ON AIR: Mshahara wa kwanza wa Waziri January Makamba mwaka 94

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 22 мар 2018

Комментарии • 294

  • @chandengao8795
    @chandengao8795 Месяц назад +1

    Kiswahili zaidi
    Jamaa ni mkweli sanananana
    Bibi alikua muuza gongo na yote yanayohusu
    Barikiwa sana mkuu

  • @meriannamorris8623
    @meriannamorris8623 4 года назад +2

    January kumbe maisha unayajua sana.aise mtu asiyekujua hawezi amini.Umeishi maisha yote,hongera sana mh.Tuna cha kujifunza toka kwako.

  • @charlesmihuwa6287
    @charlesmihuwa6287 2 года назад +1

    Big up Muheshimiwa unafaa
    kuongoza kwangu sababu kubwa unaijuwa nchi yako vizuri na unajuwa matatizo yetu Watanzania vizuri. All the best

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 года назад

    Kumbe % kubwa ya Watz maisha hayatofautiani sana. Cha ajabu wengine wanapopata madaraka husahau walikotoka. Wangekumbuka tulikotoa Tz ingekuwa mbali sana. Hongera J Makamba.

  • @MegaMtanzania
    @MegaMtanzania 6 лет назад +12

    Unatisha sana Brother Makamba!Sala za Makasisi uliowatizama miaka miwili zitakulinda Daima milele na milele.Amina

  • @fintaniferx9535
    @fintaniferx9535 4 года назад +3

    Umeni toa machozi maisha yako kama yangu ila mi si kupata bahat ya kusoma ata dalasa moja mama alikufa nikiwa mtoto sana baba nae akuwa na ela ata mia kwaiyo sikupelekawa shule kabisa bwana mungu uwalisha ndege wakati awalimi wala awana gala lakini uwalisha kwetu kamachum bukoba kagera sija wai kumwombea MTU kitu na asikifanikiwe ivo kaka j kuna2 mungu ata kitenda kizuli sana tuwe pamoja katika maombi ukija kulala shukulu na ukiamka omba maombi mafupi

  • @thebmcblackmiccatcher3949
    @thebmcblackmiccatcher3949 Месяц назад +1

    Father alikuwa na kipato lkn hujataja mahala alipofadhili chochote kitu ukiwa chuo, siasa nzuri sana

  • @zenamshana6852
    @zenamshana6852 4 года назад +5

    Aisee umetoka mbali kaka usikatae tamaa zote zinazotokea ktk maisha nichangamoto ila mm naamini utafika mbali sana sababu unafaham maisha halisi ya mtanzania

  • @enocksumbamhuli1125
    @enocksumbamhuli1125 4 года назад +4

    Hongera kwa ufafanuzi mzuri bro ,hata ule utata wa jina Bashite ulikuwa unatakiwa uwe wa wazi kama huu.

  • @JohnBalele
    @JohnBalele Месяц назад +1

    Hongera sana mr January Makamba.mengi.umeyapitia uongozi.hakika unaouzoefu

  • @aloycemwakatala2634
    @aloycemwakatala2634 6 лет назад +9

    OK brother nimekusoma

  • @juliuszellah1004
    @juliuszellah1004 2 года назад

    Aisee Comrade January, umenikumbusha mbali sana maisha ya miaka 80, kusubiri mgao wa sukari na chumvi, kuuza pombe , kuchunga etc. Very interesting history. Muhimu umefanikiwa kumwenzi baba yako Mzee Yusufu Makamba.

  • @ismailamran2477
    @ismailamran2477 2 года назад +1

    Historia ya Maisha yako inafundisha ,Hamasisha,Leta funzo ... Leo nimekufutilia wewe na baba yako na Mzee wetu mzee Makamba. Kwa hakika nimejifunza Mengi Sana.

  • @remenmasawe9538
    @remenmasawe9538 4 года назад

    Mara zote huyu Mh. January ninamkubali sana japo mimi si wa chama chake. Nadhani amepata baraka kwa Mungu kupitia kuwahudumia wazee na wakimbizi kwa moyo wote. Utafika mbsli sana Mtanzania mwenzangu. God bless you.

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 4 года назад +2

    Hongera sana king'ang'anizi!... hata biblia inatufundisha kung'ang'ania! tazama Yakobo alimganda malaika kulipokaribia kukucha hadi akambariki! SURE NEVER GIVE UP!!!..

  • @hubertmroso1664
    @hubertmroso1664 2 года назад

    Baada ya kusikia mwenywe historia ya maisha yako ya changamoto na moyo wako wa kujitolea kusaidia wenye shida kubwa ambao ni wakimbizi, nakubariki kwa kazi y'ako mpya uliyopewa na mheshimiwa raisi mama Samia hivi majuzi. Moyo wako usijje badilika na kurudi nyuma.

  • @emmanuelkasoga3251
    @emmanuelkasoga3251 5 лет назад +3

    Nilifikiri amekulia pizza na baga kumbe ni mtu aliekulia maisha ya kawaida big up brother Makamba

    • @margarethpolepole7438
      @margarethpolepole7438 3 года назад

      Emmanuel huyo mbona hajasema kama kasomea morogoro pia muulize musiba atakupa data zake zote

  • @pascarmwatosya5855
    @pascarmwatosya5855 4 года назад +2

    Safi uko vizuri

  • @michaelmallya5622
    @michaelmallya5622 6 лет назад +2

    Very inspirational, Big Up

  • @PastorMipango
    @PastorMipango Месяц назад

    Mr.January Makamba, fantastic story, nmefurahi sana story ya akafanta. Kaka, you are a real Tanzanian

  • @elipidtesha5466
    @elipidtesha5466 2 года назад +2

    Very good inspiring story never give up.men and women life is about fighting infact.ever one of us do meet the same life .Now mr makamva should prepare himself for .a ledership.position of high position in the next coming years ahead as he know the real day yo day life of common citizen

  • @margarethbilinga6167
    @margarethbilinga6167 4 года назад +2

    Historia nzuri sana yenye mafunzo

  • @bernardnyoni3927
    @bernardnyoni3927 4 года назад +7

    January,you life story is very interesting. But keep quite now.

  • @muzamiluabdallah9511
    @muzamiluabdallah9511 2 года назад +3

    Big up mzee makamba katuretea msomi bumbuli mahezanguru oyeeee

    • @polycarpmicky4151
      @polycarpmicky4151 Месяц назад

      ruclips.net/video/gQHGced56RU/видео.htmlsi=U_dFrE0x54eLjRuJ

  • @janegeogre3234
    @janegeogre3234 4 года назад +2

    ubarikiwe sana kwa kuwatunza wazee Mungu akubariki jmm January! uwe na maisha marefu sana kaka!

    • @EdwardJohn-ri2gk
      @EdwardJohn-ri2gk 2 месяца назад

      Safi sana,Kwa kweli unastahili kuwa zaidi na vivyo ulivyo saidiwa nawe saidia wahitaji waloko shule/vyuo wasio na uhakika wa Ada na meals

  • @deograsiamgeni5716
    @deograsiamgeni5716 4 года назад +5

    Sure God will reward you for that service to the old religious monks

  • @andrewbaluhya4089
    @andrewbaluhya4089 5 лет назад +11

    Historia nzuri ya maisha yako kiongozi wetu,haina kona kona kabisa.Unastahili kabisa kuwa kiongozi ktk nchi yetu.
    I SALUTE TO YOU.

  • @khaledkhaled9921
    @khaledkhaled9921 Месяц назад

    Uko vzr

  • @mohammednassor3081
    @mohammednassor3081 2 года назад +1

    Mashaallah una historia ya ujasiri mkubwa na mimi nlikuwa nasikia makamba lakini nitafauti nlivokuwa nafikiria kwani nilijua ni mzee lakini mashaallah kijana nasaha yangu ningekushauri ubadilishe dini toka ukristo kwenda uislam nakuhakikishia utaipamba vizuri zaidi historia yako

    • @ezekieljacob5795
      @ezekieljacob5795 Месяц назад

      Acha ukabila wewe ndiye ubadili

    • @MtuSafi
      @MtuSafi Месяц назад

      kwani ni mkristo huyu si Islamic?

  • @wilsonkaseha2034
    @wilsonkaseha2034 6 лет назад +4

    your back ground has given you a strong understanding ya maisha, safi na pongezi kwa kuyapitia hayo yote! Mungu mwema.

  • @jamalmsemo9690
    @jamalmsemo9690 6 лет назад +1

    Historia nzuri sana ya mh January Makamba Kwa sehemu zote alizozitaja bahati nzuri ninazijua ni sehemu zenye changamoto nyingi ila mh kapambana mpaka kufikia mafaniokio siyo kitu kidogo Hongera sana mh waziri

    • @evansokemwa6587
      @evansokemwa6587 4 года назад

      Upole wako ndio kulikutoa kiti chako next time kua mkali mzee kazini.

  • @user-dz4ob1xj8g
    @user-dz4ob1xj8g 4 года назад +2

    Ok ... Bila ya hizi interview unaweza kumdharau mtu SALUTE TO U ...

  • @pastorstevenmdoe5143
    @pastorstevenmdoe5143 4 года назад +2

    Dah story nzr sana mkuu, hakika unastahili pongezi

  • @stanslausishengoma3506
    @stanslausishengoma3506 4 года назад +1

    Great January Makamba nmefurai kusikia historia yako hakika maisha ni historia na udhubutu. God bless

    • @polycarpmicky4151
      @polycarpmicky4151 Месяц назад

      ruclips.net/video/gQHGced56RU/видео.htmlsi=U_dFrE0x54eLjRuJ

  • @benedictmrisho2361
    @benedictmrisho2361 2 года назад

    Mungu amrehemu Mzee Mkapa kwa busara na upeo.

  • @hamamtv46
    @hamamtv46 4 года назад +1

    Good story mkuu

  • @majirdmasare2236
    @majirdmasare2236 6 лет назад +2

    safi sana stori hii imenikumbusha mbali sana

  • @elifurahastanley2164
    @elifurahastanley2164 6 лет назад +7

    MUNGU NI MWEMA, JANUARI MAKAMBA AMEUZA GONGO NA BIBI YAKE, LEO HII NI WAZIRI. DAAH, MUNGU NI MWEMA

    • @TheSalma1999
      @TheSalma1999 5 лет назад

      Elifuraha Stanley duh we have something in common hata sisi tulipelekwa kwa bibi kilosa kweli Mungu ni mwema

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 2 года назад

    Nimefurahi sana umenikumbusha nyumbani hongera sana ndo maana unabusara sana barikiwa sana

  • @heraldloshi1864
    @heraldloshi1864 5 лет назад +6

    GOD is great.Cha muhimu maishani,ni mtu asikate tamaa haraka maishani.Moral lesson,it pays to be stubborn/pushy in life.Asante sana for sharing this inspiring story.

    • @elishajeremiah8240
      @elishajeremiah8240 Год назад

      ndio mheshimiwe... nina imanı kwa hayo uliopitia... utawatumikia wananchi vizuri..

  • @kiluviasamia6328
    @kiluviasamia6328 4 года назад +3

    Masha Allah historia yako inasktsha sana na inavutia .Allah atakuongoza

  • @jeninunu9177
    @jeninunu9177 5 лет назад +5

    amazing life story of lovely inspiring man. you have a lot to educate others. thanks for sharing

  • @JaneKabyemela
    @JaneKabyemela Месяц назад

    Yani nimekupenda mwanangu Mungu ahendelee kukutunza mpaka katanga unakakukumbuka

  • @suzanakoroti1098
    @suzanakoroti1098 6 лет назад +1

    Mh hongera sana nimekukubali, mimi nilienda shule bila viatu nilisoma kwa kilimo cha tumbaku

  • @hamzaabdul6012
    @hamzaabdul6012 6 лет назад +1

    Nice bro.... Youth we should patient for any snake way we pass through. Thanks

  • @longinokamuntu1431
    @longinokamuntu1431 4 года назад +1

    Umejifunza maisha ya Bk kweli nimecheka sana sana

  • @fikirmabula9665
    @fikirmabula9665 6 лет назад +3

    dah.. safi sana broo nimeipenda history yako

  • @floriankatunzi603
    @floriankatunzi603 2 года назад

    Du umenikumbusha mbali sana!!maisha yangu kijijini

  • @maselejacob8370
    @maselejacob8370 4 года назад +1

    Tunaomba iendelee part 2

  • @ibrahimj.kanyata3518
    @ibrahimj.kanyata3518 4 года назад +3

    Inspiring indeed.

  • @fransicochunji327
    @fransicochunji327 4 года назад +1

    Good ! Congrats

  • @mengicacoconut8144
    @mengicacoconut8144 6 лет назад +2

    Nimeipendaaaa, umehasooo

  • @mussabinford9872
    @mussabinford9872 2 года назад

    am so inspired by the story ,so motivated

  • @judithsalvatory2892
    @judithsalvatory2892 2 года назад

    Wooow hongera sana

  • @sophiasinda2099
    @sophiasinda2099 Месяц назад

    Mzee makamba amefanya kazi na wajomba zangu na baba yangu singida

  • @user-tg7vq3ty8p
    @user-tg7vq3ty8p 2 месяца назад +1

    Kaanza kazi na miaka 20? Rudi nyuma JKT mwaka mmoja, kidato cha tano na sita miaka miwili, kidato cha kwanza hadi cha nne miaka minne, miaka saba ya shule ya msingi jumla miaka minne. Tufanye alianza darasa la kwanza na miaka sita na hakukariri darasa. Kama alianza 1981 ina maana alianza na miaka 7 kuna gap ya mwaka mmoja. Tuwe waangalifu kwa sababu hii ni kumbukumbu na haitoweza kuwa altered kote inakopita hasa kwa mtu mwenye matazamio.

  • @bercahot152
    @bercahot152 6 лет назад +1

    nimejikuta namfollow@january makamba!! umeni inspire bro.

  • @DadialiDadi
    @DadialiDadi Месяц назад

    😂😂😂😂 gongo na ulanz navikumbukaa sanaa mpwpwaaaa😅😅😅

  • @andrewmbughi3587
    @andrewmbughi3587 4 года назад +7

    Mirad hongera Kwa kani nzuri. Asante Kwa kindi cha kumketa January big up. Nimeyapenda mazungumzo yetu

  • @lovenessloveness4508
    @lovenessloveness4508 6 лет назад +1

    Daah hongera sana bro

  • @mamachris6811
    @mamachris6811 4 года назад +4

    Singida ina historia ndefu kwa viongozi na watu wengi maarufu.

  • @ayubumoha6313
    @ayubumoha6313 4 года назад +1

    That is good story

  • @filbertcarlos2946
    @filbertcarlos2946 6 лет назад +1

    vizuri sana mheshimiwa januari

  • @khaledkhaled9921
    @khaledkhaled9921 Месяц назад

    Mashaaalah

  • @issammbwera9889
    @issammbwera9889 2 года назад

    Uko vizuri brother

  • @yasinshaban4933
    @yasinshaban4933 5 лет назад +4

    Dah inasisimua sana lkn imekujenga kuwa kiongoz mwenye nidhamu..!!!
    Pia Mkapa Mungu amjalie afya njema

  • @africakaka7217
    @africakaka7217 2 года назад

    Nakuelewa sana brother makamba unajua nini unafanya

  • @AcklandackyMichael
    @AcklandackyMichael 6 лет назад +3

    Kwa dhati familia zetu hasa mabibi zetu to date ambao wapo hai, tumesomeshwa na kuendesha maisha yetu kwa biashara ya pombe. Millard hayo umekuwa ukitizama pemben kwa muda kidogo. Mhe we ni kiongozi na una inspire watu wengi

  • @AffectionateFood-rz5sv
    @AffectionateFood-rz5sv 2 месяца назад

    Very interesting story brother. God bless your futute inshaallah

  • @kiramaanyonya6886
    @kiramaanyonya6886 2 года назад

    HONGERA SANA MH HISTORIA YA KUSISIMUA MUNGU AZIDI KUTUBARIKI NIMEJIFUNZA VINGI HAPO .MILARD AYO HONGERA

  • @ponsiankahesi3458
    @ponsiankahesi3458 5 лет назад

    Historia nzur sana mh January makamba

  • @asajileandimile7890
    @asajileandimile7890 6 лет назад +2

    Mungu manaweza ,,,,,,,

  • @Mimi-wf7mb
    @Mimi-wf7mb 2 года назад

    Millard Ayo uko juu si kama hao wanaotumaliziaga bundle na vi habari vyao vya kizushi

  • @samuelmmassa7213
    @samuelmmassa7213 5 лет назад +3

    hongera sana mh january makamba kumbe ulitugawia chakula kambini safi sana wakati huo nilikua na miaka 8

  • @VenanceMgema-xu6bq
    @VenanceMgema-xu6bq 2 месяца назад

    Skwa nakufaham january lakini leo nimekufaham hongera sana

  • @mariammtiniko2177
    @mariammtiniko2177 4 года назад +2

    kama umesikia eeeeee nyingi like

  • @juliusjohn9453
    @juliusjohn9453 5 лет назад +2

    Quite interesting. Mungu akuimarishe, akuongoze katika Njia yako

    • @edenezekiel5715
      @edenezekiel5715 4 года назад

      Hapo Makamba....??? baba yako alikuwa mtumishi .kada mzoefu wa chama ndio maana umekwenda kihivyo.
      angekuwa mvuja jasho.......asingeyaweza hayo....acha tuu mshukuru Mungu...si vibaya ukaa kimya.
      nafikiri wakati huu ni wakati sasa mwingine .zamu ya wengine kwa hawamu hii.

  • @muzamiluabdallah9511
    @muzamiluabdallah9511 2 года назад

    Stori nzuri lushoto oyeee

  • @ramadhanmasiku3770
    @ramadhanmasiku3770 4 года назад +2

    Big up

  • @abedkirway8668
    @abedkirway8668 4 года назад +1

    Makamba jembe sn hongera bro

  • @tundasalim9525
    @tundasalim9525 Месяц назад

    Interesting multifaceted experience; expectedly has cultivated you into a person with multifaceted approaches to cope with challenges

  • @mengicacoconut8144
    @mengicacoconut8144 6 лет назад +1

    Umehasoo broo

  • @marckozakayo5987
    @marckozakayo5987 6 лет назад +2

    Hahahahaa... Lesson to me!

  • @costantineernest745
    @costantineernest745 4 года назад +2

    Nakupenda makamba

  • @samuelmwambashi4168
    @samuelmwambashi4168 6 лет назад +1

    Safi sana

  • @chrispinechristian238
    @chrispinechristian238 4 года назад +4

    nimeipenda historia yako broo

  • @tabuselemani6869
    @tabuselemani6869 4 года назад +2

    huyu kaka mstarabu sana yani hata ongea yake ni nzuri sana mungu akulinde kila pande broo

  • @twayibmood7319
    @twayibmood7319 4 года назад +1

    gooooooo story

  • @othmanmohamed1610
    @othmanmohamed1610 2 года назад

    Mhm!!

  • @theodorychristopher4795
    @theodorychristopher4795 5 лет назад +7

    Wewe ulisoma kitajiri sisi tulisoma bila viatu, lubisi gongo pombe zilitusomesha.

  • @abdikoroa5527
    @abdikoroa5527 4 года назад +3

    January hongera. hata mtoto uliemzaa sikumoja anaweza akakukataa baba yake. kwaiyo hongera kwa ukomavu wa siasa. hii ndio demokursia ya nchi yetu

  • @kisirigaswalehe1175
    @kisirigaswalehe1175 4 года назад +1

    Ni mfano mwema kwa vijana wengi sana nchini

  • @alhabibhamis3599
    @alhabibhamis3599 5 лет назад +6

    daaaah kumb ulisoma HGE nakubali sanaaa NIPE LIKE ZAKO UTAYEISOMA COMMENT HII

  • @shadiamaharoq706
    @shadiamaharoq706 4 года назад +2

    Mashallah hongera januwari umetoka mbali

    • @festohisaya3963
      @festohisaya3963 4 года назад

      Makaba nimekukubari siwegine abao wamejaa matusi viywanimwao natamani kuoba naww karibu bukoba nikuguse nipoke kama iyo ekima.

    • @samkanju2467
      @samkanju2467 4 года назад

      BG up kwake bt alikua na hope coz njia ilkua imefyekwa tayali. Wengine wamekwama coz hakuna wa kuwasafishia njia....!!

  • @carlosmdemu4840
    @carlosmdemu4840 6 лет назад +3

    HAYA MAJIBIZANO NI HAMASA YA KIPEKEE KWA VIJANA, MH JANUARY MAKAMBA NI MFANO WA KUIGWA NA KILA MMOJA WETU. HAKIKA NI HAZINA KUBWA YA UONGOZI KWA TAIFA LETU. MUNGU AKUSIMAMIE KATIKA SAFARI HII.

  • @Crownvalz
    @Crownvalz 5 лет назад +2

    This is my next President 2025
    Sifuti comment ili ikifika mpate ushahidi....

  • @emmanuelfeli7392
    @emmanuelfeli7392 6 лет назад +1

    good bro

  • @martonsemuguruka1276
    @martonsemuguruka1276 Месяц назад

    Umetusaidia kumjua kwa sehemu Mhesh January. Endelea kutujuza. Mwishowe umuulize kuhusu kichwa kukosa nywele.

  • @JohnMiligwa-vj2ji
    @JohnMiligwa-vj2ji 2 месяца назад

    Siyo kweri

  • @brochris182
    @brochris182 6 лет назад +1

    jmn ..galanos boiz keep it up