I dont mean to be so off topic but does someone know of a tool to log back into an instagram account? I was stupid forgot the password. I would appreciate any tricks you can give me
NALA. Unatusaidia sana kutuma pesa from UK. Hii story yako ni inanihusu mimi zaidi. I hope after 10 years i will be back to see this comment and believe that this interview has inspired me. GOD IS GOOD.😊
Story yako imejaa ujumbe wa matumaini kwa watu wote wanaoelewa maana ya maisha, pia imejaa ujumbe wa kuufanyia kazi kama Taifa kuhusu Mapokeo ya elimu yetu Tanzania , Tunaamini zaidi matokeo ya mtihani, 1 hali hii inawaacha na kuwakosa vijana wenye uwezo tu mzuri wanazurura mitaani hadi wanachakaa kisa .... walifeli mtihani wa Mwisho wa kuhitimu elimu zao.... Bado kwenye elimu tunahitaji kubadilika na wenye uwezo wa kuwekeza watazame fursa hizi hususani shule za ufundi ili Tanzania inufaike na uwingi wa watu wake ....
Hongera kwakujua sababu zakufeli miaka kumi iliopta,kuvimba ubitozi ulikukosti.wanafunzi eshimianeni mashuleni msvimbe kwakipato cha wazaz wenu mashamba yatawahusu
Kweli hii ya "we dogo usinifundishe kazi niko hapa kwa miaka kadhaa" inaumiza sana na iko sana maofisini. Na ukipiga zaidi utaskia unatafuta kiki n.k. Hatua hizi zinahamasisha. Kwa utaratibu wa sasa wa Mh. JPM kwa kukusanya maduhuri ya serikali nahisi dogo anatufaa sana hapa
Sasa wew endelea kusoma kujiamn kuwa ndio utafanikiwa kimaisha,,na kadri unavyozidi kuendelea kusoma unapishana na utajiri,,,soma kidogo then zama kwenye kutafta maisha,,,🙏🙏🙏🙏🙏
Nimejiunga na nala app ni bonge la app, huyu mtoto ni balaa nawaomba wote mjiunge na hiyo app yaani inaeleweka na ni rahisi kuitumia na ipo kama tunavyotaka kiafrika zaidi,
ndo taabu nyingi nchi za kiafrika i hope magufuli hameona hili watu kama hawa wasaidiwe hili na sisi tuwe tunaongoza technology hii kuna baadhi ya viongozi wanamungusha ktk maswali haya
hapo umetudanganya eti alikuwa wa mwisho darasani, ukweli watu wengi wakifanikiwa sana wanasema mara walikuwa wanakua wamwisho mara ameanza na mtaji wa elfu tatu, sema ulikua wa mwishoniila siowa mwisho, ila hongera sana kwa teknolojia uko vzr kaka
Kwanza nikupongeze Millard kwa interview hizi za mlolongo na huyu kijana Mzalendo sana anae ipenda sana nchi yake Huyu kijana ni lazima azingatiwe kama treasure ya nchi.Mwelekeo wa mafanikio ya nchi ktk karne hii ya 21 ni mapambano ya teknolojia na teknolojia ndio ufunguo wa kila kitu ktk mapambano hayo na ni vijana ndio wanajeshi wazuri wa mapambano hayo Rais wetu mpenda nchi hii na wanawanchi wake nashauri kwamba wakati umeshafika wa kumwita huyu kijana na kukaa nae umsikilize maeazo yake na ushauri wake ktk kuiweka nchi hii ktk nchi bingwa ktk uwanja huu au mapambano haya ya sayansi na teknolojia.Mm naamini hata nchi zingine zinatamani kwamba huyu kijana angekua ni raia wa nchi yao lkn kwa methali ya Kiswahili inayo sema kwamba:"MCHEZAKWAO HUTUNZWA" Kwa hiyo wakati umefika wa kumtunza huyu kijana ktk nchi yake anayo ipenda.
Haven of Peace academy? Familia yako ina pesa bwana. Hiyo shule gharama mno. Lea mwaka sh mil 21.. ndio maana ukatoka mzee. Sio kama sisi bwana.. ila lakini hongera sana kwa kujaribu tena
Stanford ni miongoni mwa vyuo bora kabisa duniani....kama wamekuita ukafundishe hapo kwao, basi bro wewe una kipawa. Hongera sana Benjamin.
I dont mean to be so off topic but does someone know of a tool to log back into an instagram account?
I was stupid forgot the password. I would appreciate any tricks you can give me
Usizime mshumaa wa mwezako coz haitafanya wa kwako kuangaza zaidi 💪💪💪
Dahl kwel bro manual education ilikushinda ikabidi uende Auto then ukashinda n bd unatushangaza weus
hakika nimeelewa sana hii
Yah!!!
Nimejifunza mengi kuliko umri wng, naamini nitafikia malengo yng 🙏🙏hongera kaka Benjamin
Mungu mwenye Enzi, mlinde na kuendelea kumbariki huyu kijana.
Amen
NALA. Unatusaidia sana kutuma pesa from UK.
Hii story yako ni inanihusu mimi zaidi.
I hope after 10 years i will be back to see this comment and believe that this interview has inspired me. GOD IS GOOD.😊
Story yako imejaa ujumbe wa matumaini kwa watu wote wanaoelewa maana ya maisha, pia imejaa ujumbe wa kuufanyia kazi kama Taifa kuhusu Mapokeo ya elimu yetu Tanzania , Tunaamini zaidi matokeo ya mtihani, 1 hali hii inawaacha na kuwakosa vijana wenye uwezo tu mzuri wanazurura mitaani hadi wanachakaa kisa .... walifeli mtihani wa Mwisho wa kuhitimu elimu zao.... Bado kwenye elimu tunahitaji kubadilika na wenye uwezo wa kuwekeza watazame fursa hizi hususani shule za ufundi ili Tanzania inufaike na uwingi wa watu wake ....
Hakika Mungu ana njia zake za kumuwezesha mtuu kufikiaa malengoo yakoo!!
Kweli
Maisha nisafari hutakiwi kukata tamaa big up sana brother
Hongera Millard, benji ni noma, kufundisha wazungu sio rahisi.
Nakupenda sana we kaka vile unajua kuongea nakufanya vijana wasikate tamaa bali mungu akubarik zaid ufike mbali zaid ya hapa
Hongera sana kaka na pongezi kwa kutokua mchoyo wa maendereo.
Benja unadhibitisha ule msemo usemao nabii hakubaliki kwao to me your the best bro
Hongera sana, Mungu aendelee kukuonyesha njia zaidi ili tuendele kujifunza na kuthubutu kupitia mawazo na ushauri wako.Barikiwa sana.
Huwa najifunza Mengi sana kutoka kwako kaka Benjamin .Mungu aendelee kukuongoza
Wewe ni genius Mungu aendelee kukupigania Mr Benjamin 💪🏾♥️
Uyu kijana amenifuraisha sana, ana mawazo mazuri sana. Vijana kama hawa ndo wanafaa kuwa role models kwa wengine.. safi sana
halaf wavulana weupe wasaf wanajua kutamba xhulen ameongea ukwel mtupu
I luv his innovation 💥💥💥 tz to the world
Safi sana. Nimeipenda hii, nimejifunza kitu aisee ...
Hongera kwakujua sababu zakufeli miaka kumi iliopta,kuvimba ubitozi ulikukosti.wanafunzi eshimianeni mashuleni msvimbe kwakipato cha wazaz wenu mashamba yatawahusu
Bro u are speaking my story..
Second chances are true.
Nilikuwa sijawai isikia lkn inaonekana ni kitu kizuri milard na benja andaa vipindi vingi zaidi ili wengi waijue
Milard napenda Sana clip zako zinatutia matumaini vijana
Ama kweli mwanadamu hawez kuzuia riziki ya mtu bali anaweza kuichelewesha2,, congratulations Bro,,well done🙏🙏
Oya we uyu mwamba yupo vizuli guyz kama unamkubali tia like apo
I wish i had met you 30 yrs ago keep it up, you are wonderful.
He is really inspiring 🙏🙏🙏
Like apa kama unamkubali Millard apa
If you are #millardAyo fan finya like apo 👍
Diamond Platnumz dew
Simba kacomment
#chibu
mh ni huyu huyu baba tiffa au??????????????
Wow u knw am in love with ur determination benjamin we love ur inspiration
Kweli hii ya "we dogo usinifundishe kazi niko hapa kwa miaka kadhaa" inaumiza sana na iko sana maofisini. Na ukipiga zaidi utaskia unatafuta kiki n.k. Hatua hizi zinahamasisha. Kwa utaratibu wa sasa wa Mh. JPM kwa kukusanya maduhuri ya serikali nahisi dogo anatufaa sana hapa
Ila naomba tu kuongezea kwamba Benja nimependa the fact that umerudi Tanzania na umetujengea heshima Tanzania. Una moyo sana. Wengi hawarudi.
Nala iyo unapataje kujiunga
Huwa nakufuatilia toka day one kwa kweli kuna mafunzo makubwa sana ndani ya Maongezi yako.
Hakiii yaa Munguu Munguu hakunyimiii vyoteee akikupaaa ukilemaaa lazimaa atakupaaa naa mwendooo 🎉❤😅😅😂😂 Munguu niii waa ajabuuu xanaaa aiseeeh tuendeleee tuuu kumwaminiii xanaaa yaaaniii ❤🎉😂😅
Kiukwel uyo jamaaaaaa nimemuekewa san kwanz ananyoonekan nizaku kubwa god bless you
Mmh kk nampenda sanaaaa mpk naumwa
M/mungu atujaalie nasisi atuongoze tufikie malengo yetu...
Akili nyingi 🙌🏾
Mashaallah
Good!!nidhamu ni kila kitu ktk maisha
Great idea
Hongera sana 👌🏾👏🏽👏🏽👏🏽❤️🖤🥰
Mimekubali sana mr
Sasa wew endelea kusoma kujiamn kuwa ndio utafanikiwa kimaisha,,na kadri unavyozidi kuendelea kusoma unapishana na utajiri,,,soma kidogo then zama kwenye kutafta maisha,,,🙏🙏🙏🙏🙏
Huyu Sio Kama hakusoma alisoma na akafeli tena chuo nje ya nchi
Great Innovation
asia walls sory innovation n nn
@@erickjulius8644 discovery
Nimejiunga na nala app ni bonge la app, huyu mtoto ni balaa nawaomba wote mjiunge na hiyo app yaani inaeleweka na ni rahisi kuitumia na ipo kama tunavyotaka kiafrika zaidi,
Hiyo nara kwamtu aliyopo nchini oman je anawezakutumiamtupesa kwanchi ya Tanzania 🇹🇿 ?
Ndugu na0mba nijuze kuhusu nala kama
Spelling zake zkoje
Nisaidie unaiandkaje ili kuidowlod
nakubali sanaa bro
Big up
safi benj
respect brother
dah kama ni kweli hakika historia yako ni inanisisimua
safi sana
Congratulations
Well noted...!
Nidhamu 📌
Hiyo ni hekima ya Mungu.
Hili ni zari aisee, jamani very impressive... aminia
Noted bro
Hongera dogo
Very inspiring
Kaka ongera sana you have surprise us
ndo taabu nyingi nchi za kiafrika
i hope magufuli hameona hili watu kama hawa wasaidiwe hili na sisi tuwe tunaongoza technology hii
kuna baadhi ya viongozi wanamungusha ktk maswali haya
Asaidiwe nini labda
We dogo usinifundishe Kazi nipo hapa Kwa miaka 20! Huku kujimwambafai😭😭.
hapo umetudanganya eti alikuwa wa mwisho darasani, ukweli watu wengi wakifanikiwa sana wanasema mara walikuwa wanakua wamwisho mara ameanza na mtaji wa elfu tatu, sema ulikua wa mwishoniila siowa mwisho, ila hongera sana kwa teknolojia uko vzr kaka
Kwani we hujaona result yake????
big up brother
Kaka mirad heshima yako,huyo jamaa Yuko sawa,nikweli vijana wengi hawaja tulia ktk maamuzi na kazi zao
i love this guy
Naomba namba ya simu ya ndugu Benjamin Ana mambo mazuri ya kujifunza kwake
Naitaji mtu wa kunilipia ada
Huyu jamaa huwa namuelewa San kwakwel
Tuunge mkono mzarende wa ukweli
Hongera kaka
Hongera sana.
aaaaaaaaaaaaaah hii interview nzuri sana
Kuzima mshumaa wa mwenzako hakufanyi wako uangaze zaidi
Kwanza nikupongeze Millard kwa interview hizi za mlolongo na huyu kijana Mzalendo sana anae ipenda sana nchi yake Huyu kijana ni lazima azingatiwe kama treasure ya nchi.Mwelekeo wa mafanikio ya nchi ktk karne hii ya 21 ni mapambano ya teknolojia na teknolojia ndio ufunguo wa kila kitu ktk mapambano hayo na ni vijana ndio wanajeshi wazuri wa mapambano hayo Rais wetu mpenda nchi hii na wanawanchi wake nashauri kwamba wakati umeshafika wa kumwita huyu kijana na kukaa nae umsikilize maeazo yake na ushauri wake ktk kuiweka nchi hii ktk nchi bingwa ktk uwanja huu au mapambano haya ya sayansi na teknolojia.Mm naamini hata nchi zingine zinatamani kwamba huyu kijana angekua ni raia wa nchi yao lkn kwa methali ya Kiswahili inayo sema kwamba:"MCHEZAKWAO HUTUNZWA" Kwa hiyo wakati umefika wa kumtunza huyu kijana ktk nchi yake anayo ipenda.
Hamis Mamba true fam
kumbuka Nabii hakubaliki kwao
Duh nimependa kuona hii interview ingawa nimechelewa kuipata
Benjamin wewe ni shujaa wa Imani
congrats bro
Umetisha mbaya
Weegodo usinifundishe kazi nipo a pa kwa myaka 22 inauma sana
🙏🙏💯
Nakupongeza sana kijana kwa hatua uliyofikia
Mdogo wangu nakukubali
nasikia ngoma la geeva
Usihofu kuhusu Taifa lako Mungu yu pamoja
Nimejifunza kitu kutoka kwako Benja.
how about in Apple store Ben,
Yo bro🙌
Huyu si kama alikuwa hafahamu au haelewi ila alishughulika na mchezo yaani alikuwa anachukulia poa shule haku focus lkn anaakili sana
Sik hizi kiswhili chake kimetulia, hongera sana
Kiswahi cha kibara sio cha kizanzibari
@@ramaally9873 angalao hichohicho cha kibara hicho si haba
@@hadijamandanje6189 kweli wakenya wanakiusudu
Hapa kwetu ni siasa tu
Wanna wote wa pangani tujuane kwa like
Haven of Peace academy? Familia yako ina pesa bwana. Hiyo shule gharama mno. Lea mwaka sh mil 21.. ndio maana ukatoka mzee. Sio kama sisi bwana.. ila lakini hongera sana kwa kujaribu tena
🤝🤝🤝
Bro umebarikiwa Sana, xjajua wengine hizo akili tunapishana nazo wapi, any way mungu azidi kukubariki ndugu
💯
woyoooooo
Ndg usikate tamaa serikali itakuona!!
Millardayo pigia kelele inshu ya paypal tuweze kupokea pesa online
Paypal inatukwamisha sanaa tz
kaka we ni nyota angavu kwenye kiza kinene. we endelea na unachoamini tunakukubali sana
Alichoongea Benja ndiyo ugonjwa wa watu wasiotaka kujifunza kutoka kwa wengine. Watu wanajifanya wanajua kumbe hawajui chochote na kujifunza hawataki
Omg