

    Waandishi wa habari bhan a😂 mnampa umaarufu bure mlitaka aongeeaje huyo mzee mwacheni yeye anashiba na familia yake mnaboa sana

  • @JosephChacha-kq6ki
    @JosephChacha-kq6ki 6 месяцев назад

    Mzee hatari sana huyu,

  • @emmanuelkyandochali990
    @emmanuelkyandochali990 6 месяцев назад

    😂😂😂😂😂et watarud tena

  • @ambwenemwakyagi412
    @ambwenemwakyagi412 6 месяцев назад

    Rais ni kocha tena wa basketball game ambayo watu wanatoka na kurudi

  • @juliusdonard933
    @juliusdonard933 6 месяцев назад

    Hawaa n zeroo kabsaaa hamna kituuu , raisi sio kocha acha ujunga mzeee

  • @meshacknyandongo577
    @meshacknyandongo577 6 месяцев назад

    Mzee mtoto wako umemlea katika misingi mibovu sana hapa Bado watuondolee mwigulu nchemba sasa mambo yataenda vizuri

  • @sebastiansalamba313
    @sebastiansalamba313 6 месяцев назад +1

    Hata hivyo tumekula hasara walihitajika kutumbuliwa muda mrefu,ila mzee kwa kupiga debe,

  • @muhamadmussa8400
    @muhamadmussa8400 6 месяцев назад

    Safi mzee

  • @mbegembege
    @mbegembege 6 месяцев назад

    Safi mama

  • @RamadhanAthuman-d4c
    @RamadhanAthuman-d4c 6 месяцев назад +1

    Anandaliwa kuja kua makamu wa rais 2025

  • @zobakazizi7637
    @zobakazizi7637 6 месяцев назад +1

    Hawa watu wasirudi tena serikalini. Rais ulichelewa.

  • @MathiasSongoyi
    @MathiasSongoyi 6 месяцев назад

    Mie binafsi naona rais, amewasitukia kwani wanamipango mibaya ndani ya ccm,no vema wakae pembeni

  • @MohamedSaid-jw3nq
    @MohamedSaid-jw3nq 6 месяцев назад

    Waingietena kwani hakuna wengine

  • @veronicabwamukuru1265
    @veronicabwamukuru1265 6 месяцев назад

    Bado mnaingia na kutoka wakati wapo watu nje wana sifa za hiyo kazi lakini hawapati nafasi mnapeana wenyewe, mtajibu kesho

  • @PhilipoMwita-b2x
    @PhilipoMwita-b2x 6 месяцев назад

    Yani kutengua na kupanga ndo amefanya kazi nzuri

  • @ramadhanisalum3898
    @ramadhanisalum3898 6 месяцев назад

    Ina maana kumbe wataludi tena 👁️👁️👁️

  • @benedictmrisho1800
    @benedictmrisho1800 6 месяцев назад

    Pengine pumzi zimeisha ama ajali za kisiasa pia zipo. Kweli Mh Rais hapangiwi. Yeye atamweka amfae kwa wakati muhimu. Mambo ya kifua yanatoka wapi? Kwani walizaliwa na vyeo? Hao wengine wanaotolewa hawana wazazi? Nao mkawahoji basi wazazi wao. Why Mzee Makamba tu?

  • @paterinishayo-ef4sx
    @paterinishayo-ef4sx 6 месяцев назад

    Haijatoka moyoni kabisa hiyo ya mzeee saiz yupo kwa sangoma anapambana mwanae apewe nafasi nyingine

  • @aishaalbalushaishabalush8291
    @aishaalbalushaishabalush8291 6 месяцев назад +1

    huo ni ujinga kawaweka miaka 4 wameiba pesa zote ndio anawatoa wakale walizoiba kisha atawarydisha tena hamna hata is maana samia kalifanya zaid kuwachezea akili masikin

  • @kaaakwakutuliaa5179
    @kaaakwakutuliaa5179 6 месяцев назад

    makamba kakuambia raisi anajifanya kocha subirini muone show

  • @KanutiJoseph
    @KanutiJoseph 6 месяцев назад

    Pole Nzee Yusufu Makamba maana ndoto yako ya Urais wa mtoto wako inaanza kufifia.

  • @zakeoleonard440
    @zakeoleonard440 6 месяцев назад +1

    Mpaka mwanae atumbuliwe ndo afunguke mbona teuzi zingine huwa anapiga kimya kama hayupo

    • @AnethMushi-c3e
      @AnethMushi-c3e 6 месяцев назад +1

      Mkuki Kwa nguruwe Kwa binadam mchungu

  • @David-if6nk
    @David-if6nk 6 месяцев назад

    Hii nchi ilishakuwa ya koo fulani, kuna haja kubwa sana ya kufanya mapinduzi au kutawaliwa upya na wakoloni

  • @kingkube5000
    @kingkube5000 6 месяцев назад

    Mzee anafitina huyo anaitaji ikulu mwanae apate simkubali sana